Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104429 articles
Browse latest View live

Baba Mzazi wa Marehemu Ndikumana Abariki Irene Uwoya Kuolewa na Mwanaume Mwingine

0
0
WAKATI staa mkubwa wa filamu Bongo, Irene Uwoya akirejea nyumbani kutoka Rwanda alikoenda kwa ajili ya kuhani msiba wa mume wake Hamad Ndikumana ‘Ndiku’, baba mzazi wa mwanaume huyo, amebariki mkwe wake kuolewa na mtu mwingine, Risasi Jumamosi linakuwa la kwanza kukujuza.

Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichokuwepo katika kikao cha mwisho cha kuagana, Mzee Ndikumana alimwambia mama huyo wa mtoto mmoja kuwa anaweza kuolewa, kwani baada ya mwanaye kufariki, anajua upweke atakaokuwa nao.

Baba mzazi wa mwanaume Irene Uwoya, Hamad Ndikumana ‘Ndiku’ akifanya maombi.
“Ninachoweza kukuambia ni kwamba Uwoya sasa yupo huru kuolewa, wazee huku wala hawana tatizo naye, ni yeye tu na kwa jinsi nilivyomuona, anaonekana amefurahi sana kwa tamko hilo,” kilisema chanzo hicho ambacho kipo karibu na muigizaji huyo.
Akizungumza na Risasi Jumamosi juu ya ishu hiyo, Uwoya alikwepa kwenda moja kwa moja, lakini akasema aliagana vizuri na familia ya marehemu mumewe na kuwa baba mkwe wake, alimpa faraja kubwa na kuonyesha wazi upendo wao kwake kwani wanamkubali na hakuwa na matatizo nao tangu akiwa na mumewe.

“Jamani alichonifanyia baba yake Ndikumana ni kikubwa sana kwangu, naamini kabisa baraka alizonipa zitanisaidia sana katika maisha yangu kwa sababu hata siku moja sikuwahi kukwazana na familia hiyo na nilikuwa nawaheshimu kama wazazi wangu siku zote” alisema Uwoya.

Uwoya alizidi kufunguka kuwa anawashukuru wazazi hao kwa sababu walimpokea vizuri na kumpa heshima zote kama mkwe yeye pamoja na wazazi wake na mtoto wake Krish kitu kilichomfanya kujisikia vizuri sana.

“Nilikuwa na majonzi sana lakini kwa jinsi walivyonionyesha ukarimu wao mkubwa, nilijisikia vizuri sana na nilijiona mtu mwingine tofauti kabisa na nilifarijika mno” alisema Uwoya ambaye akiwa huko, mtu wake wa karibu alikuwa ni aliyekuwa mpenzi wa sasa wa Ndiku, Asma.

Risasi Jumamosi lilimtafuta mmoja wa watu wa karibu waliosafiri na muigizaji huyo, Mike Sangu ambaye pia ni msanii ambaye alipoulizwa kuhusu ishu ya wakwe kumpa baraka za kuolewa Uwoya, alisema anachokumbuka ni baba mzazi wa Ndiku kumwombea dua, akimtakia safari njema
.
“Hayo mengine mimi siwezi kuyazungumzia, ninachofahamu mzee alimuombea dua na kumtaka aende salama, alimtaka akaendelee na maisha yake, ila asisahau kuikumbuka familia yake, awe anampeleka mtoto Krish huko, walisema wao hawana kinyongo naye kabisa. Walisema tofauti zao na mzazi mwenzake ni mambo ya kawaida katika ndoa, wao hawawezi kuziingilia, ila wanamtambua kama mkwe wao,” alisema Mike.

Marehemu Ndikumana alifariki dunia usiku wa Novemba 14, mwaka huu baada ya kuelezwa kuwa jioni yake alikuwa mazoezini na klabu yake ya Rayon Sports, ambako alikuwa ni kocha msaidizi

Picha: Muonekano Mpya wa WEMA SEPETU, Awapiku Zari na Hamisa

0
0
Kusema kweli Wema kajua kunoga, hivi alikua anafanya makusudi au alikua anategea kiki? Kusema kweli page ya wema ilikua haina mvuto, especially picha anazopost ukilinganisha na mastaa wengine kama zari, lulu, hamisa na Tunda, yani alikua anajipostia tu picha utadhani akina Rachel dangwa.

