Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104712 articles
Browse latest View live

Alikiba, Diamond Watajwa Kuwania Tuzo za Soundcity MVP 2017 Nigeria

$
0
0
Alikiba, Diamond Watajwa Kuwania Tuzo za Soundcity MVP 2017 Nigeria
Kituo cha Runinga cha Soundcity TV kimetangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za SoundCity MVP mwaka 2017 ambapo Tanzania imefanikiwa kutoa wasanii 5.

Wasanii hao ni Alikiba, Diamond Platnumz, Aslay, Vanessa Mdee na kundi la muziki la Navy Kenzo ambao hao wamechaguliwa kwenye Kipengele kimoja cha Best Group or Duo ambapo watachuana na makundi mengine kama Sauti Sol, Mi Casa n.k .

Alikiba ambaye mwaka jana 2016 alichukua tuzo hizo kupitia kipengele cha Wimbo bora wa Mwaka ‘AJE’. Mwaka huu Alikiba ametajwa kwenye vipengele kimoja cha wimbo bora wa mwaka ‘Song of The Year’ kupitia wimbo wake wa Seduce Me,

Diamond Platnumz naye mwaka huu ametajwa kwenye kipengele kimoja cha kikubwa zaidi cha ‘Best Male MVP’ ambapo atachuana na wasanii wengine Davido, RunTown, Olamide, Wizkid, 2Baba (2face) wote kutoka Nigeria na wengine ni Sarkodie, Shatta Wale kutoka Ghana na Navio kutoka Uganda.

Vanessa Mdee ametajwa tena kwenye kipengele cha ‘Best Female MVP’ ambapo atachuana na wasanii wenzake wa kike kama Tiwa Savage, Niniola, Yemi Alade na wengine kama inavyoonekana hapa chini.

Aslay naye kwa mara ya kwanza ametajwa kuwania tuzo hizo baada ya kuwa na mwaka mzuri katika career yake na ametajwa kwenye kipengele kimoja cha ‘Best New MVP’ ambapo amepangwa na wakali wengine kama Maleekberry, Mayorkun, Diceailes, SmallDoctor wote kutoka Nigeria, Na Nadia Nakai kutoka Afrika Kusini.

Tuzo za Soundcity MVP zitatolewa Januari 12 mwakani jijini Lagos nchini Nigeria na tayari unaweza orodha nzima ya wasanii waliotajwa na kumpigia kura msanii wako HAPA.

Insector Haroun Afunguka Beef Lake na Juma Nature

$
0
0
Insector Haroun Afunguka  Beef Lake na Juma Nature
Mkali wa 'hit' za zamani kama asali wa moyo Inspector Haroun maarufu ‘Babu'  amesema hakuwa na bifu na mkali mwenzake kutoka Temeke Juma Nature bali bifu hiyo ilikuwa inatengenezwa na mashabiki.


Inspector amefunguka hayo kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio ambapo amejinasibu kuwa wakati yeye anaoa mwanamke na kuhamia Kijitonyama kutoka Temeke ndio  kipindi ambacho Juma Nature na kundi lake la TMK walitoa ngoma ya 'Shibe shibe'

''Katika mistari ya nyimbo hiyo wamesema 'nyumbani ni nyumbani' watu wakawa wanajua kuwa kuhama kwangu Temeke  ndio akanitungia nyimbo hiyo, baada ya muda kidogo mimi nimetoa 'Mishe mishe' basi ndio tukawachanganya sana kumbe  wala haikuwa hivyo mimi na Nature hatuna tatizo tuko pamoja sana'', amesema.



Msanii huyo amesema kufanikiwa kwake kulitokana na kushiriki katika  shindano la kusaka vipaji lililofanyika Don Bosco, ambapo DJ Bony Love alikuwa Jaji wa shindano hilo, yeye na Luteni Kalama  wakaibuka washindi.

Alipoulizwa  kuhusu wasanii kutoa nyimbo ambayo haidumu kwa muda mrefu, amesema inatokana na kukosa ubunifu ambapo wakati wao  wanang’aa walikuwa wanatumia muda mwingi kuandaa  ngoma zao.

Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Jumamosi

Pata Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo

$
0
0
MHULI: Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa siku 6 tu.Dozi hii itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 30, utarudia tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha bila kujali umri na garantee ni miaka 60 baada ya kutibu tatizo.

