Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live

TIFFAH mtoto wa Diamond Platinumz Amuwish Happy Birthday Zari kwa Style hii

$
0
0
Diamond Platinumz amepost video ya mtoto wake akimuwish mama yake happy birthday huku akicheza na baba yake na kumlisha diamond karanga

VIDEO:


Nyalandu: Nimewasili Mbeya tayari kushiriki Sala Maalumu ya Kumwombea Mhe.Tundu Lissu

$
0
0
Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu amesema kuwa amefika Mkoani Mbeya akiwa tayari kwa Sala Maalumu ya Kumwombea Mhe Tundu Lissu ikiwa pamoja na kuzindua Wimbo Maalumu.

"Nimewasili Mjini Mbeya tayari kwa kushiriki Sala Maalumu ya Kumwombea Mhe Tundu Lissu ikiwa ni pamoja na kuzindua Wimbo Maalumu wa Emmanuel Mwansansu.

Nimewahi simuliwa, katika Kanisa la Ebenezer Gospel Church, Mbeya linaloongozwa na Askofu Elisha Muliri kuanzia saa 7.00 mchana.

Sote tuungane katika kufanya Maombi Maalumu kwa ajili ya Tundu Lissu na kwa wale walio karibu na mji wa Mbeya naomba muungane nami katika Kanisa la Ebenezer mchana kesho".

Ameandika Mbunge huyo kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Hii Ndiyo Thamani ya Kufanya Kazi

$
0
0
Kuna tofauti kubwa sana iliyopo kati ya kazi na ajira, unashaanga ndo ukweli huo. Tulio wengi huwa tunazama kazi kama ajira  kumbe ni vitu viwili tofauti. katika makala yetu ya leo tutakwenda kuangalia tofauti hizo kati ya ajira na kazi na thamani ya kufanya kazi.

Tukianza na kujua maana ya Kazi, kazi ni shughuli yeyote ile iliyo halali au isiyo halali ambayo huifanya mtu kutokana na ujuzi, kibaji na ubunifu ili kupata mapato na faida, ila katika mafanikio tunazungumzia kazi halali tu.

Ila ajira ni kile kitendo cha kuuza muda,ujuzi, ubunifu na kumtumikia mwingine,  hii hutokea kwa kuwa wewe hujaamua kufanya kazi ya mwenyewe ila umeamua kuajiriwa. Daima tukumbuke ya kuwa kazi ndiyo ambayo inayoanza kabla ya ajira . Ajira ni mizizi ya utumwa nasema hivi nikiwa nina maana ya kwamba kwa kuwa hii karne ya ishiri na moja baadala ya kuwaita watumwa basi wanaitwa wafanyakazi.

 Leo ingekuwa ni tarehe moja mwezi wa nne ungesema  Afisa anaongopa, sijaongopa na huo ndio ukweli usiopingika. kuna baadhi ya watu wao huamini ya kwamba bila ajira wao hawawezi kuishi jambo hilo halina ukweli wowote ndani yake. Sina maana ya kusema eti kuajiliwa ni kubaya hapana, ila ukweli ni kwamba ni lazima ufikiri nje box, yaani kitu kingine zaidi ya kutengemea kulipwa mshahara ila ifike mahali na wewe ulipe watu mshahara.

Watu wengi waliojiriwa wanasema Mwenyezi Mungu ibariki kazi ya Mikono yangu, Je Hiyo ni Kazi ya mikono yako au ya mwajiri wako?   Ukitaka kusema hayo azisha kitu chako harafu ndo useme Mwenyezi Mungu bariki kazi ya mikono yangu na baraka zitakuja kweli. Daima tukumbuke ya kuwa binadamu ameubwa ili kufanya kazi, ukisema wewe ni mcha Mungu ni lazima ufanye kazi. Ukisoma katika Vitabu vya Dini vinatufundisha ya kuwa, siku zote baraka za kiuchumi zinapatikana kwa kufanya kazi kwa bidii.

Pia mpango wa Mungu kwa watu wake baada ya kuwaumba ilikuwa ni watu hao kwenda kuitawala nchi na sio watu. Kutawala nchi kwa maana ya kuwa kuitazama nchi na vitu vilivyoko ndani yake katika uzalishaji kama vile ardhi katika kufanya kazi za usalishaji. Kuna kitabu fulani cha kimafanikio kiliandikwa ya kwamba hapa duniani kuna kila aina ya kitu ambacho mwanadamu akikitumia vizuri atakuwa tajiri.

Ila tatizo kubwa ni kwamba watu waliopo ndani yake hawavitumii vitu hivyo. Swali la kujiuliza je vitu hivyo Mungu alivyotupa vinakupa manufaa gani au ndio unazidi kulaumu kwa kusema maisha ni magumu? ukweli ni kwamba tumia vitu vilivyopo ili kupata mafanikio makubwa.

