Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Haya Sasa Hamisa Mobetto Amechafua Hali ya Hewa Ndani ya Maternity Photoshoot Kali.....

$
0
0
Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot :


Askofu Gwajima Atangaza Kununua Ndege....

$
0
0
Kama maisha kwako ni magumu basi ni kwako tu mdau, Unaambiwa Yule Askofu wa kuliamsha Dude sasa ananunua ndege kabisaaaa......Ona alichoandika kupitia Instagram

From @bishopgwajima - I will soon bring this Jet to Tanzania for purpose of advancing the Kingdom of God! Its the hour of Life and Resurrection in the World!

Dada wa Diamond, Esma Platnumz Atoa Tamko Kuhusu Mimba ya Hamisa Mobeto Kuhusishwa na Kaka yake

$
0
0

Esma Platnumz ameandika haya kupitia ukurasa wa Instagarm

By @_esmaplatnumz - Hamisa Nirafiki yangu mzuri tu tunatembeleana na pia tunaalikana hata kwenye mashughuli masikini mwenyewe kajiamulia kujiongezea mtoto wake wa pili japo na misukosuko yote akanambia esma watoto ndio maisha yangu na familia yangu... lakini team wakayazua na yakuzua na kumpatia mababa kibao tumbo lake.. je hamfikirii hata hali yake jamani km sio mwanamke mwenzenu. Mi nachojua mwenyewe ndo anajua baba wa mtoto ni nani sisi hayo hayatuhusu. Tunachojua tunampenda basi alivyo ukimpenda mtu mpende km yeye tabia yake iache usiweke chuki au ukasababisha wengi wamchukie. Ifike mahali tuishi maisha yetu tuachane na uteam mi nampenda km yeye 😍

Msami Ajuta Kusema Irene Uwoya Alimtongoza....Afuta Kauli na Kusema Haya......

$
0
0
Baada ya msanii wa Bongo Flava, Msami kutoa kauli kuwa aliyekuwa mpenzi wake, Irene Uwoya ndiye aliyemtongoza, muimbaji huyo ameamua kuomba radhi kwa kutoa kauli hiyo.

Msamii amesema asingependa kuona mjadala huo unaendelea kwa sasa na anatamani mashabiki wa Irene waendelee kushabikia kazi zake na mashabiki wake pia waendelee kushabiki kazi za Irene, kwani ndio njia ya kuongeza fan base.

“Labda nimeongea vibaya nimemkwaza mtu I say sorry, naomba nisamehewe mimi ni mwanadamu labda naweza nikawa nimeropoka lakini namkubali Irene ni mtu ambaye nimeishi naye vizuri sana ameonyesha moyo mzuri sana, tukiwa pamoja, haitatokea nisema Irene ni mtu mbaya kwangu,” Msamii ameiambia E-Newz ya EATV na kuongeza.

“Sitaki kuiweka hiyo (kauli) tena kwa sababu nitarudi kule tena kwenye kuongea vitu pengine vinaweza kumkwaza mtu, ok naweka sawa… Mimi nilimtokea Irene…  chochote nitakachokuwa nimesema vibaya lets kill it,” amesisitiza.

Msami ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma mpya ‘So Fine’ aliyomshirikisha Chemical alikuwa mapenzini na mrembo huyo kutoka Bongo Movie kabla ya kutibuana.

Bongo5

Taifa Stars yaikuna COSAFA....Wamwaga Zawadi za Kumwaga

$
0
0

Baraza la soka kwa nchi za Kusini mwa Afrika (COSAFA), limetoa zawadi ya dola 10,000 kwa Taifa Stars ya Tanzania baada ya kushinda na kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya COSAFA yaliyofanyika mwezi uliopita nchini Afrika Kusini.


Fedha hizo ni sawa na shilingi milioni 22 za kitanzania ambapo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeamua fedha hizo kwa mgawanyo sawa, zitolewe kwa wachezaji wote walioshiriki fainali hizo pamoja na benchi la ufundi.

Kadhalika COSAFA limetuma fedha za zawadi kwa wachezaji wa Tanzania ambao walifanya vyema kwenye mchezo mmoja baada ya mwingine katika mashindano hayo ambayo yalikuwa na mvuto wa aina yake kwa mafanikio ya timu ya Tanzania.