Pia tunatibu Busha bila kufanyiwa Oparesheni, korodani moja kuvimba, ngiri, tumbo kujaa gesi na kuunguruma, kutopata choo vizuri, miguu kuwaka moto na kufa ganzi, chango la wanawake, kisukari na kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa.


Inarudisha mke, mchumba, hawara na atakutimizia kila kitu unachotaka kutoka kwake ndani ya  saa 2 tu hata kama yupo mbali. atarudi na kumfunga asiwe na mwingine zaidi yako.

Umefukuzwa kazini? unataka kupandishwa cheo? Umepoteza pesa zako kwenye biashara bila kujua umepandikizwa chuma ulete? Njoo urudishe pesa zako. Unauza mali yako haiendi? Wasiliana na Nasi kwa Namba; 0783140065

Hatimae Account ya Instagram ya Mange Kimambi Yarejea

$
0
0
Baada ya kupotea kwenye mtandao kama wiki mbili hivi bwana instagram amemrejeshea account yake comment oyoo kumkaribisha tena

Baada ya Vyuma Kukaza, Jike Shupa Aamua Kuwa Mpishi

$
0
0
MUUZA sura kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ ameamua kugeukia mapishi baada ya kuona vyuma vimekaza ambapo anapika vyakula kwenye shughuli mbalimbali ili kujikwamua kimaisha.

Akipiga stori na Risasi Jumamosi, Jike Shupa alisema kila kukicha maisha yanazidi kuwa magumu ambapo kwa sasa ameamua kuachana na kuendekeza starehe na kuishi na mashoga ‘wanaume tata’ nyumbani kwake na kugeukia mapishi ambapo anapika vyakula vya tenda kwenye shughuli mbalimbali.

“Yaani nimeona nitakufa njaa ndiyo nikaamua kuwafukuza mashoga wote na kuanza kufanya kazi hii ya kupika kwenye shughuli hivyo nachukua tenda napika na watu wangu, naona inanilipa na ni afadhali maana nilikuwa naendekeza starehe za kulala tu ndani na kutegemea wanaume lakini sasa hivi nafanya kazi napata fedha kwa nguvu zangu,” alisema Jike Shupa.

Familia ya Lissu Tena, Kuhusu Mama Samia Kwenda Nairobi na Mengine

$
0
0
Ikiwa bado Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu anaendelea na matibabu Nairobi nchini Kenya baada ya kushambuliwa kwa risasi, familia ya Mbunge huyo leo December 15, 2017  imeongea na waandishi wa habari.

Alutha Mughwai ni msemaji wa familia ameita waandishi wa habari moja ya jambo alilolizungumza nikushukuru serikali kupitia Makamu wa Rais kwa kumtembelea Lissu pamoja na suala la gharama za matibabu ambazo bunge halija gharamia zikiwa zimepita siku mia moja.

“Kutoka serikalini ambaye amekwenda kumuangalia ni Makamu wa Rais, kama mlivyomsikia alisema ametumwa na Rais kwenda kumjulia hali, zaidi ya yeye hakuna kiongozi mwingine wa serikali alienda kumjulia hali,” – Mughwai

“Hakuna mtu aliyechukua jukumu la kumtibu Lissu, mawasiliano ya mwisho tuliyoyapata toka Ofisi ya Bunge walitaka tufafanue hizo haki za mbunge kutibiwa, tumefafanua na tuna dai haki 4,” – Mughwai VIDEO:

Mfumo Mwingine wa Kulipia Bill TANESCO Umeanzishwa

$
0
0
December 15, 2017  Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza mfumo mpya wa ulipaji wa Bill nchini kwa kutumia Government Electronic Payment Gateway (GEPG) ambao umeanza rasmi siku ya jana.