Thamani ya kufanya kazi ni kama ifuatavyo;
1. Thammani za kufanya kazi  huja kwa kujituma na kufanya kazi kwa bidiii siku zote. Muda muafaka wa wewe kuamuamua kufanya kazi ndo huu sasa. Unapenda kuendelea kuita boss maisha yako yote au kuitwa boss, usinipe jibu. ila kumbuka kila ya siku ili kukata kiu yako ya mafanikio kunywa kinywaji kinachoitwa bosi, ukifanya hivyo kweli utakuwa bosi.

2. Ubunifu.
Thamani ya kufanya kazi huja kwa mtu kuwa mbunifu, Ubunifu huanza kwenye wazo jipya, wazo ndio chanzo kikubwa na ndio siri kubwa iliyojificha kuapata atajiri. Siku zote ukumbuke ya kuwa ni mtu  mwenye mawazo mapya yenye kuleta mafanikio makubwa mbele yako. Kuwa mbunifu ili umiliki kazi yako ili uweze na wewe kuitwa bosi maana inawezekana kabisa.

Top 10 Ya Viumbe Vyenye Sumu Zaidi Hapa Duniani

$
0
0

 1. Box Jelly Fish


2. King Cobra


 3. Blue Ringed Octopus


 4. Marbled Cone Snail


 5. Stone Fish


  6. Death Stalker Scorpion


 7.  Inland Taipan


 8. Brazilian Wandering Spider


9.  Poison Dart Frog


10. Puffer Fish

Kutana na Mtabibu wa Asili Allan Shariffu Musa Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

$
0
0
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH shariffu musa Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na shariffu musa Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.

Maalim Hussein Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi

+255 629793352 au watsap
+255 679119679

NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE.

Diamond Platnumz Atoa Lugha Chafu Kwa Mashabiki Wake.....

$
0
0
Katika hali isiyo ya kawaida diamond amewatolea maneno machafu mashabiki waliomkosoa tabia yake ya kutembea hovyo na Wasichana hali inayomkosesha Amani Mpenzi wake, Zari.


Hali hiyo imejitokeza kwenye post aliyoiweka diamond kwenye Ukurasa wake Wa Instagram akimtakia Heri ya kuzaliwa Zari

Mwakyembe: Diamond na Ali Kiba Waendeleze Bifu zaidi, Wasipatanishwe

$
0
0
Waziri wa michezo na sanaa Harisson Mwakyembe amesemabifu la Diamond a Ali Kiba liendelee zaidi kwa kuwa linaleta ushindani
wangeendeleza zaidi huoushindani na hakuna haja ya kuwasuluhisha 

 VIDEO:

Reginald Mengi Atoa Ushauri Kwa Watanzania......

$
0
0
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dr.Reginald Mengi amewataka Watanzania kujitambua na kujiwekea malengo katika maisha ili kuepuka njia rahisi za kutafuta maisha ambazo baadhi zimekuwa zikiwagharimu baadhi ya wananchi hasa makundi ya vijana.

Akizungumza na wanafunzi wahitimu wa shule ya sekondari ya wasichana ya Kifungilo katika mahafali ya kidato cha nne kwenye taarifa yake iliyosomwa kwa niaba yake na Bi.Joyce Luhanga, Dr.Mengi amesema ukishajiwekea malengo ni rahisi kutafuta njia ya kuyafikia malengo hayo ili kukabiliana na changamoto za maisha zinazowakabili wananchi hasa makundi ya vijana.

Aidha katika taarifa ya Dr.mengi kwenye mahafali hayo yaliyohusisha na wageni kutoka mataifa mbalimbali,wazazi na viongozi wa serikali,dr.Mengi amewasisitiza wanafunzi wanaomaliza kuwa na mwenendo ulio bora kwa jamii kwa kufanya vyema katika mitihani yao ili waweze kufika vyuo vikuu.

Katika sherehe hiyo Mwenyekiti Mtendaji ameahidi shilingi 500,000 kwa kila mwanafunzi atakayepata alama (A) katika mitihani ya kitaifa inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni huku mkuu wa shule hiyo pamoja na mwakilishi wa wazazi wakielezea nafasi za wanafunzi wa shule hiyo katika mitihani yao ya mwaka jana hadi mwanzoni mwa mwaka huu.

Hatimaye Mke wa Tundu Lissu Avunja Ukimya

$
0
0
Kwa mara ya kwanza, Alicia Magabe ambaye ni mke wa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amezungumzia tukio la mumewe kushambuliwa kwa risasi na kudokeza kwamba haliwezi kuwa limetokana na sababu nyingine isipokuwa kazi ambazo amekuwa akizifanya.

