Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live

Mwamuzi Mechi ya Watani wa Jadi Simba na Yanga Huyu Hapa

$
0
0

Mwamuzi Mechi ya Watani wa Jadi Simba na Yanga Huyu Hapa
Mwamuzi bora wa msimu uliopita, Elly Sassi mwenye umri wa miaka 28 ndiye atakayechezesha mechi ya watani Yanga na Simba.

Simba na Yanga zinakutana Jumatano ijayo katika mechi ya Ngao ya Jamii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ukiwa ni mchezo wa kuashiria kufunguliwa kwa pazia la ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2017/18 utakaoanza rasmi Agasti 26.
Sassi ambaye ndiye mwamuzi bora Ligi Kuu msimu ulioisha 2016/2017.

Mwamuzi huyu kijana, amekuwa akitabiriwa kufika mbali kutokana na ubora wa kazi yake huku pia akitajwa kuwa ni mmoja wa waamuzi wenye misimamo ya kufuata sheria na kanuni za mchezo wa soka na si mtu wa kuteteleka katika maamuzi yake jambo ambalo linamfanya kumudu michezo mingi mikubwa ya ndani na nje ya nchi.

Tayari kuelekea mchezo huo mgumu mno kwa pande zote mbili yaani Simba na Yanga vilabu hivyo vyote vimekimbia jiji na kwenda kujifisha kisiwani Zanzibar, Wakati Simba wakiwa kisiwani Unguja wenzao Yanga wao wako Kisiwa cha Pemba.


Huyu Ndiye Faru Aliyesombwa na Mafuriko Kutoka Nchini Nepal Hadi India Aokolewa

$
0
0
Huyu Ndiye Faru Aliyesombwa na Mafuriko Kutoka Nchini Nepal Hadi India Aokolewa
Faru kutoka familia ya wale walio kwenye hatari ya kuangamia ambaye alisombwa na mafuriko kutoka nchini Nepal hadi India ameokolewa na kurudishwa nyumbani.
Faru huyo wa kike alipatikana umbali wa kilomita 42 kutoka mbuga ya Chitwan iliyo kijiji cha Bagah.

Faru wengine wanne kutoka mbuga hiyo wanahitaji kuokolewa na mmoja tayari amepatikana akiwa amekufa.
Bonde la Chitwan nchini Nepal, iliyo mbuga ya wanyamapori ambayo ni makao kwa faru 600, imeathirika vibaya na mafuriko.

Wiki iliyopita ndovu kadha na mashua vilitumiwa kuwaokoa karibu watu 500 waliokuwa wamekwama eneo hilo.
Kundi la maafisa 40 wa Nepal walitumwa kumridisha nyumbani faru huyo wa umri wa miaka miwili unusu.

Mamia ya watu raia wa India walifika kutazama shughuli hiyo ya uokoaji.
Msimu wa mvua unaonza mwezi Juni hadi Septemba husababisha mafuriko kote eneo hilo kila mwaka.
Katika jimbo la Assam nchini India, faru sita wameripotiwa kufa maji kufuatia mafuriko katika mbuga ya Kaziranga.

Meno ya Tembo 28 Yakamatwa Mbezi Beach

$
0
0



Meno ya Tembo 28 Yakamatwa Mbezi Beach
Waziri wa Maliasli na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe amesema serikali imefanikiwa kukamata jumla ya meno ya tembo 28 katika ghala moja lililopo Mbezi Beach jijini Dar es salaam, yenye uzito wa takribani kilo 376.

Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Waziri Maghembe amesema meno hayo yaliyokamatwa tarehe 13 na 14 mwezi wa nane mwaka huu yanaonekana ni ya tembo waliouawa miaka ya nyuma ikikadiriwa kuuawa miaka ya 2013 au 2014 na wahalifu hao kuyaweka majumbani mwao huku wakiendelea kutafuta masoko.

Waziri Maghembe amesema tayari hadi hivi sasa watuhumiwa sita wa ujangili wameshakamtwa akiwemo Mohamedi Yahya Mohamed, almaarufu Mpemba, Aboubakar Zuberi Seguni mkazi wa Mbezi Beach ambaye pia ni mwenyekiti wa serikali za mtaa na imamu wa msikiti wa Huda uliopo Mbezi, Juma Saleh Jebo mkazi wa Manzese jijini Dar es salaam, Hamisi Rashid Omary mkazi wa Mbezi, Amir Bakari Shelukindo Mkazi wa Gairo Morogoro na Ahmed Shabani Bakari mkazi wa Mkuranga.

Wakati akiwataja watuhumiwa hao,  Waziri Maghembe alisema vita dhidi ya ujangili ni ngumu kwa vile hata baadhi ya watu wasiotegemewa katika jamii kujihusisha nayo  nao wamo, akitolea mfano wa mtuhumiwa, Bakari Zuberi Seguni mkazi wa Mbezi Beach ambaye pia ni mwenyekiti wa serikali za mtaa na imamu wa msikiti wa Huda uliopo Mbezi  kuwa yeye ni  mfano katika jamii kwa kuwa ni kiongozi wa kiserikali lakini pia ni mtu wa Mungu ambaye ni ngumu kufikiria  ni miongoni mwa  washirika wa biashara hiyo haramu.

Aliongeza kuwa, Tanzania kupitia Wizara yake inataka kufuta kabisa biashara ya meno ya tembo kama China walivyofanya licha ya kuwa uuzaji wa meno ya tembo kwa sasa mara baada ya kufuta soko la wazi imekuwa ikiendelea kwa njia ya mtandao.

Katika hatua nyingine , Waziri Maghemba  alipaza sauti kwa mataifa kama vile Vietnam na Thailand kuacha kujihusisha na biashara hiyo na kuiomba jumuiya ya Kimataifa kuingilia ili tembo waendelee kuwepo kwa faida ya kizazi kijacho na badae na dunia kwa ujumla.

Aidha, Waziri Maghembe amesema Tanzania na Dunia kwa ujumla imepata pigo kubwa baada ya kutokea kwa  mauaji ya Mkurugenzi wa Palm Foundation, Wayne Lotter raia wa Afrika Kusini yaliyotokea usiku wa jana Masaki jijini Dar es Salaam kwa kuwa alikuwa mstari wa mbele katika kuisaidia serikali katika vita dhidi ya Ujangili.


