Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live

Waziri: Asilimia Moja ya Watanzania Wagonjwa wa Akili

0
0
Waziri: Asilimia Moja ya Watanzania Wagonjwa wa Akili
Licha ya Serikali kueleza kutotambua idadi kamili ya wagonjwa wa akili nchi nzima, inakadiriwa kuwa wagonjwa wa akili ni asilimia moja ya idadi ya Watanzania wote takribani milioni 50.

Akizungumza bungeni leo Februari 6, 2018 Naibu Waziri wa Afya, Dk Faustine Ndugulile ametaja takwimu hizo, kwamba Tanzania itakuwa na wastani wa watu 500,000 ambao ni wagonjwa wa akili.

Amesema  kati ya kadirio la wagonjwa 500,000 ni asilimia 48 tu ndio wanafika kwenye vituo vya kutolea huduma za afya, asilimia 24 wanapelekwa kwa waganga wa kienyeji wakati asilimia iliyobaki wanapelekwa katika huduma za kiroho na wachache ndiyo wanarandaranda mitaani.

Naibu Waziri huyo ametoa kauli hiyo wakati akijibu swali la msingi la mbunge wa Morogoro

Kusini (CCM), Prosper Mbena aliyetaka kujua ni kwa nini Serikali haina utaratibu wa kuchukua wagonjwa wa akili wanaozunguka mitaani.

“Je serikali inafahamu idadi ya wagonjwa wa akili waliopo barabarani na mitaani kwenye wilaya zote nchini ambao wanahitaji huduma ya matibabu, inatoa maelekezo gani kwa waganga wakuu wa wilaya kuhusu kuwahudumia wagonjwa hao,”amehoji mbunge huyo.

Katika majibu yake, Dk Ndugulile amesema jukumu la kwanza la kulinda afya ya jamii huanzia ngazi ya familia.

Hata hivyo, amekiri kuwa jamii imekuwa ikiwanyanyasa, kuwabagua na kuwatenga wagonjwa wa akili na kusababisha waranderande mitaani.

 “Hata hivyo, kwa mujibu wa sheria ya afya ya akili ya mwaka 2008 sehemu ya tatu ya kifungu cha sheria namba 9. Inaelekeza kuwa ofisa wa

polisi, ofisa usalama, ofisa ustawi wa jamii, ofisa mtendaji wa kijiji na kata wanalo jukumu la kubainisha mtu yeyote anayerandaranda na kutishia  amani na usalama au kumkamata na kumfikisha sehemu husika,” amesema.


Amdanganya Mumewe Mkewe Aiba Mtoto Mchanga Hospitali

0
0
Amdanganya Mumewe Mkewe Aiba Mtoto Mchanga Hospitali
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Viongozi wa Hospitali ya Mkoa wa Mbeya wamefanikiwa kumkamata Happy Charles (24) akiwa na mtoto mchanga jinsia ya kike aliyemuiba Hospitali ya Mkoa wa Mbeya hivi karibuni.


Akizungumza na waandishi wa Habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Mohamed Mpinga, amesema mnamo tarehe 03 Februari mwaka huu, Jeshi la Polisi lilifanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo ambaye ni mama lishe aishiye mtaa wa Airport ya zamani jijini Mbeya.

Kamanda Mpinga amesema kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa Mtuhumiwa Happy Charles hapo awali alikuwa akimdanganya mume wake aitwaye Chiluba Peter, ambaye ni Dereva Taxi kuwa ni mjamzito na kwamba amejifungua mtoto wa kike tarehe 31 Februari, 2018.

Video:Tunda Afunguka Kuhusu Ugomvi Wake na Mose Iyobo, Aunt Ezekiel

0
0
Tunda Afunguka Kuhusu Ugomvi Wake na Mose Iyobo, Aunt Ezekiel
TUNDA Kaelezea kila kitu kuhusu Mose Iyobo na Aunty Ezekiel


Kiongozi wa Upinzani Aliyemuapisha Raila Udinga Ashtakiwa kwa Kosa la Uhaini

0
0
Kiongozi wa Upinzani Aliyemuapisha Raila Udinga Ashtakiwa kwa Kosa la Uhaini
Mmoja wa viongozi wa upinzani nchini Kenya Miguna Miguna ameshtakiwa na kosa la uhaini kufuatia kuhusika kwake katika kuapishwa kwa kiongozi wa upinzani Raila Odinga.

Bwana Miguna alishtakiwa kwa kuhudhuria na kuidhinisha kiapo alichokula bwana Raila, kushiriki katika mkutano uliokuwa kinyume na sheria na kuhusika na maswala ya kihalifu.

