Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104684 articles
Browse latest View live

Baada ya Rais Magufuli Kukabidhiwa Ripoti ya Mchanga wa Madini...Kampuni ya Uchimbaji Madini ya ACACIA Waibuka na Haya Mazito Kuhusu Ripoti Hiyo..!!!

$
0
0

Kampuni ya uchimbaji madini ya ACACIA imetoa taarifa kuhusu Ripoti aliyokabidhiwa Rais Magufuli leo asubuhi kutoka kwa Kamati iliyopewa kazi ya uchunguzi.

Kamati imetoa taarifa kuwa kampuni ya ACACIA haijatoa taarifa kamili(sahihi) ya kiasi cha madini kilichopo kwenye makanikia yaliyoshikiliwa na kwamba amri ya kuzuia usafirishaji wa makontena yenye mchanga huo inaendelea kuwepo.

ACACIA bado haijaiona Ripoti hiyo inayosema kuwa kiasi cha madini kilichopo kwenye makontena hayo yanayoshikiliwa hadi sasa katika Bandari ya Dar es Salaam ni mara 10 ya kiasi kinachotajwa kwenye nyaraka za usafirishaji. Bado wanatafuta Ripoti kamili na ufafanuzi zaidi.

ACACIA inasisitiza kuwa huwa inatoa taarifa kamili ya kila kitu chenye thamani ya kifedha ambacho tunazalisha na huwa wanalipa kodi zote stahiki kwa kila madini yanayotakiwa kulipiwa.

Wanamalizia kwa kusema watatoa taarifa zaidi kwa wateja haraka iwezekanavyo.


Lissu, Zitto, Kigwangalla, Ridhiwani Walipuka Ripoti ya Mchanga..!!!

$
0
0

Baadhi ya wabunge wameibua hoja tofauti kwenye mitandao ya kijamii baada ya Rais John Magufuli kupokea ripoti ya mchanga wa madini Ikulu, leo.

Katika akaunti yake ya Twitter, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameandika, “pongezi kwa kazi nzuri iliyofanywa na tume.”

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe katika ukurasa wake wa Twitter ameandika, “utafiti unapingwa kwa utafiti. Kwa sasa Kamati ya Mruma Ndio rejea sahihi kwenye suala la mchanga na hivyo nakubali mapendekezo yaliyomo.”

Naye, Naibu Waziri Afya, Hamis Kigwangalla katika akaunti yake yaTwitter ameandika, “sishangai kumsikia Rais wetu akisema 'wasomi' tumeiangusha nchi. Kwa kila namna tunapaswa kujitazama sana.”

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameandika, “nimemsikiliza mheshimiwa Rais na kuendelea kuielewa nia yake njema ya kuisaidia nchi yake. Tuko pamoja na ninakuunga mkono.”

Dola ya Kiislam Yatangaza Kuhusika na Shambulio la Manchester, Uingereza..!!!

$
0
0

Islamic State (IS, formerly ISIS/ISIL) has claimed responsibility for the terrorist attack in Manchester on Monday night.

According to Amaq, a news outlet linked to the terror group, an IS member carried out the bombing which killed 22 and injured 59.

Police say they are investigating whether the bomber was part of or was in contact with a terror network. Intelligence officials believe they know the attacker's identity. His name has not been revealed.

IS supporters have hailed the bombing as a victory against "the crusaders" of the West. 

In one video posted online, an English speaking supporter of IS held up a homemade sign with the word "Manchester" and the date of the attack.

Other IS supporters said the attack was revenge for the UK's involvement in the bombing campaign against the terror group in Iraq and Syria. 

Source: RT

BREAKING News..Rais Magufuli Amtumbua Jipu Waziri wa Nishat na Madini Pro Muhongo..!!

$
0
0

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk John Pombe Magufuli Hivi punde ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madin Mhe Sospita Muhongo,Ambapo Taarifa kutoka Ikulu Zinasema kuwa nafasi hiyo itajazwa baadae.

Wabunge Wagoma Kutoa Rambirambi Nyingine..!!!

$
0
0

Mbunge wa Geita Vijini Joseph Msukuma (CCM) ameliomba Bunge kuazimia kutoa rambirambi kutokana na vifo vya watoto 10 vilivyotokea jimboni kwake vilivyosababishwa na mvua zilizonyesha mwishoni mwa wiki.

Ombi hilo limesababisha 'zogo' bungeni huku baadhi ya watunga sheria hao kusema hawatakubali kukatwa posho zao kwa kuwa rambirambi zimekuwa zikielekezwa kutekeleza miradi ya Serikali.

