Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104775 articles
Browse latest View live

Raia wa Burundi ''Waliotaka Kujiunga na Al-Shabab'' Wamekatwa

$
0
0
Raia wa Burundi ''Waliotaka Kujiunga na Al-Shabab'' Wamekatwa
Police nchini Kenya wamewakamata watu wanne wanaoaminika kuwa raia wa Burundi ambao walikuwa wakielekea Somalia kujiunga na kundi la al-Shabab.

Maafisa wa ujasusi walikuwa wakiwafuata washukiwa hao baada ya kupata habari kuhusu mipango yao, kulingana na msemaji wa polisi George Kinoti.

Ameongezea kwamba washukiwa wanne walikamatwa katika kizuizi cha polisi mjini Isiolo takriban kilomita 350 kaskazini mwa mji mkuu wa nairobi wakielekea katika mji wa mpakani wa Mandera.
Maafisa wa polisi pia wanasema wanne hao waliingia nchini Kenya kama watalii kupitia visa huru ya ushirikiano kati ya Burundi na Kenya.

Maafisa katika Ubalozi wa Burundi mjini Nairoibi wanasema kuwa watatoa taarifa kamili kuhusu kukamatwa huko baada ya kushauriana na mamlaka ya Kenya.
Mnamo mwezi Januari mwaka huu raia mwengine wa kigeni, ambaye alikuwa Mtanzania alikamatwa mjini Mandera akijaribu kuvuka na kuingia Somalia kwa lengo la kujiunga na kundi hilo la al-Shabab.


Mama Samia: Serikali Itaendelea Kubana Matumizi na Kuimarisha Mfumo

$
0
0
Mama Samia: Serikali Itaendelea Kubana Matumizi na Kuimarisha Mfumo
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kuimarisha mifumo ya udhibiti katika taasisi zake.

Akizindua programu ya marekebisho ya usimamizi wa fedha za umma (PFMRP) jana Jumanne mjini hapa, Samia amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau kuhakikisha inaboresha mfumo huo.

Samia amewahakikishia wadau wa maendeleo kuwa Serikali itaendelea kushirikiana nao katika kuhakikisha kuwa fedha za umma zinatumika kama zilivyokusudiwa.

Awali, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango alisema Serikali katika awamu zilizotangulia zilionyesha mafanikio katika maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuongeza makusanyo ya kodi kwa kutumia mashine za kielektroniki (EFDs).

“Programu hii ilisaidia kuboresha sheria, nidhamu katika matumizi ya fedha za umma, mipango na michakato ya bajeti na kuanzisha ofisi ya mkaguzi mkuu wa ndani,” amesema.

Amesema programu hiyo itatekelezwa kwa miaka mitano na itaanza kutekelezwa katika mwaka huu wa fedha (2017/18) hadi

mwaka 2021/22.

Dk Mpango amesema programu hiyo itahusisha kuweka mifumo thabiti katika kukusanya, kutumia na kugawanya rasilimali ili kusimamia vyema fedha za umma.

Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Uingereza (DFID) nchini, Berth Arthy amesema usimamizi mzuri wa fedha za umma ndiyo utawezesha maendeleo kwa wananchi.

“Uingereza imekuwa ikishirikiana na Serikali ya Tanzania siku nyingi, usimamizi mzuri wa fedha za umma ni njia kuu ya kuleta

maendeleo kwa watu tunaowaongoza,” amesema.

Serikali Imejipanga Kujenga Vituo 150 vya Huduma ya Uzazi wa Dharura

$
0
0
Serikali Imejipanga Kujenga Vituo 150 vya Huduma ya Uzazi wa Dharura
Serikali ya Tanzania imejipanga kuongeza vituo 150 nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya uzazi wa dharura ili kuokoa vifo vinavyotokana na uzazi pingamizi nchini.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, katika kikao cha wabunge wa klabu ya uzazi salama kilichofanyika Mkoani Dodoma.
"Sisi awamu ya tano katika mwaka wetu huu mmoja tutaongeza vituo 150 katika kufanikisha uokoaji huo serikali pia imeandaa fedha kwa ajili ya kujenga vituo vitano vya kuhifadhia damu salama kwa ajili ya upasuaji wa akina mama wanaojifungua", amesema Waziri Ummy.

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa klabu hiyo ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge, Kazi,Ajira, Vijana na wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama ametaka usimamizi wa fedha katika vituo vya Afya katika halmashauri zitumike kwa matumizi yaliyopangwa na wala isiwe vinginevyo.

