Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104698 articles
Browse latest View live

Lazaro Nyalandu wa CCM Azidi Kumpigania Tundu Lissu..

$
0
0

Ameandika haya Kupitia Facebook:


Tumekuwa NairobiHospital tukisubiri MADAKTARI watoe RIPOTI ya mwenendo wa MATIBABU ya Mh TunduLissu kwa minajili ya kuwapatia MADAKTARI BINGWA wa Marekani na kuona uwezekano wa Mh Tundu Lissu kupatiwa RUFAA kwa matibabu zaidi NJE.,

LAKINI bado KALAMU zao ni nzito kuandika RIPOTI hii siku ya tatu tangu tuahidiwe.

Binafsi, nimerudi NAIROBI tangu JANA kushiriki maandalizi ya uwezekano wa kumhamishia Mh TunduLissu Marekani kwa ajili ya huduma yenye ubora zaidi, endapo MADAKTARI wa NairobiHospital wangeridhia.

Kesho asubuhi nitarejea hospitalini kusikiliza kauli ya mwisho ya MADAKTARI kuhusu RIPOTI hiyo.


Shinda Gari la Bure...Shindano hili ni la Bure Usipuuzie tu

$
0
0
Jee!! Katika Maisha yako umewahi kuwa na ndoto ya kumiliki Gari lako?  Kama jibu ni Ndio Basi Kampuni ya Kijapan inakupa Fasi ya kushinda Gari Buree yani Buree bila kulipa chochote..

Chakufanya ni kubofiya neno SHINDA GARI hapo chini na kisha Bonyeza Neno APPLY NOW kwa kujisajili...

Kumbuka huduma hii ni ya Bure kabisaaaaa...

>> SHINDA GARI <<


Jeshi la Polisi Latoa Onyo kwa Wavunjifu wa Usalama Barabarani

$
0
0
Jeshi la Polisi Latoa Onyo kwa Wavunjifu wa Usalama Barabarani
Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani nchini Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Fortunatus Musilimu, ameahidi kuwachukulia hatua kali wavunjifu wote wa sheria za usalama barabarani pasipo kujali nyadhifa, madaraka na umaarufu wa mtu husika katika jamii.

ACP Musilimu ametoa onyo hilo jijini Dar es Salaam leo wakati akitoa zawadi kwa wanafunzi wa shule za msingi walioshiriki shindano la uelewa wa sheria za barabarani kupitia michoro mbali mbali, shindano lililoandaliwa na Kampuni ya mafuta ya Puma Energy ambamo serikali inaumilikia wa asilimia hamsini.
Mkurugenzi Mkuu wa Puma Energy Bw. Philippe Corsaletti amesema shindano hilo pamoja na programu nyingine za usalama barabarani zinazofadhiliwa na kampuni hiyo zinalenga kujenga kizazi kitakachokuwa na uelewa wa juu kuhusu usalama barabarani ili kulinda nguvu kazi ya taifa inayohitajika katika uzalishaji.

Rais Magufuli Amewasili Arusha na Kuanza Ziara Yake Leo

$
0
0
Rais Magufuli Amewasili Arusha na Kuanza Ziara Yake Leo
Rais  John Magufuli leo Jumatano  anatarajiwa kutua Arusha kwa ziara maalumu ambapo mapema asubuhi atafungua barabara ya Kami  kutoka  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia) hadi Mererani wilayani Simanjiro.

Katika taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema Rais Magufuli anatarajiwa kupokewa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro saa mbili asubuhi.

Gambo amesema  baada ya kupokelewa atakwenda Mererani Mkoa wa Manyara kuzindua barabara ya Kia-Mererani yenye urefu  wa kilomita 26.

Amesema baada ya uzinduzi huo atazungumza na wananchi na baadaye kurejea Arusha. Gambo amesema Rais Magufuli anatarajiwa kutoa kamisheni kwa maafisa waliohitimu mafunzo ya jeshi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Jumamosi.

"Napenda kutumia fursa kuwaomba wakazi wa Arusha kujitokeza Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Septemba 23 kuanzia saa 12:30 asubuhi,"amesema.