Katika hatua nyingine Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imepokea kwa huzuni na simanzi kubwa tukio la watoto 24 wanafunzi wa shule ya msingi kuzama majini na watatu kati yao kufa maji wakati wakitoka shuleni katika Kijiji cha Butwa, wilayani Geita.

JOTO la Uchaguzi Mkuu Kenya Lawafanya Wanasiasa Kuja Tanzania Kufuata Waganga wa Kienyeji..!!!

$
0
0

 Imedaiwa kuwa baadhi ya wanasiasa wanaowania nafasi za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao Kenya, wameanza kuwasili nchini kusaka nguvu za waganga wa kienyeji ili washinde katika kinyang’anyiro hicho.

Wanasiasa hao wanaripotiwa kumiminika katika miji ya Tarime, Musoma na Mwanza ambako hukutana na waganga ili kukamilishiwa mipango ya kushinda uchaguzi huo uliopangwa kufanyika Agosti mwaka huu.

Taarifa zilizonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini Kenya zinasema waganga hao wamekuwa wakiwapa wanasiasa hirizi ili kuwapoka wapinzani wao wapigakura.

Gazeti la Taifa Leo limeripoti kuwa, wengi wa wanasiasa hao walianza kumiminika nchini Februari, kabla ya mchujo kufanyika.

“Wengi wa wagombea wanaamini hawawezi kupata ushindi bila usaidizi wa nguvu za kishetani.

Tumekuwa tukiwaona wengi wao wakipitia hapa na kuingia Tanzania,” alisema mkazi aliyejitambulisha George Ogwang alipozungumza na gazeti la Taifa Leo.

“Ninamfahamu mmoja wa wanasiasa aliyepokea huduma za waganga hao na bado akabwagwa kwenye mchujo,” alisema.

Kwa miaka mingi wanasiasa katika eneo la Afrika Mashariki wamekuwa wakihusishwa na waganga wa kienyeji wanapoanza mchakato wa kusaka kura wakati wa uchaguzi.

Hivi karibuni, mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Kasheku ‘Musukuma’ alizua gumzo bungeni aliposema ni wabunge wawili au watatu tu ambao ndio hawakupita kwa waganga wa kienyeji wakati wa uchaguzi uliopita.     

Mwigulu: Tumewabaini Wanaofanya Mauaji Kibiti..!!!

$
0
0

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba amesisitiza kuwa changamoto ya mauji ya watu mkoani Pwani iko mbioni kutatuliwa kwa kuwa serikali imeshabaini wanaofanya mauaji hayo ni watu wanaotoka kwenye maeneo ya Kitibi, Mkuranga na Rufiji.

Mwigulu aliyasema hayo leo Bungeni mjini Dodoma wakati akitoa maelezo juu ya matukio yanayoendelea mkoa wa Pwani.

Alisema kuwa kamata kamata itaendelea katika wilaya za Kibiti, Mkuranga na Rufiji hadi wahalifu wote watakapokamatwa na kufikishwa katika vyombo vya dola.

Awali Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini aliomba Bunge liahirishe shughuli zake ili kujadili hali ya amani katika maeneo hayo.

"Kwa sasa watu wanakamatwa hovyo na polisi katika maeneo hayo na mfano kijana Sultan Mpigi aliyekamatwa na polisi akiwa mzima lakini maiti yake ilikutwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili". Alisema Selasini.

Alichokiandika Kikwete Baada ya Kumtembelea Mbwana Samatta Nchini Ubeligiji ...!!!

$
0
0

Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete jana usiku amekutana na nahodha wa Timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Samatta huko Ubelgiji alikoenda kwa ajili ya Mkutano wa kutatua migogoro ya kisiasa nchini Libya.

Mzee Kikwete mapema baada ya kukutana na nyota huyo anayekipiga kunako Klabu ya Genk alionesha furaha yake na kuandika ujumbe mzuri wa kufurahishwa kwa kukutana nae.

“Nikiwa hapa Brussels kuhudhuria Mkutano wa Wadau wa Libya nimepata fursa ya kukutana na mwanasoka na kipenzi chetu @samatta77 leo hii“, Ameandika Kikwete lwenye ukurasa wake wa Twitter.

Samatta nae hakuchukulia poa shavu hilo la kutembelewa na Rais Mstaafu kwa Kuandika “Ni wakati mzuri siku zote kukutana na our former president Mr @JakayaKikwete Wise and charming man. Asante sana mheshimiwa mungu akuweke” .

