Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live

Salama Apost Picha Akiwa Chooni na Kusema Hiyo Ndio Mitaa Yake

0
0
Salama Apost Picha Akiwa Chooni na Kusema Hiyo Ndio Mitaa Yake, 
Je na wewe Mitaa Hii Unapatikanaga  kweli?

Samahani kwa Picha:Mauaji ya Kutisha, Kikongwe Auwawa kwa Imani za Kishirikina

0
0
Mauaji ya kutisha yamezidi kuitikisa kahama baada ya  Bi Tabu Mtema, miaka 33 mkazi wa kijiji cha BUSULWANGILI Kahama  Shinyanga kuuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana baada ya watu hao kuvamia nyumbani kwa marehemu na kumjeruhi vibaya kwa mapanga.

Tukio hilo limetokea katika kijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga  jana saa 19:00 nyumbani kwake na watu wasiojulikana ambao pia watu hao walimjeruhi kichwani mume wa mama huyo kwa kutumia panga...

Baada ya Stori za Kifo cha Dr Cheni Kuenea

0
0
Mwigizaji na muongozaji wa bongomovie Dr. Cheni ambaye alianza kupata umaarufu kwenye fani ya uigizaji na thamthilia za kundi la Kaole na sasa akiwa anafanya movie zake, 12 May alizushiwa kifo ikiwa imeunganishwa na ishu yake ya kulazwa hospitali kutokana na homa ya dengu.
Baada ya huo uvumi kusambaa Elizabeth Michael ”Lulu” aliandika >>> ‘Jamani kuna mambo ya kuzushiana lakini sio kifo, kuna habari zimezushwa kwamba Dr. Cheni amefariki, ni habari za uongo jamani…. yuko salama kabisa na juzi ameruhusiwa kutoka hospital na anaendelea vizuri, tunajua kufa ni wajibu lakini mpaka Mungu mwenyewe apende….. pole baba angu’
Dr Cheni na yeye aliandika ‘Jamani kifo kipo na hakuna atakaekwepa ni lazima tutakufa na hakuna atakaebakia ila si vyema kunizushia, siku yangu itafika tu na wote mtajua lakini si jambo la busara kunizushia.


Nimechoka na Vibamia Kambwa(Popy) Kangu Kananiridhisha Mpaka Nafika Kileleni

0
0
Kuna issue nimekutana nayo and I was shocked to death lol! Wanawake kadhaa walikuwa wakijadiliana jinsi wanaume walivyo pasua kichwa so bi dada nkakip attention ili ninase vyema discussion yao.

Mmoja wao alilalamika kuwa kila mwanamme anayempata huwa ana kibamia so ameamua kununua kijimbwa chake, akipata hamu anajifungia chumbani kwake au kwenye gari then anapaka mchuzi kuleeeee lol then kajipopy kanazama chumvini mpaka bibie anapokuwa totally satisfied!

Guys, sijaelewa till now tatizo ni kibamia? au bi dada kaamua tu kujitoa akili?

Anakwambia when my popy get sick it sacks me! lol

Natafuta Hata Boyfriend tu Jamani Upweke Unaniuaa

0
0
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji kurudi sawa Nimechoka kukaa peke yangu upweke noma sana...Nataka mtu Mstaarabu, Mpole kiasi , Mchapa Kazi mwenye Kupenda Maendeleo...
Kama Vipi wacha e-mail yako ama number ya simu...ntaamua yupi nimtafute nijaribu

