Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live

Mawakili wa Lissu Wazuiwa Kumuona

$
0
0

Wakili wa Tundu Lissu, Fatma Karume amesema mpaka sasa hajaruhusiwa kumuona mteja wake licha ya kufika Polisi Makao Makuu tangu asubuhi.

Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa, Julai 21, Karume aliyekuwa na wakili mwingine wa Chadema, Peter Kibatala amesema wameambiwa Lissu hatapelekwa mahakamani kwa sasa kwa kuwa upelelezi haujakamilika.

“Tupo hapa tangu asubuhi, tunaambiwa hatuwezi kumuona kwa sasa, lakini jambo la kushangaza ni kuwa tunaambiwa hatapelekwa mahakamani kwa kuwa uchunguzi haujakamilika ingawa kosa bado halieleweki,” amesema.

Amesema polisi wamewaambia mawakili wa Lissu kuwa hata dhamana kwa leo haitawezekana kwa sababu upelelezi haujakamilika.

KWA Hili Nitawachukia Wanawake Milele...Na Sitowasamehe

$
0
0
Naandika nikiwa na kilio cha jitimai na majonzi yasiyoisha milele.

Mwezi desemba mwaka jana nimefunga ndoa na mke wangu.

Lakini tangu tufunge ndoa nikawa na mashaka na mwenendo wa mke wangu.

Wiki mbili zilizopita nilipata jambo la ajabu. Mke wangu kaniambukiza ugonjwa wa ngono. Nilipomuuliza akadai kuwa hajui amepataje.

Nikimweleza twende hospitali anakataa. Nimeenda nikatibiwa na naendelea na tiba.

Juzi usiku nikiwa nataka kupata ukweli nikaja nyumbani na kumwomba tuongee chumbani. Nikatumia mbinu ya kijeshi nikatoa bastola yangu ambayo hajawahi kuiona hata siku moja na nikaanza kumsaili.

Mke wangu akanitajia orodha ya wanaume aliotembea nao ktk kipindi hichi cha ndoa ya miezi 5 inatisha. Katembea na wanaume sita tofauti.

Nilijikuta napoteza nguvu na fahamu. Nilipozinduka mke wangu kadai tutengane kwani dhambi aliyonitendea haipaswi kumsamehe.

Kila baada ya kama masaa 3 napoteza fahamu. Ndugu zangu hawana taarifa. Lakini ndugu na wazazi wa mwanamke wanajua kinachoendelea.

Ni ngumu kuamini ktk hali ya kawaida lakini najikuta kila akija mwanamke akija kunijulia hali nataka kuzimia tu na napata hasira.

Sitofika kupenda tena na nawachukia wanawake hata mama yangu mzazi aliyenizaa.

SHEIKH Khalifa Khamis Akamatwa na Jeshi la Polisi

$
0
0
Mwenyekiti  wa Taasisi ya Imamu Bukhary, Sheikh Khalifa Khamis, amekamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam na kuhojiwa kwa saa tisa.

Kwa mujibu wa Gazeti la Mtanzania, Sheikh Khalifa alifika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam jana saa nne asubuhi na kuhojiwa kwa muda mrefu, huku ikiwa haifahamiki hasa sababu za kushikiliwa kwake.

Taarifa zilizopatikana  jana jioni zilidai kuwa polisi walikuwa wamepanga kumchukua sheikh huyo kwa ajili ya kwenda kupekua nyumbani kwake. Hata hivyo hadi  saa mbili usiku alikua bado anashikiliwa polisi.

Kwa nyakati tofauti jana Sheikh Khalifa mwenyewe aliliambia gazeti la Mtanzania  kuwa alipofika kituoni alielezwa na polisi kwamba ameitwa kuhojiwa kuhusu tuhuma za uchochezi.

Alisema kwamba alihojiwa kuhusu kuunga mkono kauli ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, juu ya masheikh wa uamsho na hatua yake ya kuwataka waumini wa dini ya kiislamu kuungana kutetea haki za Waislamu waliopo katika magereza mbalimbali nchini.

“Wameniuliza mambo ya kumuunga mkono Lowassa na pia waliniuliza kwanini niliwataka Waislamu nchini kuungana kuwatetea Waislamu waliopo kizuizini kwa makosa ya kubambikwa.

