Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Tunda Adaiwa Kumchapa Mke Wake...Mwenyeji Ajibu Tuhuma Kwa Kusema Haya

$
0
0
Msanii wa Bongo Fleva, Tundaman ameweka bayana kuwa hajawahi kumpiga mkewe na huwa hana tabia hiyo.


Msanii huyo ambaye alioa mwaka jana amekanusha na kueleza kuwa hajawahi kumpiga mkewe kama inavyodaiwa.

“Mie sijawahi kumpia mke wangu we muulize kama nimewahi kumpiga mimi labda huyo ni Tunda mwingine sio mimi,” ameleeza  Tunda kupitia kipindi cha XXL kwenye U-Heard.

Hata hivyo alipohojiwa mke wa msanii huyo naye alikanusha tuhuma hizo  zilizozagaa na kueleza si za ukweli.

MC Pili Pili Afunguka 'Japo Nimeachana na Nandy ila bado….'

$
0
0
Mchekeshaji wa Tanzania, Emmanuel Mathias(Mc Pilipili) amefunguka juu ya mahusiano aliyokuwa nayo na mkali wa ngoma ya’ One Day’ Nandy ambapo ameeleza kuwa japo waliachana bado wana mawasiliano mazuri .

 
Akiongea na Bongo5 hivi karibuni, Mc huyo ameeleza kuwa yeye msanii huyo wa bado wanamawasiliano mazuri tu, kwa kudhihirisha hilo ndiyo maana amekuwa shabiki wake katika muziki.

“Mimi na Nandy bado tuna wasiliana vizuri tu, nimerudi kutoka Marekani nimemletea zawadi ya Perfume, hata hivyo yeye yupo Kenya amenicheki kunijulisha kuwa yupo huko na ninaona picha anazopost akiwa huko, unajua mimi na Nandy tumeachana sio kwa ubaya, ila tulifanya hivyo kwa sababu Nandy alikuwa anataka afanye kazi zake kwa uhuru zaidi,” aliongea Mc Pilipili.

Ameongeza kuwa” Kuachana na Nandy hapakuwa na kosa, sikutaka kumpa stress (mawazo)ni makubaliano yetu yalikuwa ni hayo, sio kwa ubaya ni kwa wema kabisa. Sikutaka kuzima ndoto zake kwani ningeshindwa kuwa mume wake ningekuwa nimezima ndoto zake za kufika hapo alipo.”

Pendeza na Markson Beauty...Ongeza Hips na Makalio, Kuwa Mweupe na Softi, Ongeza Maumbile na Nguvu za Kiume

$
0
0
PENDEZA NA MARKSON BEAUTY. ONGEZA HIPS NA MAKALIO, KUWA MWEUPE NA SOFTI, ONGEZA MAUMBILE YA KIUME, NGUVU NA HAMU YA TENDO N.K @Markson_beauty_pr Tunakuletea bidhaa bora zenye matokeo ya uhakika na haraka zisizo na kemikali wala madhara. Zimetengenezwa kwa mimea na matunda na kudhibitishwa kiafya. NB. Matokeo ni uhakika na garantii.


🍉🌿🍅🍍🍒🍉🍓🍅🍒 BIDHAA ZETU:-
1. kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @120000@120,000/=
2. Kuongeza shepu (hips, makalio na mapaja) kwa:-
(a)BOTCHO MULT-PLUS 10× @200000@200,000/=
(b)Vidonge @180000@180,000/=
(c)BOTCHO 10× ya kupaka @ 150,000/=
3. Kuwa mweupe na softi mwili mzima kwa:- (1)Mafuta @120000@120,000/=
(11)Vidonge @150000@150,000/=
4. Kupunguza unene na manyama uzembe @150000@150,000/=
5. Kuongeza uume pamoja na nguvu za kiume kwa:-
(a) Gely ya kupaka @130000@130,000/= (b) Vidonge kwa ajili ya kuongeza nguvu hata kwa wenye kisukari @130000@130,000/= (C)Handsome up original @200000@200,000/=
6. Kuondoa mvi milele zisiludi tena @130000@130,000/=
7. Kuongeza unene wa mwili mzima na uzito pamoja na hamu ya kula @120000@120,000/=
8. Kupunguza tumbo (kitambi) na nyama za pembeni kwa:-
(a) Dawa ya kunywa au kupaka @120000@120,000/= (b) Mkanda wa kawaida @100000@100,000/= (c) micro-computer belt wa umeme @170000@170,000/=
9 .Kupunguza maziwa na kuyasimamisha hata kwa walionyonyesha @120000@120,000/=
10.Kushepu miguu (CHUPA YA BIA) na kuondoa vigimbi @130000@130,000/=
11. Kuondoa mipasuko mwilini (michirizi) @120000@120,000/=
12.Kurudisha usichana (bikra) @120000@120,000/=

