Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live

Polisi Wanyoosha Mikono Kwa Dk Louis Shika...Yamfutia Kesi yake ya Kuharibu Mnada wa Nyumba za Lugumi

$
0
0
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu yaDar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema kesi ya Dk Louis Shika hawataendelea nayo kwa kuwa nyumba tatu za mfanyabiashara maarufu Said Lugumi alizoahidi kuzinunua zote zipo.

Novemba 9, 2017 kampuni ya udalali ya Yono kwa niaba ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iliendesha mnada wa nyumba mbili za Lugumi zilizoko Mbweni JKT na moja Upanga jijini Dar es Salaam ambazo zote Dk Shika alifikia bei ya kuzinunua kwa Sh3.2 bilioni.

Mambosasa akizungumza leo Jumatano, amesema kesi yake haina mashiko hivyo hawataendelea nayo kwa kuwa nyumba hizo zipo na hajatia hasara .

Amesema Dk Shika alikuwa akitamba kuwa ana fedha kumbe uwezo wake ni mdogo na kusababisha  kushindwa kulipa asilimia 25 kwa kila nyumba hizo.

‘‘Dk Shika ni wa kumuonea huruma hana kitu tulisema tunamchunguza na tutampeleka mahakamani lakini tumeona kesi yake haina mashiko ndiyo maana hatuendelei nayo,” amesema Mambosasa.

Jeshi la polisi kanda hiyo lilimshikilia na kumwachia kwa dhamana Dk Shika ambaye alikuwa akituhumiwa kwa kuharibu mnada baada ya kushindwa kulipa asilimia 25 ya fedha hizo ambapo nyumba za Mbweni JKT alifika bei kwa Sh900 milioni na nyingine Sh1.1 bilioni, huku ya Upanga alifika bei ya Sh1.2 bilioni

Pata Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo

$
0
0
MHULI: Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa siku 6 tu.Dozi hii itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 30, utarudia tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha bila kujali umri na garantee ni miaka 60 baada ya kutibu tatizo.

Pia tunatibu Busha bila kufanyiwa Oparesheni, korodani moja kuvimba, ngiri, tumbo kujaa gesi na kuunguruma, kutopata choo vizuri, miguu kuwaka moto na kufa ganzi, chango la wanawake, kisukari na kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa.


Inarudisha mke, mchumba, hawara na atakutimizia kila kitu unachotaka kutoka kwake ndani ya  saa 2 tu hata kama yupo mbali. atarudi na kumfunga asiwe na mwingine zaidi yako.

Umefukuzwa kazini? unataka kupandishwa cheo? Umepoteza pesa zako kwenye biashara bila kujua umepandikizwa chuma ulete? Njoo urudishe pesa zako. Unauza mali yako haiendi? Wasiliana na Nasi kwa Namba; 0783140065

Tupo Mbagala Rangi Tatu

Donald Trump Kuutambua mji wa Jerusalem Kama Makao Makuu ya Israel

$
0
0
Trump:Amechukua maamuzi yaliyowashinda marais waliopita wa marekani.
Mwaka 1995 bunge la marekani lilipitisha Sheria ya kuhamishia ubalozi wa USA katika mji wa Jerusalemu.
Trump ameitambua jerusalem kama mji mkuu wa israel na kuamuru mchakato wa kujenga ubalozi uanze mara moja.

Netanyahu:Amemshukuru Rais Trump kwa uamuzi wake na amesema hakutakuwa na amani ya kweli bila Jerusalemu kutambulika kama ni makao makuu ya israel bila kugawanywa.
Hata hivyo Israel itaheshimu umuhimu wa kiimani katika Jerusalem.ameomba mataifa mengine kama UK na German kuungana na US kuitambua Jerusalem kama makao makuu ya israel.

UNSG GUTERES:Hakuna njia bora na mbadala wa amani zaidi ya two state solution.
Suala la Jerusalemu ni la mwisho na muhimu katika majadiliano.
Ameonya juu ya Taifa moja kufanya maamuzi bila kushirikisha jumuiya ya kimataifa.

Hamas:Tangazo la Trump limefungua milango ya kuzimu kwa maslahi ya marekani mashariki ya kati.