“Hadi sasa niko hapa polisi bado nasubiri ni nini kitaendela kama wataniachia au watanibakisha hapa hatujajua,” alisema.

Alichosema Sheikh Khalifa
Baadhi ya mambo aliyoyasema Sheikh Khalifa katika mkutano wake na waandishi wa habari jumapili ya wiki hii.

“Tunaiomba Serikali iweke wazi kwa nini hairuhusiwi kwa sheikh au mtu yeyote aliyewekwa ndani gerezani  kuonwa na zaidi ya mtu mmoja hadi siku 14 zipite, yaani akija mkewe au ndugu yake leo kuonana naye  ipite siku 14 ndio aje ndugu yake mwingine kumuona hayo mambo hayapo na hayamo katika sheria.

“Tunampongeza Lowassa kwa kuona kwamba jamii miongoni mwa Watanzania inadhalilika  na haitendewi haki na kama yeye aliyasema maneno haya kwa kutafuta faida za kisiasa hayo ni maneno yake lakini aliyoyasema ni haki na kweli,” alisema sheikh Khalifa.

Kauli ya Lowassa
Akiwa katika futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara, Lowassa alitaka serikali iharakishe kesi za masheikh wa uamsho na kama baadhi yao hawana makosa waachiwe huru.

Alisema wakati wa kampeni za mwaka 2015, alitoa ahadi nyingi ikiwa ni pamoja na kupitia upya mikataba ya madini, pamoja na kuwaachia masheikh wa uamsho hivyo kama Rais John Dk. Magufuli amefanyia kazi la madini, afanye hivyo pia kwa masheikh hao.

Credit: Mtanzania

MUGABE Apania Kuwafunga Wabakaji Miaka 60 Jela

$
0
0
Serikali ya Zimbabwe imependekeza adhabu ya kifungo cha miaka 60 jela kwa watu watakaopatikana na makosa ya ubakaji watoto chini ya umri wa miaka 12 na walemavu nchini humo.

Kwa mujibu wa gazeti la 'The Herald' la nchini Zimbabwe linasema kuwa adhabu ya kifungo kisichopungua miaka 40 jela kitawahusu wale wote watakaokabiliwa na kesi za ubakaji kama hatua ya kukomesha unyama huo.

Rasimu ya mapendekezo ya kurekebisha Sheria ya Uhalifu, imefanyika baada ya kilio cha wananchi kufuatia kuongezeka kwa visa vya ubakaji nchini humo.

Takwimu za Kipolisi zinaonyesha kwamba, takribani wasichana 325 walibakwa kwa mwezi mwaka jana na wengi wao wakiwa na umri wa kati ya miaka 11 na 15 hali hiyo ikimaanisha kila siku matukio zaidi ya 11 ya ubakaji hutokea.

JAMANI Nisaidieni Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbele Itaniua-Am Addicted

$
0
0
Mwenzenu ni mwathilika na uwani na sasa natamani kuiacha lakini nashindwa.. nakumbuka mara ya kwanza nilikutana na sister muasi aliyefukuzwa utawa huko Ukerewe sijui ni kwanini.. nilikutana na dada huyu bandari ya Mwanza akishuka katika meli ya MV Clerias kutoka uk..kama ilivyo ada katika maongezi yetu hapa na pale akanipa fully story ya yeye kupigwa chini huko jimboni na kwa sababu hiyo hata kwao nao hawamtaki kumuona na alikuwa anakuja Mwanza kwa rafiki yake kuja kuyaanza maisha mapya..akaniomba kama niko single nimuokoe kwani hana uhakika na rafiki yake nikaona pooua!!!!!!!!!! Tukaanza maisha , Siku Moja akaniambia leo nataka nikupe zawadi sikujua ni zawadi gani!! nikiwa nzsubiri nijue zawadi gani nikashangaa PANGA langu linashikwa na kuelekezwa Uwani ni kwa kweli nilisikia raha na joto la hali ya juu na mbanano ambao cjawahi kuupata,toka siku hiyo mambo yakawa Uwani kwa kwenda mbele sasa huyu dada amesafiri na mimi nataka nitumie muda huu niache huu mchezo wa Uwani lakini kila nikijitahidi nashindwa jamani na mbaya zaidi kila nkichukua demu mambo ni yale yale yaani anakuwa mshabiki wa Uwani na inaniwiya vigumu sana ni mademu zaidi ya sita sasa wote wafuasi wa huko nikipiga chakwanza nikiomba tena naambiwa nihamie uwani na kosa nikihamia Uwani huyo demu ananiganda sasa bandug nifanyeje?

