Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104670 articles
Browse latest View live

Kisa cha Watoto wa Nne waliokufa ndani ya Gari , Zanzibar

$
0
0

Watoto wanne wamekutwa ndani ya gari lililokuwa limeegeshwa eneo la Jang’ombe, Mkoa wa Mjini Unguja.


Watoto hao wote walio na umri usiozidi miaka miwili na nusu walipotea nyumbani kwao tangu Jumapili asubuhi na hawakuonekana tena hadi jioni walipokutwa kwenye gari hilo jekundu wakiwa wameshafariki dunia.


Watoto hao ni Haytham Mustafa Abubakar, mwenye umri wa miaka miwili, Muslim Hamza Bakari (2), Dodo Mohamed Malali (miwili na miezi sita) na Munawar Ahmed Khamis (miwili na miezi sita).


Watoto hao, ambao walikuwa wakiishi Jang’ombe mjini Unguja, walizikwa jana makaburi ya Mwanakerekwe.


Maswali yaliyoibuka ni namna gani waliingia ndani ya gari, kama milango ilikuwa wazi au imefungwa na iwapo hakukuwa na mtu yeyote wakati watoto hao wakiingia ndani ya gari hilo.


Kamanda wa polisi wa mkoa, Hassan Nassir Ali alisema watoto hao walikutwa ndani ya gari aina ya Toyota Vitz.


Amina Mohamed Haroun, ambaye ni mzazi wa marehemu Haytham, alikuwa akijiuliza maswali kuhusu vifo hivyo alipohojiwa na Mwananchi.


“Sijui vipi wanangu hawa wameingizwa ndani ya gari hiyo na kusababisha kifo chao kwa kuwa si kawaida yao kufanya hivyo,” alisema.


“Tena jambo kubwa linalosikitisha, tulikwenda hadi kwenye gari hilo lakini hatukuwaona mara moja.”


Amina pia amepoteza mtoto wa ndugu yake aitwaye Dodo Mohamed Malali katika tukio hilo.


Amina alivitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa undani tukio hilo ili kubaini chanzo cha vifo vya watoto wao.


Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo walisema mpaka sasa hawajabaini chanzo cha watoto hao kuingia katika gari hiyo kwa kuangalia umri wao.


Ahmed Hamisi, ambaye ni mzazi wa Munawar, alisema waliwapata watoto hao saa mbili usiku na kwamba gari hilo limekuwa eneo hilo kwa muda mrefu kwa kuwa mmiliki amesafiri.


Hamis alisema alishirikiana na majirani kuvunja milango ya gari hilo na kufanikiwa kuwatoa watoto hao wakiwa wameshafariki.


Maryam Juma Mohamed, ambaye ni jirani wa familia za watoto hao, alisema awali watoto hao walionekana kiwanjani kwake wakicheza na kuna wakati walikuwa wakipigana.


“Baada ya kuwaona wanapigana kutokana na sababu zao za kitoto tuliwaamulia na ndipo walipoondoka sehemu hiyo na kutafuta sehemu nyingine. Hatukuwa na wasiwasi nao kwa kuwa ni jambo la kawaida wao kuranda mtaani kisha wanarudi nyumbani kwao,” alisema.


Alisema ilichukua kama saa tatu tangu walipoonekana uwanjani kwake kabla ya familia za watoto kuingiwa na wasiwasi.


Alisema walishirikiana kwa pamoja na wazazi wa watoto hao kuwasaka sambamba na kupeleka taarifa vituo vya polisi, bandarini na maeneo mengine kuhusu kupotea kwao.


“Tulihangaika sana hadi usiku lakini tulishindwa kuwaona. Ila ghafla tukiwa tumekaa karibu na eneo linalolazwa gari, tukasikia sauti kama mara tatu hivi inasema ‘watoto wamo ndani ya gari jekundu’. Tulihamanika kusikia sauti hiyo, ijapokuwa tulikuwa na wasiwasi mkubwa na sauti hiyo inayotoka wakati mtoaji hatujamjua nani. Lakini tulikwenda hadi kwenye gari na kuwakuta watoto hao wakiwa wanatokwa na mapovu mdomoni,” alisema.