Kwa taarifa zaidi msikilize hapa chini Waziri Ummy Mwalimu pamoja na Waziri Jestina Mhagama wakiongelea suala la kuongeza vituo vya afya ili kuweza kuokoa vifo vinavyotokana na uzazi.
play stop mute previous next
play stop mute previous next

SOMA Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Ikiwemo 91 za Serikali

$
0
0

Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.

$
0
0
Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. Tuiachie "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.

Kwanza tuendelee kumuombea Lissu uponyaji wa haraka.
Nimenote katika baadhi ya mitandao ya kijamii, watukumeibuka makundi ya watu kujenga nadharia na wengine hadi kupiga ramli chonganishi kuwa aliyepanga mpango huo ni fulani, nara ni fulani alimradi kunyooshea watu vidole!, hili sio jambo jema hata kidogo!.

Kwa sisi wa imani ya Kikristu, dini yetu inatufundisha, "Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!". Tena kwenye ile kesi ya mwanamke kahaba aliyeshikwa ready handed, Bwana wetu Yesu Kristo akawaambia, "Na asiye na dhambi, awe wa kwanza kutupia jiwe!", hakuna aliyethubutu!.

Vivyo hivyo kwenye hili tukio la Lissu kupigwa risasi, maadam aliyepanga ni binadamu, na watekelezaji ni wanadamu, tangu dunia hii kuumbwa, haijawa kutokea, damu ya mwanadamu ikamwagika bure, kile anayefanya uovu katika dunia hii, lazima atalipwa kwa uovu na malipo ni hapa hapa duniani.

Japo alichofanyiwa Lisu ni uovu mkubwa, mbaya na ukatili wa ajabu, hakuna haja wala sababu ya kuanza kunyoosheana vidole, tuviache vyombo husika kufanya uchunguzi na kutupatia majibu ya kina, na endapo hivyo vyombo husika ndio wahusika na tukio hilo, bado kuna chombo kikubwa kuliko vyote kinachoitwa karma, ambacho ndicho pekee hutoa hukumu ya haki kwa kila kinachofanyika hapa duniani!.

Lissu Get Well Soon, Mungu yupo, kama alivyokusimamia uko hai mpaka sasa, yeye ndiye pekee kupitia karma, atawahukumu watesi wako!.

"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa ...

Paskali

Baada ya Wadau Kumfananisha Mtoto Mpya wa Faiza Ally Sugu, Mwenyewe Afunguka Haya

$
0
0
Baada ya Wadau Kumfananisha Mtoto Mpya wa Faiza Ally Sugu, Mwenyewe Afunguka Haya kupitia Ukurasa wake wa Instagram:


From @faizaally_  -  Huyu mtoto jamani Ana baba yake kha ...sema nimesha sema sugu akitaka mtoto nampa , na ninavyo mfyatulia kiroho safi lzm ntprinitia tu... sio kesi simnajuaga bado nampendaaga ...@lijunior_ mwanangu huyu sasa ni baba wa 4 umepewa we kweli you born to be a star kid 

Kutana na Mtabibu wa Magonjwa Sharifu Seif Mohamed Kutoka Mombasa Kenya Sasa Yupo Tanza

$
0
0
KUTANA NA SHARIFU SEIF MOHAMED KUTOKA MOMBASA KENYA sasa yupo TANZANIA, pia atayatembelea maeneo mbali mbali ndani ya nchi popote pale atakapo hitajika,

SHARIFU SEIF MOHAMED ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOPIGA SIMU ZA SHUKRANI NA KUTOA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO WASAIDIA,

(RUDISHA MAHUSIANO YAKO NDANI YA MASAA 72 TU)

SHARIFU MOHAMED Ni  mtaalam na mnajimu maarufu wa nyota na kubashiri mambo yanayo watesa binadamu duniani kote na kupata ufumbuzi, anatumia kitabu cha Qur'an, dawa za kiarabu, njiwa, juju za mombasa, na majini kwa kumtuliza mke, mme, mchumba au mpenzi ndani ya masaa 72 tu, Anazo dawa za napenzi, nguvu za kiume, chango, ngiri maji, miguu kuwaka moto na kuvimba na n.k, Je? Umezunguka bila mafanikio na unahitaji Pete ya bahati iliyo ambatanishwa na jini mali? Kusafisha nyota , mafanikio ya maisha bila mashart, mvuto wa  biashara, zindiko la nyumba na mashamba, umaarufu, kupata kazi  kulingana na elimu yako, kupandishwa cheo kazini, na mengine mengi ya siri, Je  umehangaika kupata mtoto bila mafanikio? Wasiliana na mtaalam huyu  kwani yeye ufaulu pale wote  walipo shindwa, pia humaliza kazi  zilizo shindikana kumalizwa na wataalamu wengine ndani ya masaa 24 tu, Pia anatibu kwa njia ya simu popote pale ndani au nje ya nchi, Kwa ushauri na mawasiliano  zaidi:

Mobile + imo  +255 654-836970
Mobile + WhatsApp +255 756-033670

NB: kama unahitaji msaada ni  bora kupiga simu kuliko kutuma sms ili upate  msaada kwa haraka.