NAOMBA KUWASILISHA

By Qu

KUTANA na Tabibu wa Tiba za Asili Maalim Issa Najimu Mwenye Uwezo wa Kutibu Magonjwa.... Tiba Asilia

$
0
0
KUTANA NA TABIBU MWENYE KUBRI KUTOKA KWA ALAH MAALIM ISSA NAJIMU.
NI SHARIFU MWENYE UWEZO WA KUBAINI TATIZO LAKO PUNDE TU UNAPO MFANYIA MAWASILIANO KUPITIA WASAA NA SIKU KWA MAWASILIANO:-
MAALIM ISSA NAJIMU KUTOKA MKOA WA TANGA MWAMBONI MAGOFU KATA YA NGUVU MALI NCHINI TANZANIA,

NI TABIBU MWENYE KUBRI TOKA KWA ALAH ANATIBU KWA NJIA YA VITABU VYA
QUR-AN, DAWA ZA ASILI PAMOJA NA DAWA ZA KIARABU.

ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE / MKOA WOWOTE KWA MATATIZO YAFUATAYO:-


ULIJALI (NGUVU ZA KIUME)
MIGUU KUWAKA MOTO
KUTAFSIRI NDOTO
MFARAKANO WA WANANDOA
MFARAKANO KAZINI
KUPANDSHWA CHEO
KUTOA PETE YA BAHATI
ANAO UWEZO WA KUPANDIKIZA NYOTA YA KUBASHIRI
KUFUNGUA UZAZI KWA WALIYO FUNGWA KWA NJIA YA USHIRIKINA
KUTOA VIFUNGO VYOTE VILIVYO FUNGWA IKIWA NI KWENYE MWILI WA BINADAMU
MAJUMBANI NA KWENYE BIASHARA.
ANA UWEZO MKUBWA WA KUPANDIKIZA NYOTA YA KUMPATA YEYOTE UMPENDAYE KWA KUMUOA AU KUWA NAYE.
ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA ALIYE MBALI PIA ALIYE CHUKULIWA KWA NJIA YA MSUKULE
ANAO UWEZO WA KUUA KESI SUGU NA PYA NDANI SIKU 7 TU.
MENGINEYO MENGI ZAIDI YALIYO KUWA SUGU


PIGA SIMU-
 Mobile; 0717 70 32 41. 
 WhatsApp 06226 535419

TAZAMA Picha Mama Zari Alivyozikwa Uganda, Diamond Ashiriki Mwanzo Mwisho....

$
0
0
Mama mzazi wa Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Halima Hassan aliyefariki dunia Alhamisi hii asubuhi, baada ya kuugua kwa wiki kadhaa na kulazwa hospitali amezikwa Ijumaa hii katika Kitongoji cha Munyonyo, Kampala.

 Kifo cha mama Zari ambaye alizaliwa Mei 15, 1959, kimekuja ikiwa ni takribani miezi miwili tu tangu mkwe wake, Ivan Semwanga, aliyeaga dunia Mei 25 mwaka huu huko Steve Biko Academic Hospital nchini Pretoria, Afrika Kusini.

Diamond ambaye ni mpenzi wa Zari, alisafiri na team yake ya WCB kwaajili ya kushiriki mazishi hayo. Angalia picha za mazishi.



MWANAMUZIKI A.Y Ampongeza Mpenzi Wake Kwa Hili

$
0
0
Baada ya kumvisha pete uchumba wake wiki iliyopita, rapper A.Y amempongeza mpenzi wake huyo kwa kuhitimu masomo yake.



Kupitia mtandao wa Instagram, rapper huyo amemposti na kumpongeza mrembo huyo kwa kuandika “I’m so proud of you..Congratulations Engineer Remy ❤️❤️❤️❤️ 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿.”