Safari hii naona wema kaamua kurudi kwenye level zake, Safi sana mama ubaya, kwa uzuri tu inshallah uliumbwa, kazana tu kupigania jina lako ambalo lilikua linakosa mvuto siku za hivi karibuni, hata kama huna IPhone 7 ,jitahidi uazime simu au utafute ma camera man wazuri, picha zako kwa kweli insta hazivutii tofauti na hii, yani hapa si hamisa, wala zari, hawafui dafu, kazana mama ngina, warumi nakusapoti

By Warumi

Familia ya Ndikumana Yasema iko Tayari Kumsaidia Mtoto Kufikia Malengo yake

0
0
Familia ya marehemu Ndikumana ambaye alikuwa mume wa muigizaji wa filamu Tanzania, Irene Uwoya, imesema iko tayari kumsaidia mtoto wao aliyeachwa na marehemu Hamadi Ndikumana, Krish Ndikumana, ili kuweza kufikia ndoto yake ya kuwa mcheza soka maarufu

Akizungumza na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, mdogo wa marehemehu Hamadi Ndukaman, Laddy Ndikumana, amesema wao kama familia wako tayari kuhakikisha ndoto hiyo inatimia, kwani kipaji cha soka kipo kwa familia yao nzima.

"Tutajaribu kumsaidia kwa sababu kama familia nzima ni wanasoka, na hiyo ni kipaji ambacho yuko nacho tayari, tutamsaidia kufikia malengo yake", alisikika Laddy Ndikumana akimwambia Big Chawa.

Marehemu Ndikumana ameacha watoto wawili akiwezo Krish ambaye amezaa na muigizaji Irene Uwoya, na aliwahi kusikika akisema nataka kuwa mcheza soka maarufu kama baba yake.

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa

0
0
Kutana  na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na  Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na Maalim Hussein Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.

Issa simba said Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia  Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi +255 622588038au 0679119679 au +255 764318107
NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE..

Yanga yamsajili Kimya Kimya Straika Mkomola

0
0
STRAIKA wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 'Ngorongoro Heroes', Yohana Mkomola, amesaini mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuichezea Yanga, kuanzia mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.

Mkomola ambaye ni tegemeo ndani ya Ngorongoro Heroes, alijiunga na Etoile Du Sahel  mwezi Agosti, klabu iliyomchukua kwa makubaliano maalumu ya kumlea kwa sababu alikuwa na miaka chini ya 18 na baada ya hapo, wangemsajili jumla.

Hata hivyo, licha ya tetesi hizo kujulikana, uongozi wa Yanga na Mkomola mwenyewe, wamegoma kuthibitisha na wakidai kama suala hilo lipo, litajulikana tu.

Huo utakuwa usajili wa pili wa Yanga, awali walimsajili Mcongo Fiston 'Festo' Kayembe Kanku kwa mkataba wa miaka mwili.

Nyota wa Tanzania Aelezea Alivyoumia Vibaya na Kufanyiwa Upasuaji Ughaibuni

0
0
Mlinzi wa kimataifa wa Tanzania anaecheza soka nchini Ujerumani kwenye klabu ya VfB Eppingen inayoshiriki Ligi Daraja la Tano, Emily Mugeta amesema anamshukuru Mungu baada ya hali yake kuendelea kutengemaa baada ya kufanyiwa upasuaji.

Mugeta alifanyiwa upasuaji wa bega lake baada ya kuumia vibaya wakati akiitumikia timu yake huku upasuaji huo ukiwa ni wa pili baada ya ule wa kwanza uliohusisha bega hilo hilo kufanikiwa licha ya kuhitajika kukaa nje ya uwanja msimu mzima.

Mugeta aliyepata kucheza kwenye klabu ya Simba aliiambia shaffihdauda.co.tz kuwa: “Ndiyo, nimefanyiwa upasuaji wa bega, maendeleo si mabaya,” alianza kueleza nyota huyo. “Niliumia wakati nikiitumikia timu yangu kwenye mechi, wameniambia nitakaa nje kwa miezi 10, yaani msimu mzima kwani niliumia vibaya sana.”

