Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104429 articles
Browse latest View live

Kiongozi wa Zamani wa Al-Shabaab Ajisalimisha Somalia

0
0

Kiongozi wa Zamani wa Al-Shabaab Ajisalimisha Somalia
Bwana Robo alikuwa naibu kiongozi wa al-Shabaab na msemaji wake kabla ya kutofautiana na kundi hilo miaka minne iliyopita.

Bwana Robo alikuwa naibu kiongozi wa al-Shabaab na msemaji wake kabla ya kutofautiana na kundi hilo miaka minne iliyopita.

Maafisa nchini Somalia wanasema kuwa mwanachama wa cheo cha juu wa kundi la al-Shabaab Mukhtar Robow amejisalimsha kwa serikali.
Alijisalimisha pamoja na wapiganaji wake katika mji ulio kusini magharibu wa Hudur.

Bwana Robo alikuwa naibu kiongozi wa al-Shabaab na msemaji wake kabla ya kutofautiana na kundi hilo miaka minne iliyopita.

Mwezi Juni, Marekani iliondoa zawadi ya dola milioni tano kwa bwana Robow ambaye bado anaaminiwa kuendelea na shughuli zake kama mwanamgambo.
Al Shabab bado inathibiti maeneo makubwa ya Somalia na kufanya mashambulizi ya mara kwa mara nchini Kenya.

Huyu Hapa Miss Dar Indian Ocean Aliyeshinda Taji Hilo

0
0


Huyu Hapa Miss Dar Indian Ocean Aliyeshinda Taji Hilo
Msomi wa Chuo Kikuu cha Ardhi kilichopo Mlimani jijini Dar, Stellah Ernest, usiku wa kuamkia leo ameibuka mshindi wa taji la Miss Dar Indian Ocean katika kinyang’anyiro kilichofanyika Ukumbi wa New Msasani Club jijini Dar.



Huyu Hapa Miss Dar Indian Ocean Aliyeshinda Taji Hilo
Stellah alivishwa taji hilo baada ya kuwabwaga wenzake 15 katika mavazi ya ubunifu, jioni na ufukweni. Sambamba na mavazi alionesha umahiri wa kujieleza kwa ufasaha na kuonesha upeo mkubwa alionao.




Akizungumza na baada ya mshindi huyo kutangazwa, Mkurugenzi wa Grace Entertainment, Catherine Ambakisye ‘Mama Rolaa’ alisema mshindi huyo alikuwa na haki ya kutwaa taji hilo kutokana na vigenzo mbalimbali alivyowazidi wenzake siku zote walipokuwa kambini.



Sijakaa Utupu Wala Kuonyesha Makalio Ndio Maana Video Yangu Mpya Hajafanya Vizuri

0
0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Shilole amewatolea povu mashabiki zake kwa kuwataka kuacha kumkalili kuwa yeye bila ya kiki na kukaa mtupu hawezi kufanya vizuri katika kazi zake za kimuziki.

Shilole amebainisha hayo kupitia kipindi cha Friday Night Live 'FNL' kutoka EATV baada ya baadhi ya mashabiki zake kumuona msanii huyo kutoa video ya wimbo wake mpya ya 'kigori' ikimuonesha akiwa na muonekano wa tofauti kabisa kuanzia mavazi yake mpaka uchezaji wake.

“Sikutaka skendo katika hii video, nilitaka kuwachukua wale 'real' mashabiki zangu, nimefanya video nzuri kama mtoto wa kitanzania yenye maadili mazuri kwa ajili ya kila mtu, sijakaa utupu kabisa kwenye 'video' hii kama watu walivyozoea. Kwa hiyo inabidi tuwabadilishe na ndugu zetu watanzania waweze kuelewa kuwa kuna 'video' hii inataka iwe hivi na nyimbo hii inataka hivi 'so' kuna nyimbo za matashititi. Tuanze kukubali muziki kwanza siyo lazima kila siku niwe Shilole wa fujo fujo tu“, alisema Shilole.

Pamoja na hayo, Shilole amedai video ya wimbo wake kutafanya vizuri katika mitandao ya kijamii ni kutokana na yeye kutokata viuno kama mashabiki zake walivyozea kumuona katika nyimbo zake za awali alizowahi kufanya.

Mkakati wa Changamoto za Ardhi Wanukia, Rasimu ya Mkakati Yapokelewa na Waziri Lukuvi Leo

0
0

       
 Mkakati wa Changamoto za Ardhi Wanukia, Rasimu ya Mkakati Yapokelewa na Waziri Lukuvi Leo
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ‘leo’ anatarajiwa kupokea rasimu ya mkakati wa kukabiliana na changamoto za matumizi bora ya ardhi nchini, iliyoanisha mapendekezo katika uandaaji, utekelezaji na usimamizi.

Rasimu hiyo yenye changamoto 17 pia imeainisha mkakati wa kutatua na mpango kazi wa kupatia suluhisho changamoto hizo na kutekeleza mapendekezo yaliyotolewa na wadau kuhusu mipango ya matumizi bora ya ardhi nchini.

Akizungumza wakati wa mkutano na wadau mbalimbali wakati wa kukamilisha rasimu hiyo Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi, Dk Stephen Nindi alisema rasimu hiyo imeelezea namna ya kusimamia na kutekeleza programu mbalimbali za matumizi ya ardhi nchini.

Amesema rasimu hiyo imeandaliwa kwa kushirikiana kati ya Tume, idara mbalimbali za serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali ikiwemo Care International, Oxfam na Ujamaa Community Trust Fund.

“Kikosi kazi hiki kiliundwa Agosti 4-5 mwaka jana hapa Morogoro na tumefanya kazi kuanzia wakati ule kuandaa rasimu ambayo kwa sasa ipo tayari kuiwasilisha kwa waziri kesho na tutamweleza wazi changamoto  gani zipo tunazokabiliana nazo kwa pamoja,” amesema na kuongeza;

“Tumebaini changamoto mbalimbali na namna ya kukabiliana nazo, tunataka kupeleka kwake aione na kuijua na baadaye ikipitishwa uwe mkakati kamili kwa ajili ya kupambana na changamoto mbalimbali za upangaji, utekelezaji na usimamizi wa mipango ya matumizi ya ardhi nchini.”