Wasiliana nasi :- (+255) 0767447444 au. 0714335378 

TAHADHARI: Hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako. 👉🏻Ili kuona bidhaa zaidi na shuhuda za waliotumia bidhaa zetu. ............... Follow us on instagram @Markson_beauty_pr

Hii Ndio Ndinga Anayomiliki Harmorapa

$
0
0

Harmorapa sio mtu wa mchezo mchezo, unafahamu gari analolimiliki?

Kupitia kipindi cha Top 20 cha EA Radio, rapper huyo amesema kuwa anamiliki ndinga aina ya Nissan Morano na mwaka jana meneja wake ndio aliyempeleka katika shule kwa ajili ya kujifunza udereva.

“Mwaka jana nilipotoa ngoma yangu ‘Usigawe Pasi’ bosi wangu akaniambia naona ipo siku utakuwa staa hivyo akanisaidia kunipeleka driving school ilinijifunze kuendesha gari. Nashukuru Mungu sasa najua na naendesha gari ya Nissan Morano,” amesema Harmo.

“Pale home kuna magari mengi tu ndio maana naendesha tofauti tofauti, ila hilo la Nissan Morano ndiyo alilonipa kama zawadi Meneja wangu mwaka jana,” ameongeza.

Wananchi Wacharuka..Wataka Mbunge wao Ajiuzulu Kufuatia Kutajwa Kwenye Makinikia

$
0
0
Wananchi wa Jimbo la Igunga Mkoani Tabora wamemtaka Mbunge wao Dk. Dalaly Kafumu ajiuzulu ubunge kwa walichodai ni kushindwa kutumia madaraka yake vizuri wakati akiwa Kamishna wa Madini.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti , baadhi ya wananchi hao, Oscar Thomas, Godfrey Batoba, Pius Roben na Regina Jackson, walisema ni vema mbunge wao akajiuzulu kwa kuwa miongoni mwa wanaotuhumiwa kuiingizia hasara nchi kwa kuingia mikataba mibovu ya madini na kujinufaisha.

Thomas alibainisha kuwa kazi anayofanya Rais John Magufuli ya kufuatilia rasilimali za wananchi inapaswa kuungwa mkono na kila Mtanzania mwenye uchungu na nchi yake huku wakimwomba kutoonea huruma wahusika walioisababishia nchi hasara.

Mwenyekiti wa Wazee wa Wilaya, Kassim Ally akizungumza kwa niaba ya wazee wenzake, alisema walimwomba Rais Magufuli kutokatishwa tamaa na baadhi ya viongozi wasio waaminifu kwani wako nyuma yake wakimpa ushirikiano.

Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya, Costa Ollomi na wakem, Mwanamvua Killo walisema kazi anayofanya Rais Magufuli imeleta heshima ndani ya chama na Serikali na kuwataka wananchi kuendelea kuwa watulivu wakati waliohusika wakihojiwa na vyombo husika.


Kuhusu Mbunge kujiuzulu alisema Ollomi alisema hawezi kuzungumzia suala hilo kwa kuwa tayari Rais alishatoa maelekezo ya kuchukuliwa hatua kwa waliotajwa na Kamati.


Dk Kafumu alitafutwa kupitia simu yake ya kiganjani ili kuzungumzia matakwa hayo lakini hakupokea simu licha ya kupigiwa zaidi ya mara nne

VIDEO: AT Adai Hatafuti Kiki Kwa Kujipendekeza Kwa Ali Kiba

$
0
0
Msanii wa muziki miondoko ya mduara nchini, AT amefunguka kwa kuwachana wasanii wa Tanzania kwa kudai wengi wao ni waongo, hawapendi kusema ukweli juu ya mambo yao yanayowasibu.

