Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Ijumaaa


Naichukia Sana Tatuu Yangu Ningekuwa na Uwezo Isingekuwepo Kabisa- Wema

$
0
0
Naichukia Sana Tatuu Yangu Ningekuwa na Uwezo Isingekuwepo Kabisa- Wema
STAA mwenye nyota kali Bongo, Wema Sepetu, amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho anakichukia kwenye mwili wake kama tatuu yake ambayo iko shingoni.
Wema alisema alichora tatuu hiyo akiwa bado mdogo na alimwambia mchoraji achore kitu kirefu kishuke shingoni ndipo alipochora kitu kama mjusi.
“Natamani sana kuifuta tatuu yangu hii lakini nasikia vibaya na pia naambiwa kuwa inauma sana kuifuta lakini ningekuwa na uwezo isingekuwepo kabisa,” alisema Wema.

Chanzo Global Publishers

Madaktari watenganisha pacha walioshikana vichwa

$
0
0
Pacha walioshikana kichwani Jaga na Kalia

Madaktari wa upasuaiji katika mji mkuu wa India Delhi wamefanikiwa kuwatenganisha wavulana pacha waliokuwa wameshikana katika kichwa.

Wavulana hao wa miaka miwili Jaga na Kalia walifanyiwa upasuaji uliochukua takriban saa 16 na sasa wako katika chumba wagonjwa mahututi ICU, kulingana na madaktari.

Kundi la madaktari 30 walifanya upasuaji huo katika taasisi ya matibabu na sayansi ya All India.

Wavulana hao walizaliwa wakiwa na wanatumia mishipa ya damu ya pamoja mbali na tishu za ubongo, hali isio ya kawaida ambayo hutokea mara moja kati ya watoto milioni 3 wanaozaliwa.

Mkurugenzi wa hospitali hiyo Randeep Guleria aliambia vyombo vya habari vya India kwamba siku 18 zijazo zitakuwa muhimu ili kuthibitisha ufanisi wa uchaguzi huo.

Pacha hao wanaotoka katika kijiji cha mashariki cha jimbo la Orissa walikuwa wameshikana katika kichwa, hali inayoitwa 'craniopagus'.

Kutana na Mtabibu Wanyota za Binadamu Duniani Kote Maalim Fadhili Rashid Kutoka Comoro Kwa Sasa Yupo Tanzania

$
0
0
KUTANA NA MTABIBU WANYOTA ZABINADAMU    DUNIANI KOTE MAALIM FADHILI RASHIDI KUTOKA COMORO KWA SASA YUPO TANZANIA

MAALIM FADHILI RASHIDI ANAUWEZO WAKUBAINI JAMBOLAKO NAKULITATUA MAALIM FADHILI RASHIDI ANATIBU MARADHI YA FUATAYO KAMA VILE

KAMA MIGUU KUUMA NA KUWAKA MOTO PRESHA KISUKARI VIDONDA VYA TUMBO PUMU TEZI NA UVIMBE TUMBONI ANAUWEZO WA KURUDISHA MTU ALIEPOTEA KIMAZINGIRA (MSUKURE) KUMFANYA MKEMUME MPENZI ASIKUSALITI DAWA YA (LIMBWATA) KUMTAWALA MPENZI WAKO UNAVYOTAKA

KUMUONA MBAYAWAKO LIVE KWASABABU MAALUM ANA TOWA PETE YA BAHATI ITAKAYO KULETEA PESA BILA YA MASHARITI NAKUMILIKI MALI UNAZOTAKA

DAWA YA KUONGEZA UUME SAIZI UIPENDAYO DAWA YA NGUVUZAKIUME PIA ANAYO DAWA YA KUONGEZA HIPS SHEPU KUWA NA UMBO BOMBA KAMA UMEIBIWA AMA KUDHULUMIWA UTARUDISHIWA MALIYAKO NDANI YA MASAA (24) ANAFUNGA KESI NAKUPATA HAKIYAKO DAWA YA MVUTO WABIASHARA KUUZA MALIYAKO KWA HARAKA KUZUIA CHUMAULETE KWENYE BIASHARA KUSAFISHA NYOTA NAKUTOWA MIKOSI TIBAHII NI KWADINI ZOTE MAALIM FADHILI RASHIDI ANAJUWA UMEHANGAIKASANA LAKINI HUJAFANIKIWA MUONE HARAKA AKUSAIDIE UTAPATA HUDUMA POPOTE ULIPO NCHI YEYOTE DUNIANI UTAPATA HUDUMAYANGU ACHAKUTESEKA NA MATATIZO ULIONAYO MAALIM FADHILI RASHIDI YUPO TANZANIA KWA AJILIYAKO


CALLING +255719362806/+255763276239/

KWA WHATSAPP IMO +255785786436

Wakuu wa Mikoa, Makatibu Kuapishwa Leo Mchana

$
0
0
Wakuu wa Mikoa, Makatibu Kuapishwa Leo  Mchana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Oktoba, 2017 saa 8:00 mchana atawaapisha Makatibu Wakuu wapya, Naibu Makatibu Wakuu wapya na Wakuu wa Mikoa wapya baada ya jana tarehe 26 Oktoba, 2017 kufanya mabadiliko katika safu ya uongozi wa nyadhifa hizo.
Kufuatia mabadiliko hayo safu ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu itakuwa kama ifuatavyo;
Ofisi ya Rais Ikulu.
Katibu Mkuu – Bw. Alphayo Kidata

