Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104689 articles
Browse latest View live

Anthony Joshua Aongoza Tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Mwaka 2017 Nchini Uingereza

$
0
0
Anthony Joshua Aongoza Tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Mwaka 2017 Nchini Uingereza
Bingwa wa uzito wa juu duniani, Anthony Joshua anaongoza katika orodha ya wachezaji 12 waliyotangazwa kuwania tuzo ya mwanamichezo bora wa mwaka 2017 nchini Uingereza kupitia shirika la BBC.

Joshua mwenye umri wa miaka 28, ambae ni bingwa wazamani wa Olympic na bingwa wa uzito wa juu amekuwa akipendwa zaidi tangu alipotwaa taji lake la WBA na IBO baada ya kumshinda mpinzani wake Wladimir Klitschko katika dimba la Wembley mwezi Aprili.

Huku bondia huyo akifanikiwa kuutetea mkanda wake wa IBF katika pambano lake la hivi karibuni dhidi ya Carlos Takam mwezi Oktoba katika Uwanja wa Cardiff Principality uliyojaza mashabiki 80,000.

Anthony Joshua anakabiliana na ushindani mkubwa kutoka kwa bingwa wa mwaka  2014, Lewis Hamilton ambae pia ni mshindi mara nne wa mashindano ya Formula One mwezi uliyopita na Chris Froome mshindi mara nne wa mashindano ya Tour de France.

Mwanariadha, Mo Farah mshindi wa mbio za dunia mita 10,000 jijini London huku katika listi hiyo akiwemo mchezaji wa Tottenham, Harry Kane.

Kane ni mfungaji bora wa ligi ya Uingereza mwaka 2016/17 na kuisaidia Uingereza kufuzu michuano ya kombe la dunia.

Mchezaji tenis namba moja kwa ubora nchini Uingereza, Johanna Konta nimiongoni mwa wachezaji waliyotangazwa katika listi ya kuwania kinyang’anyiro hicho.


Manchester United Kuonyesha Ubabe Wake Leo

$
0
0
Manchester United Kuonyesha Ubabe Wake Leo
Ligi kuu ya soka nchini England inaendelea leo kwa jumla ya michezo minne kuchezwa huku mchezo unaowavutia wengi zaidi ni ule kati ya wenyeji Watford watakaowakaribisha Manchester United.

Mchezo huo unatazamiwa kuwa na mvuto wa aina yake kutokana na kuwakutanisha makocha wawili kutoka nchini Ureno ambao ni Marco Silva wa Watford pamoja na Jose Mourinho wa Man United.
Manchester United inaingia kwenye mchezo wa leo ikiwa imetoka kupata ushindi wa pili mfululizo kwa kuifunga Brighton & Hove Albion FC bao 1-0, jumamosi iliyopita. Hata hivyo Man United itaingia kwenye uwanja wa Vicarage Road ikiwa na tahadhari kubwa kutokana na kupata kipigo cha mabao 3-1 msimu uliopita.

Watford ambayo inashika nafasi ya 8 ikiwa na alama 21 imekuwa imara msimu huu ambapo mechi yake ya mwisho iliichapa Newcastle mabao 3-0 jumamosi iliyopita.
Manchester United inayoshika nafasi ya pili ikiwa na alama 29 itakuwa na kikosi chake kamili baada ya wachezaji wake waliokuwa majeruhi kurejea uwanjani. Nahodha Michael Carrick ataendelea kuwa nje ya uwanja kutokana na kusumbuliwa na tatizo la moyo.

Waziri wa Zamani wa Fedha wa Zimbabwe Aachiwa kwa Dhamana

$
0
0
Waziri wa Zamani wa Fedha wa Zimbabwe Aachiwa kwa Dhamana
Waziri wa zamani wa fedha wa Zimbabwe Ignatius Chombo na kiongozi wa tawi la vijana wa Zanu PF, Kudzai Chipanga waliofikishwa tena mahakama ya hakimu mkazi Harare jana, wamenyimwa dhamana.

Baada ya hatua hiyo mawakili wao walisema kwamba leo watakata rufaa Mahakama Kuu.

Wawili hao walikamatwa na kufikishwa kortini Jumamosi na walibaki mahabusu mwishoni mwa wiki wakisubiri dhamana yao Jumatatu lakini walinyimwa. Wanashtakiwa kwa masuala ya rushwa.