AT ameeleza kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya kuonekana kama anatafuta kiki ya wimbo wake mpya uitwao 'Melody' kwa kuzungumzia ugomvi wa kipindi kirefu baina ya msanii Alikiba na Diamond Platnumz

Mtazame hapa anavyofunguka zaidi.

Napata Maumivu Makali Sana Wakati wa Kungonoka

$
0
0
Habari Wadau
Mimi ni msichana wa miaka 25 na nina mpenzi wangu ambaye tunapendana sana, tatizo ni kwamba ninapokutana naye kimwili raundi ya kwanza huwa naenjoy ila raundi zinazofuata huwa sijisikii tena na matokeo yake huwa nasikia maumivu makali sana sehemu za uke kiasi kwamba huwa sioni raha ya mapenzi bali karaha tupu!

Ki mpenzi wangu huwa anajitaidi sana kuniandaa lakini naona haisaidii! Kiasi kwamba naona kama namkwaza kwa kutokumtimizia haja zake vizuri

Je wanajamii hili ni tatizo la kwenda hospitali au nifanye nini?

Naomben ushauri wenu ndugu zangu sababu nimekuwa nikipata tabu hii kwa mda mrefu sasa.

By Jesca Moshi

Makomando 7 wa Marekani Wapotea Baada ya Meli ya Kivita Kugongwa Japan

$
0
0
Makomando saba wa kikosi cha maji cha jeshi la Marekani wameripotiwa kupotea baada ya meli yao kugongana na meli ya wafanyabiashara karibu na pwani ya Japan.

Kamanda wa meli hiyo maalum za kuwaharibu maadui inayofahamika kama USS Fitzgerald aka Destroyer, aliokolewa na kukimbizwa hospitalini kwa chopa (helicopter).

Meli hiyo iligongana na meli ya wafanyabiashara iliyokuwa na makontena umbali wa kilometa 104 Kusini-Magharibi mwa Yokosuka. Picha zilizopigwa kutoka juu zilionesha uharibifu mkubwa kwa meli hiyo kutokana na tukio hilo lililotokea majira ya saa nane na nusu usiku wa kuamkia leo, kwa muda wa Japan.

Kwa mujibu wa BBC kamanda mwingine wa meli hiyo, Cdr Bryce Benson ameokolewa na anaendelea kupata matibabu hospitalini lakini hali yake imezidi kuimarika baada ya kuhamishiwa katika hospitali ya jeshi la Marekani iliyoko Yokosuka.

Hadi kufikia majira ya asubuhi, taarifa zilizotolewa na maafisa wa jeshi la maji la Marekani zimeeleza kuwa ingawa ‘Destroyer’ ilikuwa katika hatari ya kuzama, maeneo yote ya kuingilia maji ndani ya meli hiyo tayari yameshadhibitiwa kitaalam.

Mhandisi FAKE ( James Edward Mwasemela) Akamatwa Jijini Mwanza

$
0
0
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ‘TAKUKURU’ imemkamata mtu aliyekuwa anajifanya Mhandisi wa Jiji kisha kuomba rushwa.

Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Mwanza, Erenst Makale amesema mtu mmoja anayefahamika kwa jina la James Edward ambaye ni Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Mtakuja amekamatwa na Taasisi hiyo kwa kujifanya Mhandisi wa Jiji kisha kuomba rushwa ya Tsh. 200,000 kwa Mfanyabiashara.

"Mtumishi huyu aliomba kwa Mfanyabiashara wa Zana za Kilimo ambaye Zana zake aliweka kwenye eneo ambalo ni Hifadhi ya Barabara…huyu mtu aka-take advantage (faida) akaenda kwake akijitambulisha kama Mhandisi wa Jiji. Akamtaka aondoe Zana zake za Kilimo au ampe Shilingi Milioni Moja. Katika kujadiliana, wakajadiliana wakashusha mpaka kwenye Laki Mbili.

"Mwananchi huyu akawa Muungwana akaja Ofisini kwetu. Tukafanya mtego tarehe 13, mtego huo ukafanikiwa lakini hela ilienda kupokelewa na Bwana Godfrey Joseph Mwangonda ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Mkolani. Mtu ambaye aliomba fedha ni Bwana James Edward Mwasemela ambaye ndiye Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Mtakuja.