Mbwana Samatta ni moja ya wachezaji ambao wametajwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kinachojiandaa kuvaana na Lesotho mwezi ujao kwenye mechi za kufuzu AFCON.

Baada ya Star Tv Kurusha Mahojiano na Makonda..Gwajima Aibuka na Madudu Mapya Kuhusu Makonda na Mmiliki wa Star Tv..!!!

$
0
0

Baada kuwa kimya kwa muda na kuacha kuzungumzia suala la Bashite, Mchungaji wa Kanisa la Ufufu na Uzima, Josephat Gwajima asema, “dude limewashwa”   na kwamba  anatarajia kuibua suala hilo tena.

Mchungaji huyo ambaye mapema Machi mwaka huu akiwa kwenye mahubiri kanisani kwake, alidai kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatumia cheti cha kidato cha nne chenye jina la Daudi Albert Bushite.

Gwajima ambaye alitajwa kwenye orodha ya Makonda kuhusu sakata la dawa za kulevya, amesema atafufua aliyoyasema Makonda ‘Bashite’ wakati wa mahojiano kati yake na kituo cha televisheni cha Star tv yaliyofanywa Jumatatu.

Gwajima amesema, “ Dude limewashwa, nifafanua aliyoyasema Bashite,  nitaelezea uraia na mmiliki wa kituo cha tv alichokitumia Jumatatu, nitaeleza ukwepaji kodi wake na vyeti vya watangazaji wake na mishahara yao.”

Hii Hapa Barua ya kujiuzulu ya Professa Sospeter Muhongo iliyochelewa Kumfikia JPM

$
0
0

Waziri wa Nishati na Madini achelewa kuaandika Barua ya kujiuzulu kwenye Nafasi yake ya Uwaziri wa Nishati na Madini kwa Rais John Magufuli.

Taarifa ya Ikulu ilisema kuwa Rais Magufuli amemuachisha Professa Muhongo

hii hapa Barua

Simba Ubingwa Ndio Basi Tena..Fifa Yatuma Ujumbe Huu Kwa Yanga

$
0
0

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani Fifa, Gianni Infantino ametuma salamu za pongezi kwa Klabu ya Dar es Salaam Young African kwa kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Kupitia ukurasa wa Twitter wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, Jamali Malinzi ameandika ujumbe huo ambao umetoka kwa Rais wa Fifa kwenda kwa Yanga SC akisema: “Rais wa FIFA Bw Gianni Infantino leo ametuma salam za pongezi kwa klabu ya Yanga kwa kushinda ubingwa wa Ligi Kuu.Ameitakia kheri Yanga.” – Malinzi.

Sababu kwanini wanawake wengi hawapendi kutoka na wanaume wafupi

$
0
0


Kuna utafiti niliusoma siku moja kuhusu wanaume wafupi, na walisema wanaume wafupi wana mapenzi ya kweli na ya dhati kuliko wanaume warefu, kitu ambacho siwezi bisha sababu, wanawake wengi huwa hawapendi kutoka na wanaume wafupi kwahiyo inawachukua sana muda kupata mwenza na lazima wawapende na wawape mapenzi ya kweli wanawake zao ili wasiwaache  kwa sababu wanawake wengi wanapenda mwanaume  warefu na wengi wana mvuto kuliko wafupi.

Wanawake wengi wanapenda kutoka na wanaume ambao wamewazidi urefu hata kidogo, kuliko kuwa na mwanaume ambaye ni mfupi kuliko wao,wengi wanasema hii inaleta picha mbaya au muonekano mbaya wakiwa wanaongozana wanaita (not Marching), lakini kuna sifa nyingine za wanaume wafupi wanawake wengi wanasema zinawakera kama,

Wivu
Inasemekana wanaume wafupi wana wivu wa kupindukia na sio kama wanaume wengine warefu hawana wivu ila wao wivu wao unapitiliza kiasi cha kukera kwani wivu ukizidi sana ni kero katika mapenzi.

Sifa
Wanaume wengi wafupi wana sifa sana, kiasi cha kukera wanajisifia sana, na wanataka sana kuonekana, kama wapo eneo Fulani wakiingia sehemu mtajua kama kuna mtu kaingia sababu ya sifa zao na maneno yao japokuwa pia wana sifa moja ya kuwa wachechi sana.