Sheha wa Shehia ya Jang’ombe, Khamis Ahmada Salum alisema walifanya jitihada ikiwa ni pamoja na kufika eneo la maegesho ya magari, lakini hawakuwaona.


“Inashangaza kusikia watoto hao wameonekana ndani ya gari hilo wakati sisi tuliangalia zaidi ya mara tatu ndani. Ijapokuwa gari lina vioo vyeusi, tuliangalia lakini hatukuwaona. Mimi kusikia wameonakana humo, inanishangaza sana,” alisema sheha huyo.


Akizungumzia hilo, Kamanda Ali alisema kuwa Jeshi la Polisi litafanya mahojiano na wamiliki wa eneo hilo pamoja na mmliki wa gari hilo ambaye kwa sasa inadaiwa kuwa yuko Tanzania Bara.


Daktari wa zamu wa Mnazi Mmoja aliyewapokea watoto hao, Dk Makame Zubeir Chinjo alisema walifikishwa hospitalini hapo wakiwa tayari wameshafariki dunia.


Alisema uchunguzi wa awali umebaini walifariki baada ya kukosa hewa ndani ya gari.

FLORA Mbasha Akanusha Kusema Hakuwahi Kuridhishwa Kimapenzi na EX Mume Wake..Adai ni Watu Wanamchafua tu

$
0
0

Msanii wa nyimbo za Injili Tanzania, Flora Mbasha amevunja ukimya na kutoa onyo kwa baadhi ya watu wanaomchafua kupitia mitandao ya kijamii hususan Instagram.

Flora ambaye kwa sasa ameolewa na mwanaume mwingine baada ya kutengana na mume wake wa awali ambaye pia ni mzazi mwenziye, Emmanuel Mbasha, amelazimika kutoa onyo hilo baada ya kusambaa kwa taarifa mitandaoni akinukuliwa kwamba mzazi mwenziye huyo hakuwahi kumridhisha kimapenzi kwa kipindi chote walichokuwa kwenye ndoa.

Flora amekana taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameandika hivi:

“Hizi habari ni za uongo, sijafanya mahojiano na redio yoyote na kuzungumza maneno hayo kama ilivyosambaa mitandaoni. Naomba mzipuuze taarifa hizo maana ni mpuuzi mmoja tu ameamua kuonesha upuuzi wake ili apate followers kwenye ukurasa wake.

“Niseme tu kwamba hivi sasa sitakaa kimya tena, huyo aliyezoea kunizushia stori za uongo asifikiri siijui sheria, ajipange vizuri maana mahakama ipo na sheria ipo, narudia tena kusema habari hii iliyosambaa mitandaoni ni ya uongo sijazungumza mimi maneno hayo.”

Watumishi wa umma sasa kupokea mishahara pamoja

$
0
0

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Angellah Kairuki, amesema katika mwaka huu mpya wa fedha watumishi wa umma watakuwa wanalipwa mishahara kwa wakati mmoja ili kupunguza matatizo ya mishahara yanayojitokeza.

Kairuki ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Julai 18 wakati akizungumza na watumishi wa wilaya mpya ya Ubungo ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake aliyoianza jana katika halmashauri hiyo.

Amesema awali watumishi hao walikuwa wanapata mishahara yao kwa nyakati tofauti lakini sasa wataingizia mishahara yao moja kwa moja katika akaunti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) badala ya kupitia benki za biashara.

"Hatutaki itokee huyu amewekewa mshahara tarehe 27, huku mwingine akienda kuangalia salio katika akaunti anaambiwa bado lakini sasa hivi itakuwa wakati mmoja," amesema Kairuki huku akishangaliwa na watumishi wa halmashauri hiyo.

Alisisitiza lengo la kuweka mfumo huo ni kuhakikisha watumishi wote wanapata mshahara wao wakati mmoja na hiyo itasaidia Serikali kusimamia kwa umakini mishahara.

Amefafanua kwamba siku tatu kabla mshahara haujaingizwa katika akaunti ya mtumishi, mwajiri sekta husika atapelekewa orodha ya watumishi watakaotakiwa kulipwa mishahara.