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Katibu Mkuu (Utumishi) – Dkt. Laurian Ndumbaro
Naibu Katibu Mkuu – Dorothy Mwaluko (ATAAPISHWA)

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Katibu Mkuu – Mhandisi Mussa Iyombe
Naibu Katibu Mkuu(Afya) – Dkt. Zainabu Chaula
Naibu Katibu Mkuu(Elimu) – Bw. Tixon Nzunda

Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.
Katibu Mkuu – Mhandisi Joseph Kizito Malongo (ATAAPISHWA)
Naibu Katibu Mkuu – Bi. Butamo Kasuka Phillipo (ATAAPISHWA)

Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.
Katibu Mkuu(Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) – Bw. Erick Shitindi
Katibu Mkuu(Bunge na Waziri Mkuu) – Maimuna Tarishi
Katibu Mkuu(Sera na Uratibu) – Prof. Faustine Kamuzora

Wizara ya Kilimo.
Katibu Mkuu – Mhandisi Methew Mtigumwe
Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Thomas Didimu Kashililah (ATAAPISHWA)

Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
Katibu Mkuu (Mifugo) – Dkt. Maria Mashingo
Katibu Mkuu (Uvuvi) – Dkt. Yohana Budeba

Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Katibu Mkuu (Ujenzi) – Mhandisi Joseph Nyamuhanga
Katibu Mkuu (Uchukuzi) – Dkt. Leonard Chamriho
Katibu Mkuu (Mawasiliano) – Dkt. Maria Sassabo
Naibu Katibu Mkuu (Mawasiliano) – Mhandisi Anjelina Madete

Wizara ya Fedha na Mipango.
Katibu Mkuu – Doto James Mgosha
Naibu Katibu Mkuu (Utawala) – Bi. Susana Mkapa (ATAAPISHWA)
Naibu Katibu Mkuu (Fedha za Nje) – Bi. Amina Shaaban
Naibu Katibu Mkuu (Sera) – Dkt. Khatibu Kazungu

Wizara ya Nishati.
Katibu Mkuu – Dkt. Hamis Mwinyimvua

Wizara ya Madini.
Katibu Mkuu – Prof. Simon S. Msanjila (ATAAPISHWA)

Wizara ya Katiba na Sheria.
Katibu Mkuu – Prof. Sifuni Mchome
Naibu Katibu Mkuu – Amon Mpanju

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Katibu Mkuu – Prof. Adolf F. Mkenda
Naibu Katibu Mkuu – Balozi Ramadhani Muombwa Mwinyi

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Katibu Mkuu           – Dkt. Florence Turuka
Naibu Katibu Mkuu – Bi. Immaculate Peter Ngwale

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu Mkuu           – Meja Jen. Projest Rwegasira
Naibu Katibu Mkuu – Balozi Hassan Simba Yahaya

Wizara ya Maliasili na Utalii.
Katibu Mkuu – Meja Jen. Gaudence Milanzi
Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Aloyce K. Nzuki

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Katibu Mkuu – Dorothy Mwanyika (ATAAPISHWA)
Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Moses M. Kusiluka

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Katibu Mkuu – Prof. Elisante Ole Gabriel
Naibu Katibu Mkuu (Viwanda) – Ludovick J. Nduhiye (ATAAPISHWA)
Naibu Katibu Mkuu (Biashara na Uwekezaji) – Prof. Joseph Buchwaishaija (ATAAPISHWA)

Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi.
Katibu Mkuu – Dkt. Leonard Akwilapo
Naibu Katibu Mkuu – Prof. James Epiphan Mdoe
Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Ave-Maria Semakafu

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Katibu Mkuu (Afya) – Dkt. Mpoki Ulisubisya
Katibu Mkuu (Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto) – Bi. Sihaba Nkinga.

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Katibu Mkuu – Bi. Suzan Paul Mlawi (ATAAPISHWA)
Naibu Katibu Mkuu – Nicholaus B. William (ATAAPISHWA)

Wizara ya Maji na Umwagiliaji.
Katibu Mkuu – Prof. Kitila Mkumbo
Naibu Katibu Mkuu – Mhandisi Emmanuel Kalobelo

Mhe. Rais Magufuli atawaapisha Wakuu wa Mkoa 6 aliwateua jana kama ifuatavyo;
Mhe. Rais Magufuli atamuapisha Bw. Alexander Pastory Mnyeti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara. Kabla ya uteuzi huu Bw. Mnyeti alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru na anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Joel Bendera ambaye amestaafu.
Mhe. Rais Magufuli atamuapisha Bw. Joackim Leonard Wangabo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa. Kabla ya uteuzi huu Bw. Wangabo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu na anachukua nafasi ya Kamishna wa Polisi Zelote Stephen ambaye amestaafu.
Mhe. Rais Magufuli atamuapisha Bw. Robert Gabriel Luhumbi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita. Kabla ya uteuzi huu Bw. Luhumbi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe na anachukua nafasi ya Meja Jen. Ezekiel Kyunga ambaye amestaafu.
Mhe. Rais Magufuli atamuapisha Bw. Adam Kigoma Malima kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Bw. Adam Kigoma Malima anachukua nafasi ya Dkt. Charles Mlingwa.
Mhe. Rais Magufuli atamuapisha Bi. Christine Solomon Mndeme kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Kabla ya uteuzi huu Bi. Mndeme alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini na anachukua nafasi ya Bw. Jordan Rugimbana.
Mhe. Rais Magufuli atamuapisha Bw. Gelasius Gasper Byakanwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara. Bw. Byakanwa alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai na anachukua nafasi ya Bi. Halima Dendego.
Tukio la kuapishwa kwa viongozi hawa litarushwa moja kwa moja (Live) kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam kupitia vyombo vya habari vya Redio na Televisheni pamoja na tovuti rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
27 Oktoba, 2017

