Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live

Polepole 'Kauli ya Kikwete ya Kutochukia Vyama vya Upinzani ililenga nchi Nyingine na si Tanzania'

0
0
Baada ya siku kadhaa zilizopita Rais mstaafu mh Kikwete baada ya kurusha jiwe gizan na kusema vyama vya upinzani sio maadui na hakuna sababu ya kuvichukia msemaji wa CCM ndug Polepole ameibuka na kudai kauli hii ya Kikwete alilenga nchi nyingine na si Tanzania! VIDEO:

TFF Yatoa Maangalizo kwa Makocha Wanaoongoza Timu za Ligi Kuu

0
0

TFF Yatoa Maangalizo kwa Makocha Wanaoongoza  Timu za Ligi Kuu
TFF kupitia kwa Kaimu Katibu Mkuu Wilfred Kidao, imetoa maagizo pamoja na maangalizo kwa makocha wanaoongoza timu za ligi kuu Tanzania bara.

Kuna makocha ambao huwakimbia waandishi wanapotaka kufanya nao mahojiano baada ya mechi kumalizika. Pia kumekuwa na utaratibu mgumu wa kufanya mahojiano na makocha siku kadhaa kabla ya mechi ili kuzungumzia kiufundi kuelekea mchezo husika.

“Nitatoa maelekezo waalimu wote wawe wanaongea siku kadhaa kabla ya mechi na baada ya mechi. Kuna kanuni zinalazimisha siku kadhaa kabla ya mechi wazungumze, wasipofanya hivyo wanapigwa faini,” – Kidao.

Kwa upande wa makocha ambao wanasoma kisha kuvifungia ndani vyeti vyao bila kufanya kazi ya kufundisha soka, Kidao amewagusa pia.

“Hakuna kocha ambaye atapewa course ya juu bila kuona shughuli anazozifanya, lengo ni kuhakikisha tunakuwa na makocha bora tofauti na sasa hivi tuna namba kubwa ya makocha lakini hawana ubora” – Kidao.

Kwa wale makocha ambao hawajakidhi vigezo vya kuwa kwenye mabenchi ya ufundi ya timu za ligi kuu nao siku zao zinahesabika.

“Kila timu inatakiwa kuwa na kocha mkuu ambaye leseni yake ni kuanzi Daraja B iliyotolewa na CAF na kuendelea, kocha msaidizi awe na leseni ya kuanzia Daraja C kwenda juu. Kama kuna timu ya ligi kuu ina kocha mkuu ambaye hana sifa hizo hatua zitachukuliwa.”

Kuna tetesi kwamba kuna timu ya ligi kuu inamtumia kocha ambaye leseni yake ni Daraja C na anasimama kwenye timu hiyo kama kocha mkuu.

“Timu inaweza kumtumia kocha mwenye leseni Daraja C bila ya kuwa na kocha mkuu, lakini kocha huyo anakuwa amesajiliwa bodi ya ligi kama kocha msaidizi. Na kuna muda wa kuwa na kocha msaidizi bila kocha mkuu baada ya hapo timu itaadhibiwa kwa kukosa kuwa na kocha mkuu mwenye vigezo.”

Huyu Hapa Kahaba wa Kizungu Ambaye Anahofiwa Kusambaza Virusi

0
0

Huyu Hapa Kahaba wa Kizungu Ambaye Anahofia Kusambaza Virusi
Kabaaang! Changudoa mmoja wa Kizungu raia wa Uholanzi aliyefahamika kwa jina moja la Monica ametikisa Jiji la Dar kwa kuwa gumzo na wateja wengi kumgombea, Risasi Mchanganyiko lina ‘full’ stori.

SNICHI AVUJISHA ISHU

Baada ya kutonywa, Kitengo Maalum cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers kilimnasa ‘live’ Mzungu huyo mchana kweupe akiwa kwenye moja ya ‘kiunga’ cha biashara hiyo haramu maeneo ya Kinondoni jijini Dar. “Hapo ni kitengo cha OFM? Mimi ni msomaji wa magazeti yenu, nina habari kutoka hapa mtaani kwetu kuna changudoa mmoja wa Kizungu kila siku huwa anajiuza mchana kweupe.

ANABONGA KISWAHILI

“Ukimuona ni Mzungu kabisa tena anaongea na Kiswahili safi utafikiri amezaliwa Tanzania, yaani nakwambia watu wanamchukua kwa bei chee, hebu njooni mumfungie kazi,” kilisema chanzo.

AHOFIWA KUSAMBAZA VIRUSI

Chanzo kiliendelea kutiririka kwamba, wakazi wa eneo hilo wana hofu isije ikawa Mzungu huyo akawa na virusi vya ugonjwa wa Ukimwi, hivyo kutojali kwa kuwabadilisha wanaume wengi kwa siku moja. “Hofu imejaa mtaani, kila mmoja haamini kama Mzungu wa kike tena mrembo kama huyu anaweza
kujiuza mchana kweupe kwa bei chee. Isije akawa ameathirika akawa anawasambazia vijana wetu, maana naona wanamchangamkia kweli,” kilisema chanzo hicho.

WAUME ZA WATU WAMGOMBEA

“Bahati mbaya zaidi hata waume zetu siku hizi hawashikiki. Wanamgombea kwelikweli. Tunapata shida, wanamkimbilia mno, kwa staili hii unafikiri tutapona kweli?” MAKONDA UPO?

Chanzo hicho kilizidi kueleza kuwa, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ambaye amekuwa akipambana na biashara hiyo kama anadhani ameikomesha, aelewe tu bado tatizo lipo. “Makonda amekuwa akipambana sana na hawa wadada wanaojiuza, sasa sijui kama anajua sasa hivi Mzungu na Wabongo wengi tu wanajiuza mchana kweupe.

“Tunamuomba aingilie kati suala hili kwani nakumbuka baada ya kuelezea mafanikio aliyoyapata, changamoto alizokutana nazo na mipango inayofuata ya mwaka wake wa pili alisema atahakikisha anapambana na machangudoa wote katika mkoa huu,” kiliweka nukta chanzo hicho.

OFM ENEO LA TUKIO

Baada ya kupokea taarifa hiyo, OFM walifunga safari kwa siku mbili mfululizo katika kiunga hicho maarufu kwa Mzungu huyo kufanya biashara yake.

SIKU YA KWANZA OFM

Ilipofika siku ya kwanza, iliagiza vinywaji katika baa hiyo kisha kumsikilizia Mzungu huyo huku ikiomba maelezo kutoka kwa mmoja wa wahudumu wa baa hiyo. OFM: Ebhana kuna Mzungu huwa anajiuza hapa, vipi leo hajaja? Mhudumu: Bado ila ndiyo mida yake hii, vipi unamtaka nini? OFM: Yeah nina shida na huduma hiyo si unajua sijawahi ‘onja’ Mzungu. Mhudumu: Msubiri hapahapa, haiwezi kupita siku hajaja.