     


Diamond “Nilimpa Hamisa Mobetto Laki 5 Kila Wiki Kwa Ajili ya Mtoto”

$
0
0
Mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz leo amehojiwa na LEO TENA ya CLOUDS FM Dar es salaam na kueleza kwa mara ya kwanza kuhusu ishu ya Mtoto wa Hamisa na amekiri kuwa mtoto wa Hamisa ni wake na alikuwa akimpatia laki tano kila wiki.

VIDEO:

Hamonize Kuwaingiza Kwenye Beef Kubwa Wolper na Kajala

$
0
0
Hamonize Kuwaingiza Kwenye Beef Kubwa  Wolper na Kajala
Kinachoendelea hivi sasa kati ya mastaa wawili wakubwa wa filamu, Kajala Masanja na Jacqueline Wolper tunaweza kusema kimewaka mbaya baada ya mazungumzo kwa njia ya video kati ya muigizaji huyo na aliyekuwa bwana wa mwenzake kuwekwa mtandaoni na kuibua makubwa.
Kajala alikuwa akizungumza kwa njia hiyo ya kisasa na msanii Rajab Abdulhan ‘Harmonize’,
akionekana akila tunda aina ya ‘apple’ kitandani kwake, huku msanii huyo naye akiwa kitandani kwake, kabla ya kijana huyo mwenyeji wa Mtwara, kuirusha picha hiyo mitandaoni na kusababisha ubuyu kusambaa. Kitendo hicho kilionekana kumkera Wolper ambaye ndiyo kwanza ametoka kuachana na Harmonize, hivyo kushindwa kujizuia na kuandika chini ya picha hiyo maneno yafuatayo;

“Yaani nimekaa hapa mwenyewe nimewaza mapenzi ya siku hizi yana drama mno, mara leo huyo, mara kesho yule.” Akijua wazi muigizaji mwenzake ameumizwa na kitendo hicho, staa mwingine, Wema Sepetu aliingilia kati ishu hiyo na yeye kuandika kitu chini ya picha hiyo; “Be carefully my baby, huyo nyakunyaku asije akapita maana kaambiwa mlango uko wazi.

” Maneno hayo yalionekana kumuuma Kajala, ambaye mara moja alikimbilia Kituo cha Polisi Mabatini, kwenda kumshtaki Harmonize kwa kitendo chake cha kuiweka picha hiyo mitandaoni na kuleta tafsiri kuwa huenda wawili hao ni wapenzi, kitu ambacho siyo cha kweli na yeye amepewa RB No KJN/ PE/73/2017 Jalada la uchunguzi.
“Harmonize nimemshitaki ili ajue mimi siyo mtu wa kuchezewa kila wakati, maana ile video tulikuwa tukizungumza kawaida, kwa nini aisambaze, ili iweje kama siyo kuchafuana huko,” alisema Kajala. Staa huyo aliongeza kuwa anawashangaa wasanii wenzake Wolper na Wema kuingilia vitu kama hivyo kwa sababu labda wanaona kama yeye ni wa kula mizoga yao.
“Mimi nashangaa sana, hivi wamenionaje, wanafikiri mimi ni wa kula mizoga yao nini wanayoiacha, wamenishangaza sana,” alisema Kajala Katika Kituo cha Polisi Mabatini, Risasi Mchanganyiko lilimshuhudia Harmonize akiwasili kusikiliza shauri hilo ambapo kwa mujibu wa habari za uhakika kituoni hapo, mwimbaji huyo alijitetea kuwa aliyeweka picha hizo mtandaoni alikuwa ni mwanamke wake wa Kizungu, ambaye alimtumia mtu mwingine akitaka kumjua kwa jina muigizaji huyo. Wema na Wolper hawakuweza kupatikana kuzungumzia ishu hiyo.

Noti za Mamilioni ya Pesa za’Flashiwa’ Chooni Uswisi….Kisa?