Christina Shusho Atoa Neno Kuhusu Viongozi wa Nchi

$
0
0
Christina Shusho Atoa Neno Kuhusu Viongozi wa Nchi
Msanii wa muziki wa Injili Tanzania Christina Shusho, amewataka watanzania kuwaombea viongozi wetu wa kitaifa, kwani tuna kila sababu ya kujivunia watu hao kutokana na uongozi wao uliotukuka.

Christina Shusho ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na mwandishi wa East Africa Radio, na kusema kwamba Tanzania tuna bahati kupa viongozi wenye hekima ambao wanaliongpoza taifa kwa amani, tofauti na nchi zingine za jirani kwa Afrika Mashariki.
"Najivunia sana viongozi wetu, tena niwaambie tu watanzania tuwaombee sana, tuna bahati ya kupata viongozi wenye upendo, na pia tudumishe upendo wetu tuwe na subira kwenye mambo yetu tudumishe hii amani, Mungu ametupendelea sana nchi za wenzetu wanalia na amani yao", amesema Christina Shusho.
Kauli hiyo ya Shusho imefuatia baada ya kuporomoshewa matusi na wakenya, kutokana na mihemko waliyonayo kipindi hiki cha uchaguzi, na kusema kwamba Wakenya wanahitaji  maombi pia kwani wanapitia kipindi kigumu.

Hivi Ndivyo Pacha Walioshikana Katika Kichwa Walivyotenganishwa India

$
0
0
Hivi Ndivyo Pacha Walioshikana Katika Kichwa Walivyotenganishwa India
Madaktari wa upasuaiji katika mji mkuu wa India Delhi wamefanikiwa kuwatenganisha wavulana pacha waliokuwa wameshikana katika kichwa.
Wavulana hao wa miaka miwili Jaga na Kalia walifanyiwa upasuaji uliochukua takriban saa 16 na sasa wako katika chumba wagonjwa mahututi ICU, kulingana na madaktari.
Kundi la madaktari 30 walifanya upasuaji huo katika taasisi ya matibabu na sayansi ya All India.
Wavulana hao walizaliwa wakiwa na wanatumia mishipa ya damu ya pamoja mbali na tishu za ubongo, hali isio ya kawaida ambayo hutokea mara moja kati ya watoto milioni 3 wanaozaliwa.
Mkurugenzi wa hospitali hiyo Randeep Guleria aliambia vyombo vya habari vya India kwamba siku 18 zijazo zitakuwa muhimu ili kuthibitisha ufanisi wa uchaguzi huo.
Pacha hao wanaotoka katika kijiji cha mashariki cha jimbo la Orissa walikuwa wameshikana katika kichwa, hali inayoitwa 'craniopagus'.

Burundi Yajiondoa Rasmi Katika Mahakama ya ICC

$
0
0
Burundi Yajiondoa Rasmi Katika Mahakama ya ICC
Burundi limekuwa taifa la kwanza mwanachama wa mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa jinai kujiondoa katika mahakama hiyo

Serikali ya taifa hilo la Afrika ya kati liliuarifu Umoja wa Mataifa UN kuhusu hatua hiyo mwaka mmmoja uliopita , na hii leo kujitoa kwao kunaanza kuidhinishwa rasmi.

Kulingana na mwandishi wa BBC Anna Holligan kujiondoa kwa Burundi ni majuto makubwa.
Mahakama ya ICC imeanza kutathmini iwapo inaweza kuchunguza ghasia za kisiasa zilizoibuka baada ya rais Nkurunziza kuchukuwa madaraka kwa awamu ya tatu, licha ya kuwepo kwa kipindi cha mihula miwili katika katiba ya taifa hilo.

ICC bado ina uwezo kuchunguza uhalifu uliotekelezwa wakati Burundi ilipokuwa mwanachama wa mahakama hiyo.

Hatua hiyo inaweza kuwa mfano na kuonyesha viongozi wengine kwamba kujiondoa katika mahakama hiyo ni njia mojawapo ya kuepuka jicho la kimataifa hadi pale Jamii ya kimataifa itakapochukua hatua na taasisi kama vile Umoja wa Afrika ama baraza la usalama la umoja wa mataifa litakapowafuatilia washukiwa na kuyakumbusha mataifa kwamba kujiondoa katika ICC hakumaanishi moja kwa moja kwamba waathiriwa hawatopata haki.

