Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104775 articles
Browse latest View live

Mademu Waliotembea na Usher Raymond Kutajirika Baada ya Kuambukizwa Gonjwa la Zinaa

$
0
0
Inasadikika mwanamuziki mashuhuri wa Marekani Usher Raymond keshawahi kuzuru Nchini kimyakimya kula Bata mbugani.

Sasa hivi jamaa ana kesi zinamuandama kwa kuwaambukiza mademu magonjwa ya zinaa mkanda wake jeshi (Herpes) na wanadai fidia Hadi 20m $.

Na lazima huko mbugani alipokuja kwenye vekeshen alitandaza miti tuu. Yeye kwake Kinga atumii. Kwa mantiki hiyo mademu kama mlitembea naye Na una maambukizi, haya tafuta mwanasheria nakuchangamkia Fursa faster


Huyu hapo juu kibonge anaitwa Quantasia Sharpton 21 kaibuka majuzi Na mwanasheria wake huyo mwanamama mzungu akimtuhumu Usher alimuambukiza mkanda was jeshi ( Herpes) akiwa miaka 18.​


Huyu hapa naye Laura Helm tena alikuwa besti wa mke wa Usher naye anataka 20$million kwa kuambukizwa.​

Cha ajabu mke wa Usher Hana maambukizi yeyote.

Wazungu wanavyochukia mafanikio ya mablacks hi ishu wameishupalia kichizi kwenye media.

Fursa hiyo kwa mademu zetu kama usher alikugegeda.

Ifahamu Afya yako kupitia Rangi ya Mkojo wako

$
0
0
1. Mweupe kabisa (Usio na Rangi):

Unakunywa maji mengi.

2. Manjano iliyochanganyika na Kijani kidogo:

Ni kawaida, una afya na Mwili wako una maji ya kutosha.

3. Manjano iliyo pauka:

Upo kawaida tu. Endelea kunywa maji ya kutosha

4. Njano iliyo kolea:

Upo kawaida lakini unashauriwa kunywa maji ya kutosha.

5. Njano inayokaribia kufanana na Kahawia au Rangi kama ya Asali:

Mwili wako hauna maji ya kutosha. Kunywa maji kwa wingi sasa.

6. Rangi ya Kahawia:

Huwenda una Matatizo kwenye Ini lako au Upungufu mkubwa wa Maji mwilini. Kunywa maji ya kutosha na umwone daktari kamali hii ikiendelea.

7. Rangi ya Pinki inayokaribia kuwa kama Nyekundu:

Kama hujala matunda yoyote nyenye asili ya uwekundu, basi huwenda una Damu kwenye kibofu chako cha mkojo. Inaweza ikawa sio ishara mbaya. Lakini inaweza ikawa ishara ya ugojwa wa Figo, uvimbe, matatizo kwenye njia ya mkojo, au matatizo kwenye kibofu. Muone daktari haraka iwezekanavyo.

Pendeza na Kessy Products: Badili Muonekano Wako na Kuweka Mwili Wako Sawa Bila Madhara yoyote

$
0
0
PENDEZA NA KESSY PRODUCT: BADILI MUONEKANO WAKO NA KUWEKA MWILI WAKO SAW KWA PRODUCT ZA ASILI ZISIZO NA MADHARA YEYOTE WALA KEMIKALI, MATOKEO NI KWAARAKA