$
0
0
Waendesha mashtaka Uswisi wanachunguza tukio la noti nyingi za mamilioni ya pesa kukutwa zimechanwa na kudumbukizwa kwenye vyoo vya benki ya UBS na migahawa 3 inayoizunguka benki hiyo.

Noti hizo ambazo zilikua ni mpya kabisa na bado zilikua hazijaidhinishwa kuanza kutumika nchini humo zilikua ni za Euro 500 ambapo noti hiyo moja ya Euro 500 ni sawa na pesa za Kitanzania milioni moja na laki tatu (Tshs 1,300,000/=).

Imeelezwa kuwa nchini humo kuharibu pesa kwa makusudi sio kosa kisheria lakini waendesha mashtaka hao na jeshi la polisi wanataka kufahamu sababu haswa ya kutupwa kwa pesa hizo chooni.

Mr Blue Afunguka Jinsi Ndoa Yake Ilivyombadilisha Kuwa Kijana Mwema

$
0
0
Mr Blue Afunguka Ndoa Ilivyombadirisha
Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva Mr Blue amefunguka na kusema toka ameoa mke na kuwa na familia imemsaidia sana kubadili maisha yake na kumfanya aachane na mambo ya kijinga ambayo alikuwa akiyafanya kabla ya kuoa.

Mr Blue alifunguka hayo kupitia kipindi cha Planet bongo cha EATV wakati akiongea na mtangazaji wa kipindi hicho Dullah na kusema kuwa ndoa imemfanya kuwa kijana mwema mwenye kutambua majukumu ya ndoa na kulea familia yake na kuachana na mambo mengine ya hovyo hovyo ambayo alikuwa akiyafanya kabla ya kuoa.

Msanii huyo aliendelea kueleza kuwa wakati yupo kwenye uchumba na mkewe huyo bado alikuwa na mabinti wengine kadhaa ambao alikuwa anatoka nao kimapenzi lakini ilifika hatua aliamua kuoa na kutulia na mkewe wa ndoa.

Nimetembea Kimapenzi na Binti Zangu Wawili kwa Mpigo Usiku Mmoja Kwenye Kitanda Kimoja

$
0
0
Ndugu Wadau,Nianze hivi,ninafanya kazi mbali na mke wangu, sasa niko kwa wife wiki ya pili kwa vile niko likizo. Wife anaishi na mabinti 2 moja akiwa dada wa nyumbani house girl, na mwingine ni binti aliyemaliza chuo hivi karibuni.

Jumapili wife amesafiri kikazi kwa siku 5 na nimebaki na hawa mabinti tu, kwani watoto wetu wapo shule boarding.
Sasa jana ikatokea hivi: Nilirudi home yapata saa 5.30 usiku nikitoka kupata, nilikuwa tungi.

Huyu bint wa chuo ndo alikuja nifungulia mlango, kama utani nilimshika mkono na kuuchezea, nikaona kimya. Nilishika bega nikamvuta kwangu ajabu aka respond naye akanikumbatia.

Nikaweka mkono wangu tumboni pake, chini ya kitovu kimya, chini zaidi kimya. Kwakweli maswali mengi yalipita kichwani kwangu kwa vile sikuwahi kuzoeana wala kuonesha kuwazoea hawa binti.

Tamaa ikanipanda but nikiwa na woga, niliweza kuacha nilichokuwa nakifanya nikafunga milango kama kawa na kwenda kulala.

Sijui kitu gani kilinipitia but niliamka na kwenda room wanakolala, huwa wanalala wote kitanda kimoja. Nikakuta mlango umerudishwa tu, haukufungwa, nikatinga ndani.

Walikuwa wameshalala na kujifunika blanket moja huku kuna baridi kali sana. Nilijichomeka kando ya huyu wa chuo taratibu na kwa polepole sana nilianza kumpapasa.

Kama alijua, kwani alirespond positively kwa kila nilichofanya. Hatimaye tukaanza gemu. Ni mtundu sana bro.
Kwa hekaheka zile nilijua tu house girl aliye kando atakuwa amezinduka.