Licha ya kutarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa msimu mzima, matibabu ya nyota huyo yamegharamiwa na timu yake, VfB Eppingen lakini mwenyewe haachi kumshukuru Mungu kwa yote yaliyojitokeza kwani ndie mpangaji wa yote.

Emily Mugeta anaongeza idadi ya majeruhi wanaoiandama Tanzania baada ya nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbana Samatta kufanyiwa upasuaji huko Ubelgiji na nyota mwingine wa Tanzania, Farid Mussa kuripotiwa kuwa majeruhi pamoja na Thomas Ulimwengu.

Mchezaji Simba Ndemla Amefuzu Majaribio Sweden

0
0
Mchezaji Said Hamis Juma ‘Ndemla’ amefanikiwa kufuzu kwenye majaribio yake ya kucheza Soka la kulipwa barani Ulaya.

Ndemla aliyekuwa nchini Sweden kwa majaribio kwenye klabu ya Eskilstuna ya huko.anatarajiwa kurejea nchini siku ya jumatatu inayokuja.

Na mara baada ya kurejea. klabu za Simba na Eskilstuna zitaanza mazungumzo ya kimkataba ili kumwezesha kiungo huyo kwenda Sweden kwa ajili ya kucheza Soka huko.

Kiufupi klabu imefurahishwa na azma ya Ndemla ya kutaka kusonga mbele zaidi, na kama ilivyo desturi na utamaduni wa Simba, klabu haitasita kumruhusu mchezaji yoyote anayepata fursa adhimu kama hiyo itakayomsaidia mchezaji binafsi.klabu na Taifa kwa ujumla.

Wakati huohuo kesho klabu ya Simba itakutana na viongozi wote wa matawi.

Mkutano huo ni maandalizi ya mkutano mkuu maalum wa klabu wa tarehe 3-12-2017. na mkutano huo wa kesho utafanyika makao makuu ya klabu kuanzia saa Nne kamili asubuhi ya jumapili ya tarehe 26-11-2017.

Uongozi wenu unawaomba Wanachama na washabiki wa klabu yetu kujitokeza kwa wingi kesho uwanja wa Uhuru kuishangilia timu yao, itakapocheza mchezo wa ligi kuu dhidi ya Timu ya Lipuli ya Iringa.

HAJI S. MANARA

Mkuu wa Habari  na mawasiliano Simba  Sports Club.

Sare yaipa Ubingwa wa Shirikisho Africa TP Mazembe

0
0
Baada ya kushinda katika mechi ya kwanza kwa mabao 2 kwa 1, usiku wa leo vigogo kutoka nchini Congo Tp Mazembe walifanikiwa kutwaa ubingwa wa Confederation Cup baada ya kulazimisha sare

Super Sport waliokuwa nyumbani walihitaji ushindi mdogo sana walau wa bao moja kwa nunge ili kuweza kutwaa taji hilo kubwa la kwanza kwao lakini walishindwa kufanya hivyo katika mchezo huo.

Kilichowasaidia Mazembe katika mchezo huo ilikuwa ni aina ya mchezo walioingia nayo katoka mechi hiyo ambapo kuanzia dakika ya kwanza walipoingia uwanjani walikuwa wakijaribu kuwashambulia Super Sports.

Kitendo cha Mazembe kuwashambulia Super Sport kiliwafanya wacheze kwa tahadhari kubwa sana jambo lililowafanya Mazembe kuwa huru zaidi na kuutawala mchezo huo hadi dakika ya 90.

Shaffi Dauda

BREAKING: CHADEMA yajitoa Kwenye Uchaguzi wa Madiwani Katika Kata Tano

0
0

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuondoa Wagombea wake wa udiwani katika kata tano wilayani Arumeru mkoani Arusha.




Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Mbowe kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema kuwa uamuzi huo umekuja baada ya Mawakala na Wagombea kutekwa na kushambuliwa kwenye vituo vya kupigia kura.

“Tumeagiza wagombea, mawakala na viongozi wetu wote wajitoe kwenye mchakato wa kata 5 za Arumeru Mashariki Kuna utekajinyara, mashambulizi, ubabe na ushenzi Wananchi wanaonewa sana Wagombea na viongozi wanatekwa, mawakala wanaondolewa vituoni, kura zinapigwa pasipokuwepo mawakala.”

