Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live

Wema Sepetu Awagombanisha Diamond na Prezzo

$
0
0
RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul  ‘Diamond’ yuko ndani ya bifu zito na mwanamuziki kiwango cha juu kutoka nchini Kenya, Jackson Ngechu Makini ‘Prezzo’ chanzo kikidaiwa ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu.
Bifu la wawili hao limekuja kufuatia madai kwamba, Prezzo amemtundika Diamond kwenye mtandao akimkejeli kwa kitendo chake cha kurudiana na Wema na kuweka mambo hadharani.
Ilidaiwa kuwa katika maneno yake, Prezzo alikandia akisema anamshangaa Diamond anatamba kuwa ana mpenzi supastaa ambaye ni Wema wakati yeye mwenyewe alishaanguka naye.

Madai yanazidi kusema kuwa Prezzo akaongeza kwa kuandika kwamba, Bongo hakuna mademu masupastaa kwani hata Jokate (Mwegelo) aliyewahi kutamba naye si lolote kwake.
Msanii huyo anadaiwa alikwenda mbele zaidi kwa kusema kama ni ustaa anao yeye mwenye pesa zake na si Diamond ambaye hamfikii kwa lolote.

MASHABIKI WA DIAMOND WAJA JUU
Baada ya kuanika maneno hayo yaliyoonekana kujaa kejeli, mashabiki wa Diamond walimshukia Prezzo na kuanza kumnanga kwa kila mtu anavyoweza mwenyewe ndipo akaanza kuhaha kutaka suluhu kwa Diamond akimuomba meneja wake awakutanishe.

DIAMOND NAYE AWA MBOGO
Akizungumza kwa hasira na paparazi wetu usiku wa kuamkia Mei 11, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Element uliopo Masaki jijini Dar es Salaam, Diamond alisema kufuatia matusi hayo hatarajii kufika kwenye vikao vya usuluhishi na mtu yeyote yule.

“Nimekasirishwa sana na huyu jamaa (Prezzo) amenitukana kwenye mtandao mimi na demu wangu (Wema) huku akijua sijawahi hata siku moja kujihusisha na yeye kwa jambo lolote lile, daa!” alihamaki Diamond.

HASIRA ZOTE HIZO ZIMETOKA WAPI?
Diamond aliyasema hayo baada ya meneja wa Prezzo aliyejulikana kwa jina moja la Asa kumtaka Mbongo Fleva huyo wakutane yeye akiwa na Prezzo ili wamalize tofauti zao.

“Meneja wake aliniita eti tukakae kikao kuyaongea, mimi sioni sababu ya kukutana na Prezzo, yeye ndiye alianza kunitukana hivyo kama anataka kweli kuelewana na mimi basi arejee tena mtandaoni akaombe radhi, nitamuona muungwana.

“Unajua katika muziki ni wachache sana wenye uwezo wa kutumia ustaarabu katika maamuzi yao, wengi wanaamini kumtusi mtu ndiyo njia pekee ya kupandisha jina au kumfanya abusti ngoma yake kumbe huwa ni njia mojawapo ya kujishushia heshima hasa kwa watu wenye busara walio nyuma yake.”

ANACHOKIAMINI DIAMOND
Akiendelea kuzungumzia ishu hiyo, Diamond alisema anachoamini yeye, Prezzo alifanya vile ili apate kiki kupitia mgongo wake.

“Najua kama alifanya hayo kwa kufurahisha nafsi yake basi ilisuuzika. Anachotakiwa kukifanya kwa sasa ni kurudi mtandaoni akaandike mazuri yangu.
“Kwanza mimi sina hata chembe moja ya chuki na yeye ingawa amenioneshea uswahili wa hali ya juu,” alisema Diamond.

WAKUTANA, WAFUNGIANA VIOO
Hivi karibuni, wawili hao walikutana katika Ukumbi wa Element, Masaki, Dar ambapo Prezzo alikuwa akifanya shoo lakini walifungiana vioo.