GHAFLA AIBUKA

Baada ya muda mfupi, Mzungu huyo aliingia na kwenda kuzungumza na baadhi ya wahudumu wa baa hiyo kisha kumlengesha kwa mteja mwingine, hivyo OFM kuambulia patupu.

OFM YAAMBULIA PICHA

Hata hivyo, OFM ilifanikiwa kumtandika picha Mzungu huyo akiwa amekaa kwenye meza na mteja mwingine kabla ya kuondoka naye na kutokomea kusikojulikana.

SIKU YA PILI SASA…

Siku ya pili yake kikosi kilitinga tena mchana na kuweka kambi na muda wa saa sita za mchana Mzungu huyo alitokea na kuitwa akiwa amechangamka mkononi ameshika kinywaji.
KAHABA MZUNGU
Wakiingia gesti.
USO KWA USO NA OFM

Kwa kutokujua kama aliyekuwa akimuita ni OFM, ali
sogeza kiti na kuulizwa moja kwa moja kama anajishughulisha na biashara hizo ambapo alikubali. ATAJA BEI YAKE Huku OFM ikimrekodi mwanzo mwisho, ilianza ‘kubageni’ naye ambapo Mzungu huyo alichomoa simu yake ya mkononi kisha akaandika kiasi cha shilingi 80,000 na kumpatia OFM ashuke nayo mwenyewe. AKOMAA NA SH. 50,000 Baada ya kushushana bei na OFM kwa muda mrefu, Mzungu huyo alikubali yaishe kwa kuandika kiasi cha mwisho cha shilingi 50,000 na kusema kuwa ni kiwango cha mwisho kwake kuwatoza wateja wanaotaka huduma ya mwili wake.

“Ndiyo nafika sasa, nisubiri kwanza nile chakula nilichoagiza halafu tutakwenda,” alisema Mzungu huyo bila papara akiweka miguu mapajani mwa OFM huku akipuliza sigara. MARA PAAP, GESTI!

Ili kujiridhisha zaidi kuwa anaweza kwenda gesti na kukubali kila kitu, Mzungu huyo alimaliza kula na kukodiwa Bajaj ambayo ilimpeleka akiwa na OFM hadi gesti moja maeneo ya Mwananyamala. …WAFIKA Makachero walioizingira gesti hiyo, walichukua matukio hatua kwa hatua hadi walipoingia chumbani ambapo alionesha kukubali kutoa huduma kwa kuanza kuvua nguo moja baada ya nyingine na alipomaliza kuvua zote, OFM alitumia mbinu ya  kumdanganya kuwa amepigiwa simu ya dharura na kuvaa nguo zake na kutoka naye nje.
NENO LA MHARIRI

ni vyema serikali ikachukua hatua kukomesha biashara hii, lakini pia waume za watu na vijana mbalimbali wakawa makini na biashara hii kwani ni rahisi kupata maambukizi ya magonjwa endapo Mzungu huyo atakuwa ameathirika. Aidha, serikali inapaswa kufanya kitu ikiwezekana kumrejesha Mzungu huyo nyumbani kwao, kwani kama atakuwa ni mwathirika, ni rahisi kuwaumiza wengi kwa sababu tu ya uzungu wake.


Mwanafunzi Anayeshukiwa Kuanzisha Moto Shuleni Nairobi Afikishwa Mahakamani

0
0
Mwanafunzi Anayeshukiwa Kuanzisha Moto Shuleni Nairobi Afikishwa Mahakamani
Msichana mmoja wa shule amefikishwa mahakamni katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, kwa kushukiwa kuanzisha moto uliotokea kwenye shule moja mwishoni mwa wiki iliyipita ambapo wanafunzi 9 walifariki.

Wanafunzi 7 wafariki katika moto uliochoma bweni Kenya
Msichana huyo amefikiswa katika mahakama inayohudumia kesi za watoto kwa sababu bado hajahitimu umri wa maika 18 ya kushtakiwa katika mahakama ya kawaida.

Jaji ameamua kuwa msichana huyo atazuiliwa korokoroni kwa muda wa siku 7 wakati uchunguzi ukiendelea kufanywa
Moto uliowaua wanafunzi 9 wa shule Nairobi ulianzishwa makusudi
Siku ya Jumatatu waziri wa elimu Fred Matiangi alisema kwa kisa hicho cha shule ya wasichana ya Moi hakikuwa ajali bali kilisabishwa makusudi.

"Kumekuwa na misururu ya visa kama hivyo vya moto shuleni sehemu kadhaa za kenya,
"Uchunguzi zaidi umefanyika na ninaweza kuwambia baada ya kushauriwa na polisi kuwa ile haikuwa ajali," Matiang'i aliuambia mkutano wa waandishi wa habari

CUF ya Maalim Seif Imeipongeza Kambi ya Upinzani Kususia Kuapishwa Wabunge Wapya

0
0
CUF Upande wa Maalim Seif Umeupongeza Kambi ya  Upinzani Kususia Kuapishwa  Wabunge Wapya
Chama cha Wananchi (CUF) upande unaomuunga mkono Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad umepongeza uamuzi wa Kambi ya Upinzani Bungeni kususia kuapishwa wabunge wapya wa viti maalumu wa chama hicho.

Wabunge walioapishwa jana Septemba 5 wanachukua nafasi ya wenzao waliofukuzwa uanachama na Profesa Ibrahim Lipumba, ambaye ni mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.

Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Uhusiano wa CUF, Mbarala Maharagande amesema leo Septemba 6 kuwa bado wanawatambua wabunge wanane waliovuliwa uanachama hivyo kupoteza ubunge.

Amesema Baraza Kuu la Uongozi la CUF linaendelea kuwatambua wabunge na madiwani waliovuliwa uanachama kwa kuwa bado ni wanachama halali wa chama hicho.

Maharagande amemtupia lawama Spika Job Ndugai akidai analitumia Bunge vibaya kukandamiza upinzani.

Amesema bunge linapaswa kuwa chombo muhimu cha Watanzania katika kuisimamia Serikali ili wananchi wapate maendeleo.

Spika Ndugai jana aliwaapisha wabunge saba wa viti maalumu ambao ni Alfredina Kaigi, Kiza Mayeye, Nuru Bafadhili, Rukia Kassim, Shamsia Mtamba, Sonia Magogo na Zainab Amir.