Akiongea na waandishi wa habari, Meneja TEHAMA wa TANESCO  Evaristo Winyasi amesema “mfumo huu mpya umeanza rasmi siku ya jana katika mkoa DSM na Pwani, lengo likiwa ni kuunganika na mfumo huu wa serikali ni matakwa ya sheria ya Bunge,”

“Wateja wanahudumiwa kwa njia mbalimbali kwa kutumia Benki na Mitandao ya Simu, lengo kuu ni boresha huduma kwa mteja, kuhakikisha mteja anapata huduma haraka na kwa usahihi,” – Winyasi

Baada ya Nuh Mziwanda Kujitapa Kulala na Shilole Wiki Moja Kabla ya Haru Shilole Amtolea Uvivu Nuh

$
0
0
Shilole Amtolea Uvivu Nuh Mziwanda "Nuh ni sawa na Mfa Maji Asiyeishi Kutapatapa"
BAADA ya habari kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii na mwanamuziki Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kuandika katika ukurasa wake kwamba alilala na mpenzi wake wa zamani, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wiki moja kabla ya kufunga ndoa, mwanamama huyo ameibuka na kumtolea maneno makali.

Akipiga stori na Mikito Nusunusu, Shilole ambaye alifunga ndoa na Uchebe wiki iliyopita alisema, Nuh ni sawa na mfa maji asiyeisha kutapatapa hivyo anatakiwa kupambana na hali yake.

“Sitaki kumzungumzia Nuh kwa sababu mimi na mume wangu tunamuona ni mfa maji anayetapatapa tu, namshauri tu apambane na hali yake aache kufuatilia na kutaka kuharibu maisha ya watu,” alisema Shilole.

Nauli Mabasi ya Mkoani Pasua Kichwa Yapandishwa Kinyemela

$
0
0

Nauli Mabasi ya Mkoani Pasua Kichwa Yapandishwa Kinyemela
Nauli za mabasi yaendayo mikoani katika stendi kuu ya Ubungo zimebainika kupandishwa kinyemela tofauti na bei elekezi iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra).

Mwenyekiti wa bodi ya Sumatra Dk John Ndunguru jana alitembelea stendi hiyo na kukagua namna abiria wanavyohudumiwa hasa kipindi hiki cha kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka.

Katika ukaguzi uliofanyika, baadhi ya mabasi yamekamatwa likiwamo linalofanya safari za Dar es salaam na Arusha kwa kuongeza nauli kinyume na ilivyopangwa na Sumatra.

Dk Ndunguru alisema changamoto ni nyingi hasa magari ya kanda ya ziwa yamekuwa yakichezewa vidhibiti mwendo vilivyofungwa.

“Changamoto ipo kwa magari ya kaskazini mtu anayekwenda Same, Mwanga na Moshi nauli yake ni Sh22,500 lakini wapo wanaotozwa Sh35,000. Nawaagiza makamanda kuwafuatilia wote na kuwafikisha kituoni,” alisema Dk Ndunguru.

Dereva wa basi la Saratoga linalofanya safari zake Dar es salaam na Mwanza ameilalamikia Sumatra akisema kuna mabasi mengine yanayotoa huduma lakini hayajafungwa vidhibiti mwendo jambo ambalo si sawa.

Beatrice Pendaeli abiria anayesafiri kuelekea Arusha amewataka Sumatra wawe wanafanya ukaguzi wasingoje siku za sikukuu pamoja na kuwachunguza wanaokata tiketi ili kudhibiti feki.

Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Kinondoni, Saimon Mwangamilo alisema kwa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka watu wengi wanakwenda mapumziko huku baadhi ya mawakala wakipandisha nauli kinyemela.

“Jeshi la polisi tumejipanga vizuri, tutahakikisha kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka tunawakamata mawakala wote watakaopandisha nauli pamoja na kuwafikisha mahakamani,” alisema Mwangamilo.

Pia, aliwashauri wasafiri kukata tiketi kwenye vituo vya mabasi husika badala ya kuwatumia wapigadebe ambao wanapandisha nauli na wengine wanatumia vitabu feki vya tiketi.

Ndugai Atoboa Siri Sababu Zilizomfanya Ashindwe Kumjulia Hali Tundu Lissu Nairobi

$
0
0
Ndugai Atoboa Siri Sababu Zilizomfanya Ashindwe Kumjulia Hali Tundu Lissu Nairobi
Spika wa Bunge, Job Ndugai ametoa sababu zilizomfanya ashindwe kwenda kumjulia hali mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya.

Spika huyo, ambaye amelaumiwa na Lissu kwa kushindwa kumjulia hali, amesema hali ya sintofahamu iliyojitokeza nchini humo baada ya uchaguzi mkuu ilikuwa kikwazo kwake.

