Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Afande Selle Afunguka Kuhusu Hali ya Nchi Ilivyokuwa

$
0
0

Afande Selle Afunguka Kuhusu Hali ya Nchi Ilivyokuwa
Msanii mkongwe wa Hip hop nchini, Afande Sele ambaye hivi karibuni amerudisha kadi yake ya chama cha ACT - Wazalendo, na kuamua kubaki mwananchi wa kawaida huku akiunga mkono kile kinachofanywa na Rais Magufuli, amesema kwa sasa ana imani iko salama

 Afande Sele amesema moja ya sababu ambayo ilimfanya aingie kwenye siasa ni mambo yasiyofaa yaliyokuwa yakifanywa na serikali za awamu zilizopita, huku akiamini anaweza akaleta mabadiliko, lakini kwa sasa haina haja ya yeye kuendelea kufanya hivyo, kwani uongozi uliyopo upo makini.

"Nina amini kabisa mambo mengi ambayo nayatazama kwenye nchi yanavyoendelea sina shaka nayo kabisa kwa sasa. Sababu kubwa iliyonipelekea niingie kwenye siasa ni kutokana na utawala mbovu uliyokuwa katika awamu zilizopita. Nchi ilikuwa kama Kambale hakuna mtu ambaye anaweza kukemea jambo baya kwa kuwa kila mmoja alijiona mkubwa , nchi ilikuwa inajiendea hovyo hovyo tu. Ndiyo maana nikaamua kuingia kwenye siasa lakini sasa kidogo uliyopo naona unafanya niliyokuwa nayataka", alisema Afande Sele.


Nyumba ya Anna Mkapa,Yapigwa 'X' Yatakiwa Kubomolewa

$
0
0


 Nyumba ya Anna Mkapa,Yapigwa 'X' Yatakiwa Kubomolewa
 Nyumba ya Anna Mkapa, mke wa Rais wa Serikali ya Awamu ya Nne, Benjamin Mkapa imekumbwa na bomoabomoa inayoendelea pembeni mwa Barabara ya Morogoro baada ya kuwekewa alama ya “X”.

Nyumba hiyo ipo kwenye shamba linalomilikiwa na familia ya Mkapa lililopo eneo la Mbezi kwa Msuguri, maarufu kwa jina la Kituo cha Zamani.

Nyumba zilizojengwa eneo la kuanzia Kimara hadi Kiluvya ambazo ziko ndani ya mita 121 kutoka katikati ya barabara hiyo kuu inayounganisha jiji la Dar es Salaam na mikoa mingine, zitabomolewa kwa ajili ya kupisha upanuzi.

Ingawa kijana aliyekuwepo hakuwa tayari kutoa maelezo, nyumba hiyo imezungushiwa ukuta na ina lango lililopakwa rangi nyeusi na ina duka ambalo muuzaji amewekwa na msimamizi wa mali hiyo.

Katika moja ya sehemu za ukuta wa nyumba hiyo kumeandikwa “hatubomoi hadi tulipwe”, lakini mtu aliyedai kuwa ndugu wa mama huyo alisema familia haihusiki na maandishi hayo, akituhumu watoto kuwa ndio walioandika hivyo.

Waandishi wa Mwananchi walifika katika nyumba hiyo ya Mama Anna Mkapa jana saa 5:00 asubuhi na kumkuta mmoja wa watu aliyedai ni ndugu wa mke wa rais huyo wa zamani.

“Ni kweli hapa ndiyo nyumbani kwa mama Anna Mkapa, lakini mimi siwezi kuzungumza chochote kwa sababu si mhusika. Hapa ni kama mwangalizi wa nyumba tu,” alisema.

Huku akigoma kutaja jina lake, mtu huyo alishauri atafutwe mmiliki wa nyumba hiyo kwa ajili ya maelezo zaidi.

“Naomba mtafute mama (Anna Mkapa) mwenyewe. Nendeni ofisini kwake. Mimi hapa ameniachia tu kama mwangalizi wa nyumba yake, kwa hilo mtanisamehe siwezi kuzungumza,” alisema .

Hata hivyo, mmoja wa wafanyakazi wa ndugu wa mke huyo wa Rais wa zamani ambaye alikuwa akiuza duka lililoko nje ya nyumba hiyo, alisema atafutwe mtu mmoja aliyemtaja kuwa ni “babu mmoja kipofu”.

“Naomba mkamuone babu mmoja kipofu na yeye nyumba yake imewekewa alama ya “X” anaweza kuwa na taarifa juu ya nyumba hii kwani nimekuwa nikimsikia akizungumza,” alisema.

Mmoja wa watoto waliokuwa eneo hilo aliwapeleka waandishi kwa babu huyo.

“Karibuni hapa ndipo nyumbani kwa babu,” alitukaribisha mtoto huyo.

“Karibuni nyinyi ni akina nani? Aliuliza babu,” na alipojibiwa kuwa ni waandishi alionekana kukubali.

“Ah. Nyie ndiyo waandishi wa Mwananchi mmekuwa mkiandika sana kuhusu bomoabomoa na leo mmeandika kuhusu waumini waliokimbia kanisa kwa sababu ya bomoabomoa,” alisema.

Baadaye alijitambulisha kuwa anaitwa James Shirinde (80) na alianza kueleza jinsi alivyonunua eneo hilo ambalo kwa sasa linamilikiwa na familia ya Mkapa.

“Nilinunua eneo hilo mwaka 1975 wakati huo nikiwa mfanyakazi wa Shirika la Reli ambalo kwa wakati huo lilijulikana kama TRC na huku kulikuwa ni mashamba tu,” alisema.