Niliact kama naweka mkono tumboni, kisha chini hadi ikulu, akatoa nafasi, nilijaribu kuondoa kufuli, akajiadjust kusaidia. Nikaona goli lingine hilooo! Wadau nilihamisha majeshi huko nikaendelea, ajabu wote 2 walikuwa free. Nilihama huku na kule sijui mara ngapi hadi alfajiri.

Sasa kumekucha, kwa ratiba ilibidi nisafiri, nimeshaondoka kwenda kijijini, kama km 90. Nitalala huko na kurudi kesho. Sasa najiuliza.

1.Nitawakabili vipi hawa binti nikirudi, chukulia kuwa sikuwahi kucheka wala kutaniana nao

2. Nitajuaje baina yao watareact vp kwa ishu hii Je watatoa siri.

3. Kama vipi nitawa-organise vipi ili watunze siri.

4. Wife akijua itakuwaje.

Naombeni wadau mnipe mawazo, nifanye nini What should be the way forward.

Mojawao kanitumia massege sasa hivi “Beby umefika salama Mungu akuongoze” house girl huyo.

By Njo Vile

Nisha Ampiga Marufuku Mpenzi Wake Kufika Nyumbani Kwake

$
0
0
Nisha Ampiga Marufuku Mpenzi Wake Kufika Nyumbani Kwake
STAA wa fi lamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa, hana kawaida ya kuruhusu mpenzi wake kufi ka nyumbani kwake kwa vile anahofi a kumfundisha maadili mabaya mtoto wake ambaye hivi sasa ameshakua mkubwa.

Akizumza na Za Motomoto News, Nisha alisema kuwa, kubadilika kwa dunia ya sasa, kumesababisha watu kutoaminika hivyo tahadhari ya hali ya juu inapaswa kuchukuliwa kuhusu wapenzi wake kufi ka kwake hasa mwanaye Iptysam anapokuwepo.

“Kama ni boyfriend huwa tunakutana sehemu nyingine, lakini siyo nyumbani kwangu mwanangu akiwepo, maana sitaki akue katika maadili mabaya,” alisema Nisha

SOMA Nafasi za Kazi zilizotangazwa Leo

Pendeza na Kessy Products: Badili Muonekano Wako na Kuweka Mwili Wako Sawa Bila Madhara yoyote

$
0
0
PENDEZA NA KESSY PRODUCT: BADILI MUONEKANO WAKO NA KUWEKA MWILI WAKO SAW KWA PRODUCT ZA ASILI ZISIZO NA MADHARA YEYOTE WALA KEMIKALI, MATOKEO NI KWAARAKA


1) KUTOA MVI SUGU PIA ZA KUZALIWA NAZO _80,000/
2) KUREFUSH NYWELE  KUZIJAZA NA KUZUIAKUKATIKA 90,000/
3) TENGENEZA SHEPU YAKO KUWA NA UMBO ZURI (HIPS & BATKS)KUNADAWA AINA TATU (@)KUPAK (B) KUNYWA (C)VIDONGE_130,000/
  4)ONDOA NYAMA UZEMBE MIKONONI, KIUNONI KUPAK _90,000/
5)TOA  KITAMBI KABISA(@) KUPAK 10O,000/ (B)VIDONGE/SLIMING MAJAN 130,000/
6) PUNGUZA MWILI MZIMA KUANZIA KILO UNAZOITAJI WEWE
@) DAW YA MAJIN NA VIDONGE_130,000/
7)PUNGUZA MAZIWA NA YASIMAME KAMA MWANZO _80,000/
8) PIA UNA KUONGEZA MAZIWA SAIZI UNAYOHITAJI WEWE_80,000/
9)ONGEZA UNENE WA MWILI MZIMA_100,000/
10) ONDOA MICHIRIZI ILIYO SHINDIKANA_90,000/
11) TOA MAKOVU, CHUNUSI, WEUSI KWENY MAPAJA KIKWAPAN_90,000/
13) KUWA MWEUPE WAKUPENDEZA(@) VIDOGO(WHITE SOLUTION)_130,000/(B)MAFUTA YAKUPAK 100,000/
14)TOA NDEVU VINYWELEO MILINI _90,000/
15/ ONGEZA NGUVU ZA KIUME (@)JELI_80,000/(B)VIDONGE MAX MAN_ 100,000/
16) ENGEZA MAUMBIL YA KIUME
@) (HANDSOME UP) MASHINE _200,000/
@) JELI NA VIDONG VYA SHARK_120,000/
17) RUDISHA HAMU YA TENDO NA KUCHELEWA KUFIKA KILELE_90,000/
18) RUDISH(BIKRA) 100,000/
19)ONDOA MAFUTA USONI _90,000/
20) ONDOA MIKUNJO USON_70,000/
(21) ENGEZA  MGUU_80,000/