Mahakama hiyo iliambiwa kwamba wawili hao walitekwa na watu waliokuwa wamevaa sare za jeshi na wakabaki kizuizini kabla ya kukabidhiwa kwa Jeshi la Polisi Ijumaa.

Inaaminika walizingirwa wakati jeshi lilipotwaa mamlaka ya nchi na kusababisha mzee Robert Mugabe aliyetawala kwa miaka 37 kujiuzulu.

Lema Amtondoa Wasiwasi Mange Kimambi "Mange,Nimekusoma Maamuzi ya Dhati Yatatoka kwa Wananchi Usiogope"

$
0
0
Lema Amtondoa Wasiwasi Mange Kimambi "Mange,Nimekusoma Maamuzi ya Dhati Yatatoka kwa Wananchi Usiogope"
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amemtoa wasiwasi mwanadada anayefahamika kama mwanaharakati wa mitandaoni Bi. Mange Kimambi kuwa asijali kwani wananchi watatoa maamuzi juu ya kilichotokea kwenye uchaguzi mdogo Jumapili iliyopita.

Lema amelazimika kumuondoa wasiwasi mwanadada huyo baada ya kuonyesha hisia za hasira kwaviongozi wa upinzani ambao wamekuwa wakilalamika kufanyiwa madhamibi na Chama Cha Mapinduzi huku akiwataka wachukue maamuzi magumu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mange amemwambia lema "Haki mnawachosha wananchi. Mpaka mnaonekana masnitch yani kama vile mnatumika na CCM. We need stronger leadership than this. Chukueni maamuzi magumu acheni kulia lia kama wajane..Mnafanya mpaka mtu unatamani kuwatukana"
Baada ya Maoni marefu Mange aliyoyaandika, Lema amemjibub Mange kwa kumwambia;
"Mange,nimekusoma/ nimekuelewa watu wana hasira kuhusu mambo yanoyoendelea nchini hususani ktk uchaguzi huu wa marudio ya udiwani,  kelele juu ya dhuluma hizi ni muhimu, acheni kwanza watu wote wajue kilio chetu, . Only Time will tell. Usiogope" Lema.

Diamond Atokisahau Alichofanyiwa na Wema na Penny

$
0
0
Wakati msanii wa muziki wa Bongo Flava, Diamond Platnumz ameachia ngoma mbili kwa wakati moja ambazo ni Sikomi na Niache, ngoma ya kwanza imekuwa na nguvu na mapokeo makubwa kutokana na ujumbe uliyomo ndani yake.

Katika ngoma hiyo ‘Sikomi’ Diamond amezungumzia maisha yake ya kimahusiano na wanawake maarufu kama Wema Sepetu, Penny na baby mama wake, Zari The Boss Lady.

Wimbo huo wenye dakika 3:58 Diamond anaeleza baada ya kupambana kwa kipindi kirefu hadi kuja kutoka kimuziki aliamini pengine maisha yake ya kimahusiano yangekuwa vizuri kitu ambacho anakiri hakijamtokea tangu pale alipokutana na mrembo kutoka Bongo Movie.

Licha ya kutomtaja mrembo huyo bila shaka anamzungumzia Wema Sepetu kwani ndiye mrembo pekee wa Bongo Movie aliyeanza kudate naye na couple yake kuwa na nguvu zaidi.

Hata hivyo katika verse ya pili ya ngoma hiyo ndipo ameweka wazi kuwa anayemzungumzia ni Wema Sepetu kwa kueleza licha ya kumpenda sana lakini bado aliusumbua moyo wake.

Moyo aliupatia mateso siwezi kumeza siwezi tema/

Ndio maana sikushangaa ile ghafla toka CCM kwenda Chadema/

Utakumbuka February 24 mwaka huu Wema Sepetu mbele ya waandishi wa habari alitangaza kujivua uanachama kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitendo ambacho Diamond anaeleza hakushangazwa nacho.

Pia anakumbushia kitendo cha kuachana na Penny mwaka 2014 baada ya mrembo huyo kutoa mimba yake licha ya kumgharamia kila kitu hadi kumnunulia gari. Hata hivyo anaeleza furaha yake ya kukutana na Zari hadi kupata watoto wawili lakini mwenye akajikuta akimkwaza.