"Baada ya kumkamata tulikuja kubaini vitu vingine vya zaida kwamba mtu huyu James Edward Mwasemela ni sugu pamoja kwamba ni Mtumishi wa Umma lakini ameshiriki tena kwenye makosa mengine ya utapeli na kufunguliwa kesi mbili katika mwaka 2013 na 2016 na baadaye kesi hizo ziliondolewa…”  Amesema Erenst Makale.

Gabo Amkana Wema Sepetu

$
0
0

Gabo Amkana Wema Sepetu
Akiwa jana kwenye kipindi cha FNL cha EATV, Gabo aliweka wazi kuwa maneno ya kuzushiwa kati yake na malkia huyo wa filamu yalianza tu baada ya picha za wawili hao kuanza kusambaa ambazo zilikuwa zina mahadhi ya mapenzi na kuwejka wazi kuwa zilikuwa zimebeba maudhui ya filamu.

"Mimi na Wema ni kazi tu. Hakuna kitu cha tofauti ambacho tulikifanya au tulikianzisha tukiwa location kwa sababu mpenzi wake alikuwa anakuja nae mara zote ambazo tulikuwa tuna shoot. vipande vyote alikuwa na sisi bega kwa bega sasa hata kama ni hayo mahusiano tungeyaanzisha muda gani? Watu wasifikiri tofauti kwani ukaribu wangu na Wema Sepetu umezalisha filamu ya Kisogo ambayo tunaamini watanzania wataifurahia" alisema Gabo

Aidha Gabo amezungumzia filamu yake mpya kwa kusema amefanya tofauti kabisa na ilivyozoeleka kuwa na filamu ndefu yenye maudhui ya kawaida na kwamba sasa filamu zake zitakuwa ni fupi huku zikiwa na ujumbe unaoeleweka.

"Nimejitolea kuitetea sanaa, nitafanya kile ambacho jamii inahitaji. kwa sasa nimefanya filamu fupi zinazohitajika na jamii yaani fupi na zinazoeleweka. Filamu hizi zitakuwa zina dakika 30 tu. Ni bora kuhangaika kuboresha soko la ndani la filamu kuliko kuwaza kwenda kimataifa, nitaitetea sana nahua na yenyewe itanitetea siku moja" Gabo aliongeza.

Jisajili Uweze Kushinda Gari la Bure Mwisho Terehe 20 Mwezi Huu

$
0
0
Umeshawahi Kufikiria Kupata Gari la Bure bila Kulipa Chochote... Basi hii Kampuni ya Cars From Japan Wanakupa Nafasi Hiyo ...

CHAKUFANYA NI Fuata Maelekezo hapa chini Jinsi ya Kuweza Kuwa Mshindi wa Gari hilo..

Bonyeza Hapa >>> SHINDA GARI YA BURE <<< Kujisajili ni Bure tu...

Kisha Jisajili kwa Kuweka Jina na Email Yako

Naliamsha Dude - Roma Mkatoliki

$
0
0
Rapa Roma Mkatoliki ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu katika muziki baada ya kupata matatizo ya kutekwa amekiri wazi kuwa saizi yuko poa na tayari ameshajipanga kwa ajili ya kuliamsha dude muda wowote kutoka sasa.

Roma Mkatoliki amefunguka hayo jana baada ya kutembelea shule ya msingi Mchikichini iliyopo Mbagala na kutoa vitabu kwa wanafunzi wa darasa la saba pamoja na kuwapa hamasa juu ya kuweka juhudi katika masomo ya sayandi ikiwepo somo la hesabu.

Roma anasema anajua wazi baada ya matatizo yaliyomkuta kuwa watu wanashauku kubwa kutaka kusikia ngoma yake ya kwanza itakuaje, show yake ya kwanza itakuaje ila anadai kuwa atajibu maswali hayo ya mashabiki wake hao muda si mrefu baada ya kuliamsha dude.