“Mwaka 1980, mke wa rais mstaafu alikuja akanunua shamba na akajenga nyumba ambayo mpaka sasa anaishi mdogo wake, Rose Silayo.”

Shirinde, ambaye kwa sasa anaishi peke yake baada ya mkewe kufariki na watoto wake kumtelekeza, alisema wakati wananunua eneo na kujenga, Wakala wa Barabara (Tanroads) walikuwa hawajaweka mawe

“Haya mawe waliyoyaweka sasa yametukuta baada ya kutungwa sheria mpya ya Hifadhi ya Barabara ya mita 121.5 mwaka 2007 na 2009. Wakati huo mke wa Mkapa naye alikuwa amejenga nyumba yake na mumewe pia alikuwa amenunua shamba huku la ekari tano,” alisema.

Mwenyekiti wa Mtaa wa Mji Mpya, Daniel Majige alisema shamba hilo ni mali ya Mkapa na nyumba ni ya mkewe.

“Ni kweli najua kuna shamba la Mkapa ambalo litamegwa nusu na Tanroads ili kupisha utanuzi wa barabara ya Morogoro, lakini kuhusu nyumba ya mke wake hiyo sijapata taarifa labda niifuatilie,” alisema.

Majige alisema shamba hilo ni la muda mrefu na moja ya mashamba ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wananchi kutokana na kutelekezwa na hivyo kuwa pori.

“Tumekuwa tukiwaambia mara nyingi kuhusu shamba lao kuwa tatizo, lakini wanachofanya wanakuja wanafyeka kisha wanaliacha tena na tumeshaomba sana hilo shamba tupewe Serikali ya kijiji ili tuliendeleze kwa kujenga kituo cha polisi lakini hatujawahi kujibiwa chochote,” alisema.

Injinia wa Tanroads, Johnson Letechura alipoulizwa kuhusu alama ya bomoa katika nyumba hiyo, alijibu kwa kuuliza: “Unataka kujua kama ni nyumba yake ili iweje? Acheni kuandika habari za nonsense (zisizo na maana),”alisema.

Lutechura alisema nyumba ya mtu yeyote iliyoko kwenye hifadhi ya barabara itabomolewa, na baadaye akakata simu.


Anayeuza Mishikaki ya Paka Dar Anaswa na Polisi

$
0
0


Anayeuza Mishikaki ya Paka Dar Anaswa na Polisi
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Sadiki, ambaye ni muuza mishikaki katika eneo lililo karibu na jengo la Kibo Complex, Tegeta jijini Dar amenaswa na polisi kwa tuhuma za kukutwa akiuza mishkaki ya paka.

Chanzo chetu cha habari kilidai kuwa walaji wengi wa mishkaki ya Sadiki wamekuwa wakipatwa na shaka na nyama hiyo kutokana na ladha yake kuwa tofauti, lakini kila mara wakiuliza kuhusu jambo hilo, jamaa huyo amekuwa akiwatoa wasiwasi kwa kuwaambia kuwa kitoweo hicho ni cha ng’ombe.

.
“Kuna siku mteja mmoja alipomuuliza Sadiki kama mishkaki ni mnyama gani jamaa alimsisitizia kuwa ilikuwa ni nyama ya ng’ombe isiyo na mashaka ambapo mteja huyo alishindwa kuendelea nayo na kuiacha bila kudai pesa,” kilisema chanzo hicho.
Imedaiwa kutokana na shaka ya wateja wa mishkaki hiyo inayoletwa na ladha isiyo ya kawaida ya nyama, ambayo pia hunogeshwa kwa viungo vya aina mbalimbali, wananchi wa eneo hilo waliamua kumuwekea mtego ili kubaini ukweli.
Alhamisi iliyopita, wakati akiwasili katika kijiwe chake kuendelea na kazi yake ya kuuza mishikaki, ghafla wananchi walimvamia na kumnyang’anya ndoo yake ya nyama na kuifungua, ndipo zilipokutwa nyama hizo zilizodaiwa kuwa za paka.

Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, ACP, Jumanne Muliro,
Wananchi wenye jazba baada ya kuona hivyo walitaka kumuangushia kipigo, lakini walitokea polisi wa doria ambao walimuokoa mfanyabiashara huyo na kwenda naye kituoni kumhoji zaidi kuhusiana na tuhuma hizo.

 Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, ACP, Jumanne Muliro kumuuliza kama anazo taarifa hizo, na kueleza kinachoendelea ambapo kamanda huyo alisema askari wake bado hawajamfikishia taarifa hizo na kusema huenda kuna mambo walikuwa wakiendelea kuyaweka sawa ili wamfikishie habari iliyokamilika.
“Ninafuatilia suala hilo na nitakupa majibu,” alisema, lakini mpaka tunaelekea mitamboni alikuwa bado hajarudisha majibu.

Ronaldo Apewa Adhabu Hii Baada ya Kupewa Kadi Nyekundu

$
0
0




Ronaldo Apewa Adhabu Hii Baada ya Kupewa Kadi Nyekundu
Mchezaji nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amepewa marufuku ya mechi tano baada kupewa kadi nyekundi wakati wa mechi ya el Clasicco siku ya Jumapili.

Alipewa marufuku ya mechi moja kwa kuonyeshwa kadi mbili za njano na nyengine nne kwa kumsukuma refa kutoka nyuma baada ya kutolewa nje.