"Matumaini yangu waajiri watakuwa makini kuangalia orodha hizo ili isitokee hata mtumishi mmoja akaachwa," anasema Kairuki.

Nahisi Mke Wangu Anatembea na Binamu yake....

$
0
0

Mimi ni mwanaume wa Dar kabisa nina kifriji cha bia za ofa na kitimoto na kazi yangu huwa ni upambe kwa matajiri na watoto wa mjini japo nina kiofisi cha kuzuga cha insurance broker na clearing and forwarding kama ilivyo ada yetu wanaume wa Dar.

Sasa balaa linalonikabili ni hivi juzi wife aliniomba aje mtoto wa shangazi yake akae kwangu kwa kuwa alipata fursa ya kujifunza kazi ya ufundi magari gereji ya karibu na nyumbani kwangu. Bila hiyana nikamkubalia, sasa balaa tulipoenda kumpokea Ubungo kushuka kijana bonge la handsome afu mwili wa mazoezi.

Kimsingi wamezoeana sana na wife. Akiamka asubuhi mimi naandaliwa chai sausage na yai yeye anapasha kiporo cha ugali anashushia na mchicha anaoulima bustani hapa kwangu. Baada ya hapo anaenda jogging akirudi ndo anaelekea gereji mayaweee nafwa

Gereji wanatoka saa 8, kuna siku nikarudi ghafla mchana nikakuta amekaa na boxer na singlet miguu bonge la gimbi kifua kimejaa minywele afu anapiga pasi nguo za wife mwee ndifwaaa mwiyenu

Kinachoniudhi anajifanya ana heshima sana kwangu mara anipokee mizigo mara amsindikize wife sokoni aghhhggaaaaa come on shittt.

Sasa juzi kati walitoka na wife kumpeleka sokoni sijui kilinikumba nini nikaingia kupekua chumba chake nikakuta kitenge cha wife kitandani kilichopigwa pasi nikajifariji itakuwa ni hii tabia ya kumpigia pasii cheki kwenye droo nikakuta mafuta ya 'KY Gel' ila hayajatumika kabisa.

Kumuuliza wife naona nitapoteza ushahidi au nitaharibu uchunguzi basi nimekuwa kila wakitoka nakagua yale mafuta, ni wiki sasa hayajafunguliwa.

Jamani watemi nitumie gia gani kumtimua huyu maana nimejikuta narudi saa nane kumhofia jamaa.
.
.
NAOMBENI USHAURI TAFADHALI

Linah Akana Taarifa za Kujifungua

$
0
0

Msanii Linah Sanga  'Ndege Mnana' amekanusha taarifa zinazoenea mtandaoni kuhusu suala la kujifungua na kuwataka watu wazipuuzie huku akiwasihi mashabiki zake waendeee  kusubiri taarifa iliyo sahihi kutoka kwake na kwenye mitandao yake ya kijamii.

Linah amekanusha taarifa hizo kupitia EATV na kusema kwamba anashangazwa na taarifa zinazosambaa mitandaoni huku akiwa hajui mtu anayesambaza taarifa hizo ana malengo gani.

"Hongera ya nini mbona mimi bado mjamzito? Sijajifungua bado na hata mwenyewe nashangazwa na huyo mtu aliyeanza kusambaza taarifa hizo ana malengo gani? Nawaomba mashabiki zangu waniombee kwa sasa hivi nikiwa nakaribia kwenda kujifungua hivi karibuni ingawa siwezi kusema ni lini kwani siyo vizuri, watu wanatakiwa waone. Mungu akinisaidia taarifa watazipata kupitia kwangu mwenyewe au kwenye mitandao yangu ya kijamii," Linah alifunguka .

Katika hatua nyingine Linna ameongeza kwamba sababu ya za kutoonekana sana kipindi cha hivi karibuni hakujasababishwa na kisirani, hivyo kutoonekana kwake zipo sababu ya msingi.

"Ukweli nina sababu zangu za msingi zinazonifanya nisionekane, Ninachomshukuru Mungu kuwa na mimba hakujanifanya niwe kisirani ila baada ya ya sababu zangu kuisha nitaonekana kama kawaida. Niombeeni nijifungue salama", aliongeza

EATV inamuombea mwanamuziki Linah maandalizi mema ya kumpokea mtoto wake wa kwanza.