Hivi Ndio Wanawake Walio Katika Ndoa Wanavyokosea Mpaka Baba Anaamua Kutoka Kimapenzi au Kuoa Kabisa Dada wa Kazi

0
0
Fuatilia haya Majibizano ya Baba Mwenye Nyumba, Mke na Dada wa Kazi alafu uniambie kosa ni la nani ?


MUME: Darl ninakikao mkoani kesho naomba niandalie vitu pls
MKE: Dada zile nguo za baba pmj na soksi ulifua?
DADA: Ndio nimepanga kabatini.
Mama anarudi chumbani na kumuomba hubby wakacheki TV sebulen, lakn baada ya muda mama anamuita dada akapange suruali kadhaa na mashati kwa ajili ya safari ya kesho, dada anapanga kila kitu anatoka.
MKE: kama tayari hakikisha unarekebisha yale mashuka pale kitandan weka na maji bafuni.

Dada anafanya na kwenda zake kulala, asubuhi dada anaamka mapema na kuandaa kila kitu ikiwamo na chai, baba anakunywa chai na kutaka kuondoka.

MKE: Dada msindikize baba ili ufunge geti sababu bado ni giza
DADA: sawa mama.

Dada anatoka na begi la baba hadi nje kwavile mkewe yupo ndani, baba anamtaka dada abaki vizuri na watoto, dada anaitika na kusema nawao wanamuombea safari njema. Baada ya muda baba anarudi toka safari.

MKE: huku akitabasam, dada si umemuona baba amerudi vipi chakula tayari?
DADA: ndio.
MKE: haya kapange meza vizuri mimi nandaa juice.

Baada ya muda wanakula na baba anagundua juice sio nzuri anaamua kuiacha na kusema leo wamesahau kuweka baadhi ya vitu hivyo hataweza kuinywa. Baadae baba anakumbuka kuwa aliacha boxer zake kwenye ndoo ya maji chumban na kufunika mfuniko, anamuuliza mama vipi zile nguo zangu kwenye ndoo zilifuliwa? Maana nilisahau kusema kama zina maji.

MKe: dada njoo hapa hivi zile nguo za baba chumbani ulifua?
DADA: ndio mama (lkn hasemi kama alianua na kuweka chumbani kwake akidhan atakunja baada ya kazi kupungua)
MKE: Darling zilifuliwa.
MUME: na watoto vipi wameshalala?
MKE: Anajibu wamelala darl.
MUME: Vipi dereva wao alifika kuchukua pesa yake?
MKE: dada eti uncle Hassan amechukua pesa yake?
DADA: hapana wamembadilishia gari uncle Hassan amesafiri kwa muda.

MKE: Tutampatia darl siku akirudi acha dada aendelee kuitunza
MUME: basi vizuri, ehee vipi na tution walienda leo
MKE: ndio walienda (anamgeukia dada, si eti ee walienda si eti)
DADA: Hapana Kelvin anaumwa leo siku ya pili nilinunua dawa dukan nimempa lkn hajambo.
MKE: (anashangaa) heeE! mtoto mgumu huyu kumbe jana alikua mgonjwa halafu wala!!! alikua anacheza tu jamani watoto!! Asante dada umefanya vizuri
MUME: Haya mimi niwaache nataka nikapumzike lkn darl nitaomba zile boxer nichome kabla ya kulala sababu zimeanza kuchoka
MKE: Anaingia chumbani anafungua kabati na kuzikosa lkn kabla hajajieleza anamuona dada analeta mzigo wa boxer zikiwemo chupi za mama na mataulo
MUME: Basi dada zirudishe tutachambua kesho nenda kafanye kazi zako.

Mume anainuka na kuelekea kulala, lkn anagundua mke wake alimwaga nguo kitandan wkt anatafuta boxer hivyo anaamua kurudi sebuleni ili aombe kuandaliwa kitanda, kwavile chumba cha dada kipo jiran na chao anagundua dada ameacha mlango wazi, anaamua kuufunga ili mbu wasiingie lkn anaona baadhi ya mashati na suruali zake zikiwa zimenyooshwa na kuwekwa pemben huku kitanda kikiwa kimetandikwa kwa ustadi anaamua kufunga mlango na kutoka, anafika sebuleni anakuta mama anatazama tamthilia anamwambia akatandike kitanda.

MKE: Dada njoo, (kwa sauti ya kunong'ona) naomba ukatandike kitanda haraka
DADA: Tayari nilipeleka viatu vya baba nikaamua kutoa na zile nguo
MKE: Anaamka na kwenda kuhakikisha anarudi na kumwambia mumewe tayari aende akalale
MUME: Anaenda kulala lkn huku akijuiliza sana ni nini amfanyie huyu dada kwa ukarimu anaowafanyia hapo nyumban, kwanza anajua ni vitu gani baba anabeba akiwa safarini, ndio pekee anaemtakia safari njema na kumuombea, ndio anaefua boxer zake na kutunza vizuri, ndio anaepika chakula kitamu, ndio anaetandika kitanda chake, ndio anaejua juice gani baba anapenda, ndio anaejua kama watoto wamerudi vipi kutoka shule, vilevile ndio anaejua kama watoto wake wanaumwa ama vipi.

Sasa mnafikiri baba atamzawadia nini huyu binti ambae amebakiza kujua style anazopenda baba tu, si atamfundisha ili kesho asimsumbue tena mke wake ambae kila kitu lazima amuulize dada. Akina baba hawaridhiki lakini Wamama jitahidini hata kama mnamajukumu kiasi gani.

Mbunge Awalilia Watoto Wanaofanyiwa Vitendo vya Unyanyasaji

0
0

Mbunge Awalilia Watoto Wanaofanyiwa Vitendo vya Unyanyasaji
Mbunge wa Viti Maalumu wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Anatropia Theonest(Chadema) amesema watoto 244 wamefanyiwa vitendo vya unyanyasaji katika halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo tatu ya mwaka huu.

Akizungumza leo, Agosti 13 Mbunge huyo amesema takwimu zilitolewa na Idara ya Ustawi wa jamii kwenye baraza la Madiwani zimeonyesha kati yao 85 walibakwa, 74 wakitelekezwa na 20 walilawitiwa.