Fahamu Madhara ya Kufanya Mapenzi Kipindi cha Hedhi kwa Mwanamke

$
0
0
Fahamu Madhara ya Kufanya Mapenzi Kipindi cha Hedhi kwa Mwanamke
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri kwa afya ya wote wawili.Hivyo kwa ushauri huwa tunapenda watu wajari sana afya zao na si kuzidumaza na kuendekeza hisia kwani hiloo ndilo kosa kubwa la vijana wengi wa siku hizi...Zifuatazo ni baadhi ya madhara yanayoweza kutokea endapo wawili hawa wakafanya ngono wakati KE yupo katika siku zake{period}..

 MADHARA KWA MWANAUME.
1.Kupata maambukizi katika njia ya mkojo hadi kwenye kibofu.

 2.Maambukizi katika tezi dume(Prostetits) hii inaweza kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanaume.

 3.Kuziba kwa njia ya mkojo.

 4.Utasa au ugumba.

 5.Ulegevu wa misuli ya uume na upungufu wa nguvu za kiume.

 6.Athari mbaya ya kisaikolojia kwa kuwa anafanya tendo katika mazingira machafu hali itakayompelekea kutolifurahia tendo kutokana na hali ya umaji maji,utelezi, au harufu kali na mbaya na hivyo kuona kuwa mwanamke ni mchafu.Pia hali hii ikizidi inaweza kuathiri hata hufanyaji wa tendo katika siku za kawaida sio za hedhi.

MADHARA KWA MWANAMKE.
1.Kupatwa na mambukizi viungo vya ndani vya uzazi kama vile shingo ya kizazi,mirija ya uzazi kwa ujumla wake anaweza kuwa na tatizo la PID( PELVIC INFLAMATORY DISEASES) tatizo ambalo linaweza kuathiri mfumo wake wa uzazi.

 2.Maumivu makali ya tumbo hasa kwa wale wanaopatwa na maumivu wakati wa hedhi.(Dysmenorrhea).

 3.Utokaji wa damu unaweza ukaongeza kuliko vile inavyotoka kwa kawaida yake.

 4.Utasa au Ugumba.

 5.Kuvimba kwa kuta za ndani za uke kwa kuwa wakati wa hedhi zenyewe huwa tayari zimevimba au kutanunuka hali pia itamsababishia maumivu kwenye uke wakati wa tendo la ndoa.

 6.Athari mbaya ya kisaikolojia:Mwanamke atahisi kuwa mumewe hamjali wala mpendi bali anajali hisia zake za kingono na kwamba yeye anatumika kingono tu.Pia kuona kuwa mumewe ajali afya yake pamoja na maumivu anayoyapata lakini bado huyu mume anataka KU-DO.
NOTE
 Hali hii ikizidi inaweza kuathiri hata hufanyaji wa tendo katika siku za kawaida sio za hedhi.

Manara Atupa Dongo Hili 'Mara Paap Tumetua Dar Mnaweza Kupitia Kilwa au Kisalawe'

$
0
0
Manara Atupa Dongo Hili 'Mara Paap Tumetua Dar Mnaweza Kupitia Kilwa au Kisalawe'
TIMU ya Simba leo imetua kwa ndege jijini  Dar wakitokea Unguja walipokuwa wameweka kambi ya wiki moja kabla ya mchezo wa kesho na watani wao wa jadi, Yanga SC.  Timu hiyo imepokelewa na viongozi mbalimbali wa Simba wakiongozwa na msemaji wa timu hiyo, Haji Manara, huku akirusha kijembe kwenda kwa watani hao  kupitia akaunti yake ya Instagram akisema: Mara paap,,tumetua dar,,,,okey mnaweza kupitia njia ya kilwa,,au ya kisarawe,,au daraja la kiluvya lishajengwa??Swaumu oyeeeee😊😊

Lundenga Aitolea Povu Serikali Asema 'Kufungia Sanaa au Wasanii Kunadidimiza Sanaa Yetu'

$
0
0
Lundenga Aitolea Povu Serikali Asema 'Kufungia Sanaa au Wasanii Kunadidimiza Sanaa Yetu'
Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waendeshaji wa mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga amefunguka na kutoa lawama kwa serikali kuhusu sakata la kufungia fungia wasanii na kazi za sanaa na kusema jambo hilo linadidimiza sanaa.

Ludenga amesema hayo leo alipokuwa akihojiwa kwenye Jukwaa la sanaa ambalo limeandaliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambapo leo limefanyika katika wa Taifa Dar es Salaam, na kusema kitendo cha serikali kufungia wasanii na kazi za sanaa kimekuwa kikwazo na kudidimiza sanaa nchini.

"Mimi leo nimekuja hapa hakuna ajenda maalum ila nikipata nafasi nitatoa yangu ya moyoni, suala la kufungia sanaa au wasanii huko si kuendeleza sanaa  bali ni kudidimiza sanaa yetu, ingependeza msanii anapofanya kosa fulani kuwe na faini fulani ambayo mtu analipa lakini siyo kumfungia, anapokiuka utaratibu au sheria kuwe na faini tu kama kwa wenzetu wa mpira wa miguu" alisema Ludenga

Ludenga anasema msanii anapofungiwa kwa wakati fulani anapokuja kurudi inamchukua muda na anakuwa anaanza upya katika sanaa jambo ambalo linarudisha nyuma sanaa na maendeleo ya sanaa kiujumla.