Polisi Wamezichukua Simu za Faiza Ally Kwa Uchunguzi Baada ya Kupost Picha Akijifungua

$
0
0
Inavyoelekea Polisi Wamezichukua Simu za Faiza Ally Kwa Uchunguzi Baada ya Kupost Picha Akijifungua...Faiza Ally amepost kuwa simu  yake imechukuliwa na Polis kwa Uchunguzi kupitia page yake ya Instagram:

Hatimae Shilole Afunga Ndoa na Uchebe...Ndugu wa Shilole Wagoma na Kususia Harusi

$
0
0


official_uchebe ambae ndo mume wa Shilole ameandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram

"Naomba nitoe shukran kwa wote mlio udhuria sherehe yangu hii ndoa yakumuoa mwanamke wa maisha yangu Zuwena.. japo sherehe haikuwa kubwa kama za mastaa wengn ila kwa mungu ni kubwa maana tumeachana na zinaa.. ila naomba nitoe masikitiko yangu kwa ndugu wa Zuwena.. walio msusia Zuwena hii sherehe eti hawataki mimi nimuoe. Jaman Zuwena na mm wote ni watu wazima haina haja yakuchaguliana mke au mume Zuwena ameniridhia na mimi nimemridhia ajabu ndugu zake walimpokonya simu eti kuzuia harusi.. Kwamba tusiwasiliane ila mungu akipanga binadamu hana nafasi nashukuru mke wangu kwakutumia kila mbinu ilimradi hii ndoa ifungwe ingawa ndugu zako walipinga 100% ila ulipigania unacho kiamini nakupenda mke wangu... asante kwakuamua kuwa mke wangu na kubeba mimba yangu karibuni utanizalia mtoto.. nakupenda zuwena wangu" Uchebe

Dr. Shika Apata Meneja wa Kusimamia Mambo yake....Meneja Afunguka Haya

$
0
0

Dk. Luis Shika akishuka kwenye gari akiwa na Meneja wake, Bi Catherine Kahabi


Meneja wake Catherine Kahabi amesema hawezi kuongea mengi kwa sasa maana kila kitu kitakua ni Suprise.

 VIDEO:

Kutana na Mtabibu wa Nyota Duniani Maalim Fadhil Rashid Kutoka Comoro Kwa sasa Yupo Tanzania

$
0
0
KUTANA NA MTABIBIBU WANYOTA DUNIANIKOTE MAALIM FADHILI RASHIDI KUTOKA COMORO KWA SASA YUPO TANZANIA NI BINGWA WAKUTIBU MARADHI SUGU KAMA VILE MIGUU KUUMA NA KUWAKA MOTO PRESHA KISUKARI VIDONDA VYA TUMBO PUMU

MAALIM FADHILI RASHIDI ANAJUWA UMEHANGAIKA SANA LAKINI HUJAFANIKIWA MUONE HARAKA AKUSAIDIE ANADAWA ZA KI COMRO DAWAZAKE HABAHATISHI MUONE HARAKA AKUSAIDIE TEZI NAUVIMBE TUMBONI ANAUWEZO WAKURUDISHA MTUALIE POTEA KIMAZINGIRA (MSUKURE) KUMFANYA MKE MUME MPENZI ASIKUSALITI DAWA YA (LIMBWATA) KUMTAWALA MPENZI WAKO UNAVYOTAKA KUMUONA MBAYA WAKO LIVE KWASABABI MALUM ANATOA PETE YA BAHATI INAYO ENDANA NA NYOTA YAKO ITAKAYO KULETEA MALI BILA YA MASHARITI NAKUMILIKI MALI ZAMAJINI DAWA YAKUONGEZA UUME ZAIZI UIPENDAYO DAWA YA NGUVU ZAKIUME PIA ANAYO DAWA YAKUONGEZA HIPS SHEPU KUWA NAUMBO BOMBA KAMA UMEIBIWA AMA KUDHULUMIWA UTARUDISHIWA MALIYAKO NDANI YA MASAA (24) ANAFUNGA KESI NAKUPATA HAKIYAKO DAWA YA MVUTO WABIASHARA KUUZA MALIYAKO KWAHARAKA KUZUIYA CHUMAULETE KUSAFISHA NYOTA NAKUTOWA MIKOSI NA KUPANDISHWA CHEO KAZINI KARIBUNI WOTE TIBA NIKWADINI ZOTE UTAPATA HUDUMA POPOTE ULIPO DUNIANI

CALLING +255719362806/

WHATSAPP CALLING +255785786436

Tanzia: Waziri Mstaafu Joel Bendera Afariki Dunia

$
0
0
Tanzia: Waziri Mstaafu Joel Bendera Afariki Dunia
Aliyekuwa Waziri wa Habari Mstaafu na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mstaafu, Mh. Joel Bendera amefariki dunia jana jioni  katika hospitali ya Taifa Muhimbili.

Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho  Afisa Habari wa Muhimbili , Aminiel Eligaeshi amesema kwamba walipomkea Mh. Bendera majira ya saa 12:24 Mchana  akitokea Bagamoyo na amefariki  saa 4:03 jioni ambapo chanzo cha ugonjwa wake hakijawekwa wazi.
Akituma salamu za rambirambi kwa familia ya Marehemu Mh. Khamis Kagasheki amesema kwamba amepokea kwa mshtuko taarifa ya kifocha bendera na kwamba kipindi cha uhai wake marehemu alilitumikia taifa kwa jitihada kubwa.
"Nimepokea kwa mstuko na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Ndg Joel Bendera. Alilitumikia Taifa letu kwa jitihada kubwa. Kwa kutaja machache, aliwahi kuwa Mbunge, Naibu Waziri, Mkuu wa Mikoa kadha nk. Pole zangu kwa family, ndugu, rafiki,wa marehemu. Rest in peace Joel" Mh. Kagasheki.

Sijawahi Kutofautiana na Alikiba Watu Wanayakuza Tu- Baraka Da Prince

$
0
0
Sijawahi Kutofautiana na Alikiba Watu Wanayakuza Tu- Baraka Da Prince
Msanii wa muziki Bongo, Barakah The Prince amesema hajawahi kuwa na tofauti yoyote na Alikiba bali watu tu ndio huwa wanaeneza maneno.

Muimbaji huyo aliyejitoa katika label ya RockStar4000 ambayo Alikiba ni miongoni mwa wasimamizi, amelazimika kufunguka hayo baada ya kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa Alikiba wakati kukiwa na tetesi kuwa hawaelewani.

Barakah ambaye anatamba na ngoma ‘Sometimes’ ameiambia E-Newz, EATV kuwa hilo kila mtu anaweza kulichukuliwa kwa matazamo wake ila yeye hana tofauti na Alikiba kisa kuondoka RockStar4000.

“Sijawahi kuwa na matatizo na Alikiba na sijawahi kufikiria kuwa na matatizo naye, hayo amatatizo ni midomo tu ya watu wanatengeneza. Kuondoka kwenye kampuni yao ya kazi siyo kwamba na matatizo nao, hii ni kazi tu naweza nikahama ofisi yoyote” amesema Barakah.

Ameongeza kuwa kila mtu anaweza kuichukulia tofauti lakini yeye huwa anaishi bila kuangalia amemridhisha nani au kufanya kwa ajili ya nani kwa sababu anajua hayo ndio maisha yake na wapi anataka kufika.

Chama cha Waandishi wa Habari (Ojadact) Yataka Uchunguzi Kupotea kwa Mwandishi wa Mwananchi

$
0
0
Chama cha Waandishi wa Habari (Ojadact) Yataka Uchunguzi Kupotea kwa Mwandishi wa Mwananchi
Chama cha Waandishi wa Habari wa Kupinga Vita Matumizi Dawa za Kulevya na Uhalifu (Ojadact), kimevitaka vyombo vya dola na mamlaka nyingine serikalini kumtafuta na kumpata mwandishi wa kujitegemea wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Azory Gwanda.

Gwanda ambaye kituo chake cha kazi ni Pwani ametoweka katika mazingira ya kutatanisha tangu Novemba 21 na mpaka sasa hajulikani alipo.

Mbali ya Ojadact, vyombo vya habari vya kimataifa na wadau mbalimbali wa habari wamezungumzia kutoweka kwa Gwanda wakitaka juhudi za makusudi za kutafutwa na kupatikana kwa mwandishi huyo.

Akizungumza na mwaandishi wa habari jijini hapa jana, Mwenyekiti wa Ojadact, Edwine Soko aliwaomba wadau wa habari nchini kuunganisha nguvu katika kumtafuta na kuvishinikiza vyombo na mamlaka husika kumtafuta mwandishi huyo.

“Hatuwezi kuendelea kuvumilia tabia inayoanza kuzoeleka nchini ya watu kupotea bila kujulikana walipo huku vyombo vya dola vyenye dhamana ya ulinzi na usalama wa raia vikichukulia kawaida, kama jamii lazima tusema hapana kwa sababu huo siyo aina ya Utanzania tuliouzoea,” alisema Soko.

Soko alisema jamii haipaswi kuendelea kufumbia macho vitendo vya watu kupotea na wengine miili yao kuokotwa katika fukwe za bahari na mito nchini kwa sababu vinakiuka Ibara ya 14 ya Katiba inayolinda haki ya kuishi kwa kila mtu.