Kwa mujibu wa vyanzo vya karibu vimedai kuwa huwenda rapper huyo hivi karibuni akauaga ukapera rasmi kwa kufuata nyayo za mswahiba wake Mwana F.A

Wiki chache zilizopita msanii huyo aliudhulia harusi ya msanii mkongwe na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule a.k.a Proffesa Jay ambaye alifunga ndoa jiji Dar es salaam na kuudhuliwa na mastaa kadha akiwemo Diamond Platnum,Harmonize, Lady Jay Dee, Elizabeth Michael na wengineo.

JERRY Muro Aivua Nguo Yanga, Adai Kuna Wanafiki

$
0
0
Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Jerry Muro amesema kuwa ilikufanikiwa katika utendaji ndani ya uongozi wa mabingwa hao wa kihistoria ni lazima kuangalia ni nani anakuletea ushauri.


Muro ameyasema hayo ikiwa ni sikuchache tu zimepita tangu Yanga imtangaze msemaji mpya wa timu hiyo, Dismass Ten aliyochukua nafasi yake.

“Yanga kuna majungu watu wanapenda wafanye vitu vyao, kuna wanafiki ambao watakwambia ufanye hiki ukikifanya unaingia chaka”. Amesema Jerry Muro aliyekuwa msemaji wa klabu hiyo.

Muro ameongeza kwa kusema kuwa “Wapo Yanga SC watu wenye msaada wa kweli, wazuri sana, wenye akili na wenye mapenzi ya kweli kuhakikisha Yanga inakuwa kama TP Mazembe watu wote hao wapo Yanga”

“Unachotakiwa kufanya ni kufungua macho kuangalia ni nani anakuletea ushauri, maana kuna mwingine anakuletea ushauri wakati yeye kashindwa kuongoza nyumba yake kaachana na mkewe ,hajali watoto wake yeye mwenyewe kufua nguo hafui nguo maisha yake yamemshinda”

Mungu anasema unapojipenda nafsi yako wewe mpende na jirani, kaka kama MTU kashindwa kuendesha familia yake kamwe hawezi kuendesha Yanga”. Muro ameyasema hayo kupitia chombo cha habari cha UFM radio.

MSANII Barakah The Prince Ajitoa Kwenye Lebo ya ALI KIBA RockStar4000..Adai Haya

$
0
0
Msanii wa Bongo Flava, Barakah The Prince amejitoa chini ya usimamizi wa RockStar4000.

Muimbaji huyo amesema kuondoka kwake hakuhusiani na Alikiba ambaye ni mmoja kati ya director wa label hiyo bali ni baadhi ya mambo na uongozi wa RockStar4000 hayajakaa sawa.

“Sipo chini ya RockStar kwa sababau mimi ndio bosi wa muziki wangu, halafu mwisho wa siku mimi ndio nafanya kazi kwa hiyo kukiwa na vitu ambavyo haviko sawa kwa upande wangu naweza kutoa kauli ya mwisho kwa hiyo sipo RockStar kuna vitu ambavyo havipo sawa,” ameiambia XXL ya Clouds Fm.

Alipoulizwa kama kujitoa kwake kuna uhusiano na Alikiba kuwa miongoni mwa wamiliki wa label hiyo, Baraka amesema, “Hapana hili haliwezi kuwa tatizo kwa sababu Alikiba ni director wa RockaStar mimi nijitoe, hapana!!, sema kuna vitu havipo sawa kati yangu na uongozi wa RockStar wao kama wao ambao nilisaini nao, mimi sijasaini mkataba na Alikiba. Kwa hiyo ukiona chochote cha Barakah ipo under Barakah”.

TUNDU Lissu Agoma Kupimwa Mkojo......

$
0
0
Tundu Lissu(Mb) amekataa kupimwa mkojo baada ya kufikishwa kwa Mkemia

Asema kipimo hicho hakihusiani na tuhuma za uchochezi

Taarifa za awali ziliarifu kuwa, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Tundu Lissu kutolewa Kituo cha Polisi cha Kati leo mchana, amefikishwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali na kupimwa mkojo.

Mapema asubuhi, mawakili akiwamo Fatma Karume walizuiliwa kuonana naye huku Jeshi la Polisi likisema litaendelea kumshikilia hadi uchunguzi utakapokamilika.