Alipewa kadi nyekundu kwa kuvua tishati yake alipokuwa akisherehekea bao lake lililofanya mambo kuwa 2-1 na kujirusha

Atakosa mechi ya Jumatano ya awamu ya pili.
Ronaldo ana siku 10 kukata rufaa.
Raia huyo wa Ureno atacheza katika ligi ya mabingwa lakini hatocheza hadi tarehe 20 mwezi Septemba dhidi ya Real Betis.

Madrid tayari ilikuwa ishatoa ishara za kutaka kukata rufaa dhidi ya kadi ya pili ya njano dakika nane kabla ya mchezo kukamilika alipojiangusha ndani ya eneo hatari baada ya kubanwa na Samuel Umtiti.

Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Siku ya Leo Jumanne

$
0
0

OFFER:Jipatie Water Dispenser Yenye Warrant Ya Mwaka (1) kwa Bei nafuu Mnoo!

$
0
0
OFFER:Jipatie Water Dispenser Yenye Warrant Ya Mwaka (1) kwa Bei nafuu Mnoo!

*OFA YA MWEZI*

Jipatie Water Dispenser Yenye Warrant Ya Mwaka (1) kwa Bei nafuu Mnoo!

Dispenser mashine ya Friji chini Tsh *300000*

Dispenser Ya Maji baridi&Moto,Haina Friji Tsh 195000/= Kuweka Oda 🔴0743 757575

Tufollow instagram

@beinafuu_Shop
@beinafuu_Shop

Zijue Dalili, Athari na Tiba ya Upungufu wa Nguvu za Kiume na Kukosa Hamu ya Tendo na Kuongeza Uume...

$
0
0
ZIJUE DALILI, ATHARI NA TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA KUKOSA HAMU YA TENDO NA KUONGEZA UUME. Tatizo la kukosa au upungufu wa nguvu za kiume limekuwa kubwa sana duniani kote. Kupungukiwa nguvu za kiume na maumbile madogo ya uume husababishwa na mambo mengi kama KISUKARI, UNENE ULIOPITILIZA, KUJICHUA (MASTER BLASHION), UNYWAJI WA POMBE, HOMONI kushindwa kufanya kazi ipasavyo n.k. Upungufu wa nguvu husababisha tendo la ndoa kutokufanyika kwa kujiamini na kwa usahihi na hivyo kusababisha ndoa na mahusiano kuvunjika.

BAADHI YA DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI KAMA:-
☆Kukosa hamu ya tendo la ndoa ☆Uume kusimama kwa ulegevu
☆Kuwahi kufika kileleni ☆Kushindwa kurudia tendo kwa wakati
☆Kuchoka sana baada ya round ya kwanza na hata kukinai kabisa.
☆Uume kusinyaa katikati ya tendo. Kwa kutumia mimea na matunda @markson_beauty_pr Tunakuletea suluhisho la matatizo hayo hata kwa wenye "KISUKARI NA PRESSURE" kwa:-
1.HANDSOME UP ORIGINAL ni kifaa chenye uwezo wa 99% kuongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @250,000/=
2.SHARK POWER ni gely ya kupaka inayoongeza uume kwa wastani wa inch 6.5 hadi 7 @150,000/=
3.Vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza nguvu na hamu ya tendo la ndoa hata kwa wenye kisukari na kuweza kurudia tendo @150,000/=
4.Spray ya kuchelewesha kufika kileleni @130,000/= BIDHAA HIZI HAZINA MADHARA NA ZIMETHIBITISHWA KIAFYA. KWA BIDHAA HIZI NA NYINGINE KAMA
>Kupunguza unene na manyama uzembe @150,000/=
>Kuondoa mvi milele zisiludi @150,000/=
>Kutengeneza shepu (hips, makalio na mapaja) 200,000/=
>Kupunguza tumbo (kitambi) na nyama za pembeni @130,000/=

Wasiliana nasi Popote ulipo duniani kwa (+255) 0767447444 na 0714335378 

NB:Matokeo ni uhakika na garantii na hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.

Raila Odinga Kufichua Madai ya Namna Alivyoibiwa Kura

$
0
0


Raila Odinga Kufichua Madai ya  Namna Alivyoibiwa Kura
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga aliyeshindwa katika uchaguzi wa urais uliopita ameliambia gazeti la Financial Times nchini Uingereza kwamba atafichua ushahidi siku ya Jumanne kuhusu vile alivyoibiwa kura.

''Tutauonyesha ulimwengu ulivyochezewa'' .
Bwana Odinga ambaye alikuwa akiwania urais kwa mara ya nne pia alibaini kwamba hatowania tena urais na kwamba aliwataka Wakenya kujua kilichofanyika wakati wa uchaguzi huo.

''Sio swala la kuwa mbifansi, Sio swala kuhusu Raila Odinga, Sitawania urais tena......tunataka Wakenya kujua kile kilichofanyika, na kile ambacho ulimwengu haujui kinafanyika''.

Bwana Odinga amedai kwamba wadukuzi waliingilia kompyuta za tume ya Uchaguzi na kuweka hesabu ambazo zilimpatia ushindi rais Uhuru Kenyatta.

Mke wa Mugabe Atoa Kipigo Kwa Binti Aliyemkuta na Mtoto Wake wa Kiume

$
0
0
Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe anatuhumiwa kumpiga na kumsabababishia majeraha binti mmoja aliyemkuta na wanawe wawili wa kiume mjini Johannesburg, Afrika Kusini juzi Agosti 13 alikokuwa amekwenda kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya mguu.