Hindu Mwenda, ambaye pia alikuwa aapishwe jana alifariki dunia Ijumaa Septemba Mosi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kuzikwa Jumapili Septemba 3.

Wakati wabunge wa upinzani wakisusia, waliohudhuria ni wabunge wa CUF Magdalena Sakaya wa Kaliua, Maftah Nachuma (Mtwara Mjini) na Maulid Mtulia (Kinondoni).

Polisi Mkoani Arusha Yatoa Taarifa Kuhusu Miili ya Watoto Waliookotwa Jana Kwenye Shimo la Choo

0
0
Polisi Mkoani Arusha Yatoa Taarifa Kuhusu Miili ya Watoto Waliookotwa Jana Kwenye Shimo la Choo
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limethibitisha kuwa miili miwili ya watoto iliyokutwa jana kwenye shimo ikiwa imeharibika katika Kata ya Olasiti ni miongoni mwa watoto waliotekwa tangu August 21, 2017.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Charles Mkumbo amesema kuwa mtu aliyehusika na utekaji wa watoto anayeshikiliwa na Jeshi hilo baada ya kukamatwa mkoani Geita alieleza jana mchana baada ya uchunguzi akikiri kuhusika kuwateka watoto hao na kuwauwa kisha kuwatumbukiza katika shimo la maji machafu.

Miili ya watoto hao imetambulika kuwa ni Iqram Salum na Maurine David Ernest.

”Alihusika kuwateka hawa watoto na alishawadhuru. Tuliongozana naye mpaka Olasite na kuonesha sehemu ambayo alikuwa amewaua hawa watoto na kuwatumbukiza kwenye shimo la maji machafu katika nyumba iliyojengwa hivi karibuni.”

Aidha, Kamanda Mkumbo amesema wanaendelea kumshikilia mtuhumiwa huyo na upelelezi utakapokamilika atafikishwa Mahakamani kwa hatua zaidi za kisheria.

“Tunaendelea na uchunguzi na tukimalisha tutamfikisha Mahakamani.” – Kamanda Mkumbo.


Hii Hapa Sababiu Iliyotajwa Kisa cha Polisi Kumshikiria Hashim Rungwe

0
0
Hii Hapa Sababi Iliyotajwa Kisa cha  Polisi Kumshikiria Hashim Rungwe
Taarifa kutoka Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam  zinaeleza mnamo tarehe 28.08.2017 majira ya saa kumi na moja jioni,  lilimtia mbaroni mtuhumiwa HASHIMU RUNGWE SPUNDA kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. Awali taarifa zilipokelewa toka kwa mlalamikaji aitwaye SULEIMAN YSIAN miaka 48, mfanyabiashara raia wa Uturuki kuwa alifika nchini  akiongozana na kaka yake aitwaye ALI RIZA BELGEN wakitokea nchini Uturuki kwa madhumuni ya kufanya biashara ya kununua zao  la korosho hapa nchini.

Walipokelewa na mwenyeji wao aliyemtaja kwa jina la SALUM MOHAMED waliyefahamiana akiwa nchini Uturuki, alimjulisha kuwa mmoja wa watu wanaojihusisha na biashara hiyo ya kuuza mazao ni ABDALA JUMA, hivyo alikwenda na kumtambulisha raia hao wa kituruki kwa ABDALA JUMA kama mfanyabiashara wa korosho. Na baada ya hapo ABDALA JUMA aliwachukua waturuki hao pamoja na mkalimani wao  na kuwapeleka ofisini kwa mtu aliye mtambulisha kwao kwa jina la SALUM mmiliki wa kampuni ya LES TROPIQUES GROUP MINING SPRL LIMITED.

Raia hao wa kigeni walimweleza nia yao ya kununua korosho kiasi cha tani 15, na SALUM aliwahakikishia kuwa kampuni yake inauwezo wa kuwauzia korosho kwa kiasi kile walichohitaji.

Hivyo tarehe 09.11.2017 waliandaa mkataba baina ya ALI RIZA BILGEN na kampuni ya LES TROPIQUES GROUP MINING SPRL LIMITED. Hata hivyo muuzaji huyo wa korosho alimjulisha mteja wake kuwa anaomba kumshirikisha wakili wake katika makubaliano hayo. Tarehe 18.11.2017 walikwenda ofisini kwa  wakili HASHIM RUNGWE SPUNDA ambaye alishuhudia makubaliano hayo na kuidhinisha.

Muuzaji huyo alimtaka mteja wake atume malipo ya awali ya kuandaa korosho hizo kupitia Acc.No.0250259097900 ya benki ya CRDB ambayo ni ya wakili HASHIM RUNGWE SPUNDA jambo ambalo mteja huyo alikubaliana nalo akiamini kuwa fedha hizo zitakuwa sehemu salama zaidi, mkataba unaonyesha gharama zote za manunuzi na usafirishaji ni jumla ya USD 72,000 ambazo zingelipwa kwa awamu tatu asilimia 20%, 20% na mwisho mzigo utakapofika Uturuki utamaliziwa 60%.

Mteja akiwa huko Uturuki tarehe 22.11.2016 alimtumia  fedha HASHIMU RUNGWE kiasi cha USD 14,400 kwenye akaunti yake namba  0250259097900 ya CRDB, kama sehemu ya gharama za kushughulikia mzigo huo wa korosho. Baada ya kutuma fedha hizo ndugu ALI RIZA BILGEN, alimwomba wakili huyo akahakikishe kama kweli mzigo huo upo ama haupo, ndipo HASHIMU RUNGWE alipotaka alipwe kiasi cha USD 1,000 kama gharama za kwenda Lindi kuhakikisha uwepo wa korosho hizo na alipolipwa akasafiri na kisha kumjulisha mteja kuwa mzigo upo.

Baada ya uthibitisho huo kutoka kwa mtuhumiwa huyu, tarehe 12.12.2016 alitumiwa tena fedha kiasi kingine kiasi cha USD 15,400, katika akaunti yake ileile ya wakili huyo.

Aidha mteja huyo alipoona gharama zinazidi kuwa kubwa na hakuna mzigo unaoletwa kutoka Lindi, hivyo aliamua kurudi Uturuki. Walisubiri toka mwezi Novemba 2016 hadi April 2017 bila kupata chochote zaidi ya kuahidiwa tuu. Ndipo tarehe 20.04.2017 mteja alirudi tena nchini kujua kilichotokea safari hii ya pili hakumkuta mkalimani wao wa awali bali alipewa namba ya simu ya mkalimani mwingine aitwaye HUSSEIN SULEIMAN huyu alimpokea uwanja wa ndege na kumwezesha mawasiliano yote yaliyo kusudiwa.