 TUNAPATIKAN DAR W SALAAM: NAKWA MIKOAN KOTE UTAPATA PIGA CM                     (+255) 0719955528
0756259180
0785371237
@dr_kessy_product
Delivery  POPOTE ULIPO

Mbunge Msukuma Aachiwa Kwa Dhamana Ya Milioni Tano

$
0
0

Msukuma Aachiwa Kwa Dhamana Ya Milioni Tano
UMATI mkubwa wa watu ulitanda katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita, kushuhudia kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita, Joseph Kasheku ‘Musukuma’, madiwani saba na mwananchi mmoja waliofikishwa mahakamani hapo jana.Musukuma na wenzake wanane wanakabiliwa na mashitaka manne ya jinai, likiwamo la kula njama.

Akiwasilisha mashitaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Ushindi Swalo, mwendesha mashitaka wa serikali, Hezron Mwasinga, akisaidiana na Emil Kiria, alisema washitakiwa, kwa pamoja, Septemba 13, mwaka huu, majira ya saa nne asubuhi katika ukumbi wa Shirika la Maendeleo Geita (Gedeco) unaomilikiwa na Halmashauri ya Mji wa Geita, walipanga njama ya kuweka mkusanyiko usiokuwa na kibali, kuharibu mali na kuweka vizuizi katika barabara ya kuingia Mgodi wa Dhahabu Geita (GGM).

Mbali na Musukuma ambaye pia ni Mbunge wa Geita, washitakiwa wengine ni Steven Werema (mkulima), Costantine Molandi, Winifrida Malunde, Ngundugu Joseph, Martine Kwilasa, Khadija Said, Maiko Kapaya na Maimuna Mengisi (wote madiwani).

Shitaka la pili, Mwasinga alidai linawahusisha watuhumiwa wanane kati ya tisa na alidai kwamba Septemba 14, majira ya saa 12 asubuhi katika kijiji cha Mtakuja, walifanya mkusanyiko usio halali.

Mwasinga alidai kuwa katika shitaka la tatu, Septemba 14, majira ya saa 12 asubuhi, washitakiwa hao wanane walitenda kosa la kufunga barabara ya kuingia na kutoka GGM na kusababisha wafanyakazi wa mgodi na watu wengine kushindwa kutumia barabara hiyo.

Katika shitaka la nne, Mwasinga alidai mahakamani hapo kuwa Septemba 14, majira ya saa 12 asubuhi, washitakiwa hao kwa pamoja walitenda kosa la kuharibu bomba la maji katika kijiji cha Nungwe linalosafirisha maji kwenda GGM, hali iliyosababisha hasara ya Sh. milioni 12.25 na kupungua kwa huduma ya maji katika mgodi huo na kwa wananchi wa mji wa Geita.

Washitakiwa wote tisa kwa pamoja walikana mashitaka hayo huku mwendesha mashitaka wa serikali akiomba mahakama kuahirisha kesi hiyo kwa madai upelelezi haujakamilika.

Akiahirisha kesi hiyo hadi Oktoba 10, Hakimu Mfawidhi Swallo alisema dhamana kwa washtakiwa hao iko wazi na kila mmoja alitakiwa kuwa na mdhamini mmoja atakayesaini bondi ya Sh. milioni tano.