Je Dada Unapenda Kuwa Mrembo na Kaka Unakosa Hamu ya Tendo au Uume Mdogo?

0
0
BAADA YA UTAFITI TULIOFANYA MARKSON BEAUTY  TUMEGUNDUA KUWA  WANAUME WENGI DUNIANI HUSUMBULIWA NA MATATIZO KAMA👇👇
☆Kukosa hamu ya tendo.
☆Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurudia tendo.
☆Maumbile madogo ya uume.
☆Kuchoka sana wakati wa tendo na uume kusinyaa  nk.
      @markson_beauty_pr tumeandaa tiba bora kabisa kama ifuatavyo:-
1.HANDSOME UP OG_ Inaongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli (wiki 2) @250,000/=
2.SHARK POWER GELY_ Inaongeza uume inch 6 (wiki 4) @150,000/=
3VigRX  CREAM_ Inaongeza uume inch 6.5 hadi 8 (wiki 2-3) @200,000/=
4.Vidonge maalum vya kuongeza nguvu na hamu ya tendo hata kwa wenye kisukari na BP @150,000/=
5.VIGA SPRAY OG_ Inaongeza uwezo ktk tendo na kuchelewesha kufika kileleni @150,000/=
     PIA KWA WANAWAKE WANAOPENDA KUWA NA MUONEKANO MZURI ZIPO ZA👇👇👇
☆Kuongeza hips, makalio na mapaja @200,000/=
☆Kushepu mguu (CHUPA YA BIA) @150,000/=
☆Kuwa mweupe bila sugu @150,000/=
☆Kurefusha nywele na kutokukatika ovyo @150,000/=
☆Kupunguza au kuongeza maziwa kuyasimamisha @130,000/=
*Kubana uke na kuzuia uchafu ukeni @130,000/=
*Kupunguza unene na manyama uzembe @150,000/=
     BIDHAA HIZI NI ZA MIMEA NA MATUNDA NA ZIMEPIMWA KTK MAMLAKA NA KUPATA KIBALI HIVYO NI SALAMA KWA 100%

    Wasiliana nasi Popote
  ulipo duniani kwa (+255)
           0767447444 au
              0714335378
        UTAPATA HUDUMA
    NB:Matokeo ni uhakika na garantii na hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON BEAUTY CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.
        Follow us
WEBSITE:- www.markworldbeauty.og
INSTAGRAM PAGE:-
@markson_beauty_pr

Wasiliana na The Great Maalim Hussein Mtaalam wa Kutatua Matatizo Yaliyoshindikana Kwa Kutumia Nyota na Dua

0
0
THE GREAT MAALIM HUSSEIN
Wasiliana na Mtaalam Huyu Kwani yeye hufaulu Pale wote waliko Shindwa na Pia Humaliza kazi zilizo Shindikana ama Zilizo Achwa ndani ya Siku Moja 1.
Maalim Hussein ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOPIGA SIMU ZA SHUKRANI NA KUTOA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO SAIDIA(Rudisha Mahusiano yako Ndani ya Saa 12 tu)

MAALIM HUSSEIN ni Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili Mwenye Uwezo wa Kubaini Tatizo lako tu Pindi Utakapo Fanya Mawasiliano Kupitia Wasaa Husika.
(NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFATA MAELEKEZO YAKE..)

Je Unasumbuliwa na Mapenzi..?
Umeachwa na UMPENDAE Awe Mume/Mke na Bado Unampenda
Je Umejaribu Sehemu Nyingi Bila Mafanikio?
Mpigie Simu sasa Hivi Ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo..
Anauwezo wa Kurudisha Mahusiano yako na Kuimarisha NDOA Ndani ya saa 12 tu.
Je Umekimbiwa na Mumeo/Mkeo au Mpenzi na Anaishi na Mtu Mwingine..?
Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao (Mfarakano/Kimavi) Endapo Utafata Atakacho Kuelekeza.

Je Una Mpenzi wako ana Pesa na unataka Kumkamata? Muone Maalim Hussein Atamfanya Atimize Ahadi zote Ndani ya Muda Mfupi..
Maalim Hussein Anatumia Jina La Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo..
Anatibu Kutumia QUR_AN DAWA ZA ASILI YA AFRICA, Dawa za KIARABU NA MAJINI..
ANATAFSIRI NDOTO. ANAPANDIKIZA NYOTA YA KUSHINDA BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA NA KUKUPA MVUTO WA AJABU, KUTOA NUSKI NA VIFUNGO MBALIMBALI.