Obama Ashambuliwa, Aitwa Nyani Mwafrika Mshenzi, Aambiwa Arudi Porini

0
0

Serikali ya Korea Kaskazini Imemwita Rais wa Marekani, Barack Omba 'Nyani' na kwamba anapaswa kurudi porini akaishi huko.
Pia nchi hiyo imemwita Obama 'nyani mwafrika mshenzi'
Kutokana na kauli hiyo Jumuiya za kimataifa zimelaani kauli hiyo.
===
SEOUL, South Korea (AP) —
After bombarding South
Korea's female president with
sexist invectives, North Korea's
state news agency has fired
off racist insults against President Barack Obama that
U.S. officials condemn as
"disgusting." North Korea is notorious for
inflammatory, warlike rhetoric
against its rivals South Korea
and the U.S. but had rarely
used racial slurs in its verbal
attacks. Pyongyang's tone has grown angrier in recent weeks
as it threatens to conduct a
fourth nuclear test. In a lengthy May 2 dispatch
released only in Korean,
Pyongyang's Korean Central
News Agency published
comments from a factory
worker who said Obama has the "shape of a monkey" and
made many other crude
insults. "It would be better for him to
live with other monkeys at a
wild animal park in Africa ...
and licking bread crumbs
thrown by onlookers," worker
Kang Hyok at Chollima Steel Complex was quoted as saying. Marie Harf, a State
Department spokeswoman,
said Thursday that the North
Korean dispatch was
"offensive and ridiculous and
absurd.""I don't know how many words
I can use up here to describe
the rhetoric ... It's disgusting,"
she told reporters at the
Foreign Press Center in
Washington. Yoo Ho-yeol, professor of
North Korea studies at Korea
University in South Korea, said
North Korea is trying to get
attention by publishing such
comments through its state- run news agency. But he added
that it tried to distance the
government from the remarks
by attributing them to a
citizen. "If it was to publish such a
report in the voice of the
authorities it would entrap
them, whereas reporting the
story under some ordinary
citizen's name will give them leeway," Yoo said. The North's rhetoric against
Obama and South Korean
President Park Geun-hye
intensified after they held a
summit in Seoul late last
month. During his visit, Obama said at a joint news
conference with Park that it
may be time to consider
further sanctions against
North Korea, and that the U.S.
will not hesitate to use its military might to defend its
allies. Recent state media dispatches
criticizing Park are full of
sexist tirades such as "old
prostitute coquetting with
outside force."

Hatimaye Wastara Apata Mchumba London..Avishwa Pete..See Pictures

0
0
From London With Love ...!!! Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Wastara Juma ambaye kwasasa yupo London Uingereza amevishwa pete ya uchumba huko na mwanaume anayeonekana hapo pichani. Wastara aliweka picha kadhaa kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii na wengine kudhani ni filamu mpya. Star mwenzake pia Riyama Ally ambaye wapo wote huko London nae aliandika "Ama kweli Mungu akitaka kukupa haandiki barua......, kila la kheri mama huu mwanzo mzuri kwako". Baada ya kuona picha hizo haraka sana Swahiliworldplanet ilimuendea hewani Wastara akiwa huko huko London na kumuuliza kama ni movie au ni kweli, tofauti na siku zote ambapo kama ni movie Star huyo huweka kweupe lakini safari hii alionekana hana la kusema pengine kwa furaha na kuishia kujibu kwa ufupi kwa kusema "No comment" alipododoswa tena alijibu hivyo hivyo tena "No comment".

Wastara Monalisa, Riyama Ally na Cloud ni takribani wiki tatu sasa wapo London kwa mwaliko maalum na kucheza filamu inayoitwa Ughaibuni(Abroad) ambapo tayari wameanza kuishuti. Tungependa kuwatakia kila la kheri wawili hao .Angalia picha zaidi Wastara akivishwa pete hiyo.