Mnara Maalum wa Kumbukumbu ya Ajari ya Lucky Vincent Yazinduliwa

$
0
0


Mnara Maalum wa Kumbukumbu ya Ajari ya Lucky Vincent Yazinduliwa
Kutokea katika Shule ya Msingi, Lucky Vincent, Karatu ikiwa ni siku moja tangu watoto watatu, Wilson, Sadia pamoja na Doreen ambao walinusurika katika ajali ya gari miezi mitatu ilyopita walipokuwa wakienda Karatu katika ziara ya kimasomo wawasili nchini, watoto hao wanakabidhiwa rasmi shuleni kwao.

Baada ya kukabidhiwa, Mnara Maalum wa kumbukumbu ya watoto 32, walimu wawili na dereva mmoja walioaga dunia kwenye ajali hiyo umezinduliwa rasmi ikiwa ni ishara ya kuwaenzi na kuwakumbuka daima.



Watoto Wawili waliongezea maneno mengine ya “Mungu awabariki” na mmoja akazishukuru serikali za Tanzania na Marekani kutokana na kushiriki kufanikisha safari na matibabu yao katika taifa hilo tajiri duniani.

Watoto hao; Doreen Mshana, Wilson Tarimo na Sadia Awadh, waliwasili jana kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ndege aina ya DC-8 ya shirika binafsi la American Pulse wakitokea Sioux City katika jimbo la Iowa.

Ilikuwa ni miezi mitatu baada ya watoto hao kuokoka katika ajali ya basi lililotumbukia bondeni Mei 6 na kusababisha wenzao 32, walimu wawili na dereva kufariki papo hapo licha ya jitihada za wasamaria wema kujaribu kuwaokoa.

Jana, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), wanafunzi wa Lucky Vincent, baadhi ya wakazi wa Arusha, kikundi cha kwaya ya injili, viongozi wa Serikali na watumishi wa umma walikusanyika kuwalaki watoto hao waliokwenda pamoja na madaktari wawili kutoka Hospitali ya Mount Meru na wazazi wao.

Baada ya hotuba za viongozi, watoto hao walipewa nafasi ya kuzungumza na Sadia alikuwa wa kwanza.

“Habari za alasiri. Nataka kushukuru wote kwa kuja. Mungu awabariki,” alisema Sadia akiwa ameshikilia kipaza sauti kwa mikono miwili.

Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, ambaye aliratibu sehemu ya hafla hiyo, alikuwa akisubiri maneno zaidi kutoka kwa Sadia, lakini akajikuta akirejeshewa kipaza sauti.

Maneno kama hayo alitoa Doreen alipopewa nafasi ya kuzungumza.

“Kwanza nataka kuwashukuru nyinyi wote, pili Mungu awabariki na tatu kuwashukuru wote waliosababisha tufikie hapa,” alisema Doreen, ambaye pamoja na kutembea akiwa anasaidiwa wakati akishuka kutoka katika ndege hiyo, alizungumza maneno hayo akiwa amekaa kwenye kiti cha magurudumu.

Wilson aliamua kushukuru serikali zote mbili kwa kufanikisha matibabu yao.

“Naishukuru serikali ya Marekani na Tanzania. Asante sana,” alisema Wilson ambaye anaonekana kuwa nafuu zaidi ya wengine.

Doreen, ambaye alivunjika sehemu kadhaa na ambaye alikuwa anakaribia kupooza kama si jitihada za madaktari, alitoka katika ndege hiyo akitembea bila ya msaada ya magongo na baadaye wahudumu wakaenda pembeni yake kumsaidia kushuka ngazi, huku umati uliokusanyika uwanjani hapo ukipiga makofi.

Aliondoka akiwa hawezi kuzungumza kutokana na kuvunjika taya, lakini jana alikuwa akizungumza ingawa kwa shida kiasi.

Watoto hao, ambao kwa pamoja walivunjika mifupa mara 17 katika ajali hiyo, walipelekwa Hospitali ya Mount Meru baada ya kuokolewa na wakazi na watu wengine, wakiwemo madaktari watatu wa Taasisi ya Elimu ya Afya ya Siouxland na Tanzania (Stemm), ambao walifanya jitihada za kutafuta msaada wa matibabu Marekani.

Akizungumza uwanjani hapo, mbunge wa Bunge la Marekani, Steve King alieleza jinsi alivyotumia dakika tatu kuwasiliana na ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, Ikulu ya Marekani, na rais wa Stemm, Dk Steve Meyer kufanikisha safari na matibabu ya watoto hao.

King, ambaye aliwaelezea watoto hao kwa jina la “Watoto wa Muujiza”, alisema alipata simu hiyo wakati akiwa katika shughuli zake nchini Bosnia-Hersegovina na kuwasiliana na wenzake katika muda huo mfupi.

Naye Dk Meyer, ambaye aliongoza matibabu ya wanafunzi hao, alisema uwanjani hapo kuwa yalikuwa ni magumu hasa kutokana na kuwa na majeraha makubwa mwilini lakini wamejitahidi kuwapatia matibabu yote ya msingi.

Alisema haikuwa kazi rahisi kuhakikisha wanawapatia tiba wanafunzi hao kwani majeraha mengine haikuwa rahisi kuonekana bila vipimo, lakini alimshukuru Mungu kwa kuwezesha wote kupata matibabu ambayo yamewasaidia.

“Jopo la madaktari ambalo lilikuwa linatoa huduma, lilifanya kazi kubwa kuokoa maisha ya watoto hawa tunashukuru wameondoka Marekani wakiwa wamepata matibabu yote ya msingi,”alisema

Dk Meyer ambaye alikuwepo siku wanafunzi hao wakipata ajali, akiwa katika shughuli za utalii hapa nchini alisema licha ya kupatiwa matibabu, pia waliweza kupata mazoezi ya viungo ambavyo pia yamesaidia sana kuwafanya wapate nafuu haraka zaidi.

Kwa upande wake, mwakilishi wa Samaritan Purse, Ed Moore alisema wanashukuru watoto hao wamepata matibabu na wamerejea Tanzania salama.

Alisema licha ya kusaidia matibabu pia wamekusanya vifaa tiba mbalimbali zaidi ya tani 35 ambazo watagawanywa katika hospitali nchini ili kusaidia kuboresha huduma za afya.

“Tunashukuru Serikali ya Tanzania kwa kukubali kupokea msaada huu, ambao tunaamini utasaidia sana kuboresha huduma za afya”alisema.