Familia ya Lissu Yapinga Hoja ya Chadema

$
0
0
Familia ya Lissu Yapinga Hoja ya Chadema
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kikisisitiza uchunguzi wa kushambuliwa Mbunge Tundu Lissu ufanywe na vyombo vya kimataifa familia yake  imezungumza kuhusiana na tukio hilo  na kusema wao hawana mashaka na jeshi la polisi kufanya uchunguzi.

Kauli hiyo ya familia imetolewa Jijini Arusha na Wakili Alute Mughwai ambaye ni kaka wa Tundu Lissu ambapo amesema mpaka sasa familia haijatoa maamuzi ya moja kwa moja ni nani achunguze tukio hilo lakini mpaka sasa wanaimani na uchunguzi unaofanywa na jeshi la polisi.

Wakili Mughwai amesema pindi familia ikikaa kwa mara nyingine watazungumzia suala hilo na kuja na kauli nyingine ya pamoja ya familia kuhusiana na msimamo wao wa ni nani afanye uchunguzi wa tukio hilo kama kutakua na ulazima wa kufanya hivyo.

"Hatujakaa sisi kama wanafamilia kutoa msimamo wetu kuhusiana na uchunguzi wa tukio hilo, kwamba hatuna imani na jeshi la polisi na uchunguzi ufanywe na vyombo vya kimataifa lakini kama tukikutana tukawa na msimamo wetu tutatoa maoni yetu kama haja itakuwepo," amesema Mughwai.

Aidha ameongeza kwamba wao kama familia hawana tatizo lolote la kibiashara, wala hawatana tatizo na Tundu Lissu hivyo watu wasije wakaunganisha matukio na kuhusisha kushambuliwa kwake na matukio ya biashara na kuongeza kuwa ndugu yao siyo mfanyabiashara bali biashara yake ni siasa pamoja sheria.

Mbali na hayo amewataka jeshi la polisi kuanzia uchunguzi wao kwa kufuatilia mkutano aliokuwa akizungumzia suala la Bombadier kukwama nchini Canada na alipozungumzia suala la kufuatiliwa na watu asiowafahamu.

Hata hivyo Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema jana kilisema kinahitaji serikali iruhusu wachunguzi wa kimataifa kuingia nchini kufanya uchunguzi juu ya shambulio la kupigwa risasi kwa  Mbunge na Mwanasheria wao Tundu Lissu mnamo Septemba 7 mwaka huu mchana eneo la 'Area D' mjini Dodoma

ACT Wazalendo Kimelaani Kushambuliwa kwa Risasi Meja Jenerali Mstaafu

$
0
0
ACT Wazalendo Kimelaani  Kushambuliwa kwa Risasi Meja Jenerali Mstaafu
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kushambuliwa kwa risasi na kujeruhiwa kwa Meja Jenerali mstaafu wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Vicent Mritaba kulikofanywa na ‘’Watu Wasiojulikana’’.

Kabla ya kustaafu, Meja Jenerali Vicent Mritaba amewahi kuwa Mkuu wa Utumishi wa JWTZ. Akiwa kwenye nafasi hiyo, atakumbukwa kwa msisitizo wake kwa wanajeshi kujiepusha na vitendo viovu hasa kuwapiga raia na kujichukulia sheria mkononi ambavyo vinakwenda kinyume na wajibu wa JWTZ wa kulinda mipaka ya nchi, raia na mali zao na kushiriki kazi za kijamii.

Pia, Chama chetu kinalaani vikali uvamizi wa ofisi ya Mawakili ya Prime Attorneys uliofanyika usiku wa kuamkia leo Jumanne 12 Septemba, 2017 jijini Dar es salaam.

Kuwepo kwa taarifa kwamba, pamoja na mambo mengine, wahalifu hao waliiba kasiki lenye nyaraka mbalimbali za ofisi ni dalili ya wazi kwamba hawakuwa wahalifu wa kawaida.

Vitendo hivi vya kuvamia na kuharibu ofisi za mawakili ambavyo vimetamalaki hivi sasa, bila shaka vinatishia uhuru wa mawakili katika utekelezaji wajibu wao kama Maafisa wa Mahakama.

Chama cha ACT kinalaani matukio yote haya mawili na kuvitaka vyombo vya dola hasa Idara ya Usalama wa Taifa na Jeshi la Polisi kuyachunguza matukio haya kwa umakini na kuhakikisha watekelezaji wake wanafikishwa kwenye mkono wa sheria.