Una Matatizo ya Nguvu za Kiume? Basi Hii Inakuhusu

$
0
0

JE, UNA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME, KUKOSA HAMU YA TENDO, KUSHINDWA KURUDIA TENDO AU MAUMBILE MADOGO YA UUME? SOMA HAPA 👇👇👇👇
Tatizo la kukosa au upungufu wa nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, sio Tanzania tu bali duniani kote. Kupungukiwa nguvu za kiume na maumbile madogo sio ugonjwa ila ni dalili ya ugonjwa. Hii ina maana kuna dosari au udhaifu wa kiutendaji ndani ya mwili.

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME HUSABABISHA MAMBO KAMA:-
☆Kukosa hamu ya tendo la ndoa
☆Uume kusimama kwa ulegevu
☆Kuwahi kufika kileleni
☆Kushindwa kurudia tendo kwa wakati
☆Kuchoka sana baada ya round ya kwanza na hata kukinai kabisa.
@Markson_beauty_pr Tunakuletea suluhisho la matatizo hayo hata kwa wenye kisukari kwa:-
1.HANDSOME UP ORIGINAL ni kifaa chenye uwezo wa 99% kuongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @220,000/=
2.SHARK POWER ni gely ya kupaka inayoongeza uume kwa wastani wa inch 6.5 @130,000/=
3.Vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza nguvu na hamu ya tendo la ndoa hata kwa wenye kisukari @130,000/=
4.Spray ya kuchelewesha kufika kileleni na kurudia tendo hata mara 3 bila kuchoka @130,000/=
KWA BIDHAA HIZI NA NYINGINE NYINGI TEMBELEA UKURASA WETU WA INSTAGRAM :-
@Markson_beauty_pr
@Markson_beauty_pr
@Markson_beauty_pr.
Wasiliana nasi Popote ulipo duniani kwa no (+255)
0767447444 na 0714335378
NB:Matokeo ni uhakika na garantii na hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.
Bidhaa zetu zimetengenezwa kwa mimea na matunda na hazina kemikali wala madhara kwa mtumiaji. Zimethibitishwa kiafya.

Gigy Money Ataja Sababu iliofanya Apungue Kwa Kasi Mpaka Watu Wanamsema

$
0
0
Video vixer asiyeisha sekeseke mitandaoni kila kukicha, Gigy Money ameamua kuweka wazi sababu iliyopelekea mwili wake kupungua.


Gigy ameeleza kupitia U-Heard ya Clouds Fm kuwa kilichosababisha ni kupungua mwili wake ni kufanya mazoezi iliaweze ili aendane na soko la mavideo queen wa mbele.

“Kuna Gym na dawa zinauzwa mbona huko Instagram, bhana ila mie naenda Gym ndiyo maana nimepungua,” ameeleza Gigy.

Baadhi ya watu mbali mbali katika mitandao ya kijamii hasa Instagram wamekuwa wakihoji na wengine wakimtuhumu mrembo huyo kufulia ndio maana amekuwa akipungua kila kukicha hasa makalio.

Harmorapa Atua Msibani kwa Waziri Mwakyembe, Afunguka Haya (Video)

$
0
0
Msanii wa muziki wa hip hop, Harmorapa amekuwa mmoja kati ya wasanii waliofika kwenye msiba wa mke wa Waziri Mwakyembe, Bi Linah. Rapa huyo alipata nafasi ya kuuzungumzia msiba huo na namna ulivyoigusa tasnia ya burudani. VIDEO:

Polisi Dar watia Mbaroni Madalali Bandia 12 Wanaojihusisha na Wizi wa Shehena za Bidhaa

$
0
0
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Temeke jijini dsm linawashikilia madalali bandia 12 wanaodaiwa kuendesha vitendo vya wizi wa shehena za bidhaa za mamilion ya fedha huku wakitumia malori yaliyowekwa namba bandia pamoja na nyaraka bandia ili kufanikisha wizi huo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke Giles Mroto akizungumza na wanahabari amesema watuhumiwa hao wamekamatwa baada ya kupata taarifa ya malori ya bidhaa za vifaa vya ujenzi na ngano vyenye thamani ya shilini milion 400 , ambayo yalichepushwa na watuhumiwa badala ya kupelekwa geita yalipelekwa mbeya na kufichwa.

