Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104694 articles
Browse latest View live

Baraka The Prince Afunguka Kuhusu Kuondoka Rockstar4000 Amekiri Kumempa Changamoto Kubwa

$
0
0
Baraka The Prince Afunguka Kuhusu Kuondoka Rockstar4000 Amekiri Kumempa Changamoto Kubwa
Baraka The Prince ambaye sasa anajisimamia kupitia 'label' yake BANA MUSIC amekiri alipoachana na kampuni iliyokuwa inasimamia kazi zake ya Rockstar4000 kumempa changamoto kubwa kwani saizi kila kitu yeye ndiyo inabidi apambane tofauti na mwanzo.

Baraka The Prince amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) na kusema hata ukimya wake katika muziki kwa kipindi fulani ni kutokana na ukweli kwamba alikuwa anakutana na changamoto pamoja na kujipanga ili kuweza kurudi vizuri.

Shiza Kichuya Afikia Rekodi ya Tambwe

$
0
0
Shiza Kichuya Afikia Rekodi ya Tambwe
Mchezaji wa Simba, Shiza Ramadhani Kichuya amefunga bao lake la tatu mfululizo dhidi ya Yanga kwenye mechi za Ligi Kuu ya Vodacom tangu asajiliwe na Simba msimu uliopita akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro.
Kichuya amefunga bao akiichezea Simba kwenye sare ya 1-1 dhidi ya Yanga, Jumamosi hii. Kichuya alifunga bao hilo likiwa ni la kuongoza dakika ya 58 kipindi cha pili lakini halikudumu baada ya Obrey Chirwa kuisawazishia Yanga dakika ya 60.
Ikumbukwe kuwa Oktoba 1, 2016 Kichuya aliifunga Yanga kwa mara ya kwanza akiwa Simba bao lake likiwa ni la kusawazisha wakati timu hizo zilipotoka sare ya kufungana 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa.
Aidha, Februari 25, 2017 Kichuya aliifunga Yanga kwa mara ya pili mfululizo kwenye mechi za ligi Simba ilipopata ushindi wa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Taifa.
Jumamosi ya Oktoba 28, 2017, Kichuya ameweka rekodi ya kuifunga Yanga kwa mara ya tatu mfululizo kwenye mechi za VPL mechi iliyochezwa uwanja wa Uhuru, Dar.

Gari Hii Inauzwa Kwa Bei Nafuu Kabisa

$
0
0
TOYOTA CARDINA FOR SALE
Cc 1990 Cc
Good condition
Low mileage (110,000+ KM)
BEI - MILLIONS 8.5 FIXED
Call/whtsp 0652- 227806
Gari Ipo Dar es salaam. .

Install Application ya MCHAMBUZI Kwenye Simu yako Kusoma Habari na Matamko ya Wanasiasa Kila Siku

$
0
0
Maswala ya Siasa na Matamko ya kila siku ya Wanasiasa Hakikisha Umedownload App ya Mchambuzi Kwenye simu yako
Bonyeza HAPA

Kama we ni Mpenzi wa Habari za Siasa Usipitwe na Hii Application ya Mchambuzi..... 

Bonyeza HAPA Kudownload kwenye Simu yako

Kutana na Mtabibu Wanyota za Binadamu Duniani Kote Maalim Fadhili Rashid Kutoka Comoro Kwa Sasa Yupo Tanzania

$
0
0
KUTANA NA MTABIBU WANYOTA ZABINADAMU    DUNIANI KOTE MAALIM FADHILI RASHIDI KUTOKA COMORO KWA SASA YUPO TANZANIA

MAALIM FADHILI RASHIDI ANAUWEZO WAKUBAINI JAMBOLAKO NAKULITATUA MAALIM FADHILI RASHIDI ANATIBU MARADHI YA FUATAYO KAMA VILE

KAMA MIGUU KUUMA NA KUWAKA MOTO PRESHA KISUKARI VIDONDA VYA TUMBO PUMU TEZI NA UVIMBE TUMBONI ANAUWEZO WA KURUDISHA MTU ALIEPOTEA KIMAZINGIRA (MSUKURE) KUMFANYA MKEMUME MPENZI ASIKUSALITI DAWA YA (LIMBWATA) KUMTAWALA MPENZI WAKO UNAVYOTAKA