Gubu
Hapa sasa ukichanganya na wivu ni balaaa maana mwanaume mwenye gubu ni zaidi ya mwanamke muongeaji, Gubu ni ile hali ya kukosoa kila kitu,kila kitu  kibaya, yeye haridhiki na chochote na hata utaonekana huwezi chochote akiwa karibu, hilo gubu au hata kama kila kitu kipo sawa atatafuta sababu ya kuongea tu.

Wanajidai Wanajua  kila kitu. ( Much know)
Much knows, hapa bwana unakutana na mtu  kila kitu anajua yeye, ni kero sababu akiwa mbele za watu atataka kila mtu ajue anajua nini kama inaongelewa siasa, mpira au mapenzi yeye fundi wa kila kitu, kitu ambacho kiukweli kinakera sana wakati mwingine.

Muonekano/ Mvuto
Wanawake wengi wasema wanaume wafupi hawana mvuto sana, kama wanaume warefu, kwahiyo hiyo ni moja ya sababu ya wao kutotaka kutoka na wanaume wafupi, japokuwa sio wanaume wote wafupi hawana mvuto.  Japokuwa inasemekana siku hizi hakuna anaeangalia urefu wako uzuri wako watu wanangalia sana mfuko wako tu, hayo ni maneno ya mitaani watu wanaongea. Mimi binafsi sijui kama ni hali halisi.

Mwanamke: fahamu athari hizi za pombe ambazo zitakufanya usinywe tena..!!!

$
0
0

Utafiti mpya unaonyesha kuwapo kwa uhusiano kati ya unywaji wa pombe miongoni mwa wanawake na ongezeko la kupata na saratani ya matiti.

Kwa mujibu wa ripoti kutoka na mfuko wa utafiti wa saratani ni kuwa nusu glasi ya mvinyo au bia kwa siku huongeza uwezekano wa kupata saratani ya matiti.

Mbali na hayo, utafiti huo pia unaonesha kuwa mazoezi ya mara kwa mara huweza kusaidia kupunguza hatari ya kupata maradhi hayo ya saratani.

Inaelezwa kuwa saratani ya matiti ndiyo huwakumba zaidi wanawake nchini Uingereza huku mmoja kati ya wanawake wanane wakipatwa na ugonjwa huo katika maisha yao

Chanzo: BBC Swahili

Sakata la Ugumu wa Maisha kwa Msanii Aliyebuni Nembo ya Taifa Latua Bungeni..Serikali Yajifikiria Kumsaidia..!!

$
0
0

Bunge jana lilielezwa kuwa msanii aliyebuni na kutengeneza nembo ya taifa ya Bibi na Bwana, Francis Ngosha ametelekezwa na taifa na anaishi maisha magumu.

Suala la msanii huyo liliibuka Bungeni mjini Dodoma leo, kutokana na mwongozo ulioombwa na Mbunge wa Temeke (CUF), Abdalah Mtolea, ambaye amesema msanii huyo hajanufaika na ubunifu wake huo.

“Kwa muda mrefu tumekuwa tukipiga kilele hapa tukidai haki miliki ya wasanii wetu ili kazi zao ziweze kuwanufaisha wao na familia zao,”amesema Mbunge huyo akiegeme kanuni ya 68(7) na 47(1).

“Kumekuwa na kilio na malalamiko makubwa ya Bwana Francis Ngosha ambaye ndiye aliyebuni ngao (nembo) ya taifa ambayo tunaitumia kwa kiasi kikubwa na tunajivunia ngao hii,”amesema.

“Lakini mtu huyu hajawahi kunufaika kwa kazi hii ya mikono yake anaishi pale Buruguni maisha ya ajabu maisha mabovu, afya yake ni mbaya na anashindwa hata kwenda kupata tiba,”amesisitiza.

“Anaishi kwa shida wakati ngao yake inaheshimika hata hapa kwenye jengo letu.  Hivi kweli na sisi kama Bunge tunaingia kwenye dhambi hii ya kula jasho la mtu ambalo hajalipwa haki yake?”amehoji.

Akijibu muongozo huo, Mwenyekiti wa Bunge, Azzan Mussa Zungu, alisema kwa maoni yake haoni sababu ya shughuli za bunge kuahirishwa ili kujadili suala hilo bali Serikali ilitolee maelezo.

“Hili la kwako halina udharura litajibiwa na waziri wa nchi (Jenister Mhagama). Inawezekana Serikali ina majibu yake ama mmemsaidia lakini zile pesa zikaenda zikapigwa na watu pembeni,”amesema.

