Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104687 articles
Browse latest View live

Malinzi, Aveva Wakwama Mahakamani Warudishwa Rumande

$
0
0
Malinzi, Aveva Wakwama Mahakamani Warudishwa Rumande
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeziahirisha kesi za utakatishaji fedha inayowakabili Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva na ile inayomkabili aliyekuwa Rais (TFF), Jamal Malinzi hadi December 14,2017 kwa sababu upelelezi haujakamilika.

Mwendesha Mashtaka wa Takukuru, Vitalis Peter amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri kuwa kesi ya Aveva na Malinzi zimeitishwa kwa ajili ya kutajwa na upelelezi wa kesi hizo bado haujakamilika.

Baada ya kueleza hayo, Hakimu Mashauri ameahirisha kesi hizo hadi December 14/2017.

Kwa pamoja washtakiwa hao wanadaiwa kuwa walikula njama ya kughushi fomu ya maombi ya kuhamisha fedha ya March 15,2016 wakionesha Klabu ya Simba inalipa mkopo wa  USD 300,000 kwa Evans Aveva wakati si kweli.

Mfanyabiashara Akamatwa na Kilo Nane za Dhahabu Uwanja wa Ndege

$
0
0
Mfanyabiashara Akamatwa na Kilo Nane za Dhahabu Uwanja wa Ndege
Mfanyabiashara, Naushad Mohamed Suleiman amekamatwa katika Uwanja wa Ndege Zanzibar alikokuwa asafirishe kilo nane za dhahabu.

Pia amekutwa na fedha taslimu za mataifa 15.

Kaimu Kamishna wa Polisi Zanzibar, Juma Yussuf Ali amesema leo Alhamisi Novemba 30,2017 kuwa, mtuhumiwa alikamatwa jana Jumatano Novemba 29,2017 saa tatu usiku akitaka kusafiri na ndege ya Fly Dubai.

Amesema miongoni mwa fedha alizokutwa nazo ni dola 235,000 za Marekani na euro 57,000.

Juma amesema mfanyabiashara huyo alikamatwa baada ya upekuzi kufanyika kwenye mizigo yake.

Amesema ili kusafirisha madini na fedha ni lazima kuwa na vibali kutoka mamlaka husika ndiyo maana wanamshikilia na itakapobainika hakuna utaratibu uliokiukwa ataachiwa.

Juma amesema kazi ya polisi ni kufanya mahojiano na mtuhumiwa.
Chanzo: Mwananchi

Pendeza na Markson Beauty...Ongeza Hips na Makalio, Kuwa Mweupe na Softi

$
0
0

PENDEZA NA MARKSON BEAUTY. ONGEZA HIPS NA MAKALIO, KUWA MWEUPE NA SOFTI, ONGEZA MAUMBILE YA KIUME, NGUVU NA HAMU YA TENDO N.K
@markson_beauty_pr Tunakuletea bidhaa bora zenye matokeo ya uhakika na haraka zisizo na kemikali wala madhara. Zimetengenezwa kwa mimea na matunda na kudhibitishwa kiafya.
NB. Matokeo ni uhakika na garantii.
🍉🌿🍅🍍🍒🍉🍓🍅🍒
BIDHAA ZETU:-