Pia amezungumzia kuhusu afya yake na kueleza kuwa bado siyo nzuri na kuwaomba Watanzania waendelee kumuombea.

Mbali ya Alicia ambaye pia ni mwanasheria, dereva wa Lissu naye amezungumza akisema ameathiriwa kwa kiasi kikubwa na tukio hilo huku akiahidi kuripoti polisi mara baada ya kurejea nchini.

Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), amelazwa katika Hospitali ya Nairobi tangu alipopelekwa huko baada ya kupigwa risasi akiwa ndani ya gari nje ya nyumba yake mjini Dodoma mchana wa Septemba 7 akitokea bungeni.

“Watanzania wote wanajua Lissu maisha yake yote amekuwa ni mtetezi wa wanyonge na tukio hili amelipata kutokana na kazi zake hizo hivyo nawaomba tumuombee tu,” alisema.

“Ninachoweza kusema hali ya mheshimiwa Lissu sio nzuri ingawa ni tofauti na tulivyomleta hapa, hivyo naomba Watanzania kuendelea kumuombea.”

Aliwashukuru Watanzania kwa michango, na maombi yao kwa Lissu akisema hiyo inaonyesha ni jinsi gani wanathamini mchango wake kwa jamii.

Alipoulizwa kuhusu kauli ya Serikali kwamba ipo tayari kugharimia matibabu ya Lissu popote ikiwa itaombwa na familia hiyo, Alicia ambaye pia ni wakili alisema kwa sasa hana maoni.

“Katika hili no comment (sina maoni) ndio tumesikia jana amezungumza na kwa kuwa jambo hili siyo la uamuzi wa mtu mmoja, mimi sina cha kusema,” alisema.

Hata hivyo, alisema anashukuru kazi kubwa ambayo inafanywa na madaktari wa Hospitali ya Nairobi na kusema wanaridhishwa na matibabu ambayo anapatiwa kwa sasa.

Dereva wa Lissu azungumza

Mbali ya Alicia, dereva wa Lissu ambaye ndiye mtu pekee waliyekuwa wote si ya tukio hilo, Simon Bakari naye alizungumza kwa mara ya kwanza kuhusu tukio hilo na kudokeza kwamba limevuruga na hana kumbukumbu sahihi.

Dereva huyo ambaye naye anaendelea kupatiwa matibabu ya kisaikolojia katika hospitali hiyo ya Nairobi alisisitiza, “Kwa sasa siwezi kuzungumza vizuri tukio hili kwani nadhani sina kumbukumbu vizuri.”

Alipoulizwa kuhusu wito wa polisi wa kwenda kutoa maelezo, alisema atafanya hivyo pindi atakaporejea nchini baada ya matibabu.

“Nilisikia polisi wamenitaka nikatoe maelezo lakini sijisikii vizuri na bado napata matibabu. Nitakwenda,” alisema.

Dreva wa Lissu Asema Hana Kumbukumbu Vizuri Kwa Kilichotokea Kwenye Shambulio Dhidi ya Lissu

$
0
0
Dereva wa Lissu ambaye ndiye mtu pekee waliyekuwa wote si ya tukio hilo, Simon Bakari naye alizungumza kwa mara ya kwanza kuhusu tukio hilo na kudokeza kwamba limevuruga na hana kumbukumbu sahihi.

Dereva huyo ambaye naye anaendelea kupatiwa matibabu ya kisaikolojia katika hospitali hiyo ya Nairobi alisisitiza, “Kwa sasa siwezi kuzungumza vizuri tukio hili kwani nadhani sina kumbukumbu vizuri.”

CHANZO GAZETI LA MWANANCHI

Diwani Mwingine wa Chadema Arusha Aachia Ngazi Mbele ya JPM

$
0
0

Katika hali ambayo haikutarajiwa, Diwani wa Kata ya Kimandolu Jiji la Arusha (Chadema), Mchungaji Rayson Ngowi akiongozwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole ametangaza kumuunga mkono Rais John Magufuli na kwa kuachia nafasi yake.

Alifanya hivyo jana mbele Rais Magufuli wakati madiwani 10 wa Chadema waliojiuzulu nafasi zao kwa nyakati tofauti kwenye halmashauri tatu za Arusha na kujiunga na CCM walipoitwa wakati Rais alipokuwa akihutubia baada ya kutunuku kamisheni kwa maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Hatua hiyo inafanya jiji la Arusha linaloongozwa na Chadema kupoteza kata mbili.

Madiwani wengine waliojitambulisha mbele ya Rais Magufuli ni wale waliojiuzulu katika halmashauri za Meru na Arusha Vijijini.