Nyalandu awapa furaha manusura

Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ambaye ndiye aliwezesha safari za watoto hao kwenda Marekani na kurudi alisema taasisi ya Stemm itagharamia masomo ya watoto hao hadi chuo kikuu. “Taasisi hii ya Stemm itagharamia masomo ya watoto hawa popote watakapotaka duniani,” alisema Nyalandu ambaye ni mwenyekiti mwenza wa taasisi hiyo

Serikali Yamjibu Tundu Lissu Juu ya Tuhuma ya Kushikiliwa kwa Ndege ya Bombadier Nchini Canada.

$
0
0
Serikali Yamjibu Tundu Lissu Juu ya Tuhuma ya Kushikiliwa kwa Ndege ya Bombadier Nchini Canada.
Serikali kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Idara ya Habari, Zamaradi Kawawa imejibu hoja zilizotolewa na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu kushikiliwa kwa ndege ya Tanzania aina ya Bombadier Q-400 Dash 8 nchini Canada.

Zamaradi Kawawa amekiri kuwa ni kweli ununuzi wa ndege hizo umeingiliwa na mgogoro na kukiri kuwa ndege hiyo Q-400 Dash 8 inashikiliwa nchini Canada kwa madai ya kuwa ndege hiyo imeshikiliwa kwa mgogoro wa kutengeneza na wanasiasa wa Tanzania wasioitakia mema nchi ya Tanzania.
"Ununuzi wa ndege ya 3 ya Bombadier umeingiliwa na mgogoro uliotengenezwa na wanasiasa na watu wasioitakia mema Tanzania, Wanasiasa waliotengeneza mgogoro huo wanahujumu maendeleo ya nchi na usalama wa raia"- alisema Zamaradi Kawawa

Aidha Zamaradi Kawawa amesema kuwa ndege ya tatu ambayo ilikuwa inatarajiwa kuingia nchini mwezi Julai amedai kuwa itaingia muda si mrefu na kuwataka Watanzania waiamini serikali ya Tanzania iliyopo chini ya Rais John Pombe Magufuli

"Ndege ya 3 ya Bombadier ipo na inakuja kwahiyo wananchi waiamini Serikali yao ila serikali imesikitishwa na ushiriki wa wanasiasa na baadhi ya watu kuhujumu maendeleo ya nchi, Watanzania tuwe wazalendo kulinda, kutetea na kukabiliana na hujuma zozote zinazorudisha nyuma maendeleo ya Nchi, tuunge mkono jitihada za Rais Magufuli  katika kuleta maendeleo bila kujali itikadi ya chama, kabila au dini" alisisitiza Zamaradi Kawawa
Mbali na hilo Kawawa amesema kuwa serikali imeanza kuchukua hatua kadhaa kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hizo

"Kuhusiana na mgogoro wa ununuzi wa ndege hatua za Kidiplomasia na sheria zimeanza kuchukuliwa ili kumaliza jambo hili" alisema Zamaradi Kawawa
Hapo Jana Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia Na maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu katika taarifa yake kwa vyombo vya habari alisema ndege hiyo imeshindwa kuwasili nchini kufuatia kesi ya madai iliyofunguliwa dhidi ya Serikali ya Tanzania nakupelekea kukamatwa kwa Ndege hiyo mali ya Tanazania.

Grace Mugabe Kuhudhuria Mkutano wa SADC Licha ya Kwindwa na Polisi

$
0
0
Grace Mugabe Kuhudhuria Mkutano wa SADC Licha ya Kwindwa  na Polisi
Mke wa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, Grace Mugabe, ambaye anaomba kinga ya kidiplomasia kufuatia madai ya kumshambulia mwanamitindo, anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa viongozi wa kikanda Afrika kusini baadaye leo.

Atashiriki mkutano huo wa Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), katika mradi wa wake wa marais, licha ya kukosa kujisalimisha kwa polisi baada ya kisa hicho kwenye hoteli moja Johannesburg mapema wiki hii.

Serikali ya Afrika kusini imekanusha madai kwamba ilipania kumkabidhi Bi. Grace Mugabe kinga ya kidplomasia baada ya kutuma ombi lake.
Polisi wameweka ulinzi mkali kwenye mipaka ya taifa hilo kuhakikisha kwamba Bi. mugabe hatotoroka.

Mwamitindo Gabriella Engels 20, alimshtumu Bi Mugabe 52, kwa kumpiga baada ya kumpata akiwa na watoto wake wawili wavulana ndani ya chumba kimoja cha hoteli huko Sandton, mtaa mmoja wa kifahari kaskazini mwa mji wa Johannesburg
Bi Engels aliambia BBC kwamba alishambuliwa na bi Mugabe aliyeamini kwamba alikuwa akijua kule aliko mwanawe Bellarmine.

''Tuliendelea kumwambia hatujui aliko...hatujamuona usiku wote...alinikamata na kuanza kunipiga.Nakumbuka nikianguka katika sakafu na damu nyingi katika uso na shingo yangu.Alitupiga akiwa na chuki nyingi'', alisema msichana huyo.

Mahaba Niue Idriss na Wema Washindwa kuficha Hisia Zao

$
0
0
Mahaba Niue Idriss na Wema Washindwa kuficha Hisia Zao
Moja ya stori inayoenea kwa sasa kwenye mitandao mbalimbali ni kuhusu hii ya Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu ambaye hakuficha hisia zake na kuziweka wazi kwa kuandika ujumbe kwenye Instagram yake kuhusu Idriss Sultan.

Kama utakumbuka Wema na Idriss waliwahi kuwa mapenzini ambapo tangu kuachana kwao hapakuwa na stori zozote zilizowahusu wawili hao lakini leo kupitia Instagram yake Wema ameandika:>>>”Nikisema sitojivunia ntakuwa ni muongo na mnafki…Proud of you sana…Cant wait for these babies to launch…Im sure zitakuwa Killer…Cause one thing I know is that “Classy” defines you alot better than anything…😊 #SultanXForemen… Goodmorning World.” – Wema Sepetu

Baada ya ujumbe huo wa Wema Sepetu, naye Idriss Sultan aliandika kwenye Instagram yake:“MOOD: Unakuta kakuposti tu wakati mmekulana block hadi kwenye email 😂… Dahhh 🙈 we mwanamke utakuja uniue 😅.. Thank you mke 😉 … Msishtuke, kwanzia lini mke anaachwa hata aolewe😂. Mungu Ibariki hii launch jamani #sultanXforemen” – Idriss.