"Mpango wa kuachia wimbo upo sababu nina muda mrefu nipo kimya na naona watu wana kiu kubwa kuona Roma anaachia wimbo upi na ataimba nini ndani yake, show yake ya kwanza itakuaje na atafanyia wapi, hayo nimekuwa nikiulizwa sana saizi tupo kwenye mfungo wa mwezi wa Ramadhan hivyo naona mawazo ya watu yameelekea huko na mimi najipa muda halafu baada ya hapo na mimi niliamshe dude, kwa sababu dude naliamsha kweli hivyo sitaweza kusema itakuwa ni tarehe gani ila muda wowote kinawaka" alisema Roma Mkatoliki. 

Roma Mkatoliki mara ya mwisho ameachia wimbo wa kushirikiana na Moni Centrozone 'Usimsahau Mchizi' ilikuwa mwanzoni mwa mwezi wa kwanza kabla ya wasanii hao wote wawili kutekwa na watu wasiojulikana mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu.

Zitto Kuzibwa Mdomo na Serikali.....Wanaokihushisha ACT Wazalendo na CCM Wamefeli

$
0
0
CHAMA Cha Act-Wazalendo Mkoa wa Kagera kimesema kuwa wanasiasa wanaolitumia jina la chama na Kiongozi wa Chama hicho Zitto Kabwe kwa ajenda za Propaganda mbaya wamefeli.

Propaganda hizo ni pamoja na kukihusiha chama hicho na Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja kumtaja na kiongozi kuwa atapewa nafasi kubwa kwenye Serikali ili kukiua chama hicho.

Hayo yamelezwa na Katibu wa Vijana wa Chama hicho Mkoa huo Khalfani Fadhili kupitia ukurasa wake wa mtandao wa picha wa Instergram (@ khalfani_fadhili) ambapo amesema kuwa Chama hicho  hakitarudi nyuma na kwamba hawatayumbishwa na Propaganda za wanasiasa wenye nia ovu na chama hicho.

 Amesema kuwa baadhi ya kauli za wanasiasa kuwa Zitto Kabwe atafungwa na Mdomo kwa kupewa nafasi ndani ya Serikali  kuwa sio za kweli na hazina afya kwenye siasa nchini.

“Zitto sio mmiliki wa  ACT wazalendo bali  ni mwanachama wa  ACT na ni  mbunge mwenye dhamana ya chama pia ni  kiongozi mkuu katika chama.Hivyo ukikuta mwanasiasa mwenye nia ovu  kwa kauli zao za kuwaaminisha watu kuwa Zitto yuko mbioni kupewa Uwaziri ili Act-Wazalendo ife jua huyo  ni mwanasiasa aliyefilisika”
Amesema kuwa wapo wanaowamisha watu kuwa Act-Wazalendo ni sehemu ya CCM ilhali chama cha Act kina sera za kulijenga taifa , ujamaa na uzalendo kwa kushirikiana na watanzania wote bila kujali itikadi zao.

 “Sikatai kuwa haiwezi kuwa akapewa nafasi nyeti katika serikali hii inayoonyesha kuguswa na viongozi wa  ACT.bali nakataa wale wanaolazimisha watu waamini kuwa ACT ni  sehemu ya CCM.Yanaongelewa mengi kuwa Mh.Zitto atafungwa mdomo kwa kupewa nafasi ya juu ili anyamaze.hayo ni  maneno ya chuki dhidi ya chama chetu kwani hata  wao wanazitamani nafasi tulizozipata ACT katika kuilitumikia taifa  hili.”

Madee na Dogo Janja wafunguka baada ya BASATA kuthibitisha hakuna tuzo za KTMA

$
0
0
Baada ya Baraza la Sanaa Tanzania ‘BASATA’ kusema mwaka huu pia hakutokuwa na tuzo za Music Tanzania maarufu kama Kilimanjaro Music Award (KTMA) staa wa muziki Madee amekosoa hatua hiyo.

Madee aliandika kwenye account yake ya Twitter akisema:
“Muziki wetu umepata kilema, hauna tuzo hauna album halafu kuna watu wanasema wanataka kuufikisha mbele, hahaha kwa njia gani labda” – Madee.

Baada ya tweet ya Madee naye Dogo Janja aliandika kwenye Instagram
”Tunataka mashindano yakimataifa bila kua na shindano la kitaifa hahaha tutapigwa nyingi daily” – Dogo Janja.