Aliwasilishwa katika mahakama ya kaunti ya Kajiado yapata maili 50 kusini mwa Nairobi ambapo alitarajiwa kufika mahakamani.

''Kwa mara nyengine serikali inakiuka haki za bwana Miguna kwa kumsafirisha kutoka eneo moja hadi jingine bila ya kujulisha familia ama wakili wake'', alisema bwana Okero.

Baada ya kitendo ya kujiapisha, nini kinachofuatia kwa Raila Odinga?
Bwana Miguna angali katika mikono ya polisi huku akiwa hajulikani aliko licha ya kwamba mahakama ya Nairobi ilitaka aachiliwe kwa dhamana ya ksh. 50,000 siku ya Ijumaa.

Mnamo tarehe 30 mwezi Januari , bwana Miguna alikuwa kiungo muhimu katika kumuapisha Raila Odinga kuwa rais wa wananchi katika bustani ya Uhuru Park jijini Nairobi.

Siku chache baadaye, mnamo tarehe 2 Februari, alikamatwa katika uvamizi wa alfajiri katika nyumba yake baada ya kuwajaribu polisi kumkamata.

Viongozi wengine wawili wa upinzani pia walikamatwa.

Bwana Odinga na wafuasi wake walipinga matokeo ya uchaguzi wa mwaka uliopita ambao rais Uhuru Kenyatta alifanikiwa kushinda awamu ya pili katika uchaguzi wa marejeleo mwezi Oktoba.

Bwana Kenyatta alihifadhi kiti chake kwa kupata asilimia 98 ya kura mnamo tarehe 26 Oktoba ikiwa ni asilimia 39 ya kura zote zilizopigwa.

Kwanini Wanaume Wengi Wanaupungufu Wa nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo?

0
0

Asilimia 45 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kuwatimizia vyema wake au wapenzi Wao na kuwasababishia kutoka nje ya ndoa zao.


NINI CHANZO CHA HAYO?Kupiga punyeto,Ngiri,Vidonda vya tumbo,Magonjwa ya moyo,Presha,Kisukari,Korodani moja kuvimba,Msongo wa mwazo,Kufanyiwa tohara ukiwa mtu mzima n.k.DOKTA MANYANDA sasa kapata tiba sahihi ya tatizo la NGUVU ZA KIUME.


MUHAMA:Hii hutibu na kuponyesha kabisa tatizo la nguvu za kiume,utakuwa na uwezo wa kurudia tendo zaidi ya mara tatu bila kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa dakika 15-20.DAWA hii imechanganywa miti 12.Hata wazee wenye umri mkubwa wanapona kabisa.OKO NDOA YAKO SASA.


MANGUNGU MIX: Ndio tiba tosha kwa sasa ambayo hurefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo inch 1-8 na unene sentimita 1-5,dawa hii ipo ya kupaka na kunywa na haina madhara yoyote kwa mtumiaji.


NITOFAUTI NA ULIZO WAHI KUZITUMIA.Pia tuna dawa za kupatanisha mke,mme,mpenzi au bosi wako kwa mda mfupi sana,Uzazi,Kusafisha nyota,


Je unamali yako unauza hupati wateja?

Wasiliana nami 0716-263605

Prof. Balamagamba Ataja Mamlaka ya Rais

0
0
Prof. Balamagamba Ataja Mamlaka ya Rais
Waziri wa katiba na sheria Profesa. Palamagamba Kabudi amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli ana mamlaka yote ya kutoa maagizo kwa Mawaziri ambao wapo ndani ya serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Waziri Kabudi ametoa ufafanuzi huo leo (Jumanne) katika mkutano wa 10 kikao cha sita cha Bunge kinachoendelea mjini Dodoma wakati alipokuwa akijibu swali la nyongeza kutoka kwa Mbunge Juma kombo Hamadi alipotaka kufahamu Rais Magufuli ana mamlaka gani kikatiba ya kutoa maagizo kwa Waziri aliyepo katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

"Rais wa Muungano wa Tanzania anayo mamlaka ya mambo yote yanayohusu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama nchi huru", amesema Prof. Palamagamba.

Pamoja na hayo,  Prof. Palamagamba ameendelea kufafanua baadhi ya mambo kuwa "katika masuala yote yanayohusu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mkuu wa nchi ni mmoja tu tena ambaye ni Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na yeye peke yake ndio Amri Jeshi. Hakuna mtu mwingine yeyote wa kuyaamuru majeshi ya Tanzania isipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sababu yeye ndio kiongozi mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania".