ZINDIKO ZA NYUMBA NA BIASHARA.. PETE ZA BAHATI.. HUMALIZA KABISA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA KUREFUSHA UUME KWA SAIZI UNAYOTAKA. HUZUIA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA. HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA..
MAGONJWA SUGU, MIGUU KUWAKA MOTO AU KUFA GANZI, HUTIBU BUSHA BILA KUPASUA..ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA  ALIE MBALI AU ALIECHUKULIWA MSUKULE..

Humaliza Kesi ya Aina Yoyote Ndani ya Siku 7 tu..
Hutoa Jini la MALI kwa wale Wanao Hitaji Utajiri Bila Masharti..
+255 674 835 107 WhatsAPP tu.

Mwanamuziki Nyashinski Ataka Kulipwa Mil 20 Kwenye interview, Wakenya Wamjia juu

0
0
Ni kweli Nyashinski ameanza kulewa umaarufu? Hiko ndio kitu kinachoonekana kwa msanii huyo kutoka kwa mashabiki na wadau wa muziki wa nchini Kenya.



Tuhuma hizo zimeibuka kupitia gazeti maarufu nchini Kenya baada ya msanii huyo kudaiwa kutaka kulipwa kiasi cha shilingi milioni moja za Kenya ambazo ni sawa na milioni 20 za Kitanzania kautika kila interview atakayoalikwa.

“Alisema anataka tumlipe ndio aje kwenye show. Asipochunga ata-fade haraka. Nasikia amekuwa akiifanya hata studio fulani hivyo. Kwani yeye ni nani?,” limeandika gazeti hilo wakati wakimnukuu mmoja ya waaandishi ambao walikataliwa na Nyashinski kufanya mahojiano.



Nyashinski amedaiwa kuwa alikataa kufanya mahojiano hayo na kipindi kikubwa nchini humo cha runinga ambacho kinaruka kila siku za Ijumaa usiku.

Wakati huo huo Bongo5 imemtafuta mmoja ya waandishi kutoka nchini humo amethibitisha kuwa hiyo ndio tabia mpya ya msanii huyo na ameanza kuwavimbia mpaka wasanii wenzake kwa kuwakatalia kufanya nao kolabo.

Source: Bongo5

Jux na Vanessa Warudiana, Wala Denda Live Jukwaani Fiesta

0
0
Wasanii wa muziki Jux pamoja na Vanessa Mdee kupitia jukwaa la Fiesta 2017 lililofanyika Leaders Club Jumamosi hii wamefanya tukio ambalo linaonyesha wawili hao kwa sasa wapo pamoja katika mahusiano ya mapenzi. Wawili wao walitengana miezi michache iliyopita lakini kwa kupitia tukio la show hiyo limeonyesha wamerudiana. VIDEO:

Akamatwa kwa Rushwa Uchaguzi mdogo

0
0
Akizungumza na eatv.tv kamanda Muroto amesema askari wapo wa kutosha katika vituo vyote pamoja na yeye akiwa anazunguka maeneo yote ili kuhakikisha uchaguzi unaendelee kwa amani na utulivu na hadi sasa hakuna changamoto yeyote ya kiusalama.

Aidha kamanda ameeleza kuwa kuna mtu mmoja amekamatwa na mamlaka ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU ambapo amesema ripoti kamili ataitoa baada ya uchaguzi kukamilika.
"Mimi nipo eneo la kata ya Chipogoro nazunguka katika vituo vyote ila kuna ripoti ya wenzanetu wa TAKUKURU wamemkamata mtu mmoja kwa tuhuma za rushwa hivyo nikirudi ofisini baadae nitatoa ripoti kamili", amesema.

Kwa upande mwingine kamanda ametoa rai kwa wananchi kuwa watulivu wakati wa kupokea matokeo na kama kuna mtu ambaye hataridhika na matokeo yatakayotolewa zipo taratibu za kufuata na sio kufanya fujo.

Kwa upande wake, Msimamizi wa uchaguzi Mohamed Maje amesema hakuna changamoto zozote zilizopatikana na mpaka sasa nusu ya wapiga kura waliojiandikisha kupiga kura wamejitokeza.