Amesema matukio hayo yameongezeka kutoka 107 mwaka 2006 huku mtoto wa kike akiwa kwenye hatari ya kukosa haki ya elimu kutokana na kupata mimba.

"Ni lazima tusimame kwa pamoja tuweze kupaza sauti kwasababu tukiacha vitendo hivi viendelee tutajenga kizazi cha aina gani? cha walemavu?,"alisema

Aidha, amesema atawasilisha bungeni hoja binafsi ya kutaka marekebisho ya Sheria ya mwaka 1979 ili kuwapa haki watoto wanaopata mimba kupata haki ya kuendelea na masomo.


Pendeza na Kessy Products, Kutoa Mvi, Kurefusha Nywele, Tengeneza Shepu na Mengine

0
0
PENDEZA NA KESSY PTODUCT:-MSIMU MPYA WA 2017_ BIDHA AINA ZOTE KWA UBORA MZURI%
PATA DAWA ZA ASILI ZISIZO NA MAD, HARA NA MATOKEO NI KWAHARAKA BAADA YA WEEK

1) KUTOA MVI SUGU PIA ZA KUZALIWA NAZO _80,000/
2) KUREFUSH NYWELE KUZIJAZA NA KUZUIAKUKATIKA _80,000/
3) TENGENEZA SHEPU YAKO FIGA UMBO (8) NA KUJAZA HIPC NA KALIO @ KUPAK _80,000/
@ KUNYWA AU VIDONGE _130,000/ 4) KUPUNGUZA NYAMA ZA MIKONO TUMBONI ZILIZOTEPWETA _80,000/
5) PUNGUZA KITAMBI KWA HARAKA KWA DAW HIZI ZA KUNYWA
@) KUNYWAA _100,000/
@) VIDONGE _100,000/
6) PUNGUZA MWILI MZIMA KUANZIA KGM 150 ADI 80 KIASI UNACHOTAK WEWE KWA DAW HIZI
@) DAW YAKUNYWA YA _100,000/
@) VIDONGE VYA HARAKA _100,000/
7) PUNGUZA MAZIWA NA YASIMAME KWA MUDA WA WEEK MOJA _70,000/
8) ONGEZA MAZIWA NA SAIZ UNAYOTAKA WEWE _70,000/
9) ONGEZA MWILI MZIMA NA KUKUPA HAMU YAKULA KWA RIKA LOLOYE _80,000/
10) TOA MICHIRIZI SUGU PIA NA ILE YAKUJIFUNGUA MWILI MZIMA _70,000/
11) TOA MAKOVU, CHUNUSI, WEUSI KATIKATI YA MAPAJA _70,000/
13) KUWA MWEUP NA SOFTI MWILI MZIMA NA KUTOA WEUS MACHON NA VIMISHIPA VIDOGO VIDOGO @ MAFUTA YA KUPAKA _80,000/(@) VIDONGE (WHITE SOLUTION) _120,000/
14) ONDOA NDEVU NA VINYWELEO MWILINI _80,000/
15/ ONGEZA NGUVU ZA KIUME NA KUIMARISHA MISHIPA ILIYO LEGEA KWA DAW HIZ
@) JEL KUPAKA (MEN GEL) _70,000/
@) VIDONGE (MAXMAN) _80,000/
16) ONGEZA MAUMBIL YA KIUME SAIZI UNAYOITAKA WEWE KWA:
@) (HANDSOME UP) MASHINE _170,000/
@) JELI YAKUPAKA INABORESHA ANZIA NCHI (4 ADI 6 )_100,000/ PIA NA VIDNGE VYAKE VIPO
17) RUDISHA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA WALIOPOTEZA KUTOKANA NA NGIRI, KISUKARI NA MAGONJWA MENGINE KWA _80,000/
18) RUDISHA USICHAN(BIKRA)Na KUTO UCHAFU SEHEMU ZA SIRI _80,000/
19) FANYA USO WAKO KUWA MKAVU NAKUTOA VIJIPELE ILIYOSABABISHWA NA MAFUTS MAKALI _80,000/
20) ONDOA MAKUNYANZI USONI _70,000 (21) ENGEZA MGUU WAKO _70,000/ TUNAPATIKAN K/ KOO NA SINZ
MAPAMBAN, KWA MIKOAN DUNIAN KOTE UTAPATA

(+255) 0719955528
0756259180
0785371237

@dr_kessy_product
Delivery POPOTE ULIPO,

Haya Hapa Majibu ya Ukimwi ya Gigy Money Baada Kukonda Sana na Kuamua Kupima

0
0
VIDEO Queen, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambaye mwili wake umepungua sana kiasi cha kuwapa wasiwasi mashabiki wake, amesema licha ya kupungua huko, lakini ni mzima kwani amepima ‘ngoma’ na kujikuta yuko fi ti. Akizungumza na Risasi Jumamosi juzikati, Gigy aliifungukia afya yake na kusema baada ya kujipunguza kwa mazoezi, baadaye aliamua kutumia dawa maalum za kujipunguza kwa makusudi kwani kuna mwili aliokuwa akiutafuta na sasa umekaa mahala pake.

Gigy alisema hata hivyo, katika kuwahakikishia mashabiki kuwa kukonda kwake hakuna tatizo, ameamua kupima ngoma na majibu yamerudi yakimuonyesha yuko sawa kabisa. “Nimeamua kupima ngoma ili kuwaondoa wasiwasi mashabiki, kwani mwili huu si wa magonjwa kama watu wanavyodhani, nimejipunguza kwa kutumia dawa maalumu na nimefanikiwa nashukuru Mungu,” alisema Gigy.

Katika hali ya kushtua, Gigy pia alifungukia maisha anayotaka kwa sasa ya kutokuwa na mpenzi ‘pamanenti’ wa kupika na kupakua, badala yake anataka mwanaume atakayemuwezesha pesa tu kwa ajili ya kujikimu kisha maisha yanaendelea.

“Unajua nimegundua ukiwa na boyfriend ambaye unapika naye na kupakua, inasumbua sana na maisha yanakuwa magumu, mimi kwa sasa sitaki na wala sitarajii kuwa naye kwani hata niliyekuwa naye nimemuacha,” alisema Gigy.

Raila Odinga sio Mtu Mzuri Kabisa...Awashawishi Wafuasi wa Upinzani Kususia Kazi Jumatatu...Kisa....