Hatimaye Rais wa TFF Atoa Neno kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu

$
0
0
Hatimaye Rais wa TFF Atoa Neno kwa Wajumbe  wa Mkutano Mkuu
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ametoa shukrani zake za dhati kwa wajumbe wote wa Mkutano Mkuu kwa kumpa dhamana ya kuliongoza soka la Tanzania.

Karia pia amewataka wale wote waliyokuwa wakiwania nafasi mbali mbali za uongozi ndani ya shirikisho hilo ambao kura zao hazikutosha katika uchaguzi bado mawazo yao yanahitajika na kushirikiana kwa pamoja  kuhakikisha mchezo wa soka unakwenda mbele.

Kiongozi huyo wa ngazi za juu ndani ya Shirikisho lenye dhamana ya kusimamia mchezo wa mpira wa miguu nchini amewapongeza pia viongozi wenzake waliyofanikiwa kushinda na kuwaomba kushirikiana kwa pamoja wakati huo huo akiwashukuru wadau, Serikali na taasisi zake bila ya kuvisahau vyombo vya habari kwa ushirikiano wao katika kufanikisha zoezi la uchaguzi kwenda salama hadi mwisho.





Beka Akasirishwa Kushindanishwa na Aslay

$
0
0
Beka Akasirishwa Kushindanishwa na Aslay
Msanii Beka Flavour amesema hapendezwi jinsi baadhi ya watu na mitandao inavyomshindanisha na Aslay.
Beka ambaye alikuwa kundi moja (Yamoto Band) na Aslya, ameiambia E-Newz ya EATV kuwa yeye hafanyi muziki wa ushindani hivyo ni vyema watu wakasapoti kazi zao wote kwa pamoja pindi zinapotoka.

“Siku hizi hamna muziki wa maneno mengi na kiki sema mimi nilikuwa naona vile vitu vilikuwa vinaendelea mtandaoni. Ukweli hamna kitu kama hicho mimi nafanya muziki wangu binafsi halafu ninaamini ni wakwangu, mimi ndiyo Justine Beiber wa Bongo,” amesema na kuendelea.

“Wanatakiwa watusapoti, siyo poa wanavyoandika wanatushindanisha halafu mimi sifanyi muziki wa ushindani na miaka 100 siwezi nikafanya muziki wa ushindani sina tatizo na msanii yeyote kutoka Tanzania,” amesisitiza.

Beka Flavour kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Sikinai’, ikiwa ni baada ya kutikisa ipasavyo na ngoma ya Libebe.


Madee Aeleza Maana Kuhusu #WinoMweusi

$
0
0
Madee aAeleza  Maana  Kuhusu #WinoMweusi
Msanii wa Bongo Flava, Madee ametolea ufafanua maana ya #WinoMweusi ambayo amekuwa akiitumia kwenye mitandao ya kijamii.

Madee amesema maana yake ni kuwa maandishi/mashairi  anayoandika ni vigumu mtu yeyote kuyatafsiri na kupata maana iliyokusudiwa.

“Mpaka mimi nikukumbushe nilimaanisha nini baada ya hapo wewe ndio utajua. Mara nyingi sana ninapoandika nyimbo zangu kila mtu anajaribu kutafsiri anavyojua lakini mwisho wa siku mimi ninakuwa na maana yangu hicho ndicho kilipelekea hadi tukaja tukakorofushina na Afande Sele,” Madee ameiambia Bongo5.


BREAKING NEWS: Ester Bulaya Akamatwa na Polisi

$
0
0
BREAKING NEWS: Ester Akamatwa na Polisi
Taarifa zilizonifikia kutoka Bunda katika Mkoa wa Mara zinasema kuwa Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amekamatwa na Jeshi la Polisi Mara kwa agizo la Mkuu wa Wilaya Tarime Glorious Luoga.

NEC Yakosolewa na Wasomi Wataka Iige Mfumo wa Uchaguzi wa Kenya

$
0
0
   
NEC Yakosolewa na Wasomi Wataka Iige Mfumo wa Uchaguzi wa Kenya
 Baadhi ya wasomi wameikosoa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiitaka kujifunza mfumo wa uchaguzi wa Kenya ambayo imefanya uchaguzi mkuu hivi karibuni.

Katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni nchini Kenya, ukisimamiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya nchi hiyo (IEBC), Rais wa ncghi hiyo Uhuru Kenya (Jubilee) alimshinda mpinzani wake wa karibu Raila Odinga anayeongoza muungano wa Nasa kwa takriban asilimia 10 ya kura zote.

Hata hivyo Odinga amepinga matokeo hayo akilalamikia utendaji mbovu wa IEBC uliomsababisha yeye na chama chake kushindwa.

Licha ya kasoro hizo, baadhi ya wasomi wamesema mfumo wa uchagizi wa Kenya ni bora na wa kupigiwa mfano na nchi za Afrika.

Wakijadili suala hilo juzi usiku katika kipindi cha Kipima Joto kinachorushwa na televisheni ya ITV, wasomi hao walishauri kuwepo na mabadiliko ya Katiba ili kuboresha mfumo huo ikiwemo Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia, Dk Bernard Achiula alisema kukosekana kwa taasisi madhubuti za uchaguzi kumechangia manung’uniko kwa nchi nyingi za Afrika, huku pia akihoji muundo wa NEC.

“Narudia tena kwenye tume ya uchaguzi, hivi hapa Tanzania inaundwaje kwa mfano? Inaundwa na vyama vyote? Kwa Zanzibar sawa, lakini hapa (Bara) hakuna. Labda na sisi Tanzania Bara tujifunze kwa Kenya, kuvichukua vyama vya upinzani pengine italeta kidogho kuaminika,” alisema Dk Achiula.

Aliongeza kuwa kinachowafanya watu wakatae matokeo ni mfumo dhaifu wa taasisi za uchaguzi.

“Kwanza tujifunze kwenye maandalizi, lazima tuwasifu walijiandaa vizuri. Kampeni zilikuwa shirikishi, kulikuwa na elimu, masheikh walitumia muda wao, makanisa, watu walitumia sana social media, kwa kweli kampeni zilikuwa huru,” alisema Dk Achiula.

Sasa matatizo yanatokea kwenye hiyo hatua ya mwisho. Hatuwezi kusema kila kitu kilikuwa sawa.

Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini Abdulkarim Atiki alishauri kuwepo kwa mfumo shirikishi katika tume ya Taifa ya uchaguzi uili iaminike.