KUMUONA MBAYAWAKO LIVE KWASABABU MAALUM ANA TOWA PETE YA BAHATI ITAKAYO KULETEA PESA BILA YA MASHARITI NAKUMILIKI MALI UNAZOTAKA

DAWA YA KUONGEZA UUME SAIZI UIPENDAYO DAWA YA NGUVUZAKIUME PIA ANAYO DAWA YA KUONGEZA HIPS SHEPU KUWA NA UMBO BOMBA KAMA UMEIBIWA AMA KUDHULUMIWA UTARUDISHIWA MALIYAKO NDANI YA MASAA (24) ANAFUNGA KESI NAKUPATA HAKIYAKO DAWA YA MVUTO WABIASHARA KUUZA MALIYAKO KWA HARAKA KUZUIA CHUMAULETE KWENYE BIASHARA KUSAFISHA NYOTA NAKUTOWA MIKOSI TIBAHII NI KWADINI ZOTE MAALIM FADHILI RASHIDI ANAJUWA UMEHANGAIKASANA LAKINI HUJAFANIKIWA MUONE HARAKA AKUSAIDIE UTAPATA HUDUMA POPOTE ULIPO NCHI YEYOTE DUNIANI UTAPATA HUDUMAYANGU ACHAKUTESEKA NA MATATIZO ULIONAYO MAALIM FADHILI RASHIDI YUPO TANZANIA KWA AJILIYAKO


CALLING +255719362806/+255763276239/

KWA WHATSAPP IMO +255785786436

Emmanuel Mbasha na Skendo Mpya Ahusishwa Kuchukua Mke wa Mtu

$
0
0
Emmanuel Mbasha na Skendo Mpya Ahusishwa Kuchukua Mke wa Mtu
Baada ya kumwagana na mzazi mwenzake, Flora Mbasha kisha kudaiwa kuanzisha uhusiano na Mshiriki wa Miss Tanzania 2008, Jacqueline Chuwa na kumwagana, muimbaji wa Nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha amejikuta akitikisa kwa skendo ya kuhusishwa na mke wa mtu.

TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo, kwa muda mrefu Mbasha amezua minong’ono na mwanamke huyo ambaye inasemekana ni rubani wa ndege kutokana na picha na jumbe za mafumbo ambazo Mbasha amekuwa akiziweka mitandaoni. “Mbasha kwa kweli ametikisa kwa muda mrefu. Tumefuatilia sana picha anazoposti mtandaoni hususan akiwa na huyo mdada ambaye inadaiwa ni mke wa mtu, anaonekana kabisa kuna kitu lakini pengine hataki kukiweka wazi,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:

Wakiongea jambo na anayedaiwa kuwa mke wa mtu.
“Kuna siku alimweka huyo mdada katika Insta (Instagram) yake, akamtakia heri ya kuzaliwa lakini watu walikuwa na maswali mengi kutokana na sifa alizompa mdada huyo japo kuna watu wengine walisema ni rafiki yake wa kawaida tu.”

Risasi Jumamosi liliperuzi katika ukurasa huo wa Instagram na kushuhudia maoni mbalimbali ya wafuasi wa mtandao huo ambao walionesha kumtilia shaka mwanamke huyo wakihoji kama kweli ni mke wa mtu iweje ajianike hadharani na mwanaume mwingine Hata hivyo, wapo wengine ambao waliwataka wale wanaotilia shaka ukaribu wao, waache kuropoka mambo wasiyoyajua kwani ‘kumuwishi’ mtu bethidei ni jambo la kawaida.

Katika mazungumzo mengine na mwanahabari wetu, chanzo chetu kilieleza kuwa, ukiachana na picha ya kumtakia bethidei mwanamke huyo, ilivuja picha nyingine ambayo ndiyo imewafanya watu wazidi kumtilia shaka Mbasha na mwanamke huyo ambaye anatajwa pia kuwa na mkwanja mrefu. “Hiyo picha ndiyo balaa.