TURUDI NYUMA
Siku za nyuma, iliwahi kuripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania na Kenya (hasa magazeti) kuhusu kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi kati ya Wema na Prezzo ambao ulidumu kwa muda mfupi baada ya Wema kumwagana na Diamond.
Stori: Musa Mateja, GPL


Maskini:Mwanamke Achomwa Moto na Wananchi Hadi Kufa

$
0
0
Hivi karibuni mwanamke mmoja huko Nchini Nigeria aliuawa na wananchi walioamua kujichukulia sheria mkononi baada ya kumtuhumu kuwa anaiba watoto wa shule na kuwapeleka kusikojulikana.
Mwanamke huyu ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alianza kupigwa na baadaye wananchi hao wakamuua kwa kumchoma moto.
Inadaiwa kuwa mwanamke huyu alikutwa na watoto wawili wa kike ambao ni wanafunzi, akiongozana nao na ndipo wananchi walipompiga  na hatimaye kumchoma moto hadi akafa

Mashabiki ‘Wamsulubu’ Nay wa Mitego Baada ya Kudai Kuwa ndiye Rapper Bora Zaidi Tanzania

$
0
0
Nay wa Mitego anaamini kuwa ukimtoa Profesa Jay wa zamani (anadai huyu wa sasa kachoka) yeye ndiye rapper bora zaidi kuliko mwingine Tanzania. Lakini mashabiki wanaikubali kauli hiyo? Hell NO!!


Octavian Kiwale

Unatafuta kick tu wewe, nadhubutu kukuambia ukizungumzia HIP HOP hata killer tu hujamfikia ndo ujiringanishe na Prof?//////// FID Q ndo usimwongelee kabisa

Winnie Glory 
We ney fid Q na joe makin huwafiki hat robo, mbuz tu wew ndo man unalelewa na siwema

TheBoy Junior

Na je nakula ujana ipo wapi hip hop au bongo fleva na akisema ye ndo anaongea ukweli nash mc tumuweke wapi sasa? Asitafte kiki wasanii wa hip hop wengi na wanafanya vile hip hop inapaswa kuwa. Huyu hana jipya tena tafta Scandal utoke kama diamond na si kwakusema we ndo hip hop hata hip hop yenyewe huijui….

Agapito Petro

Mwana fa,ngwair(r.i.p.),kala jere100, ay n.k. Huwafikii hata kiduchu

Laurent Mwamlima
Ney umeishaaaa… kajititie tu Hata MPOKI MJUNI hata mzee MGARI humfikii kwa hip hop

Vitalis Kaizer
Hata 50 bora ya hip hop sidhani kama umo bado sanaaaaaaa kuropoka sio hip hop jipangee!!

Dotto Kondo 
Huyu jamaa bhana,sometimes nahc huwa akili zinamruka

Ze Jap Suprah 
Chiz wewe mwambie aandike kip sijasikia hafu tuone

Rashid Mtoi 
Dogo janja mwenyewe humfikii hata robo

Tabia ya Lulu Michael yawa Kero Bongo Movies

$
0
0
WAMEANZA! Tabia ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kutojumuika na wenzake kwenye matukio ya kijamii hasa matatizo inadaiwa kuwakera Klabu ya Bongo Movie Unity hivyo kuandaa kikao maalum cha kumkanya.

Habari kutoka kwa chanzo chetu makini, zilidai kwamba malalamiko hayo ya kuwa Lulu amekuwa mzito kuhudhuria shughuli za wenziye kama misiba au hata sherehe zilianza tangu alipotoka gerezani Segerea, Dar.

Ilisemekana kwamba kilichosababisha viongozi wa Bongo Muvi kukasirishwa na kuamua kumweka kikao ili kumsema, ni kwamba ipo siku naye yatamfika.

Baada ya kuzinyaka ‘niuzi’ hizo motomoto, Risasi Mchanganyiko lilimtafuta Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ambaye alikiri kuwepo kwa ishu hiyo ili kumuonya kwa tabia yake hiyo kwa kuwa yeye bado mdogo.

Alisema Lulu anatakiwa afuate nyayo za wakubwa zake ambao wamekuwa wakishiriki kwenye shughuli mbalimbali kwa kuwa ipo siku naye yatamfika.
 “Lulu ni mtoto mdogo, hatushindi kwa lolote, lazima tumwambie ukweli kuhusu dunia ilivyo na maisha yanavyokwenda.

“Sisi kama Bongo Movie tuna kawaida ya kuhudhuria shughuli za wenzetu pale inapobidi lakini kama mtu anakuwa na udhuru huwa anatoa taarifa lakini yeye hana kawaida hiyo, anajiona amekamilika.

“Naaamini ipo siku na yeye yatamfika kwa kuwa mitihani ni kawaida kwa binadamu, sidhani kama mtu atajitokeza na kumuunga mkono kwa tabia hiyo na siyo yeye tu anayejitenga, wapo na wengine wengi  lakini yeye bado ni mdogo kwetu huenda hajui alitendalo ndiyo maana tunataka tumfunze jinsi ya kuishi na watu,” alisema Steve.