Mchungaji Ngowi ndiye aliyekuwa wa kwanza kupanda jukwaani na kuanza kumwagia sifa Rais Magufuli, “Mwanzoni nilikuwa sikuelewi lakini sasa nakuelewa sana. Nataka Watanzania wote wakuunge mkono. Tunaona jitihada zako za kuifanya Tanzania kuwa nchi ya asali na maziwa. Tuko pamoja na nashukuru sana kwa kunipokea.”

Mwingine aliyepanda jukwaani ni aliyekuwa Diwani wa Muriet, Credo Kifukwe ambaye alisema,

Nimeamua kumuunga mkono Magufuli kutokana na kazi nzuri alizofanya na kila mwenye akili timamu anaona. Huko tulikokuwa ilikuwa mambo ya pingapinga hawataki kuona mazuri yanayoendelea, nimeamua kurudi CCM hapa kazi tu.”

Baadaye Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM alisema, “Hawa wananchi wanataka maendeleo kuliko majina ya vyama na maendeleo hayajali wewe ni CCM , Chadema au CUF.”

Hata hivyo, alionyeshwa kushangazwa na madiwani hao kuacha haki zao zikiwamo masilahi mengine na kuamua kujizulu nafasi zao na kuwakaribisha CCM.

Pia, aliutaka uongozi wa CCM kuwapitisha madiwani hao kuwania tena nafasi hizo ili wakashindane na vyama vingine.

Mchezaji Hajib Noma...Aanza Kuipa Matunda Yanga...Yafikisha Point Sawa na Simba

$
0
0
YANGA SC imepata ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.

Shukrani kwake, mfungaji wa bao hilo pekee, mshambuliaji mpya kutoka kwa mahasimu, Simba SC, Ibrahim Hajib Migomba aliyefunga dakika ya 34 baada ya kazi nzuri ya beki wa kati, Kevin Patrick Yondan.

Beki wa kulia, Juma Abdul Mnyamani alimuanzishia kona fupi Yondan, ambaye alijitengeneza na kutia krosi maridadi iliyounganishwa nyavuni na Hajib kwa staili ya kujipinda maarufu kama baiskeli.

Lakini Yanga itamkosa kiungo wake mpya, Mkongo Papy Kabamba Tshishimbi katika mchezo wake ujao na Mtibwa Sugar Septemba 30, baada ya kuonyeshwa kadi ya njano na refa Jeonisya Rukyaa wa Kagera leo, ambayo inakuwa kadi yake ya tatu mfululizo.

Pamoja na ushindi huo, lakini Yanga hawakuwa katika mchezo mwepesi, kwani Ndanda FC walicheza vizuri na kutengeneza nafasi ambazo hata hivyo, walishindwa kuzitumia.

Muda mrefu kipindi cha pili, mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma alicheza akiwa anachechemea kabla ya kutolewa dakika mbili za mwisho akimpisha Emmanuel Martin.
Yanga ilifunguka na kupeleka mashambulizi mengi mfululizo langoni mwa Ndanda dakika 15 kuelekea mwisho wa mchezo.

Kwa ushindi huo Yanga imefikisha pointi nane sawa na watani wao wa jadi Simba ambao Alhamisi walibanwa mbavu na Mbao kwa kulazimishwa sare ya mabao 2-2.

Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji Mwingine Leo....

$
0
0
Wakati Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki (chadema) Tundu Lissu leo  anatarajiwa kufanyiwa upasuaji mwingine, fedha zilizochangwa na wabunge hatimaye  mchana zimeonekana katika akaunti ya hospitali ya Nairobi.

Lissu ambaye tangu Septemba 7 amekuwa akipatiwa matibabu,katika hospitali hii kesho  atafanyiwa upasuaji tena na jopo la madaktari kutazama athari zaidi katika mwili wake.

Akizungumza na mwananchi mmoja wa wauguzi wa hospitali ya Nairobi, ambaye ameomba kuhifadhiwa jina, amesema upasuaji unahusu eneo la nyonga.

SOMA Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumamosi

$
0
0

Pendeza na Kessy Products: Badili Muonekano Wako na Kuweka Mwili Wako Sawa Bila Madhara yoyote

$
0
0
PENDEZA NA KESSY PRODUCT: BADILI MUONEKANO WAKO NA KUWEKA MWILI WAKO SAW KWA PRODUCT ZA ASILI ZISIZO NA MADHARA YEYOTE WALA KEMIKALI, MATOKEO NI KWAARAKA