Akiwa na aliyekuwa mke wake, mzazi mwenzake, Flora Mbasha.
Mbasha anaonekana yupo ndani ya gari upande wa dereva huku mke wa mtu akiwa upande wa kushoto lakini safari hii, huyo mke wa mtu kajisogeza hadi kifuani kwa Mbasha wakawa very close kama mtu na mtuwe. “Katika hali ya kawaida, marafiki tu wa kawaida au mtu ambaye mnaheshimiana, hamuwezi kugandana kwa staili ile, itakuwa kuna kitu cha ziada tu kinaendelea,” kilidai chanzo hicho. Baada ya picha hiyo kutua dawati la Risasi Jumamosi, mwanahabari wetu alijaribu kumtafuta mke huyo wa mtu bila mafanikio kwani simu yake ya mkononi haikuweza kupatikana.
MBASHA ANASEMAJE?
Alipoulizwa Mbasha kuhusu mwanamke huyo na kutumiwa picha yake, alikiri kumfahamu kama rafiki yake lakini akaweka wazi kuwa hana uhusiano wowote mbaya. “Tafadhali sana jamani naomba muwe waungwana, huyo dada tunaheshimiana sana na siwezi kufanya kitu chochote kibaya na ukizingatia mumewe pia tunaheshimiana, ngoja nikutumie picha ya yeye na mumewe.

Nawaheshimu sana jamani hao,” alisema Mbasha na kumtumia mwandishi wetu picha mwanamke huyo akiwa na mumewe. Hata hivyo Mbasha hakuwa tayari kumuelezea kwa undani mwanamke huyo, mwandishi wetu alipotaka kumfahamu zaidi.

Akiwa na Mshiriki wa Miss Tanzania 2008, Jacqueline Chuwa.
TUMEFIKAJE HAPA?
Kabla ya kuzagaa skendo hiyo ya mke wa mtu, awali Mbasha aliishi kwenye ndoa na muimbaji wa muziki wa Injili, Flora na kufanikiwa kupata mtoto mmoja kisha wakaachana baada ya Mbasha kudaiwa kumbaka shemeji yake ambapo kesi iliunguruma na hatimaye kukutwa hana hatia. Walipomwagana, Flora aliolewa na mtu mwingine lakini kwa upande wa Mbasha, hakuwahi kutangaza mchumba wake rasmi licha ya kudaiwa kuanzisha uhusiano na Jacqueline Chuwa ambaye pia inadaiwa hawakudumu
Chanzo Global Publishers

Waziri wa Afya Atoa Agizo kwa Hospitali na Vituo vya Afya

$
0
0
Waziri wa Afya Atoa Agizo kwa Hospitali na Vituo vya Afya
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu ameagiza Hospitali, na Vituo vya Afya vyote vya Serikali nchini kuanzia October 26 kutoa huduma ya uchunguzi wa Saratani kila siku wakati wa kliniki ya mama na mtoto.

Waziri Ummy ametoa agizo hilo wakati akifungua matembezi ya hisani ya kuhamasisha uchunguzi wa Saratani ya matiti, yaliyofunguliwa katika viwanja vya hospitali ya Ocean Road mapema leo jijini Dar es salaam.
Sambamba na agizo hilo Waziri Ummy amezitaka Hospitali hizo kutenga siku moja kila mwezi kwaajili ya kuchunguza na kufanya matibabu ya ugonjwa wa Saratani ya mlango wa kizazi na Saratani ya matiti.

Aidha Mh. Ummy ameipongeza kazi nzuri inayofanywa na Uongozi wa Hospitali ya Ocean Road katika kutimiza majukumu yake ikiwemo kuongeza vitanda 40 mpaka vitanda 100 kwa gharama zao kwaajili ya wagonjwa wa saratani pindi wanapopata huduma za matibabu ya Chemotherapy.
Kwa upande mwingine Mh. Ummy ametoa rai kwa wananchi wote hususani wanawake kujitokeza kupima ugonjwa huo kwani unatibika endapo utagunduliwa mapema.