"Unapomfungia msanii kuja kuanza tena mpaka aje kusimama kama alivyokuwa wakati unamfungia inachukua muda na gharama zaidi hivyo unakuwa unadidimiza sana badala ya kuboresha, mfano sisi tumefungiwa mwaka 2014, na sababu za kufungiwa ni kutokana na makosa ya mawakala wetu, kumbuka wakati tunafungiwa tulikuwa na wadhaamini kabisa huku ni kurudishana nyuma" alisisitiza Ludenga.

P The Mc Atoa ya Moyoni kwa Wanaoponda Uwezo wa Harmorapa

$
0
0
P The Mc Atoa ya Moyoni kwa Wanaoponda Uwezo wa Harmorapa
Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, P The Mc amefunguka juu ya wale wanaoponda uwezo wa kimuziki wa msanii Harmorapa.

Rapper huyo wa SSK amesesma Harmorapa ametumia akili kubwa sana hadi kuhakikisha watu wanamfahamu na kilichobaki kwake ni kuhakikisha anatoa muziki mzuri.

“Harmorapa ni mwanangu mmoja namkubali sana, kwanza tunasema ukiingia kwenye hii industry ukiwa na kitu cha utofauti hiyo unakuwa umetumia akili kubwa sana kuliko watu wanavyodhani. Kwa hiyo Harmorapa alifanikiwa kwa hicho kitu, ilifikia time watu hawataki kudeal na habri zozote hata za kisiasa wanataka kujua habari za Harmorapa” amesema P The Mc.

Amesema hadi kufikia hapo alipo ni hatua kubwa sana amepiga na wanaosema siyo msanii wao ndio wanafanya sanaa ni maneno yao binafsi.

“Sisi tunasema art inatoka kichwani pengine inawezekana Harmorapa ikawa hata haandiki yeye lakini kama ana uwezo wa kusikiliza na kurap kwenda na beat bila kukosea maana yake sanaa tayari anayo” amesema.

Chanzo Bongo5

Je Una Upungufu wa Nguvu za Kiume, Kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa..Jibu Lipo Hapa

$
0
0
JE,UNA UPUNGUFU WA NGUVU ZAKIUME,KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA,KUFIKA KILELENI MAPEMA NA KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA UA MAUMBILE MADOGO YA UUME?


Tatizo la kukosa au kupungukiwa nguvu za kiume na maumbile madogo ya kiume husababishwa namambo mengi kama,KISUKARI,NGIRI,CHANGO,TUMBO KUUNGURLUMA,MAUMIVU YA KIUNO,UNENE KUPITA KIASI,KUJICHUA(MASTER BLASHION)HOMON Hishindwa kufanya kazi inavyotakiwa nk.upungufu wa nguvu za kiume husababisha tendo la ndoa kutofanyika kwa kujiami nakwa usahihi nahivyo husababisha ndoa mahusiano mengi kuvunjika.BAADHI YA DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI,1KUKOSA HAMU YA TENDOL LA NDOA 2 UUME KISIMAMA KWA KULEGEA 3 KUWAHI KUFIKA KILELENI 4 KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA WAKATI 5 KUCHOKA SANA BAADA YA ROUND YAKWANZA NAKUKINAI TENDO NDOA KABISA.TUMIA 3 POWER KWA TATIZO LA UKOSEFU(UPUNGUFU)WA NGUVU ZA KIUME NAHAMU YA TENDO LA NDOA.FINA HUBORESHA MAUMBILE YA KIUME KWA KUNENEPESHA KWA SAIZI UIPENDAYO HAIJARISHI UMRI.PIA KUNA DAWA ZA KURUDISHA MPENZI KWA MUDA MFUPI SANA NAZAKUPATA KAZI,KESI,KUDHULUMIWA,NK WASILIANA NA SHEIKH OMARY AKUTATULIE MATATIZO YAKO HATA KAMA UMEHANGAIKA SANA PASIPO MAFANIKIO UMEFANIKIWA LEO

Pia sheikh omary anatibu busha bila opresheni,kisukari,ngiri,presha,vidonda vya tumbo,korodani kivimba nakuuma,na anatoa ndagu za utajiri kwa wanaohitaji utajiri bila masharti yoyote magumu.ANAPATIKANA DAR ES SALAAM NAUTALETEWA POPOTE ULIPO TIBA HII UKIWA HAUNA NANAFASI YAKUFIKA OFISINI,

PIGA SIMU NO 0767 14 53 57/0629 03 45 50.
SHEIKH OMARY WHATSAP 0759030343.

Mwenye Uume Mdogo Usiwe na Shaka Fuata Ushauri Huu Utakusaidia Kumridhisha Mpenzi.

$
0
0
Je, ni urefu au unene?
Je, urefu wa uume ni suala muhimu kwa mwanamke kuridhika kimapenzi?Hii ni imani potofu ambayo imewafanya wanaume wengi kujiingiza kufanya surgery za gharama kubwa na wengine kupoteza pesa zao kwa ajili ya kutafuta dawa za kienyeji ili kuongeza maumbile kuwa marefu zaidi.

Huko ni kupoteza muda na pesa.
Ingawa urefu wa uume hauna umuhimu kama imani potofu inavyodai bado suala la msingi ni uimara wa misuli ya uume; kwani misuli ya uume ikiwa imara basi mwanaume huwa na uwezo (strength/flexibility) ambayo itaweza kumpa sifa mume kwa mke wake kuliko kushabikia kuwa na jumbo size.