Mastaa Kumfungia Kazi Mpoki kwa Udhalilishaji Siku ya Kill Awards

0
0
KIMENUKA! Komediani aliyebahatika kuwa maarufu Bongo, Mujuni Silvery 'Mpoki' yuko njiani kupandishwa kizimbani kufuatia mastaa waliodai aliwadhalilisha usiku wa Tuzo za Kili kucharuka na kwenda kwa mwanasheria wao, Ijumaa Wikienda lina ishu nzima. 
Mujuni Silvery 'Mpoki'.
Kwa mujibu wa chanzo makini, mastaa wanaodaiwa kutinga kwa mwanasheria na kuandikisha maelezo ni hawa wafuatao: Mkurugenzi wa Aset Club inayomiliki Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka, mtangazaji wa runinga, Maimartha Jesse, Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda na staa wa filamu za Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’. 
Aisha Mashauzi.
Wengine ni Mbongo Fleva na mtangazaji, Vanessa Mdee, Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Aisha Ramadhani ‘Mashauzi’, Maria Sarungi na DJ Bonny Love. WADAI KUDHALILISHWA BILA KUPEWA NAFASI
Chanzo kilisema kwamba siku ya Tuzo za Kili, Mpoki akiwa MC wa shughuli hiyo, aliwadhalilisha kwa kutangaza ndani ya hadhara iliyohudhuria kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar, mambo ambayo wenyewe hawakupata nafasi ya kujitetea (balansi). 
Asha Baraka.
“Kule kwa mwanasheria wao, wote walidai kuwa, siku ile Mlimani City, Mpoki alikuwa akitangaza mambo yao, mengine ya siri, mengine si ya kweli, mengine ya udhalilishaji bila wao kupewa nafasi ya kujitetea kama mnavyofanya magazetini. “Wenyewe wanajua Mpoki hakutumwa na Kili kusema maneno yale bali aliamua yeye kama yeye tu. Ndiyo maana wameamua kushughulika na Mpoki na si mwingine,” kilisema chanzo hicho. Maimartha wa Jesse. MADAI YAO YA MSINGI
Chanzo kiliendelea kutiririka kwamba madai ya msingi ya mastaa hao- kisheria ni kudhalilishwa, kuzushiwa na kuchafuliwa mbele za watu, jambo ambalo liliwapa usumbufu mbele za jamaa zao, wakiwemo watoto na ndugu wengine waliokuwa wakifuatilia sherehe za utoaji wa tuzo hizo kubwa kuliko zote Afrika Mashariki. KASHFA ZENYEWE KWA UFUPI
Ili gazeti hili lisijiingize kwenye malalamiko ya mastaa hao linayaandika maneno hayo kwa ufupi sana lakini yenye kueleweka. MAI; aliambiwa amezipiga jeki nido ilhali ana mtoto.
ASHA; aliambiwa kwa usiku huo alipendeza sana (make up) lakini akionekana kesho yake anaweza kupewa shikamoo kwa mabadiliko ya mwonekano. RAY; aliambiwa siku hizi amebadilika rangi, si kama zamani. Pia Mpoki alimwambia amesikia ameachana na Johari na yuko na Chuchu Hans. 
Wema.
KADINDA; alimwambia anamuona anakwenda kumpa tuzo shemeji yake (Diamond)...
WEMA; alimuuliza ni kwa nini kila siku kwenye Instagram anatupia picha akiwa anakula mayai tu, anataka watu wamwelewe vipi! VANESSA; alimwambia afanye mazoezi ya kutembela viatu vyenye visigino (na mengine ambayo si vyema kuyaandika hapa).

Kenyan Rapper Condemns Women Celebrating Jay-Z's Beating By Beyonce's Sister

0
0
After TMZ released a video of Solange hitting Jay-Z, there has been a myriad of reactions elicited by the video. Most of which are shockingly about people celebrating how ‘badass’ Solange is.


U.S based rapper K-Nel is not pleased by the reactions that are coming from the womenfolk,so he had this message for the ladies:
Jay-Z/Solange Analysis using "honest words" (Women u must read this).


I been checking comments today made by women about Solange's Bruce Lee kicks! Y'all women sound like a NFL cheers group! I see women writing all over that Solange's reaction was right even though none of y'all know what the fuck happened!