Mawakili Waliokamatwa kwa Kuchochea Mapenzi ya Jinsia Moja Wafukuzwa Nchini

$
0
0
Serikali ya nchini Tanzania imewafukuza mawakili watatu wa Afrika Kusini waliokamatwa wiki hii Jijini Dar es Salaam wakituhumiwa kwa kuchochea mapenzi ya jinsia moja.

Mawakili hao waliofukuzwa ni wale waliokuwa miongoni mwa watu 13 waliokamatwa katika hoteli moja mjini Dar es Salaam wakijiandaa kufanya mkutano wa kujadili iwapo wakabiliane na uamuzi wa serikali ya Tanzania kuzuia utoaji wa baadhi ya huduma za afya au la kwa mujibu wa mawakili hao.
Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa jana wakati akizungumza na wanahabari  amewaambia kuwa kabla ya mawakili hao kukamatwa kwamba walikuwa wakichochea mapenzi ya jinsia moja.
Mapema mwaka huu, serikali ilipiga marufuku baadhi ya kliniki za kibinafsi kutotoa huduma za ugonjwa wa HIV na ukimwi ikisema zilikuwa zikukuza mapenzi ya jinsia moja ambayo ni haramu nchini Tanzania.
Hata hivyo kukamatwa kwa Mawakili hao kunatokea kufuatia hotuba ya mwezi Septemba iliotolewa na aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Dkt. Hamis Kingwangala (kwa sasa ni Waziri wa Maliasili) ambaye aliapa mbele ya bunge kukabiliana na makundi yoyote yanayounga mkono wapenzi wa jinsia moja nchini.


Mtibwa Suga Kuonyeshana Ubabe na Singida United Leo

$
0
0
Mtibwa Suga Kuonyeshana Ubabe na Singida United Leo
MTIBWA Sugar inaweza kupanda kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo kama itashinda dhidi ya Singida United.

Wakata Miwa hao wa Manungu wanawakaribisha Singida waliopanda Ligi Kuu msimu huu kwenye Uwanja wa Manungu Arena, Morogoro kuanzia Saa 10:00 jioni.

Na baada ya mahasimu wa jadi, Simba na Yanga kumalizana kwa sare ya 1-1 jana Uwanja wa Dar es Salaam na wote kufikisha pointi 18 baada ya mechi nane, wastani wa pointi mbili kwa mcheszo, Mtibwa wanahitaji kushinda kurudi juu.

Kwa sasa, Mtibwa Sugar ya kocha Zuberi Katwila ina pointi 15, baada ya kucheza mechi saba, maana yake ikishinda leo itafikisha pointi 18.

Lakini hilo halitarajiwi kuwa jepesi mbele ya Singida, inayofundishwa na kocha Mholanzi, Hans van der Pluijm ambayo ni mshindani kweli.

Kwa ujumla, Ligi Kuu inatarajiwa kuendelea leo baada ya mechi mbili za Raundi ya nane kuchezwa juzi na jana, nyingie Azam FC wakiifunga Mbeya City 1-0 Ijumaa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Mechi nyingine za leo, Maji Maji wanaikaribisha Mwadui FC Uwanja wa Maji Maji mjini Songea, Lipuli FC wanaikaribisha Mbao FC Uwanja wa Samora mjini Iringa, Kagera Sugar wanaikaribish Ndanda FC Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, Njombe Mji FC wanaikaribisha Stand United Uwanja Saba Saba, Njombe na Tanzania Prisons watakuwa wenyeji wa Ruvu Shooting Uwanja wa Sokoine mjini Iringa.

Leo Anazaliwa Rais John Pombe Magufuli 'Heri ya Kuzaliwa Mr. JPM

$
0
0
Leo Anazariwa Rais John Pombe Magufuli 'Heri ya Kuzaliwa Mr. JPM
Siku kama ya leo, Oktoba 29, 1959, Rais John Pombe Magufuli alizaliwa. Kampuni ya Global Publishers, uongozi na wafanyakazi wote, wanakutakia heri ya siku ya kuzaliwa. Tunakuombea Mungu akulinde, akupe afya njema na kuendelea kuwatumikia Watanzania katika kipindi cha uongozi wako.