Amesema watuhumiwa hao pia walibainika kuwa na mihuri,nyaraka bandia mbalimbali za ukaguzi wa mizigo lakini pia redio call ambapo baadhi yao walijifanya maafisa wa polisi katika kufanikisha wizi huo.

Aidha kutokana na kukithiri kwa wizi huo Kamanda mroto ametoa wito kwa wale wanaosafirisha mizigo ndani na nje ya nchi kwa kuwatumia madali au mawakala kuwa waangalifu.

Chanzo: Channel 10

Je Kuna Ukweli Teuzi za Magufuli ni za Ubaguzi wa Kikanda?

$
0
0
Nimemsikiliza Mh Tundu Lissu jana, mbunge na mwanasheria wa chadema, akilalamika kuwa teuzi za mtukufu Rais ni za kikanda.

Mheshimiwa Lissu alidai kwa kueleza teuzi nyeti za serikali kuwa ni za kibaguzi na hazileti picha ya kitaifa.

Lissu aliwataja watu wafuatao kuwa wanatoka kanda ya ziwa.
1. Mwanasheria mkuu
2. Mkuu wa JWTZ
3.IGP
4.Mkuu wa usalama wa taifa
5.Katibu wa fedha na naibu wake
6. Katibu mkuu

Lakiki Lissu hakuangalia nafasi nyingine nyingi ambazo Rais ameteua watu ambao sio kanda ya ziwa, mfano
1. Baraza la mawaziri, 
2. Wakuu wa mikoa wanatoka kila kanda
3. Waziri mkuu
4. wakuu wa wilaya

Bado hoja ya Lissu inahitaji kujadiliwa ili kuweza kubaini ukweli wa jambo hili vinginenvyo etaleta sinto faham nyingi sana kiasi cha watu kushangaa mbona Rais hazindui miradi katika mikoa ya kaskazini.

Hatuwezi kuacha hili jambo kuelea, nilazima Lissu ajibiwe kwa ushahidi aondoe hii dhana potofu.

General Mangi/Jamii Forums

Chemical Adai Nay wa Mitego ni Husband Material

$
0
0
Msanii wa Bongo Flava Chemical ametaja sifa za mwanaume ambaye anamuhitaji katika maisha yake pindi atakapokuwa tayari kuingia katika mahusiano.


Ingawa rapper huyo ameeleza kwa sasa yupo single, amedai anampenda mwanamume ambaye si sharobaro na wakishakubaliana akajitambulishe nyumbani kwao.

“Mimi ni msichana fulani ambaye napenda mwanaume fulani lakini sijui, unajua mapenzi hayachagui, lakini mtu fulani ambaye ni nigger hard unajua sio sharobaro, kawaida real nigger kama Nay,” ameiambia Planet Bongo ya EA Radio na kuongeza.

“Mtu anayetaka aje kwenye familia afuate process, me am still traditional girl usione nafanya hip hop ukachukulia poa. Naamni kuna perfect guy wapo soma where, kwa aje afuate process then it will be ok,” amesisitiza Chemical.

Zitto Kabwe ampinga Tundu Lissu

$
0
0

Kiongozi wa Chama Cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe apinga Kauli ya Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu ya kutaka wafadhili na jumuiya za Kiataifa kuinyima misaada Tanzania kwa sababu ya Serikali kuiminya Demokrasia.

Kupitia Ukuirasa wake wa  Twitter ameendika hivi.


Zitto Kabwe amesema kuwa kuzuiliwa kwa misaada kutoka Nje sio njia sahihi ya kutete Demokrasia .