Y'all cheering like Solange has more physical power than Jay. Really? If Jay wasn't smart and it happened to be a "NIGGA" from the hood with a E- average high school score, Solange could have left that elevator with bruises, a broken pelvis, a swollen nose and a wig so damaged, women in Brazil (who own the real deal) would file A murder case. Then guess what? It would be y'all out here crying how badddd Jay is for ass whooping a woman! Am happy this happened and was caught on camera coz it reminds me of a line I told a friend of mine back in 2009....."I will never judge Chris Brown. Only He, Rihanna and God know what happened in that car." Agree to Disagree? ‪#‎RealTalk‬ ‪#‎Facts‬ *sips mango juice*

Nigeria Imekataa Masharti na Boko Haramu Kuwaachia huru Wanafunzi wa Kike Zaidi ya 200

0
0
Abuja (AFP) - Nigeria on Monday rejected conditions set out by Boko Haram leader Abubakar Shekau for the release of more than 200 schoolgirls held hostage by the Islamists.
Asked if the government would reject the suggestion mentioned by Shekau in a new video that the girls may be released once Nigeria frees all militant prisoners, Interior Minister Abba Moro told AFP: "Of course."

Abuja (AFP)- Jumatatu, Nigeria imekataa masharti yaliyowekwa na kiongozi wa Boko Haramu,Abubakar Shekau kwa ajili ya kuwaachia huru wanafunzi wa kike zaidi ya 200 waliotekwa na wanamgambo wa kiislam.

Waziri wa mambo ya ndani alipoulizwa kama serikali itakataa mapendekezo yaliyotolewa na Shekau katika video mpya ambayo wasichana wanaweza kuachiwa huru mara moja endapo Serikali ya Nigeria itawaachia huru wafungwa wote wapiganaji, alijibu kuwa suala katika swali siyo juu ya Boko Haramu kutoa masharti.

Lady Pictured At A Shopping Mall Dressed In A CRAZY S3x Calling Outfit

0
0
PHOTOS: Nairobian Lady Pictured At A Shopping Mall Dressed In A CRAZY S3x Calling Outfit
Is this right way to go out shopping? She was spotted at Nakumatt Galleria that serves Karen residents in Nairobi.

Hiki Hapa Kikosi cha Spain Kitakachoenda Brazil Kutetea Ubingwa wa Dunia

0
0
Jana tulishuhudia kikosi cha timu ya taifa ya England kikitangazwa kwa ajili ya kwenda kwenye michuano ya kombe la dunia huko Brazil, leo hii kocha wa timu ya taifa ya Spain Vicente Del Bosque nae ametaja kikosi cha awali cha nchi hiyo kitakachoenda Brazil kutetea ubingwa wao wa dunia.
KIKOSI KIPO KAMA IFUATAVYO
Goalkeepers: Iker Casillas (Real Madrid), Pepe Reina (Napoli/ITA), David de Gea (Manchester United/ENG)
Defenders: Dani Carvajal, Sergio Ramos (both Real Madrid), Gerard Pique, Jordi Alba (both Barcelona), Cesar Azplicueta (Chelsea/ENG), Juanfran (Atletico Madrid), Javi Martinez (Bayern Munich/GER), Raul Albiol (Napoli/ITA), Alberto Moreno (Sevilla)
Midfielders: Sergio Busquets, Xavi Hernandez, Andres Iniesta, Cesc Fabregas (all Barcelona), Xabi Alonso (Real Madrid), Ander Iturraspe (Athletic Bilbao), David Silva (Manchester City/ENG), Santi Cazorla (Arsenal/ENG), Koke (Atletico Madrid), Tiago Alcantara (Bayern Munich/GER), Juan Mata (Manchester United/ENG)
Forwards: Diego Costa, David Villa (both Atletico Madrid), Alvaro Negredo, Jesus Navas (both Manchester City), Pedro Rodriguez (Barcelona), Fernando Llorente (Juventus/ITA), Fernando Torres (Chelsea/ENG)

Taarifa Rasmi ya Rio Ferdinand Akizungumzia Kuondoka Man Utd na Hatma Yake

0
0
Jana usiku maisha ya kisoka ya beki wa kimataifa wa England Rio Ferdinand ndani ya klabu ya Manchester United yalifikia mwisho baada ya kutangaza kwamba ameamua kuachana na klabu hiyo.
Rio Ferdinand ambaye alijiunga na Manchester United mnamo mwaka 2002 kwa ada ya uhamisho iliyovunja rekodi ya uhamisho paundi millioni 29.5 ameshaitumikia United kwenye michezo 454 na amemaliza mkataba wake na klabu hiyo na pande zote mbili zikaamua kutoongeza mkataba mpya.
Muda mfupi baada ya taarifa kuzagaa kwenye mitandao kuhusu kuondoka United, Ferdinand alitumia mtandao wake binafsi kutoa rasmi taarifa ya kuondoka Old Trafford.