Akanitunuku Zari akanizalia dume na mwali/

Nilivyo mjiga nikajitia aibu mpaka kwa vyombo vya habari/

Diamond kumkwaza Zari kwa kile alichoita ujinga wake ni baada ya kuzaa na Mwanamitindo, Hamisa Mobetto wakati bado ana mahusiano na Zari. Utakumbuka baada ya uvumi kuwa mkubwa kuhusu Diamond kuzaa na Hamisa mwenye aliamua kwenda Clouds Media na kukiri kweli hilo lipo kitu ambacho anaona alijitia aibu.

Licha ya maswahibu yote aliyokumbana nayo bado hakomi katika mapenzi kama ilivyoeleza chorus ya ngoma hiyo na title yake. Wimbo umefanyika Wasafi Records na producer aliyehusika ni Laizer ambaye amekuwa akifanya kazi nyingi za Diamond na wasanii wa label anayoimiliki, WCB.

Wenga Afunguka Kuhusu Sanchez na Ozil

$
0
0
Wenga Afunguka Kuhusu Sanchez na Ozil
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa mshambuliaji Alexis Sanchez na kiungo wa kati Mesut Ozil wataichezea Arsenal baada ya dirisha la uhamisho la mwezi Januari hadi pale ''kitu kisiochoaminika kitakapofanyika''.

Kandarasi ya wachezaji hao wawili inakamilika mwishoni mwa msimu huu.

Alipoulizwa iwapo anahisi watasalia, Wenger alijibu: Ndio kabisa.

Raia huyo wa Ufaransa amesema kuwa Jack Wilshere pia anataka kusalia na klabu hiyo ya ligi ya Uingereza.

Wenger aliongezea: Nitampigania asalie hapa kwa sababu ni mchezaji mzuri.

Mchezaji wa Uingereza Wilshere mwenye umri wa miaka 25, amekuwa akikumbwa na majeraha tangu alipoingia Arsenal 2008 huku akihudumu msimu wa mwaka 2016-17 kwa mkopo katika klabu ya Bournemouth.

Hatahivyo hajaanzishwa msimu huu.

Wote, Sanchez mwenye umri wa miaka 28 na Ozil mwenye umri wa miaka 29 ni viungo muhimu wa Wenger.

Mshambuliaji huyo wa Chile ambaye aliwasili kutoka Barcelona 2014 amefunga mabao 56 katika mechi 113, huku Ozil ambaye ni raia wa Ujerumani akitoa usaidizi wa mabao 45 tangu alipojiunga 2013 ikiwa ni zaidi mchezaji yeyote yule.

Uhuru Kenyatta Ameapishwa Rasmi kwa Muhula wa Pili wa Urais

$
0
0
Uhuru Kenyatta Ameapishwa Rasmi kwa Muhula wa Pili wa Urais
Hatimaye Rais Uhuru Kenyatta ameapishwa rasmi kwa muhula wa pili wa miaka mitano katika sherehe zilizofana kwenye Uwanja wa Kasarani mwezi mmoja baada ya kuibuka mshindi wa uchaguzi uliosusiwa na mpinzani mkuu Raila Odinga.

Kulikuwa na nderemo na shangwe katika uwanja huo kutoka kwa maelfu ya wananchi wengi wao wafuasi wa muungano wa chama tawala cha Jubilee waliojaa kwenye Uwanja wa Michezo wa Kimataifa wa Moi, Kasarani.

Uwanja huo unaingiza watu 60,000 lakini habari zinasema walioingia walikuwa 100,000. Wageni waalikwa na watu mashuhuri wapatao 40 walihudhuria sherehe hizo wakiwemo zaidi ya viongozi wakuu wa nchi 10.

Kenyatta, 55, alishinda uchaguzi mkuu wa marudio wa Oktoba 26 kwa asilimia 98. Uchaguzi huo ulifanyika baada ya matokeo ya ushindi wa Agosti 8 kufutwa na Mahakama ya Juu kwa maombi ya Odinga aliyewasilisha ushahidi wa dosari na ukiukwaji wa katiba.

Brown Achora Tatoo Yenye Jina la Wolper Kifuani Mwake

$
0
0
Brown Achora Tatoo Yenye Jina la Wolper Kifuani Mwake
‘Kiben’teni’ Wolper, Barnaba Lukindo maarufu kama ‘Brown’, ameonyesha mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake mkali wa sinema za Kibongo ambaye kwa sasa hivi ni mbunifu wa mavazi, Jacqueline Wolper Massawe, kwa kuchora tatoo kwenye kifua chake yenye jina la mdada huyo.