1) KUTOA MVI SUGU PIA ZA KUZALIWA NAZO _80,000/
2) KUREFUSH NYWELE  KUZIJAZA NA KUZUIAKUKATIKA 90,000/
3) TENGENEZA SHEPU YAKO KUWA NA UMBO ZURI (HIPS & BATKS)KUNADAWA AINA TATU (@)KUPAK (B) KUNYWA (C)VIDONGE_130,000/
  4)ONDOA NYAMA UZEMBE MIKONONI, KIUNONI KUPAK _90,000/
5)TOA  KITAMBI KABISA(@) KUPAK 10O,000/ (B)VIDONGE/SLIMING MAJAN 130,000/
6) PUNGUZA MWILI MZIMA KUANZIA KILO UNAZOITAJI WEWE
@) DAW YA MAJIN NA VIDONGE_130,000/
7)PUNGUZA MAZIWA NA YASIMAME KAMA MWANZO _80,000/
8) PIA UNA KUONGEZA MAZIWA SAIZI UNAYOHITAJI WEWE_80,000/
9)ONGEZA UNENE WA MWILI MZIMA_100,000/
10) ONDOA MICHIRIZI ILIYO SHINDIKANA_90,000/
11) TOA MAKOVU, CHUNUSI, WEUSI KWENY MAPAJA KIKWAPAN_90,000/
13) KUWA MWEUPE WAKUPENDEZA(@) VIDOGO(WHITE SOLUTION)_130,000/(B)MAFUTA YAKUPAK 100,000/
14)TOA NDEVU VINYWELEO MILINI _90,000/
15/ ONGEZA NGUVU ZA KIUME (@)JELI_80,000/(B)VIDONGE MAX MAN_ 100,000/
16) ENGEZA MAUMBIL YA KIUME
@) (HANDSOME UP) MASHINE _200,000/
@) JELI NA VIDONG VYA SHARK_120,000/
17) RUDISHA HAMU YA TENDO NA KUCHELEWA KUFIKA KILELE_90,000/
18) RUDISH(BIKRA) 100,000/
19)ONDOA MAFUTA USONI _90,000/
20) ONDOA MIKUNJO USON_70,000/
(21) ENGEZA  MGUU_80,000/

 TUNAPATIKAN DAR W SALAAM: NAKWA MIKOAN KOTE UTAPATA PIGA CM

(+255) 0719955528
0756259180
0785371237

@dr_kessy_product
Delivery  POPOTE ULIPO

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Mbuge wa Mikumi Joseph Haule (Proffesor Jay) Avunjiwa Nyumba yake

$
0
0

Profesa Jay Ameandika:

Mimi ni mmoja wa wahanga wa hili zoezi la kubomolewa nyumba zetu huku Mbezi Kimara Tarehe 29/9/ 2017.

Jana nikiwa katika majukumu jimboni Mikumi Majira ya saa kumi mbili hivi jioni, nilitaarifiwa kwamba, watu wa Tanroads wakiwa wameambatana na grader mbili na magari mawili ya polisi (defenders) yenye askari waliokuwa na silaha mbalimbali za moto walikuwa wanabomoa nyumba yangu.(sijawahi kuumia kiasi hiki ).

Nimesikitishwa sana jinsi Tanroads wanavyoweza kujichukulia maamuzi bila ya kujali mhimili muhimu wa Mahakama wametoa maagizo gani. Na taratibu zilizotumiwa kubomoa nyumba yangu bila ya mimi na Tanesco kupewa taarifa saa kumi na mbili jioni (haukuwa muda wa kazi). Poa kubomoa nyumba huku Umeme ukiwa unawaka ni kitendo ambacho kwanza kina hatarisha maisha ya wabomoaji wenyewe, maisha ya familia yangu pamoja na majirani zangu, LIMENISIKITISHA zaidi.

Nasema hivi kwasababu Tanesco wamenipigia simu baada ya masaa 24 au zaidi baada ya zoezi la kubomoa nyumba kufanyika kunitaarifu kuja kukata Umeme kabla ya ubomoaji huo, pindi nilipo waambia kwamba mbona nyumba IMESHABOMOLEWA kabisa na sijaweza kuokoa kitu chochote na hata hiyo meter yenu mnayoiulizia mkaitafute kwenye kile kifusi cha nyumba yangu kilichokusanywa kwa pamoja na watu wa Tanroads. Tanesco walishangazwa sana kuvunjwa nyumba yangu kwa taratibu hizo.

Lakini naamini kila kitu kinatokea kwa sababu maalum. Nimejifunza kumtegemea Na kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Na hili ni moja ya mitihani ya hapa duniani. Nimepokea na kumsikiliza Mungu ana mipango gani juu yetu katika familia yangu mbeleni. Tumelipokea na Naamini tutashinda .

Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kutafuta Mtoto Katika Ndoa

$
0
0
Kulitunza penzi na kulea watoto ni mambo mawili ambayo hukinzana kiasi katika ndoa.

Watu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali kuwa ni wakati gani naofaa kuanza kufikiria kuwa na mtoto baada ya kufunga ndoa. Wapo ambao muda mchache baada ya kufunga ndoa mwanamke huanza kuonekana akiwa na dalili za ujauzito. Wapo wengine ambao hukaa muda mrefu baada ya ndoa kabla ya kupata mtoto.