Picha 5 za Utani Uliosambazwa Baada ya Solange Kumpiga ‘Shemeji’ Jay Z

0
0
Baada ya kuvuja kwa video ikionyesha jinsi rapper Jay Z akipigwa na shemeji yake (Solange) wakiwa kwenye lift huku Beyonce mwenyewe akiwa pembeni yao akishuhudia ugomvi bila kujihusisha wala kuzuia, uongozi wa hoteli ugomvi huo ulipotokea huko New York umesema unachunguza kujua video hiyo ilivuja vipi na kupeleka siri za wateja kwenye vyombo vya habari.
Kwenye ugomvi huu ambao Jay Z ameonekana kusifiwa na watu wengi kwa kuwa mkimya na bila kujibu mashambulizi pamoja na kupigwa mateke na kurushiwa vitu, tayari watundu wa mitandaoni wameanza yao kwa kutengeneza picha na maandishi vikimtania Jay Z pamoja na Solange.


Screen Shot 2014-05-13 at 10.58.23 AMKutokana na ile single ya Jay Z iitwayo ’99 problems’ yaani matatizo 99… watu wamemtengenezea utani kwamba Solange ni tatizo la 100 la Jay Z.
Screen Shot 2014-05-13 at 10.58.40 AM
Screen Shot 2014-05-13 at 10.59.01 AMSehemu ya utani mwingine ni hii ya historia kwenye wikipedia ya Solange na kuifanya itoe maelezo kwamba Solange ni mwimbaji, mwandishi wa nyimbo, kicker, streetfighter na tatizo la 100 la Jay Z.
Screen Shot 2014-05-13 at 10.59.36 AMScreen Shot 2014-05-13 at 12.06.56 PM
Ili niwe nakutumia stori

Kilichomtokea Diamond na Kumfanya Azingue Kwenda Kupiga Show Uingereza Hiki Hapa.

0
0
Wakati diamond akiwa anasubiriwa kwa hamu sana huko nchini uingereza, alipokuwa anatarajia kushusha bonge la show kali ya kihistoria usiku wa jumamosi at the rugby 7s after party, na baada ya muda ilisemekana kuhairishwa kwa show hiyo, huku Diaond akiomba msamaa kwa mashabiki wake waishio huko nchini Uingereza kwa kuahirishwa kwa show hiyo, huku akidai kuwa ni kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika.

Ila habari kutoka kwa mtu wa karibu sana wa Dangote(Diamond) aliyekuwa anafuatilia mchakato mzima wa show hiyo, alifunguka hivi karibuni  kwa kile kilichomsibu Diamond hadi kuahirisha show hiyo;Diamond inasemekana ndiye aliyechelewa kupeleka maombi ya Viza ya kusafiria, Viza hiyo aliyoombwa kupitia Ubalozi wa Uingereza ulioko huko  nchini Kenya, na kwa kipindi ambacho kilichukua hadi taratibu zote zikamilike, na hadi Diamond anafikishiwa Visa yake Bongo, mda ulikuwa ushapita na hakuweza kwenda tena na kuweka mipango kama ilivyokuwa hapo awali, hadi mwisho wa siku kupelekea kuahirishwa kwa show hiyo.

Master Jay:Maproducer Tunanyonywa Sana Hata Sisi Tunahitaji Kuendesha Magari Mazuri

0
0
Mtayarishaji mkongwe wa muziki Tanzania, Master J ameeleza sababu zinazopelekea watayarishaji wa muziki nchini kutofanikiwa kama wasanii wanaowatengenezea muziki kuwa hutokana na mgawanyo usio sawa wa kipato.