0
0
Kinara wa muungano upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amewashauri wafuasi wake kususia kazi siku ya Jumatatu kama njia ya kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyikia Jumanne iliyopita.

Akihutubia wafuasi wake mtaani Kibera, Nairobi kwa mara ya kwanza kabisa tangu kutangazwa matokeo, ambapo Rais Uhuru Kenyatta alitangazwa mshindi, Bw Odinga amedai kuwa serikali ilikiwa imepanga kuwaua wafuasi wa upinzani kabla ya kutangazwa matokeo.

Hii ni siku moja baada wa watu kadha kuripotiwa kuuliwa maeneo tofauti ya mji wa Nairobi na Kisumu, wakati wafuasi wa upinzani walijitokeza kulalamikia matokeo ya uchaguzi

Aidha Odinga amesema kuwa siku ya Jumanne, mrengo wa Nasa utatangaza mwelekeo ambao utachukua.

Rais Uhuru Kenyatta alitangzwa mashindi kwa kura 8,203,290 huku naye Raia Odinga akipata kura 6,762,224.

Katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, ambaye alikuwa mpatanishi mkuu baada ya mzozo wa kisiasa nchini Kenya miaka kumi iliyopita, alikuwa ametoa wito kwa Bw Odinga kutumia mifumo ya kisheria kutafuta haki kuhusu matokeo ya uchaguzi wa urais.

Bw Annan alikuwa mpatanishi mkuu baada ya ghasia kuzuka baada ya uchaguzi mkuu wa 2007 uliokumbwa na utata.

"Namshukuru kiongozi wa upinzani Raila Odinga kwa kampeni ya uchaguzi ya amani aliyoiendesha. Amekuwa mtetezi jasiri wa demokrasia," amesema Dkt Annan kupitia taarifa.

"Kwa hivyo, namhimiza sasa afuatilie malalamiko yake kupitia mifumo ya kisheria iliyowekwa na aweke maslahi ya taifa mbele, kama alivyofanya kwa uzalendo mara nyingi awali."

Mwaka 2007, watu zaidi ya 1,000 walifariki na wengine 600,000 wakafurushwa makwao wakati wa ghasia za kikabila zilizozuka baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa.

Msambwanda ni Furaha ya Macho tu...Ukitaka Kuenjoy Jaribu Viuno Dondola aka Vimodo

0
0
Siku hizi kumeibuka vijana wengi kupenda misambwanda na hii imepelekea wadada wengi kutumia madawa ya kichina kuongeza makalio na wengine kupelekea kufanyiwa upasuaji.

Wanawake wanabadilika kutokana na mahitaji ya wanaume wanachovutiwa nacho kuendana na wakati ili na wao wasiwe wanakosa mtu anayewavutia.

Nikiri wazi kabisa, misambwanda inapagawisha unapokutana nayo, usipokua makini waweza kuacha njia au ukagongwa na vyombo vya moto. Lakini, unapohitaji kufaidi hivi viumbe, misambwanda sio dili.

Hivi viuno vya dondora hivi ndiko tunakoacha maisha na uhondo wenyewe, walah! Kiuno cha dondora kina mambo mengi mno.

Walah! Kiuno cha dondora utake style gani usipewe, uende goli ngapi usipewe.

Nilikua muumini mkubwa wa msambwanda, lakini nimegundua naibiwa, nahamia mtaa wa saba.


Je Shamba Kubwa Ambalo Halijaendelezwa ni la Sumaye Pekee?

0
0
Je shamaba kubwa ambalo halijaendelezwa ni la waziri mkuu mstafuu sumaye pekee?
Dhambi hii ya kumnyanganywa mh sumaye shamba lake,ambalo alitumia kiunua mgogo chake kulinunua kwa haki kabisa kama mtanzania mwenye haki ya kumiliki aridhi,haitatuacha salama
Mh sumaye alinunua haya mashamba kipindi yanauzwa bei nzuri,kwa faida yake ya baadaye,haya mashamba wakati sumaye anayanunua kila mtanzanaia alikuwa anaweza kununua,ilimradi awe na maono ya mbali,na ajue dhamani ya Aridhi,kumbuka miaka kumi 15 iliyopita Eka moja ya shamba maeneo ya mwambwe pambe ekari ilikuwa inauzwa sh lk 3 tu,na kwa garama hiyo mtu mwenye hadhi ya uwaziri mkuu asingeshindwa kununua erkari 33 kwa malengo yake ya baada ya kustafu
Swali linakuja kwanini mh sumaye anyanganye shamba lake halali?tena ananyanganywa shamba lake kukiwa na kesi mahakamani?

Je serekali ya awamu ya tano inadharau mahakama kiasi hiki?kwanini serekali imefikia hatua kubwa ya kuzarau mahakama kiasi hiki?majaji wetu wanajisikiaje?kusikia maamuzi yanafanya na serekali kabla kesi iliyoko mahakamani haijaamuliliwa?

Kuna kila sababu ya jambo la Mh Sumaye kuwa mfano mbaya wa serekali ya awamu ya tano,kuvunja katiba,kutokuheshimu sheria za nchi,na kukandamiza demkrasia ya vyama vyingi,hakika dhambi hii itazaa mauti

Nuh Mziwanda Hana Tatizo na Mpenzi Mpya wa Shilole...Afunguka Haya Kuwafagilia

0
0
Toka Shilole aanzishe uhusiano mpya wa kimapenzi amekuwa sio mtu wa kuyaweka hadharani sana ikiwa ni pamoja na kumficha mpenzi wake huyo mpya ambaye amefahamika kwa jina la Uchebe lakini Gossip Cop Soudy brown alifanikiwa kuipata picha yao na kuipost kwenye ukurasa wake.

Baada ya Soudy kuipost na kuandika ‘Shishi Baby Na Uchebe wake wanawasalimia wana nzengo’ alipokea comments kutoka kwa watu tofauti akiwemo mpenzi wa zamani wa Shilole, Nuh Mziwanda ambae aliandika ‘Hakika wamependezana’

Erick Shigongo 'Nilirudia Darasa la Saba Mara Mbili ila Nilifeli na Kujiona Mjinga Sana '

0
0
Mjasiriamali na Mtunzi wa vitabu mashuhuri nchini Tanzania, Erick James Shigongo anatarajia kurudi shule na kusoma elimu ya shahada baada ya kuhangaika muda mrefu kutafuta nafasi hiyo, huku akisukumwa na masimango na matusi ya mitandaoni.

 Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Erick Shigongo ameandika waraka mrefu akielezea safari yake kitaaluma na furaha aliyonayo, ya kuweza kufikia ndoto yake ya kuwa na elimu ya chuo kikuu, licha ya kuwa na mafanikio makubwa kwenye kazi zake za utunzi na maisha kiujumla.

“Ndoto imetimia, hatimaye naingia Chuo Kikuu, nikiwa mtoto nilitamani sana kusoma hadi chuo kikuu lakini sababu ya umasikini na mazingira magumu hasa shule nilizosoma, sikufaulu mtihani wa darasa la saba, nikarudia darasa la saba katika shule nyingine lakini bado sikufaulu, nilijiona mjinga! Nikajaribu kupitia njia ya ‘vikozi’ vidogo ili hatimaye niingie chuo kikuu lakini sikufanikiwa, nikaachana na ndoto hiyo na kuanza ujasiriamali”, ameandika Erick Shigongo.

Erick Shigongo alendelea kuandika akisema kuwa ndoto yake hiyo imefanikiwa baada ya kujiunga na mfumo wa RPL ambao hufanya watu wenye uzoefu fulani katika jamii bila kuwa na elimu, na kuwapa nafasi ya kusoma elimu ya juu, ndipo alifanikiwa kupata nafasi mwaka huu, baada ya kufeli mwaka jana.

“Nikakusanya vitabu vyangu ambavyo nimekwishaandika na kuvipeleke Tume ya Vyuo Vikuu na kuomba niruhusiwe kufanya mtihani huo, nikaruhusiwa, mwaka jana nikafanya na kufeli, sikukata tamaa, mwaka huu nikafanya tena na kufaulu, hivyo mwezi wa tisa ninaanza mwaka wa kwanza “, ameandika Erick Shigongo.

Kama Umeona Kitu Kama Hiki Chumba Cha Hotel ama Gesti...Ondoka Mara Moja Jua Wanakurekodi

0
0
Ukiona kifaa hiki kwenye chumba cha hotel, ujue kwamba sio urembo kama watu wengi wanavyofikiria. Kifaa hiki unaweza kuona kimewekwa kwenye mlango au ukutani. Kinawekwa na waharifu kwa manufaa yao binafsi.

Habari mpya na zenye matumaini zinaeleza kwamba hiki kifaa chenye umbo kama pasi, kinabeba kitu ambacho kinaweza kuharibu maisha yako.Usikubali watu hawa wapate wanachotaka kwako.Vingi kati ya vifaa hizi ni technolojia ya juu sana ya kamera za siri.

Cha kusikitisha zaidi kuhusu hizi kamera ni kwamba mtu yeyote anaweza akazinunua kwenye mtandao. Ina maana kwamba mtu yeyote akidhamilia kukuchunguza ataweza, ni fedha chache tu inagharimu kwa mtu kupata hiki kifaa.

Vifaa hivi vinatangazwa kama "home security camera". Ila kwa bahati mbaya watu wengi wanavinunua kuwachunguza wanawake katika vyumba vya kulala wageni na vyumba vya hotelini.
Nchini Marekani vifaa hivi vimeanza kuchunguzwa kwenye vyumba vya wageni. Polisi wengi wanahusika na uchunguzi wa vifaa hivi, kama utakiona katika sehemu unayopendelea kwenda, inabidi ujiulize kwanini?

Unashauriwa ukikiona kifaa hiki chumba cha wageni ulicholala, au kifaa chochote usichokielewa vizuri ambacho utahisi kama ni kamera, usikishike.Wapigie polisi na wajulishe.
Kamera nyingi za siri zinapatikana kwenye maduka mbalimbali yanayouza vifaa hivi. Ukikiangalia kwa karibu utaona kitobo kidogo sana juu yake.Hiyo ni sehemu ya lenzi ya camera na inakurekodi kila kitu unachofanya.

Hizi kamera zinaenda kwa motion.Kama mtu akiingia tu bafuni, inajiwasha yenyewe.Itakurekodi ukiwa bafuni mpaka utoke au nafasi yake ijae.

Kuwa makini na kamera hizi, zinaweza kufichwa mahali popote na wewe usiweze kugundua kabisa.

Sababu Sita(6) Zinazoweza Kumpoteza Mteja Au Kumkera Katika Biashara

0
0
Muda mwingine unaweza ukajiuliza kwa nini mteja au wateja Fulani siku hizi huwaoni katika biashara yako, unaanza kumtafuta mchawi ni nani katika biashara yako kumbe mchawi ni wewe mwenyewe ambaye unaweza ukawavuta wateja wengi au mteja au ukaongeza mteja ,wateja katika biashara yako hii inatokana tu na jinsi gani unatoa huduma yako na kumhudumia mteja pia.
Leo tutaangalia ni sababu gani ambazo zinaweza kusababisha kumpoteza au kumkera mteja wako nazo ni;

1. Kuchelewa Kufungua Biashara
Kuna baadhi ya wamiliki wa biashara wanachelewa kufungua biashara na unakuta mteja anahitajia kupata huduma mapema ukilinganisha na muda wako ambao unafungua biashara sababu hii inaweza ikampoteza mteja au kumkera kama tabia yako wewe kila siku ni kuchelewa mteja anakusubiri katika eneo la biashara badala ya wewe kumsubiri mteja sababu inaweza ikapelekea kumkera au kumpoteza mteja wako.

 2. Kufanya Biashara kwa Mazoea/ Kujisikia 
Unapokuwa umeamua kufanya biashara basi fanya kila siku bila mazoea au kujisikia kuna wafanyabiashara wengine wanafanya biashara kwa kujisikia au kwa mazoea kwa mfano, leo anaweza kufungua kesho kafunga sasa tabia kama hii inaweza kumsababishia mteja kupata kero na kukuhama kabisa ukiamua kufanya biashara fanya kila siku bila kukata tama bila kujali siku yaani siku Fulani kuna wateja na siku Fulani hakuna wateja hivyo basi unaamua kutofanya biashara kwa hiyo acha kufanya biashara kwa mazoea.