Mbunge huyo wa Singida Mashariki amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akielekea Kigali, Rwanda kwenye kikao cha Halmashauri ya EALS kilichoanza jana.

"Kabla ya kuelekea nyumbani kwake Tegeta, wamempeleka kwa mkemia mkuu na ameshapimwa mkojo, sasa sijui ni kitu gani wanachunguza, kwa sasa wameshaelekea nyumbani kwake kwa ajili ya kumpekua,"amesema Mrema.

Licha ya kulala rumande hakuna aliyeruhusiwa kuingia na kumuona Tundu Lissu wakiwamo wanasheria wake. Mbali na Fatma, wengine waliokuwapo ni Peter Kibatala na Frederick Kihwelo.

MTANDAO wa Marekani Waitaja Tanzania Kuwa Sehemu Bora ya Kutembea Afrika

$
0
0
Taifa la Tanzania limetajwa kuwa kivutio kizuri cha safari za watalii barani Afrika kulingana na mtandao wa SafaricBookings.com ambao ndio mtandao mkubwa wa ukuzaji wa safari za Afrika.


Mtandao huo ulifanya tathmini ya zaidi ya wataalam 2500 na wale walioshiriki katika safari hizo kabla ya kutangaza kuwa Tanzania ndio eneo bora la safari mwaka 2017.

Tathmini hizo ziliandikwa na watalii walioenda safari pamoja na wataalam bingwa wa Afrika.

Mtandao huo unasema kuwa uchanganuzi huo pia ulibaini kwamba Tanzania ilipata umaarufu wake kutokana na idadi ya wanyama mbali mbali.

Watu maarufu katika miezi ya hivi karibuni wamekuwa wakizuru taifa hilo wakitembelea maeneo tofauti ya vivutio vya utalii nchini Tanzania.

Watu hao ni mwanamuziki maarufu Usher Raymond, aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Manchester United na Real Madrid David Beckham, aliyekuwa mchezaji wa Liverpool Mamadou Sakho , mchezaji wa Everton Morgan Schneiderlin na nyota wa filamu kutoka Marekani Will Smith na Harrison Ford.

Walitembelea mbuga za Serengeti na mlima kilimanjaro.

Mtandao huo uliitaja Zambia kuwa taifa lenye kivutio kizuri cha misitu huku wataalam wote wakikubaliana kwamba mazingira ya misitu nchini humo mi mazuri zaidi.

Vilevile Zambia pia ilitajwa kuwa taifa lenye maisha bora ya ndege.

Namibia na Kenya zilitajwa kuwa bora katika mandhari mazuri pamoja na ndege waliopo mtawalia.n

RAIS Magufuli: Wawekezaji Wakichelewa Kufanya Mazungumzo na Serikali Nitafunga Migodi yote nchini

$
0
0
Akizungumza na wananchi akiwa eneo la Kakonko,Kigoma,maghiribi mwa Tanzania,Rais Magufuli ameonya kufunga migodi yote iwapo wawekezaji wataendelea kuchelewa kwa ajili ya mazungumzo.

Rais Magufuli ameyasema hayo leo katika mkutano wa hadhara katika wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma ambapo yupo kwa ziara ya siku tatu. Amesema haiwezekani makampuni hayo yanaendelea kuwa kimya wakati wameshakubaliana kuanzisha mazungumzo haraka.

"Makampuni ya madini yaliyoahidi kukaa na serikali kuzungumza, wafanye haraka wakiendelea kuchelewa nitafunga migodi yote wanayomiliki" Rais John Pombe Magufuli

Wakati huo huo, Wizara ya Nishati na Madini ya Tanzania imesimamisha shughuli za utoaji leseni za utafutaji na uchimbaji madini, mpaka tume ya madini itakapoundwa na kuanza kufanya kazi rasmi.

Emmanuel Mbasha amtolea uvivu Madam Flora

$
0
0

Aliyekuwa mume wa Flora Mbasha ‘Madam Flora’ ambaye pia ni mzazi mwenziye, Emmanuel Mbasha ameibuka gumzo mitandaoni baada ya kuandika ujumbe wa ghadhabu unaodaiwa kuwa huenda ni dhidi ya mtalaka wake.