Master J aemeiambia Bongo5 kuwa hali hiyo humfanya mtayarishaji wa muziki kuona maisha ya msanii aliyefanya nae kazi yaboreka huku yeye akiendelea kusota.

“Unakubali pale mwanzoni lakini mwisho wa siku unakuja kugundua producer nimenyanyuliwa na mtu kama Diamond mpaka hapa sasa najulikana na sifa zote lakini huna gari, huna uwezo wa kuvaa nguo nzuri, huna hela ya kuishi sehemu nzuri, kwahiyo mwisho wa siku unakuwa mtu wa kuchekwa tu. Ndio hapo producer roho huanza kumuuma anaanza kugombana na msanii,” amesema Jay.

Amesema hali hii ilimfanya astaafu muziki kwa kuwa aliona malengo aliyokuwa nayo wakati akianza kazi hiyo hayatatimia.

“Ndio maana hata mimi nikastaafu, mimi mwisho wa siku nilikuwa nataka watoto wangu wasome kwenye shule fulani, waende kwenye university fulani, nikaona hicho kitu nikaona nikiendelea hivi sitaweza kufanikisha hayo kwa kupitia muziki. Ndio maana nikachukua hela yangu ile Mungu alinijalia kwenye muziki nikawekeza kwenye biashara nyingine, bahati nzuri namshukuru mwenyezi Mungu alinipa akili ya kufanya biashara.” Ameongeza.

Amesema sababu kubwa ya kuwepo kwa hali hiyo ni producers kutokuwa na umoja ambao ungewafanya wawe na msimamo unaofanana, bei inayofanana na utaratibu ambao ungewawezesha kunufaika na matumizi ya nyimbo wanazotayarisha.

Source: Bongo5

Song: Nikki Wa Pili Ft G Nako & Ben Pol – Sitaki Kazi

0
0
Sikiliza hapa ngoma Mpya kutoka kwa Nikki wa Pili akiwashirikisha G Nako na Ben Pol ngoma inaitwa “Sitaki Kazi” Sikiliza Ama Download Hapa chini:

Waziri Akwepa Swali la Lissu Kuhusu Waasisi wa Muungano Waliozikwa Kaburi Moja

0
0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan alikataa kueleza walipo waasisi sita wa Muungano ambao kambi ya upinzani ilidai kuwa waliuawa na kuzikwa handaki moja, badala yake akatumia nafasi hiyo kumshambulia mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akidai hizo ni propaganda na upotoshaji.
Juzi wakati akiwasilisha hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani, Lissu aliitaka Serikali kutoa maelezo bungeni kuhusu sababu za kuuawa kwa waasisi sita wa Muungano wa Tangayika na Zanzibar na kuzikwa katika handaki moja visiwani Zanzibar.

Lissu aliwataja waasisi hao kuwa ni Abdalah Kassim Hanga, aliyekuwa waziri mkuu, Abdul Aziz Twalam aliyekuwa Waziri wa Fedha na Abdulaziz na Saleh Akida aliyekuwa mjumbe wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar.

Pia aliwataja Othman Shariff, Mdungi Ussi na Jaha Ubwa ambao alisema nao waliuawa na kuzikwa katika handaki moja eneo la Kama nje kidogo ya Zanzibar.

“Tunataka kujua ukweli kama walifanya makosa, walishtakiwa katika mahakama gani iliyowahukumu adhabu ya kifo... tunataka kuambiwa ukweli kwanini mchango wao kuhusu Muungano umefichwa,” alisema Lissu juzi.

Lakini alipoulizwa kuhusu madai hayo, Waziri Hassan alionekana kuzigeuza hoja hizo kuwa ni za Lissu pekee badala ya kambi ya upinzani na kumshambulia mbunge huyo akidai kuwa ni mpotoshaji, anayepiga propaganda na mchochezi.