Kwa mujibu wa tovuti ya habari ya Bulawayo 24 ya nchini Zimbabwe na jumbe mbalimbali zilizotumwa kupitia mtandao wa Twitter mjini Johannesburg na Harare, zimedai kuwa Grace Mugabe alimshambulia binti aliyefahamika kwa jina la Gaby kwa kutumia waya wa umeme baada ya kumkuta na wanae wawili, Robert Jr (25) na Chatunga (21).


Watoto hao wawili ambao wapo mjini humo kimasomo wanafahamika kwa kula bata zaidi kuliko kusoma, kitu ambacho ndio lengo la wao kuwepo nchini humo.

Hivi karibuni Robert Mugabe Jr, na Chatunga Bellarmine, walifukuzwa katika nyumba waliyokuwa wakiishi eneo la Rivonia baada ya kusababisha usumbufu kutokana na kelele za muziki na watu
waliokuwa wakija katika nyumba hiyo.Hata baada ya kufukuzwa, walitakiwa kuikarabati nyumba hiyo.

Msichana huyo aliyepigwa na Grace alipata jeraha kichwani kwake na kwamba walinzi walikuwa wakishuhudia namna anavyoshambuliwa na mke huyo wa Rais wa Zimbabwe.

Wafuatao Wajiandae Kumrithi Rais Dr. Magufuli Mwaka 2025 Tafadhali

$
0
0
Wakijilinda Kiafya na kuzidisha sana maombi yao ya Utendaji huku wakiwa waaminifu na wenye moyo hasa wa Kiuzalendo na Mapenzi ya dhati kabisa kwa nchi ya Tanzania basi wafuatao watakuwa Warithi sahihi na wazuri sana wa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimaliza muhula wake wa pili hapo mwaka 2025

Rais Dkt. Hussein Mwinyi
Makamu wa Rais Jennister Mhagama
Waziri Mkuu Suleiman Jaffo

Endapo hao Watajwa hapo juu Mwenyezi Mungu hatotubariki kuwa nao hadi huo mwaka wa 2025 basi wafuatao wajiandae kuchukua nafasi zao endapo tu na Wao watalinda afya zao, kuzidisha maombi yao kwa Mwenyezi Mungu, wakiwa waaminifu hasa bila kusahau wawe Wazalendo wa kweli kwa nchi ya Tanzania basi watakuwa Warithi sahihi na wazuri sana wa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimaliza muhula wake wa pili hapo mwaka 2025

Rais Professor Makame Mbarawa
Makamu wa Rais Ummy Mwalimu
Waziri Mkuu Luhanga Mpina

Ombi kwa Watajwa hao hapo juu tafadhalini......
Tunzeni afya zenu ( HILI NAOMBA MLIZANGITIE SANA )
Jiheshimuni sana ( maisha ya Kihuni / Kisela / Kisanii sasa kaeni nayo mbali )
Zidisheni uadilifu wenu
Ombi langu Kuntu kabisa kwa Mheshimiwa Rais Dr. Magufuli juu ya hawa Watajwa ni kwamba.....
Waamini sana hao niliowataja hapo juu
Wazidishie Ulinzi wao kwani ndiyo Warithi wako wazuri na watarajiwa
Wajenge zaidi hasa Kiitifaki
Kila la kheri na ni matumaini yangu makubwa Kwako Mheshimiwa Rais wangu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Magufuli kuwa Mimi GENTAMYCINE nimekurahishia Kazi yako ya kuwakabidhi nchi akina nani hapo mwaka 2025 utakapong'atuka na hao ndiyo pekee watakaokufaa kwani wana uthubutu wa kupita mule mule ambako umepita Wewe na kuzidi kuiletea Maendeleo hii nchi yetu.

Nawasilisha.
GENTAMYCINE

Tanzania Yapewa Onyo na Freemason

$
0
0



Tanzania Yapewa Onyo na  Freemason
Jumuiya hiyo, ambayo inatambuliwa na Jumuiya Kuu ya Freemasons nchini Uingereza (United Grand Lodge of England), ilitoa tahadhari yake rasmi jana, baada ya kuwapo kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuwapo kwa upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kupitia matangazo yanayoelezea utaratibu wa kujiunga uanachama katika namna isiyokuwa sahihi.

Hivi karibuni, kumekuwa na matangazo mbalimbali katika maeneo ya miji, ikiwamo Dar es Salaam, yanayohamasisha watu kujiunga na jumuiya.

Vyanzo mbalimbali vimeiambia Nipashe kuwa hadi sasa, tayari baadhi ya watu wameshalizwa kiasi kikubwa cha fedha kutokana na matumaini wanayopewa na matapeli wanaojinadi mitaani kuwa wanawaunganisha watu kuwa ‘memba’ wa Freemasons kwa kuwatoza fedha huku pia, wakiwapa matumaini hewa kuwa shida zao kiuchumi zitafikia mwisho na kuwa mabilionea wakubwa kupitia jumuiya hiyo.

Mbali na matangazo yanayotolewa kupitia mabango mbalimbali ya mitaa ya maeneo ya miji ikiwamo Dar es Salaam, hamasa za kuwataka Watanzania wajiunge uanachama wa Freemasons zimekuwa pia zikisambazwa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii huku ahadi kubwa ikiwa ni kuwakwamua watu kiuchumi.

Hata hivyo, katika taarifa iliyosambazwa na Freemasons, ambayo ilitolewa kama tangazo jana, na kuidhinishwa na Dar es Salaam Masonic Trust, Watanzania wametakiwa kujiweka mbali na mtangazo yanayohusiana na hamasa ya kuwataka wajiunge kuwa wanachama wa Freemasons kwa sababu kinyume chake, watajiweka katika hatari ya kutapeliwa.