Brown amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii na kuonekana penzi limekolea 

JE Dada unapenda Kuwa Mrembo na Kaka Kuwa Lijari na Kumtosheleza Mpenzi Wako?

$
0
0

BAADA YA UTAFITI TULIOFANYA MARKSON BEAUTY KWA KUSHIRIKIANA NA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (W.H.O) TUMEGUNDUA KUWA WANAUME WENGI DUNIANI HUSUMBULIWA NA MATATIZO KAMA👇👇
☆Kukosa hamu ya tendo.
☆Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurudia tendo.
☆Maumbile madogo ya uume.
☆Kuchoka sana wakati wa tendo na uume kusinyaa nk.
@markson_beauty_pr tumeandaa tiba bora kabisa kama ifuatavyo:-
1.HANDSOME UP OG_ Inaongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli (wiki 2) @250,000/=
2.SHARK POWER GELY_ Inaongeza uume inch 6 (wiki 4) @150,000/=
3VigRX CREAM_ Inaongeza uume inch 6.5 hadi 8 (wiki 2-3) @200,000/=
4.Vidonge maalum vya kuongeza nguvu na hamu ya tendo hata kwa wenye kisukari na BP @150,000/=
5.VIGA SPRAY OG_ Inaongeza uwezo ktk tendo na kuchelewesha kufika kileleni @150,000/=
PIA KWA WANAWAKE WANAOPENDA KUWA NA MUONEKANO MZURI ZIPO ZA👇👇👇
☆Kuongeza hips, makalio na mapaja @200,000/=
☆Kushepu mguu (CHUPA YA BIA) @150,000/=
☆Kuwa mweupe bila sugu @150,000/=
☆Kurefusha nywele na kutokukatika ovyo @150,000/=
☆Kupunguza au kuongeza maziwa kuyasimamisha @130,000/=
*Kubana uke na kuzuia uchafu ukeni @130,000/=
*Kupunguza unene na manyama uzembe @150,000/=
BIDHAA HIZI NI ZA MIMEA NA MATUNDA NA ZIMEPIMWA KTK MAMLAKA NA KUPATA KIBALI HIVYO NI SALAMA KWA 100%

Wasiliana nasi Popote
ulipo duniani kwa (+255)
0767447444 au
0714335378
UTAPATA HUDUMA
NB:Matokeo ni uhakika na garantii na hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON BEAUTY CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.
Follow us
WEBSITE:- www.markworldbeauty.og
INSTAGRAM PAGE:-
@markson_beauty_pr
@markson_beauty_pr
@markson_beauty_pr

DC Hapi Aapa Kuchuana na Halima Mdee Kawe 2020...Adai Lazima Amng'oe

$
0
0

Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Ally Hapi ameahidi kumng’oa Mbunge wa Kawe, Halima Mdee katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Hapi alisema hakuna haja ya kuacha jimbo hilo la Kawe na majimbo mengine katika wilaya hiyo kuendelea kuwa chini ya upinzani kwa kuwa wananchi wana imani na CCM.

Kauli Hiyo aliitoa Dar es Salaam jana katika Kata ya Mbweni ambako CCM iliibuka na ushindi katika uchaguzi huo wa udiwani.

Alisema kutokana na matokeo ya uchaguzi kata ya Mbweni Hashim Mbonde (CCM) aliibuka kidedea kwa kura 2049 dhidi ya Chadema kura 1,093.

Alisema hizo ni salamu kwa Mdee kuwa mwaka 2020 atafute kazi nyingine na si ubunge katika jimbo hilo. “CCM mpya haina makundi, wanaoshindwa na kushinda wote ni kitu kimoja na wale wanaokwepa falsafa za chama watakaa pembeni,” alisema Hapi.

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni , Alord Maluma, alisema ushindi wa Mbonde ni wa CCM na atahakikisha Kinondoni inarudisha uhusiano na uhusiano mwema wa wanachama na wannachi ili kukomboa kata, mitaa na majimbo.

Katika uchaguzi huo, CCM ilishinda kwa kupata kura 2049 Chadema 1093, CUF 114 na SAU kura 12.

Pata Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo

$
0
0
MHULI: Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa siku 6 tu.Dozi hii itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 30, utarudia tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha bila kujali umri na garantee ni miaka 60 baada ya kutibu tatizo.