Matukio ya kuvamiwa watu na kupigwa risasi yamekuwa yakiripotiwa siku za hivi karibuni ambapo September 7, 2017 liliripotiwa tukio la kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kabla ya September 11, 2017 kuripotiwa kushambuliwa Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba wakati anaingia getini nyumbani kwake.

Matukio haya yamekuwa yakikemewa na watu mbalimbali na viongozi wa kisiasa, dini, Taasisi na Serikali na kufuatia tukio la September 11 la kupigwa risasa kwa Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba Chama cha ACT Wazalendo kupitia kwa Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi, Ado

Shaibu jana September 12, 2017 kilitoa tamko kulaani.
Ado Shaibu,
Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi
ACT Wazalendo.

Nyalaka za Kesi ya Manji Zimenusurika Katika Uvamizi wa Ofisi za Mawakili

$
0
0
Nyalaka za Kesi ya Manji Zimenusurika Katika Uvamizi wa Ofisi za Mawakili
WATU wasiojulikana waliovunja ofisi za mawakili wa Prime Attorneys ambayo pia inashughulikia kesi ya Yusuf Manji wameiba Sh3.7 milioni na nyaraka kadhaa zikiwamo hati za viwanja.

Hata hivyo, nyaraka za kesi ya mfanyabiashara huyo zimesalimika, huku msemaji wa ofisi hiyo wakili Asia Charli akisema licha ya jengo hilo kuwa na ofisi mbalimbali kama maduka, saluni na gym ni ofisi yao tu iliyopo ghorofa ya tatu ndiko kumeibwa nyaraka na fedha.

Ofisi za kampuni hiyo zipo jengo la Prime House lililopo Mtaa wa Tambaza, Upanga jijini Dar es Salaam jirani na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani Ilala.

Katika wizi huo, watu hao wasiojulikana waliiba kasiki lenye fedha na nyaraka. Hilo ni tukio la pili kwa ofisi za mawakili katika siku za karibuni kufanyiwa uhalifu, baada ya kampuni ya Immma Advocates kushambuliwa na kitu kilichodaiwa kuwa bomu na kuteketea kwa baadhi ya nyaraka.

Akizungumzia tukio la kuibwa kwa fedha na nyaraka katika ofisi yao, Charli alisema jana kuwa: “Nyaraka mbalimbali za wateja na zetu zimechukuliwa na ni za muhimu sana.” Alisema nyaraka kuhusu kesi za mfanyabiashara Manji anayewakilishwa na kampuni hiyo zilisalimika.

Wakili katika ofisi hiyo, Hudson Ndusyepo ambaye ni miongoni mwa mawakili wanaomtetea Manji katika kesi ya uhujumu uchumi, alisema kabla ya wizi huo waliohusika walimfunga kamba mlinzi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Salum Hamduni alisema tukio hilo lilitokea kati ya saa nane na tisa usiku wa kuamkia jana na uchunguzi unaendelea.

Katika tovuti yake, Prime Attorneys inaeleza kuwa ilianzishwa mwaka 2010.
Awali jana asubuhi mwandishi wa Mwananchi alishuhudia barabara ya kuingia zilipo ofisi za kampuni hiyo ikiwa imefungwa kwa muda na polisi ambao walitumia magari yao kuziba njia na kuweka uzio wa utepe wa rangi ya njano.

Mmiliki wa saluni ya Posh Unisex, Fatma Ebrahim alisema katika uvamizi huo, pia mlango wa saluni yake wenye thamani ya Sh2.5 milioni ulivunjwa lakini hakuna mali iliyoibwa.

Kwa sasa siwezi kusema wahalifu hawa walilenga ofisi gani maana zipo nyingi katika jengo lile. Naomba mtupe nafasi tufanye uchunguzi kisha tutawapa taarifa.

Usiruhusu Mumeo Afanyiwe Masaji na Mwanamke Mwenzio

$
0
0
Inabidi sasa wanawake tuanze kuwapa somo wenyewe manake inaonekana hamfundishani kabisa. Sababu kila kukicha Mambo ni yale yale.

Wanawake mmekuwa na tabia mume akikueleza anajisikia vibaya,mwili unamuuma haraka unamwambia nenda hospitali au unakwenda kumnunulia panadol apunguze maumivu, Mnakosea kabisa.