Walikutana na muuzaji aliye dai kuwa kampuni yake iliingia matatani na serikali kuhusu masuala ya kodi hivyo hakuweza kusafirisha mzigo huo, badala yake alimwahidi kuwa angemuuzia ufuta badala ya korosho, pamoja na mabadiliko hayo muuzaji huyu alimtaka mteja wake warudi tena kwa wakili wake ili kuingia mkataba mpya.ndipo tarehe 25.05.2017 waliandaa mkataba mpya na kwenda ofisini kwa HASHIMU RUNGWE huko Kijitonyama kusaini mkataba huo wa ufuta ukishuhudiwa na wakili huyo.

Pamoja na mabadiliko hayo mnunuzi au mlalamikaji hakupata mzigo huo, badala yake muuzaji alikata mawasiliano na kutoweka.juhudi za kumkamata hazikufanikiwa hivyo aliamua kwenda kwa wakili huyo na kutaka kujua kilichomsibu mteja wake, ndipo wakili huyo alimtaka atoe kiasi cha USD 3,000 kama gharama za kufungua kesi mahakamani dhidi ya kampuni hiyo ya LES TROPIQUES GROUP MINING SPRL LIMITED.

Kwa kuwa mnunuzi tayari alikuwa amepoteza fedha nyingi mlalamikaji alimpatia kiasi hicho cha fedha wakili huyo, hata hivyo bado kesi haikufunguliwa, hivyo mnunuzi au mlalamikaji aligundua kuwa hata wakili anashiriki kumtapeli hivyo aliamua kufika Polisi ili kupata msaada katika jambo hilo.

Baada ya taarifa hizi kupokelewa kituoni uchunguzi ulianza mara moja ili kulinda heshima ya nchi kwa raia wa kigeni, polisi walifanikiwa kumkamata kwa mahojiano na kugundua kuwa amejipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. Upelelezi unaendelea mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana ya Polisi

Rais wa TFF Amteua Msafiri Mgoyi Kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu

0
0
Rais wa TFF Amteua Msafiri Mgoyi Kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu
Rais wa TFF, Wallace Karia ameteua Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu Bara ambayo itakuwa inachagua wachezaji bora wa mwezi, bao bora, mwamuzi bora, kocha, kipa bora na mchezaji bora wa msimu.

MWENYEKITI
Msafiri Mgoyi

Makamu Mwenyekiti
– Almas Kasongo

KATIBU MKUU
-Amiri Mhando

WAJUMBE
Saleh Ally
Patrick Kahemele
Kenny Mwaisabula
Ibrahim Masoud
Fatma Likwata
Gift Macha
Said George
Zena Chande
 

MASHINJI: Njia Sahihi ya Kupata Katiba Mpya ni Kuikataa CCM Katika Uchaguzi 2020

0
0
MASHINJI: Njia Sahihi ya Kupata Katiba Mpya ni Kuikataa CCM Katika Uchaguzi 2020
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk Vicent Mashinji amewataka wananchi kukikataa Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 iliwaweze kupata katiba mpya

Dk. Mashinji amesema hayo leo alipokuwa akiongea na waandishi wa habari na kusema njia pekee ya kuweza kupata katiba mpya ni kuikataa CCM katika uchaguzi Mkuu wa mwaka
2020

"Mh. Rais alishaongea kuwa katiba si ajenda yake na kwenye kampeni zake hakuwahi kuongelea na Ilani ya uchaguzi ya wenzetu imeongelea kuwa watakamilisha hiyo katiba sasa kuna hatua mbalimbali sisi tunapaswa kuzichukua kama wananchi, moja ili tuweze kupata katiba cha kwanza ni kukikataa Chama Cha Mapinduzi hilo ndilo jambo kubwa tunatakiwa kulifanya, hivyo ni kuhakikisha kwamba ifikapo mwaka 2020 hatuichagui kuongoza serikali" alisema Dk Mashinji

Aidha Katibu huyo wa CHADEMA amedai kuwa katika bunge hili la sasa kuna hoja binafsi ambayo imelenga kuelezea maboresho ya tume ya uchaguzi nchini (NEC) ikiwa ni
katika hatua za kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2020 wanapata haki katika uchaguzi huo mkuu.

"Katika bunge hili kutakuwa na hoja binafsi ambayo itawasilishwa na Mh. Silinde na huu utakuwa mwanzo wa mabadiliko katika taifa hili najua kuna wananchi wengi sana wangependa tudai katiba yetu kwa nguvu, kwa hoja za nguvu na si nguvu za hoja hizi ndiyo njia mbili tulizonazo ambazo tunaziweka kwenye mezania, hivyo kwanza tunatumia njia za kidemokrasia na kidoplomasia endapo njia hizi zote hazitazaa matunda ambayo wananchi wanahitaji tutawaomba wao wachukue uongozi katika jambo hili" alimalizia Mashinji

Simba Yakubali Milioni 10 za Buswita

0
0
 Simba Yakubali Milioni 10 za Buswita
Kamati ya Sheria, Katiba na Hadhi za wachezaji imesema haioni haja ya kuendelea kumfungia kiungo aliyesaini kandarasi katika vilabu viwili tofauti ambaye ni Pius Buswita baada ya yeye kukubali kuilipa Simba Milioni 10.

Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Elias Mwanjala leo baada ya vilabu hivyo kukaa pamoja na kufikiana muafaka juu ya mchezo huyo.

"Vilabu vya Simba na Yanga vimeshakaa na kuongea ambapo wamekubaliana mchezaji huyo arudishie pesa aliyoichukua ili aweze kufunguliwa lakini tumpe onyo kali ili suala hili lisiweze kujitokeza kwa mara nyingine", amesema Mwanjala.

Hata hivyo, Kamati ya hiyo imesema lengo hasa la kuridhia kumtoa kifungoni Pius ni kutokana na kuona mpira ndiyo ajira yake ambayo anaitegemea.
Kwa upande mwingine, Klabu ya Simba wamedai walipwe pesa ya nauli ya ndege waliyomlipia mchezaji huyo pindi wamemchukua ambapo Yanga wamekubali kuilipa pesa hiyo.

Matumizi ya Head Phone Yamchanganya Mama Salma Kikwete Aomba Serikali Kuzifungia

0
0
Matumizi ya Head Phone Yamchanganya Mama Salma Kikwete Aomba Serikali Kuzifungia
Mbunge wa kuteuliwa, Mama Salma Kikwete Jumatano hii Bungeni Dodoma ameibua hoja ya kuitaka serikali kufungia matumizi ya ‘HeadPhone’ kwa madai zinaharibu masikio huku akienda mbali zaidi kwa kusema kuwa tayari ana ushahidi kuhusu sakata hilo.