Washtakiwa walitimiza masharti ya dhamana na wote wako nje.

Washtakiwa wanatetewa na mawakili Neema Christian na Deo Magengeli.

Musukuma alishikiliwa mahabusu na Polisi kwa siku mbili kabla ya kufikishwa mahakamani hapo jana.


Tetemeko Limeua Zaidi ya Watu 200 Mexico

$
0
0
Tetemeko Limeua Zaidi ya Watu 200 Mexico
Tetemeko baya la ardhi limekumba maeneo ya katikati mwa Mexico na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 200.

Tetemeko lenye nguvu ya kipimo cha saba nukta moja limedondosha karibu majengo 30 katika mji mkuu wa Mexico city.

Takriban watu 90 wauawa kwenye tetemeko la ardhi Mexico
Watu wanaotoa huduma za dharura wakisaidiwa na mamia ya watu wanaojitolea bado wanaendelea kutafuta manusura ambao wamefukiwa na kifusi.
Maafisa wa serikali nchini wanasema idadi ya waliokufa inaweza kuongezeka.

Daniel Lieberson alikuwa katika hotel ya Hilton Mexico City wakati tukio hilo likitokea.
''...Nilikuwa katika ghorofa ya 26. jengo lilikuwa likiyumba mbele na nyuma vioo vyote vilivunjika na tuliogopa kwamba madirisha yatavunjika, lakini haikuwa hivyo. Lakini mashine ya kutengenezea kahawa na vitu vingine vilianguka chini vyote, meza, ilikuwa shida kweli, lilidumu kwa sekunde thelathini tu, lakini ilionekana kama limedumu daima...'' anasema Daniel Lieberson
Tetemeko kubwa la ardhi laikumba Mexico

Kwa upande wake Natasha Pizzey mwandishi wa habari katika mji huo anasema kuna idadi kubwa ya watu waliofukiwa na kifusi baada ya majengo kuporomoka.
Juhudi za uokoaji zikiendeleaHaki miliki ya pichaAFP

''..Tunafahamu kuna watu walionusurika katika majengo ya makazi yaliyoporomoka, hatukuwa na uwezo wa kuwaokoa

. Kuna mamia ya wafanyakazi wa kujitolea waliokwenda katika eneo la tukio...'' ameongezea kusema
Aidha pia kumetokea madhara mabaya katika majimbo ya jirani ya Morelos na Puebla.
Tetemeko la pili lakumba kisiwa cha New Zealand
Mapema mwezi huu tetemeko hilo la ardhi pia lilipita katika eneo la pani ya kusini magharibi mwa Mexico na kusababisha vifo vya watu 90.

TANZIA: Miili ya Watu 13 wa Familia Moja Yawasili na Kuagwa Leo

$
0
0
TANZIA: Miili ya Watu 13 wa Familia Moja Yawali na Kuagwa Leo
Watu 13 wa familia moja waliofariki katika ajali ya gari iliyotokea Uganda baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutoka kwenye sherehe ya harusi kugongana na lori imefikishwa Tanzania na kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.

Miili hiyo imepokelewa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania na itapelekwa moja kwa moja katika Hospitali ya Lugalo na kesho September 20, 2017 itaagwa.

Watu hao walipata ajali September 17, 2017 majira ya saa 4:00 Usiku katika barabara ya Masaka, Uganda wakiwa njiani kurejea Tanzania wakiwa ni kutoka katika familia ya Naibu Waziri na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Mpwapwa, Dodoma, Gregory Teu.

Rais Magufuli Afurahishwa na Utendaji Kazi wa Mbunge Ole Millya wa CHADEMA

$
0
0
Rais Magufuli Afurahishwa na Utendaji Kazi wa Mbunge Ole Millya wa CHADEMA
Rais John Pombe Magufuli ambaye leo Septemba 20, 2017 yupo kwenye ziara ya kikazi mkoani Manyara katika Wilaya ya Simanjiro amefunguka na kumsifia Mbunge wa Simanjiro James Ole Millya na kusema ni mbunge mchapakazi.