Mbasha aliandika ujumbe huo kama majibu, baada ya hivi karibuni kusambaa kwa taarifa ambazo si za kweli zilizodai kuwa Flora alifanya mahojiano na kituo kimoja cha redio na kutoa maneno ya kashfa dhidi ya Mbasha, akisema uvivu wake kitandani ndiyo chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yao, ambapo Flora alikanusha vikali taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Baada ya taarifa hizi kutua mezani kwa Emmanuel, alipiga kimya kwa muda kutokana na kuwa bize na msiba wa bibi yake, lakini baada ya mazishi, akaingia kwenye mahakama ya mastaa , Instagram na kuandika ujumbe huu.

“Sipendi ujinga kabisa kwani hamuwezi kuuza hicho kidaftari chenu mpaka mtafute kiki kwangu?, acheni hizo mnaniingiza kwenye upumbavu wenu ili mkiuze hicho kidaftari chenu, Mbona wengine wanauza vyao kwa utaratibu mzuri, sipendi kabisa mie naingiaje kwenye hizo ishu za huyo mwanamke miaka zaidi ya 3 siko nae, na ni mke wa mtu na wewe hembu tulia na mmeo huko tena ukome kunitajataja.

Huoni hata haya eti unakiita kidaftari jina langu si uite la mumeo huyo, kunitajataja tu, taja jina la huyo bwana ako sijui nani vile! asinihusishe, usinihusishe Mnikome mbona mie siwafatili na bwana ako kwa lolote lile, kila mtu apambane na hali yake, pambana na hali yako,” alisema Mbasha.

Alichokiandika Mbasha;

Walichochukua polisi nyumbani kwa Lissu

$
0
0

 Baada ya jeshi la polisi kumkamata Tundu Lissu siku ya Alhamsi uwanja wa ndege akiwa anaelekea nchini Rwanda. Jana jeshi hilo lilikwenda kufanya upekuzi nyumbani kwa Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa chama hicho.

Siku ya jana Ijumaa ya tarehe 21/07/2017  jeshi la polisi walimchukua Tundu Lissu na kwenda naye mpaka kwa Mkemia Mkuu wakiwa na lengo la kutaka kumpima mkojo kabla ya kuelekea nyumbani kwake kufanya ukaguzi. Lakini kiongozi huyo aligoma kufanya kipimo hicho kwa madai kuwa tuhuma anazotuhiwa haziendani na vipimo hivyo.

Kwa mujibu wa Tumaini Makene ambaye ni Afisa habari wa (CHADEMA) anasema kuwa jana polisi baada ya kufanya ukaguzi nyumbani kwa Tundu Lissu waliweza kuchukua CD 6 na kuondoka nazo. 

"Jeshi la Polisi bado linamshikilia, Mhe. Tundu Lissu, Kwenye upekuzi jana nyumbani kwake walichukua CD 6 za 1996 zinazohusu masuala ya mgodi wa Bulyag'hulu, Shinyanga" ilisema taarifa ya CHADEMA

Leo ni siku ya pili toka kiongozi huyo anashikiliwa na jeshi la polisi Dar es Salaam lakini Wakili Peter Kibatala pamoja na Wakili Fatma Karume wa IMMA Advocates kwa upande wao wanasema wanaendelea na juhudi za kisheria kuhakikisha kiongozi huyo anapatiwa dhamana au kufikishwa mahakamani mapema iwezekanavyo.


Source: Eatv

Kajala Ang'olewa Kucha na Wahuni

$
0
0

STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni yalimkuta makubwa jijini Mwanza baada kunyofolewa kucha na wahuni alipokuwa kwenye majukumu ya kazi yake anayoifanya kwa sasa ya kampuni ya mchezo wa kubahatisha.

Akipiga stori na Risasi Jumamosi, Kajala alisema kuwa alikuwa kwenye harakati za kazi yake anayoifanya kwa sasa kwenye kampuni hiyo ambapo alikuwa akigawa tisheti ndipo mashabiki wakaanza kumvuta mkono mpaka kumbandua kucha aliyokuwa amebandika mkononi ambayo iliondoka na ukucha wake na kujikuta akipata jeraha na kumwaga damu nyingi.