Wakazi Ataja Kilichomkasirisha Hadi Kumchana Godzilla

$
0
0
Rapper kutoka kundi la SSK, Wakazi ameamua kutoa yake ya moyoni kwa msanii Godzilla.


Wakazi ambaye Ijumaa hii ameachia wimbo ‘Zillnass’ aliomchana rapper huyo, amesema amekkasirishwa na kitendo cha Godzilla kummuita Nikki Mbishi kuwa ni wack wakati anasahau na yeye ni mtu feki ambaye anauiga umarekani wakati hajawahi kufika.

“Nilikashirishwa sana na Godzila kumuita Niki Mbishi wack coz ni moja ya wasanii ambao wapo kwenye top five yangu then mtu unamuita hivyo unataka watu wamchukuliaje?,” Wakazi amekiambia Bongo flava Top 20 ya East Africa Radio.

“Alichokiimba Zilla ni kile kile anachokifanya siku zote, yaani amerudia rudia maneno hana maneno mapya. Watu wanashangaa anadai ni freestlye,” ameongeza. Wakazi amesisitiza kwa kusema kuwa diss track aliyoitoa Zilla ya kawaida sana.

Wakati kunashoot ‘Kisogo’ Wema alikuwa anakuja na mpenzi wake – Gabo

$
0
0
Muigizaji wa filamu nchini, Gabo Zigamba amefunguka na kusema hana uhusiano wa kimapenzi na muigizaji mwenzie Wema Sepetu zaidi ya wao kufanya kazi pamoja.


Gabo amelazimika kusema hayo mara baada ya kuenea tetesi kuhusu jambo hilo wakati akitengeneza filamu yake mpya ya Kisogo, kitu ambacho ameweka bayana kuwa si kweli.

“Mimi na Wema ni kazi tu. Hakuna kitu cha tofauti ambacho tulikifanya au tulikianzisha tukiwa location kwa sababu mpenzi wake alikuwa anakuja nae mara zote ambazo tulikuwa tuna-shoot,” Gabo ameiambia FNL ya EATV.

Aliendelea kwa kusema, “Kipande vyote alikuwa na sisi bega kwa bega sasa hata kama ni hayo mahusiano tungeyaanzisha muda gani? Watu wasifikiri tofauti kwani ukaribu wangu na Wema Sepetu umezalisha filamu ya Kisogo ambayo tunaamini watanzania wataifurahia”.

Kwanini Uislamu Unawanyanyapaa Wanawake Wakiwa Kwenye Hedhi?

$
0
0

Asalam aleykum ndugu zangu hongereni kwa kuamua kutimiza nguzo muhimu ya uislam na kufunga mwezi mtukufu.

Kuna jambo huwa linanichanganga tangu nikiwa mtoto juu ya dini yetu hii ya kweli.

Inakuwaje Mungu ampe mwanamke mzunguko wa hedhi kila mwezi halafu atoe mashariti ya mwanamke huyo kutoshika kitabu chake yaani Quran? Kuna uhusiano gani hapo? Kwa maana hutakiwi kumuabudu Mungu ukiwa kwenye hali hii? Hadi kufunga hutakiwi?

Haaa yaani hadi Mungu anatutenga wanadamu itakuwaje??

Uhusiano hapo uko wapi hedhi na kushika Qurani na kuswali jamaa??

I Love My Boyfriend But I Enjoy Having S3x With Strangers

$
0
0

I know my romantic boyfriend is planning some Valentine’s treat but whatever it is, it won’t thrill me as much as having séx with strangers.

I’m 24 and he’s 25. We met in school and we both work in tourism. He’s a really nice guy and we’ve been together five years. We’ve been happy for most of that time but lately I’ve realised I’m totally bored with my life.

He worked late one night and I went to the bar with a friend. I was up at the bar when this really cool guy started flírting with me. When I sat down he kept turning to look and then giving a smile. It made me feel séxy and hot.

My friend had a cold and soon phoned for a cab. I said I’d walk home as it wasn’t that far. That guy was still there at the bar and I wanted to see what would happen.

What happened was that we flirtéd some more and then we went back to his car and had séx. It was great and I felt like a wild child or something who lives for the moment and isn’t afraid to have fun.