Hii ina maana bila kujali una urefu kiasi gani au ufupi kiasi gani, kama una misuli imara hilo ndilo jambo la msingi kwa mwanaume.


Tuweke suala la hiyo imani potofu pembeni hivi ni kitu gani mwanamke huhitaji physically ili afurahie tendo la ndoa?Suala la muhimu ni kuwa na ufahamu wa anatomy kuhusu mwanamke (uke); ukweli ni kwamba nervesnyingi zipo within inches mbili kutoka mlango wa uke (vaginal opening) na asilimia kubwa ya nerves zipo katika mzunguko wa mlango wa uke.

Hii ina maana mwanaume yeyote mwenye uume wa inches mbili kama anajua namna ya kumfikisha mke kuridhika au kufika kileleni kupitia uke (vaginal climax) basi ataweza kumfikisha mke wake kileleni.

Je, ni unene (thickness) wa uume huweza kumridhisha mwanamke kimapenzi?Ni kweli unene inaweza kuwa ni factor hasa kutokana na uwezo wa mwanamke alionao kukaza misuli ya uke.

Je mwanamke ana umri gani, amekuwa na partners kiasi gani na amezaa watoto wangapi na zaidi amefanya kitu gani kuhakikisha misuli yake (uke) inakuwa imara.

Mfano:Ingawa suala la thickness si tatizo kwa wanawake wa nchi za Asia kama Japan, Singapore au Philippines kwa kuwa suala la kukaza misuli kwa wanawake ni moja ya sanaa.

Wanawake wa huko hucheza michezo ya kuingiza ping pong-ball (mipira mfano wa tennis) sita kwenye uke na kuzirusha futi 15 ili kuingia kwenye ndoo huku kila kimpira kinapotoka kinaendana na popping sound bila kukosa hata kimoja.

Pia huweza kuingia ndizi iliyomenywa kwenye uke huanza kuzikata ndizo (slice) vipande vipande huku vikidondoka.

Fikiria sasa likija suala la mapenzi hii inaonesha kwamba hao wanawake wanajua jinsi ya kuridhishana na kwao size does not matter.

Bahati mbaya ni kwamba tamaduni nyingi za Africa, ulaya na Amerika hazina mazoea ya kuwa na mazoezi ya kukaza misuli ya uke au uume.

Hivyo thickness ni muhimu kwa mwanamke ambaye uke wake ni loose na weak pia kama misuli yake hoi.

NB:
Hapa sina maana mwanamke ajihusishe na mchezo huu, it is illegal; najaribu kuelezea uwezo wa misuli ya uke ukifanyiwa mazoezi vitu inaweza kufanya.

Je, inakuwaje kama mwanaume ana uume mkubwa (unene na urefu) zaidi ya wastani ambao wanaume wengi huwa?Tafiti nyingi zinaonesha wanawake wengi hulalamika pale mwanaume anapokuwa na uume mkubwa zaidi ya kawaida na hasa kama hajui namna ya kuutumia.

Wanawake wengi huona ni huge barrier kwa ajili ya ku-enjoy sex kama mke na mume na wakati mwingine mwanamke hujisikia uncomfortable na huishia kukwepa.

Pia wanaume wenyewe ambao wana uume mkubwa tafiti zinaonesha kwamba wengi hujikuta katika huzuni na wanaombolezo kwa sababu partners wao kujisikia maumivu na kuumia na hata imesababisha mahusiano ya kimapenzi kati ya mke na mume kuzolota.

Je, hutokea nini pale mwanaume mwenye jumbo size akakutana na mwanamke mwenye uke uliobana?

Na wanaume ambao ukubwa wa uume (thickness ni zaidi ya kawaida wanapokutana na mwanamke ambaye ana size ndogo ya uke, au hakuwa wet sawasawa au hajazaa mtoto kabisa au bikira suala la sex linakuwa shughuli nzito kuihimili kwani lazima mwanamke akubaliane na pressure na pain za kuta za uke zinapochanwa.

Na pia kama mwanaume ana urefu unaozidi inches 6 ambayo ni average size kwa wanaume basi mwanamke anaweza kujikuta anajuta kwani anaweza kuhisi mwanaume anagonga hadi kwenye kizazi (internal reproductive organs).

Na matokeo yake mwanamke hujikuta anakaribisha magonjwa kama cysts ambayo huhitaji surgery na pia huweza kupata infections ambazo huweza kusababisha kukosa watoto.
Nini kifanyike?Jambo la msingi ni kwa mwanaume kufahamu namna ya kutumia tool yake vizuri, hii ni pamoja na kuwa caring, kufanya maandalizi ya kutosha.

Je, nini faida ya kuwa na uume mkubwa au uume mdogo?Kama mwanamke ana uke ambao ni loose na hawezi kuthibiti mwendo (misuli imelegea) basi tool kubwa kama hiyo huweza kumsaidia kupata feelings za kufurahia mapenzi hapa haijalishi mwanaume ana skills zozote au la.

Na mwanaume ambaye ana uume mdogo kuliko kawaida anaweza kuwa na faida kwa mwanamke ambaye ana uke mdogo (tight).