Kwa upande mwingine, Prof. Palamagamba amesema Rais wa Zanzibar ni wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar mwenye heshima na hadhi ya urais kwa mambo yote yasiyokuwa ya Muungano yanayohusu Zanzibar ambapo pia ni Mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nafasi yake hiyo.

Wastara Aanza Matibabu Nchi India

0
0
Wastara Aanza Matibabu Nchi India
Msanii wa filamu za Bongo, Wastara Juma, tayari ameshawasili nchini India na kuanza rasmi matibabu ya mguu wake katika Hospitali ya Saifee nchini humo.

Wastara ambaye alichangiwa fedha na Watanzania mbalimbali walioguswa na hali yake hiyo ya kiafya akiwemo Rais John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli, aliondoka nchini juzi Jumapili, Feb. 4, 2018 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam.

Msanii huyo maarufu amekuwa akisumbuliwa na mguu wake huo ambao ulipelekea kufanyiwa upasuaji na kupewa mguu wa bandia licha ya hali yake kubadiilika hivi karibuni na kudai kuwa amekuwa akipata maumivu makali ambapo baada ya kupata matibabu ya awalialishauriwa kwenda nchini India kwa matibabu zaidi.

Zuma Ahahirisha Hotuba ya Taifa

0
0
Zuma Ahahirisha Hotuba ya Taifa
Hotuba ya Rais Jacob Zuma iliyokuwa inategemewa sana bungeni Alhamisi wiki hii imeahirishwa, wakati shinikizo likizidi kuongezeka dhidi yake kuachia madaraka.

Spika wa bunge Beleka Mbete alitoa tangazo hilo bila kutoa tarehe mpya ya hotuba hiyo.

Baraza kuu lenye maaumizi makubwa ndani ya chama cha ANC wameitisha mkutano maalumu siku ya kesho, Jumatano.

ANC chazidisha shinikizo dhidi ya Zuma
Zuma akataa shinikizo la kujiuzulu
Bw Zuma amekataa kung'tuka sababu ya tuhuma za ufisadi.

Aliongoza mkutano na baraza la mawaziri leo asubuhi lakini uendelevu wa utawala wake haukuzungumzwa.

Vyama vya upinzani wanataka kura ya kutokuwa na imani naye ipigwe ilikutoa madarakani. Leo shirika la Nelson Mandela pia lilitoa wito ya kumuomba aachie kiti.

Chadema Yadai Hawana Imani na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kinondoni

0
0
Chadema Yadai Hawana Imani na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kinondoni
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo wamesema hawana imani na msimamizi wa uchaguzi jimbola Kinondoni wakidai kuna njama zilizopangwa dhidi ya chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika wiki ijayo.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mafunzo na Operesheni wa Chadema, Benson Kigaila,  amesema baadhi ya njama hizo ni kuwepo taarifa kwamba kuna watu walioletwa kutoka Zanzibar kuja kushiriki uchaguzi huo wa Kinondoni ambapo amesema wapo kwenye hoteli na nyumba za kulala wageni eneo la Kijitonyama, Kinondoni,  jijini Dar es Salaam.

Kigaila aliongeza kusemakwamba chama chake kimeona dalili za hujuma ambazo hupangwa kila unapofika wakati wa uchaguzi  ambapo watu hushambuliwa, kutekwa na kufanyiwa vitendo vibaya.

Picha ya Vyombo vya Zari Vyazua Gumzo.... Watu Waoji Mwanaume Aliyekuwa Naye Baada ya Picha Kuonyesha

0
0
Picha ya Vyombo vya Zari Vyazua Gumzo.... Watu Waoji Mwanaume Aliyekuwa Naye Baada ya Picha Kuonyesha
Jana usiku Mwana mama Zari aliweka picha ya kuonyesha vyombo alivyo nunua akiwa nchini Dubai.ila gumzo kubwa ikawa ni picha inayo onekana kama imeakisiwa na vyombo ikimuonyesha mwanaume aliyekaa kwa mbali kidogo huku akiangalia simu.Watu wazidi kuhoji ni nani huyo mwanaume.

Prof. Jay, Nassari Waungana Kuwasaidia Vijana

0
0
Prof. Jay, Nassari Waungana Kuwasaidia Vijana
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay’ wameungana ili kuinua vijana wenye vipaji vya muziki katika jimbo la Arumeru Mashariki.

Mh. Nassari akiongea na Funiko Base ya Radio Five amesema alishaongea na Professor Jay ili aweze kuwasaidi vijana hao wa jimboni kwake kupitia studio yake ya Mwanalizombe.