1.Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @130,000/=
2.Kuongeza shepu (hips, makalio na mapaja) kwa:-
(a)BOTCHO MULT-PLUS 10× @200,000/=
(b)Vidonge @180,000/=
(c)BOTCHO 10× ya kupaka @150,000/=
3.Kuwa mweupe na softi mwili mzima kwa:-
(1)Mafuta @120,000/=
(11)Vidonge @150,000/=
4. Kupunguza unene na manyama uzembe @150,000/=
5.Kuongeza uume pamoja na nguvu za kiume kwa:-
(a)SHARK POWER gely ya kupaka @130,000/=
(b)Vidonge kwa ajili ya kuongeza nguvu hata kwa wenye kisukari @130,000/=
(C)Handsome up original @220,000/=
6.Kuondoa mvi milele zisiludi tena @130,000/=
7.Kuongeza unene wa mwili mzima na uzito pamoja na hamu ya kula @130,000/=
8.Kupunguza tumbo (kitambi) na nyama za pembeni kwa:-
(a)Dawa ya kunywa au kupaka @130,000/=
(b)Mkanda wa kawaida @100,000/=
(c)Micro-computer belt wa umeme @200,000/=
9.Kupunguza maziwa na kuyasimamisha hata kwa walionyonyesha @130,000/=
10.Kushepu miguu (CHUPA YA BIA) na kuondoa vigimbi @130,000/=
11.Kuondoa mipasuko mwilini (michirizi) @120,000/=
12.Kurudisha usichana (bikra) @120,000/=
Wasiliana nasi :- (+255)
0767447444 au.
0714335378
TAHADHARI: Hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.
👉🏻Ili kuona bidhaa zaidi na shuhuda za waliotumia bidhaa zetu. ...............
Follow us on instagram @Markson_beauty_pr

RC Makonda Kutumia zaidi ya TSh Milioni 85 Kwaajili ya Matibabu ya Ahmed Albaity

$
0
0

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amejitolea kumsaidia kijana Ahmed  Albaity  anayesumbuliwa na tatizo la uti wa mgongo lililompelekea kulala kitandani kwa takribani miaka 10.


Kijana huyo akiwa katika ofisi ya mkuu wa mkoa kwaajili ya mazungumzo

Kijana huyo anatakiwa kwenda kutibiwa nchini China kwa muda wa wiki tatu akiambatana na wasaidizi wawili ambapo gharama za matibabu zinazohitajika ni zaidi ya dola 40,000 za marekani ambapo sindano moja aliyoandikiwa inagharimu kiasi cha dolla 27,000.

RC Makonda amesema atafanya jitihada zote kuhakikisha Ahmed anapatiwa Matibiwa ili aweze kupona na kutimiza ndoto zake akiwa na Afya Njema.

Mapema leo RC Makonda ametembelewa ofisini kwake na Balozi mpya wa China Nchini Tanzania Bi. Wang Ke ambae amekuja kujitambulisha kwa Mkuu wa Mkoa ambapo katika mazungumzo RC Makonda amemgusia balozi huyo suala la matibabu ya AHMED ALBAITY ambapo Balozi WANG KE alieambatana pia na Daktari Bingwa wa China aliebaki Nchini kwaajili ya Shughuli ya Serikali ya China ambapo wamemtazama na kupitia Ripoti ambapo wameahidi kulifanyia kazi suala hilo.


RC Makonda akiwa na balozi mpya wa China

Katika Mazungumzo hayo pia wamejadili Masuala mbalimbali ikiwemo Kuimarisha Usalama, Kampeni ya Ujenzi wa Ofisi za Walimu na kuongeza huduma kwa Wananchi.

MAKONDA pia ameishukuru Serikali ya China kwa kuleta Meli ya Jeshi la China yenye Hospital ndali ambayo imesaidia kutoa vipimo na Matibabu kwa wananchi wengi.

Kwa Upande wake Bolozi Mpya wa China Nchini Tanzania WANG KE amesema Serikali ya China itaendelea kusaidiana na Tanzania katika masuala yote ya maendeleo.

Tundu Lissu Adai Hawajui Waliompiga Risasi Ila.......

$
0
0

KENYA: Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu asema kuwa hawafahamu waliomshambulia kwa risasi Mkoani Dodoma lakini aliwaona watu wawili wenye silaha.
-
Amesema baada ya Makamu wa Rais kumtembelea sasa anaamini kuwa Rais Magufuli anajua kuhusu uwepo wake Nairobi na itawapa uhuru wengine kwenda kumuona.
-
Aidha, Lissu ameongeza kuwa kuna Wabunge wawili CCM, Mary Chatanda (Korogwe Mjini) na Fakharia Shomar Khamis (viti maalum na mmoja wa watumishi wa Bunge walifika siku ya Jumapili kwenda kumjulia hali.