Hii ina maana mwanaume mwenye uume mkubwa ana match na mwanamke mwenye uke loose na hii combination huwezesha hao wawili kuwa na ridhiko kimapenzi.

Na mwanaume mwenye umbile dogo ana match na mwanamke mwenye uke tight.

Video: Joti Akifanya Yake Siku ya Send Off ya Mkewe Mtarajiwa

$
0
0
Mchekeshaji wa hapa nchini Tanzania Joti anatarajiwa kufunga ndoa jumamosi kesho kutwa. watu wengi wamekuwa na mtazamo tofauti na kufananisha sherehe ya kumuaga mke wake maarufu kama send off kuona kama ni tangazo kama ilivyoonekana mara nyingi kwake.

Ukweli ni kwamba Joti anatarajiwa kufunga ndoa juma mosi ya oktoba 28 na picha sinazosambaa ni za kweli na huyo mwanamke ni mkewe mtarajiwa

Polepole: Zitto Kabwe Anatapatapa Anapitia Wakati

$
0
0
Polepole:  Zitto Kabwe Anatapatapa Anapitia Wakati
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Ndg Humphrey Polepole amerusha jiwe gizani kwa Mbunge wa Kigoma Mjini Mh. Zitto Kabwe kwamba anajua wakati huu anapitia wakati mgumu sana ndani ya chama ndiyo maana anatapatapa katika suala la makubaliano

kati ya serikali  na Kampuni ya Uchimbaji madini ya Barrick.
Akifanya mazungumzo ndani ya Ofisi yake na EATV, Polepole amesema kwamba kitendo cha Mbunge huyo kitendo cha Mbunge huyo kwenda kuzungumza kwenye chombo cha habari na kuuhadaa umma kwamba  madini yataendelea kuwa madini ya watu wa nje, yeye hana tatizo naye kwani anafahamu wazi kwamba chama kinaenda kumfia hivyo watu wamuelewe..
"Naomba mumuelewe huyu bwana, anapitia wakati mgumu. Chama kinamfia tumuelewe sana. Watu wote wenye uelewa mpana  walioshiriki katika kukianziasha chama wote wameondoka na wameondoka kwa masikitiko ya kwamba chama kimepoteza dira. Asubiri kuona matokeo ya maendeleo yanayoletwa na serikali.  Mfama maji haishi kutapatapa ni sehemu ya asili ya ubinadamu. Namwambia asubiri kuona maendeleo yatakuja kutokana na makubaliano haya makubwa" Polepole.
Aidha Polepole amesema kwamba Zitto ameshiriki katika kutunga sheria tatu ndani ya Bunge kuhusu madini kisha akaenda ulaya kusema kwamba madini yatazidi kuchukuliwa na wageni ni kuuhadaa umma kwani katika sheria waliyoitunga ilikuwa ni ya kutamka  kwamba madini yaliyopo ardhini ni mali ya watu wa Tanzania.
Ameongeza pia Sheria ya pili Mh. Kabwe aliyoshiriki ni pamoja na ile ya Kuipa Mamlaka Bunge kutazama masuala ya madini vizuri na sheria ya tatu ikiwa ni kuboresha sheria za kodi ikiwa mapato na bima lakini kwa sababu chama kinaenda kumfia hivyo hataweza kuacha kudandia hoja hata kama hazina mashiko.

Mzee Majuto Amedhurumiwa Milioni 25, Nitatumia Hata Mshahara Wangu Kuwafunga Watu Hao- Mwakyembe

$
0
0
Mzee Majuto Amedhurumiwa Milioni 25, Nitatumia Hata Mshahara Wangu Kuwafunga Watu Hao- Mwakyembe
Waziri wa Habari,  Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa Mzee Majuto amedhurumiwa pesa milioni 25 na kampuni ya filamu ambayo jina lake amelihifadhi na kudai atatumia hata mshahara wake kuhakikisha anawafunga watu hao.

Mwakyembe amesema hayo leo Oktoba 27, 2017 alipokutana na wasanii mbalimbali kujadili changamoto za kazi ya sanaa nchini na kusema katika vitu ambavyo atapambana navyo ni pamoja na watu wanaowadhurumu wasanii haki yao na kuwaibia kazi zao za sanaa.

"Nilipopita Tanga nilikutana msanii nguli wa filamu Mzee Majuto nilikwenda kumjulia hali na bahati nzuri saizi anaendelea vizuri, Mzee Majuto akaniomba kitu kimoja na kuniambia naumwa nahitaji pesa lakini nimeshafanya kazi na kampuni hii akanionyesha na kuwa ameshatengeneza filamu zaidi ya 100 na kampuni hiyo kwa mkataba wa kulipwa fedha ndogo tu shilingi milioni 25 lakini huu ni mwaka wa  pili hajalipwa hata senti tano sasa hayo ndiyo mambo ambayo sifurahii, nimeshapeleka taarifa kwa hiyo kampuni tukutane Dar es Salaam na Dodoma asipokuja tunajua njia za kumsafirisha kwenye kalandinga mpaka Dodoma, huu ni wizi kama wizi wa kwenda kumchomolea mtu mfukoni" alisisitiza Mwakyembe