Kumbe daktari au nesi au mtabibu ni wewe mwenyewe, hebu nikupe siri moja wala usiniulize mchaichai nitaupata wapi, kwani uko mwingi sokoni na kwenye maduka ya dawa za asili. Chukua nazi zako, zikune halafu chuja taratibu mpaka upate tui zito, pika mafuta ya nazi, ule muda ambao tui lako liko jikoni chukua majani ya mchaichai changanya kwenye tui hilo wakati linachemka changanya na mdalasini pamoja na hiriki, acha tui lichemke mpaka ligande. Likishaganda unatoa mafuta mazuri yanayonukia kisha chuja na uweke kwenye chupa safi.

Muinue mumeo kamuogeshe, ikiwezekana hata kumbeba mbebe, mwanaume si mzito hata akiwa na uzito wa tani tano huwezi kushindwa kumbeba,mbona mkiwa kwenye mahaba uzito huuoni? Mume anafanyiwa kila linalowezekana ilimradi liwe halali kwa Mwenyezi Mungu. Mwanaume ni bahati, hawapatikani kilahisi. Hakikisha mume unamshikilia asikuponyoke. Siku hizi wanaume tumekua adimu hadi tunagombaniwa, walio na moyo mwepesi wanajichoma visu wengine wanakunywa sumu, unabaki unajiuliza kwani anayo ya dhahabu? Mwanaume ni zawadi kutoka kwa Mungu. Na siri ya tungi aijuaye kata.

Sasa mbebe mumeo kisha kamuogeshe na baada ya hapo mkaushe kwa taulo laini siyo kwa kanga na usimsugue, taulo lina manyoya yake ambayo ni malaini na ni maalum kwa ajili ya kufutia maji, kanga inasugua ngozi si salama sana pia kwa sababu inatoa rangi.

Baada ya kukausha maji chukua mafuta yako umpake mwili mzima kisha fanya masaji taratibu, baadhi ya wanawake wanawapeleka waume zao kwenye vituo vya masaji wakafanyiwe masaji ya mwili, hivi kwa nini mumeo akashikweshikwe na mwanamke mwenzako wakati ufundi wewe unao?
Kama huna ndiyo huu nakupa.

Mpapase taratibu mumeo huku unamfanyia masaji, fika mpaka kwenye milima ya gorani, teremka taratibu kwenye bonde la Sinai, hapo sasa utakapofika kwenye bonde hilo sidhani kama maumivu yatakuwepo, lazima atataka chakula cha usiku hata kama itakuwa mchana atataka cha usiku tu Mlishe usimnyime chakula. Mimi nawasaidia Mahusiano yasiwashinde. Unashangaa mwenzio anadumu kwenye mahusiano unaanza kusema kaenda kwa mganga kumbe hujui anayo mfanyia Mpenzie. Chukua hatua.

Watakucheka watu ukiachwa, Mara Nyingi Huko Kwenye Vituo vya masaje Mwanaume akiwa anafanyiwa hiyo masaje na Mwanamke ikilolea atataka na papucha ..Shauri Zenu

Nimechanganyikiwa Nimegundua Mke wangu na Dada wa Kazi Wanasagana

$
0
0
Nilichosikia hata sina hamu ila nikelele za ku do kabisa wakihamasishana wakijua wapo wenyewe ndani ya nyumba…kiufupi kilinishuka nikashindwa nifanye nini …

Baada ya muda nilitoka nikaenda zangu kazini bila kufanya chochote huku nafikiria ni kitu gani nakosea mpaka mke wangu haridhiki na dozi yangu?? Isitoshe asubuhi hiyo hiyo nimetoka kumpa kimoja cha haja ….Embu nishaurini nifanye nini Jamani ??

Penzi la Mama Steve Lazidi Kumtesa Barnabar Nakujikuta Kum-miss Sana

$
0
0
Penzi la Mama Steve Lazidi Kumtesa  Barnabar Nakujikuta Kum-miss Sana
Mwalimu na mwanamuziki wa bongo Fleva, Barnaba Elias 'Barnaba Classic' amefunguka na kudai anam-miss sana mama Steve 'Zuu Namela' japokuwa kwa sasa hayupo tayari kumrudia mzazi mwenzake huyo.

Barnaba ameeleza hayo baada ya kupita muda mrefu tokea aachane na mzazi mwenzake huyo na kupelekea kuwa single mpaka kipindi hiki.

"Sitaweza kurudiana na mama watoto wangu japo nam-miss sana", amesema Barnaba.
Aidha, Barnaba amesema kwa upande wake mapenzi hayajawahi kumuendesha hata kidogo kama baadhi ya watu wengine wanavyokuwa baada ya kuachana na wapenzi wao kwa kushindwa hata kuendelea kufanya kazi zao.