“Tafsiri yangu ni kwamba usimamizi ni lazima uwe shirikishi zaidi. Kwanza tume inaundwa na nani? Unajua tume nyingi zinaundwa na ‘individuals’ tu?  Hili dude la tume ya uchaguzi linatakiwa liwe na uwakilishi wa kitaasisi kulikuwa kuwa la mtu mmoja mmoja,” alisema Atiki na kuongeza:

“Ukiniuliza mimi kwa maoni yangu, nitasema lazima kuwe na ‘representation’ (uwakilishi) ya wafanyakazi, intellectual community (wasomi), viongozi wa dini, hatuwezi kuepuka, matabaka yapo, hata Mwalimu (Nyerere) alisema haya matabaka yapo.”

Akifafanua zaidi, Atiki alishauri ushirikishwaji zaidi hata katika muundo wa Serikali kuliko mfumo wa sasa wa mshindi kuchukua vyote.

“Wajerumani wamemaliza matatizo kama hayo, kule Bavaria, kuna Westfalia, wametengeneza uchaguzi wao kiasi kwamba haiwezekani chama kimoja kikaunda Serikali. Kunakuwa na ‘coalition’, hiyo inasaidia kugawana keki ya Taifa,” alisema Atiki.

Atiki alishauri kurejewa kwa mchakato wa mabadiliko ya Katiba ili kuweka mfumo imara wa uchaguzi huku akishauri pia kuwekwa kwa kipengele cha kupinga matokeo ya Rais mahakamani.

“Kwa wenzetu Kenya, pamoja na matatizo wanayoyapata, marekebisho ya Katiba yamewasaidia sana hali hii ya kwenda mahakamani,” alisema na kuongeza:

“Hili ni suala la kwenda mahakamani ni la muhimu sana. Nawapongeza sana Jubilee lakini zuio hili linanizuia, kuna siku 14, chochote kinaweza kutokea. Kwa hiyo wale wanaoipongeza Kenyatta wanafanya haraka, tusubiri kwanza siku 14.”

Aliongeza: “Kama ingekuwa ya zamani nadhani balaa lingekuwa kubwa zaidi. Kwa hiyo tujaribu na sisi. Ukimwona mwenzako ananyolewa basin a wewe tia maji ukinyolewa kavukavu utaumia

Kwa upande wake Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria (OUT) Profesa Mbwiliza Joseph alipinga uwakilishi wa vyama kwenye tume za uchaguzi akisema ndiyo inachangia upendeleo katika matokeo, badala yake alishauri kuwe na uwakilishi wa taasisi nyinginezo katika kuteua uongozi wa tume.

“Sisi hapa kwa mfano tunaangalia ‘profession’ (taaluma) kwamba hawa ni wasomi, lakini ndani ya wasomi wapo kina Profesa Mbwiliza makada wa CCM,” alisema na kuongeza:

“Sasa m,nakuja mnaniangalia kwenye kundui la wasomi mnasema Profesa Mbwiliza mzee sana yule tena amekaa karibu miaka ya 80 anafundisha tu, kwa hiyo tumpe heshima yake akawe mwenyekiti wa tume.

“Nitapata matatizo aliyoyapata Jecha (Salum Jecha- Mwenyekiti ZEC) kwa sababu nitakaposimama kutangaza kushindwa kwa CCM nitapata kigugumizi na kwamba nimekwenda pale kwa tiketi hiyo, itakuwa ngumu,” alisema Profesa Mbwiliza.

Alishauri kuwepo na uangalizi wa karibu kwa viongozi wa tume ili kuepusha makada wa vyama watakaopendelea vyama vyao.

“Huyu ni Jaji ambaye tunasema asiwe upande wa chama, huyu ni Jenerali wa Jeshi awe huru. Kumbe hamkujua, huyu ni CUF wa kutupa. Sasa ni lazima tuwe waangalifu,” alisema.

Naye Dk Bashiru Ali ambaye ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alisema miongoni mwa mambo ya kujifunza kwa uchaguzi wa Kenya ni kurughusu wagombea huru, wafungwa na wananchi waishio nje ya nchi (diaspora) kupiga kura.

“Kwa wenzetu Kenya wamefikia hatua nzuri, siyo tu kuwaruhusu wafungwa (kupiga kura) bali hata kwa watu wanaokaa nje ya nchi na kwa wagombea binafsi. Mtu siyo kwamba ana haki ya kujiandikisha na kupiga kura bali opia ana haki ya kugombea bila kulazimishwa kuwa kwenye chama,” alisema na kuongeza:

“Tumekuwa na mjadala huo kwa muda mrefu na Mwalimu katika mambo ambayo tunamwenzi, alikuwa na msimamo kwamba huyo mgombea huru hawezi kufika mbali. Wagombea wenye vyama ndiyo wanakuwa na nguvu kwa sababu anakuwa na program, wanakuwa na mshikamano na rasilimali za chama.”

Alipoulizwa kwa njia ya simu, Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ramadhan Kailima alisema tume hiyo iko huru kwa mujibu wa Katiba.

“Soma vema Katiba JMT na sheria ya Uchaguzi ibara ya 74(7), (11) na 12 utaona uhuru wa Tume, ipo ‘very clear’ (wazi sana),” alisema Kailima




Ummy Mwalimu Aagiza Wahudumu wa Afya Kutoa Huduma Bora kwa Wajawazito

$
0
0
Ummy Mwalimu Aagiza Wahudumu wa Afya Kutoa Huduma Bora kwa Wajawazito
Waziri wa Afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka watoa huduma za afya katika kituo cha afya cha Matai wilayani Kalambo kutoa huduma bora kwa wanawake wajawazito.

Waziri Ummy ametoa agizo hilo alipokuwa kwenye ziara ya kikazi wilayani hapo na kutembelea hospitali hiyo pamoja na kuongea na watumishi wa sekta ya afya kujua changamoto zinazowakabili.

“Nawapongeza sana kwa kutenga dirisha la wazee ila kusiwepo tu dirisha bali muwape dawa wazee wasio kuwa na uwezo,hivyo kama kuwakatia mfuko wa bima ya jamii (CHF)ni gharama basi wapatieni vitambulisho vya matibabu bure ili wazee wakija kwenye matibabu wasije na barua za watendaji wa vijiji,” alisema Waziri Ummy.