1) KUTOA MVI SUGU PIA ZA KUZALIWA NAZO _80,000/
2) KUREFUSH NYWELE  KUZIJAZA NA KUZUIAKUKATIKA 90,000/
3) TENGENEZA SHEPU YAKO KUWA NA UMBO ZURI (HIPS & BATKS)KUNADAWA AINA TATU (@)KUPAK (B) KUNYWA (C)VIDONGE_130,000/
  4)ONDOA NYAMA UZEMBE MIKONONI, KIUNONI KUPAK _90,000/
5)TOA  KITAMBI KABISA(@) KUPAK 10O,000/ (B)VIDONGE/SLIMING MAJAN 130,000/
6) PUNGUZA MWILI MZIMA KUANZIA KILO UNAZOITAJI WEWE
@) DAW YA MAJIN NA VIDONGE_130,000/
7)PUNGUZA MAZIWA NA YASIMAME KAMA MWANZO _80,000/
8) PIA UNA KUONGEZA MAZIWA SAIZI UNAYOHITAJI WEWE_80,000/
9)ONGEZA UNENE WA MWILI MZIMA_100,000/
10) ONDOA MICHIRIZI ILIYO SHINDIKANA_90,000/
11) TOA MAKOVU, CHUNUSI, WEUSI KWENY MAPAJA KIKWAPAN_90,000/
13) KUWA MWEUPE WAKUPENDEZA(@) VIDOGO(WHITE SOLUTION)_130,000/(B)MAFUTA YAKUPAK 100,000/
14)TOA NDEVU VINYWELEO MILINI _90,000/
15/ ONGEZA NGUVU ZA KIUME (@)JELI_80,000/(B)VIDONGE MAX MAN_ 100,000/
16) ENGEZA MAUMBIL YA KIUME
@) (HANDSOME UP) MASHINE _200,000/
@) JELI NA VIDONG VYA SHARK_120,000/
17) RUDISHA HAMU YA TENDO NA KUCHELEWA KUFIKA KILELE_90,000/
18) RUDISH(BIKRA) 100,000/
19)ONDOA MAFUTA USONI _90,000/
20) ONDOA MIKUNJO USON_70,000/
(21) ENGEZA  MGUU_80,000/

 TUNAPATIKAN DAR W SALAAM: NAKWA MIKOAN KOTE UTAPATA PIGA CM

(+255) 0719955528
0756259180
0785371237

@dr_kessy_product
Delivery  POPOTE ULIPO

Haya Hapa Madhara ya Kuvuta Sigara

$
0
0
Ufutaji sigara huathiri mwili kwa njia tofauti na madhara yake ni makubwa kiafya. Inakadiriwa kuwa, hadi sasa kumegunduliwa kemikali zipatazo 7,000 katika moshi wa sigara ambapo 250 kati ya hizo ni sumu na 70 zinasababisha kansa.

Mvutaji mdogo hutumia nusu ya pakiti ya sigara kwa siku na kujikuta akiathiri mwili wake kwa kemikali hizi mara 3500 kwa mwaka. Mada na kemikali zilizo kwenye sigara huathiri karibu kila kiungo mwilini kuanzia seli hadi mfumo wa kulinda mwili.

Kemikali zilizoko kwenye moshi wa sigara huingia katika mapafu na kuenea katika mwili mzima na kusababisha madhara makubwa kwa njia mbalimbali.

Ingawa mada hizo haribifu zilizoko kwenye moshi wa sigara ni nyingi, lakini tatu ni hatari zaidi zikilinganishwa na nyingine.


 Nicotine huufikia ubongo sekunde 7 hadi 10 baada ya moshi wa sigara kuvutwa na kemikali hiyo hutapakaa katika sehemu nyingi za mwili hata katika maziwa ya mama.

Nikotini ni kemikali sumu ambayo kwa muda mrefu sana inatumiwa kama dawa ya kuuwa wadudu na sumu ya panya. Inachukua nafasi ya pili kama sumu kali kabisa kutokana na athari yake mbaya kwa mwili wa binadamu.

Tar ni kemikali inayosababisha kansa mwilini inayopatikana katika tumbaku ambayo huharibu jeni muhimu zinazozuia ukuaji holela wa seli ili zisiwe za saratani.

Carbon monoxide ni gesi yenye madhara inayopatikana katika moshi wa sigara ambayo hujishikiza katika hemoglobin kwenye seli nyekundu za damu na kuzizuia zisiweze kubeba vyema oksijeni kama inavyotakiwa.

Suala hilo husababisha mtu apatwe na dalili za kuwa na sumu ya gesi hiyo mwilini. Tunapaswa kujua kuwa, kuvuta sigara huwasababishia maradhi mbalimbali wenye kuvuta sigara kwa kiwango kikubwa ikilinganishwa na wasiuovuta.

Miongoni mwa maradhi hayo ni magonjwa ya moyo, kiharusi, kansa ya mapafu, matatizo katika mfumo wa kupumua yanayojulikana kama COPD na mengineyo.