Sehemu Salama Zaidi Kwenye Ndege....Iwapo Itapata Ajali

0
0
Ndege ni usafiri salama zaidi duniani. Lakini ajali yake kupona ni kazi sana.
Kwa utafiti wa wataalam sehemu utakayokaa kwenye ndege ina nafasi kubwa sana kuamua uhai wako.
Igawe ndege mara tatu, kipande cha mbele,kati na nyuma.
1. Ukikaa mbele nafasi ya kupona ni 49%
2.Ukikaa kati nafasi ya kupona ni 56%
3.Ukikaa nyuma nafasi ya kupona ni 69%
Vile vile siti ya koridoni ni salama zaidi kuliko dirishani.
Jitahidi usikae zaidi ya mistari mitano kutoka mlango wa dharura.

Wanasema ndege ikianguka sehemu ya nyuma inameguka mara nyingi inabaki salama, sehemu ya kati kwa sababu ndio kuna tank la mafuta ndio huwa inaungua sana, sehemu ya mbele ndio ya kwanza kukutana na impact mfano kwenye crash landing.
Source:NatGe Air Crash Investigation

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa

0
0

Kutana  na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na  Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na Maalim Hussein Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.

Issa simba said Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia  Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi +255 622588038au 0679119679 au +255 764318107
NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE..

Sintofahamu Uchaguzi Madiwani...Habari Zilizopo Katika Magazeti ya leo Jumatatu ya Novemba 27

0
0

Sintofahamu Uchaguzi Madiwani...Habari Zilizopo Katika Magazeti ya leo Jumatatu ya Novemba 27

Mrisho Gambo Afunguka Lowassa Kutaka Kurudi CCM....Adai Amemtuma Amuombee Kwa Magufuli

0
0
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo alisimama kwenye jukwaa la kumpigia kampeni Mgombea Udiwani kwenye siku ya mwisho ya kampeni November 25.

Akiwa kwenye Jukwaa hilo Gambo alisema ametumwa na Lowassa kwa Rais Magufuli akitaka kurudi CCM hivyo afikishe ujumbe kwani yeye Lowassa kwa muda mrefu ametamani kuongea na Rais Magufuli lakini hajakubaliwa

 VIDEO:

Lowassa: Nashangaa Gambo Anaongea Uongo Mkubwa, Sijaomba Kukutana na Rais

0
0
Aliyekuwa mgombea urais wa CHADEMA 2015 Edward Ngoyai Lowassa ambaye alihama CCM, ameweka wazi taarifa za kutaka kurudi CCM, na kusema kwamba hana mpango kabisa na wala hafikirii kurudi CCM.

Lowassa ameyasema hayo kufuatia kauli iliyotolea na mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho ambo, kwamba Lowassa ana mpango wa kurudi CCM kama baadhi ya wananchama wengine wa CHADEMA walivyofanya, na kusema kwamba taarifa hizo hazina ukweli wowote na haitakuja tokea.

“Hizo habari ndio nazisikia kutoka kwenu, taarifa hizi si za ukweli na uongo mtupu, sijaomba kukutana na rais, nashangaa kwa nini mkuu wa mkoa mzima anasema uongo mkubwa kiasi hicho, na anaachiwa bila kuchukuliwa hatua”, amesema Edward Lowassa.

Edward Lowassa ameendelea kwa kusema kwamba kitendo cha Mrisho Gambo ambaye ni mkuu wa mkoa wa Arusha kusema hadharani kwamba Lowassa amemuomba amkutanishe na Rais Magufuli kwani anataka kurudi kwenye chama, ni kitendo kisichofaa kwa kiongozi mkubwa kama yeye, na kumtaka aache mara moja kwani yeye sio msemaji wake.

“Ni jambo la jabu sana, nataka kumwambia Mrisho Gambo aache uongo sina mpango wa kurudi CCM na siihitaji CCM, wananchi wapuuze maneno hayo, ni uongo, anastahili kuchukuliwa adhabu, nasikitika sana Gambo anataka kuchukua wajibu ambao sio wake, haihitaji kuwa msemaji wangu na wala simuhitaji kuwa msemaji wangu, naiheshimu sana ofisi ya mkuu wa mkoa nategemea atashughulika na ofisi ya mkuu wa mkoa inayomuhusu, badala ya kutoa maneno ya uongo mtaani”, amesema Edward Lowassa.