“Yaani mimi nilikuwa sina ili wala lile nagawa matisheti mara wakaanza kunivuta kwa nguvu mpaka wakaitoa kucha yangu, hali hiyo ilinitesa asikwambie mtu jeraha la kucha linauma sana,” alisema Kajala.

Aliongeza kuwa, baada ya kucha yake kubanduka alitoa kilio kikubwa kwani alipata maumivu yaliyosababisha ashindwe kuendelea na majukumu yake.

“Maumivu niliyopata yalikuwa ni makali mno kiasi ambacho nilishindwa kufanya kazi yangu, nilipata matibabu ambapo kwa sasa naendelea vizuri,” alisema Kajala.

Msanii huyo amewaasa wasichana wenzake kuwa makini na kucha za kubandika kwani zikitoka kwa mtindo huo zinasababisha maumivu.

Justin Bieber Apigwa Marufuku China kwa 'Utovu wa Nidhamu

$
0
0

Nyota wa muziki wa Pop kutoka Canada Justin Bieber amepigwa marufuku kutumbuiza nchini China, kwa mujibu wa Wizara ya Utamaduni nchini humo.

Taarifa ya wizara hiyo imesema haifai kwa watumbuizaji ambao wamejihusisha katika "utovu wa nidhamu" kuruhusiwa kuingia nchini humo.

"Justin Bieber ni mwimbaji mwenye kipaji, lakini pia ni mwanamuziki kijana mwenye kuzua utata," amesema.

Taarifa hiyo imetolewa kujibu swali lililokuwa limeulizwa na mmoja wa watu katika tovuti ya wizara hiyo.

"Twatumai kwamba Justin Bieber atakapokomaa, anaweza kuendelea kuimarisha maneno yake na matendo, na kuwa mwanamuziki anayependwa kwa dhati na umma," taarifa hiyo imesema.

Mwandishi wa BBC jijini Beijing John Sudworth anasema China inaonekana sasa kumuweka Bieber katika orodha sawa na Dalai Lama na watu wanaopigania kujitenga kwa Taiwan, japo labda chini yao.

Taarifa hizo zimetolewa baada ya wizara hiyo kujibu maswali kuhusu shabiki mmoja aliyeshangaa ni kwa nini hakuna ukumbi hata mmoja umetajwa kuwa utakuwa mwenyeji wa Bieber ilhali anatarajiwa kuanza ziara yake Asia karibuni.

Bieber aliwahi kuzuru China mwaka 2013, lakini sasa amejiunga na orodha ndefu ya wanamuziki waliopigwa marufuku nchini humo.

Wengine ni bendi ya Uingereza kwa jina Oasis na kundi la Marekani kwa jina Maroon 5, ambao wamepigwa marufuku kwa sababu ya misimamo yao ya kisiasa badala ya tabia.

Mwaka 2014, Bieber, maarufu kwa wimbo wake Sorry alizua utata baada ya kupakia picha aliyopigwa akitembelea madhabahu ya Yasukuni jijini Tokyo.

Madhabahu hayo nchini Japan yalijengwa kwa heshima ya wanajeshi waliouawa vitani pamoja na wahalifu wa kivita lakini nchini China na Korea Kusini, hutazamwa kama ishara kwamba Japan haijajutia makosa yaliyotendwa na watawala wa nchi hiyo China na Japan miaka ya nyuma.

Amshitaki Mkewe Kwa Kumzalia Watoto Wenye Sura Mbaya......

$
0
0

Gazeti la mtandaoni la KINEDA limeripoti habari yenye msisimko wa kipekee, ambapo mwanaume mmoja aitwaye Jian Feng, amemshitaki mkewe kwa kumzaliwa watoto wenye sura mbaya. Bwana Feng anasema alimuoa mkewe kwa furaha na upendo, lakini furaha hiyo imetoweka na kuwasababishia mfarakano wa kindoa baada ya mkewe huyo kumzalia watoto wenye sura mbaya kiasi hata cha kuwaogopa.

Kwa kujitazama utanashati wake, pamoja na urembo wa mkewe, bwana Feng hakuamini kama watoto wale wangekuwa ni wa kwake, hivyo alimshutumu mkewe kwa kukosa uaminifu katika ndoa. Lakini hata hivyo, vipimo vya DNA vilithibitisha kuwa watoto wale ni wa kwake.