Wachezaji hao ni Shiza Kichuya aliyeibuka mchezaji bora wa mechi kati ya Tanzania na Malawi; Muzamiru Yassin aliyeibuka mchezaji bora wa mechi kati ya Tanzania na Angola; Erasto Nyoni aliyeibuka mchezaji bora wa mechi kati ya Tanzania na Mauritius; Elius Maguri aliyeibuka mchezaji bora wa mechi kati ya Tanzania na Afrika Kusini.

Kipa bora wa michuano hiyo ni Said Mohammed aliyezawadiwa moja kwa moja na COSAFA kwa kuifunga Lesotho.

Tanzania ilishika nafasi ya tatu nyuma ya mabingwa Zimbabwe na Zambia iliyoshika nafasi ya pili.

VIDEO: Yanga Wawashia 'Moto' TFF na Vodacom

$
0
0
Uongozi wa  Yanga kupitia kwa mjumbe wa kamati  ya nidhamu Salum Mkemi umesikitishwa na bodi ya ligi pamoja na wadhamini Vodacom ligi kuu Tanzania Bara kutopewa mualiko katika hafla ya kukabidhi utoaji wa vifaa vya michezo kwa msimu wa 2017/18 ambao umefanyika jana, ambapo jezi za Klabu ya Yanga zilitambulishwa na Msemaji wa Simba Sc Haji Manara VIDEO:

Lipumba Amzuia Ndugai Kutelekeza Maamuzi ya Maalim Seif

$
0
0
Lipumba Amzuia Ndugai Kutelekeza Maamuzi ya Maalim Seif

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH shariffu musa Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

$
0
0
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH shariffu musa Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na shariffu musa Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.
Maalim Hussein Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi

+255 629793352 au watsap
+255 679119679

NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE...

HABARI NJEMA: Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeshusha Riba kwa Benki Kutoka 12% hadi 9%

$
0
0
Benki Kuu(BoT) imetangaza kushusha riba kwa Benki zinazokopa BoT kutoka 12% iliyokuwepo hapo awali hadi 9%.

Kwa mujibu wa taarifa hii ya Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa Ndani, Bi. Julian B. Raphael inataarifu kuwa utekelezwaji wa kiwango hiki kipya unaanza tarehe 7 mwezi huu mpaka hapo yatakapofanyika mapitio mapya.

Tarime: John Heche(Mb), Akamatwa na Polisi Kwa Tuhuma za Kuhamasisha Bangi na Uvamizi wa Mgodi

$
0
0
Polisi wamefika Nyumbani kwa Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche,
sasa Hivi wa naomba kuchukua simu zake zote na wanamueleze Kuwa anatuhumiwa kwa kuchochea wananchi kuvamia Mgodi wa ACIACIA. Kosa la Pili analotuhumiwa nalo ni Kuhamasisha Kilimo cha bangi. Alipokuwa kwenye Mkutano wa hadhara Silali, aliwaambia wananchi kwamba atapeleka Hoja binafsi bungeni ili bangi iwe zao la Biashara. Kwa sasa yupo chini ya Ulinzi.

=> Polisi Wamechukua simu moja na Ipad ila kakataa kuwapa Password.

=> Vilevile Polisi Wamemtaka Esther Matiko Mbunge wa CHADEMA Tarime Mjini, Kujisalimisha Polisi aunganishwe kwenye kesi ya Heche kwani na yeye alikuwepo kwenye Mkutano wa Silali.


UPDATES;1630hrs

Hatimaye Mbunge John Heche aachiwa kwa dhamana. "Wamemwachia Heche ila wamechukua simu zake zote na kumtaka afike polisi Jumatatu kwa mahojiano. Leo amekataa kuchukuliwa maelezo yoyote kwa kuwa hakuwa amekwenda Polisi kwa mambo hayo bali kushughulikia kukamatwa kwa Katibu wake, hivyo amejidhamini na kuondoka ila simu zimebaki Polisi"


Source:Jamii Forums


Nafasi za Kazi Zilizotangazwa Leo Ingia >>HAPA

Ameniambia Hayupo Tayari Kunfanya mapenzi mpaka pale nitakampotimizia malengo yake?