Watu 140,000 Watakiwa Kusalimisha Kadi za Mabasi ya Mwendokasi

$
0
0

Wakati mchakato wa kumpata mzabuni atakayetengeneza kadi maalumu za abiria wa mabasi ya mwendokasi Dar es Salaam (Udart) ukiendelea, Mtendaji Mkuu wa mradi wa mabasi hayo (Dart), Ronald Lwakatare amesema kadi 60,000 ndizo zinazotumika.

Katika siku za karibuni kadi za mabadi hayo zimeadimika kiasi cha wananchi kuhoji juu ya suala hilo, lakini uongozi wa Dart ukadai kuwa linashughulikiwa kwa kusaka mzabuni akayekabidhiwa jukumu hilo.

Hata hivyo, jana, Lwakatare alisema kati ya kadi 200,000 zilizonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kutumika kwenye mfumo wa mabasi hayo ni kati ya kadi 50,000 hadi 60,000 zinazoonekana kutumiwa na wananchi.

Alisema kadi ambazo zinatumika kwa sasa ni sawa na asilimia 25, huku asilimia 75 zikiwa mifukoni mwa wateja ambao miongoni mwao wamo walichukua kadi mara mbili.

Lwakatare alisema kutotumika kwa kadi hizo kumechangia kuwepo kwa misururu ya abiria kwenye vituo vya mabasi yaliyopo kwenye mfumo huo. “Kusudi ni kwamba kadi moja kwa mtu mmoja, lakini inaonekana mtu mmoja anamiliki kadi zaidi ya moja jambo ambalo si sahihi,” alieleza.

Alifafanua kwamba wakati wa utekelezaji wa awamu ya kwanza ya mradi huo Serikali ilinunua kadi 200,000 kutokana na makadirio iliyoyafanya kabla ya kuanza kutoa huduma na zilipaswa kutumiwa na wananchi wanapohitaji kusafiri, lakini imebainika kwamba nyingi ya kadi hizo hazitumiki.

Kufuatia hali hiyo, mtendaji huyo mkuu aliwataka wananchi wanaomiliki kadi hizo wazitumie ili kurahisisha usafiri kwa kuwa ndizo zilizokusudiwa kutumika.

Aliongeza kuwa, kulingana na takwimu zilizopo wananchi kati ya 200,000 hadi 250,000 ndio wanaotumia huduma ya usafiri huo kila siku na kwamba, endapo kadi hizo zingekuwa zinatumika kusingekuwa na msururu wa abiria kukata tiketi.

Kwa upande wao, baadhi ya abiria wanaotumia mabasi hayo walisema kadi nyingi zinaweza kuwa zimepotea.

“Nimeshapoteza kadi mbili na hii niliyonayo ni ya tatu. Lazima Serikali iweke mfumo wa kuandaa nyingine kama ilivyo kwa kadi za benki, ikipotea unapewa nyingine kwa namba ileile,” alisema mkazi wa Kimara, Lusiana Ng’onze.

Joachim Jones anayeishi Ubungo alisema kama ingeanzishwa sheria ya kutumia na kuzitunza kadi hizo watu wengi wangezitunza.

Staili 3 za Kujamiana Ambazo ni Hatari Kwa Wanaume

$
0
0

Tafiti zimebaini kuwa hizi ndizo aina kuu tatu za ufanyaji wa mapenzi zinazoweza kupelekea mwanaume kupata madhara ya kuvunjika kwa uume.

Kwa mujibu wa tafiti zilizofanyika ‘dog style’, ‘missionary’ na ‘cowgirl’ zimeelezwa kuwa ndizo zinazoongoza zaidi kusababisha kuvunjika kwa uume.

Ripoti iliyochapishwa katika jarida la “international journal of Impotence” ilichunguza wanaume 90 wenye umri wa kati ya miaka 18-66 walikumbwa na tatizo la kuvunjika kwa uume.

Utafiti huu uliwagawanya waathirika hao katika makundi sita kulingana na ukubwa wa tatizo ambayo yalihusisha: Punyeto, aina ya ufanyaji wa mapenzi ambao mwanaume huwa juu ‘missionary’, ‘dog style’, ufanyaji wa mapenzi ambao mwanamke hukaa juu ‘Cowgirl’ na nyinginezo.

Utafiti ulibaini kuwa wanaume 69 kati ya wenye madhara ya kuvunjika kwa uume wamesababishwa na ufanyaji wa mapenzi.
Matokeo ya utafiti huu yalibaini kuwa wanaume 37 walipata madhara ya kuvunjika kwa uume kutokana na kufanya mapenzi kwa aina ya ‘dogstyle’

Wanaume 23 walipata madhara ya kuvunjika kwa uume kutokana na ufanyaji wa mapenzi wa aina ambayo mwanaume hukaa juu wengi huiita ‘kifo cha mende’ au ‘missionary style’.