Ujumbe wa Meneja wa Diamond Kuhusu Wimbo wa Diamond na Rick Ross

$
0
0

Ameandika haya Meneja wa Diamond Sallam Sk

"Tunaomba Msamaha Wimbo wa #Waka ulitakuwa kutoka siku ya leo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu kwahiyo hautaweza kutoka leo lakini muda sio mrefu tutawajuza!! Sorry for any inconvenience"

Pata Dawa Bora za Nguvu za Kiume na Kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa

$
0
0
Baada ya utafiti wa muda mrefu juu ya matatinzo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurundia tendo kwa haraka Sasa inakuletea suluhisho juu ya matatizo haya kwa kutumia dawa za Full Power

Ni Dawa asili yenye vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,
Dawa hii inamchanganyiko wa kutosha kuzalisha vichocheo vingi vya hernone za gestro gen zikiwemo vitamin b6 na b1 vitamin E pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wakufanya tendo la ndoa zaidi hatua nne au zaidi na kuchelewa kufika kileleni zaidi ya dakika 20/30

ZAT 50 inarundisha maumbile ya uume yaani kurefusha na kunenepesha nchi 3/7 na upana cm 3/4 standard.

Kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukitumia maumbile yatabaki kuwa hivyo siku zote pia anatibu matatizo mengine kama presha kisukari ngiri chango la tumbo kujaa gesi kutopata choo vizuri minguu kuwaka moto matatizo ya uzazi bawasili na magonjwa ya zinaa kama kisonono na kaswende tunapatikana daresalaam na mikao wasiliana nasi DR Oshinda Namba za simu 0755505099/0714126118

Karibuni kwa hunduma bora

Mke wa Kafulila Kafunguka “Mungu Katunyima Siri Nyingi”

$
0
0
November 30, 2017 Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Jesca Kishoa ambaye pia ni Mke wa Mbunge wa zamani Kigoma Kusini David Kafulila amekuwepo kwenye headlines kwa zaidi ya wiki moja baada ya Kafulila kuhamia CCM na kumuacha CHADEMA.

Kupitia page yake ya Instagram Jesca ameandika yafuatayo…

UCHAGUZI HUU WA UDIWANI UTOSHE
KUTOA PICHA HALISI YA TAIFA HILI KWA SASA.

Mungu katunyima binadamu kujua siri nyingi za dunia hii ili turudi kwake na kumtambua yeye peke yake kama Mfalme wa ulimwengu.

Ametunyima kuchagua wazazi wa kutuzaa (maana uwenda wengine wangetaka kuzaliwa na watu wa aina ya Trump au Dangote,) ametunyima kuchagua wapi pa kuzaliwa (maana wengine uwenda wangetamani kuzaliwa ulaya na sio Tanzania)

Ametunyima kuchagua malezi ya kulelewa na ndio maana kwa mazingira yoyote watoto wamekuwa wakiishi kutegemeana na mazingira ya wazazi.

Lakini Mungu ametupa nguvu moja kubwa ambayo ikitumika vema huleta matunda mema na majibu ya mambo yote niliotaja juu, Mwenyezi Mungu katika maandiko matakatifu amezitambua Serikali za wanadamu na kupitia hizo endapo kutapatikana viongozi sahihi waliochaguliwa na wengi, ambao kwa uwingi huo ni alama au tafsiri ya chaguo la Mungu, hakika nchi itaneemeka na itatulia.

Ikiwa kinyume chake kwamaana ya alieshinda kuanzia mbinguni sie aliepewa ushindi duniani hakika mambo hugeuka kuwa laana na mateso kwa viumbe wa Mungu, Anguko la Madiwani au Wabunge wanaoshinda chaguzi sio la kwao peke yao na vyama vyao ni anguko la watu wa Mungu waliopaza sauti zao kwa unyenyekevu kupitia sanduku la kura.