Akizungumza jana na waandishi wa habari nyumbani kwake Kisasa mjini hapa, Ndugai alisema sintofahamu hiyo ilisababisha baadhi ya wanasiasa kwenda mahakamani hivyo kufanya uchaguzi mkuu kurudiwa na kusababisha malumbano yaliyofanya kuwa na ‘Serikali kama ya mpito’.

Alisema wabunge wanaweza kwenda Kenya kama wanavyotaka ilimradi wawe na hati ya kusafiria, lakini yeye hawezi kufanya hivyo.

“Ninapokwenda kule lazima kuwe na taarifa rasmi za kiserikali na za kibunge na ninapokelewa kihivyo. Na ninapopelekwa huko hospitali ama wapi napelekwa kwa namna hiyo ndio utaratibu wa nchi kwa nchi,” alisema.

“Haiwezekani wao wana vurugu mechi kama zile halafu Spika anaonekana anazungukazunguka Nairobi, wanaweza kusema ajenda alikuja nayo si hii katika pande hizi mbili, Watanzania wamemtuma ajenda yake. Unapokuwa kiongozi lazima ujiongeze, haukuwa wakati mzuri wa Spika kwenda (Nairobi).”

Alisema kwa sababu mambo hayo yamepita na Serikali imeshapatikana basi Watanzania wangoje Krismasi na Mwaka Mpya upite na kwamba baada ya hapo watamuona akienda kumjulia hali Lissu ambaye amelazwa tangu Septemba 7 baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 32 nyumbani kwake Area D, mjini Dodoma.

“Ni mbunge wetu, tunampenda na tuko naye na tusingependa asikitike kwa lolote lile,”alisema Ndugai.

Alisema alishatuma wabunge wawili ambao ni Mary Chatanda (Korogwe Mjini –CCM) na Faharia Khamis Shomari (Viti Maalumu-CCM) kwa niaba ya Bunge kwenda kumuona Lissu.

Hata hivyo, Lissu katika mahojiano yake na Mwananchi hivi karibuni alisema wabunge hao walikwenda kibinafsi.

“Mmoja kutoka Bara (Mary) na mwingine kutoka Zanzibar (Faharia) wote wanawake hawa ni wajumbe wa Kamisheni ya Bunge ama Tume ya Huduma za Bunge, wabunge watatu pamoja na ofisa mwanadamizi wa Bunge kwenda kule hospitalini Nairobi, wakamtembelea na wakampa salamu zetu na tume ndio inayohusika na maslahi yote ya wabunge,” alisema.

Alisema kuwa tume hiyo ambayo ina wajumbe wachache ndio inayohusika na mbunge akifariki, ugonjwa na kwamba ndio mwajiri wa wabunge.

“Kwa kweli tulipeleka uwakilishi wa kwenda kumuona mwenzetu, akisema hajawaona watu haina tatizo unajua mtu ukiwa unaumwa unaweza mambo mengine yakakupita kidogo, kwa hiyo tuko karibu sana na jambo hili tuko naye yamesemwa mengi kuhusu Bunge tuna majibu ya kila moja,” alisema.

Kuhusu haki za Lissu, Ndugai alisema yupo kimya kwa sababu kujibishana na mgonjwa haipendezi na kwamba hata kama mgonjwa anakosea hawawezi kubishana naye.

“Hii inanipa kazi sana, nilishatoa ushauri kwao kimya kimya kuwa mambo ya kiserikali na kibunge huwa yanaenda kwa makaratasi, hayaendi kwa kuzungumza na waandishi wa habari, walichotakiwa kuandika hicho ambacho Bunge tunaambiwa kuwa hatukitekelezi,” alisema.

Alisema kwa kuandika unachokitaka kwa vyovyote vile ni lazima utapata majibu kwa maandishi ya kuhusiana na jambo hilo kama liko sawa sawa ama la.

“Utaratibu uliotumika wa kumpeleka Lissu Nairobi hatuulaumu wala nini lakini ulikuwa ni utaratibu kidogo unakwenda kushoto tofauti na utaratibu wa kiserikali na kibunge yaani utaratibu huo ni wa mimi na nyinyi nyote Watanzania,” alisema.

Alisema Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ndio itakayotoa rufaa kwenda kokote unapokwenda na wengi tunapelekwa India ikiwemo mimi.