Waziri huyo, ambaye ni Mzanzibari, alisema alipuuza maswali yote kuhusu waasisi hao akisema mbunge huyo wa Chadema alipotoka katika hotuba yake na ndio maana hakutaka kuzungumzia katika majumuisho ya bajeti ya ofisi yake bungeni.

“Yule Lissu sio mkweli na ndio maana sisi tulimpuuza,” alisema waziri huyo.

“Hakuna kitu kama hicho na endapo kingekuwepo sisi Serikali tungeshatoa ufafanuzi ili watu wapate kujua ukweli wake,” aliongeza Waziri Samia bila kutoa ufafanuzi wa nini kiliwatokea watu hao walioshika nafasi za juu serikalini mara baada ya Mapinduzi na Muungano wa Zanzibar na Tanganyika.

Pamoja na kudai kuwa aliona hoja hizo ni upotoshaji, Waziri huyo, ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa Bunge la Katiba, aliwasihi wabunge wa upinzani kupeleka hoja zao katika Bunge Maalumu la Katiba linalojadili uundwaji wa Katiba Mpya, ambalo pia limetawaliwa na suala la muundo wa Muungano na kero zake.

Waziri Samia alisema hoja hizo zinalenga kuwaaminisha Watanzania mambo ambayo hayapo ili kuwajaza chuki dhidi ya Serikali yao na pia alidai zina uchochezi ndani yake.

Waziri Samia aliwashauri wabunge pamoja na Watanzania kupuuza kauli hizo akidai mbunge huyo hautakii mema Muungano na ndio maana anaibua mambo aliyodai kuwa ni ya uongo na ya uchochezi.

Kukataza Boda Boda Kuingia Mjini ni Aibu Kwa Taifa na Kurudisha Uchumi Nyuma

0
0
Ki ukweli hili suala la Bado bado Kukatazwa Kuingia Mjini Bado Sijalielewa, Kwa Upande wangu naliona kama ni Propaganda ya Kutengeneza mianya ya rushwa kwa Hawa askari wa Barabarani kwani nimejionea mwenyewe jinsi wanavyochukua rushwa kwa hawa jamaa pale wanapowakamata mjini na hizo bado bado na kuachiwa bila kupelekwa popote...Ki ukweli Jiji la Dar kwa hali za Barabara zetu hatujafikia hatua ya kukataza bado bado kuingia mjini kwani miundo mbinu bado hairuhusu kabisa kutokana na tatizo la foleni , bado bado ni njia peke na mkombozi kwa hili tatizo la foleni, ili uweze kuwahi kazi ama biashara mjini saa zingine ni lazima uchukue Bado bado ili uwahi kuingia town, kwa hili mimi naona ni kama Kurudisha nyuma uchumi wa Taifa...Miji mikubwa huko nje mpaka leo wanatumia hiyo opportunity ya bado bado kufanya biashara popote pale lakini sisi hata miundo yetu ya barabara haijakaa sawa eti tunajifanya kukataza...Any way Embu na wewe toa Maoni yako kuhusu ili Swala tuone tunafika wapi.

Lady Jay Dee Apigwa Chini Ziara ya Kill Music Tour Baada ya Kuonyesha Zarau

0
0

 Ile orodha ya wanamuziki Walioshinda Tuzo za Kill Music Ambao Kawaida Baada ya Tuzo hizo Huzunguka karibia nchi nzima kufanya Shows imetajwa huku Lady Jay Dee Pamoja na Kupata Tuzo Hayupo Katika List Hiyo, Inasemekana kilichomponza ni Ile Tweet yake iliyoonyesha dharau kwa tuzo hizo kwa kusema hafahamu hata kama zilishafanyika na hajui kama ameshinda...

J @xm2015
Follow
@JideJaydee dada uwe Basi unakuja  kwenye tuzo mara nyingi unawakilishwa wapiga kura huwa tunaham ya Nakuona.


Lady JayDee @JideJaydee
Follow
@maliasongo1 kwani zilishafanyika?
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live




Latest Images