Aina ya ‘dogstyle’ iliripotiwa kusababisha madhara kwa wanaume wengi kuliko aina nyingine japo madhara yake hayakutofautiana sana.

Unashauriwa kutambua ni aina ipi ya ufanyaji wa mapenzi ambayo inaweza kukusababishia madhara ya kuvunjika kwa uume na kama unaipendelea basi ni vyema ukaifanya kwa uangalifu mkubwa, japokuwa wakati mwingine inakuwa ni vigumu kukumbuka.

Hawa Hapa Madiwani wa Chadema Waliohamia CCM Wakipeana Mkono na Rais Magufuli

$
0
0
Rais Dkt Magufuli akisalimia na waliokuwa madiwani wa CHADEMA waliohamia CCM kumuunga mkono baada ya kuridhishwa na utendaji kazi wake.

Makala: Zari Anajifunga Nilan, Diamond na Mobetto Wanamtafuta Dylan

$
0
0
Diamond Platnumz wiki hii amemkubali mtoto wa mwanamitindo Hamisa Mobetto atwaye Abdul aka Dylan kuwa ni mwanae baada ya kumkataa mtoto huyo kwa lengo la kumficha mama watoto wake, Zari The Bosslady ambaye tayari amezaa naye watoto wawili, Princes Tiffah pamoja na Nilan.

Hamissa Mobetto akiwa na baba Diamond kwenye arobaini ya Dylan iliyofanyika siku chache zilizopita

Rais huyo wa WCB amedai alikubaliana na mwanamitindo huyo kulifanya jambo hilo kuwa siri ili kulinda heshima yake na familia kwa ujumla kitu ambacho hakikufanikiwa.

Bongo5 imeamua kurudi nyuma na kuangalia ni siku gani na wapi Diamond na Hamisa Mobetto walikutana na kufanya mchakato wa kupatikana kwa Dylan ikiwa mtoto huyo alizaliwa 8/ 8/ 2017 katika hospitali moja hapa jijini Dar es salaam.

Wataalamu wa afya wanasema mwanamke hujifungua mtoto baada ya miezi tisa toka siku ambayo mimba imeingia. Pia kuna baadhi ya wanawake hujifungua kabla ya siku hizo kutokana na matatizo ya kiafya ambapo mtoto anayezaliwa kipindi hicho uitwa njiti na huwa katika uangalizi maalumu.

Lakini mtoto wa Mobetto, Dylan amezaliwa kawaida kulingana na taarifa ambazo aliziweka wazi mwanamitindo huyo na kama ni hivyo basi wawili hao walivunja amri ya sita mwezi Novemba mwishoni mwaka 2016 au Disemba mwanzoni. Je swali lilipo ni wakati gani na wapi wawili hao walikutana, hebu tungalie matukio ambayo yalitokea mwezi Novemba na Disemba ambayo bila shaka yalikuwakutanisha wawili hao wakati Zari akikaribia kujifungua mtoto, Nilan, Disemba 6 2016.

Salome yawakutanisha.

Video ya wimbo ‘Salome’ ndio project ya kwanza kuwakutanisha wawili hao baada ya mwanamitindo huyo kucheza vitendo katika video ya wimbo huo.


Licha project hiyo kuwaweka karibu zaidi wawili hao lakini mapaparazi waliufuatilia ukaribu wao na kugundua kuna kitu kinaendelea kati yao huku mashabiki wakibaki na kumbukumbu ya neno ‘project’ ambalo pia liliwakutanisha kimapenzi Diamond na Zari.

“Hamisa nimeanza kumjua zamani sana na sina uhusiano wa kimapenzi na yeye, juzi kati alikuwa kwenye video yangu mpya nimefanya na Ray Vanny na hiyo ndo imeleta maneno maneno yote hayo,” Diamond alikiambia kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm.

Na kuhusu picha iliyounganishwa wote wakiwa wametumia chumba kimoja alisema, “Pale ni South Africa sehemu ile inaitwa Capital ni apartment ambazo vyumba vyake vyote vinafanana kama unavyoona hata Madam Rita pia ana share katika hizo apartment naye anayo yake na pia wabongo wengi tunapenda kufikia hapo kidogo huwa ni rahisi.”


Naye mwanamitindo huyo alivunja ukimya baada ya kuona stori za mahusiano yao zinachukua sura mpya hasa hasa baada kuona picha zake zinasambaa mtandaoni akiwa chumba kinachofanana au alichowahi kukitumia zari na Diamond wakiwa Afrika Kusini.

“Hiyo sio kweli,” alisema Hamisa kwenye mahojiano na gazeti la The Citizen baada ya kuulizwa kuhusu tetesi hizo.