$
0
0
Jamani kuna mdada nimekutana nae siku za hivi karibuni na tangu nimeanza uhusiano nae kila nilimpojaribu kuomba game ananizingua tuu kwa sababu ana malengo yake amejiwekea?

Ameniambia endapo nitamiza moja ya malengo yake atakuwa yupo tayari Kufanya Mapenzi na mimi mpaka pale nitakapomtimizia malengo.

Haya ndio Malengo yake kwangu:


  • Kumpa mtaji wa kufanya biashara
  • Nimpangie chumba na nimnunulie baadhi ya vitu vya ndani .
  • Nimtafutie kwanza issue ya kufanya kwanza kipindi .


Kama nitaweza kutimiza kati ya hayoo basi yupo tayari Kufanya Mapenzi na mimi lakini licha ya hayo yote Bado ananipiga mizinga without Kufanya Mapenzi na mimi hadi nimtimizie LAKINI mizinga yake iko pale pale

Naombeni mawazo yenu MAANA haya masharti sio mchezo .


Nafasi za Kazi Zilizotangazwa Leo Bonyeza >>>HAPA

Madhara ya Kufanya Mapenzi Kipindi cha Hedhi

$
0
0
Kuhusu kujamiiana wakati wa hedhi; medically hakuna madhara yeyote yaliyothibitishwa kiafya kutokea kutokana na mtu/watu kujamiiana wakati wa hedhi, ISIPOKUWA zipo hatari zinazojulikana, nazo ni urahisi wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukiwemao UKIMWI japo vitabu vya dini kama biblia inakataza kujamiana wakati wa hedhi.

Cha msingi,unapotaka kufanya tendo hili wakati wa hedhi, ni vema ukashirikiana na mtu unayefahamu hali yake kiafya, preferably mkeo/mwenza wako muaminifu(aliyepima?), na kabla ya tendo ni vizuri akanawa vizuri hii itapunguza uwezekanao wa ku soil bed sheets na damu (but the good news ni; damu ya hedhi haigandi na haiwezi kuweka permanent stains kwenye shuka, sabuni kidogo, imetoka!)

Pia wataalamu wenaongeza kuwa, wakati wa hedhi wanawake wengi hupata raha zaidi kuliko kipindi kingine, pengine kwa kuwa huwa relaxed, na bila hofu ya kupata mimba Kitaalam wanasema hakuna madhara ya kitabibu zaidi ya STDs. Wengine wanasema inasaidia ku-relieve cramps.

Je Unatafuta Ajira? Hizi Hapa Nafasi 20 za Ajira zilizotangazwa Leo...Ingia >>HAPA

Unamkumbuka Mwanamuziki Grace Matata? Aibuka na Kufunguka Haya Kuhusu Mziki Wake na Watu Kutomwelewa

$
0
0
Msanii Grace Matata ambaye kwa sasa yupo nchini ya usimamizi wa kampuni kubwa ya kimataifa ya kusimamia muziki, ya Pana Music, ametoa maelezo kuhusu aina ya muziki anaoufanya na kusababisha mashabiki wengi kutomuelewa na kumkubali.

Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Grace Matata amesema muziki wake ni wa tofauti lakini una 'impact' kubwa, kwani yeye anafanya muziki unaoishi muda mrefu.

"Lengo langu ni kufanya muziki ambao unaishi kama Angelique Kidjo, ukimuangalia Angelique Kidjo muziki anaoufanya watu wengi hawaujui, lakini umemfanya achukue mpaka tuzo ya Grammy, huo ndio muziki ambao nafanya, muziki wangu hauitaji kiki ili niwe maarufu, watu wengi hawauelewi muziki wangu lakini watu wanaojua muziki mzuri wanauelewa sana ndio maana nafanikiwa kufanya show za live kila wiki na yenye kiingilio kikubwa", alisema Grace Matata.

Pia Grace Matata ambaye jana amezindua wimbo wake mpya wa 'Dakika Moja' akimshirikisha Wakazi, amesema yeye lengo lake ni kwenda kimataifa zaidi na ndio maana hata lugha anachanganya, ili hata watu wa nje waweze kuelewa muziki wake.