Alisema tukio la Gwanda lina dalili zote za uovu kwa sababu muda ambao hajaonekana unazidi hata ule unaoruhusiwa mtuhumiwa kushikiliwa kisheria hata na vyombo vya dola kabla ya kumfikisha mahakamani.

Kwa mujibu wa mkewe, Anna Pinon (35), Novemba 21, Agwanda aliaga nyumbani kwake Kibiti kuwa kuwa anaenda kazini lakini hakufika wala kurejea nyumbani.

Mmoja wa waandishi wa habari jijini Mwanza, Halima Juma alisema kitendo cha Gwanda kupotea kimeibua hofu miongoni mwa waandishi wa habari nchini, hasa wanaofuatilia na kuibua habari zinazopiga vita uovu, ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka kwa watu wenye uwezo na mamlaka.

Kupitia kurasa zake za kujamii, mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe aliandika ‘’Maswali kwa @MwananchiNews 1) alikuwa ana ‘assignment’ yeyote kutoka kwenu alipotekwa huko Kibiti? 2) kama ndio kwanini hamsemi hilo? 3) Mna Habari yake yeyote hamjaichapisha gazetini?

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kilisema ‘’tunaungana na uongozi wa @MwananchiNews kutoa wito kwa Jeshi la Polisi Tanzania…kuchukua hatua ili ndugu Azory Gwanda aweze kupatikana. #MrudisheniAzoryGwanda.”

Vituo vya habari za kimataifa vya Fox News, New York Times, Daily Nation walizungumzia kupotea kwa mwandishi Gwanda.

Wizara ya Afya Yachukizwa na Picha Alizopost Faiza Akiwa Leba

$
0
0
Wizara ya Afya Yachukizwa na Picha Alizopost Faiza Akiwa Leba
Dunia ina mambo! Kila kukicha kwenye ulimwengu huu wa mitandao ya kijamii kunazuka jambo jipya ambapo siku chache zilipita, msanii wa filamu za Kibongo, Faiza Ally ametengeneza vichwa vya habari baada ya kutupia picha ya utupu akiwa anajifungua.
Picha hiyo inayomuonesha akiwa mtupu ndani ya chumba cha kujifungulia ‘leba’ huku akiwa amepakata kichanga chake, imezua gumzo la aina yake huku watu kibao wakimtukana na kumlaumu kuwa kitendo hicho walichodai kinawadhalilisha wanawake.

“Yaani hawa watu wanaiga mambo ya akina Kim Kardashian halafu wanayaleta huku Tanzania wakati siyo utamaduni wetu, hii kweli siyo sawa na anawadhalilisha sana wanawake maana kujifungua ni jambo linalohitaji faragha kubwa, lakini yeye ameanika picha,” alisema mdau mmoja kwenye mtandao wa Instagram.
Licha ya watu wa kawaida kumponda Faiza kwa kitendo chake hicho, pia mastaa kibao nao walimjia juu kama moto wa kifuu kwa ujinga huo, wasani hao ni pamoja na Batuli, Riyama, Chuchu Hans, Odama, Isabela Mpanda, Lulu Diva Sandra na wengine kadhaa.

Mastaa hao walisema kitendo cha msanii mwenzao huyo ni udhalilishaji na kinamshushia hadhi kwenye jamii japo inawezekana pia inachangiwa na malezi aliyolelewa.
“Huo siyo ujanja hata kidogo na wala siyo uzungu, sisi ni Watanzania, tuna maadili yetu ambayo huwezi kuyachanganya na Ulaya, tunaweza kumlaumu lakini pengine tatizo ni la malezi,” alisema Sandra.
Risasi Mchanganyiko lilipotaka kupata maoni ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, lilifanya mawasiliano na waziri wake, Ummy Mwalimu, lakini kwa muda wote simu yake iliita bila kupokelewa.

Hata hivyo, msemaji wa wizara hiyo, Nsachris Mwamwaja alisema ni jambo la kusikitisha kwa vile maadili ya kitanzania hayaruhusu hilo suala, lakini pia wao kama wizara hawajapendezwa na hawaruhusu picha kama hizo kupigwa.
“Lakini kwa kuwa aliweka katika mtandao wa kijamii, ni suala la watu wa sheria za mtandao kuona ni namna gani wanaweza wakadhibiti jambo hili ambalo ni baya na lisilofaa kabisa,” alisema Mwamwaja.