Mhagama ambaye ni Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri mkuu anayeshughulikia Sera,Bunge,Kazi,Vijana, Ajira na Walemavu, alisema Serikali italichukua suala hilo kuona njia bora ya kulishughulikia. 

“Serikali inampongeza sana msanii huyu kwa kuweza kufanikisha nchi yetu kuwa na nembo tunayojivunia wote. Sisi kama Serikali tunapaswa kuichukua,”amesema Mhagama na kuongeza;-.

“Tutakwenda kuangalia namna hoja hii itaweza kupewa uzito. Kwa ujumla naomba niseme msanii amefanya kazi kubwa sana na taifa letu limeendelea kutambulika kwa kutumia kazi hiyo,”amesema.

Masikini Prof Muhongo..Hivi Ndivyo Safari Yake ya Uwaziri Ilivyokuwa na Misukosuko kama Meli Baharini..!!!

$
0
0

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amepitia misukosuko katika nafasi za uwaziri tangu alipoteuliwa na Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete.

 Jana Rais John Magufuli alimtaka Profesa Muhongo ajitathmini kuhusu nafasi yake ya Uwaziri baada ya kupokea ripoti ya mchanga wa madini Ikulu.

Mei 2012, Rais Kikwete alimteua Muhongo kuwa mbunge pamoja na wabunge wengine watatu, akiwamo Janet Mbene na James Mbatia.

Baada ya kuteuliwa na kuwa mbunge, Muhongo aliteuliwa na kuwa Waziri wa Nishati na Madini  na Rais Kikwete.

Hata hivyo Januari 24 mwaka 2015, alimuandikia Rais barua ya kujiuzulu kutokana na sakata la uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow.

Mwaka mmoja baadaye, baada ya Rais John Magufuli kuingia madarakani, alimteua tena Profesa Muhongo kuwa Waziri wa Nishati na Madini.

Muhongo alishinda kiti cha ubunge wa Jimbo la Musoma Vijijini kwa tiketi ya CCM, katika uchaguzi wa 2015.

Lakini jana tena, ikiwa ni miaka zaidi ya miwili tangu ajiuzulu kutokana na kashfa ya Escrow, ametakiwa kujiuzulu kutokana na  sakata la mchanga wa madini.muda mfupi baada ya kutakiwa ajitathimini akapokea barua ya kutenguliwa uwaziri



Rais Magufuli Aeleza kwa Nini Alimfukuza Kazi Profesa Ntalikwa..!!!

$
0
0

Rais wa John Magufuli ameeleza sababu kwa nini alimfukuza kazi Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa.

Rais Magufuli amesema kuwa alichukua uamuzi huo kutokana na Profesa huyo kueleza Kamati ya Bunge kiasi ambacho kilikuwa kipo kwenye makontena ya dhahabu ambacho hakikuwa sawa.

Profesa Ntalikwa alifutwa kazi na Rais Magufuli siku chache baada ya kufanya ziara ya kushtukiza bandarini lakini hakubainsha iwapo kuna uhusiano kati ya ziara hiyo na kufutwa kwake Ntalikw

Alichokisema Nikki wa Pili Baada ya Rais Magufuli Kupokea Ripoti ya Mchanga wa Madini Jana..!!!

$
0
0

Msanii kutoka kundi la Weusi, Nikki wa Pili, amendika ujumbe unaoandamana na harakati za Rais Dkt. John Magufuli za kupambana na wizi wa mchanga wa dhahabu ambao jana amepokea ripoti ya suala hilo.

Kupitia mtandao wa kijamii Nikki ameandika, ‘Watanzania wanaopewa dhamana, wasipoamua kuwa waadilifu, umaskini utaandika historia tukufu kwa Tanzania, alafu kuna uhusiano gani kati ya uwekezaji na ufisadi…. maana kila kasha, wizi mkubwa utamkuta mwekezaji na wakala wake wa kitanzania (wasomi, viongozi, wafanya biashara), yaani ni kama ule uchumi wa kikoloni manufaa ni kwa makampuni ya nje na kitabaka cha watanzania wachache.

“Nimpongeze mkuu wa nchi kwa kuamua kupambana na ufisadi huu, ila vita ya kuvunja mfumo wa kiuchumi wa kifisadi ni hatari, kina Lumumba, Nkruma, Sankara, huko Chile, Nikaragwa, Venezuela, haiti, Iran…. viongozi hawakupona, ni vita kuu. Mungu akusimamie,” ameandika Nikki.