“Tangu serikali hii iingie madarakani imefanya mabadiliko makubwa katika upatikanaji wa dawa kwa kuongezwa bajeti ya dawa kwa asilimia kubwa,hizi changamoto ndogondogo zipo ila mwisho wa siku wananchi wanahitaji dawa,hivyo kuhakikisha dawa zile muhimu zinapatikana wakati wote.

Hata hivyo alisisitiza kuwa wajawazito wanapaswa kupata huduma bora kila wanapofika kliniki kila mwezi kwa kuangaliwa mfano dalili za kifafa cha mimba ,wigi wa proteini pamoja na viatarishi vingine vinavyoweza kusababisha uzazi pingamizi na hivyo kupelekea vifo kwa mama au mtoto wakatiwa kujifungua.


Wanachama wa Simba Wakutana Leo

$
0
0
Wanachama wa Simba Wakutana Leo
Klabu ya Simba kesho Jumamosi itaendelea na Semina elekezi kwa wanachama wa wilaya za Ubungo, Kinondoni , na Ilala , zenye lengo la kuwajengea uelewa mpana zaid juu ya muundo mpya wa klabu, uliotokana na mabadiliko makubwa ya katiba yaliyofanywa na wanachama hao.

Semina hiyo ya tarehe 19-8-2017, itaanza saa sita mchana kwenye jengo la Ngawaiya liliopo Manzese Argentina upande wa kushoto kama unaelekea Ubungo,katika Barabara kuu ya Morogoro.

Pia Siku ya Jumapili hii ya tarehe 20-8-2017,kuanzia Saa mbili asubuhi, klabu itafanya Mkutano mkuu maalum wenye lengo hilo,ili taratibu za kuingia kwenye muundo mpya zianze kufanya kazi.
Mkutano huu muhimu na wa kihistoria, utafanyika pale pale tulipofanyia Mkutano mkuu wa kawaida wiki iliopita, Mwalimu Nyerere International Conference Centre uliopo maeneo ya Ocean road hapa jijini Dar es salaam.

Tunawaomba wanasimba kokote walipo waje kuweka historia hii muhimu,historia itakayofanywa muandikwe kwa wino wa dhahabu, Historia ya kuitoa klabu ilipo na kuipeleka mbele zaid, kiuchumi, kibiashara, kimafanikio ya uwanjani, na pia kuwa klabu ya kwanza nchini kuingia katika muundo huu,unaokusudia kuifanya Simba iwe moja ya klabu bora kabisa Afrika.
Mwisho

Niwaambie maandalizi ya Mkutano wa Jumapili ni kabambe na kila kitu kimekaa sawa, pengine kuliko Mkutano wa wiki iliopita.

Maskini Mrembo Huyu Auwawa na Mpenzi Wake na Kisa Mapenzi

$
0
0
Maskini Mrembo Huyu Auwawa na Mpenzi Wake na Kisa Mapenzi
KIJaNa mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, anadaiwa kumtoboa macho mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Maria Pius kisha kumuua kikatili na kuutupa mwili wake kichakani.

KISIKIE CHANZO

Taarifa za awali kutoka kwa chanzo chetu zilieleza kuwa, tukio hilo lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita, Chanika jijini Dar ambapo ilidaiwa marehemu alikuwa na ugomvi na mpenzi wake uliohusisha wivu wa kimapenzi. Ilielezwa kuwa, wawili hao walikuwa wakiishi pamoja kwa muda mrefu lakini ikatokea hali ya kutoelewana hivyo kila mmoja kuwa na maisha yake.

“Walikuwa wakiishi mbalimbali lakini mwanaume amekuwa akimfuata Maria mara kwa mara na kutaka warudiane lakini mwisho wa siku uliibuka mzozo mkubwa ambao ulikuwa ukiishia kupigana,” kilidai chanzo. SiKu Ya tuKiO SaSa Ilielezwa, siku ya tukio mwanaume alifika nyumbani kwa Maria majira ya usiku kisha kuibua mzozo uliosababisha ugomvi mkali ikiwemo kupigana ndipo mauaji yakatokea ambapo mwili wa mrembo huyo ulikutwa ukiwa na majeraha usoni na macho yakiwa yametobolewa.

Akizungumzia mauaji hayo, kaka wa marehemu Maria, Edward Pius aliliambia Risasi Jumamosi kuwa, mwili wa Maria ulikutwa ukiwa na simu mbili kifuani, moja ya marehemu na nyingine ya mpenzi wake.

“Siku hiyo kuna mtu alikuwa akimpigia simu Maria lakini ilikuwa ikiita tu ndipo akaamua kumfuatilia nyumbani kwake na kukuta ameuawa, akatoa taarifa kwa watu kabla ya taarifa hizo kufikishwa polisi,” alisema Edward.

MSIBA MWANANYAMALA

Baada ya mwili wa Maria kupatikana, ulichukuliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi na Jumatano iliyopita ulichukuliwa na ndugu zake ambapo ulipelekwa nyumbani kwao Mwananyamala na kuzikwa kwenye makaburi ya Mwananyamala.

MAJIRANI WAZUNGUMZA, MAMA ASHINDWA!

Waandishi wetu walifika msibani Mwananyamala na kutaka kuzungumza na mama mzazi wa marehemu bila mafanikio ila baadhi ya majirani walionesha kusikitishwa na tukio.

“Kwa kweli tumesikitishwa mno na tukio hili kwani marehemu Maria alikuwa mtu wa watu na hata huyo bwana wake hakuwahi kuonesha ukatili wa namna hiyo, kama ni kweli yeye ndiye amemuua mkewe, basi ni ajabu sana,” alisema mmoja wa majirani wakati akizungumza na waandishi wetu.

Hata hivyo, taarifa zilizopatikana baadaye zilidai kuwa, mwanaume aliyetekeleza mauaji hayo naye alikutwa amekufa maeneo ya Chanika ambapo mwili wake ulipatikana ndani ya shimo la maji taka.

KAMANDA WA POLISI ATHIBITISHA

Akizungumza na Risasi Jumamosi kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Salum Hamduni alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema:

“Ni kweli tuna taarifa za mauaji hayo, ambapo maiti ya mwanamke ilipatikana Agosti 8, mwaka huu ikiwa na majeraha usoni na maiti ya mwanaume ilikutwa ikiwa kwenye shimo la maji taka siku mbili baadaye na zote tulizichukua kwa uchunguzi, lakini hatuwezi kuthibitisha kama mwanaume ndiye muuaji maana inadaiwa ni mpenzi wake, uchunguzi bado unaendelea.”