3. Kuacha Biashara peke yake 
Kuna tabia ya wafanyabiashara wanaweza kufungua biashara yao na kuacha peke yake anazungukazunguka au kwenda sehemu kupiga stori huku akiacha biashara yake wazi mteja akija anapata shida ya kumtafuta mtoa huduma unafikiri kama kuna sehemu nyingine ambapo mteja huyu anaenda na kumkuta mtoa huduma yuko katika eneo lake la biashara kila siku je ataweza kushawishika tena kurudi kwako? Kama sehemu nyingine anahudumiwa vizuri?

4. Kuwa na Lugha/Kauli mbaya 
Unapokuwa unafanya biashara unatakiwa uwe na kauli nzuri ambazo zitamvutia mteja kuja kwako kupata huduma. Kuna wateja wengine ndio wanaweza kuwa na kauli mbaya lakini wewe hupaswi kuwa na kauli mbaya hupaswi kumjibu kwa lugha mbaya soma saikolojia ya mteja au wateja wako muudumie kwa upendo, kwa ukarimu wa hali ya juu ili siku nyingine arudi tena kwako. Kwa hiyo kauli mbaya ni moja ya sababu ambazo zinaweza kukuletea matokeo hasi katika biashara yako. Chunga sana ulimi wako katika biashara.

5. Kutopenda Biashara yako 
Kuna wafanyabiashara wengine wanatoa huduma kama vile wamelazimishwa kufanya biashara hiyo. Kutopenda kazi yako ni moja sababu zitakozomfanya mteja naye asivutiwe na biashara yako. Kuwa na uso wa furaha mchangamkie mteja ongea naye vema katika lugha ya ushawishi onesha jinsi gani unaipenda kazi yako, unafanya kwa moyo na juhudi zote huwezi kumpoteza mteja wako. Kwa hiyo ili ufanikiwe katika jambo Fulani penda kwanza hicho unachokifanya kwa moyo wote.

6. Kubadilisha bei mara kwa mara. 
Katika kila bidhaa unayouza mfano duka kuna kuwa na bei elekezi ya vitu unavyouza kwa bei ya jumla au rejareja. Sasa kuna baadhi ya wafanyabiashara wanauza kwa bei ya juu sana ili kupata faida ya juu hapa unakuwa unamlangua mteja na kumkatisha tamaa tena ya kurudi kwako kupata huduma, kwa hiyo unapofanya biashara usiwe mtu wa kubadilisha bei mara kwa mara leo mteja akija bei nyingine kesho bei nyingine itamfanya akose imani na wewe na kukukimbia kabisa.

Zifuatazo Ni Kanuni 6 Mafanikio ya Maisha Kutoka Kwa Mwigizaji Arnold Shwarzenegger

0
0
Wengi wetu bila shaka umeshawahi kumuona au kumsikia mcheza sinema maarufu duniani kwa kipindi hicho ambaye kwa sasa ni Gavana wa jimbo la calfornia, Anord Shwarzenegger. Enzi zake alicheza sinema nyingi ambazo zilimpa mafanikio makubwa sana. Leo hii akiwa kama Gavana, Anorld anatushirikisha baadhi ya kanuni za mafanikio alizozitumia hadi kufikia viwango vya juu vya mafanikio.

Zifuatazo Ni Kanuni 6 Mafanikio Za Kutoka Kwa Arnold Shwarzenegger.

1. Jiamini wewe mwenyewe.
Watu wengi mara nyingi hutafuta ushauri wamafanikio kwa watu mbalimbali ili kuwafanikisha. Ni jambo zuri. Lakini kitu cha cha muhimu hapa kwako ni kujiamini wewe mwenyewe kuwa unaweza kufanikiwa. Tafuta ni kipi unachokipenda, unataka kuwa nani na kisha tekeleza kwa kujiamini kabisa, UTAFANIKIWA.

2. Vunja sheria zinazokuzuia kufanikiwa.
Tunaishi katika ulimwengu ambao unasheria nyingi nyingi za uasili zinazoweza kutuzuia kufanikiwa. Sasa hizi ni sheria ambazo kwa vyovyote vile ni lazima zivunjwe. Sheria hizi zinaweza zikawa ni uvuvi au mazoea fulani mabaya tuliyojijengea. Kwa kung’ang’ania sheria hizi hakuna mafanikio yanayoweza kupatikana.

3. Acha kuogopa kushindwa.
Siri kubwa ya mafanikio  ni kujifunza kutokuogopa kujaribu. Kama kuna fursa imejitokeza jaribu kufanya kwa ujasiri mkubwa na acha kukaa katika mkao wa kuogopa hiyo haitakusaidia sana. Hautaweza kufanikiwa kwa kukaa tu. Jitoe mhanga na hakikisha mpaka mipango na malengo yako makubwa yatimia.

4. Acha kusikiliza maneno ya wanao kukatisha tamaa.
Yatasemwa mengi kwamba huwezi kufanya hili wala lile. Wasikilize kisha achana nao. Lililo kubwa kwako jiamini mwenyewe kuwa utafika kule unakotaka kufika na kisha endelea mbele. Najua ni mara nyingi umewahi kusikia kauli hizi zikija kwako. Jambo la kufanya zipuuze kauli hizo, halafu fanya kile unachoamini kitakupa mafanikio.

5. Fanya kazi kwa bidii sana.
Hiyo ni nguzo kubwa ya mafanikio yako. Fanya kazi kwa bidii kwa kuamua kujituma na kulipia gharama zote za mafanikio. Hakuna mafanikio ambayo yatakuja kwako bure zaidi ya wewe kuwekeza nguvu na uwezo wako wote mkubwa kwenye kufanya kazi kwa bidii na maarifa makubwa siku zote. Hapa ndipo mafanikio makubwa yanapopatikana.

6. Kumbuka kutoa.
Mafanikio yoyote utakayokuwa umeyapata , hakikisha unatoa kwa jamii yako kiasi fulani  kama sehemu ya shukrani. Hii ni sheria au kanuni ya asili ambayo itakusidia kufikia mafanikio makubwa siku zote.