FAIZA ANASEMAJE?
Alipotafutwa Faiza ili kueleza kilichosababisha kuanika picha hiyo alisema alifanya hivyo kwa kuwa alijisikia raha na anajivunia kuwa mama kwani wapo wanaotamani kuwa na watoto lakini hawapati.
“Yaani hiyo picha mbona jambo la kawaida sana wala siyo ‘big deal’ kama watu wanavyozungumzia? Kila mtu amezaliwa kuanzia mabibi zetu na mababu sema tu hawakupiga picha, kuhusu kuchukuliwa hatua sitajuta kwani ndiyo nitajifunza ila nilifanya hivyo kwa kuwa najivunia kuingia leba kwa kweli,” alisema Faiza.

Wakati gazeti hili likienda mitamboni, habari zilizotolewa na mwanamke huyo kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii ya Instagram, alisema vyombo vya usalama vimechukua simu yake kwa ajili ya uchunguzi ambao haelewi utachukua muda gani.
Chanzo: Global Publishers

Bill Nas Apata Mkwanja Mrefu Kutoka Mtandao wa Simu

$
0
0
Bill Nas Apata Mkwanja Mrefu Kutoka Mtandao wa Simu
WANAMUZIKI ambaye alitamba kwenye gemu la muziki wa Bongo Fleva na ngoma ya Chafu Pozi, Bill Nas baada ya kula dili la Coce Studio Africa pamoja na kufanya matamasha mbalimbali, hivi karibuni amekula dili lingine la mtandao wa simu, ambalo amesema litampigisha hatua kubwa kwenye muziki wake.
Akichonga na ukurasa huu wa burudani, Bill Nas alisema kwamba, dili hilo ni la mkwanja mrefu na hivi karibuni atalifungukia moja kwa moja pale ambapo tangazo alilofanya litaachiwa na wenye nalo.
“Nimepiga dili ambalo nafikiri kwa mashabiki wangu litakuwa ni habari nzuri, sina uhuru wa kulizungumzia tu kwa sababu bado niliofanya nao hawajaliachia, lakini hivi karibuni wataliachia na nitakuwa wazi kusema ni milioni ngapi nimedaka,” alimaliza Bill Nas.

Waziri Mpina Amsimamisha Kazi Afisa wa Kitengo cha Doria na Udhibiti Uvuvi kwa Kushiriki Kutorosha Samaki Kilo 2500

$
0
0
Waziri Mpina Amsimamisha Kazi Afisa wa Kitengo cha Doria na Udhibiti Uvuvi  kwa Kushiriki Kutorosha Samaki Kilo 2500
Serikali kupitia, Wizara ya Mifugo na Uvuvi,  imemsimamisha kazi  Afisa wa Kitengo cha Doria na Udhibiti wa Uvuvi wa mpakani katika Mkoa wa Kagera,  Ayoub Ngoma kwa tuhuma za  kushiriki  katika utoroshaji wa samaki wenye kilo 2500 kwenda nchini Burundi zenye thamani ya shilingi 20,850,000/=.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mh. Luhaga Mpina amemuagiza  Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Yohana  Budeba kumsimamisha  kazi mara moja Afisa huyo kwa tuhuma hizo zinazo mkabili.

Akizungumza katika ofisi ya Kitengo hicho iliyopo mjini Kagera, Mpina  alisema  mnamo tarehe 03/12/2017 majira ya Saa 03:00  asubuhi, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Ngara ilikamata gari lenye namba za uasajili T 614 CLQ aina ya Mitsubishi Canter likiwa limepakia samaki zenye uzito wa kilo 2,000 aina ya Sangara na kilo 530 wa aina ya Sato kwenye mpaka wa Murusagamba wilayani Ngara.

“Katika kipindi cha uongozi wangu, tayari nimesha waagiza Makatibu Wakuu waliopo katika Wizara yangu kutembea na  barua zilizozosainiwa za kusimamisha kazi watumishi wote wanaohujumu jitihada za Serikali ibaki kujaza jina tu. Kwa sasa hatuna hata nusu dakika ya uvumilivu kwa watu kama hawa, tutawaondoa mara moja.” Alisisitiza Mpina

Aidha, Waziri alisema Afisa huyo na Dereva wa gari hilo bwana Ayuob Sanga wanashikiliwa na polisi kwa hatua za kisheria kwa kuhusika na tukio hilo,  na kuongeza kwamba samaki hawa walikuwa wakitoroshwa kwenda nje ya nchi bila ya kufuata Sheria ya Uvuvi Na 22 ya 2003 na taratibu mbalimbali za usafirishaji wa samaki na mazao yake nje ya nchi.