Kwa upande wake Lulu alipotafutwa na kuulizwa juu ya jambo hilo hakuonesha mshtuko bali aliwaka: “Huyo aliyesema hivyo atajijua mwenyewe mimi sina shughuli na mtu, aachane na mimi.”
Stori: Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata, GPL

10 Reasons Why You Should Dump That Man Now!

$
0
0
To dump or not to dump? is this the question keeping you up at night? Are you simply unhappy in your relationship, with a man who cannot meet your physical, emotional, mental or even spiritual needs? This can be a tricky decision, and sometimes the signs are less apparent than you think. We have all found ourselves in relationships that do not serve us or are dysfunctional.
when I look back at all the relationships that did not work there were always early warning sings or red flags. Here are reasons that you should kick that man to the curb, so if any of these apply to you run and do not walk!
1. He does not keep his promises
Intimacy is built on trust. This applies from small things like calling you when he said he will to getting you that thing he said he will. Sometimes life can get in the way making him not to keep his word but if this happens more than once or twice, it’s a sure sign that you’re just not a priority for him right now.

2. He talks about his ex or still has his ex’s baggage
If a dude is still talking about his ex he either still wants her or he hates her. Either way he is not done with her so he cannot give you 100% of his heart. So run girl, you do not want to deal with guy who is still living in the past

3. He cheats on you
When a relationship is new the romance and chemistry are normally off the charts, you simply cannot get enough of each other. If he is cheating on you now you can only imagine what he will do in the future. Cheating does not only apply to physical cheating.

4. He is holding you back
A partner should add to your life, not take away from it. It is okay to compromise in a relationship but when you feel that this dude is draining all your energy and you are not progressing in life like you would want to, its time to leave.

5. You are not proud of him
Yes it is possible to be ashamed of your boyfriend!Do you constantly make excuses to explain away his less flattering qualities? He is probably not as good looking or is short or is very poor at conversations or has no sense of humor. Your partner should be a light in your life but if you are holding back in even introducing him to your friends or even uploading his photo on social media, think twice.

6. If all your friends think he is an a**
If all your close friends think your guy is a moron, he probably is. When you are infatuated it is hard to see a person for who they are but your friends can see your guy much more clearly than you do.

7. If he’s unemployed/broke
Finances are a very important aspect of life. If he is unemployed the guy could be lazy or simply a dreamer.He has to tenaciously and passionately fulfill his reason for being .If he has an income but is still broke, it could mean he is just a spender and does not save or invest. You guys need to be on the same page on financial philosophies to make a serious relationship work

8. He’s controlling, especially if the relationship is still young
He could be controlling in many ways, for example he wants you to change your way of living, e.g your dress code, he expects you to be available for him 24/7 as if you do not have a life of your own, he wants to know your every move, he wants you to lose/gain weight, he wants you to drop your friends etc
9. He’s addicted to anything
If he drinks too much or you do not like him drunk, you know what to do. He could be addicted to other things such as gambling, porn, pills etc How can you entrust your life to someone who can’t manage his own?
10. If you clicked on to this post
If you wanted to read this article it means you are not at peace and you having doubts for one reason or another. True love is something you know when you know, it should not stress you but give you peace and happiness.

Diamond & Victoria Kimani’s Song Leaks (AUDIO)

$
0
0
Fast rising singing sensation Victoria Kimani has been more than ready to unveil her new single ‘Prokoto’, which features Diamond and Ommy Dimpoz, two major acts in Tanzania in a Smash dance-hit.

But before the official release date, the single has leaked!

‘Prokoto’ (a slang meaning swag) follows her two previous successful hits ‘Whoa’ and ‘M’Toto’, and is a heavy percussion based tune, which sees Victoria Kimani, Diamond and Ommy Dimpoz blend their native Swahili language with English to produce a sound that will surely thrill audiences.

Victoria Kimani’s ‘Prokoto’ resembles that of a traditional African sound, and captivates the listener from the opening beat; there will be lots of dancing and, gyrating.