Jambo la msingi hapa siyo muda utakaopata mtoto/ watoto baada ya ndoa, ila kinachopaswa kuangaliwa hapa ni utayari wenu.

Kabla wewe na mwenza wako hamjapanga ni muda gani sahihi wa ninyi wawili kupata mtoto, inabidi mfahamu mambo yafuatayo;

Inawezekana ukawa ndio mwisho wa penzi lenu

Ndio, Unaweza ukawa unashangaa ni kwa namna gani kupata mtoto kunasababisha penzi kufikia mwisho. Ukweli ni kwamba wapenzi/ wanandoa wengi mara baada ya kupata mtoto ule ukaribu wa kimahaba baina yao huanza kupungua. hii siyo lazima kutokea na wala haiwatokei wote, lakini mara nyingi, hasa wanawake huahamishia mahaba yao zaidi kwa mtoto.

Ni kweli kulea mtoto siyo jambo la masihara, inahitaji uvumilivu na upendo. Lakini kupata mtoto isiwe chanzo cha kuharibu ukaribu baina ya wenza.

Malezi ya watoto hutoka pande zote mbili

Kabla ya kupata mtoto, wewe na mwenza wako hakikisha kuwa mnafanya maandalizi ya kutosha na mnakubaliana namna sahihi ya kumlea mtoto wenu. Jadilianeni namna sahihi ya kumkuza, namna ya kumkanya pale atakapokosea, mbinu za kutumia ili awe na tabia njema na mengine mengi hata kabla ya kuzaliwa kwa mtoto, ili iwape urahisi katika malezi.

Watoto hawataondoa matatizo katika ndoa yenu

Wanandoa wengi hudhani kuwa kupata watoto kutasuluhisha tofauti zilizopo baina yao ama kuwaweka karibu tena. Siyo kweli kwamba unapomzalia mumeo mtoto basi atazidisha upendo kwako. Japo kwa kiasi fulani mtoto katika familia huwaunganisha wazazi, lakini itafikia kipindi kama hamjasuluhisha tofauti zenu basi jua kwamba lazima kutoelewana kutarudi pale pale.

Hivyo hakikisha kuwa mnasuluhisha ugomvi na tofauti zenu mara baada tu ya zenyewe kuibuka. usipende kukaa muda mrefu ukiwa umetofautiana na mwenzi wako, kwani kwa kufanya hivi unakaribisha mawazo potofu na hatari katika mahusiano yako na mwenza wako.

Kampuni iliyoipa Ushindi Clouds FM na TV Yapigwa Marufuku na Serikali

$
0
0

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amepiga marufuku matumizi ya takwimu zinazotolewa na kampuni ya GeoPoll zinazohusu Kiwango cha wananchi kusikiliza na kutazama vituo vya Redio na Televisheni hapa nchini kwa kuwa takwimu hizo zina mapungufu makubwa.

Waziri Mwakyembe alitoa agizo hilo jana jijini Dar es Salaam baada ya kukutana na makampuni ya ukusanyaji na usambazi wa takwimu kwa upande mmoja na watumiaji wa takwimu ambao ni vituo vya Redio na Televisheni kwa upande mwingine.

Katika kikao hicho cha pamoja, makampuni ya IPSOS Tanzania, Push Observer na GeoPoll walifafanya mawasilisho ya namna wanavyokusanya takwimu wakati Ofisi ya Taifa ya Takwimu yenyewe ilifanya wasilisho la kuonesha njia bora na sahihi za ukusanyaji na usambazaji takwimu. Hata hivyo kamapuni ya Geopoll haikuhudhuria kikao hicho.

“Nimeamua kuzuia utumiaji na usambazaji wa takwimu za kampuni ya GeoPoll hapa nchini baada ya kugundua tafiti za hii kampuni zina mapungufu makubwa na kusababisha malalamiko mengi kutoka kwa wadau na wamiliki wa vituo mbalimbali vya radio na televisheni,” alieleza Waziri.