Wasanii Waanza Kutupiana Lawama

$
0
0
Wasanii Waanza Kutupiana Lawama
Baadhi ya wasanii nchini Kenya wameanza kutupiana lawama kwa kukaa kimya bila kupaza sauti kwamatukio mya mauaji ya kisiasa yanaoendelea nchini humo.

Miongoni mwa wasanii hao ni pamoja na Octopizzo ambaye hivi karibuni alimvaa msanii mwenzake Jaguar akimtuhumu kukaa kimya bila kuchukua hatua yoyote juu ya vijana wa eneo lake wanaofanya vurugu hadi kufikia hatua ya kuuana, kutokana na migogoro ya klisiasa inayoendelea.
Kwenye ukurasa wake wa instagram Octopizzo ameandika ujumbe ukienda kwa wasanii wengine akisema "Wale wasanii wote wamenyamaza badala ya kukemea mauaji na manyanyaso ya Mban’ga Kawangware, Odhumo,Bungoma na mitaa mingine kadhaa, mashabiki na watoto wasio na hatia wanauliwa na hamuongei alafu mnatutolea ngoma za kifala mkidai support na kura za mashabiki, tunawaona na tunawangoja sana, simama kwa ajili ya watu hata kama ulikula pesa ya kampeni, jaribu kuvaa viatu vya wale watu ambao wamepoteza watoto wao wasio na hatia, hizo ngoma zenu mtazisikia studio tu sasa hivi, unajiiaje msanii kama huwezi kuwawakilisha wale wanaokuangalia?”.
Kitendo cha mauaji yanayoendelea nchini Kenya, kimefanya baadhi ya wasanii Kenya kutoa nyimbo zikilaumu kwa nini hali hiyo inatokea, akiwemo Nameless ambaye ameachia wimbo unaoitwa 'Ooh Why' unaozungumzia hali ya machafuko yaliyosababishwa na siasa.
Hali ya usalama nchini Kenya hivi sasa imekuwa si nzuri kutokana na vurugu zinazoendelea, na kusababisha vifo vya watu mbali mbali wakiwemo watoto wadogo wasio na hatia.


Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa

$
0
0
Kutana  na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..



JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na  Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na Maalim Hussein Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.

Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.
Issa simba said Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia  Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi

+255 622588038au 0679119679 au +255 764318107
NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE...

Irene Uwoya Awaacha Watu Njia Panda, Ni Kweli Amefunga Ndoa na Dogo Janja?

$
0
0
Irene Uwoya Awaacha Watu Njia Panda Ni Kweli Amefunga Ndoa na Dogo Janja?
Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Irene Uwoya jana Jumamosi amethibitisha kuwa amefunga ndoa, huku akiwaacha watu njia panda  kwa kutoweka wazi mwanaume aliyefunga nae ndoa.

Wikiendi hii Irene Uwoya kupitia ukurasa wake wa Instagram amekuwa bize kuposti picha zake akiwa ndani ya shela huku akimshukuru Mungu kwa kufanikisha zoezi hilo.

Licha ya Irene Uwoya kutomtaja mwanaume, marafiki zake wa karibu wamempongeza na kumtaja mwanaume huyo kuwa ni Dogo Janja.

Mtu wa kwanza kutoa pongezi kwa Irene Uwoya ni Mtangazaji wa Clouds TV, Zamaradi Mketema ambapo amemtaja Dogo Janja kwenye pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika “Hongera Sana kwa NDOA mpenzi wangu, mwanzo nilihisi ni movie lakini sasa nimeamini.. MUNGU awatangulie katika hili mlilolifanya @ireneuwoya8 @dogojanjatz kila la kheri INSHA’ALLAH!!”
Hata hivyo licha ya kuzagaa kwa taarifa hizo mitandaoni kuwa wawili hao wamefunga ndoa bado Dogo Janja hajatoa taarifa yoyote kuhusu tetesi hizo.

Watu wa karibu na Dogo Janja wamekanusha taarifa hizo lakini Madee kwenye mahojiano yake mafupi na Bongo5 amethibitisha kuwa mwanaye Dogo Janja amefunga ndoa na harusi yake imefanyika Ijumaa ya wikiendi hii.