LINAH Sanga "Mimi Bado Mjamzito Nashangaa Wanaonizushia Nimejifungua"

$
0
0

Msanii Linah Sanga 'Ndege Mnana' amekanusha taarifa zinazoenea mtandaoni kuhusu suala la kujifungua na kuwataka watu wazipuuzie huku akiwasihi mashabiki zake waendeee  kusubiri taarifa iliyo sahihi kutoka kwake na kwenye mitandao yake ya kijamii.
Linah amekanusha taarifa hizo kupitia EATV na kusema kwamba anashangazwa na taarifa zinazosambaa mitandaoni huku akiwa hajui mtu anayesambaza taarifa hizo ana malengo gani. "Hongera ya nini mbona mimi bado mjamzito? Sijajifungua bado na hata mwenyewe nashangazwa na huyo mtu aliyeanza kusambaza taarifa hizo ana malengo gani? Nawaomba mashabiki zangu waniombee kwa sasa hivi nikiwa nakaribia kwenda kujifungua hivi karibuni ingawa siwezi kusema ni lini kwani siyo vizuri, watu wanatakiwa waone. Mungu akinisaidia taarifa watazipata kupitia kwangu mwenyewe au kwenye mitandao yangu ya kijamii," Linah alifunguka .
Katika hatua nyingine Linna ameongeza kwamba sababu ya za kutoonekana sana kipindi cha hivi karibuni hakujasababishwa na kisirani, hivyo kutoonekana kwake zipo sababu ya msingi. "Ukweli nina sababu zangu za msingi zinazonifanya nisionekane, Ninachomshukuru Mungu kuwa na mimba hakujanifanya niwe kisirani ila baada ya ya sababu zangu kuisha nitaonekana kama kawaida. Niombeeni nijifungue salama", aliongeza
Udakutz inamuombea mwanamuziki Linah maandalizi mema ya kumpokea mtoto wake wa kwanza.

SERIKALI Yamshukia Vikali Tundu Lissu....Yadai ni Muongo, Mpotoshaji

$
0
0
SERIKALI Yamshukia Vikali Tundu Lissu....Yadai ni Muongo, Mpotoshaji

NIMEJAA Hofu Kwa Nilichokishuhudia Kwenye Pochi ya Mpenzi Wangu....

$
0
0
Nimepitia misuko suko mingi sana katika mahusiano,ilifika mahali nikaomba wadau mnishauri kwa baadhi ya mambo yaliyonikumba,nawashukuru wengi mlinishauri na maisha yakaendelea.

Nilipata binti,mpole na mtaratibu sana,nimekuwa naye katika vipindi vigumu na hakuwahi kuonyesha hali yoyote yenye mashaka.

Nimeshitushwa sana leo baada ya kuona vitu vya ajabu kwenye mkoba wake,(ambao sikuwahi kuuona tangu nimefahamiana naye,).

Naviweka hapa,wataalamu wa lugha ya kiarabu naomba mnisaidie kutafsiri maana ya maneno haya,nimekuta karatasi ikiwa na picha yangu,imeandikwa kwa maandishi mekundu kwa lugha ya kiarabu,halafu imefungwa na karatasi nyeusi!!!

By Chief Mangu

SOMA Dalili za Ugomjwa wa Tezi Dume Kwa Wanaume na Madhara yake

$
0
0
Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe za uhai katika tezi la kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalozunguka mirija ya kupitisha haja ndogo( mkojo).Ugonjwa huu kwa sasa unaweza kuwapata vijana wa kiume kuanzia miaka 25 na kuendelea tofauti na awali ilikuwa miaka zaidi ya 50.

Dalili za ugonjwa huu;

Kwenda haja ndogo mara kwa Mara,hasa usiku.
Haja ndogo Za ghafla zisizoweza kudhibitiwa.
Mkojo unaotoka kwa udhaifu ama kwa kukatika katika .
Damu kuchanganyikana na mkojo.
Maumivu  yanaendelea kwenye maeneo ya mgongoni sehemu Za kiunoni,kwenye kinena au sehemu juu ya mapaja.


Madhara yake:
1.Kupungua kwa uwezo kufanya tendo la ndoa.Pia kusikia maumivu wakati wa kufikia kilele Na kukosa amani au kuhangaika  wakati wa tendo la ndoa.
2.Uambukizo wa magonjwa kwenye kipofu
3.Uambukizo  mwenge njia ua mkojo au figo.