Kutokana na kupigwa marufuku matumizi ya takwimu za GeoPoll nchini, Waziri pia ameyataka makampuni yanayofanya uwakala wa kusambaza matangazo katika vituo vya Televisioni na Redio kusitisha kutumia takwimu za kampuni hiyo kama kigezo cha kutoa matangazo kwa vituo vya Televisheni na Redio.

Aidha Dkt. Mwakyembe alifafanua kuwa kama nchi haiwezi kwenda kwa utaratibu huu, kwani dunia ya leo ni ya biashara na ushindani ni mkubwa ambao unaendana na kujiuza na kujitangaza kwa chombo husika, hivyo alihoji “utajiuzaje kwenye soko kama watu wanaotakiwa kubeba matangazo yako wanatoa taarifa zinazosema kuwa wewe ni mdogo wakati ni mkubwa?.”

Dkt. Mwakyembe ameunda kamati ya watu watatu inayohusisha Idara ya Habari (MAELEZO), Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) pamoja na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ambayo itafanyia kazi maoni yaliyotolewa na wadau katika kikao hicho na mwishoni mwa mwezi wa kumi iwasilishe mapendekezo ya namna bora ya ukusanyaji na usambazaji takwimu kwa mujibu wa sharia na taratibu.

Mmoja wa wachangiaji katika kikao Bi. Basilisa Biseko kutoka  vituo vya Radio na Televisheni alishauri Serikali iweke viwango vya namna ya kufanya utafiti wa takwimu ambavyo vitatumika na makampuni yote ya takwimu, lengo likiwa ni kuondoa udanganyifu na kutofautiana katika taarifa mbalimbali za idadi ya wasilikilizaji wa radio na watazamaji wa runinga.

Mweji Julai mwaka huu Ofisi ya Taifa ya Takwimu iliizuia kampuni ya Geopoll yenye makao yake makuu nchini Kenya kufanya tafiti za usikilizaji na utazamaji wa Redio na Televisheni kwa sababu utafiti zao kushindwa kukidhi vigezo na masharti ya ufanyaji tafiti hapa nchini.

Mwimbaji wa Hip Hop Ngumu Nikki Mbishi Amwagia Sifa Ruge wa Clouds FM

$
0
0

Rapper Nikki Mbishi ameandika haya hapa chini kuhusu Ruge wa Clouds FM:

"You can hate,you can even show your deep aversion but also you can love,adore and show deep passion, I have ever hated and I have ever loved. 

Let's get down with the business,that man on the picture is simply genius in his ways,get what I'm saying "IN HIS WAYS " The rest is YOU."Nikki Mbishi

Kutana na Mtabibu wa Asili Allan Shariffu Musa Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

$
0
0
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH shariffu musa Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na shariffu musa Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.

Maalim Hussein Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi

+255 629793352 au watsap
+255 679119679

NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE.

CHADEMA Yakaribishwa Kufanya Mikutano yao Ikulu Kama ilivyofanya CCM

$
0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na vyama vingine vyote vya upinzani nchini vimekaribishwa Ikulu kwenda kufanya mikutano yao kama vinataka.

Hayo yamesemwa leo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole alipokuwa akijibu swali lwa mwandishi wa habari aliyetaka kujua kwanini CCM wanafanyia vikao vya chama Ikulu.

Mwandishi huyo wa habari alishangazwa na kitendo cha Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (CHADEMA) kuhojiwa kwa kosa la kufanyika kikao cha chama katika ofisi za Manispaa, lakini viongozi wa CCM wakaachwa  licha ya kuwa wamefanyika vikao vyao Ikulu ambayo si ofisi ya chama bali ni ya umma.

Akijibu swali hilo Polepole alisema kuwa, kwanza Meya sio mmiliki wa mali za manispaa na kwamba yeye katika manispaa anayo ofisi kama watumishi wengine na kwamba anatakiwa kwenda hapo kwa siku chache tu kama inavyoelezwa na sheria.

“Meya si mwenye manispaa, Meya si mmiliki wa mali za manispaa. Meya ana ofisi tu kwenye manispaa ambayo anatakiwa akae mle kwa siku kadhaa, sio muda wote, hivyo ni makosa kwa Meya kutumia mali za manispaa kwa matumizi yake binafsi,” alisema Polepole.