Huu Hapa Ujumbe wa Kikwete kwa Rais Magufuli Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa

$
0
0
Huu Hapa Ujumbe wa Kikwete kwa Rais Magufuli Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa
Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amemtumia ujumbe Rais wa sasa wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, kuhusu siku yake ya kuzaliwa ambayo ni leo Oktoba 29.

Kwenye ukurasa wake wa twitter Jakaya Kikwete ameandika ujumbe huo wa kumtakia heri, huku akizidi kumuombea kwa Mungu, ampatie afya na siha njema.
"Nakutakia kila la kheri Mhe Rais Magufuli unaposherehekea siku yako ya kuzaliwa. Nakutakia afya na siha njema na umri mrefu zaidi", ameandika Jakaya Kikwete.
Leo Oktoba 29, Rais Magufuli anasherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo anatimiza miaka 57, tangu alipozaliwa mwaka 1959 huko wilayani Chato mkoani Geita.

Rais wa Iran Amesema Nchi Yake Itaunda Silaha Yoyote Kwaajili ya Kujilinda

$
0
0
Rais wa Iran Amesema Nchi Yake Itaunda Silaha Yoyote Kwaajili ya Kujilinda
Rais wa Iran amesema kuwa nchi yake itaunda silaha zozote inazohitaji kujilinda dhidi ya uvamizi.
Wakati akihubia bunge Rais Hassan Rouhani, alisema kuwa Iran haitakuwa ikikiuka makubaliano yoyote ya kimataifa kwa kuunda silaha yakiwemo makombora ya masafa marefu.
Iran yajaribu kombora la nyuklia

Aliionya Marekani kuwa ukiukaji wa mkataba wa nyuklia uliotiwa sahihi kati ya Iran na mataifa sita yenye nguvu ni kwa manufaa yake.
Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni alikataa kuidhinisha mkataba huo akiitaja Iran kama nchi kaidi inayounga mkono ugaidi.

Kidato cha Nne Kuanza Mtiani ya Taifa Kesho

$
0
0
Kidato cha  Nne Kuanza Mtiani ya Taifa Kesho
Mitihani ya Taifa kidato cha nne hapa nchini inatarajiwa kufanyika siku ya kesho nchi nzima ambapo watahiniwa 385,938 wanatarajiwa kufanya nchini.

Hyo yamesemwa leo, Oktoba 29,2017 na Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde .

Dk Msonde amesema mtihani huo utaanza kesho Oktoba 30,2017 hadi Novemba 17,2017 huku  maandalizi ya mitihani yameshakamilika.

Amezitaka kamati za mitihani za mikoa na halmashauri kuhakikisha utaratibu wa uendeshaji wa mitihani unafuatwa.

Katibu mtendaji huyo amewataka wanafunzi kuacha vitendo vya udanganyifu wakati wa kufanya mitihani kwa kuwa wanaweza kufaulu bila kufanya hivyo.

Dk Msonde ametoa onyo kwa wasimamizi na wanafunzi  watakaojihusisha na udanganyifu na kusema kuwa baraza hilo halitasita kuwafutia mitihani wote.

Njoo Ufahamu Mavazi Unayotakiwa Kuyavaa Ukiwa Chumbani na Mwenza Wako Ambayo Yatasaidia Kupandisha Hisia

$
0
0
Njoo Ufahamu Mavazi Unayotakiwa Kuyavaa Ukiwa Chumbani na Mwenza Wako Ambayo Yatasaidia Kupandisha Hisia
Najua leo  ni siku ya mapumziko kwa watu wengi na ni siku ambayo familia inatulia nyumbani na ndo wakati mzuri kwa wapenzi kuwa karibu na kujiachia leo tuongee kuhusu mavazi gani ya kuvaa ukiwa na mwenzi wako chumbani.

Mapenzi ni hisia,na hisia hizo huwa kwa wote yaani kwa wanaume pamoja na wanawake,baadhi ya walio kwenye uhusiano huwalalamikia sana wenzi wao na sababu kuu huwa ni kutokuwa na hamu ya kufanya nao tendo la ndoa.Hapa nitazungumzia mavazi yanayopaswa kuvaliwa chumbani hasa mnapokuwa wawili tu yaani mke na mume..