“Pia sijawahi kuwa karibu na Diamond na siku ya kwanza tumekutana ilikuwa ni siku anazindua video ya Number 1 pale Serena,” aliongeza. “Tena wakati hiyo habari imeanza kusambaa nilikuwa nje ya nchi.” alisema Mobetto.
 

Novemba 6 mwaka 2016 zilifanyika tuzo za All Africa Music Awards, AFRIMA, Lagos Nigeria. Usiku wa tuzo hizo uliwakutanisha mastaa mbalimbali wa muziki wa mataifa akiwemo Diamond ambaye ali-perform usiku huo.


Katika usiku huo wa tuzo Diamond Platnumz aliibuka na ushindi wa nguvu wa tuzo tatu, Song of The Year – Utanipenda, Best Artist/Duo/Song Of The Year Utanipenda na Best Male Artist in Eastern Africa.

Tetesi zinadai muimbaji huyo alisafiri nchini humo na mwanamitindo, Hamisa Mobetto hivyo basi baada ya ushindi huo bila shaka muimbaji huyo alipokea mabusu moto moto kutoka kwa mwanamitindo huyo mwenye umbo na muonekano wa kuvutia.

“Wakati tunarudi Lagos tulikuwa na Hamisa Mobetto, Diamond alikuwa VIP na sisi tulikaa business class,” alisema mmoja kati ya watu wa crew yake akiweka sharti la kutokutajwa jina lake.


Hata hivyo mwanamitindo huyo hakuwa anapost chochote kuhusiana na tukio hilo huku wadau wa mambo wakidai huo ulikuwa ni mpango maalumu wa kulifanya jambo hilo kuwa siri.

Diamond atua Full Moon Party, Mayotte na Zimbabwe

Muimbaji huyo baada ya kurejea nchini Tanzania siku sita baadaye, Novemba 12 aliibukia kwenye show ya Full Moon Party iliyofanyika Kendwa Rocks, Zanzibar. Show hiyo ilikuwa ya aina yake kutokana na kuwakusanya watu kutoka mataifa tofauti tofauti. Hata hivyo haikujulikana kama pia show hiyo alisafiri na mwanamitindo huyo.


Novemba 24 Diamond alitua Mayotte nchini Ufaransa, ambapo alipokelewa kwa shangwe na watanzania ambao walijitokeza kwa wingi katika uwanja wa ndege wa mji huo. Muimbaji huyo alifanya show mbili ambapo moja ilikuwa ya kawaida na nyingine ilikuwa ya VIP.


Baada ya show hizo muimbaji huyo alielekea nchini Zimbabwe ambapo alifanya shows zaidi ya tatu na Disemba 5 2016 alisafiri na mama yake kwenda nchini Afrika Kusini sehemu ambayo Zari alikuwa anajifungua mtoto wake wa pili.

Tetesi za mimba ya Mobetto zaanza kuzagaa kwa kasi.

Ingawa kulikuwa na usiri mkubwa lakini mambo yalianza kubadilika kwa Mobetto, Juni 21 2017 tetesi za mwanamitindo huyo kuwa ana mimba ya Diamond zilizagaa kwa kasi.

Hata hivyo Diamond akihojiwa na kipindi cha Leo Tena Cha Clouds FM alikanusha kumpachika mimba mrembo huyo.

“Toka nimeshoot video na Hamisa Mobeto wimbo wa Salome, watu wamekua wakituhusisha pamoja, ujauzito wa Hamisa sio wangu. Jamani mwenye mimba si ajitokeze, si unajua hata mtu wake atakuwa anajisikia vibaya,” alisema rais huyo wa WCB.

Zari anajifunga Nilan, Diamond na Mobetto wanamtafuta Dylan

Zari the Boss Lady alijifungua Dylan Disemba 6 mwaka 2016, naye Hamisa Mobetto amejifungua 8/8/2017 kwa maana hiyo kama mwanamitindo huyo alijifungua baada ya kutimiza miezi 9, basi Diamond na Mobetto walikutana na kuvunja amri ya sita mwezi Octoba ama Novemba wakati Zari ana siku chache za kwenda kujifungua.


Novemba 6 mwaka 2016 zilifanyika tuzo za All Africa Music Awards, AFRIMA, Lagos Nigeria ambapo muimbaji huyo alidaiwa kusafiri na Mobetto na kutoka na mahesabu haya huwenda Diamond na Mobetto walivunja amri ya sita Nigeria na kufanikisha kupatikana kwa mtoto Dylan. Je ni kweli wawili hao walikutana Lagos hebu na wewe jaribu kuchanganua na utoe maoni yako kwani kipindi hicho chote Zari alikuwa akijitazamia kujifungua nchini Afrika Kusini hivyo isingekuwa vizuri kwake kuzunguka pamoja na Diamond katika show zake mbalimbali.
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live


Latest Images