Polepole aliendelea kusema kuwa, Meya anatakiwa kutumia gari la ofisi kwa siku zilizoelezwa kisheria lakini pia kwa kazi ambazo zimeanishwa bayana, hivyo kuitisha vikao binafsi katika ofisi za manispaa za serikali ambayo iko chini ya dhamana ya Mkurugenzi ni kosa.

Polepole alisema kwamba Meya hawezi kutumia ukumbi wa Manispaa kwa sababu mwenye dhamana ya ukumbi huo ni Mkurugenzi wa Manispaa husika.

Akieleza kwanini ni halali kwa Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama kufanyia vikao vya chama Ikulu, Polepole alisema, tulimachagua mtu mmoja tu Tanzania nzima na kumpa dhamana ya kuwa Rais Mtendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

“Tumempa ofisi yake, Ikulu, tukampa nyumba Ikulu, wageni wake asiwaalike Ikulu,! wakazungumze!” alihoji Polepole.

Ikulu ndipo mahala Rais anapoishi, ndipo pahala usalama wake unakuwa imara zaidi.

Aidha, Polepole amesema kuwa Rais ambaye Ikulu ndipo makazi yake yalipo, hajasema vyama vingine haviwezi kwenye kufanyia vikao vya kule, na badala yake vinakaribishwa na viombe kwa kufuata taratibu ili vipatiwe kumbi za kufanya hivyo.

“Rais ambaye ndiye ana dhamana ya Ikulu hajasema vyama vingine visiombe kufanya mikutano Ikulu. Hivyo kama kuna vyama vimeguswa vinataka kufanyia mikutano yao Ikulu, nashauri vifuate taratibu za kuomba kutumia ukumbi wa ikulu kufanya mikutano yao,” alifafanua Polepole.

CCM yafuta Uchaguzi Wilaya nne

$
0
0
Mkutano Mkuu wa Halmashauri  Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (NEC), umefuta uchaguzi wa wenyeviti katika wilaya nne baada ya kubaini wagombea waliojitokeza hawakua na sifa.

Akitangaza uamuzi huo leo , Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, amezitaja wilaya hizo zilizofutiwa uchaguzi kwamba ni Moshi Mjini,  Siha, Hai,  pamoja na Makete.

Amesema sababu ya kufuta matokeo hayo ni kubainika kwamba  wagombea waliojitokea hawakuwa na  sifa, pamoja na kubainika kuwepo na viashiria hatarishi kwa chama.

Hivyo kutokana na uamuzi huo  Polepole amesema kwamba  wilaya hizo zitaanza upya mchakato wa uchaguzi huo.

Warembo Bongo Waliokuwa Wanene na Shepu za Haja Ambazo Sasa Imebaki Stori

$
0
0
KUNA mastaa ambao walijikuta wakiwaacha wengi midomo wazi kutokana na kuwa na miili iliyoshiba lakini ghafla wakaonekana katika muonekano tofauti wakiwa ‘wamepukutika’ na kuzua viulizo, huku wengi wao wakitoa visingizio mbalimbali.

GIGY MONEY
Mwanadada huyu anayejulikana kwa jina halisi la Gift Stanford alitikisa mno kwa muonekano wake, jinsi alivyokuwa amenona na kujazia kwenye msambwanda, lakini kitu kilichowaacha wengi hoi ni baada ya kupukutika ghafla, huku sababu mbalimbali zikitajwa,
ikiwemo kuharibika kwa mimba kadhaa na `stress’ za mapenzi na hadi sasa mwili wake haujarudi.


AUNTY LULU
Ni moja ya wadada ambao walikuwa gumzo kila kona, huku mara kadhaa akijitapa kuwa wowowo lake ndo kila kitu maishani mwake, lakini siku chache zilizopita mwanadada huyo aliibua
taharuki baada ya kuonekana akiwa modo na kalio limeiisha, huku akidai ni kutokana na kufanya mazoezi, hivyo mpaka sasa hajarudi kwenye ubora wake.

AMANDA
Msanii huyo alikuwa balaa kwenye suala zima la mvuto, mwili na shepu yake alikuwa amefungasha vilivyo, lakini jambo lililoibua taharuki ni baada ya kupungua huku watu wakimzushia mambo mbalimbali ikiwemo maradhi ya kisasa, jambo alilolipinga
vikali, ila hadi wakati huu ameshindwa kurejea kama zamani.