Alisema kama huwapati chanzo inakuwa ni vigumu sana wakati ndani ya nchi kuna michakato ya kupitia ili kuweza kufikia jambo hilo.

Alisema jambo hilo haliamuliwi na yeye mwenyewe na kwamba ni jambo linahitaji mchakato na ni lazima alipeleke kwa wataalamu wa afya ambao wataona kama kwenda Nairobi kumuangalia na kuleta nchini mapendekezo ya kulitatua kama Mtanzania (Lissu) mwenye haki zake.

“Narudia tena jambo hili halitatuliki kwa kulamu kwenye vyombo vya habari wala kufanya vinginevyo iwe kwa kiongozi wa upinzani bungeni ambaye mara nyingi ameongea na waandishi wa habari akinilaumu. Kwa nini asishike dokezo akaona wapi limekwamia,” alisema.

Serikali: Uchumi wa Nchi Upo Imara

$
0
0
Serikali: Uchumi wa Nchi Upo Imara
Serikali kupitia Msemaji Mkuu wake, Dkt. Hassan Abbas imesema kuwa kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) inaonyesha uchumi wa nchi uko imara ukilinganisha na nchi zilizofanyiwa tathimini.


Mkurugenzi wa Idara ya habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas akizungumza na waandishiwa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelelezo uliopo jengo la LAPF mjini Dodoma

Dkt. Abbasi ameyasema hayo mjini Dodoma alipokuwa akiongea na waandishi wa habari juu ya maoni ya wataalam wa uchumi kutoka IMF ambao wamemaliza ziara yao hapa nchini Desemba 12, 2017.

“Ripoti ya IMF inaonesha katika nusu ya kwanza ya mwaka 2017 uchumi umekua kwa asilimia 6.8, takwimu ambazo ni za juu katika chumi zinazokua kwa kasi na ikizidi nchi kadhaa zilizofanyiwa tathmini mwaka 2017 zikiwemo za Ulaya,” amesema Dkt. Abbas.

Aidha, kutokana na usambazaji mzuri wa chakula mfumuko wa bei ya chakula ulishuka hadi kufikia asilimia 4.4 ikiwa ni chini ya lengo ambalo IMF ilitabiri mfumuko ungekuwa asilimia 5.

Aidha amesema, Serikali imeendelea kulipa madeni ya ndani ambapo mpaka sasa Shilingi bilioni 900 zimeshalipwa na shilingi bilioni 37 zimelipa madeni ya watumishi wa Serikali.

Timu hiyo ya wataalamu kutoka IMF iliongozwa na Bw. Mauricio Villafuerte ambapo walifanya ziara juu ya tathimini ya uchumi katika nchi Saba Afrika ikiwemo Tanzania pamoja na Msumbiji, Rwanda, Nigeria, Uganda, Senegari na Cape Verde.

Beef la Manifongo, Sholo Mwamba, Wasowaso Lachukua Sura Mpya Man Fongo Atembea na RB ya Polisi

$
0
0
Beef la Manifongo, Sholo Mwamba, Wasowaso Lachukua Sura Mpya Man Fongo Atembea na RB ya Polisi
Bifu kubwa linalowahusisha wakali wa mziki wa Singeli Manfongo dhidi ya Sholo Mwamba, Wasowiso na Ivan limechukua sura mpya baada ya Man Fongo kufunguka kuwa ana RB ya Wasowiso.


Manfongo amesema  anamtafuta Wasowiso ambaye amewahi kuwa meneja wake kwa madai ya kumtapeli pesa yake aliyoichukua kwa makubaliano ya kununua vifaa kwaajili ya maboresho ya gari lake lakini hakufanya hivyo na akatokomea na fedha hizo.

Akiongea na eNEWZ ya East Africa Television Manfongo amesema mkwanja aliotapeliwa na Wasowiso ni shilingi laki mbili na nusu (250,000/=).

Manfongo pia amefunguka kumshangaa Director Ivan ambaye amewahi kumlipa takribani shilingi milioni tano na akamtengenezea video ambayo haina ubora ukilinganisha na kiasi cha fedha alichotoa. “Namshanga Ivan amejiingiza kwenye bifu hilo kwani alikuwa hahusiki”, amesema Manfongo.