WOTE KWA PAMOJA TUKEMEE VIKALI UPINDISHAJI WA MATOKEO BILA KUJALI WEWE NI NANI NA UNA UHUSIANO GANI NA SIASA ZA NCHI ILI KULIOKOA TAIFA HILI.

Roho mtakatifu ana uwezo mkubwa na nafasi kubwa ya kunyoosha mambo sawasawa, ungana na mimi katika maombi maalum juu ya taifa hili usiku huu kabla hujalala popote ulipo – hayo ndio aliyoyaandika Jesca.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Decemba 1

$
0
0


Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Decemba 1

Mbunge Prof. Jay Aangua Kilio Hadharani, Baada ya Mauaji yaliyofanywa na Polisi Jimboni Kwake

$
0
0
Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ameangua kilio hadharani kwenye mkutano aliokuwa amefanya na wananchi wa kijiji cha Ruhembe wilayani Kilosa na kuwaomba Waziri wa mambo ya ndani na waziri mkuu wachukue hatua kabla ya wananchi kujichukulia hatua

Wananchi hao pia waligoma kuzika mwili wa mtu huyo aliyejulikana kwa jina la Salim Said Mheka mwenye umri wa miaka 17 aliyeuawa na polisi wa kitengo maalumu kwa madai kuwa alikuwa ni mhalifu wa Kibiti

Kijana huyo alimaliza kidato cha nne katika shule ya sekondari Ruhembe,

Kamanda wa polisi mkoani Morogoro amesema kijana huyo alikuwa anajihusisha na ugaidi

VIDEO:

Kibiti: IGP Sirro Aagiza Msako wa Watoto 1,300 Waliotoweka

$
0
0
Mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP) Simon Sirro amewataka wazazi kwa kushirikiana na walimu wilayani Kibiti na Rufiji, kutoa taarifa kwenye vyombo vya dola juu ya kutoweka kwa wanafunzi zaidi ya 1,300 wakati wa matukio ya kiuhalifu yaliyotokea katika wilayani humo.

IGP Sirro amefanya ziara kikazi wilayani Kibaha, mkoani Pwani amezungumza na wazazi, walimu pamoja na viongozi wa mashirika ya umma, wazee maarufu, wastaafu mbalimbali na kamati ya ulinzi na usalama mkoani humo.

Sirro amewataka wazazi kusaidiana na walimu wa shule za msingi na sekondari ambazo wanafunzi walikuwa ni watoro ama hawajaripoti shule kwa miezi kadhaa kutoa taarifa kwani wapo baadhi ya watoto wanaotumika kufundishwa uhalifu hata wakutumia silaha na watu wasiowema.

Kamanda Sirro ameeleza kuwa taarifa ya wanafunzi zaidi ya 1,300 mkoani hapo kuwa ni watoro na hawajulikani walipo hivyo wazazi washirikiane kusaidia jeshi la polisi kujua walipo.

Miujiza ya Sharifu Seif Mohamed..JE Umeachwa na Mme/Mke au Mpenzi, Umesongwa na Mitihani ya Maisha..Piga Simu Upate Muujiza Wako

$
0
0
SHARIFU SEIF MOHAMED ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOENDELEA KUPIGA SIMU, WENYE MATATIZO NA WALE WANAOTOA  SHUKRANI NA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO WASAIDIA,

(Rudisha mahusiano yako ndani ya masaa 72 tu)

SHARIFU MOHAMED Ni  mtaalam na mnajimu maarufu wa nyota na kubashiri mambo yanayo watesa binadamu duniani kote na kupata ufumbuzi, Anatumia kitabu cha QUR'AN, Dawa za Asili, Dawa za Kiarabu na majini kwa kumtuliza mke/mme, mchumba au mpenzi ndani ya masaa 72 tu, na kutatua matatizo yote ya kimaisha,