Ndugu ugonjwa huu unaua hata wenye uwezo wa kifedha maana ni hatari sana chukua tahadhari sasa pia msaidie na mtu mwingine kupata taarifa hizi.

NJIA YA ASILI
Madaktari wengi wameanza kuamini kwamba Prostate ikitanuka inaweza kutibiwa au kuzuiwa kwa kuulisha mwili  virutubisho unavyovikosa.

Tunajua kwamba kuna virutubisho ,vya kula  ambayo unaweza kusaidia kutanuka kwa prostate Na viingine vinaweza kuuzuia cancer kukua Na kuenea zaidi.

Hivi ni virutubisho gani?

1.MULTIMINERALS(zinc)
Inazuia uzalishaji mwilini wa kemikali inayodhoofisha uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa.

2. POLLEN
Bidhaa imetokana Na nyuki ambayo inavirutubisho 22 ambazo ndan yake kuna vitamin Na madini muhimu ambazo inalisha na  kutunza tezi.

3. BETA CAROTENE
Kizuizi cha maambukizo ya magonjwa mbalimbali (antioxidant )inaboresha  mzunguko wa damu mwilini Na  inasaidia kuimarisha mbegu Za kiume Na uwezo  wa tendo la ndoa

4. GINSENG /MACA
Inaongeza uzalishaji wa homoni inayomfanya mwanaume awe Na nguvu Za kiume Na afya nzuri kwa ujumla.

5. GEL
Inazuia uvimbe ,inadhibiti maumivu,inaua vijududu mwilini,inaongeza seli znamwilini.Inaupa Melli nguvu,inasaidia kusaga chakula tumbo Na kirutubisho

Bidhaa hizo zimewekwa kwenye mfumo wa unga, maji au vidonge na kuja kutumika kama lishe.Hizi bidhaa  zinafanya kazi na kuliondoa  ukitumia mara kwa  mara.

NB:Hizi sio dawa Bali ni virutubisho asilia.

KUBENEA Achafukwa...Adai Job Ndungai Hafai Kuwa Spika wa Bunge......

$
0
0
Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea amemshukia Spika wa Bunge, Job Ndugai, akimtuhumu kuendelea na tabia ya kuwaonea Wabunge wa vyama vya upinzani hasa chama hicho.

Kubenea amesema Ndugai hatoshi kuendelea kuwa kwenye nafasi hiyo kwa sababu amewahi kupata kashfa ya kumpiga ndugu yake ambaye alikuwa mgombea mwenzake wa nafasi ya ubunge Jimbo la Kongwa. Kubenea alitoa shutuma hizo jana wakati akizungumza na wapiga kura wake katika mkutano wa hadhara kwenye Kata ya Manzese, Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam.

Alisema Ndugai alifanya tukio hilo wakati wa kinyang’anyiro cha kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015. “Simshangia Ndugai kwa sababu alimchapa ndugu yake, Mgogo mwenzake leo amewafungia wabunge wa upinzani akiwamo Mbunge wa Kawe, Halima Mdee,” alisema Kubenea.

Mbali na hilo, aliwataka vijana na wanawake kuanzisha vikundi vya VICOBA ili kunufaika na mikopo inayotolewa na Serikali na mfuko wa jimbo hilo kwa ajili ya kuendeleza maisha yao na kukuza uchumi. Alisema wananchi wa kata hiyo na wa Jimbo la Ubungo wana fursa ya kunufaika na fedha za mfuko wa jimbo ambazo amekuwa akizitoa katika vikundi mbalimbali ili kuwaletea wananchi wake maendeleo.

Pia aliahidi kutoa fedha kwa ajili ya ukarabati wa kituo cha Polisi cha Manzese ili wananchi wapate ulinzi kutoka kwa Jeshi la Polisi. Diwani wa Kata ya Manzese, Ramadhani Kwangaya, alisema kata hiyo ina vikundi visivyopungua 15 vyenye watu zaidi ya 75 na kila mmoja alipatiwa Sh. 315,000 na zaidi ya Sh. milioni 200 zilitolewa kupitia mfuko wa jimbo.