Kwa bahati, baadaye mke wa Feng, alikuja kukikiri wazi na kuthibitisha kwamba, huko nyuma kabla hawajafunga ndoa, alipata kutumia kiasi cha dola $100,000 (€77,000) kufanyiwa upasuaji nchini Korea Kusini wa kujibadili mwonekano wake (Cosmetic surgery).

Kufuatia kukiri huko, Feng alimshitaki mkewe kwa kosa la kugushi mwonekano, na kutosema kweli juu ya upasuaji aliofanya kiasi cha kupelekea aonekane mrembo kinyume na uhalisia. Jaji alikubaliana na malalamiko ya Feng, na kumtakama mke alipe fidia ya dola $120,000 (€102900).

Okoa Ndoa Yako Sasa...Ongeza Nguvu na Hamu ya Tendo la Ndoa Kwa Kuwasiliana na Hawa

$
0
0

OKOA NDOA YAKO SASA. ONGEZA MAUMBILE, NGUVU NA HAMU YA TENDO LA NDOA HATA KWA WENYE KISUKARI.
Tatizo la maumbile madogo, nguvu za kiume na ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa limekuwa likiwasumbua wengi na kusababisha kushindwa kujiamini ktk tendo hivyo kusababisha ndoa nyingi kuvunjika pamoja na mahusiano. Upungufu wa nguvu na hamu ya tendo husababisha mambo kama:-
(a)Uume kulegea wakati wa tendo
(b)Kukosa hamu ya tendo la ndoa
(C)Kuwahi kufika kileleni
(D)Uume kuchelewa kusimama baada ya round ya kwanza.
(E)Kuchoka sana baada ya round moja n.k
@Markson_beauty_pr Tunakuletea suluhisho la matatizo hayo kwa kutumia bidhaa zilizotengenezwa kwa mimea na matunda zisizo na kemikali wala madhara na kuthibitishwa kiafya. Pata hizi👇👇👇👇
🍉 🌿🍅🍒🍍🍓🍉🍎🍀
1.HANDSOME UP ni kifaa chenye uwezo wa 99 % kuongeza uume (size unayohitaji) na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @200,000/=
2.SHARK POWER ni gely ya kupaka inayoongeza uume kwa wastani wa inch 6.5 @130,000/=
3.Vidonge maalum kwa ajili ya nguvu na hamu ya tendo la ndoa hata kwa wenye kisukari @130,000/=
4.Spray ya kuchelewesha kufika kileleni na kuweza kurudia tendo hata mara 3 @130,000/=
Kwa Bidhaa hizi na nyingine kama:-
5.Kupunguza unene na manyama uzembe @150,000/=
6.Kuondoa mvi milele zisiludi @130,000/=
7.Kutengeneza shepu (hips, makalio na mapaja) @200,000/=
8.Kupunguza tumbo (kitambi) na nyama za pembeni @120,000/=
9.Kuwa mweupe na soft mwili mzima bila kuacha sugu 120,000/=
10.Kurudisha usichana (bikra) @120,000/=
11.Kupunguza au kuongeza maziwa na kuyasimamisha hata kwa walionyonyesha @120,000/=


Wasiliana nasi kwa (+255)
0767447444 au 0714335378


NB: Matokeo ni uhakika na garantii na upate risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii.
Follow us
@Markson_beauty_pr

Tandika: Daladala yagonga Treni, Wawili Wafariki Dunia

$
0
0

Watu wawili wamekufa na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea leo asubuhi ikihusisha gari ya abiria aina ya coaster kukigonga kichwa cha treni maeneo ya Yombo Devis Kona.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Gilles Muroto amesema watu wawili wamefariki dunia akiwamo mwanamke mmoja na mwanaume mmoja ambaye ni kondakta wa daladala hiyo.

Muroto amesema mbali na watu wawili kufariki pia kuna majeruhi 36 wanne kati yao wakiwa mahututi.

Amesema majeruhi mahututi ni wanawake watatu na mwanaume mmoja.

“Majeruhi wite wanapatiwa matibabu katika hospitali ya Temeke na miongoni mwa majeruhi hao wanne wapo katika hali mbaya”amesema Kamanda Muroto.
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live




Latest Images