Afisa Mfawidhi wa Kanda wa Kitengo cha Doria na Udhibiti wa Uvuvi wa mpakani katika Mkoa wa Kagera bwana Gabrieli Mageni alimweleza Waziri Mpina baadhi ya taratibu zilizokiukwa kuwa ni pamoja na samaki hao kutopaswa kuvuliwa kwa kuwa  walikuwa wakubwa zaidi ya sentimeta 85 na wadogo chini ya sentimeta 50, msafirishaji kutokuwa na kibali cha kusafirisha mazao ya uvuvi, kutolipia ushuru na mrabaha wa Serikali, kutokuwa na cheti cha afya pamoja na leseni ya kuuza mazao ya uvuvi nje ya nchi.

Waziri Mpina  alisema samaki hao walitaifishwa na kugawanywa kwa wananchi wa Murusagamba, Kiteule cha Jeshi la Wananchi la Tanzania Murusagamba, Kituo cha Polisi Murusagamba pamoja na Shule ya Sekondari Murusagamba baada ya kupata kibali cha Mahakama.

Alisema  kazi hiyo ilifanyika chini ya usimamizi wa Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Ngara. Luteni kanali,Michael Mtenjele. Aliongeza kuwa, uchunguzi wa awali ilibaini kuwa samaki hao walitokea kwenye kijiji cha Izigo wilayani Muleba.

Ametaja baadhi ya matukio yaliyotokea hivi karibuni kuwa ni pamoja na  kukamatwa kwa furu kilo 9100 zilizokuwa zinatoroshwa kwenda nchini Uganda ambapo zilitaifishwa na kuuzwa kwa amri ya mahakama na watuhumiwa wawili kufikishwa mahakamani kwa kosa hilo.

Kukamatwa  kwa uduvi kilo 5000 ambazo zililipiwa mrabaha na mtuhumiwa kulipa faini ya shilingi 100,000/=,kukamatwa  kwa mafurushi 6 ya Samaki aina ya Migebuka yenye kilo 240 katika kituo cha Basi cha Bukoba zilizokuwa zikitoka mkoani Kigoma kwenda Uganda ambapo mtuhumiwa alikimbia na samaki hao kutaifishwa.

Katika tukio jingine jumla ya kilo 100 za mabondo mabichi ya samaki yamekamatwa kwenye doria mpakani Mtukula na mtuhumiwa  amefikishwa polisi kwa hatua za kisheria.

Waziri Mpina amewaomba wavuvi kuzingatia Sheria na taratibu mbalimbali za uvuvi nchini ili sekta hiyo iwe na tija na kuchangia  katika  uchumi wa kati wa viwanda ifikapo 2025.

Wakichangia kwa nyakati tofauti watumishi wa kituo hicho waliiomba Serikali kupitia kwa Waziri Mpina kuangalia namna ya kuongeza nguvu kazi na vitendea kazi mbalimbali vitakavyosaidia kudhibiti uvuvi haramu.

Marekani Yamuonya Odinga Kuhusu Mpango Wake wa Kuapishwa Kuwa Rais

$
0
0
Marekani Yamuonya Odinga Kuhusu Mpango Wake wa Kuapishwa Kuwa Rais
Marekani imemtaka kiongozi wa upinzani nchini kenya Raila Odinga kuacha mpango wake wa kuapishwa kama raisi wan nchi hiyo wiki ijayo.
Odinga aliwasilisha Malalamiko juu ya mapungufu katika uchaguzi mkuu uliopita na kusababisha uchaguzi wa marudio ambapo Uhuru Kenyata alishinda kwa kura nyingi.
Msaidizi wa katibu wa masuala ya Afrika Marekani , Donald Yamamoto ambae ametembelea nchini kenya.

Ametaka majadiliano ya pande zote mbili kati ya upinzani na serikali ilioko madarakani.
Baadhi ya viongozi wa serikali wameonya kuwa tukio hilo la kuapishwa linaweza kuhusishwa na uhaini.

Maguli Atoa Sababu ya Kuukacha Mkataba wa Kujiunga na Yanga

$
0
0
Maguli Atoa Sababu ya Kuukacha  Mkataba wa Kujiunga na Yanga
MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars), Elius Maguli, amesema kuwa maslahi bora na kutaka kujifunza changamoto mpya, ndiyo sababu kuu zilizomfanya "aukache" mkataba wa kujiunga na Yanga na kuichagua Polokwane City inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini.


Maguli amebakiza miezi sita katika mkataba wake na Dhofar FC ya Oman, lakini ana ruhusa ya kujiunga na timu nyingine ambayo atafikia makubaliano nayo na kuhama bila ya kulipa ada yoyote ya uhamisho.