Je Umeachwa na UMPENDAE awe Mme/Mke na bado unampenda? Je Umekimbiwa na Mmeo/ Mkeo n anaishi na mtu mwingine? Je Umejaribu sehemu nyingi bila mafanikio? Mpigie simu SHARIFU SEIF sasa hivi ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo, Anauwezo wa hali ya juu wa kusambaratisha mahusiano yao na kumrejesha kwako haraka sana na Kumfanya Atimize Ahadi zote Ndani ya Muda Mfupi Endapo Utafwata Atakacho Kuelekeza

ANAZO DAWA ZA MAPENZI, NGUVU ZA KIUME, CHANGO NGIRI MAJI NA N.K, ZINDIKO LA NYUMBA NA BIASHARA, PETE ZA BAHATI, HUMALIZA KABISA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA KUREFUSHA UUME KWA SAIZI UNAYOTAKA, HUZUIA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA, HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA, MAGONJWA SUGU, MIGUU KUWAKA MOTO AU KUFA GANZI, HUTIBU BUSHA BILA KUPASUA, ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA ALIE MBALI AU ALIECHUKULIWA MSUKULE, KUPANDISHA NYOTA NA KUSHINDA BAHATI NA SIBU, KASAFISHA NYOTA NA KUKUPA MVUTO WA AJABU, KUTOA NUKSI NA VIFUNGO MBALIMBALI,  MAFANIKIO YA MAISHA NA UTAJIRI BILA MASHARI, NA MENGINE MENGI YA SIRI,

Je UMAHANGAIKA KUPATA MTOTO BILA MAFANIKIO? WASILIANA NA MTAALAMU HUYU KWANI YEYE HUFAULU PALE WOTE WALIPOSHINDWA, PIA UMALIZA KAZI ZILIZO SHINDIKANA NA WATAALAM WENGINE NDANI YA MASAA 24 TU,

(NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE AU MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFWATA MAELEKEZO YAKE)

Kwa ushauri na mawasiliano  zaidi Piga SIMU No:
Mobile +255 654-836970
WhatsApp +255 756-033670

Gigy Money Amemtolea Povu Rado

$
0
0
Gigy Money Amemtolea Povu Rado
Msanii Gigy Money amemtolea povu muigizaji wa filamu wa bongo Rado, ambaye wiki iliyopita alisikika akisema wasanii wa kike wa bongo fleva hawana vigezo vya kuolewa, na kusema kwamba ndoa siku hizi haina dili kwani wanawake wanajioa wenyewe.

Gigy ameyasema hayo alipokuwa akiongea na mwandishi wa East Africa Radio, na kusema kwamba suala la kuolewa miaka ya sasa halina dili sana kwani wanawake wanaoa wenyewe kwa kujilipia mahari, na kumtaka Rado apambane na hali yake kwa kutokuwa na hela ya kuweza kuwapata watoto wazuri.

Uongozi wa Diamond Waahirisha Kuachia Wimbo wa Diomondi na Rick Ross

$
0
0
Wimbo wa Diomondi na Rick Ross Ulotakiwa Kuachiwa Waahirishwa Kuachiwa
Uongozi msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz umeahirisha kuachia wimbo mpya wa msanii huyo ‘Waka’ ambao amemshirikisha rapper kutoka nchini Marekani Rick Ross.

Akithibitisha hilo Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam amesema kuwa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao wimbo huo hauwezi kutoka leo Desemba mosi kama ilivyokuwa imepangwa awali.

“Tunaomba Msamaha Wimbo wa #Waka ulitakuwa kutoka siku ya leo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu kwahiyo hautaweza kutoka leo lakini muda sio mrefu tutawajuza!! Sorry for any inconvenience“ameandika Sallam kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Mwanzoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu Diamond Platnumz aliingia location kushoot video ya wimbo huo na Rick Ross huko nchini Marekani.