Mwanaume siku zote huwa na hisia za haraka sana hasa ukimjulia,lakini baadhi ya wanawake huwa wanashindwa kuzijua haraka mbinu za kumpandisha mzuka mumewe hata kama amechoka au ana hasira kwa siku hiyo...

Ndugu yangu uchawi rahisi kwa mumeo ni kumvalia nguo nyepesi na yenye kuonyesha maumbile yako kamili,hii inaweza kuwa gauni nyepesi inayoonyesha maumbile yako ama siku hizi kuna mitandio milaini ambayo pia unaweza kuivaa pindi unapokuwa na mwenzi wako,ikumbukwe pia wanaume wengi hupatwa na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume kwa kukosa hisia za kufanya tendo hilo lakini wanawake ni dawa nzuri ya tatizo hilo ikiwa ataweza kumuhamasisha mumewe kwa njia mbalimbali ikiwemo ya vazi ambalo litamfanya mzee asisimke..

Ntakushangaa utaposhangaa mumeo hana hamu na wewe kwakuwa muda wote wamvalia madera ukikaa utafute anayekuroga utajipotezea muda mchawi ni wewe mwenyewe ambaye unashindwa kujiongeza ata mnapokuwa chumbani wawili.

Kwa Mara ya Kwanza Dogo Janja Afunguka Kuhusu Ndoa Yake na Irene Uwoya

$
0
0
Kwa Mara ya Kwanza Dogo Janja Afunguka Kuhusu Ndoa Yake na Irene Uwoya
HABARI zilizoenea katika mitandao ya kijamii ni kwamba msanii wa muziki wa Hip Hop nchini, Dogo Janja, amefunga ndoa kimyakimya na mnyange wa filamu, Irene Uwoya.
Baada kuenea kwa uvumi huo, mtandao wa Global Publishers ulifuatilia kujua ukweli juu ya ndoa hiyo iliyowashitua wengi.

Hatua ya kwanza jana ni pale mwandishi wa mtandao alipowaendea wahariri wa Magazeti Pendwa ya Global Publishers yanayohusiana na habari za wasanii wa Bongo Muvi, Bongo Fleva na wengineo ambapo walijibu kwamba walikuwa wamemtafuta msanii Hamad Aly ‘Madee’ aliyewajibu kwamba alikuwa hajui chochote kuhusu suala hilo.

Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini, Dogo Janja.
Mambo hayakuishia hapo kwani wahariri haohao walipowasiliana na Dogo Janja alijibu kwamba na yeye hakujua kinachoendelea.
Mwishoni wahariri wakamalizia kwa kuongea kwenye simu na Irene Uwoya ambapo alipopokea aliulizwa kuhusu suala hilo la kufunga ndoa na Dogo Janja.  Jibu la kwanza la mrembo huyo lilikuwa ni: “Mimi ni wa kuolewa?  Na nitaolewa na nani?  Na iweje niolewe na nyie Global msijue?”

…Alichokisema Madee kwenye akaunti yake ya Instagram.
Baada ya kuyasema hayo, muigizaji huyo mahiri wa filamu alimalizia kwa kusema kwamba yote hayo yalikuwa ni muvi ambayo alisema itatokea hivi karibuni.
Leo, Jumapili, mwandishi wa mtandao wetu aliwatafuta tena Madee, Dogo Janja na Irene Uwoya ili kujua iwapo walikuwa wanaendelea na msimamo wao kama walivyowaambia wahariri wetu.
Mambo yalianzia kwa Madee aliyesema ni kweli Dogo Janja amefunga ndoa ila hakutaja alikuwa amefunga ndoa na nani.  Mwanamuziki huyo aliye na makazi yake Manzese jijini, alimalizia kwa kuupa mtandao huu namba za simu za Dogo Janja ili uongee naye.