Akizungumza na Nipashe jana mjini hapa, Maguli, alisema kuwa mbali na Yanga, Simba za Tanzania zinazodhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo Michezoni ya SportPesa, pia alipata ofa za kujiunga na klabu nyingine za Oman, lakini Polokwane City ndiyo imefikia katika maslahi ambayo yatamsaidia kumuendeleza kimaisha na kipaji chake.

Maguli alisema kuwa anaamini atakapotua Afrika Kusini, atajifunza vitu vipya ambavyo hakuwahi kuvijua alipokuwa akicheza Tanzania na Oman na itakuwa ni mwendelezo wa safari yake ya kucheza soka la kulipwa nje ya Afrika.

"Siwezi kusema au kuzungumza vibaya kuhusu Yanga au Simba ambayo niliwahi kuitumikia, lakini ni lazima pia niangalie maslahi yangu wapi watanilipa vizuri, maslahi ni kitu kikubwa kwa sababu mimi nina familia inayohitaji kupata matunzo bora," alisema Maguli ambaye ni baba wa watoto watatu wa kike.

Alisema kuwa mazungumzo yake na Polokwane City yako katika hatua ya mwisho na anatarajia kusaini mkataba wa miaka miwili huku akikataa kuweka wazi dau atakalokwenda kupokea na lile ambalo aliahidiwa na klabu za Tanzania.

"Kuhusu Polokwane City, sio tetesi, kwa sasa mimi ni mchezaji wao kwa asilimia 90, ninajiandaa kwenda kukabiliana na changamoto mpya," alisema Maguli ambaye aliwahi kucheza Tanzania Prisons ya Mbeya, Ruvu Shootinga (Pwani), Simba (Dar es Salaam), Stand United (Shinyanga) na Dhofar FC ya Oman.

Mshambuliaji huyo ambaye leo anatarajiwa kuiongoza Kilimanjaro Stars katika mechi ya Kombe la Chalenji dhidi ya Zanzibar Heroes, aliwataka wachezaji wa Tanzania kuwa na malengo na kuwaasa wale wanaopata nafasi ya kucheza nje kujituma zaidi ili kuitangaza nchi.



Waziri Awaonya Tanesco Mgawo wa Umeme

$
0
0
Waziri Awaonya Tanesco Mgawo wa Umeme
NAIBU Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amewaagiza watendaji wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), kuweka utaratibu wa kutoa taarifa wanapokata umeme ili kuondoa minong’ono kuwa nchi imeingia kwenye mgawo.
Alitoa agizo hilo wakati alipotembelea kituo cha kufua umeme cha Mtera.

Alisema Watanzania wengi kilio chao ni taarifa, mwananchi wa kawaida akiona umeme umekatika anajua ni mgawo, lakini wanatakiwa kufahamu umeme unakatika kutokana na matengenezo na marekebisho mbalimbali.

“Pamoja na jitihada kubwa zinazofanyika katika matengenezo na kurekebisha miundombinu mbalimbali, Watanzania hoja yao ni kukatika kwa umeme, tukae kwa pamoja na kuboresha utoaji wa taarifa, watu wanalalamika wanaunguliwa na vitu vyao hii ni changamoto lazima tuifanyie kazi,” alisema.

Aidha, alisema taarifa hizo lazima zieleze umeme umekatika kwa sababu gani, utawaka saa ngapi na utarejea muda gani.

Aliwataka wananchi wanaoishi pembezoni mwa mto Ruaha, kutunza mazingira kwa kuwa wengi wao wanatumia vibaya maji na kusababisha uharibifu wa mazingira.

Alisema lazima juhudi zifanyike ili kuzuia uharibifu huo ili bwawa na Mtera lipate maji kwa kina kinachostahili.Meneja wa Kituo cha Mtera, John Skauki, alisema mitambo ya kufua umeme iko katika hali nzuri na sasa mpango wa matengenezo kwa kuzingatia umri wa mitambo wa miaka 28 umeanza.

Alisema kwa sasa ujazo wa maji katika bwawa hilo kina cha juu ni  mita 698.5 na kina cha chini ni mita 690.Alisema bwawa hukusanya maji kutoka mito ya Ruaha Mkuu, Ruaha mdogo na Kisigo.

Alisema kutokana na mvua za kutosha mwaka 2016 kina cha juu cha maji katika bwawa kilifikia mita 697.4 juu ya usawa wa bahari.

Aidha, kina kilishuka kutokana na ufuaji wa umeme pamoja na mtiririko wa chini ya wastani wa mita za ujazo 75 kwa sekunde.