Akijibu hoja hiyo Bungeni Dodoma, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ambandusi Ngonyani amesema serikali haina ushahidi na suala hilo huku akidai Umoja na Mataifa wa Mawasiliano Duniani umeweka viwango maalum kwenye ‘head phone’ambacho hakina madhara kwa watumiaji.

“Napenda kujibu swali la Mh Mama Salma Rashid Kikwete mbunge wa kuteuliwa, mama yangu kama ifuatavyo, Mh Spika kitaalam hakuna taarifa za kitabibu kuhusu madhara ya matumizi zaidi ya mara kwa mara ya ‘head phone’ kwa muda mrefu aidha vifaa vyote vya mawasiliano zikiwemo ‘headphone’ huwekewa viwango na Umoja wa Kimataifa wa Mawasiliano Duniani kwaajili ya matumizi salama. Hivyo hakuna madhara ya utumiaji wa vifaa hivyo kwa kuwa vimethibitishwa na kimataifa na kwa hapa nchini Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakishirikiana na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wana juhumu la kuhakiki viwango vya vifaa vya mawasiliano Tanzania kabla havijaanza kutumika,” alisema Ngongani.

Aliongeza, “Mh Naibu Spika kwa kuwa mimi sio daktari nakubaliana na Mh Mama Salma Kikwete ampeleke mtu ambaye anadai ameathirika na matumizi ya ‘headphone’ kwenye watu wenye dhamana afya ili wakamchunguze na taarifa ya kitatibu ambayo itatoka tutachukua hatua,”

Pia waziri huyo amewataka maredeva ambao wanatumia ‘headphone’ wakati wanaendesha kuacha mara moja kwani kufanya hivyo ni kinyume na sheria.

“Naomba nichukue fursa hii kuwahasa madereva ambao wanaendesha vyombo vya moto kutosikiliza simu na ‘headphone’ wakiwa katika mwendo, kama ni lazima kusikiliza simu asimamishe chombo cha moto halafu ndipo asikilize simu, kusikiliza simu huku unaendesha ni kuhatarisha maisha yako pamoja na abiria uliowachukua,” alisema Ngonyani.


Mahakama Yamruhusu Binti wa Miaka 13 Kutoa Mimba

0
0
Mahakama Yamruhusu Binti wa Miaka 13  Kutoa Mimba
Mahakama ya juu zaidi nchini India imempa ruhusa msichana mja mzito muathirwa wa ubakaji mwenye umri wa miaka 13 kutoka mji wa Mumbai kutoa mimba hiyo.
Msichana huyo mwenye uja uzito wa wiki 32 alikuw anataka ruhusa ya mahakama kutoa mimba hiyo kwa kuwa mahakama za India uruhusu mimba ya zaidi ya wiki 20 kutolewa ikiwa tu maisha ya mama yamo hatarini.

Mimba hiyo iligunduliwa wakati wazazi wake walimpeleka mtoto huyo kwa daktari kutafuta matibabu ya unene wa mwili.
Mimba hiyo inatarajiwa kutolea siku ya Ijumaa, kwa mujibu wa wakili wake
Msichana huyo anadaiwa kubakwa na rafiki wa babake ambaye kwa sasa amekamatwa

Uamuzi wa kumruhusu msichana huyo kutoa mimba ulifanywa na jopo la majaji watatu ambao walitumia ripoti kutoka kwa madaktari kutoka hospitali ya JJ mjini Mumbai.
Keshi ya msichana hiyo inafanyika baada ya msichana mwingine wa umri wa miaka 10 ambaye ambaye naye alikuwa ni muathiriwa wa ubakaji, alijifungua mtoto msichana katika mji ulio Kaskazini wa Chandigarh.

Alikuwa na mimba ya wiki 32. Mahakama haikumrusu kutoa mimba mimba baada ya madaktari kusema kutolewa mimba hiyo kulikuwa hatari kwa maisha yake.
Mwezi Mei kisa kama hicho kiliripotiwa katika mji wa kaskazini wa Haryana ambapo msichana wa uamri wa miaka 10 ambaye alidaiwa kubakwa na babake wa kambo aliruhusiwa kutoa mimba

Waziri wa Afya Atangaza Vita na Wauzaji Dawa Zisizosajiriwa

0
0
Waziri wa Afya Atangaza Vita na Wauzaji Dawa Zisizosajiriwa
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu ametangaza vita mpya ya kupambana na watu wanaojihusisha na kuuza dawa zisizosajiliwa na mamlaka husika na kusema hicho wanachokifanya wanavunja sheria za nchi.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu.
Waziri Ummy ametoa kauli hiyo leo Bungeni wakati akijibu swali la pili la mbunge wa Konde, Khatibu Saidi Haji (CUF) na kuwataka waganga wakuu kushiriki kikamilifu katika zoezi la kukabiliana na wanaouza dawa zisizosajiliwa na baraza pamoja na TFDA wachukuliwe hatua stahiki.

"Tuna sheria ya tiba asili na tiba mbadala ya mwaka 2002 na kanuni zake, kwa mujibu wa sheria hizo dawa zote za tiba asili au tiba mbadala ni lazima zisajiliwe na baraza la tiba asili na tiba mbadala baada ya kuwa zimethibitishwa na Mkemia Mkuu wa serikali pamoja na TFDA kwamba hazina madhara", amesema Ummy.

Pamoja na hayo, Waziri Ummy ameendelea kwa kusema "tamko langu kwa nchi, yeyote anayeuza dawa za tiba asili zisizosajiliwa anavunja sheria hivyo tutamkamata na kumchukulia hatua ikiwemo dawa za kuongeza nguvu za kiume" amesisitiza Ummy.



Jeshi la Polisi Lamwachia Rungwe kwa Dhamana

0
0
Jeshi la Polisi Lamwachia Rungwe kwa Dhamana
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemwachia kwa dhamana mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Hashim Rungwe.

Mwanasiasa huyo ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), alishikiliwa kwa siku nne akituhumiwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.

Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo, Lazaro Mambosasa leo Septemba 6 amesema Rungwe ambaye pia ni mwanasheria aliachiwa kwa dhamana jana usiku kutokana na siku alizokaa mahabusu kuwa nyingi.

Mambosasa amesema pia wamejiridhisha kuwa hawezi kutoweka hata akiachiwa kwa dhamana.

“Tumejiridhisha kuwa wakili huyo mkongwe hawezi kutoroka amedhaminiwa na watu wa kuaminika na kwa kipindi hiki ataendelea kuripoti polisi kila atakapohitajika,” amesema.