VIDEO: Barakah Da Prince Akataa Urafiki na Alikiba

$
0
0
Baada ya kuachana na record label ya RockStar4000, na kuaanzisha label yake ‘Bana Music’, msanii wa Bongo Flava Barakah The Prince amefunguka mahusiano yake kwasasa na Alikiba ambapo amesema hajawahi kuwa na urafiki wa aina yoyote na Alikiba isipokuwa...

VIDEO:

Polisi limetangaza Msako mkali kuanzia jumatatu kwa wafanyabiashara wa TV, Simu na Computer “USED”

$
0
0
Jeshi la Polisi kanda maalum Dsm limetangaza Msako mkali kuanzia jumatatu ijayo kwa wafanyabiashara na wauzaji wa television,Computer na simu za Mkononi zilizotumika maarufu Used’ baada ya kubaini katk maduka hayo kumekuwa maficho ya mali zinazoibiwa katika maeneo mbali mbali jijini dsm.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini dsm Kaimu Kamanda wa Polisi kanda Maalum Dsm Lucas Mkondya amesema katika miezi ya hivi karibu kumeibuka wizi wa Uvunjaji majumbani ambao wahalifu huchuku Tv hasa zile Flat screen ambapo jeshi hilo limebaini hupelekwa katika maduka hayo.

Jeshi hilo pia litawakamata watu wote wanaoendesha biashara ya magari yasiokuwa katika yard katika maeneo ya jiji la Dsm.

Aidha jeshi hilo pia kuanzia jumatatu litaendesha Msako wa Kukamata magari yote yenye Vioo vyeusi maarufu TINTED baada ya kubaini kuwa baadhi ya wahusika hujihusisha na Uhalifu na Uporaji,kuficha mali za wizi lakini pia kufanyia vitendo visivyofaa vya Uzinzi.

Akizungumzia matukio ya Uhalifu amesema watu wawili wanaosadikiwa ni majambazi wakiwa katika pikipiki eneo la upanga walimvamia na kupora kiasi cha milion 10 raia wa kihindi ambapo katika purukushani jambazi mmoja alikimbia huku aliyekuwa na bastora alidhibitiwa na kuuwawa na wananchi.

Aidha katika kutekeleza agizo la jeshi la polisi kwa majambazi waliohukumiwa na kutoka jela kujisalimisha polisi ili kujua shughuli zao,majambazi 24 wamejisalimisha huku 14 wametakiwa kujisalimisha au kusakwa na jeshi hilo.

Nifanyaje nini Niweze Acha Tabia ya Kupenda Majimama?

$
0
0
Mimi ni kijana wa Miaka 21 , Na umri wangu huu mdogo lakini nimesha experience vitu vingi katika mapenzi...mwanamke wangu wa kwanza alikuwa na miaka 41 mimi nikiwa namiaka 19, toka kipindi hicho mimi nimekuwa nikipenda wanawake wazima wenye umri mkubwa...na cha ajabu kila nikiwatongoza wanakubali wengi wao ni wake za watu ...Sasa imenikaa akilini nikimpata msichana mdogo siridhiki kabisa na mwishowe namuacha natafuta Mwanamke aliye nizidi umri...Tatizo wengi wao wameolewa sasa tunafurahishana tu alafu wanawahi kwa wanaume wao..Naombeni ushauri..

Je nifanyenje hizi feelings za kupenda majimama ziiishe?


Nafasi za kazi Ingia www.ajirayako.co.tz

Wadada Wengi Wa Mujini Watoto Wa Masikini Tunaishi Maisha Yasiyompendeza Mungu! Mungu Tusaidie!

$
0
0
Wadada wengi wa mujini, Mimi binafsi nikiwemo, single na wake za watu wakiwemo tunaishi maisha SO FAKE AND DANGEROUS. Standards are so high, sanctions so strict, desire ya kukubalika na kumaintain status inatuua na kufanya tusiolewe ama hata tukiolewa tusidumu. Ni hatari sanaaaa!

When i was like 12 form 1 my big sis alikuwa chuo na alikuwa ana mibuzi kaipanga foleni! Wababa watu wazima, vikaka, waume za watu, purukushani. I was so ashamed of her! Nilimuonaje bad influence! Enzi hizo nataka kuwa Sister! Chezeya! Now looking at my Zigo La Zambi, i feel ashamed of my self that i once was actually ashamed of my sister and like water i followed the same course. SAD! SAD! SAD!