Rais Magufuli amesema Ole Millya ni mchapakazi kutokana na ukweli kwamba mbunge huyo amelelewa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukulia ndani ya chama hicho hivyo sasa yupo CHADEMA lakini moyo wake ni CCM.

"Miliya ni mchapakazi, kwa sababu amelelewa na CCM, unaweza kumuona ni CHADEMA lakini moyo wake huyu ni Chama Cha Mapinduzi (CCM)" alisema Magufuli
Mbali na hilo Rais Magufuli amesema kuwa Mungu huenda alikosea kuipa Tanzania madini ya Tanzanite kwani madini hayo yamekuwa yakiibiwa huku Watanzania wenyewe wakishindwa kunufaika na mapato ya madini hayo.

"Mungu alifanya makosa alileta Tanzanite kwa Watanzania, lakini kama hakufanya makosa basi tubadilike jinsi ya kutumia Tanzanite. Tanzanite ingekuwa inatumika vizuri kusikungekuwa na tatizo la barabara hapa Simanjiro, hapa Simanjiro msingekosa hata Ambulance moja lakini kwa kuwa hamna gari hata moja ya wagonjwa basi mimi nitaleta gari ya wagonjwa hapa nitajua nifanya nini, nitawakata kata huko tutapata gari" alisema Rais Magufuli.

Jukwaa la Wahariri Tanzania Lapinga Hatua ya Serikali Kulifungia Gazeti la Mwanahalisi

$
0
0
Jukwaa la Wahariri Tanzania Lapinga Hatua ya Serikali Kulifungia kwa Gazeti la Mwanahalisi
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) lapinga hatua ya serikali kulifungia gazeti la MwanaHalisi. Lapanga kujadili hatua za kuchukua


Zitto Kabwe Asakwa Kila Kona Ili Akamatwe

$
0
0
Zitto Kabwe Asakwa Kila Kona Ili Akamatwe
Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT –Wazalendo), Zitto Kabwe anatafutwa ili akamatwe na kufikishwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.

Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah amesema leo Jumatano kuwa, Zitto alipewa barua ya wito wa kufika mbele ya kamati hiyo baada ya Spika Job Ndugai kuagiza hilo lifanyike lakini hadi sasa hajaitikia wito huo.

Amesema kamati bado ipo mjini hapa ikiendelea na shughuli baada ya vikao vya Bunge kuahirishwa na inamsubiri.

Dk Kashililah amesema Zitto alipewa barua ya wito lakini alikuwa na udhuru kwa kuwa siku aliyotakiwa kufika mbele ya kamati alikuwa na kikao cha halmashauri

lakini kesho yake angefika kuitika wito.

“Wakati wanamsubiri mara wakamsikia yuko Nairobi (Kenya), kamati inaendelea kumsubiri. Kamati inasema imeagiza wawaone wasije kusema wanatoa hukumu

na wao hawapo,” amesema.

Zitto amepelekwa na Spika Ndugai mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mbunge wa Newala Mjini (CCM), George Mkuchika akidaiwa kutamka kwenye mitandao ya kijamii kuwa Bunge limewekwa mfukoni na mhimili fulani.

Maneno hayo anadaiwa kuyasema wakati  kamati mbili za Spika kutathmini mfumo wa uchimbaji, usimamizi, umiliki na udhibiti wa madini ya Tanzanite na almasi zilipowasilisha taarifa.

Kubenea Asafirishwa Kwa Ndege Dodoma Kwaajiri ya Kuhojiwa

$
0
0
Kubenea Asafirishwa Kwa Ndege Dodoma Kwaajiri ya Kuhojiwa
Mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea amesafirishwa kwa ndege leo Jumatano asubuhi kwenda Dodoma anakohitajika mbele ya Kamati ya  Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.

"Sasa hivi nipo bungeni nasubiri Kamati ya Maadili nimefika tangu saa moja asubuhi kwa ndege," amesema Kubenea.