Manfongo alimalizia kwa kusema  anawashangaa sana wanaomsema kwamba amefulia wakati yeye ndo aliwasaidia mpaka kujulikana kwa jamii ila kwa sasa amejifunza hatarudia makosa aliyoyafanya mwanzo anajipanga upya ndani ya wiki mbili zijazo atatoa nyimbo yake mpya.

Huyu Hapa Bingwa wa Magonjwa Sugu Kama Vile Pumu, Vidonda vya Tumbo, Busha, Kisukari na Nguvu za Kiume

$
0
0

BABU MADUHU NI BINGWA WA MAGONJWA YOTE SUGU YANAYOSUMBUA KAMA VILE PUMU, VIDONDA VYA TUMBO, BUSHA, NGUVU ZA KIUME, KISUKARI, MIVUTO YOTE, KUSAFISHA NYOTA, KURUDISHA MALI, NK.

Tatizo la upungufu ukosefu wa nguvu za kiume, maumbile madogo ya uume limekuwa kubwa kwa lika zote hapa duniani

Matatizo hayo sio mageni kigeni ni ile tiba sahihi yakutibu na kuponya haya.chanzo cha hayo matatizo ni:KISUKARI, NGIRI,CHANGO, TUMBO KUUNGURUMA NA KUJAA GESI, KIUNO KUUMA, MAUMIVU YA MGONGO,MAGONJWA YA ZINAA, KORODANI KUVIMBANAKUUMA,VIDONDA VYA TUMBO, NK.

Tiba sahihi nabora ya tatizo la nguvu zakiume ni NYASOSE MIX, Nidawa ya vidonge asilia vilivyotengenezwa kwa kiwango bora na salama kwa ajili yakutibu mojakwamoja tatizo la nguvu za kiume maradufu

1,Hutibu nguvu za kiume mda mfupi sana kati ya umri wa miaka 18-85 naitakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa    dk 20 hadi 40 tendo lakwanza bila kuchoka naitakufanya uwe nahamu yakuendelea na tendo la ndoa zaidi ya mara 5 bila hamu kuisha.

MHESHA POWER Nidawa yakuboresha maumbile ya kiume kwa kunenepesha na kurefusha kwa saizi uipendayo inchi 6,7 hadi 8 kwa mda mfupi sana.dawa hizi huanza kufanya kazi kwa mda wa dk 67 ukisha tumia guarantee miaka 55 ikishakutibu.

Pia tunatibu,KISUKARI, PRESHA, UZAZI, NGIRI, PUMU,MALARIA SUGU, VIDONDA VYA TUMBO, CHANGO AINA ZOTE, BP, BUSHA BILA UPASUAJI NK.

ITINYA,Nidawa ya mvuto wa biashara,kazi,hupandisha cheo humfanya mfanyakazi apendwe na mwajiri wake,humvuta mme,mke,hawara,mchumba,unaemhitaji au hakutaki hatimizi ahadi zako kwa dhati utampata kwa mda wa dk 45 tu naatatulia milele nakumfunga asitoke inje ya ndoa.

SUPER POWER,Nidawa ya yakupunguza matiti,unene tumbo,kitambi kwa akina baba,hutoa mafuta mabaya mwilini,makovu sehemu mbalimbali mwilini,chunusi sugu,minyama uzembe,michirizi mwilini,nakuongeza makalio hips,mguu wa bia nk.

BABU MADUHU ANAPATIKANA MAGOMENI MOROCCO HOTEL/KANISANI
SIMU NO 0652 102 152/0755 684 297/0788 330 105.

HUDUMA HII UNAWEZA KUIPATA/KULETEWA MAHALI POPOTE NCHINI

Ramsey Noah Azuru Kabuli la Kanumba Asema "Aliondoka Kipindi Nyota Yake ya Mafanikio Ikianza Kung'aa"

$
0
0
Ramsey Noah Azuru Kabuli la Kanumba Asema  "Aliondoka Kipindi Nyota Yake ya Mafanikio Ikianza Kung'aa"
NGULI wa filamu za Nigeria, Ramsey Noah amesema japokuwa miaka mingi imepita tangu kufariki dunia kwa aliyekuwa msanii mahiri wa filamu za Kibongo, Steven Kanumba, bado pengo lake haliwezi kuzibika katika ulimwengu wa tasnia ya filamu.