BABY MADAHA
Bishosti huyu ambaye naye alikuwa kibonge mwepesi lakini ghafla akapukutika, huku mwenyewe akidai ameamua kuwa modo sababu anaupenda mwili huo kuliko akiwa bonge na hadi sasa amebaki katika hali hiyo ya umodo. RAY C Anaitwa Rehema Chalamila ni moja ya wasanii wenye sauti mwanana ya kumtoa nyoka pangoni, bibie huyo kipindi kifupi cha nyuma alikuwa kibonge na kuonyesha kutopendezwa na muonekano huo akawa anajitahidi kufanya mazoezi mara kwa mara ili apungue na akafanikiwa, hadi sasa amebaki kwenye hali hiyo ya wembamba.

AMBER LULU
Jina lake halisi ni Lulu Euggen `Amber Lulu’ kwa wanaomfahamu vyema mwanadada huyu machachari, watakubaliana na mimi kwamba siyo Amber yule, alikuwa ana mwili
wa haja na kajazia kinoma kwenye msambwanda, saizi imebaki stori tu.
Na MAYASA MARIWATA

Nassari, Lema Waanika Ushahidi wa Rushwa Dhidi ya Madiwani Waliohamia CCM

$
0
0
Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari ameweka hadharani ushahidi wa rushwa na waliopewa madiwani ambao wamejiuzulu Chadema kwa madai ya kumuunga mkono Rais Magufuli.

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Nassari ambaye ameambatana na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema walitoa ushahidi huo na kueleza wataukabidhi Takukuru na katika taasisi nyingine.

Katika ushahidi wa video  uliorekodiwa viongozi kadhaa wakiwema Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Alexander Mnyeti pamoja Mkurugenzi Mtendaji wa (H) Meru Christopher Kazeri wamesikika wakiwashawishi madiwani kuhama na baadhi waliahidiwa wangelipwa posho za vikao vyao vilivyobaki hadi 2020 na kukamilishwa miradi yao.

Miongoni mwa makubaliano hayo ni kuwa wapewe fedha na kupata ajira na kukamilishwa miradi yote ya maendeleo waliyoahidi ikiwa ni pamoja na wengine kubadilishiwa makazi pamoja na diwani mmoja kusaidiwa gharama za kufanikisha harusi.

Hata hivyo Mbunge Nassari pamoja na Godbless Lema wameahidi kesho watadfika katika ofisi za TAKUKURU Dar es salaam kwa ajili ya kuukabidhi ushahidi huo wa rushwa kwa Mkurugenzi  Valentino Mlowola

Pamoja na hayo wakati Nassari akiutoa ushahidi huo hadharani leo tayari madiwani 10 wa Chama chake wameshapokelewa ndani ya CCM huku wengie wakiwa wamepinga vikali kuhama chama hicho kwa sababu ya rushwa.

Aidha Nassari amesema ameamua kutoa ushahidi huo sasa kwa sababu alikuwa akiendelea kukusanya ushahidi wa kutosha.

Je Dada Unapenda Kuwa Mrembo? na Kaka Unapenda Kuwa Mtanashati na Kurudisha Heshima ya Ndoa

$
0
0
JE, DADA UNAPENDA KUWA MREMBO? NA KAKA UNAPENDA KUWA MTANASHATI NA KURUDISHA HESHIMA YA NDOA? Tumia Bidhaa halisi za MARKSON kwa mafanikio ya uhakika na bila madhara. Zimetengenezwa kwa mimea na matunda na kuthibitishwa kiafya.