Taarifa hiyo ilisisitiza kuwa Freemasons haitahusika wala kuchukua dhamana kwa mtu au watu watakaotoa fedha kama malipo ya kujiunga na jumuiya hiyo.

“Jumuiya ya Freemasons inapenda kutoa taarifa na tahadhari kwa umma kuwa kumekuwako na matangazo ya aina mbalimbali yanayotolewa na watu wasio na uhusiano wowote na jumuiya hii.

“Kwa hivyo tunaufahamisha umma kuwa jumuiya ya Freemasons haihusiki wala haihusiani na mtu, watu au kikundi chochote kinachotangaza kwa lengo la kutafuta wanachama,” ilisema sehemu ya taarifa hiyo ya Freemasons.

POLISI WAFUNGUKA
Katika hatua nyingine, Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Lucas Mkondya, aliiambia Nipashe jana, kuwa hadi sasa hawajawahi kupokea malalamiko yanayohusiana na utapeli unaofanywa na watu wanaotumia jina la Jumuiya ya Freemasons nchini na kwamba, wako tayari kuchukua hatua stahili pindi jambo hilo likiwafikia.

Alisema ingawa upo uwezekano wa kuwapo kwa mabango ya aina hiyo mitaani, Jeshi la Polisi litakuwa na nafasi nzuri ya kufanyia kazi jambo hilo endapo litapata taarifa rasmi ambayo itatoka kwa wenye uhalali na jumuiya hiyo, ili liifanyie kazi.

“Pamoja na (Freemasons) kutoa taarifa kwenye vyombo vya habari, bado hatuwezi kuanza kufanyia kazi taarifa ambazo hazijafikishwa kwetu.

Inawezekana ni kweli wanatumia jina la Freemasons, ili kujipatia fedha, kufanya utapeli… kazi yetu ni kupokea taarifa na kufanyia kazi,” alisema Mkondya.

UMAARUFU WA FREEMASONS
Freemasons wamejitwalia umaarufu nchini katika miaka ya hivi karibuni baada ya kuwapo na taarifa zinazowahusisha wanachama wake na mafanikio makubwa katika shughuli mbalimbali za kiuchumi, hasa biashara.

Aidha, baadhi ya uvumi uliotanda kuhusiana na Freemasons ulionekana kuwa hauna ukweli kupitia ufafanuzi uliotolewa kwa nyakati mbalimbali na aliyekuwa mkuu wa jumuiya hiyo katika ukanda wa Afrika Mashariki (Kenya, Uganda, Tanzania na Shelisheli), Sir Andy Chande. Chande alifariki Aprili, mwaka huu.

Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali, Freemasons husimamia msingi wa kuwa na agano miongoni mwa wanachama la kushirikiana kwa kila hali, ili kufikia malengo ya pamoja.

Maskini.. Huyu Ndiye Binti Aliyepigwa na Mke wa Mugabe na Kusababishiwa Majeraha

$
0
0
Maskini.. Huyu Ndiye Binti Aliyepigwa na Mke wa Mugabe na Kusababishiwa Majeraha
Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe anatuhumiwa kumpiga na kumsabababishia majeraha binti mmoja aliyemkuta na wanawe wawili wa kiume mjini Johannesburg, Afrika Kusini juzi Agosti 13 alikokuwa amekwenda kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya mguu.

Mugabe akiwa na mke wake.

Kwa mujibu wa tovuti ya habari ya Bulawayo 24 ya nchini Zimbabwe na jumbe mbalimbali zilizotumwa kupitia mtandao wa Twitter mjini Johannesburg na Harare, zimedai kuwa Grace Mugabe alimshambulia binti aliyefahamika kwa jina la Gaby kwa kutumia waya wa umeme baada ya kumkuta na wanae wawili, Robert Jr (25) na Chatunga (21).


Watoto hao wawili ambao wapo mjini humo kimasomo wanafahamika kwa kula bata zaidi kuliko kusoma, kitu ambacho ndio lengo la wao kuwepo nchini humo.

Hivi karibuni Robert Mugabe Jr, na Chatunga Bellarmine, walifukuzwa katika nyumba waliyokuwa wakiishi eneo la Rivonia baada ya kusababisha usumbufu kutokana na kelele za muziki na watu
waliokuwa wakija katika nyumba hiyo.Hata baada ya kufukuzwa, walitakiwa kuikarabati nyumba hiyo.

Msichana huyo aliyepigwa na Grace alipata jeraha kichwani kwake na kwamba walinzi walikuwa wakishuhudia namna anavyoshambuliwa na mke huyo wa Rais wa Zimbabwe.

Floyd Maywethea Anatarajiwa Kutua Bongo

$
0
0


Floyd Maywethea Anatarajiwa  Kutua Bongo
Promota na Meneja maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Juma “Chief” Ndambile  yupo katika mikakati ya kumleta nchini bondia maarufu wa ngumi za kulipwa Duniani, Floyd Mayweather Jr mara baada ya pambano lake Conor McGregor.

Awali, Mayweather alipanga kutembelea Ghana mwezi  Juni, lakini safari hiyo iliharishwa ili kujiandaa na pambano lake dhidi ya bondia McGregor  lililopangwa kufanyika Agosti 26 kwenye  Las Vegas’ T-Mobile Arena.

Ziara ya Ghana kwa bondia huyo imeandaliwa na kampuni ya Upscale Entertainment ambapo mbali ya Ghana, bondia huyo alipanga kutembelea Nigeria.