Alisema shughuli nyingi za miradi ya maendeleo zilichelewa kwa sababu kulikuwa na mgawanyo wa Halmashauri ya Kinondoni na kuwa na Halmashauri mbili ya Ubungo na Kinondoni. “Msishangae kimya kirefu bila kuwa na mradi. Manispaa mpya ya Ubungo ilianza Novemba mwaka jana na shughuli rasmi zilianza Januari mwaka huu. Hivyo tulichelewa kurejea kwenu kuwaeleza kile tulichokusanya na kuanza kutekeleza na ndio sababu ilifanya miradi mingi katika kata yetu kuchelewa,” alisema Kwangaya.

BAKWATA Yacharuka..Yataka Mtu Aliyejitokeza na Kudai yeye ni Mtume Akamatwe Mara Moja

$
0
0
Baraza la ulamaa limetoa wito kwa vyombo vya dola kumchukulia hatua stahiki mtu aliyejitokeza katika Mkoa wa Pwani na kudai yeye ni Mtume.

Akizungumza leo nawaandishi wa habari kwa niaba ya Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Ally,  Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu Bakwata, Sheikh Hamisi Said Mataka amesema, anachodai mtu  huyo anayefahamika kwa jina la Hamza Issa kuwa yeye ni Nabii ni kitu ambacho hakipo kabisa katika mafundisho ya kiislamu.

Amesema kauli ya Issa kudai yeye ni mtume na kisha na kwamba ni muislamu na kutumia maandiko ya uislamu ni upotoshaji mkubwa ambao ukiachwa bila kudhibitiwa ni kuruhusu fujo na uvunjifu wa amani.

“Kwa mujibu wa maelezo yaliyoenea katika mitandao ya kijamii na ya kutoka baraza za Masheikh wa Mkoa wa Pwani chini ya kiongozi wake Sheikh na Qadhi wa Mkoa wa Pwani, amedai kuwa yeye ni Nabii Ilyasa kwa maana ya kwamba roho ya Nabii Ilyasa imemuingia yeye Hamza Issa na kwa hiyo yeye wamekuwa Nabii Ilyasa” amesema Sheikh

Ameongeza maelekezo na mafundisho ya uislamu yako wazi kuwa hakuna Mtume mwingine katika Uislamu baada ya Mtume Muhammad (S.A.W) na kwamba upatikanaji wa MTU ndani ya uislamu na kudai kuwa yeye ni Mtume ni kutaka kuamsha hisia Kali za waislamu nchini.

“Baraza la Ulamaa linapenda kuwafahamisha waislamu kwamba, yeyote atakayemfuata mpotoshaji huyu atakuwa ametoka ndani ya uislamu” amesema Sheikh Mataka.

Pia Baraza limetoa wito kwa Masheikh wa Mikoa, Wilaya na viongozi wa taasisi mbali mbali za Kiislam kutotoa fursa ya aina yoyote kwa huyo anayejiita Nabii ( Hamza Issa), ili kuzuia kuipotosha jamii.

HARMONIZE : Video za Utupu Alizorekodiwa Wolper Ziliniumiza Sana....

$
0
0
Msanii huyoamedai skendo kubwa ya Wolper iliyomtikisa ni yeye kusema hadharani alirekodiwa video za utupu na mpenzi wake wa zamani ila akajipa moyo akiwaza mbona hata Kim Kardashian alirekodiwa?

VIDEO:

VIDEO: Zari Aondoa Stress za Mimba ya Hamisa Mobeto Kwa Style Hii

$
0
0
Zarithebosslady mama watoto wa diamond platinumz akiwa Uganda kampala kwa mama yake mzazi na dada zake pamoja na rafiki zake wakidance kwa pamoja, kukata viuno yaani viuno bila mfupa.
Inasemekana Zari na Diamond Platinumz wako kwenye missunderstanding iliyomfanya Zari kukimbilia Uganda kupunguza stress za mume wake diamond baba tifa kumpa mimba Hamisa Mobeto na kuwa na mahusiano na warembo wengine. video:
Viewing all 104670 articles
Browse latest View live




Latest Images