Here’s the single;


Yanga: Ni Kipre Tchetche tu..ila Kumpata Waandike Maumivu

$
0
0
KOCHA wa zamani wa Yanga, Hans Pluijm ametamka kwamba Tanzania kwa sasa ina straika mmoja tu mwenye uwezo wa kucheza Jangwani naye ni MuivoryCoast wa Azam FC, Kipre Tchetche. Lakini kumpata ni kasheshe.
Pluijm ambaye amerejea Dar es Salaam kumaliza mambo yake ameiambia Mwanaspoti kwamba hajapendekeza timu hiyo kusajili straika kutoka ndani ya Tanzania lakini kama angefikiria kufanya hivyo angemnyooshea kidole Kipre.

Kauli hiyo ya Pluijm aliyeachana na Yanga, imekuja siku chache baada ya straika wa Yanga, Didier Kavumbagu kujiunga na Azam. Katika ripoti yake aliyoipendekeza kwa uongozi wa klabu hiyo, kocha huyo ameweka bayana kuwa wachezaji 11 wanatakiwa kutemwa.

Lengo lake kubwa lilikuwa kumsajili straika wa Azam, Tchetche kutokana na ubora wake, hata hivyo imeshindikana kutokana na mkataba wa mchezaji huyo na timu yake ya Azam.

Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika ndani ya kamati ya usajili, Pluijm haoni wakuwazidi akina Emmanuel Okwi, Hamis Kiiza, Mrisho Ngassa,Saidi Bahanuzi, Jerry Tegete, Hussein Javu ambaye jana ametemwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza na Zimbabwe Jumapili jijini Dar es Salaam.

“Sitaki kumzungumzia Domayo, sitaki kusikia habari zake, naamini kiungo atakayekuja kucheza Yanga atamfunika huyo ambaye amepata umaarufu akiwa Jangwani, wapo wachezaji wazuri wengi ambao wanaifaa Yanga na ninaamini watafurahia matunda yao,” alisema Pluijm.

“Sina mpango wa kushawishi kusajiliwa kwa straika sasa licha ya Kavumbagu kuondoka, unajua nimetazama kote Tanzania na sijamuona straika wa kuichezea Yanga kwani wote viwango vyao ni vya hali ya kulinganisha na wale waliopo katika kikosi changu,” alisema Pluijm.

“Yule Kipre Tchetche ndiye pekee anayefaa kucheza Yanga baada ya Kavumbagu kuondoka, lakini hatoweza kusajiliwa kutokana na aina ya mkataba alionao na Azam,”alisisitiza kocha huyo.

Pluijm alisema ameshafanya mazungumzo na kiungo mmoja hatari wa Ghana ambaye anakaba na kuanzisha mashambulizi zaidi ya Domayo hivyo haoni haja ya kumtaja kiungo huyo wa zamani wa Yanga.

Awali Pluijm alikuwa na mpango wa kuiletea Yanga kiungo na straika mmoja wa maana, lakini inaonekana kwanza ameanza na kiungo kwani bado uamuzi wa kumuacha mchezaji yupi wa kigeni unatatiza.

Yanga ina wachezaji wa kigeni wanne ambao ni Haruna Niyonzima, Okwi, Kiiza na Mbuyu Twite inayotarajia kumuongezea mkataba muda wowote.

Nizar Khalfan Agoma Kuondoka Yanga

$
0
0
RIPOTI ya aliyekuwa kocha wa Yanga, Hans Pluijm ilipendekeza kiungo Nizar Khalfan atafutiwe timu ya kuichezea kwa mkopo, lakini kiungo huyo amesema “Hapana siondoki nabaki hapahapa nipambane.”
Akizungumza na Mwanaspoti, Nizar alisema alikuwa na mpango wa kutaka kuomba atolewe kwa mkopo kwenda klabu nyingine atakapopata nafasi ya kucheza zaidi lakini amebadili mawazo na kutaka kupigania namba katika timu hiyo.

“Nilikuwa nataka kuondoka kweli baada ya kuomba kuruhusiwa kwenda timu nyingine lakini sitaki tenma hilo nabaki hapahapa Yanga nataka kupigania nafasi yangu,” alisema Nizar ambaye amewahi kucheza Canada.

“Kuna mambo mengi nimepanga kuyafanya katika kipindi hiki cha mapumziko, najua bado nina mkataba na Yanga na siwezi kulazimishwa kutolewa kwa mkopo nitabaki hapa niwadhihirishie Wanayanga kwamba bado nina uwezo.”