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Huu

$
0
0
Rais Magufuli Afanya Uteuzi Huu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amteua Bi. Stella Tullo Chagi kuwa Msajili wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba wa Wilaya.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi ametangaza kuwa uteuzi huo Bi. Stella Tullo umeanza rasmi toka Novemba 25, 2017.


Mc Achaguliwa Kuwania Tuzo ya Mchekeshaji Bora Nigeria

$
0
0
Mc Achaguliwa Kuwania Tuzo ya Mchekeshaji Bora Nigeria
MSANII maarufu wa vichekesho nchini, Emmanuel Mathias ‘Mc Pilipili’ amechaguliwa kuwania tuzo ya mchekeshaji bora wa mwaka ya ‘Screama’ zitakazotolewa nchini Nigeria.

Mchekeshaji huyo amekuwa msanii pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kuchaguliwa kushiriki kwenye tuzo hizo.Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mc Pilipili , alisema kuwa kuteuliwa kwake kuwania tuzo hizo ni ishara kuwa kazi yake inaonekana na kukubalika.

“Kwangu bila kuangalia kama nitashinda tuzo, kuchaguliwa tu kuwania ni ishara kuwa ninafanya kazi nzuri na zinaonekana na kukubalika,” alisema Mc Pilipili.

Alisema kuwa anawaomba Watanzania na wananchi wa Afrika Mashariki kumpigia kura kwa wingi kuweza kushinda tuzo hiyo na kuitangaza Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.

 "Nawaomba wana Afrika Mashariki kwa pamoja kunipigia kura katika mtandao wa kijamii wa Instagram kwa kufollow

page ya screamawards au screamawards official unatafuta post iliyotumwa   ambayo nipo alafu  unakoment kwa  jina langu MC PILIPILI hapo unakua tayari umenipigia kura," alisema Msanii huyo.

 Alisema katika nchi za Afrika Mashariki kuna wasanii wengi wa vichekesho lakini amekuwa na bahati ya kuwa msanii pekee kuwania tuzo hizo.

Alisema tuzo hiyo wanawania na wasanii wengine11 kutoka katika nchi za Nigeria na Ghana ambapo mshindi wake atatangazwa na kukabidhiwa tuzo kwenye hafla itakayofanyikamapema mwakani.


Rais Mpya wa Zimbabwe Alitaja Baraza Lake la Mawaziri Amteua Wakuu wa Majeshi Kuwa Waziri

$
0
0
Rais Mpya wa Zimbabwe Alitaja Baraza Lake la Mawaziri Amteua Wakuu  wa Majeshi Kuwa Waziri
Rais mpya wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amelitaja baraza lake la mawaziri akimteua afisa mkuu wa jeshi kwa wadhfu mkuu katika serikali yake.
Waziri mpya wa fedha ni Sibusiso Moyo , jenerali aliyetangaza katika runinga ya taifa hilo wiki mbili zilizopita kwamba jeshi limechukua udhibiti.
Mkuu wa jeshi la angani Perence Shiri ataongoza wizara ya fedha na kilimo.
Kiongozi mmoja wa upinzani Tendai Biti amesema kuwa fungate iliokuwa ikisherehekewa Zimbabwe imeisha kabla ya kuanza.
Bwana Mnangagwa aliapishwa wiki moja iliopita kufuatia kujiuzulu kwa Robert Mugabe ambaye alikuwa mamlakani kwa takriban miaka saba.

Lijuakali, Susan Kiwangwa Wapandishwa Mahakamani Kujibu Mashtaka Manne

$
0
0
Lijuakali, Susan Kiwangwa Wapandishwa Mahakamani Kujibu Mashtaka Manne
Wabunge wawili wa Mkoa wa Morogoro kupitia Chadema pamoja na washtakia wengine 34 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro kujibu mashtaka nane yanayowakabili likiwemo la kuchoma moto ofisi ya Kata ya Sofi iliyopo wilayani Malinyi.