Pia tunatibu Busha bila kufanyiwa Oparesheni, korodani moja kuvimba, ngiri, tumbo kujaa gesi na kuunguruma, kutopata choo vizuri, miguu kuwaka moto na kufa ganzi, chango la wanawake, kisukari na kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa.


Inarudisha mke, mchumba, hawara na atakutimizia kila kitu unachotaka kutoka kwake ndani ya  saa 2 tu hata kama yupo mbali. atarudi na kumfunga asiwe na mwingine zaidi yako.

Umefukuzwa kazini? unataka kupandishwa cheo? Umepoteza pesa zako kwenye biashara bila kujua umepandikizwa chuma ulete? Njoo urudishe pesa zako. Unauza mali yako haiendi? Wasiliana na Nasi kwa Namba; 0783140065

Tupo Mbagala Rangi Tat

"Dudu Baya ana Hali Mbaya, Niko Tayari Kumsaidia" - Mr. Nice

$
0
0
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Mr. Nice amesema anajua kwa sasa Dudu Baya ana hali mbaya ila kama msanii huyo anatajitokeza yeye yupo tayari kumsaidia ili aweze kuendelea na muziki wake.

Muimbaji huyo ambaye kipindi cha nyuma alikuwa na ugomvi mkubwa na Dudu Baya, ameiambia E-Newz ya EATV kuwa anapoishi nchini Kenya amekuwa akisaidia watu wengi hivyo hataona tabu kufanya hivyo kwa Dudu Baya.

“Napenda kumpa salamu nyingi, napenda kumuombea kwa Mungu abadilike amekua mtu mzima sasa fanye muziki. Ajitokeze afanye muziki na mimi nipo tayari kumsapoti kwa sababu hata pesa ya kumsaidia Dudu Baya ninayo, najua hayuko vizuri, hivyo naweza kumsaidia” amesema Mr. Nice.

Hata hivyo amesema kuwa msaada huo ni hadi pale atakapokidhi vigezo na masharti na kuongeza kuwa kitendo cha Dudu Baya kumfuata jukwaani kipindi cha nyuma na kumpiga kimefanya watu wengi kumuogopa na kushindwa hata kumsaidia pindi anapokuwa na shida.

Raila Odinga Kuapishwa Disemba Kuwa Rais wa Kenya

$
0
0
Kiongozi wa Upinzani Kenya NASA, Raila Odinga amesema anatarajia kuapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo Desemba 12, mwaka huu ambayo itakuwa  siku ya uhuru wa Kenya.

Odinga ametoa kauli hiyo ikiwa katika uwanja wa Jacaranda saa chache baada ya Rais Kenyatta kuapishwa kuwa Rais katika uwanja wa Kasarani.

Hata hivyo, wakati Odinga akisema hayo, Rais Kenyatta mara baada ya kuapa amewaambia na wananchi wa Kenya kuwa hakutakuwa na shughuli zingine za uchaguzi na yeye ndiye Rais mteule wa Kenya.

Hata hivyo, Polisi nchini Kenya walivamia uwanja uliopangwa kufanyika mkutano na maombolezo ya wananchi waliofariki wakati wa vurugu za uchaguzi wa marudio uliofanyika Oktoba 26, mwaka huu.

Rais Uhuru Kenyatta ameapishwa leo kuwa Rais wa Kenya ili kuwatumikia wakenya katika muhula wa pili wa uongozi.

Uhuru Kenyatta: Ruksa Watanzania Kumiliki Ardhi, Kufanya Kazi, Kuishi, Kuwekeza na Kuhamia Kenya Bila Masharti

$
0
0
“As a mark of our continued commitment to you, our Brothers and Sisters in the East African Community; from today, you will be treated like Kenyans. Like your Kenyan brothers and sisters, you will need only your identity card,” he said, adding that “You can now work, do business; own property, farm and if you wish, and find a willing partner, you can marry and settle in Kenya.”

“Our Brothers and Sisters in the East African Community, you are our closest friends; our fate and yours are joined at the hip; our troubles and triumphs are yours, and yours are ours. Together, we can deliver the peace and prosperity for which our citizens are crying out; divided, we will struggle to realise the full potential of our people.”

On visas, Kenyatta said the freer Africans to travel and live with one another, the more integrated and appreciative of their diversity they will become.