Pata hizi 

1. kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @130000@130,000/=
2. Kuongeza shepu (hips, makalio na mapaja) kwa (a)BOTCHO MULT-PLUS 10× @200000@200,000/=
(b)Vidonge @180000@180,000/=
3. Kuwa mweupe na softi mwili mzima kwa:- (1)Mafuta @130000@130,000/=
(11)Vidonge @150000@150,000/=
4. Kupunguza unene na manyama uzembe @150000@150,000/=
5. Kuongeza uume pamoja na nguvu za kiume kwa:-
(a) Gely ya kupaka @150000@150,000/= (b) Vidonge kwa ajili ya kuongeza nguvu hata kwa wenye kisukari @150000@150,000/= (c)Handsome up original >kifaa kinachoongeza maumbile kwa size uipendayo na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @250000@250,000/=
6. Kuondoa mvi milele zisiludi tena @150000@150,000/=
7. Kuongeza unene wa mwili mzima na uzito pamoja na hamu ya kula @130000@130,000/=
8. Kupunguza tumbo (kitambi) na nyama za pembeni kwa:- (a) Dawa ya kunywa au kupaka @130000@130,,000/= (b) Mkanda wa kawaida @100000@100,000/= (c) micro-computer belt unaovaibret @250000@250,000/=
9 .Kupunguza maziwa na kuyasimamisha @130000@130,000/=
10. Kushepu miguu na kuwa minene na kuondoa kigimbi @130000@130,000/=
11. Kuondoa mipasuko mwilini (michirizi) @100000@100,000/=
12. kubana uke na kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke @120000@120,000/= NB: Hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.

Wasiliana nasi :-

(+255) 0767447444 na 0714335378

Follow us on instagram @Markson_beauty_pr

Mwanaume Usione Aibu Kutongoza, ni Sehemu ya Kutimiza Wajibu Wako

$
0
0
Kuna hii tabia ya vijana wa kiume kuogopa kutongoza hasa kwa kuhofia kua watakataliwa. Kwanza ni kosa kuhofu au kua na mawazo ya kukataliwa au kushindwa katika maisha.

Jambo la pili na kubwa zaidi ni kwamba kutongoza ni sehemu ya kutimiza majukumu yako kama mwanaume. Huna haja ya kuhofu kutimiza majukumu yako hata kama utakosea.

Ukizaliwa tu mwanaume, kutongoza ni sehemu ya majukumu yako makuu kwenye Job Discription(JD) yako.

Tongoza kila mwanamke unaedhani au kuona unaweza kutongoza, tongoza kadri uwezavyo au upendavyo, usihofu kukataliwa, hofu kutokutongoza ila sio kukataliwa. Jisikie mwenye hatia kutokutimiza wajibu wako kuliko kujisikia hofu ya kukataliwa katika kutimiza wajibu wako.

Jifunze hata kwa ndege na wanyama, jogoo hutongoza kila tetea anaemuona bila kujali atafanikiwa au la, akifanikiwa hewala, akikosa alikua anafanya mazoezi ya kukimbia na kuweka mwili sawa.

Lakini pia usiogope kutongoza mwanamke mzuri kwa kuhofu kua lazima atakua na mume/mpenzi, wewe tongoza, sio kila mwanamke mzuri basi ana mume, wengi hua ni vacancy, ukijaribu unaweza kufill hiyo nafasi. Tongoza mahala popote u apojisikia au kuona kuna mtu unaweza kumtongoza na muda wowote.

Ni ushauri tu na kukumbushana.

CHADEMA yataka Bei ya Ukumbi Ikulu ili Wengine Nao Wakiwa na vikao vyao Wasisite Kwenda

$
0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka Serikali kuweka wazi utaratibu unaosemwa kwamba ulifuatwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kufanya mkutano wao wa Chama Ikulu jijini Dar es salaam, ili kila mmoja ajue iwapo atahitaji kwenda kufanya mkutano hapo.

Akizungumza na mwandishi wa habari wa East Africa Television, Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje, wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bwana John Mrema, amesema kama ukumbi huo wa Ikulu unaruhusiwa kifanyika mkutano na mtu yeyote, basi waweke wazi utaratibu wa bei ili wengine nao wakiwa na vikao vyao wasisite kwenda ili kuongeza pato la Taifa.

Chanzo: East Africa Television

Ruge wa Clouds Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Aliyekuwa Mpenzi wake Zamaradi Kuolewa

$
0
0
Kumekuwa na maneno mengi kwenye mitandao kuhusiana na ndoa ya Zamaradi Mketema, mama wa watoto wangu Russell (Juhjuh) na Shubi. Taarifa ya ndoa nilikuwa nayo na namtakia kila LA heri kwenye safari yake mpya. Pamoja na kuheshimu Uhuru wa vyombo vya
habari natoa ufafanuzi huu ili kulinda maslahi ya watoto wetu ambao wanachohitaji ni amani na furaha ya wazazi wao.

#sinasocialmediaaccount
Ruge Mutahaba.