The roller coaster of life is too fast for us to catch up! Mtu ndo mzuri, ushasoma bachelor na masters, kazi zenyewe majanga, mshahara majanga plus plus, kwenu ndo majanga square na bado inatakiwa umaintain status mjini hapa, kuchangia mashosti party, kuonekana viwanja, kumake appearance kwenye social events, kuvaa pamba grade 1, upange hata room 1, sio kula kulala kwa wazee. Yaani ili u survive You Better Be Paid. N the sister isn't paid. Kukubali kudeclare Bankruptcy nako kunataka roho ngumu sio mchezo. Matokeo yake ndo unatafuta financing kwa sie wenye roho za korosho.

Hapo ndo mwanaume kakuapproach humpendi ila ndo financing anaiweza, basi unamuweka Zombi kumkubali hukubali, kumtosa humtosi, kila siku kukopa wakati nia ya kulipa huna! Too much taking advantage of people. Hata kama hulali nae sawa hujazini ila Mwizi na Mlaghai. Wanaume lukuki unawamaintain kama backup plan!

Mtu unakuta kijana mwenzio mmeajiriwa wote juzi anakwambia njoo tuanze maisha, wapiiiiii! Ukipiga hesabu kupanga upande wa nyumba kimara, kujibanaaa, mtoto, harusi, unahisi kuzeeka ghafla! Mrs unapanda dala! Hataaa! Roho haijipi kabisaa. Matokeo yake tunaparamia senior bachelors waliojijenga siku nyingi kumaintain status. Hawa senior bachelors ni migumegume iliyomshinda mtume ukiolewa unatesekaje sasa. Jst the nxt 10 yrs wale reject zetu wanakuwa washatoka kimaisha afu sie bado tunang'aa sharubu! Majuto ni mjukuu siku zote. Mtu haolewi sio hajapata ila Hajabahatisha Bingo!!!!!!!! Na wengine hata akiolewa mafiga matatu kama kawa kufanikisha mambo nyumbani!

Tubadilike jamani!!!!!!!! For the better! Mungu Hapendi. (Mwenyewe napenda kweli kubadilika ila kudeclare BANKRUPTCY sio masiharaa! Kila nikijaribu kurudi kundini wapiiii!) Hahahaaaaaaaa!(Its not a laughing matter and im ashamed of my self)

Ukijisikia Kutukana We Tukana Tu Upunguze Nyongo Mwilini!!!!!!!!!!! Japo Akili ni Nywele Ila Sio Za Kwapani!

Fahamu Utundu ya kumvua Mpenzi wako chupi: Hali hii inaongeza msisimko kwa wote wawili.

$
0
0

Miongoni mwa vitu vinavyoleta mashamsham wakati wa kufanya mapenzi ni ule ustadi wa mwanaume kumvua chupi mwenzi wake kwani huweza kuongeza hisia si kwa mwanamke pekee bali hata mwanaume pia.

Zifuatazo ni hatua muhimu za kufuata baada ya kumchezea kiasi ili kumpa ashiki itakayomfanya ajue kwamba yuko katika eneo spesho hivyo aandae akili yake barabara.

 *Penyeza mikono yako taratiibu ndani ya chupi ya mwanamke wako na anza kuizungushazungusha kugusa kiunoni na makalioni kabla ya kuishusha mithili ya mtu anavyosafisha kabichi ile ya duara kabla haijakatwa, pia waweza binyabinya kimahaba makalio yake. 

Hii husaidia kuyasisimua makalio na sehemu zingine muhimu na kumfanya awe na shauku ya kungoja kwa hamu tendo litakalofuata.

*Ukiwa umejawa hisia za tamaa na hulka ya penzi lake, anza kuishusha chupi hiyo taratibu sana tena kwa step fupi fupi, unashusha kidogo unaendelea kumchezea sehemu mbalimbali, unashusha tena unamnyonya ulimi/kitovu,mpaka pale unapofanikiwa kuishusha kabisa.