Wasanii Kutoka Mtwara Kunogesha Ndanda Day Kesho

$
0
0
Wasanii Kutoka Mtwara Kunogesha Ndanda Day Kesho
Kuelekea Ndanda Day kesho, Timu ya Soka ya Ndanda inatarajia kushuka dimbani kuumana na Kikosi cha Azam katika kuadhimisha siku hiyo kwenye Uwanja wa Chamazi, Jijini Dar es salaam.

Mchezo huo utakaoanza sa 10 alasiri utatanguliwa na burudani mbalimbali ikiwemo muziki kutoka kwa wasanii wa bongo flava wenye asili ya Mkoani Mtwara.

Akizungumza kuelekea maadhimisho ya siku hiyo, Afisa habari wa Ndanda Idrisa Bandari amesema kuwa katika siku ya kesho wataanza asubuhi kwa kwenda kutoa huduma za kijamii hospitali ya Temeke wodi ya wazazi na kisha kufuatiwa na burudani kutoka kwa wasanii wa muziki wa bongo Flava.

Bandari amesema, wasanii hao Wenye asili ya mkoani Mtwara Jay Mo, Amini, TID, Msaga Sumu na Juma Nature anayetokea Mkoa wa Pwani ambapo watatanguliza shughuli hiyo inayofanyika kwa mara ya nne ambapo mwaka huu itakuwa Mkoa wa Dar es salaam ikiwa ni mara ya kwanza.

Kwa upande wa Mshauri Masoko wa Ndanda, Peter Simon amesema kuwa kwa mwaka huu Ndanda Day itafanyika mara mbili kwani wameamua kuifanya na Dar es salaam kwani wanaamini kuna mashabiki wengi sana ndani ya Mkoa huu pia ili kuwapa fursa mashabiki wao kuiona Ndanda mpya iliyo chini ya Kocha Ramadhan Nsanzalwino mwenye asilia ya Burundi.

Meneja Mkuu wa Masoko wa Mitsun Group ambao ni wadhamini wa Ndanda, Erhad Mlyansi amewaahidi uongozi wa Ndanda kuwapatia bidhaa kutoka kampuni yao ya Sayona kwa ajili ya kuwapelea wagonjwa siku ya kesho.

Nao Wasanii wamewataka mashabiki wa Ndanda kujitokeza kwa wingi siku ya kesho kwa ajili ya kuishuhudia timu yaon na kwa mwaka huu wanaamini kutokana na udhamini walioupata basi timu yao ya Mkoani Mtwara itafanya vizuri huku wakiahidi kutoa burudani ya kutosha.

Afisa habari wa Ndanda, Idrisa Bandari akizungumza na wanahabari kuelekea Ndanda Day itakayoadhimishwa kesho katika Uwanja wa Chamazi wakicheza na timu ya Azam Fc ikiwa ni mara ya nne kufanyika kwa Tamasha hilo na likisindikizwa na burudani kutoka kwa wasanii wa Bongo Flava wenye Asili ya Mkoani Mtwara pamoja na kutoa huduma za kijamii katika Wodi ya wazazi Hospital ya Temeke. Kushoto ni mshauri wa Masoko wa Ndanda Peter Simon akifuatiwa na wasanii wa Bongo Flava Jay Mo, Richie One na Amini.

Meneja Mkuu wa Masoko wa Mitsuni Group,Erhard Mlyansi amewaahidi Ndanda kuwapatia bidhaa zinazopatikana kutoka kampuni ya Sayona kwa ajili ya kuwapelekea wakinamama kwenye Wodi ya wazazi Temeke Hospital siku ya Kesho

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Khaleed maarufu kama Top In Dar 'TID' akihamasisha mashabiki wa wana Mtwara kujitokeza kwa wingi siku ya kesho Kuadhimisha Ndanda Day akiwa sambamba na wasanii wenzake Jay Mo, Richie One na Amini.

Wazungu Wana Akili zaidi Kuliko Makabila Mengine Duniani...Sisi wa Mwisho.

$
0
0
Mpaka mwaka 2017 huu au karne ya 21 waafrika tunahangaika na mambo madogo sana ambayo wazungu walihangaika nayo miaka kenda na kenda huko nyuma. waafrika tunapigania haki ya kutambulika duniani. huu tayari ni udhaifu. ukiona mwanamume anataka atambulike kwa mkewe au watoto wake kuwa yeye ndo baba au naye ni baba basi ujue kuna shida. tumebaki na kuhangaika na vitu vya kipuuzi.leo mtu anahangaika ku prove kuwa Waisrael asilia ni weusi. so what? mpaka mtu analazimisha au hangaika kusema Yesu Kristo alikuwa mweusi. ok alikuwa so what?
wazungu au watu weupe ndo wamevumbua.

1.Modern Agriculture
2 Ceramics
3 Clock making
4 Clothing manufacturing
5 Communications
6 Computing
7 Criminology
8 Cryptography
9 Engineering
10 Food and drink
11 Household appliances
12 Industrial processes
13 Medicine
14 Military
15 Mining
16 Musical instruments
17 Photography
18 Publishing firsts
19 Science
19.1 Physics
19.2 Chemistry
19.3 Biology
19.4 Mathematics and statistics
19.5 Astronomy
19.6 Geology and meteorology
19.7 Philosophy of science
19.8 Scientific instruments
20 Sport
21 Transport
21.1 Aviation
21.2 Railways
21.2.1 Locomotives
21.2.2 Other railway developments
21.3 Roads


Kama yupo mpingaji hapa atuoneshe yale ambayo tunaweza yasimamia hasa hasa sisi. kuna mtu atakuja hapa na kuanza kulaani na kutukana wazungu hawa makafiri n.k huku anatumia simu,kompyuta, magari yao,nguo walizoshona wao,viatu vyao,miwani waliyogundua wao,saa,feni,ac,umeme walivyogundua wao. ndo unagundua NI UNAFIKI TU WA MWAFRIKA na Baadhi ya Makabila ya KIASIA.

tuwapinge wazungu kweli kweli kwa kubuni vitu vyetu wenyewe na tuavhe kutumia vyao.wana nguvu sababu wao wana akili kutuzidi. wakati sisi tunafikiria zaidi kuoa na kuoana au kuazaana wao wanafikiria namna gan watabadilisha maisha ya wanadamu. hata asilimia 80 kama si 100 ya michezo maarufu duniani asili yake ni huko. au wao wameendelea nayo zaidi kuliko sisi.