Mugabe Noma Aisee..Eti Amempa Kazi Binti Yake Kazi ya Kukamata Watu Wanaokesha Kumsema Vibaya Mitandaoni na Kwenye Vyombo vya Habari..!!!

$
0
0

Rais wa Zimbabwe,Robert Mugabe,amemteua binti yake wa pekee, aliyemaliza masomo yake nchini Singapore, mwenye shahada ya uzamili katika masuala ya usimamizi katika mabenki na fedha, Bona Mugabe-Chikore, kuwa katika bodi ya udhibiti vyombo vya habari.

Bona ameteuliwa kudhibiti vyombo hivyo vya habari ikiwemo na sekta ya filamu katika nchi hiyo. Naye Charity Charamba, ambaye ni msemaji wa jeshi la polisi atakuwa moja ya watu katiaka bodi hiyo ya watu 11.

Bodi hiyo ilitangazwa na Waziri wa mambo ya ndani Ignatious Chombo, ikihusisha wawakilishi wa makundi ya makanisa, wataalamu wa sheria na uhasibu na viongozi wa kitamaduni. Shirika la kitaifa la habari limesema bodi hiyo itadhibiti na kukagua vyombo vya habari na sekta ya filamu nchini na kulenga “matumivi mabaya ya mitandao ya kijamii .

John Mnyika, Zitto Kabwe Walilia na Ufisadi wa Mchanga wa Madini Lakini Walipuuzwa

$
0
0

Rais John Magufuli aliunda Tume ya uchunguzi kuhusu usafirishaji wa mchanga wenye madini na ripoti imewasilishwa leo 24/05/2017 Ikulu jijini Dar Es salaam

Lakini pamoja na kumpongeza Rais Magufuli kwa jambo hilo la kizalendo, niseme kwamba amechelewa Sana.

Kambi ya Upinzani kupitia waziri kivuli wa nishati na Madini Kamanda John John Mnyika aliwasilisha hoja binafsi kuitaka Serikali ya Ccm akiwepo Rais Magufuli akiwa waziri kuwasilisha mikataba yote ya madini bungeni na wabunge kuipitia na kuichambua kwa kina na kuifanyia marekebisho ya haraka kwa maslahi ya nchi yetu.

Wabunge wa CCM kwa kauli moja walikataa hoja hiyo ya Upinzani mwaka 2012 na mwaka 2013 kwa maslahi ya CCM. Walikataa hoja ya kuitaka Serikali kuweka hadharani mikataba na hivyo waliilinda serikali yao ya CCM kwa hofu ya kuwajibishwa.

Zitto Kabwe aliwahi kuhoji kuhusu usafirishaji wa mchanga nje ya nchi na mrahaba hafifu miaka ya 2007 ,2008 na 2009.Zitto aliibua kashfa ya Ufisadi ya Buzwagi akishirikiana na aliyekua katibu mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Karatu Dk Slaa kwa niaba ya Kambi ya Upinzani. Spika wa bunge na bunge lilimfukuza Zitto Kabwe Bungeni kwa hoja kwamba amepotosha Bunge na Taifa badala ya kufanya utafiti na uchunguzi wa kina.

Upinzani hufikiria na kuona miaka 50 mbele wakati CCM huona kesho. Haya ya Leo Upinzani uliyasema na kuyaibua kwa vielelezo lakini Upinzani ulitukanwa kwamba nyaraka hizo ni za kufungia maandazi.

Ccm, wabunge wa CCM na Serikali ya Ccm acheni kusimamia maslahi ya CCM. simamieni maslahi ya Taifa kwa kizazi cha Leo na kesho.

Daniel Ezekiel Daniel(DED)
danielezekiel2222@gmail.com
ILEJE

Tanzia: Aliyekuwa Mume wa Zari Afariki Dunia, Zari Athibitisha

$
0
0

Ivan Don ambae ni Baba watoto na Mume wa Zamani wa Zari Amefariki Dunia, Zari ameweka wazi hilo kwa Kiandika yafuatayo:

By @zarithebosslady .
God loves those that are special and that's exactly who you were & I guess that's why he wanted you to himself. You have touched and helped thousands, you did wonders and I remember you telling me "life is too short let me live it to the fullest", this very dark hour it makes sense why you always said those words to me. To your sons, you were a hero-some kind of superman. Anyone who has ever been in your presence knows what a charming person you were. You will be missed and remembered in so many ways. You were IVAN THE GREAT! Rest in peace DON
.
.
#RIP # AMEN
Viewing all 104684 articles
Browse latest View live




Latest Images