*Baada ya kufanikisha kuiteremsha mpaka chini usiiweke taratibu bali irushe mbali kidogo  juu ya begi la nguo au chini. Hii humwonesha mwanamke jinsi gani ulikuwa na usongo wa kukutana naye kimwili jambo linalokuongezea credit na hivyo kumpa hisia za mahaba juu yako.

*Kuna wale wanaopenda kumvua chupi mwanamke kwakutumia meno baada ya kuibana kwenye pindo la juu huku kidevu,pua na mdomo vikimgusagusa mwanamke mapajani na kwenye kinena hii husaidia kumpandisha midadi za mwanamke huyo na kama mvua chupi ni fundi basi mwanamke huweza hata kukojoa hata kabla tango halijafanya kazi

Kutana na Maalim Fadhal Rashid Kutoka Komoro ni Mtaalam wa Tiba za Asili

$
0
0
KUTANA NA MAALIM FADHIL RASHID KUTOKA KOMORO NI MTAALAM WA TIBA ZA ASILI

UNASHIDA NA MCHUMBA UNATATIZO PESA HAIKAI KURUDISHA MUME AU MKE KWA MUDA MFUPI MVUTO WA MAPENZI

MVUTO WA BIASHARA KUMSHIKA MUME AU MKE ASIKUSUMBUE

DAWA YA ( LIMBWATA )KUMTAWALA MPENZI WAKO KWA SABABU MAALUM KUSAFISHA NYOTA ILI UWE NA MUONEKANO

NA PIA ANATOA PETE YA BAHATI INAYO ENDANA NA NYOTA YAKO ITAKAYO KULETEA PESA BILA MASHARTI

NA KUMILIKI MALI DAWA YA KUONGEZA UUME SAIZ UIPENDAYO

DAWA YA NGUVU ZA KIUME INAPATIKANA PIA ANAYO DAWA YA KUONGEZA HIPSI SHEP KUA NA UMBO BOMBA UMEIBIWA AU KUDHURUMIWA UTARUDISHIWA MALI YAKO NDANI YA MASAA 24 ANAFUNGA KESI NA KUPATA HAKI YAKO DAWA YA MVUTO WA BIASHARA KUUZA MALI YAKO KWA HARAKA KUZUIA CHUMA ULETE

NA KUONDOA MIKOSI NA KUPANDISHWA CHEO KAZINI ACHA KUTESEKA ACHA KUHANGAIKA MAALIM FADHIL RASHID

YUPO TANZANIA KWA AJIALI YAKO. CALL...+255719362806/
+255763276239/

WhatsApp IMO +255785786436

Mbunge Prof Jay Afunguka Haya Baada ya Nyumba yake Kukumbwa na Bomoa Bomoa ya Serikali

$
0
0
Msanii wa hip hop Bongo na Mbunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule ‘Professor Jay’, amezungumzia taarifa za nyumba yake iliyopo Kimara Dar es Salaam kupigwa alama X kama ishara ya kutakiwa kuvunja na kuondoka ili kupisha upanuzi wa barabara.

Rapper huyo mkongwe amesema ni kweli yeye na majirani zake wamewekewa X ila wameungana na serikali ya mtaa, kitongoji, mbunge na diwani kuomba mahakamani kwamba upana tajwa ni mkubwa sana na ni kinyume na utaratibu ambao wanaufahamu wao.

“Wanasema kupanua ni meta 121.5 ni upana mkubwa sana na upande mkubwa sana na watu wengi wataarithirika na wataumia. Kwa sababu tunaamini haki inapatikana mahakamani ndio maana tukaenda kuweka zuio, kuangalia ni jinsi gani tunaweza kupata haki yetu ya msingi lakini kitu kikubwa tunachozidi kusisitiza hakuna mtu anayekataa kuhama kwa ajili ya maendeleo,” Professor Jay ameimbia XXL ya Clouds Fm na kuongeza.

“Wengine tumejenga kwa muda mrefu sana, nakumbuka hii nyumba nimejenga kupitia muziki, unapata lakini mbili unatoa elfu hamsini unanunua misumari halafu laki na nusu unakula bata, kwa hiyo unapoona kwamba inabomolewa kwa siku moja na hakuna fidia serikali inatakiwa iangalia kwa jicho pevu,” amesema Professor Jay.
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images