Mambosasa amesema Rungwe akiwa wakili anatuhumiwa kushiriki kufanya udanganyifu kwa mfanyabiashara kutoka Uturuki, Suleiman Ysian ambaye alikuja nchini kununua korosho tani 15  kutoka kampuni ya Les Tropiques Group Mining Sprl Limited.

Amesema mkataba wa ununuzi wa korosho unaonyesha una gharama ya Dola 72,000 za Marekani sawa na Sh161 milioni ambazo  zitalipwa kupitia akaunti ya benki ya wakili Rungwe.

Kamanda Mambosasa amesema inadaiwa mfanyabiashara huyo ameshalipa takriban Sh75 milioni lakini hakuna mzigo  ulionunuliwa.

Mwanasheria Alberto Msando Ataka Mtuhumiwa wa Mauaji ya Watoto Mkoani Arusha Kunyongwa Hadi Kufa

0
0
Mwanasheria Alberto Msando Ataka Mtuhumiwa wa Mauaji ya  Watoto Mkoani Arusha Kunyongwa Hadi Kufa
Mwanasheria wa kujitegemea hapa nchini Alberto Msando, amemtaka Rais Magufuli kusaini hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa mtuhumiwa wa mauaji ya watoto waliotekwa mkoani Arusha Bw. Samson Peter ili iwe somo kwa wengine.

Kwenye Ukurasa wake wa Instagram Alberto Msando ameandika ujumbe wa kusikitisha kuhusu vifo vya watoto hao waliotekwa na miili yao kukutwa kwenye shimo la choo mkoani Arusha, na kusema kwamba tukio alilolifanya mtuhumiwa huyo ni la ukatili wa hali ya juu, na kwamba kesi yake iendeshwe kwa haraka iwezekanavyo ili ahukumiwe na kumpa adhabu kali ikiwemo kunyongwa hadi kufa.

"Samson Peter Mungu akuadhibu, yaani huyu wala siyo wa kukaa zaidi ya miezi sita na kesi ya utekaji na mauaji!! Hii iishe hata kesho!! Na Rais asaini adhabu ya kunyongwa mpaka afe!! Naomba akihukumiwa tu Mh. Rais atengeneze historia ya kusaini kunyongwa kwake!!!", aliandika Alberto Msando.
Mwanasheria huyo machachari na maarufu Tanzania aliendelea kwa kuwataka wakazi wa Arusha kujitokeza kwa wingi katika shughuli ya mazishi ya watoto hao, ili kuwapa faraja wafiwa.
Watoto waliofariki Moureen David na Ikram Salim miili yao iliokotwa jana katika shimo la choo ambako walitelekezwa, baada ya kutekwa na mtu aliyejulikana kwa jina la Samson Peter ambaye kwa sasa anashikiliwa na polisi, kwa tamaa za fedha.




Huyu Hapa Kijana Mtekaji wa Watoto Wanne na Muuaji Akisimulia Jinsi Alivyowateka Watoto

0
0
VIDEO Kijana Mtekaji wa Watoto Wanne na Muuaji Akisimulia Jinsi Alivyowateka Watoto Huku Arusha na Kukimbilia Geita

VIDEO:

Mbowe: Bunge Likiamua Kufanya Kazi Kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi yetu Linayo Nafasi kubwa ya Kuisaidia Serikali

0
0
Anaandika Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe Freeman Mbowe.
Bunge letu likiamua kufanya kazi kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu linayo nafasi kubwa sana ya kuisaidia Serikali, kwa kuunda Kamati hizi Mhe. Spika ameisaidia Serikali.

Naimani kabisa Mhe. Spika na timu yake wanatambua Bunge limejaa watu wenye uwezo mkubwa, experiences tofauti, ambao wakitumika kikamilifu wanaweza wakawa msaada mkubwa sana kwa Taifa, wanaweza kuwa msaada mkubwa sana kwa utekelezaji wa kazi za Serikali.

Kamati hizi zimetambua mambo mengi mazito, na kweli kihistoria kwa wale ambao tumekuwa ndani ya Bunge kwa miaka mingi, pale kamati teule za Bunge zinapotumwa majukumu mahsusi huleta ripoti zilizosheheni ukweli ambazo kwa bahati mbaya pengine hazitekelezwi sana kwa yale maazimio ambayo yanatokana na ripoti hizo.

Natambua busara ya Mhe. Spika iliyompeleka mpaka aone ripoti hizi kwa unyeti wake zisisomwe tu ndani ya Bunge, lakini hata watu wengine ambao ni watendaji wakuu, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama navyo viweze kushiriki kupokea ripoti hizi.

Kwa busara hizo hizo ili ripoti hizi ziweze kupata uzito wa Kibunge, tuzijadili ndani ya Bunge ili Wabunge sasa watoke na maazimio rasmi ambayo yatakuwa ni maelekezo ya Bunge kwa Serikali.

Na Waziri Mkuu namuomba kama Kiongozi Mkuu wa Serikali ndani ya Bunge apokee ripoti hizi kwa kutambua tu kwamba Bunge linajaribu kuisaidia Serikali katika kutekeleza majukumu yake ipasavyo na Bunge linafanya wajibu wake na sio suala la chuki.

Nia njema ya Serikali isipotekelezwa kwa misingi ya haki inaweza ikapoteza ndoto ya faida kwa Taifa na ikawa hasara.

Kwa sababu wengi wametajwa katika ripoti hizi haki ikatendeke kwa wote, vyombo vyote vya umma vitakavyofanya kazi ya kusimamia jambo hili au maazimio yatakayokuwa ya Bunge au maelekezo yoyote ya Kibunge au Serikali, tunaomba vikafanye kazi hii kwa haki kila mmoja apate haki inayomstahili, asionewe mtu lakini haki isiende kupindwa katika kuwakabili wahusika na changamoto zinazowahusu.

Pale ambapo kuna na ushirikiano wa kutosha kati ya Bunge na Serikali faida kwa Taifa inaonekana, Mhe. Spika alipounda Kamati teule alichanganya Wabunge kutoka vyama vyote vya siasa vyenye uwakilishi bungeni, unaona jinsi wabunge hao wamefanya kazi kwa pamoja sio kwa misingi ya kiitikadi, wamefanya kazi kama viongozi, wamefanya kazi kama wawakilishi wa Wananchi , wamefanya kazi kama Watanzania na ripoti yao ni ya Watanzania.

Tunaomba ushirikiano huo usiishie kwenye Kamati teule tu, ushirikiano wa Wabunge wa pande zote mbili, Wabunge wa Chama kinachotawala na Kambi ya Upinzani ukajidhihiri ndani ya Bunge, nje ya Bunge katika wajibu wetu wa kulitumikia Taifa kwani sote ni Watanzania, nyumba tunayoijenga ni moja.