Witness Awabwatukia Wasichana Wanaojiona Wazuri Mjini Adai Wanatembeza Sehemu za Siri ila Kuolewa Ng'oo

$
0
0
Msanii ambaye ni Raper wa kike kwenye game ya bongofleva, Witness, amewajia juu watu ambao huwatoa kasoro wenzao mitandaoni hususan wanawake, huku akionesha kushangazwa na wao kutopata ndoa kwa uzuri walionao

Kwenye ukurasa wake wa instagram Witnes ameandika ujumbe akisema kuwa watu wanaofanya hivyo hawana hofu ya Mungu aliyeymba, lakini kinachoshangaza wao wanaojiona wazuri wanaishia kuchezewa na wanaume bila kuolewa, kwa sababu hakuna mwanaume anataka mwanamke mwenye hulka zao.

"Huwa wananikera sana watu wanaofata fata mambo ya wenzao na kuwasema kuwa ni wabaya na wana sura nzito cha ajabu ni kwamba yeye ana msema mwenzie ya kuwa mbaya na ana sura nzito kaolewa, nyie wakati mmebaki tu insta mnabung'aa na kutembeza sehemu za siri kwa wame za watu tu, kama wazuri sana si mngeolewa sasa? mbona mnapuyanga tu na kudanga danga? Kwa tabia za kujiona wazuri sana ndo maana wengi mnaishia kumegwa tu mnaachwa", ameandika Witness

Pia Witness ameendelea kwa kuwapa somo watu hao akiandika...

"Hakuna mwanaume anataka mwanamke machepele mfuatilia mambo ya watu mgonga hodi majumbani mwa watu kwako hutulii kutwa kushinda salon. Na wengine huwa mnanikera kama hamtozaa, je hao mnao wasema wanasura ngumu wangekua watoto wenu mngejisikiaje usikie mtu anawaambia hivyo? utapenda kweli? Hebu shikweni na aibu ya uzazi na mumuogope mwenyez Mungu! ameandika Witness kwenye ukurasa wake wa instagram.

Msanii Witness hivi karibuni amekuwa akipokea matusi kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuweka picha za nusu utupu, kitendo ambacho kimeonekana sio kizuri kwa jamii

VIDEO-Nassari Aweka Hadharani Jinsi Madiwani Walivyorubuniwa Arusha

$
0
0

 Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari ameweka hadharani ushahidi wa rushwa na waliopewa madiwani ambao wamejiuzulu Chadema.        

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumapili, Nassari ambaye ameambatana na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless  Lema walitoa  ushahidi huo na kueleza wataukabidhi Takukuru na katika taasisi nyingine.

Katika ushahidi huo viongozi kadhaa wamerekodiwa wakiwashawishi madiwani kuhama na baadhi waliahidiwa wangelipwa posho za vikao vyao vilivyobaki hadi 2020 na kukamilishwa  miradi  yao.

Miongoni mwa makubaliano hayo ni kuwa wapewe fedha na kupata ajira na kukamilishwa miradi yote ya maendeleo waliyoahidi.

Wakati Nassari akifanya hivyo tayari baadhi ya madiwani waliojiuzulu walisema kuwa hawakushawishiwa na mtu yeyote wala kupewa rushwa bali wamehama kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli.


Kutana na Mtabibu wa Asili Allan Shariffu Musa Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

$
0
0

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH shariffu musa Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na shariffu musa Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.

Maalim Hussein Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi

+255 629793352 au watsap
+255 679119679

NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE.

Haki za Kisheria za Boss Ruge wa Clouds ni zipi Baada Kurekodiwa Akilia Kwenye Simu

$
0
0
Wakuu kuna clip zimesambaa Jana za boss Ruge wa Clouds FM amerekodiwa na aliyekuwa mpz wake aliyezaa nae watoto 2 akimlilia huyo mwanamke asimuache, baada ya huyo mwanamke ambaye ni mtangazaji wa cloud fm anaeitwa Zamaradi Mketema kuamua kuolewa na anaesemekana ni mtoto au mtu wa karibu na mh waziri Mkuu Kassim majariwa,

Je anaweza kufungua shauri mahakamani akadai haki yake ya privacy kuingiliwa bila idhini yake, wataalamu wa sheria mtusaidie......
Viewing all 104775 articles
Browse latest View live




Latest Images