Madrid Wakubali Kucheza Tanzania

$
0
0
REAL Madrid ya Hispania inatua nchini Agosti 21 ikiwa na nyota wake wa zamani.  Wachezaji kama Luis Figo, Ruud van Nistelrooy, Michael Owen, Zinedine Zidane watakuwemo kwenye kikosi hicho kilichopewa jina la Madrid Legend.
Ofisa Habari wa Kampuni ya TSN Limited ambao wanafanikisha ujio wa timu hiyo kubwa duniani, Dennis Ssebo alisema kuwa wachezaji Cristiano Ronaldo, Rameres na Iker Casillas watatengeneza matangazo ya ujio wa timu hiyo nchini.

“Jumamosi tutakuwa Lisbon kutengeneza matangazo ambayo yatarushwa Hispania na Tanzania kuhusu ujio wa timu hii, wachezaji hao mbali na kutengeneza matangazo pia tupo kwenye mazungumzo nao ikiwezekana nao wawe miongoni mwa wachezaji watakaokuja nchini,”alisema Ssebo.

Kikosi hicho kitakapokuwa nchini kitacheza mchezo mmoja wa kirafiki Agosti 23 na timu ambayo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), itaiunda ambayo itajulikana kama Tanzania Eleven, mchezo utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Real Madrid Legend kwenye mkutano huo iliwakilishwa na mkongwe na kapteni wa timu hiyo, Ruben de la Red aliyeambatana na Rayo Garcia pamoja na Isaac Recarey Sanchez anayehusika na mambo ya uhusiano ndani Madrid Legend Club. Walisaini mkataba wa ziara ya timu hiyo nchini na Mkurugenzi wa TSN Group, Farough Baghoza mbele ya waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Serena jijini Dar es Salaam.

Ssebo alisema timu hiyo itawakilishwa na wachezaji 25 na watakaa nchini kwa siku tatu wakiwa na ratiba mbalimbali.

“Wachezaji hawa wakongwe ambao bado wako fiti na wanacheza wanatazamia kutembelea mbuga za wanyama, “alisema Sanchez.

Aliwashauri vijana wa timu ya Tanzania kujifua kwa kuwa yawezekana kikosi hicho cha Madrid kiko fiti. Rais wa TFF,  Jamal Malinzi alisema; “Ujio wa timu hii utatupa mafunzo mengi na uzoefu walionao wachezaji hawa lakini pia watasaidia kuitangaza nchi kwa ujumla.”

Mke Wangu Aliniacha na Kwenda kuishi na Mwanamke Mwenzake Sasa Eti Anataka Turudiane

$
0
0
Inauma sana jamani, Mke wangu wa Ndoa Nimekaa nae Miaka zaidi ya minne kumbe alikuwa na uhusiano na mwanamke Mwenzake mimi sijui mpaka alipoanza visa ndani ya Ndoa na mwishowe tukaachana , Nikapata stori kuwa anaishi kwa mwanamke mwingine ambae ni mpenzi wake kwa kifupi walikuwa wanasagana...Iliniuma sana ila nikaendelea na maisha kwa sasa nina mpenzi mwingine ila siishi nae Bado , Sasa navyoandika Hapa Huyu Aliyekuwa mke wangu Ametuma watu eti anataka tusuluhishe matatizo tuliyokuwa nayo na turudiane.....Jamani kumpenda na Mpenda ila hiyo tabia yake ya Usagaji najua hata acha ...Nifanyaje ?

Usiombee Kuugua Dengue, Kipimo ni Sh50,000

$
0
0
Wakati taharuki iliyosababishwa na mlipuko wa homa ya dengue ikiendelea kutikisa kila kona ya jiji, imebainika kwamba gharama za vipimo katika hospitali mbalimbali zinafikia Sh50,000, ikiwa ni tofauti kubwa na Sh1,000 kwa kipimo cha malaria.

Ugonjwa huo unazidi kusambaa jijini Dar es salaam na baadhi ya mikoa, kiasi cha mamlaka kuagiza mabasi yote yaendayo mikoani yafanyiwe usafi wa kunyunyizia dawa za kuua wadudu kudhibiti usienee zaidi mikoani. Pia wananchi wameshauriwa kuvaa nguo ndefu ili kudhibiti mbu wanaoeneza ugonjwa huo mchana tofauti na mbu wa malaria.

Jaguar Refuses To End His Beef With Prezzo

$
0
0
Jaguar is one of the hottest acts in East Africa. And if anyone tells you different, slap them and tell them God's Chosen Blogger is infallible! I said Jaguar is one of the hottest acts in East Africa and if you don't believe me, just check how much he commands per show and how packed his shows get.