Mbunge huyo jana Jumanne alisema alikuwa Kituo cha Polisi cha Oysterbay  wilayani Kinondoni akisubiri utaratibu wa safari hiyo ya kwenda kuhojiwa kama Spika wa Bunge Job Ndugai alivyoagiza.

Katibu wa wabunge wa Chadema, David Silinde akizungumzia safari ya mbunge huyo amesema, "Kweli amesafirishwa kwa ndege leo asubuhi kwenda Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa na kamati. Huu ni upotevu wa rasilimali za umma kwa shughuli ambayo ingeweza kufanywa hata kwenye kikao kijacho cha Bunge," amesema.

Amesema kutojitokeza mbele ya kamati kwa mbunge huyo tangu alipoitwa kunatokana na afya yake na hata jana Jumanne alipokamatwa alichukuliwa akiwa hospitali.

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa alipoulizwa na Mwananchi kuhusu kusafirishwa mbunge huyo amesema hana taarifa mpya lakini alitakiwa kuondoka leo asubuhi kwa ndege.

Kubenea alisema jana kuwa, kabla ya kushikiliwa alikwenda kujisalimisha polisi katika kituo cha Oysterbay na aliambatana na askari hadi katika Hospitali ya Aga Khan ambako alitakiwa kwenda kwa ajili ya kufanyiwa kipimo cha MRI.

Kubenea amepelekwa mbele ya kamati akituhumiwa kwa taarifa alizozitoa kupitia mitandao ya kijamii kuwa Spika alisema uongo kuhusu idadi ya risasi alizopigwa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu katika tukio lililotokea nyumbani kwake Area D mjini Dodoma Septemba 7

Mbowe Afunguka Mapya Kuhusu Hali ya Tundu Lissu

$
0
0
Mbowe Afunguka Mapya Kuhusu Hali ya Tundu Lissu
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe amefunguka mapya kuhusu hali ya Mbunge Tundu Lissu ambaye sasa anapatiwa matibabu nchini Kenya, Mbowe amedai wao wanatoa taarifa ya maendeleo ya Tundu Lissu kulingana na madaktari wanavyowaambia.

Freeman Mbowe amesema kuwa wao hawawezi kusema chochote nje ya wataalam hao ambao ndio wenye ujuzi wa kumtibu na kujua hali ya mgonjwa kwa kuwa ndiyo watu ambao wanakaa naye muda mrefu na kutambua maendeleo yake.

"Sisi tunatoa taarifa za maendeleo ya Lissu kulingana na Madaktari wanavyotuambia, hatuwezi kusema chochote nje ya wataalam hao, kwa kuwa ndio wenye ujuzi wa kumtibu na kujua maendeleo ya mgonjwa husika, Unajua ahueni humtokea mgonjwa taratibu taratibu na ndivyo inavyotokea kwa Lissu, ingawa sisi wote tuna hamu apone mara moja aje aendelee kupigania haki za wanyonge kama alivyokuwa akifanya" alisema Mbowe

Aidha kiongozi huyo amezidi kuwaomba Watanzania kuzidi kumuombea Tundu Lissu na kuendelea kuchangia gharama za matibabu kwa kiongozi huyo kwani gharama za matibabu yake ni kubwa mno na wao kama chama peke yao hawawezi hivyo wameomba Watanzania kuendelea kuchangia ili kiongozi huyo aendelee kupata matibabu na aweze kupana na kurejea nchini akiwa salama.

"Kupona kwa Mhe. Lissu ni mpango wa Mungu, nawaomba Watanzania wenzetu waendelee kumuombea kwa Mungu pamoja na kuchangia gharama za matibabu, kwa kuwa gharama zake ni kubwa ambazo chama pekee hakiwezi kuzimudu bila ya misaada kutoka kwa watu mbalimbali" alisisitiza Freeman Mbowe

Mbunge Tundu Lissu yupo mjini Nairobi Kenya kwenye matibabu kufuatia kupigwa risasi na watu wasiojulikana Septemba 7, 2017 akiwa mjini Dodoma na baadaye kusafirishwa na kwenda Kenya kwa matibabu.

Viewing all 104698 articles
Browse latest View live




Latest Images