Wabunge hao ni Susan Kiwanga(Mlimba) na Peter Lijualikali(Kilombero) na baada ya kusomewa mashataka hayo upande wa mashtaka uliwasilisha mahakamani hapo hati ya kiapo cha kupinga dhamana yao kwa madai kuwa wataharibu upelelezi wa kesi hiyo.

Kesi hiyo ya jinai namba 296 iliyovuta hisia za wakazi wengi wa manispaa ya Morogoro ilisomwa mbele ya hakimu wa mahakama hiyo Ivan Msack ambapo upande wa mashtaka ulikuwa ukiongozwa na wakili wa Serikali, Edga Bantulaki na Sunday Hyera huku washtakiwa hao wakitetewa na wakili Bartalomew Tarimo.

Akisoma mashtaka hayo leo Alhamisi huku ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa ndani na nje ya mahakama Wakili Bantulaki alidai kuwa washtakiwa hao kwa pamoja walitenda makosa hayo Novemba 26 mwaka huu katika Kata ya Sofi wilayani Malinyi.

Alidai kuwa bila uhalali huku wakijua kufanya hivyo ni kosa washtakiwa hao walikula njama na kuchoma moto ofisi ya kata hiyo sambamba na kufanya uharibifu wa mali mbalimbali za ofisi hiyo.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo washtakiwa wote walikana kuhusika na hivyo mahakama kuaihisha kesi hiyo hadi Desemba 5 mwaka huu kwa ajili ya kutolewa maamuzi ya dhamana.

Soma: Lijualikali aungana na Kiwanga Polisi

Kabla ya kufikishwa mahakamani hapo Lijualikali alijisalimisha katika kituo cha polisi Morogoro majira ya saa nne asubuhi baada ya jeshi la polisi kutangaza kumtafuta.
Chanzo: Mwananchi

Njemba Lamng'ang'ania Gigy Money Kisa Miuno Yake

$
0
0
STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ hivi karibuni alijikuta aking’ang’aniwa na njemba ambaye alidatishwa na mauno yake na kuanza kucheza naye huku akiwa amevua shati.

Chanzo kinaeleza kuwa tukio hilo lilitokea hivi karibuni, mkoani Mbeya ambako mwanadada huyo alikuwa na shoo ambayo shabiki wa kiume ‘njemba’ alipanda jukwaani huku akiwa kifua wazi na kuanza kucheza na Gigy huku akimshika kiuno vilivyo.

Alipoulizwa Gigy ilikuwaje akakubali kushikwa kiuno na njemba tena jukwaani mbele ya mpenzi wake Mo J, alisema haoni shida kwa kuwa alikuwa kazini.

“Nilikuwa nafanya shoo Mbeya shabiki ndiyo akapagawa na mauno yangu akapanda jukwaani na kuanza kucheza nami, ni kweli Mo J alikuwepo lakini alichukulia kawaida tu maana anajua ndiyo kazi yangu ilivyo,” alisema Gigy.

Maua Sama- Nilikuwa Naenjoy Zaidi Kuliko Kufanya Kazi Katika Video ya Kiba 100

$
0
0
Maua Sama- Nilikuwa Naenjoy  Zaidi Kuliko Kufanya Kazi Katika Video ya Kiba 100
Maua Sama amekiri kuwa almanura avunje mbavu zake kutokana na kicheko wakati wa kushoot video ya Kiba 100 ya Roma na Stamina.

Ameimbia Dizzim Online,” Yaani kwenye ile video kulikuwa na utani sana kwasababu mwanzo mpaka mwisho ilikuwa ni funny story-line, ilikuwa  zaidi ya kichekesho.”

“So nilikuwa naenjoy  zaidi kuliko kufanya kazi, yaani naweza kusema katika video zote nilizofanya hii ilikuwa rahisi sana kwangu.”

Kwenye video hiyo pia anaoekana Dk Louis Shika.
Viewing all 104687 articles
Browse latest View live




Latest Images