“The political balkanization that risks our mutual security, the negative politics of identity, will recede as our brotherhood expands to embrace more Africans. Today, I am directing that any African wishing to visit Kenya will be eligible to receive a visa at the port of entry. To underscore Kenya’s commitment, this shall not be done on the basis of reciprocity.”

PICHA 10: Tabasamu la Tundu Lissu Baada ya Kutembelewa na Makamu wa Rais Jana

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan jana tarehe 28 Novemba, 2017 amemjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu anayepata matibabu katika hospitali ya Nairobi nchini Kenya.

Mhe. Samia Suluhu Hassan amemfikishia salamu za pole kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ambaye amemtakia matibabu mema na kupona haraka ili arejee nyumbani na kuendelea na majukumu yake.

Mhe. Tundu Lissu amemshukuru Mhe. Rais Magufuli na Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kumjulia hali na amewatakia heri katika majukumu yao.

“Msalimu Mhe. Rais mwambie namshukuru sana kwa salamu zake na kunijulia hali” amesema Mhe. Tundu Lissu.











Henry Kilewo" Kila Mmoja Sasa Acheze Uhuni Wake ili Uitwe Demokrasia,Tukiendelea Kulalamika Wananchi Watatuchoka"

$
0
0

Ameandika Hivi Kupitia Facebook:

"CCM uchaguzi Huu haijashinda,Kama ni Ushindi Halali hazizidi Kata 5,Hii ni Salaam kwetu Upinzani Kuacha Kulalamika Sasa nakujua Tunapambana Nauhuni wenye Kivuli Cha Demokrasia,Kila Mmoja Sasa Acheze Uhuni wake ili uitwe Demokrasia,Tukiendelea Kulalamika Wananchi watatuchoka..."
By Henry Kilewo

Diamond hawezi kuwasahau Wema Sepetu na Penny....Asimulia Hamisa Mobeto Alivyomponza kwa Zari

$
0
0
Wakati msanii wa muziki wa Bongo Flava, Diamond Platnumz ameachia ngoma mbili kwa wakati moja ambazo ni Sikomi na Niache, ngoma ya kwanza imekuwa na nguvu na mapokeo makubwa kutokana na ujumbe uliomo ndani yake.

Katika ngoma hiyo ‘Sikomi’ Diamond amezungumzia maisha yake ya kimahusiano na wanawake maarufu kama Wema Sepetu, Penny na baby mama wake, Zari The Boss Lady.

Wimbo huo wenye dakika 3:58 Diamond anaeleza baada ya kupambana kwa kipindi kirefu hadi kuja kutoka kimuziki aliamini pengine maisha yake ya kimahusiano yangekuwa vizuri kitu ambacho anakiri hakijamtokea tangu pale alipokutana na mrembo kutoka Bongo Movie.

Licha ya kutomtaja mrembo huyo bila shaka anamzungumzia Wema Sepetu kwani ndiye mrembo pekee wa Bongo Movie aliyeanza kudate naye na couple yake kuwa na nguvu zaidi.

Hata hivyo katika verse ya pili ya ngoma hiyo ndipo ameweka wazi kuwa anayemzungumzia ni Wema Sepetu kwa kueleza licha ya kumpenda sana lakini bado aliusumbua moyo wake.

"Moyo aliupatia mateso siwezi kumeza siwezi tema/
Ndio maana sikushangaa ile ghafla toka CCM kwenda Chadema/"

Utakumbuka February 24 mwaka huu Wema Sepetu mbele ya waandishi wa habari alitangaza kujivua uanachama kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kitendo ambacho Diamond anaeleza hakushangazwa nacho.

Pia anakumbushia kitendo cha kuachana na Penny mwaka 2014 baada ya mrembo huyo kutoa mimba yake licha ya kumgharamia kila kitu hadi kumnunulia gari.

Hata hivyo anaeleza furaha yake ya kukutana na Zari hadi kupata watoto wawili lakini mwenye akajikuta akimkwaza.

 Akanitunuku Zari akanizalia dume na mwali/
 Nilivyo mjiga nikajitia aibu mpaka kwa vyombo vya habari/

Diamond kumkwaza Zari kwa kile alichoita ujinga wake ni baada ya kuzaa na Mwanamitindo, Hamisa Mobetto wakati bado ana mahusiano na Zari.

 Utakumbuka baada ya uvumi kuwa mkubwa kuhusu Diamond kuzaa na Hamisa mwenye aliamua kwenda Clouds Media na kukiri kweli hilo lipo kitu ambacho anaona alijitia aibu.