That was the first time I did it but last month it happened again, this time with a guy I met on a training course. I’d never seen him before and I’ve no wish to see him again but the thrill was imménse.

Last night I had séx with a stranger I met in a club. I know that it’s wrong but it’s thrilling and risky and fun. I don’t like telling lies but if I told my boyfriend the truth it would destroy him.

Any Advice For Her?

Jisajili Uweze Kushinda Gari la Bure Mwisho Terehe 20 Mwezi Huu

$
0
0
Umeshawahi Kufikiria Kupata Gari la Bure bila Kulipa Chochote... Basi hii Kampuni ya Cars From Japan Wanakupa Nafasi Hiyo ...

CHAKUFANYA NI Fuata Maelekezo hapa chini Jinsi ya Kuweza Kuwa Mshindi wa Gari hilo..

Bonyeza Hapa >>> SHINDA GARI YA BURE <<< Kujisajili ni Bure tu...

Kisha Jisajili kwa Kuweka Jina na Email Yako

Zifahamu Sababu za Matairi ya Gari Kuwa na Rangi Nyeusi

$
0
0
Ulishawahi kujiuliza kwanini viwanda havitengeneza matairi ya kijani au njano ili yakiwekwa kwenye matrekta ya John Deere yaendane vizuri kwa rangi.  Au ya rangu nyingine ili kuendanana na rangi ya gari? Au kwanini hawauachi mpira unaotengenezea matairi katika rangi yake ya asili ya nyeupe?

Kuna sababu kwanini matairi ya magari duniani huwa na rangi nyeusi na si rangi nyingini. Sababu kubwa ni kuweza kuwa na ubora zaidi wa kutumika.

Kwa makusudi kabisa matairi ya magari ni ya rangi nyeusi ili yaweze kufanyakazi vizuri na kuyafanya yaweze kutumika kwa muda mrefu zaidi kwa kuongeza kemikali kwenye mpira inayojulikana kitaalamu kwama ‘Carbon Black’ ambayo ndiyo hubadilisha rangi ya matairi.

Kwanini Carbon Black? Kemikali ya Carbon Black hufanya kazi kubwa ya kuongeza uwezo wa mpira wa tairi kufanya kazi kwa ubora wa hali ya ju kiasi kwamba duniani kote wakawa wanaitumia kemikali hiyo. Asilimia 70 ya kemikali hiyo inayozalishwa dunia, hutumika kutengenezea matairi mbalimbali.

Carbon black huongeza uwezo wa raba kuweza kutumika muda mrefu zaidi pamoja na kuipa uimara ili kuzuia kutoisha kirahisi ikiwa juu la lami.

Aidha Carbon black husaidia kuipa tairi muda mrefu wa matumizi kwa kuondoa joto na hivyo tairi haiwezi kuathiriwa na joto kirahisi. Kabla ya vita ya kwanza ya dunia, Zinc Oxide (iliyofanya matairi kuwa meupe) ilitumika kwenye matairi badala ya carbon black ili kuzuia tairi kupata joto na kuwa ngumu. Lakini baada ya matumizi ya carbon black kushika kasi, ilianza kutumika sehemu ya juu ya tairi (tire tread) na zinc oxide kutumika kwenye kuta za tairi (tire sidewalls)

Carbon black pia huisaidia tairi kujikinga dhidi ya madhara ya gesi ya ozone (corrosive effects of ozone). Gesi ya ozone ni moja ya vitu ambavyo huchangia kuharibika sana kwa tairi, hivyo kemikali hiyo ni ya muhimu sana kwa watengenezaji na watumiaji, bila hiyo tairi zingekuwa zinaharibika haraka sana. Madhara ya gesi ya ozone ndiyo sababu haushauriwi kuhifadhi tairi zako karibu na mota za kielektroni ambazo huto gesi hiyo.

Kwa kuhitimisha unaweza kusema kuwa, sababu kubwa ya tairi za magari na vifaa vingine kuwa nyeusi ni kwa sababu ya matumizi ya kemikali ya carbon black ambayo inasaidia kwa kiasi kikubwa kuongeza uimara wa mpira unaotumika kutengenezea tairi.
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images