waafrika hatuna akili sana kama wazungu au tuna tatizo sehemu flan. angalia chaguz zetu,angalia serikali zetu,angalia vipaumbele vyetu, angalia maisha yetu, angalia tuavyoishi kwa kuwasingizia wazungu kila kitu.

ile wao kuja kututawala tu tayari maana yake sisi hatuna akili wao wanazo nyingi imagine walikuja wangapi wakatutawala sisi wenyeji wengi kwa kuweka mifumo mbalimbali? ukisema wanatugombanisha basi ujue pia ni sababu wao wana akili kuliko sisi wapumbavu tunaogombana wenyewe kwa wenyewe. najiuliza waafrika tuna tatizo gani?

nimewaza mambo haya kwa uchungu sana na nikaja pata jibu moja tu kuwa wazungu wao wana akili zaidi kuliko sisi. miaka 50 baada ya kujitawala bado tuna mambo mengi ambayo tuna tegemea kutoka kwao au waliyotuachia miaka hiyo mingi. na bado kuna mtu anakuja kuning'iniza korodani zake tu mwili hapa anasema wafrika waafrika ukimuuliza tunafanyaje kujitoa kwenye utegemezi... hana namna isipokuwa ni kudai haki ya mtu mweusi. HAKI HAIDAWI, INAKUWEPO TU. kama ukiona unadai utambulike basi ujue we hutambuliki. leo hii magufuli au lowassa akienda sehemu na kutaka watu wamjue yeye ndo lowassa au magufuli ujue kuna shida sehemu. inatakiwa tu akienda sehemu watu wamfaham.

Wasichana Wengi Mitandaoni Njaa, Ukimcheki tu Anakulilia Shida, Ushahidi Huu hapa

$
0
0
Wana swaga za kishamba na njaa kali ukimsalimia tu anageuka yatima anakufanya foundition au NGOs wanajiabisha kwakweli. Swagga hizo wakawale wengine lakini sio hapa mjini Dar es Salaama, wamefeli wabadilike.


Heche: Hivi Bulaya Kuja Kunichangia Ujenzi wa Hostel za Wanafunzi ni Kosa? Kingu Jimboni kwa Lissu nae Alifanya Kosa?

$
0
0
 Ni ajabu kwamba leo Mbunge Ester Bulaya amekamatwa na anashikiliwa na polisi eti kwa kuja jimboni kwangu kunisaidia kuchangia kwenye ujenzi wa Hostel ya watoto wa kike kwenye shule ya sekondari Nyamongo!!! Mh Bulaya ni Mwanamara, ni Mtanzania na ana haki ya kufanya ushirikiano na mtu yeyote anaetaka,sitakubali kuona viongozi wachache wa serikali wasiokuwa na uadilifu wanahujumu maendeleo makubwa tunayofanya Tarime kisa yanafanywa na chadema, hatutakubali wataka sifa wanaotafuta vyeo eti kwa kuonesha wanaonea wapinzani wafanye hivyo Tarime.
Tarime hatujawahi kuwa waoga tutasimama imara na tutashinda kwasababu tuko kwenye haki.

Kutana Na Mnajimu wa Nyota na Mtaalam wa Tiba Asili Africa na Dunia kwa Ujumla Kutoka ANJUAN COMORO AL_WATWAN MAFUSHO sasa yupo Tanzania

$
0
0
Kutana Na Mnajimu wa Nyota na Mtaalam wa Tiba Asili Africa na Dunia kwa Ujumla Kutoka ANJUAN COMORO AL_WATWAN MAFUSHO sasa yupo East Africa (Atakuwa Nairobi,Mombasa,Uganda,Burundi,Rwanda na Sehemu Yoyote Atakayo hitajika.. Tanzania Atazunguka Mikoa Yote..)

AL_WATWAN MAFUSHO Ni Mtafiti wa Dawa za Mitishamba na ana uzoefu wa zaidi ya Miaka 18 katika kutoa Huduma zake.. Amesha toa Huduma zaidi ya Nchi 23 Duniani..
AL_WATWAN MAFUSHO Bado anaendelea Kupokea Salam na Shukrani nyingi kwa wale wote waliofanikiwa baada ya kupata HUDUMA na wale wanao Endelea Na TIBA MBALIMBALI..
      Anatibu kwa Kutumia Dawa za Asili ya Africa, Dawa za Kiarabu, Majini na QUR-AN Ukiwa Nchi yoyote...

Kwa Matatizo ya Fuatayo..
•Love spell
•Money spell casting
•Traditional Healer
•Protection Rituals
•Marriage Spells(to heal marriage problems and restore Affection
•Traditional bad luck Removal
•To Prevent divorce and bind lovers together

 MAGONJWA kama > Miguu kuwaka Moto na kufa Ganzi,Kuvimba tumbo,Kisukari, Ngiri ya ndani na Ngiri ya Nje(Busha) Chango kwa Kina Mama,Kifungua Kizazi kwa waliofungwa kishirikina)..Ulijari(Nguvu za kiume?
MAPENZI.Kumrudisha Mpenzi ndani ya Saa  12 tu.. Kumtuliza(Limbwata) Akusikilize na Akupatie chochote unacho hitaji kwa Wakati. Hutuliza wana Ndoa na na Kuzuia Talaka.. Kama Mpenzi wako Anaishi na Mtu mwingine Anao Uweza wa Kusambalatisha mahusiano yao ndani ya Nusu saa tuu(Mfarakano)...

MAFANIKIO.. Mali Bila Masharti, Bahati kwa Wachimba madini.. MAGIC WALLET, PETE ya Bahati, KUSHINDA BAHATI NASIBU na Kusafisha NYOTA(Nuksi Mikosi).. Umaarufu, Heshima mahala pa Kazi,Cheo kazini. Mafuta maalum Yenye Nguvu ya Ziada..
(Amesaidia Watu maarufu, Wachungaji na Wafanya Biashara wengi Duniani)
KINGA..Huzuia Kabisa Chuma Ulete na Kukupa Kinga ya Mwili na Biashara na Kujilinda na mali zako.Humaliza kabisa Kesi ndani ya siku 12 tu(Zindiko) nk..
PIA HUMALIZA KAZI ZILIZOACHWA AU KUSHINDIKANA....
Acha Kuhangaika Njoo Umaliziwe Tiba yako

AL_WATWAN MAFUSHO

Piga Simu +255 759 084 996
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live




Latest Images