Wanawake: Mnafanya Makosa Wenyewe Kwenye Mahusianio...Alafu Mkiachwa Mnalialia

0
0
Zipo sababu mbalimbali ambazo huchangia mahusiano mengi ya kimapenzi kufa, na miongoni mwa tabia hizo ni pamoja na zile tabia ambazo wanawake hao wamekuwa wakiziendekeza na miongoni mwa tabia hizo ni kama ifutavyo;

  • Kauli mbaya kwa mmewe. Unakuta mwanamke anarepu mbele ya mme wake utafikiri kafingiwa mota mdomoni.
  • Uchafu. Unakuta baadhi ya wanawake akioga usiku mpaka usiku mwingine. Ngua ya ngani ukiangalia utafikiri mafundi wapiga plasta ukuta.
  • Kukataa kufanya tendo la ndoa wakisingizia wamechoka.
  • Dharau.
  • Kuwa na michepuko ya wanaume wa nje.
  • Pesa. Wanawake wakipata pesa uona wanaume wao si lolote.
  • Elimu. Mwanamke akisoma na kumzidi mmewe basi anaona hata tendo la ndoa kufanyika maamuzi ni yake mwenyewe. Upatikanaji wa elimu kwa mwanamke umesababisha mahudiano mengi kufa.
  • Madaraka. Ukifanya utafiti mdogo tu utakuta wanawake walio wengi wenye madaraka hawapo kwenye ndoa. Wanaona kupata madaraka basi na masuala ya kimapebzi hayana nafasi yena.

Mtambue Mwanamke/Mwanaume Asiye na Mapenzi ya Dhati

0
0
Unajua unaweza kuwa na mahusiano na mtu unayempenda sana ila yeye hakupendi kama vile umpendavyo lakini anashindwa kukwambia kuwa "sikupendi".

Unawakati mzuri sana wa kumtambua mtu ambaye hakupendi na pia kumtambua anayekupenda. Vilevile kukubaliana na hali halisi. Watu wengi hawapendi kutambua kwamba mtu anayempenda yeye hampendi,kwasababu ni maumivu makubwa sana moyoni. Unapokuwa kwenye mahusiano na mtu huyo nae inamuwia vigumu kukwambia "sikupendi" hufanya hivi katika kuzihurumia hisia zako juu yake.

Zifuatazo ndizo dalili za mtu ambaye hakupendi kwa dahati

1. Anapokuwa nawe inamuwia vigumu sana kukwambia neno NAKUPENDA mara kwa mara, utajikuta wewe ndio unakuwa mtumwa kwake kwa kumwambia nakupenda kila mara. Majibu yake baada ya neno hilo, mara nyingi atakwambia asante kwa kunipenda basi, na akikuhurumia sana atakwambia nakupenda pia ili kukuridhisha wewe na moyo wako.

2. Utajikuta una mawazo sana juu yake na kujiuliza "hivi kweli mtu huyu ananipenda?" Utajaribu kumuuliza, "je unanipenda?"

Jibu lake kwanza litafikiriwa sana, sababu ya kufanya hivyo ni kwa vile anatambua kwamba hakupendi sasa kukwambia ukweli wa swali lako anahisi utaumia, kwahiyo baada ya swali hilo anaweza kukuuliza swali na wewe "kwani unaonaje?" kwavile unampenda sana utamjibu, "naona kuwa unanipenda" naye atakwambia "basi ndio hivyo".

Mara nyingine baada ya wewe kumuuliza swali kuwa je anakupenda kweli, atakujibu "ukweli unaujua ila kwanini unapenda kuniuliza swali hilo kila mara?" kama umeshaingiza dosari juu ya upendo wake utajikuta unamuuliza "ukweli upi?" naye atakujibu "kuwa nakupenda", hapo utajikuta umepata furaha kugundua kuwa anakupenda kumbe mwenzio amekuhurumia tu.

5.Huwa hajali mambo yako unayomwambia, ukimueleza muda huu badae anajifanya kusahau ili tu akupotezee mueleleo.

6. Unapopanga kukutana nae huwa ni mtu asiyeishiwa na sababu za kushindwa kufika, huwa na aibu ya kukutambulisha kwa watu.

Unaweza kufika nae mahali akakwambia kuwa "kuna watu wanafahamiana na mama/baba mahali hapa kwahiyo tusiongozane karibu", hapo anaweza yeye akatangulia mbele au kukuacha wewe utangulie.

7. Hufanya tabasamu la kuigiza au kicheko cha kejeli ili wewe uridhike kwamba anafurahishwa na uwepo wako kwake.

8. Wakati mwingine inampasa mtu kujitambua na kumpa uhuru huyo umpendaye aweze kuamua mwenyewe labda kuendelea na wewe au kumfata anayempenda yeye.

Cha muhimu ni kuwa using'ang'anie mahusiano ambayo yanayoumiza moyo kwani yanaweza pasua moyo wako kwa mawazo.

Jambo la Aibu Lililo Nitokea Usiku wa Jana Wakati Nafanya Tendo la Ndoa na Mke Wangu

0
0
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42 na mkaazi wa jijini Dar Es Salaam.

Mimi nimeoa na nimejaaliwa kupata watoto watatu, watoto wawili mimezaa na wanawake wawili tofauti na huyu mtoto wa tatu nimezaa na mwanamke ambae nimefunga nae ndoa na ndo ninae ishi nae.

Tatizo langu kubwa ni ukosefu wa nguvu za kiume ambalo nimekuwa nalo kwa muda mrefu sasa. Chanzo cha tatizo langu nadhani ni kujichua kwa muda mrefu kwani nilianza kujichua mwaka 1992 wakati huo nikiwa na umri wa miaka 17 na tangu nianze kujichua mwaka huo wa 92 sijawahi kuacha kujichua hadi leo hii.

Mchezo huu wa kujichua umenisababishia madhara makubwa sana ; kwanza maumbile yangu ya kiume yamelegea, yamesinyaa na kunywea ndani na ninapokuwa nimesimama basi yanakuwa yamelegea kweli kweli.

Pili nisipotumia madawa ya kizungu huwa nafika kileleni ndani ya muda mfupi sana, nikizidi sana ni dakika moja .

Tatu nakuwa sina uwezo wa kurudia tendo . Nikishamaliza ndio imetoka hiyo mpaka kesho yake.

Katika kukabiliana na tatizo langu hili nimekuwa nikitumia madawa ya kizungu na kusema ukweli yameniathiri kwa kiwango kikubwa sana kiasi cha kunifanya niwe tegemezi, yaani bila hayo madawa ya kizungu siwezi kabisa kufanya tendo la ndoa.