Ndambile alisema jana kuwa amefanya mawasiliano na waandaaji wa ziara ya bondia huyo nchini Ghana na mazungumzo yanaendelea vizuri.  Ndambile alisema  baada ya kufanya mazungumzo ya awali, alilazimika kusafiri hadi Ghana ili kujadiliana jinsi ya kufanikisha ziara hiyo.

“Nilikwenda Ghana na kukutana na waratibu wa ziara hiyo, kuna mambo ambayo tulikubaliana nao kuhusiana na ziara hiyo, tunaendelea vizuri sana, tunasubiri pia menejimenti ya bondia huyo kutangaza tarehe rasmi ya kufika
Ghana na masuala mengine yatafuatia,” alisema Ndambile.

Ndambile alisema kuwa  ameweka nia ya kufanikisha yale aliyoyapanga  mara baada ya kuhudhuria mkutano mkuu wa Baraza la Ngumi za Kulipwa Duniani (WBC) uliofanyika Desemba 11-17 Marekani. Tayari promota huyo amekabidhi taarifa ya mipango yake ya kuendeleza ngumi za kulipwa kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe.

“Nikiwa Marekani, niliweza kukutana na Rais wa WBC, Mauricio Sulaimai pamoja na bondia Mayweather, mabondia Lenox Lewis, Amir Khan, Wladimir Klitschko, Evander Holyfield na mapromota maarufu kama Don King na Jay Mathews, wote hao wameonyesha nia ya kuja nchini kwa ajili ya kuona vivutio vya utalii na kuwekeza,” alisema Ndambile.
Alifafanua kuwa ameamua kuwekeza katika mchezo huo na amaani endapo atafanikisha ujio wa Mayweather, Tanzania itapaa katika mchezo wa ngumi za kulipwa na vile vile kutangaza utalii.

'Zimbabwe' ya R.O.M.A Yazidi Kuwagusa Wengi ..Nikki Mbishi Ampa Pongezi R.O.M.A

$
0
0




'Zimbabwe' ya R.O.M.A Yazidi Kuwagusa Wengi ..Nikki Mbishi Ampa Pongezi  R.O.M.A
Rapper huyo amesema ngoma hiyo ndani ya siku mbili kupata viewers zaidi 450,000 katika mtandao wa YouTube ni ishara ya kufanya vizuri na ni mafanikio katika level ya muziki wa hip hop hususani Tanzania.

Nikki ameendelea kueleza kuwa alipoona ngoma hiyo kwa mara ya kwanza alishawishika na ikabidi atumia MB zake kwa ajili ya kudownload na alipoupa na kuusikiliza alishtuka kidogo na kuhisi mbona kama jamaa kuna kitu anataka kukisema.

“Nikagundua maswali mengi siku ambao waandishi wa habari walikwenda na makamera kwenda kuhoji pale lakini yale maswali waliyomuuliza Roma siyo ambayo yalitakiwa aulizwe na ambayo waliulizwa hayakujibiwa, lakini Roma amefanikiwa japo kwa kifupi kuyajibu kwenye wimbo, kwa hiyo ni kile kila mtu alikuwa anatamani kujua,” ameiambia Planet Bongo ya EA Radio na kuongeza.

“Sijui ripoti ya utekaji ameiteka mtekaji na vitu kama vile, then anawashukuru watu waliotabiri atatoka jumapili kwa kuwa kuna manabii wametabiri kwamba mwanenu amepotea lakini jumapili atakuwa amepatikana ni vitu ambavyo ni live yeye kaviongea, me naona alichosema ni kizuri,” amesema Nikki.

Pia Nikki amesema wimbo haupo negative tu kwamba Roma anaipinga serikali kwani kamsifia Mh. Rais Dkt. Magufuli kwa kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga.

Misri Yamwaga Fedha Hospitari ya Muhimbili

$
0
0




Misri Yamwaga Fedha Hospitari ya Muhimbili
Tanzania na Misri zimekubaliana kukuza ushirikiano katika maeneo mbalimbali ya kibiashara na kiuchumi pamoja na nchi ya Misri kuongeza fedha katika hospitali ya Muhimbili ili iwe inafanya operesheni ya figo.



Akizungumza jijini Dar es salaam baada ya mazungumzo yake na Rais wa Misri, Abdel Fattah Al Sisi, Rais Magufuli amesema wamekubaliana kuboresha sekta ya kilimo afya na biashara.

“Sasa tukuze biashara katika nchi hizi mbili, tumezungumza kwa mfano Tanzania ni wa pili kwa kuwa na mifugo mingi na nchi ya Misri inahitaji nyama tumekubaliana kuendelezana katika masuala ya kilimo ikiwepo kwenye masuala ya irrigation(umwagiliaji) ambayo ndio yameliendeleza taifa la Misri tangia miaka na miaka na miaka,” alisema Rais Magufuli.

“Kwahiyo wameamua hiyo Teknolojia kushirikiana na Tanzania katika masuala hayo lakini pia tumeahidi kushirikiana katika masuala ya afya wamekuwa wakitusaidia kwa baadhi ya wataalam na vifaa katika hospitali ya Dar es salaam Muhimbili pamoja na hospitali ya Zanzibar sasa wameamua kupanua zaidi huo wigo vizuri huo wigo na sasa wameamua wataongeza fedha kuwa sasa hospitali ya Muhimbili itakuwa inafanya operesheni ya figo pamoja na masuala mengine ambayo ni muhimu kabla haijafika 2020.”



Hiki Ndicho Chanzo cha Kuvunjika Ndoa Yangu- Nuh Mziwanda

$
0
0

Hiki Ndicho  Chanzo cha Kuvunjika Ndoa Yangu- Nuh Mziwanda
Msanii wa bongo fleva, Nuh Mziwanda amefunguka kwa kudai chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yake ni kutokuwa na pesa za kutosha za kuweza kuwahudumia familia ya mke wake kama alizokuwa nazo mwanaume aliyemuoa Nawal hivi karibuni.