"Niwe mkweli tu, mimi sijawahi kuendeshwa na mapenzi au mahusiano. Mapenzi hayana nafasi kubwa katika maisha yangu japokuwa yana nguvu kwa mtu yeyote yule, mapenzi hayajawahi kuchukua asilimia kubwa ya maisha yangu, kuniathiri wala kunitikisa", amesema Barnaba.

Pamoja na hayo, Barnaba ameendelea kwa kusema "Kila unachokiona kinatokea katika maisha yako kiwe kizuri au kibaya ni mapito tu, kwa sababu kilichotuleta duniani ni kingine na tunachokifanya ni kingine kwa hiyo muda mwingine kutendwa na vitu vingine ni kutenda dhambi zaidi 'so sometimes' unatakiwa upokee kwa furaha chochote utakachokumbana nacho katika maisha yako, kwa sababu hujui mpango wa Mungu ukoje. Ninachoamini mimi ni kwamba nilikuwa napita kwenye daraja ili niweze kuendela na safari aliyopanga Mungu 'so' sijui 'next' nilichopangiwa na Mwenyezi Mungu", amesisitiza Barnaba.

Kwa upande mwingine, Barnaba japo wameachana na Zuu lakini bado wanamawasiliano mazuri baina yao na kudai hivi karibuni aliongea naye kuulizia maendeleo ya Steve ya kimasomo na kumtumia pesa kwa ajili ya matumizi ya shule.

Ndugai Ameanzisha Sakata Lake ili Kuzima Sakata la Tundu Lissu Kushambuliwa kwa Risasi- Zitto

$
0
0
Ndugai Ameanzisha Sakata Lake ili Kuzima Sakata la Tundu Lissu Kushambuliwa kwa Risasi- Zitto
Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama Cha ACT Wazalendo Mh. Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa Spika wa Bunge Job Ndugai ameibuka sakata lake yeye ili kutaka kufunika nguvu ya wananchi kuhoji juu ya kupigwa risasi Mbunge Tundu Lissu.

Zitto Kabwe amesema hayo leo mara tu baada ya Spika wa Bunge Job Ndugai leo bungeni kusema anauwezo wa kumzuia Mbunge huyo asizungumze bungeni hadi mwisho wa bunge hilo kwani Zitto hawezi kupambana naye.
"Nimegundua Spika Ndugai ameibua mashtaka yangu ili kufunika ufuatiliaji wa wananchi kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi. Nimeamua sitawapa hilo" aliandika Zitto Kabwe kupitia mtandao wake wa Twitter
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai jana aliagiza Mbunge Zitto Kabwe pamoja na Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea kufika kwenye Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ili kuhojiwa kutokana na kauli walizotoa hivi karibuni, jambo ambalo Zitto Kabwe anadai limeibuliwa kwa lengo la kupunguza nguvu ya wananchi kutohoji sakata la Tundu Lissu kupigwa risasi.


Bomoa Bomoa Kuamia Kilimanjaro Nyumba Zaidi ya 100 Kubomolewa

$
0
0
Bomoa Bomoa Kuamia Kilimanjaro Nyumba Zaidi ya 100 Kubomolewa
Siku chache baada ya bomoabomoa inayoendeshwa na Kampuni Hodhi ya Mali za Reli (Rahco) kutikisa mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma na Tanga, sasa ni zamu ya Kilimanjaro ambako zaidi ya nyumba 100 zimewekwa alama ya X ikiwa ni hatua ya awali ya kubomolewa.

Nyumba hizo ambazo zimewekwa alama ya X na Rahco ikiwa ni operesheni ya nchi nzima kubomoa nyumba za waliovamia maeneo ya reli, zipo Mtaa wa Arabika, Kata ya Miembeni.

Akizungumzia hatua hizo juzi, Ofisa Uhusiano wa Rahco, Catherine Moshi alisema watu wote waliovamia na kujenga maeneo ya reli lazima waondoke ili kupisha ujenzi wa reli.

Moshi alisema kampuni hiyo ilitoa taarifa kwa umma kupitia vyombo mbalimbali vya habari Aprili 24 mwaka jana, kwamba watu waliovamia na kujenga maeneo hayo waondoke mara moja.

Alisema lazima wayachukue maeneo yao yaliyovamiwa na watu na kwamba, watahakikisha yamerudi mikononi mwa mamlaka husika kwa ajili ya kuendeleza reli.

“Watu walifikiri kwamba reli ilikufa ndiyo maana wakavamia na kujenga, lazima watupishe katika maeneo yetu ili tuyaendeleze na hii ni operesheni ya nchi nzima,” alisema Moshi.

Akizungumzia operesheni hiyo, Diwani wa Miembeni, Mbonea Mshana alikiri kuwapo nyumba zilizotangazwa na Rahco nchi nzima na kwamba, wote waliowekewa alama ya X wamepewa siku 30 kuondoka.