And what of Prezzo? That name is known from here to Western Africa. That name is known down south in the and of Mzanzi. So is their long standing beef. But Prezzo was recently attempted to reconcile with Jaguar on a Tanzanian TV show during an interview with Ayo TV. In the interview, Prezzo said -and I quote- "I want to make it clear that I have no beef with Jaguar and I am willing to work with him if the opportunity arises."

When Jaguar was reached for a comment however, he poured cold water on the notion by saying, "Making peace in an interview is a good strategy for Prezzo. Afterall, if you can't beat them, join them. However, if he thinks he is going to work with me, he must be daydreaming."

Makalio ya Huyu Dada Balaa....Masogange na Wengine Mtasubiri sana

$
0
0
Matilda Hipsy is a notable Ghanaian Video Vixen known for her large endowment from behind and sideways. The beautiful lady flaunts her natural endowments well….Are you endowed and you want us to feature you … just Email me… The hips on Hipsy tho…. You like?

Njemba Afumwa Gesti Akimla Mwanaume Mwenzake Uroda

$
0
0
ISHARA za mwisho wa dunia? Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb amekula kichapo na kuishia mikononi mwa polisi baada ya kunaswa katika nyumba ya kulala wageni (gesti) akiwa na dogo wa kiume aliyedaiwa kuwa ni denti wa sekondari.

Aibu hiyo ya karne ilijiri juzi Jumatatu kwenye gesti hiyo (jina linahifadhiwa) iliyopo maeneo ya Manzese, Dar ambapo jamaa huyo alikutwa chumbani na denti huyo aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 14.
Kwa mujibu wa chanzo makini kilichoitonya Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, njemba huyo amekuwa na ‘katabia kachafu kakuwafanyia usodoma’ watoto wa kiume.Habari hizo zilidai kuwa ishu hiyo iliwakera wakazi wa eneo hilo waliokuwa wakimfuatilia kwa muda mrefu ndipo wakaamua kumfungia kazi baada ya kudaiwa kuwa na mtoto huyo chumbani usiku kucha.
Kwa mujibu wa meneja wa gesti hiyo (aligoma kuta jina) ambaye alitoa ushirikiano wa kutosha kwa OFM, raia hao walikuwa wakimchunguza njemba huyo kwa muda mrefu kutokana na tabia ya kulala kwenye gesti hiyo na watoto wa kiume.

“Mwanzo tulifikiri anakuja na vijana hao kama marafiki zake wa kawaida lakini tukaingiwa na wasiwasi baada ya kugundua kuwa alikuwa akilala nao kwa kuwabadilisha,” alisema meneja huyo.
Alidai kwamba Jumapili iliyopita, majira ya saa 3:00 usiku, kijana huyo alitinga tena kwenye gesti hiyo lakini alikuwa peke yake na kupewa chumba kama kawaida.
“Wahudumu waliniambia kuwa jamaa amefika tena na amechukua chumba cha juu lakini safari hii alifika peke yake, ilinishangaza sana kusikia kaja peke yake kwani siyo kawaida yake so sikuamini,” alieleza meneja huyo.
Alidai kwamba asubuhi ya Jumatatu, mishale ya saa 4:00, wahudumu walisikia miguno ndani ya chumba alicholala njemba huyo ndipo wakakifunga kwa nje kisha kuita polisi na vijana wa OFM ambao walifika eneo la tukio ndani ya ‘dakika sifuri’.
Meneja huyo alisema kuwa hafahamu njemba huyo alimuingiza kijana huyo muda gani kwani walimuwekea mtego siku nyingi akawa anachezwa na machale.
Hata hivyo, Jiji la Dar huwa halina dogo kwani wakazi wa eneo hilo walijazana kwenye gesti hiyo kutaka kumpiga jamaa huyo lakini polisi walifanikiwa kuwatorosha eneo hilo na kuwampeleka Kituo cha Polisi cha Magomeni, Dar.
Hadi OFM inang’oa nanga kituoni hapo, njemba huyo na kijana aliyekutwa naye walikuwa wakiendelea kuhojiwa

Shocking Picture:Penny With Diamond Again? No Noo noo

$
0
0
Wajameni nini hiki kinaendelea nimeona hii Picha Kidogo ni Job Hundred ....Eti Penny na Diamond Wakisherehekea Ushindi wa Tuzo Saba...Again!!! it Cant Be