Waziri Mwakyembe aliendelea kufafanua kuwa kwa sasa yupo tayari kutumia pesa zake mfukoni kuhakikisha Mzee Majuto anapata haki yake kwa kazi mbalimbali alizofanya na kampuni hiyo.
"Mzee Majuto alikwenda Mwanza na familia kupokea ule mzigo, meneja kwa kumuheshimu akamfuata na kumwambia hiyo cheki hata senti tano hakuna na cheki iliyobaundi ni kosa la jinai, tunachezea watu hivi. Mzee Majuto ameacha familia yake, amekaa Mwanza zaidi ya miezi sita anahangaika kuzipata hizo pesa, na mimi niko tayari nitatumia hata mshahara wangu twende mahakamani tufunge watu tumeshachoka huko ni kudharau watu" alisema Mwakyembe
Mwezi Agosti Waziri Mwakyembe alimtembelea msanii nguli na mkongwe wa filamu nchini Mzee Majuto nyumbani kwake ambapo alikwenda kumjulia hali baada ya kupata taarifa kuwa anaumwa.

Nikki wa Pili Afunguka Sababu ya Kuandika Mambo Kwenye Mtandao

$
0
0
Nikki wa Pili Afunguka Sababu ya Kuandika Mambo Kwenye Mtandao
Msanii wa kundi la Weusi, Nikki wa Pili ameeleza sababu ya kupendelea kuandika mambo chanya (positive) katika mitandao ya kijamii.

Rapper huyo amesema kuwa anapendelea kufanya hivyo kutokana huwa anajifunza/kusoma vitu vingi hivyo kila ambacho anakuwa amekipata kwa wakati huo anaamua kuwashirikisha na wengine.

“Unajua wazo kama umeliwaza ukikaa nalo linakuwa halina maana, kwa hiyo ukishare uwezi kujua, mtu mwingine anaweza kuliendeleza kutokea pale, unaweza kumsaidia mtu kutazama kitu tofauti na alivyokuwa akitazama zamani” Nikki wa Pili ameiambia Bongo5.

“So all idea ya kuandika mambo katika Instagram ni kushare mawazo ili na mimi nipate feedback, kwa sababu unaweza ukawa umejifunza kitu inakuwa wewe ndio umejifunza vile huenda watu wengine wengi wanajua tofauti, so unapotoa mawazo yako unatoa nafasi ya kusikia mawazo mengine” ameongeza Nikki.

Nikki amekuwa akiandika mambo mbali mbali kama vile siasa, muziki, mahusiano, elimu, uchumi nakadhalika katika mitandao yake ya kijamii ya Instagram na twitter.

Mganga Mkuu Afunguka Kuhusu Vifo vya Watoto Wachanga 9

$
0
0
Mganga Mkuu Afunguka Kuhusu Vifo vya Watoto Wachanga 9
Mganga Mkuu Mkoa wa Arusha Dkt. Wonanji Timoth amekanusha taarifa za kufariki kwa watoto 9 waliokuwa kwenye Incubator kutokana na katizo la umeme hapo jana hospitali ya Mt. Meru, na kusema kwamba taarifa hizo hazina ukweli wowote.

Akizungumza na mwandishi wa habari wa East Africa Television, Dkt. Timoth amesema kwamba watoto waliofariki walikuwa wanne na sio 9 kama inavyoelezwa kwenye taarifa iliyosambaa mitandaoni, na wamefariki kwa matatizo mengine lakini sio kukatika kwa umeme.
Dkt. Timoth ameendelea kwa kueleza kwamba moja ya sababu iliyofanya watoto hao kufariki ni mama kuchelewa kufika hospitali kujifungua kwa kuwa alijifungulia nyumbani, pamoja na hatari kubwa wanazopata watoto njiti.

Mtoto wa Rais Ahukumiwa Kufungwa Jela

$
0
0
Mtoto wa Rais Ahukumiwa Kufungwa Jela
Mahakama moja nchini Ufaransa imemhukumu makamu wa rais wa Equatorial Guinea Teodorin Obiang kifungo cha miaka mitatu jela ambacho kimeahirishwa

Hakuwepo mahakamani wakati mahakama ilipomkuta na hatua ya ubadhirifu wa mali ya umma.
Mali yake Ufaransa itatwaliwa, ikiwa ni pamoja na jumba la kifahari eneo la Avenue Foch jijini Paris. Kadhalika amepigwa faini ya euro 30m (£27m; $35m) ambayo imeahirishwa.
Obiang alikuwa ameshtakiwa kwa kutumia fedha za serikali kufadhili maisha ya anasa katika mji mkuu wa Ufaransa Paris.

Miongoni mwa mali aliyotumia fedha hizo kununua, ni pamoja na majengo ya kifahari yenye kugharimu zaidi ya dola milioni 100, boti la kifahari lenye urefu wa mita 76, na magari mengi ya kifahari kama vile Bugatti, Ferrari na Rolls Royces.

Waendesha mashtaka nchini Marekani tayari walikuwa wamemlazimisha kupeana mali kadhaa likiwemo jumba lenye thamani ya milioni 30 huko California na katika maskani ya Michael Jackson.
Babake Teodoro Obiang Nguema, amekuwa mamlakani tangu mwaka 1979 na ndiye rais wa Afrika aliyetawala kwa muda mrefu zaidi.
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live




Latest Images