Hata hivyo, Mshana alisema amezungumza na ofisa mipango miji wa Manispaa ya Moshi kuona namna ya kushughulikia suala hilo.

Naye Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi, Michael Mwandezi alisema hawajatoa hatimiliki na kuweka mawe ya mipaka maeneo hayo na kwamba, waathirika wameingizwa matatani na wahuni.

“Its very sad news (ni habari mbaya), reli hiyo ilikuwapo hata kabla ya uhuru. Watu hao waliingizwa mkenge (matatani) na wahuni, lazima atajulikana aliyefanya uhuni huo hata kama ilikuwa ni muda mrefu labda kama amekufa, lakini atajulikana tu,” alisema Mwandezi.

Machi 23, 2016 Rahco ilitoa notisi ya siku 30 kwa waliojenga kwenye maeneo ya reli kuondoka kupisha ujenzi wa reli ya Standard Gauge. Hata hivyo, Machi 11 ikiwa ni takriban mwaka mmoja kupita bila wahusika kubomoa kwa hiari, Rahco walianza kazi hiyo jijini Dar es Salaam na kuendelea mikoa ya Kigoma, Mwanza, Tabora na Tanga.




Bado Nasubiri Majibu ya Kuondolewa Kodi za Pedi- Waziri Ummy

$
0
0
Bado Nasubiri Majibu ya Kuondolewa Kodi za Pedi- Waziri Ummy
Pamoja na kukiri kuwa watoto wa kike hupata tabu ya kujihifadhi mpaka kutumia majani wakati wa hedhi kutokana na kushindwa kugharamia taulo za kike (Pedi),  Waziri wa Afya,  Ummy Mwalimu amedai bado anasubiri majibu ya kuondolewa kodi za bidhaa hizo.

Akijibu swali la Mbunge wa viti maalum Mh. Stella Ikupa aliyehoji kuhusu serikali lini itafanya maamuzi ya haraka kuhusiana na kodi zinazopelekea taulo za kike kuuzwa kwa bei ghali huku wanaoathirika wakiwa ni watoto wa kike wengi wasiokuwa na uwezo wa kugharamia hivyo kulazimika kutumia njia hatarishi kujihifadhi.

"Nikiwa kama Waziri wa Afya lakini pia ni mama mwenye watoto wa kike  nikiri kwamba changamoto katika jambo hili ni kubwa sana. Nakiri wapo wanafunzi wanaokosa masomo hata kwa siku tano kwa mwezi ili kujihifadhi kutokana na kutokuwa na taulo salama, lakini wapo wanaotumia mpaka majani.  Ombi la kuondoa kodi nimeshalipeleka kwa waziri wa fedha na hata sasa nilikuwa namtafuta humu ndani ili kumsihii aharakishe mchakato huu", amesema Waziri Ummy.

Kwa upande wa Naibu Waziri wa Afya Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa maamuzi kuhusu kuondolewa kodi kwa taulo hizo yalishawasilishwa bungeni mara kadhaa lakini pia maamuzi kamili yamekuwa yakichelewa kutoka kutokana kuwa bidhaa hizo hazijawahi kuorodheshwa kama vifaa tiba.

Hata hivyo. Mh. Kigwangalla ameongeza kwamba mpaka sasa bidhaa hizo zimeshaondolewa ushuru kutokana na kuwa zina umuhimu mkubwa lakini pia majadiliano bado yanaendelea ili kodi yake iweze kuondolewa kabisa.

Mbali na hayo Spika wa Bunge, Job Ndugai amewataka wabunge wanawake kusimamia kuondolewa kodi katika taulo hizo za usafi za kike ‘pedi’ kutokana na kutozwa kodi kwani zimekuwa zikiuzwa kwa gharama kubwa hali inayowafanya wanawake wengi kushindiwa kumudu kuzinunua.

Amesema kodi hiyo imekuwa kero, hivyo amemtaka mwenyekiti wa wabunge wanawake, Magreth Sitta kubeba jukumu hilo.

Spika ametoa kauli hiyo kutokana na majibu ya Serikali kutoeleza moja kwa moja ni lini itaondoa kodi kwa taulo hizo.