Akizungumza katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam alikoenda kuzuru kaburi la marehemu Steven Kanumba leo Jumamosi, Desemba 16, 2017, Ramsey, alisema Kanumba aliondoka kipindi ambacho nyota yake ya mafanikio ndiyo kwanza ilikuwa imeanza kung’ara na kwamba, kila anapomkumbuka na mambo waliyoyafanya pamoja, huwa haamini kama hatamuona tena maishani mwake

Ramsey alizuru hapa nchini kuhudhuria Tamasha la Kutambua Fursa kwa vijana lilioandaliwa chini ya Kampuni ya Sahara, tamasha hilo lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), juzi Alhamisi.

Katika kuzuru kaburi hilo  aliongozana na mama mzazi wa marehemu Kanumba, Flora Mtegoa, mdogo wa marehemu, Seth Bosco, wasanii wa filamu na mashabiki wa marehemu Kanumba.

Ramsey ndiye msanii wa kwanza mkubwa nchini Nigeria kufanya filamu na Mtanzania ambapo walifanya Moses na Devil’s Kingdom jambo ambalo liliunganisha Bongo Movie na Nollywood hivyo kutengeneza uhusiano imara kati ya nchi hizi mbili katika tasnia ya filamu.

Kanumba alifariki dunia Aprili 7, 2012 baada ya kutokea mzozo kati yake na aliyekuwa mpenzi wake, muigizazi Elizabeth Michael ‘Lulu’. Mwanadada huyo kwa sasa anatumiankifungo cha miaka miwili jela baada ya kukutwa na ya kumuua Kanumba bila kukusudia.

Rais wa Zimbabwe Apiga Marufuku Nyimbo za Kumsifu na Kumtukuza

$
0
0
Rais wa Zimbabwe Apiga Marufuku Nyimbo za Kumsifu na Kumtukuza
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametaka wanachama wa Chama cha Zanu-PF kuachana na nyimbo za kumsifu na kumtukuza.

Amewataka watilie mkazo wimbo wa Taifa na nyingine zinazozungumzia ukombozi.

Mnangagwa amesema hayo katika mkutano wa chama hicho uliomvua uongozi rasmi aliyekuwa kiongozi mkongwe wa chama na Serikali ya Zimbabwe, Rais Robert Mugabe na kumtimua mkewe Grace.

Mkutano huo pia umemwidhinisha  Mnangagwa kuwa mkuu mpya wa chama na mgombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2018.

Akizungumza kwenye mkutano huo, Mnangagwa amewataka wanachama kutambua kuwa yeye ni Rais wa watu wote na wala si wa kikundi fulani.

Amesema huu si wakati wa kutambiana kuwa kundi gani limeshinda bali kila mwanachama anapaswa kuzingatia mahitaji ya wananchi ambao wanataka maendeleo.

Rais Mnangagwa amesema wanachama wanapaswa kurekebisha uchumi ikiwa wanataka wawe na nafasi ya kushinda uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani.

 "Tutashinda uchaguzi ikiwa tu tutaweza kuonyesha ishara kwamba tunafufua uchumi na wakati huohuo, tutaweza kupata mafanikio ya kiuchumi ikiwa tutaweza kuhakikisha tunashinda tena uchaguzi," amesema Mnangagwa.

Rayvanny Afunguka Kinachokwammisha Kolabo Yake na Derulo

$
0
0
Rayvanny Afunguka Kinachokwammisha Kolabo Yake na Derulo
Msanii wa muziki Bongo, Rayvanny amefunguka kinachokwamisha kolabo yake na Jason Derulo.

Muimbaji huyo wa WCB ambaye June 26 mwaka huu alionekana studio na Jason Derulo ameiambia The Base, ITV kuwa kazi hiyo ilishafanyika ile anasubiri Derulo aimalizee mixing kisha amtumie.

“Nilifanya ngoma kwenye studio yake lakini ratiba yake inakuwa imebana sana anakuwa anazunguka kwenye miji mingi tofauti, so akaniambia siwezi nikakutumia kitu ambacho hakijakaa proper subiri mpaka tuimix vizuri” amesema Rayvanny.

Hata hivyo Rayvanny ameeleza kuwa katika safari yake ya sasa ya Marekani ambapo ameenda kwa ajili ya ku-shoot video atafuatilia na hilo pia.