Nuh Mziwanda amebainisha hayo, baada ya kila kitu mtu kutamani kujua chanzo cha kuvunjika ndoa yao ni kipi, kutokana wawili hao wamekaa kwa muda wa mchache kwenye ndoa hiyo kwa takribani miezi mitano huku akijitetea kuwa hajawahi kumuacha mke wake japo walikuwa na migogoro mingi ndani ya nyuma yao.

"Sijaachana na mke wangu Nawal kwa sababu bado sijatoa talaka mpaka muda huu kusema simtaki aendelee na maisha yake, japo kulikuwepo na msuguano wa hapa na pale ambao naamini haukuwa unatokana baina yetu, bali ulikuwa unataka na famili yake", alisema Nuh Mziwanda.

Pamoja na hayo, Nuh aliendelea kwa kusema "Nawal hajawahi kuniambia mimi na yeye basi tuachane, ila ninavyokumbuka alinipigia simu siku chache kabla ya kuolewa akitaka talaka yake wakati yupo nyumbani kwa wazazi wake. Maana alikuwa anapenda sana maamuzi ya kukimbilia kwao kila tunapopishana kwa hata jambo ndogo pamoja na kutaka talaka sasa sijui kwa sababu jamaa aliyemuoa ana uwezo wa kifedha kwamba anaweza akazungusha 'mkwanja' pale 'home' kwao", alisema Nuh Mziwanda.

Kwa upande mwingine, Nuh Mziwanda alisema aliamua kubadili dini yake na kuingia katika uislamu ni kutokana na kuwa alimpenda sana Nawal kwa kuwa ni mwanamke pekee aliyeweza kubeba ujauzito kati ya wanawake wote aliyokuwa nao kabla ya kufunga naye ndoa kwa mara ya kwanza.

RC Dodoma Amevunja Mabaraza ya Biashara

$
0
0
RC Dodoma Amevunja Mabaraza ya Biashara
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jodarn Rugimbana amevunja mabaraza ya biashara mkoani hapa kutokana na changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutumika kisiasa.

Akizungumza leo Jumanne ofisini kwake, Rugimbana amesema mabaraza yaliyovunjwa ni ya wilaya na la mkoa.

Amewaagiza wakuu wa wilaya kusimamia uundwaji wa mabaraza hayo ndani ya siku saba.

Amesema mabaraza yatakayoundwa yalenge kutatua changamoto zilizokuwa zikiyakabili.

Pia amesema mabaraza hayo anataka yasimamie uanzishwaji wa viwanda.

'Kuna Mtu Amelipwa Pesa ili Aniue' -Saida Karoli

$
0
0

'Kuna Mtu Amelipwa Pesa ili Aniue' -Saida Karoli
Ikiwa imepita miezi miwili toka msanii wa nyimbo za asili Tanzania Said Karoli arudi rasmi kwenye muziki na kuachia kazi zake mbili zilizopata mafanikio na kuwafikia watu wengi zaidi ameibuka na kudai watu wameanza kumpiga vita kishirikina na wanataka kumuua.

Said Karoli ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Orugambo' amedai kuwa ushirikina upo na watu wanampiga vita ili aweze kupotea tena kwenye muziki kama ilivyotokea kipindi cha nyuma na kudai kuna mtu amelipwa pesa ili amuuwe kabisa jambo lililopelekea kuahirisha baadhi ya show zake.

"Huyo mtu alinielekeza watu kadhaa ambao wamepanga mpango wa kuniua aliniambia, sasa mimi nimeshalipwa nikuuwe nikuondoe duniani kabisa yaani kabla ya kufika Mwanza, Geita tena bora hata hizi show zingine uvunje, kweli ramani aliyonipa nilichoka ikabidi show zingine za Bukoba tumezivunja tukasema ngoja tutulie kwanza tuone nini kitaendelea" alisema Said Karoli

Saida Karoli anakiri wazi kuwa suala la ushirikiana lipo na kwake si jambo la ajabu kumtokea kwani tayari ameshakutana na mambo ya namna hiyo sana na kudai yeye anamtegemea Mungu na kumuomba Mungu.

Kenyatta Aruhusu Maandamano kwa Wanaotaka Kupinga Ushindi Wake

$
0
0


Kenyatta Aruhusu Maandamano kwa Wanaotaka Kupinga Ushindi Wake
Rais Uhuru Kenyatta huenda akaingia katika vitabu vya kumbukumbu na historia kwa marais wa Afrika kwa kuamua kuruhusu maandamano ya amani kupinga ushindi wake alioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 8.

Kenyatta amewataka polisi kujizuia kutumia nguvu kubwa na badala yake wawape ulinzi wakati wa maandamano hayo ya amani na yanayoruhusiwa kisheria kwa watu ambao hawafurahii matokeo ya uchaguzi uliopita.

Rais Kenyatta alisema hayo jana alipokuwa akitoa ujumbe kwa wagombea walioshindwa katika uchaguzi huo uliofanyika Jumanne iliyopita.
Kenyatta alisema hayo akiwa Jengo la Harambee alikokwenda kukutana na Kamati ya Maandalizi ya Hafla ya kuapishwa kwake.

Katika ujumbe huo uliomlenga zaidi Raila Odinga aliyekuwa mgombea urais kupitia muungano wa Nasa, Kenyatta aliwataka wagombea wote ambao hawakuridhishwa na matokeo ya uchaguzi wachukue hatua zilizobainishwa na Katiba ili kupata wanachotaka.