TUKIO LILILO TOKEA USIKU WA JANA

Sababu ya kuandika barua pepe hii ni kukuelezea jambo la aibu lililonitokea usiku wa jana wakati nikifanya tendo la ndoa na mke wangu.

Tukio lililo nitokea jana si mara ya kwanza kunitokea lakini kwa mke wangu huyu ndio limenitokea kwa mara ya kwanza but kwa wanawake wengine ambao nimewahi kutembea nao, limeshanitokea mara nyingi tu kiasi siwezi kuhesabu.

Halijawahi kutokea kwa mke wangu kwa sababu kwa muda wa miaka mitatu ambayo nimekuwa na mwanamke huyu nimekuwa makini sana wakati wa kufanya “ maandalizi “ kabla ya kushiriki tendo la ndoa na mke wangu. Nimekuwa nikihakikisha nnatumia dawa za kizungu za kuongeza nguvu kabla ya kukutana kimwili na mke wangu huyu. Ingawa uume wangu unakuwa umesimama ukiwa lege lege lakini at least sijawahi kushindwa kabisa kushiriki na mke wangu.

Nilikuwa nimeenda safari mkoani ambako nilikaa kwa muda wa wiki moja na usiku wa jana ndio nikawa nimerudi safari.

Kwa bahati mbaya sana nikawa nimesahau kubeba dawa zangu za nguvu za kiume na kwa bahati mbaya zaidi nakuja kukumbuka tayari nimeshafika home na ilikuwa usiku tayari.

Wakati tunafanya tendo la ndoa nilijikongoja nikafanikiwa kumaliza round ya kwanza japo nilitumia muda mfupi sana nadhani kama dakika moja hivi.

KIMBEMBE KILIANZA KWENYE KUTAFUTA ROUND YA PILI

Baada ya kumaliza round ya kwanza nilipata maumivu makali sana kwenye mishipa yangu ya uume na sikuwa na hamu kabisa ya kurudia round ya pili . Hata hivyo nilifanikiwa kujikongoja kongoja hivyo, baada ya kama masaa mawili hivi jogoo akafanikiwa kupanda mtungi tena. Na hii ilikuja baada ya kutomasa sana na kuvuta hisia sana na wakati nafanya yote hayo nafanya bila wife kushtukia kwamba ninajitomasa ili jogoo apande mtungi. Huwa natakaga wife awe anajua jogoo wangu anapanda mtungi bila kuchezewa. So nilikuwa nampigisha story wife huku tunatazama kipindi kwenye tv and at the same time nikawa najitomasa.

Sasa basi baada ya kuridhisha kuwa jogoo amepanda mtungi nikaanza sasa maandalizi ya ku-do wife, ila ile najaribu tu ku anza ku-do , jogoo akawa amenywea tena, na jogoo alinywea kwa sababu nilipo mwambia wife tuanze ku-do tena, wife akasema anaenda maliwatoni kwanza, kitendo cha wife kwenda maliwatoni tu jogoo wangu akanywea tena. Nikasema ngoja nijaribu kujichezea tena fasta fasta kwa muda ule ambao wife atakuwa ameenda chooni ili atakapo rudi akute jogoo yupo vizuri, lakini wapi wakati najaribu kuanza kujitomasa tena, wife akawa amesha rejea tena, so ikabidi namimi nizuge nimebanwa na haja kubwa na kumwambia wife naenda toilet mara moja.

Kufika toilet nikaanza kutomasa jogoo wangu mithili ya mtu anae taka kupiga punyeto, lakini wapi. Jogoo akawa anasimama kidogo ananywea, anasimama kidogo ananywea, nikaona hapa mwishowe wife atanistukia au kuhihisi vibaya coz zilikuwa zinakaribia zaidi ya dakika tano hivi kwa kukadiria.

So nikaamua kurudi tu chumbani . Kufika chumbani nikamkuta wife amekaa kitandani. Bahati nzuri nikiwa nafika, movie moja ya kibongo ikawa ndo inaanza kuonyeshwa kwenye kituo kimoja cha movie za kibongo na inaonekana alikuwa anaisubiri kwa hamu. So akawa kama attention yake ameihamishia kwenye movie na hiyo ndo ikawa pona pona yangu kwa muda huo.

So na mimi nikazuga kuvutiwa na ile movie , attention yetu sote tukawa tumeihamishia kwenye movie.

Nashukuru Mungu ile movie ilionekana kuwa so interested kwake yeye. Nilipo ona yupo so interested nikazuga kumwambia “ Ngoja nikuache umalize kwanza hiyo movie ndo tuendelee” kumbe moyoni mwangu nasema “ Asante Mungu kwa kunifichia hii aibu “.

So muda huo tulio kuwa tunautumia kutazama movie nikasema niutumie kutomasa jogoo hadi asimame.

Baada ya kama nusu saa hivi, bahati nzuri jogoo akawa amewika, nikamwambia wife nataka kwenda kulala, tumalizie game haraka haraka. Bahati nzuri nikafanikiwa kucheza game na kumaliza japo nilitumia muda mfupi sana lakini ni heri nusu shari kuliko shari kamili. Ni heri nionekane nawahi kufika kileleni mapema kuliko nionekane sina uwezo wa kupandisha jogoo kabisa .

Nimeamka asubuhi nimetengeza safari ya kijijini Kisarawe ambako nitakaa kwa muda wa mwezi mmoja.

Ninataka katika kipindi chote hicho cha mwezi mmoja niutumie kutibu tatizo nililo nalo na kupona kabisa ili nitakapo rudi kwa mke wangu niwe na confidence ya kushiriki nae tendo la ndoa.

Pia naogopa aibu iliyo taka kunitokea usiku wa jana isije kunitokea tena kwa sababu jambo hilo liliniogopesha sana na sitaki mke wangu anione mimi ni mwanaume wa hivyo ingawa sijui ananichukuliaje mpaka sasa.

IDADI KUBWA YA WANAUME WALIO KATIKA NDOA AMBAO WANAKABILIWA NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, WANASHINDWA KUPATA TIBA YA TATIZO LINALO WAKABILI KWA SABABU YA KUTOKUWASHIRIKISHA WAKE ZAO. WANAUME WANAO WASHIRIKISHA WAKE ZAO HUPATA NAFUU YA HARAKA SANA KWA SABABU MKE NAE ANAKUWA ANAJUA TATIZO LINALO MSUMBUA MUME WAKE NA ANAWEZA KUSHIRIKI KATIKA KUMUANDALIA LISHE MAALUMU KWA WANAUME WENYE SHIDA YA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live




Latest Images