Hakuna Watu Wanaopotea Kweupe Kama Hawa Ray Kigosi na Chuchu Hans

$
0
0
Account Maarufu ya Ukwelinauwazi kutoka Insta week hii imemlipua Ray na Kipenzi chake Chuchu Hans ..Jisomee Mwenyewe Hapo chini :


Jiji Lageuza Biashara Kamata Kamata ya Boda Boda Mjini

$
0
0
Tangazo lililobandikwa na Jiji kusitisha zoezi la ukusanyaji wa tozo/vibali vya kuingia mjini na pikipiki.
Baadhi ya madereva wa pikipiki wanaozitumia kama vyombo vya usafiri binafsi kwenda na kurudi kazini wakihoji juu ya mkanganyiko huo katika ofisi za Jiji la Dar es Salaam, juzi. Hata hivyo hawakupata majibu zaidi ya kukuta tangazo lililositisha upokeaji wa toza za kuingia mjini na vibali.ZOEZI la kupiga marufuku bodaboda na bajaji zinazofanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam limegeuka biashara kwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam hasa kwa watumiaji wa pikipiki hizo kwa ajili ya usafiri binafsi wa kawaida kwenda na kurudi kazini, pamoja na makampuni yanayotumia chombo hicho cha usafiri.
Halmashauri ya jiji sasa imeanza kuwatoza watu binafsi na makampuni yanayotumia chombo hicho shilingi 500 kwa siku kila bodaboda inapoingia mjini wakidai ni tozo ya chombo hicho kupata idhini ya kuingia mjini kwa kila siku.
Wakizungumza na mtandao huu jana baadhi ya wananchi wamelalamikia kitendo cha Halmashauri ya Jiji kugeuza zuio la kufanya biashara ya bodaboda katikati ya jiji aina ya biashara ya kujipatia fedha kwa kutoza shilingi mia tano kwa siku kwa kila pikipiki za watu binafsi na makampuni zinapoingia mjini.
Mkazi wa Jiji, Jackson Chalamila alisema tayari amelipia kibali cha miezi sita yaani shilingi 90,000 kama tozo ya kuingia mjini kila siku na ameruhusiwa kuingia mjini na pikipiki yake anayodai huitumia kama chombo cha usafiri kwenda na kurudi kazini kila siku za kazi.
"...Binafsi nimelipia kutokana na usumbufu ambao ninaupata toka kwa mgambo wa jiji kila siku wanatukamata ukiwaonesha kitambulisho cha kazi kinachokuonesha kuwa wewe hufanyi biashara ya bodaboda hawakitambui na wanasema unatakiwa kuwa na kibali, hivyo nikalazimika kukata baada ya kulipia shilingi 90,000," alisema Chalamila.
Aliongeza kuwa hata hivyo utaratibu huo si wa haki bali ni namna ya kuwanyonya wananchi kwani mtu hawezi kulipishwa tozo za kuingia mjini kwa chombo anachokitumia kama usafiri wake wa kwenda na kurudi kazini, ilhali magari hayalipi tozo yoyote ya kuingia mjini.

"Huu ni utapeli mtupu, sisi tunalipa kodi kama ilivyo kwa magari binafsi na ni chombo cha moto mtu unakitumia kama usafiri wako iweje ulipishwe kila siku unapoingia mjini? Mbona watu wanaotumia magari kama usafiri binafsi hawalipi wanapoingia mjini? Huu ni wizi...," alisema.

Mwandishi wa habari hizi alifika hadi ofisi ya Jiji kutaka kupata ufafanuzi juu ya malalamiko hayo ya baadhi ya wafanyakazi wanaotumia pikipiki kwa ajili ya shughuli zao binafsi na kutozwa ushuru wa kuingia mjini, lakini haikufanikiwa kumpata msemaji wa jiji ambapo walizi walidai ametoka nje ya ofisi kikazi.
Mwandishi wa habari hii alishuhudia tangazo lililowekwa na Jiji la kuwarifu wananchi kuwa limesitisha malipo ya tozo za pikipiki kuingia mjini hadi hapo itakapotangazwa tena, ili kutoa nafasi kwa jiji kukagua vibali vilivyotolewa na kuvihakiki kabla ya kuendelea. Hata hivyo baada ya mkanganyiko huo baadhi ya watu waliolipia walianza kufika katika ofisi hizo wakitaka kurejeshewa fedha zao na wengine kuhoji kadhia hiyo.