Licha ya maswahibu yote aliyokumbana nayo bado hakomi katika mapenzi kama ilivyoeleza chorus ya ngoma hiyo na title yake.

Wimbo umefanyika Wasafi Records na producer aliyehusika ni Laizer ambaye amekuwa akifanya kazi nyingi za Diamond na wasanii wa label anayoimiliki, WCB.

Diamond kwa Nyimbo Hizi Mbili Mpya: Hata Ukistaafu Mziki Leo Sina Cha Kukudai Kamanda, Hebu Sikiliza na Wewe.

$
0
0
Asiwapigie rafiki zangu..niacheee....nasema niacheeeee....Ntakudanganya kwa tabasamu..ntakudanganya kwa kulikie picha..
wanasema kitanda ukitandika lazima ukilalie..

Kijana unajua sana. hata ukistaafu..umeufanyia makubwa mziki wa wetu. sidai sana.
leo kinyumbani nyumbani... Nauliza hivi bado wale wengine wanashindana tu..nasikia wanajua kupiga danadana..si wakacheze mpira tu hata Ruvu jkt..au Polisi Moro.

Hebu sikiliza mabalaa hayo...mtaani wa pili mpo

Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo

Miujiza ya Sharifu Seif Mohamed..JE Umeachwa na Mme/Mke au Mpenzi, Umesongwa na Mitihani ya Maisha..Piga Simu Upate Muujiza Wako

$
0
0
SHARIFU SEIF MOHAMED ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOENDELEA KUPIGA SIMU, WENYE MATATIZO NA WALE WANAOTOA  SHUKRANI NA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO WASAIDIA,

(Rudisha mahusiano yako ndani ya masaa 72 tu)

SHARIFU MOHAMED Ni  mtaalam na mnajimu maarufu wa nyota na kubashiri mambo yanayo watesa binadamu duniani kote na kupata ufumbuzi, Anatumia kitabu cha QUR'AN, Dawa za Asili, Dawa za Kiarabu na majini kwa kumtuliza mke/mme, mchumba au mpenzi ndani ya masaa 72 tu, na kutatua matatizo yote ya kimaisha,

Je Umeachwa na UMPENDAE awe Mme/Mke na bado unampenda? Je Umekimbiwa na Mmeo/ Mkeo n anaishi na mtu mwingine? Je Umejaribu sehemu nyingi bila mafanikio? Mpigie simu SHARIFU SEIF sasa hivi ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo, Anauwezo wa hali ya juu wa kusambaratisha mahusiano yao na kumrejesha kwako haraka sana na Kumfanya Atimize Ahadi zote Ndani ya Muda Mfupi Endapo Utafwata Atakacho Kuelekeza

ANAZO DAWA ZA MAPENZI, NGUVU ZA KIUME, CHANGO NGIRI MAJI NA N.K, ZINDIKO LA NYUMBA NA BIASHARA, PETE ZA BAHATI, HUMALIZA KABISA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA KUREFUSHA UUME KWA SAIZI UNAYOTAKA, HUZUIA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA, HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA, MAGONJWA SUGU, MIGUU KUWAKA MOTO AU KUFA GANZI, HUTIBU BUSHA BILA KUPASUA, ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA ALIE MBALI AU ALIECHUKULIWA MSUKULE, KUPANDISHA NYOTA NA KUSHINDA BAHATI NA SIBU, KASAFISHA NYOTA NA KUKUPA MVUTO WA AJABU, KUTOA NUKSI NA VIFUNGO MBALIMBALI,  MAFANIKIO YA MAISHA NA UTAJIRI BILA MASHARI, NA MENGINE MENGI YA SIRI,

Je UMAHANGAIKA KUPATA MTOTO BILA MAFANIKIO? WASILIANA NA MTAALAMU HUYU KWANI YEYE HUFAULU PALE WOTE WALIPOSHINDWA, PIA UMALIZA KAZI ZILIZO SHINDIKANA NA WATAALAM WENGINE NDANI YA MASAA 24 TU,

(NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE AU MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFWATA MAELEKEZO YAKE)

Kwa ushauri na mawasiliano  zaidi Piga SIMU No:
Mobile +255 654-836970
WhatsApp +255 756-033670
Viewing all 104689 articles
Browse latest View live




Latest Images