Zitto Kabwe Akiombea Uanachama wa FIFA Chama Cha Soka Zanzibar (ZFA)

$
0
0
itto Kabwe Akiombea Uanachama wa FIFA Chama Cha Soka Zanzibar (ZFA)
Mbunge wa Kigoma mjini Mh. Zitto Kabwe ambaye ni mdau mkubwa wa michezo hususani soka amekiombea aunacham wa FIFA chama cha soka cha Zanzibar ZFA.

Hatua hiyo imekuja baaada ya timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) kutinga hatua ya fainali ya michuano ya CECAFA Senior Challenge 2017 inayoendelea nchini Kenya.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Facebook Zitto amefunguka ya moyoni akitaka ZFA iwe mwanachama wa shirikisho la soka la kimataifa FIFA pamoja na lile la Africa CAF angalau kwa miaka mitano na inaweza kupiga hatua ambazo TFF imeshindwa.

“Kama hatutaki Zanzibar kuwa Mwanachama wa FIFA kama ilivyo Scotland. Tuseme kwa miaka 5 ijayo kuanzia mwaka huu ZFA ndio mwanachama FIFA na CAF ili TFF ipate muda wa kujipanga. Ndani ya hiyo miaka 5 nawaambia Zanzibar itakwenda AFCON na hata Kombe la Dunia. #MsemaKweliMpenziWaMungu”, ameandika Zitto Kabwe.

Zitto ametoa mfano kuwa Zanzibar ingepata uanachama kamili wa FIFA kama ilivyo kwa nchi za Scotland pamoja na Wales ambazo pia ni nchi dada za taifa la Uingereza lakini zinatambuliwa na FIFA kama mataifa wanachama huku Uingereza ikitambulika kama England.

Yanga Kufuata Nyayo za Watani Wao Simba Waanza Mchakato wa Kumsaka Mwekezaji

$
0
0
Yanga Kufuata Nyayo za Watani Wao Simba Waanza Mchakato wa Kumsaka Mwekezaji
Viongozi wa Yanga wameanza mchakato wa muundo mpya wa uendeleshaji wa klabu yao katika kuleta mabadiliko.
Hiyo, ikiwa ni siku chache tangu watani wao wa jadi, Simba waikabidhi klabu yao kwa mwekezaji bilionea, Mohamed Dewji ‘Mo’.

Yanga imefikia maamuzi hayo, baada ya kikao cha Kamati ya Utendaji ya timu hiyo chini ya Kaimu Mwenyekiti, Clement Sanga kukutana juzi Jumatano.

Katibu Mkuu wa timu hiyo, Boniface Mkwasa kwa mujibu katiba ya mwaka 2010 ibara ya 56 (3) iliyosajiliwa na msajili inawaruhusu wao kumpa mwekezaji klabu hiyo.

Mkwasa alisema, katiba hiyo inaridhia kumpa mwekezaji asilimia 49 mwekezaji huku 51 ikiwa inamilikiwa na wanachama wa klabu, hivyo hivi sasa wapo kwenye mchakato wa kumpa mwekezaji na kikubwa ni kuleta mabadiliko.
Aliongeza kuwa, kupitia katiba hiyo kamati hiyo imepitisha mchakato huo wa mabadiliko na tayari wameanza kuchagua watu watakaosimamia mpango huo kwa kuzingatia vigezo muhimu ambavyo ni lazima awe na taaluma ya sheria.
Aidha alisema, watu watakaosimamia mchakato watawapa kazi ya kutathimini mali za klabu ikiwemo zisizohamishika kama majengo yao ya Jangwani na lile lililokuwepo mtaa ta Mafia, Dar na zile zinazohamishika kama magari.

Bao la West Ham Lampa Tuzo ya Bao Bora la Mwezi Rooney

$
0
0
Bao la West Ham Lampa Tuzo ya Bao Bora la Mwezi Rooney
Wayne Rooney ameshinda tuzo ya bao bora la mwezi la Premier League kutokana na bao aliloifungia Everton dhidi ya West Ham.

Bao hilo linakuwa bora zaidi kwa mwezi Novemba na linakuwa ni mwanzo kurejea kwa Rooney ambaye alionekana kama "amepotea njia".


Viewing all 104712 articles
Browse latest View live




Latest Images