Uchawi Wahusishwa Penzi la Ray na Chuchu Hans

$
0
0
‘UCHAWI’ umetajwa kwenye mapenzi ya staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na ubavu wake wa sasa, Chuchu Hans.

Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, mapenzi ya Ray kwa Chuchu ni makubwa sana kiasi kwamba hayawezi kuwa ya hivihivi tu kwani msichana huyo ni mtoto wa Kitanga anayejua jinsi ya kumshika mwanaume kama Ray.

“Unajua siku moja niliongea na mtu, sitaki kumtaja jina. Akasema anaamini mambo ya ‘kiswahili’ yapo katika mapenzi ya wawili hao, si rahisi Ray akawamwaga akina Johari (na Mainda) na kubaki na Chuchu tu.

“Yule Chuchu ni mtoto wa Kitanga, watoto wa Kitanga ni waja leo waondoka leo, wanajua mambo mengi sana kuhusu mapenzi, wapo akina Mwakipesile walikwenda Tanga kufuata biashara ya nazi hawakurudi Mbeya,” kilisema chanzo hicho.

“Kama mtakumbuka waandishi, siku moja kwenye magazeti yenu mliandika kwamba Ray amesema hana mpango wa kumuoa Chuchu, lakini juzi tu kamvisha pete ya uchumba kwa hiyo sasa uchumba wao ni rasmi.

“Halafu kama mtakumbuka tena katika habari ileile, mlimuuliza Chuchu kuhusu madai ya Ray kwamba hana mpango wa kumuoa, alijibu Ray hana ubavu huo, yaani wa kutomuoa. Sasa niambieni, mtu ambaye hana mpango wa kumuoa demu, kwa nini amvishe pete ya uchumba?” kilihoji chanzo.

Kikaendelea: “Hata kwenye tasnia ya filamu, wengi wanasema mapenzi ya Ray na Chuchu yana ‘kamzizi’ si bure maana jamaa ameoza kuliko inavyotakiwa.”

Baada ya taarifa hizo, juzi Amani lilimsaka Ray na kubahatika kukutana naye kwenye Gym moja iliyopo Kinondoni jijini Dar ambapo alipoulizwa kuhusu madai hayo hakupenda kutoa ushirikiano wowote ule, akasingizia anawahi hospitali ana Homa ya Dengu.

Chuchu alipatakana nje ya Meeda Club Jumamosi iliyopita ambapo alipoulizwa  alisema:
“Kwanza nyiye mbona mnapenda sana kuwafungukia watu bila wao kujifungukia wenyewe? Acheni watu wafunguke wenyewe bwana.”

Hata hivyo, ni kweli Chuchu Hans ana pete ya uchumba kwenye kidole kinachohusika.

Jokate:Naogopa Sana Kufa, Nikiumwa Kidogo tu Nahisi ni Dengue

$
0
0
Mwanamitindo na Mtangazaji Maarufu Jokate Mwogelo Amelihabarisha Gazeti Moja na Udaku Hapa nchini na Kusema Anaogopa sana kufa kwa ugonjwa huu mpya wa Dengue kwani Akiugua Kidogo tu anahisi ameshaukwaa ugonjwa huo ambao sasa ni tishio Jijini Dar ...

Alisema
“Ninauogopa sana huu ugonjwa wa Dengu maana nasikia ni hatari sana, basi mimi nikiumwa kidogo tu nahisi ndio tayari nimeukwaa na sijui hata unatibiwa vipi, naogopa sana kufa,” alisema Jokate.

Uchunguzi:Sababu za Wanawake Wengi Kupenda Kuvaa Nusu Uchi Hizi Hapa

$
0
0
Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume.

Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa fidia kutokana na kuamini kwao kwamba wanamapungufu kwa mfano sura zao zimewaangusha, hivyo miguu yao mizuri inabidi kuziba pengo au udhaifu huo. 

Wakati mwingine hata wanawake wanaodhani au kudhaniwa kuwa ni wazuri, wamekuwa wakivaa nguo fupi zinazoonyesha maungo yao.Hawa nao ni lazima wanalipa fidia ya kasoro fulani waliyo nayo.

Inawezekana wameshindwa kulinda ndoa zao, au inawezekana hawajaolewa na sasa wanataka kuonyesha kwamba, pamoja na kutoolewa kwao, bado wao wana sura na miguu au miili mizuri.

Wangapi Mnakubalia na Mimi ?
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live




Latest Images