Hizo ndizo kanuni za mafanikio ambazo unaweza kuzitumia kufikia mafanikio makubwa, kama zilivyotolewa na Arnold Shwarzenegger, Gavana wa jimbo la Calfornia marekani.

Madhara Ya Kuchaguliwa Mwenzi Wa Kuishi Naye Katika Mahusiano Ndoa

0
0
Mtanzania? Ni imani yangu kuwa uko salama rafiki na unaendelea vizuri katika harakati zako za kila siku kuhakikisha unapata kile unachokitaka kwenye maisha yako. Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya siku hii ya leo ameweza kutustahilisha tena kuiona siku hii ya leo. Kwa hiyo rafiki, tutumie muda huu wa leo vizuri kwani leo ni siku bora ambayo haitokuja tena kutokea katika maisha yetu hapa duniani.

Mpendwa rafiki, napenda kukualika tena katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja yale ambayo nimeweza kukuandalia siku hii ya leo. Hivyo basi, nakusihi ungana nami mwanzo hadi mwisho wa makala hii ili tuweze kusafiri wote kwa pamoja. Leo tutakwenda kujifunza juu ya madhara ya kuchaguliwa mwenza wa kuishi naye kwenye maisha ya mahusiano. Je ni madhara gani rafiki? Karibu rafiki tuweze kujifunza wote kwa pamoja.

Katika moja ya matatizo yanayowasumbua watu duniani basi moja wapo ni mambo ya mahusiano. Mahusiano haya yanaweza kuwa mahusiano ya uchumba, mahusiano ya ndoa na nk. Sasa katika mahusiano ya ndoa wapo watu wengi sana wanaruka hatua muhimu sana ambazo baadaye zinakuja kuwaumiza vibaya. Hatua hizo muhimu ni urafiki na uchumba kwa hiyo, ikitokea watu wamekutana ndani ya miezi miwili, mmoja na kukimbilia kufunga ndoa ndio hawa wale wanaokuja kujuta kwa nini walifanya maamuzi hayo.

Mpendwa msomaji, malengo mahususi ya somo letu la leo ni madhara ya kuchaguliwa mwenza katika maisha ya mahusiano. Ziko jamii tofauti duniani zenye utaratibu au utamaduni wa kuwachanguliwa watoto wao wenza pale wanapokua wamekaribia ule umri wa kuishi ya maisha ya ndoa kama mke au mume. Wazazi wa jamii za kuwatafutia watoto wao wenza bado wapo mpaka leo katika zama hizi za taarifa na pengine unafahamu watu ambao wanafanya jambo hili kwenye jamii iliyokuzunguka.

Kwa mfano, mtoto tokea akiwa mdogo anawekewa ‘’ oda’’ mapema kuwa wewe utaolewa na mtu fulani au utamuoa mtu bila kujali unataka au la. Kwa hiyo, tabia hii inawanyima watoto wengi kuwa na mtu Yule anayempenda badala yake wanakuwa na watu ambao siyo chaguo lao la kutoka moyoni. Utamaduni huu unakuwa ni kama kumnyima mtu kuishi maisha anayotaka hapa duniani.
Unaporuhusu wazazi wakuchagulie mwenza wa kuishi naye katika maisha ya ndoa kwanza inakuwa ni utumwa wa hali ya juu. Kwanini?

Kwa sababu kuchaguliwa kufanya kitu ambacho hukipendi katika maisha yako ni utumwa. Vivyo hivyo, kuchaguliwa mwenza wa kuishi naye ni utumwa pia. Unapokuwa unachaguliwa mwenza wa kuishi naye unakuwa unavunja hatua muhimu sana katika kuelekea maisha ya ndoa ambayo ni urafiki na uchumba. Kupitia hatua hizi unaweza kumchunguza mwenzako ni mtu wa namna gani, falsafa yake ya maisha ikoje, ni mtu chanya au hasi, ni mtu wa kuigiza maisha au ni mtu halisi anayeishi bila kuigiza maisha na mambo mengine mengi unayotaka kuyajua kutoka kwa mwenzako.

Rafiki, watu wanaoishi na wenza wao kwenye maisha ya ndoa kwa kuchanguliwa na kwenda kuanza kuishi maisha ya urafiki, uchumba na ndoa kwa wakati mmoja huwa wanashinda sana. unakuta mwenzako anaishi falsafa tofauti kabisa na wewe ulivyotarajia. kwa mfano, wewe falsafa yako ni kuishi chini ya kipato chako na unakuta mwenzako anataka kuishi juu ya kipato kwa kufanya mambo ambayo hayana ulazima kwenye maisha. Lakini kama ulikuwa umemgundua mwenzako na kumsoma vizuri katika hatua za uchumba ungeweza kufanya maamuzi mapema kwa kumpima kama mtu huyo anakufaa au la kulingana na vigezo vyako.

Kuchaguliwa mwenza wa kuishi naye katika zama hizi ni aibu kwa kweli kwani ni kuchaguliwa kufanya chochote ambacho hukipendi ni utumwa katika maisha yako. Kumbuka rafiki, hata mzazi akikuchagulia mpenzi ambaye wewe humpendi na ukakubali utakua umejichagulia wewe mwenyewe kuingia shimoni. Kwa hiyo, hata wazazi wakikuchagulia kuishi na mwenza ambaye wanampenda wao ni kama kuchaguliwa maisha ya kuishi hapa duniani. Licha ya kuchaguliwa maisha wewe ndiye utakayeenda kuishi hayo maisha na wala siyo wazazi watakaopata raha au shida, ukiingia shimoni wao hawatakuwepo bali wewe ndio utawajibika.

Hatua ya kuchukua leo; usikubali kuchaguliwa mwenza wa kuishi naye katika maisha yako. Ishi na mtu unayempenda kutoka moyoni, ishi na mtu ambaye mliweza kupitia hatua za urafiki, uchumba ukamjua vizuri tabia zake ni mtu wa namna gani. Fanya kitu ambacho unakipenda ndio furaha ya kweli katika maisha ambapo utapata mafanikio makubwa yenye furaha na ubora wa hali ya juu.