Irene Uwoya akiwa katika pozi.
Kilichofuatia ni mtandao kumpigia  simu Dogo Janja aliyeipokea na kubadilishana salam na mtandao huu lakini ghafla alinyang’anywa simu na Uwoya aliyesema kwamba ni kweli ‘bwana mdogo’ huyo alikuwa ameoa.
Hata hivyo, hakutaja kama ni yeye aliyekuwa ameolewa, lakini aliongeza kwamba: “Tafadhali tuacheni msitusumbue!”
Mpaka tunakwenda mtamboni, maelezo ya wahusika wote yalikuwa hayajaonyesha moja kwa moja kwamba ndoa hiyo kweli ilikuwa imefungwa baina ya wawili waliotajwa.
Chanzo Global Publishers

Shilole Harusi Yake Si ya Mchezo Mchezo Mume Wake Mtarajiwa Amuhaidi Kumpeleka 'Honey Moon' Ulaya

$
0
0
Shilole Harusi Yake Si ya Mchezo Mchezo Mume Wake Mtarajiwa Amuhaidi Kumpeleka 'Honey Moon' Ulaya
Mume mtarajiwa wa msanii ambaye ni mfano wa kuigwa kwa mabinti kutokana na juhudi zake za kupambana na maisha, Zuwena Mohamedi au Shilole, ameweka wazi matarajio ya kumpeleka Ulaya kula 'honey moon' mke wake huyo mtarajiwa.

Akizungumza na mwandishi wa East Africa Radio, mwanaume huyo anayejulikana kwa jina la Uchebe, amesema ndoa yake na msanii huyo itakuwa mwezi wa 12 mwaka huu kwa kuwa ameshakamilisha taratibu zote za kuhalalisha mahusiano yake na msanii huyo.
"Mwenyezi Mungu afanyie wepesi sasa hivi tupo kwenye maandalizi, na akipenda mwezi wa 12 itakuwa ndoa kwani taratibu zote nishafuata, mahari mi nishamaliza sidaiwi, na honey moon nampeleka Ulaya", amesema Uchebe ambaye ndiye shemeji yetu kwa Shilole.
Hivi karibuni kulikuwa na tetesi kwamba wawili hao wameachana, na Shilole kukanusha taarifa hizo na kusema kwamba wawili hao bado wapo pamoja.
Fahamu kwamba pamoja na vituko vyake vingi, Shilole ni mfano bora kwa mabinti kutokana na bidii anazoonyesha kwenye kupambana na maisha, ambapo mpaka sasa ni mjasiriamali mkubwa, kwa kuwa na mgahawa wa chakula, bidhaa ambayo ni brand yake pamoja na kusimamia wasanii wengine.

Shilole akiwa na mchumba wake.

Hivi ndivyo Bondia Muingereza, Antony Joshua Alivyomgalagaza Mfaransa

$
0
0
Hivi ndivyo Bondia Muingereza, Antony Joshua Alivyomgalagaza Mfaransa
Jana usiku kulikuwa na pambano kubwa la masumbwi kati ya Bondia Muingereza, Antony Joshua na bondia  Carlos Takam kutoka Cameroon. Ambapo Joshua alimaliza pambano kwa kumtwanga Takam kwa TKO iliyoleta utata kwa mashabiki.



Joshua alipata ushindi wa TKO kunako raundi ya 10 kwa refa kusimamisha pambano hilo baada ya Takam kuvuja damu nyingi usoni.

Watu wengi waliohudhuria kwenye pambano hilo walimzomea mwamuzi wa pambano hilo wakidai Takam alikuwa bado ana nguvu ya kupambana japokuwa alikuwa amepasuka usoni.

Mashabiki wengi wa Takam wanasema refa angempa muda bondia huyo kufutwa damu ili aendelee na pambano kwani alikuwa bado na nguvu za kurusha ngumi hivyo wanaamini mwamuzi huyo alimaliza pambano kwa matakwa.

Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya mpambano huo, Anthony Joshua amesema kama pambano lingeendelea angemuumiza zaidi Takam hivyo maamuzi ya refa yalimuokoa .

Huu unakuwa ni ushindi wa 20 mfululizo kwa Antony Joshua (28) baada ya kufanikiwa kutetea ubingwa wake wa mkanda wa IBF hapo jana.
Viewing all 104694 articles
Browse latest View live




Latest Images