Hivi karibuni Mrisho Gambo alisikika akisema kwamba amefuatwa na baadhi ya watu ambao wametumwa na Lowassa, kumuomba amsaidie kukutana na Rais Magufuli ili aweze kurejea CCM, kwani uamuzi ambao aliufanya mwaka 2015 wa kuhama chama ulikuwa ni uamuzi wa hasira.

Chanzo: EATV

Mwanamuziki Hamorapa Kwisha Habari yake...Meneja Wake Afunguka

0
0
UBUYU wa leo unatakiwa uumun’gunye taratibu, ukipenda unaweza kushushia na maziwa maana unaambiwa mzee wa kiki ambaye alijizolea umaarufu miezi kadhaa iliyopita, Athuman Omary ‘Hamorapa’, kibarua chake tayari kimeota mbawa kwa meneja wake, Irene Sabuka. Irene Sabuka ndiye yule meneja wake aliyemsaidia kumtoa kisanii na zile mbwembwe zote, lakini sasa unaambiwa mambo ‘kwishnei’.

TUJIUNGE NA MLETA UBUYU WETU
Chanzo chetu makini ambacho ndicho mleta ubuyu wetu kilipepeta mambo kuwa, mwanamuziki huyo aliliamsha dude la meneja wake huyo baada ya kujitokeza kwa promota na kudai kuwa anaweza kumsaidia kupata shoo mbalimbali mikoani. Chanzo hicho ambacho ni mkereketwa na ubuyu wa mastaa kilizidi kutonya kuwa, baada ya promota huyo kuanza kumchukua Hamorapa na kufanya shoo mikoani, hakukuwa na mrejesho wowote wa fedha kwa meneja huyo badala yake walidai kuwa shoo hazikufanya vizuri.

IRENE ADAI KUTUMIA MIL. 70
“Yaani huyo promota na Hamorapa kila wanapokwenda mikoani, wakirudi hawana fedha wakati Irene alishatumia karibia shilingi milioni 70 kwa ajili ya kumtoa mwanamuziki huyo na kuwa juu kisanaa,” alisema sosi huyo.

MENEJA ATIBUKA ZAIDI
Mleta ubuyu huyo anasema kuwa, jambo hilo ndilo lililomtibua zaidi meneja huyo ni baada ya mwanamuziki huyo kuchukuliwa tena na promota huyo bila taarifa yoyote juu ya ni wapi walikokwenda. “Sasa kitu ambacho kilimfanya Irene akasirike zaidi ni kuwa promota huyo alimchukua Hamorapa, bila taarifa na kuondoka naye hivyo kumkasirikia na kumtaka amchukue moja kwa moja na asiwe tena chini yake,” kilifunguka chanzo hicho. HUYU

HAPA IRENE
Ijumaa Wikienda, kama kawaida yake, baada ya kupata ubuyu huo lilimtafuta Irene ambapo alipoulizwa kuhusu hilo
alisema kuwa, anachojua kuwa yeye alichukuliwa na promota huyo kwa kurubuniwa hivyo na yeye aliamua kunyanyua mikono ili aendelee naye. “Ninachojua huyo promota alijifanya anataka kumsaidia kumbe alishaona amepata jina, akataka kumrubuni na mimi nimeamua kumuacha tu kwa sababu ninajua ni wapi nilipomtoa,” alisema Irene.

HAMORAPA ASOMEWA MASHTAKA
Ijumaa Wikienda lilimtafuta Hamorapa na kumsomea mashtaka yake ambapo alidai kuwa, yeye anachojua bado Irene ni meneja wake na kama siyo ataliweka wazi baadaye. “Kuna vitu vimetokea kweli ila ninachojua Irene bado ni meneja wangu na ninamuomba Mungu tumalize tofauti zilizopo,” alisema Hamorapa.

NENO LA MHARIRI
Kama anavyosema Hamorapa ni jambo la kumuomba Mungu ili wamalize tofauti zao kwani wote wawili wametoana mbali

GPL
Viewing all 104429 articles
Browse latest View live




Latest Images