Kwa kuhitimisha, tunaishi karni ya ishirini na moja na hatuko tena katika zama za mawe bali tupo katika zama za taarifa. Kuwa chachu ya mabadiliko kwa kuvunja utumwa huo katika jamii uliyopo siyo unasoma na kupata elimu ya juu bado ukirudi nyumbani wazazi wanakushurutisha kuoa au kuolewa na mtu Fulani bila ya ridhaa yako mwenyewe. Wewe ndio mwenye maamuzi ya maisha yako kwa sababu hakuna mtu mwingine atakaye ishi maisha yako zaidi ya wewe mwenyewe.

Kutana Na Mnajimu wa Nyota na Mtaalam wa Tiba Asili Africa na Dunia kwa Ujumla Kutoka ANJUAN COMORO AL_WATWAN MAFUSHO sasa yupo Tanzania

0
0
Kutana Na Mnajimu wa Nyota na Mtaalam wa Tiba Asili Africa na Dunia kwa Ujumla Kutoka ANJUAN COMORO AL_WATWAN MAFUSHO sasa yupo East Africa (Atakuwa Nairobi,Mombasa,Uganda,Burundi,Rwanda na Sehemu Yoyote Atakayo hitajika.. Tanzania Atazunguka Mikoa Yote..)

AL_WATWAN MAFUSHO Ni Mtafiti wa Dawa za Mitishamba na ana uzoefu wa zaidi ya Miaka 18 katika kutoa Huduma zake.. Amesha toa Huduma zaidi ya Nchi 23 Duniani..
AL_WATWAN MAFUSHO Bado anaendelea Kupokea Salam na Shukrani nyingi kwa wale wote waliofanikiwa baada ya kupata HUDUMA na wale wanao Endelea Na TIBA MBALIMBALI..
      Anatibu kwa Kutumia Dawa za Asili ya Africa, Dawa za Kiarabu, Majini na QUR-AN Ukiwa Nchi yoyote...

Kwa Matatizo ya Fuatayo..
•Love spell
•Money spell casting
•Traditional Healer
•Protection Rituals
•Marriage Spells(to heal marriage problems and restore Affection
•Traditional bad luck Removal
•To Prevent divorce and bind lovers together

 MAGONJWA kama> Miguu kuwaka Moto na kufa Ganzi,Kuvimba tumbo,Kisukari, Ngiri ya ndani na Ngiri ya Nje(Busha) Chango kwa Kina Mama,Kifungua Kizazi kwa waliofungwa kishirikina)..Ulijari(Nguvu za kiume?
MAPENZI.Kumrudisha Mpenzi ndani ya Saa  12 tu.. Kumtuliza(Limbwata) Akusikilize na Akupatie chochote unacho hitaji kwa Wakati. Hutuliza wana Ndoa na na Kuzuia Talaka.. Kama Mpenzi wako Anaishi na Mtu mwingine Anao Uweza wa Kusambalatisha mahusiano yao ndani ya Nusu saa tuu(Mfarakano)...

MAFANIKIO.. Mali Bila Masharti, Bahati kwa Wachimba madini.. MAGIC WALLET, PETE ya Bahati, KUSHINDA BAHATI NASIBU na Kusafisha NYOTA(Nuksi Mikosi).. Umaarufu, Heshima mahala pa Kazi,Cheo kazini. Mafuta maalum Yenye Nguvu ya Ziada..
(Amesaidia Watu maarufu, Wachungaji na Wafanya Biashara wengi Duniani)
KINGA..Huzuia Kabisa Chuma Ulete na Kukupa Kinga ya Mwili na Biashara na Kujilinda na mali zako.Humaliza kabisa Kesi ndani ya siku 12 tu(Zindiko) nk..
PIA HUMALIZA KAZI ZILIZOACHWA AU KUSHINDIKANA....
Acha Kuhangaika Njoo Umaliziwe Tiba yako

AL_WATWAN MAFUSHO

Piga Simu +255 759 084 996

Faiza Ally Awaponda Wasanii Bongo..Adai Hawajui Kutafuta Kiki Zaidi ya Kulana Uroda Wao Kwa Wao

0
0

IMEZOELEKA katika Muziki wa Bongo Fleva kwamba msanii akitaka kutoa wimbo mpya ni lazima kwanza afanye vituko mbalimbali ili watu wamzungumzie ndipo aachie ngoma yake. Mwanamitindo maarufu ambaye pia ni mfanyabiashara, Faiza Ally, amesema wasanii wa Tanzania hawana ubunifu katika katika kutafuta kiki.
Faiza ambaye amejifungua mtoto wa pili hivi karibuni, ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

“Nilichogundua sasa hivi kutokana na kipindi ninachosikilizaga redioni ni kwamba wasanii Watanzania hawana akili za ubunifu katika kutafuta kiki, zaidi ya wanaume kutoka na wanawake maarufu na wanawake maarufu zaidi ya kutoka na wanaume maarufu.
“Unapokuwa msanii kiki ni moja ya kazi lakini jaribu kuwa mbunifu kidogo zaidi ya uroda! Sema naomba mnisamehe ni ile uhuru wa kuongea tu sijamlenga mtu lakini najua kuna mstari wa kujifunza” ameandika Faiza.

NA ISRI MOHAMED/GPL

Mtangazaji Dida Afunguka Kuhusu Kuelewa Tena Baada ya Ndoa zake Tatu Kubuma.......

0
0
MTANGAZAJI wa Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ ambaye hadi sasa anashikilia rekodi yake ya kufunga ndoa mara tatu kisha kuvunjika, amefunguka kuwa kwa sasa hawezi kukurupuka kuolewa kama ilivyokuwa kwa ndoa za mwanzo ndiyo maana amekaa kwenye uchumba kwa muda mrefu.

Dida ambaye miezi kadhaa iliyopita alivishwa pete ya uchumba na Mwenyekiti wa Kijiji cha Ukuni, Bagamoyo, Issa Seleman aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, hawezi kukurupuka kuingia kwenye ndoa kama zile za mwanzo kwani ana nia njema na ni kitu cha neema hivyo haihitaji kuwa na haraka.
“Siwezi kukurupuka tena kama ndoa za mwanzo, sina haraka kwa sasa, kuna vitu vinakamilishwa kwanza ndiyo maana uchumba wa muda mrefu,” alisema Dida.
Stori: Gladness Mallya, Dar
Viewing all 104429 articles
Browse latest View live




Latest Images