“Marafiki zetu ambao hawataki kukubaliana na matokeo … tumenyosha mkono wetu wa udugu kwao … watumie njia zozote zilizobainishwa katika katiba kuelezea kutoridhishwa kwao,” alisema.
“Wale wanaotaka kushawishi wengi wagome wanaweza kufanya hivyo, lakini kwa kuzingatia vifungu vya sheria. Mwishoni mwa siku sisi sote ni Wakenya. Hakuna haja ya kudhuriana. Hakuna haja ya kuharibiana mali…tunawashukuru polisi kwa kazi nzuri lakini waendelee kujizuia.”
“Polisi wako tayari kuwalinda wakati mnafanya maandamano na wale waliochukia waelewe kwamba hawahitaji kibali changu wala cha Jubilee kufanya maandamano ya amani.”

Hata hivyo, alitoa onyo kali kwamba serikali haitavumilia maandamano yatakayosababisha vifo na uharibifu wa mali za watu kutokana na vurugu.

Vilevile alitoa onyo dhidi ya waporaji na waharibifu wa mali katika baadhi ya maeneo ya nchi, ambako yameripotiwa maandamano baada ya uchaguzi.

“Wakenya wengi wamesema uchaguzi umepita na wamerejea kazini. Hawataki maandamano ya ghasia. Msivuruge maisha ya watu wengine. Kama serikali hatutaruhusu uharibifu wa mali wala upotevu wa maisha na uporaji.”

Rais Uhuru alitoa kauli hiyo baada ya viongozi wa muungano wa Nasa kuhamasisha wafuasi wao kukataa matokeo yaliyompa ushindi Uhuru na makamu wake, William Ruto.

Baada ya kazi ya kuhesabu kura kukamilika, Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ilimtangaza Kenyatta kuwa mshindi kwa kura 8,203,290 sawa na asilimia 54.27.
IEBC ilisema mgombea urais kwa muungano wa Nasa, Raila Odinga alipata kura 6,762,224 sawa na asilimia 44.74 matokeo ambayo wanayapinga.

Wakiitikia wito wa viongozi wao kati ya Jumatano na Jumamosi maeneo, ambayo ni ngome ya upinzani ya Kisumu, Kibera, Homabay na Migori yalikumbwa na vurugu na soko la Garissa lilichomwa moto.

Nasa walidai kwamba, kwa mujibu wa vyanzo vyao kutoka ndani ya IEBC Raila alishinda kwa kura milioni nane akifuatiwa na Uhuru. Walidai wizi huo ulifanikishwa kwa kudukua kompyuta iliyokuwa inahifadhi matokeo na kumbukumbu nyingine.

Juzi, akizungumza na wafuasi wake waliojitokeza kwa wingi katika eneo la Kibera, Raila aliwataka wafuasi wake wote kususia kazi jana ili kuomboleza vifo vya waliouawa katika makabiliano na polisi.Pia, alisema atatoa msimamo leo wa nini cha kufanya.

Katika kile kinachoonekana kuwa ni kutii wito wa serikali, watu walionekana kupuuza wito wa Raila wa kususia kazi kuomboleza watu waliouawa katika makabiliano kati ya polisi na waandamanaji waliokuwa wanapinga matokeo ya uchaguzi wa urais.
Wengi walionekana barabarani wakirejea kwenye shughuli zao jana na kuendelea na maisha ya kawaida.

Lipumba Bado Amng'ang'ania Maalim Seif Kujisalimisha Ofisini Kwake

$
0
0
Lipumba Bado Amng'ang'ania  Maalim Seif Kujisalimisha Ofisini Kwake
Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba ameendelea kumtupia lawama katibu mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad kwa madai kuwa amejenga chuki dhidi yake.

Amesema mara kwa mara amekuwa akimpigia simu katibu huyo kwenda ofisini kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake, lakini hapokei na mara mwisho alimpigia Machi mwaka huu.

Profesa Lipumba ameeleza hayo leo Jumanne Agosti 15 wakati akizungumza na wanahabari kuhusu mwenendo wa chama hicho na kuyatolea ufafanuzi masuala mbalimbali yanayoendelea ndani ya chama hicho.

Amesema Maalim Seif amekuwa na chuki dhidi yake hadi kufikia hatua ya kufungua kesi kwa hati ya dharura dhidi ya uamuzi wa Baraza Kuu la Uongozi la upande wa Profesa Lipumba.

Hivi karibuni baraza hili liliwavua uanachama wabunge wa viti maalumu wanane na madiwani wawili viti maalumu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

"Hakuwa sahihi kwenda kufungua kesi mahakamani, wakati haya mambo tungeweza kukaa na kujadiliana hizi ndiyo chuki ninazozisema. Lakini namwambia suluhu haiwezi kuisha kwa kila mtu kuwa kivyake badala ya yeye kuja ofisini kutekeleza majukumu," amesema Profesa Lipumba.

Kuhusu majina ya wabunge wanane walioteuliwa hivi karibuni Profesa lipumba amesema uteuzi huo ulifuata taratibu zote kwa mujibu wa Katiba ya CUF na kwamba majina hayo yalikuwepo katika orodha iliyopelekwa na Maalim Seif mwaka 2015.

Hata hivyo, Profesa Lipumba amesema chama hicho ndiyo mkombozi pekee wa vyama vya upinzani kwa kuwa kina hoja za kuwasimamia Watanzania kwani wengine wameshindwa.


Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images