Alisema kina cha maji hadi kufikia Desemba 3, mwaka huu ni mita 691.04 juu ya usawa wa bahari.Hata hivyo, alisema juhudi za kunusuru bonde la mto Ruaha ziwe endelevu maana hicho ndicho chanzo cha kuaminika cha kufanya Bwawa la Mtera kuwa na maji ya uhakika na hivyo kuleta uhakika wa ufuaji umemekatika kituo cha Mtera na Kidatu mwaka mzima.

Naye, Meneja Mwandamizi wa Tanesco, Kanda ya Kati, Athanasius Nangali, alisema wamepokea maelekezo katika suala la uboreshaji wa utoaji wa taarifa.

“Tulishaanza kupita mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba kwa ajili ya kukusanya namba za simu ili kama kutakuwa na matengenezo tuwajulishe kwa namba za simu,” alisema Nangali.


Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo

Kutana na Mtabibu wa Asili Allan Shariffu Musa Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

$
0
0
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH shariffu musa Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na shariffu musa Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.

Maalim Hussein Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi

+255 629793352 au watsap
+255 679119679

NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE.

Puvu la Nuh Mziwanda Baada ya Shilole Kufunga Ndoa na Uchebe

$
0
0
Puvu la Nuh Mziwanda Baada ya Shilole Kufunga Ndoa na Uchebe
Hatimaye msanii wa muziki Shilole amefungua ndoa na mpenzi wake Uchebe.

Mara kadhaa Shilole alikuwa akisisitiza kufunga ndoa mwaka huu lakini watu walikuwa wakichukulia poa kwa sababu si mara ya kwanza kutoa kauli kama hiyo lakini hapo jana December 6 akafanya kweli.

Baada ya picha kusambaa mtandaoni aliyekuwa mpenzi wa Shilole, Nuh Mziwanda ameandika ujumbe katika ukurasa wa Instagram ambao unaweza kutafsiriwa kama ametupa kijembe kwenye ndoa hiyo, Nuh ameandika;

Alie LaLa na BiBi harusi’wiki Moja KabLa ya harusi’Na wala sio Bwana Harusi’Bado mnanishauri harusi 😏 (all girls are pretenders )

Alichokiandika Nuh Mziwanda ni mistari kutoka kwenye wimbo wa Mwana FA ‘Bado Nipo Nipo’ ambao ulitoka takribani miaka 10 iliyopita.



Baada ya Kufanikiwa Kufunga Ndoa na Shilole Uchebe Aandika Ujumbe Mzito Kwa Ndugu wa Shilole

$
0
0
Baada ya Kufanikiwa Kufunga Ndoa na Shilole Uchebe Aandika Ujumbe Mzito Ndugu wa Shilole
Siku ya Jana Ilikuwa ni siku ya furaha na ya kumbukumbu kwa msanii Zuwena Mohamed ‘Shilole’  na mpenzi wake Ashraf Uchebe waliyefunga  ndoa, usiku wa kuamkia leo maeneo ya Masaki  jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo

Staa huyo alikuwa akisisitiza kufunga ndoa mwaka huu lakini watu walikuwa wakichukulia poa kwa sababu si mara ya kwanza kutoa kauli kama hiyo lakini jana Desemba 6 akafanya kweli.

Baada ya kukamilika kwa ndoa hiyo mume wa shilole Uchebe ameamua kuonyesha wazi kilichomuumiza siku ya jana kutoka kwa ndugu wa mkewe ambao walisusia ndoa hiyo na kuamua kuwaandikia ujumbe mzito kupitia ukrasa wake wa Instagram.

Uchebe ameandika Hivi "Naomba nitoe shukrani kwa wote mliokuja kuudhuria sherehe yangu nhii ndogo ya kumuoa mwanamke wa maisha yangu zuwena japo sherehe haikuwa kubwa kama za mastaa wengine ila kwa mungu ni kubwa maana tumeachana na zinaa ... ila naomba nitoe masikitiko yangu kwa ndugu wa zuwena  waliomsusia zuwena ili sherehe  eti awataki mimi nimuoe jamani zuwena na mimi wote ni watu wa zima haina haja ya kuchaguliana mke au mume Zuwena ameniridhia na mimi nimemridhia ajabu ndugu zake walimpokonya simu yake  eti kuzuia harusi... kwamba tusiwasiliane ila mungu akipangabinadamu hana nafasi nashukuru mke wangu kwa kutumia kila mbinu ili mradi hii ndoa ifungwe  ingawa ndugu zako walipinga asilimia 100 ila ulipania unachokiamininakupenda mke wangu... asante kwa kuamua kuwa mke wangu na kubeba mimba yangu karibu utanizalia mtoto ... nakupenda zuwena wangu"
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live




Latest Images