Katika kumbukumbu mwezi Machi mwaka huu kuelekea siku ya Wanawake duniani Kampuni ya East Africa LTD pamoja na Hawa Foundation zilitumia siku hiyo kuendesha kampeni ya uchangiaji wa taulo za kike ambapo baadhi ya shule zenye uhitaji nchini Tanzania zilifikiwa kupata msaada huo

Rais Magufuli Aivunja Mamlaka ya Uendelezaji Mji wa Kigamboni

$
0
0
Rais Magufuli Aivunja Mamlaka ya Uendelezaji Mji wa Kigamboni
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amevunja Mamlaka ya uendelezaji wa Mji wa Kigamboni (KDA) kuanzia leo Septemba 13, 2017

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Hashim Mgandilwa amethibitisha hilo na kusema kuwa Rais Magufuli ni msikivu kwani amesikia kilio cha watu wa Kigamboni na kuamua kuivunja mamlaka hiyo ya Uendelezaji wa Mji wa Kigamboni (KDA).

"Usikivu ni sehemu ya utatuzi hatimaye Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli aridhia uvunjwaji wa Mamlaka ya uendelezaji wa mji wa Kigamboni (KDA). Akizungumza Waziri wa Ardhi Mhe. Lukuvi leo katika ukumbi wa chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere amesema "Mhe. Rais ameniagiza niwaalifu kuwa leo amevunja rasmi KDA, Ahsante Mhe. Rais kwa kutusikiliza" alisema Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mgandilwa
Mwezi Jun, mwaka huu Mbunge wa Kigamboni, Dk Faustine Ndugulile aliiomba serikali kukabidhi majukumu yote, yaliyokuwa yakifanywa na KDA kwa Halmashauri ya Manispaa hiyo ili kuyatekeleza na kuendeleza mji mpya wa Kigamboni.


Ninauwezo wa Kumzuia Zitto Kuzungumza Mpaka Mwisho wa Bunge Kwani Hawezi Kupambana na Mimi- Job Ndugai

$
0
0
Ninauwezo wa Kumzuia Zitto Kuzungumza Mpaka Mwisho wa Bunge Kwani Hawezi Kupambana na Mimi- Job Ndugai
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai, amesema ana uwezo wa kumzuia Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe kuzungumza mpaka mwisho wa bunge, kwani hawezi kupambana naye.

Spika Ndugai ametoa kauli hiyo Bungeni ambapo amesema Zitto Kabwe hawezi na hapaswi kujibizana naye, na kumtaka Zitto Kabwe kutomfananisha na aliyekuwa Spika wa Bunge marehemu Samuel Sitta, kwani hawezi kufanana naye na kila mtu ana muda wake, kama ambavyo Spika wa bunge aliyepita mama Anna Makinda alivyokuwa na muda wake kuliongoza bunge hilo.

Hapo jana Spika Ndugai alimtaka Zitto Kabwe kufika kwenye kamati ya maadili kutoa maelezo juu ya taarifa alizoziweka kwenye mtandao, na Zitto Kabwe kumjibu kuwa mambo anayoyafanya Spika yanaporomosha bunge

Shinda Gari la Bure...Shindano hili ni la Bure Usipuuzie tu

$
0
0
Jee!! Katika Maisha yako umewahi kuwa na ndoto ya kumiliki Gari lako?  Kama jibu ni Ndio Basi Kampuni ya Kijapan inakupa Fasi ya kushinda Gari Buree yani Buree bila kulipa chochote..

Chakufanya ni kubofiya neno SHINDA GARI hapo chini na kisha Bonyeza Neno APPLY NOW kwa kujisajili...

Kumbuka huduma hii ni ya Bure kabisaaaaa...


>> SHINDA GARI <<


Wolper Akinukisha Atoa Povu Zito Kwa X Wake Amuita Muimba Taarabu

$
0
0
Wolper Akinukisha  Atoa Povu Zito Kwa X Wake Amuita Muimba Taarabu
POVU alilolitoa Diva anayetikisa kiwanda cha Bongo Muvi, Jacqueline Wolper kwa X- wake, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ni povu ‘hevi’, kiasi kwamba hata kama ni nguo chafu kiasi gani lazima zitatakata kwani amemuita ni muimba Taarab.

Kwa mujibu wa mashabiki, hasira za mkizi zilimkamata Wolper baada ya X- wake huyo kuwa anamfuatilia mara kwa mara kwenye 18 zake, kiasi cha kumsababishia mpenzi wake wa sasa anayejulikana kwa jina la Brown, kupaniki na kuhisi labda huenda, wawili hao bado wana uhusiano wa siri.


Posti Ya Wolper Kwenye Ukurasa Wake Wa Instagram
Baada ya posti hiyo ya Wolper, mashabiki wakashusha komenti kibao. Wengine walimpongeza kwa kutoa kichambo hicho, wapo waliomkosoa na kumwambia kwa nini hizo siri hakuzisema kipindi walipokuwa pamoja, na wengine waliishia kusema kwamba mapenzi ya mastaa wa Kibongo ni ‘kizunguzungu’.

Viewing all 104775 articles
Browse latest View live




Latest Images