“Wakati wa kampeni nilimleta Meru na moja ya vitu ambavyo nilimuomba baada ya mimi kushinda wapo vijana kutoka Meru ambao pia wanajihusisha na sanaa na muziki, kwa hiyo nikamuomba ni kwa namna gani anaweza kuwasaidi,” amesema.

“Akaniambia yupo tayari wakafanye katika studio yake lakini kazi wanayotaka kuirekodi iwe na kiwango, sasa mimi siyo mtaalamu sijui kazi gani ina kiwango na ipo haina lakini yeye atawapima na juzi nimeongea naye akaniambia anataka aikarabati ahamishe Mikumi kabisa,” amesema Mh. Nassari.

Kwa upande wake Professor Jay amesema kwa sasa yupo katika mikakati ya kuhamishia studio ya Mwanalizombe Mikumi na imechukua muda kuhuma kutokana wameenda kujenga upya ila kitu ambacho kitakamilika muda sio mrefu.

Kwanini Wanaume Wengi Wanaupungufu Wa nguvu Za Kiume Na Maumbile Madogo?

0
0
Asilimia 45 ya wanaume wapo tofauti na wengine kwa kuwatimizia vyema wake au wapenzi Wao na kuwasababishia kutoka nje ya ndoa zao.


NINI CHANZO CHA HAYO?Kupiga punyeto,Ngiri,Vidonda vya tumbo,Magonjwa ya moyo,Presha,Kisukari,Korodani moja kuvimba,Msongo wa mwazo,Kufanyiwa tohara ukiwa mtu mzima n.k.DOKTA MANYANDA sasa kapata tiba sahihi ya tatizo la NGUVU ZA KIUME.


MUHAMA:Hii hutibu na kuponyesha kabisa tatizo la nguvu za kiume,utakuwa na uwezo wa kurudia tendo zaidi ya mara tatu bila kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa dakika 15-20.DAWA hii imechanganywa miti 12.Hata wazee wenye umri mkubwa wanapona kabisa.OKO NDOA YAKO SASA.


MANGUNGU MIX: Ndio tiba tosha kwa sasa ambayo hurefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo inch 1-8 na unene sentimita 1-5,dawa hii ipo ya kupaka na kunywa na haina madhara yoyote kwa mtumiaji.


NITOFAUTI NA ULIZO WAHI KUZITUMIA.Pia tuna dawa za kupatanisha mke,mme,mpenzi au bosi wako kwa mda mfupi sana,Uzazi,Kusafisha nyota,


Je unamali yako unauza hupati wateja?

Wasiliana nami 0716-263605

Wastara Aanza Matibabu India ..Atoa Ushahidi wa Picha Kuwakata Kidomo Waliokuwa Wanasema Anajifanya Kuumwa

0
0
Msanii huyo maarufu amekuwa akisumbuliwa na mguu wake huo ambao ulipelekea kufanyiwa upasuaji na kupewa mguu wa bandia licha ya hali yake kubadiilika hivi karibuni na kudai kuwa amekuwa akipata maumivu makali ambapo baada ya kupata matibabu ya awalialishauriwa kwenda nchini India kwa matibabu zaidi.

Akizungumza na mtandao wa Global Publishers Wastara amewashukuru Watanzania kwa michango yao kufanikisha matibabu yake.



“Nawashukuru Watanzania wote waliojitoa kunichangia ili niweze kupata matibabu, Namshukuru Rais Magufuli na mkewe Mama Janeth, peke yangu nisingeweza. Tulisafiri salama, tunamshukuru Mungu tumefika salama, kwa sasa nimeanza matibabu katika Hospitali ya Saifee hapa India.



“Kiafya nashukuru kwa kweli, najiskia vizuri kiasi japo bado mapema kuzungumzia maendeleo ya afya yangu kwa ujulma, lakini nawaombeni muendelee kuniombea kwa Mungu ili nipone, nirudi nyumbani salama,” amesema Wastara.

Aina Ya Watu Ambao Hawawezi Kupata UKIMWI

0
0
Tangu mwaka 1981 UKIMWI ulipoingia duniani, imeua zaidi ya watu miliioni 25. Japokuwa kuna baadhi ya watu ambao wameonekana kutokuwa athiriwa na UKIMWI yaani wanakinga ya asili dhidi ya ugonjwa huo.

VIDEO:

JACQUELINE (VIDEO QUEEN) Nililala na RAYVANNY Kitanda Kimoja, Alishindwa Kuvumilia na Kuniambia hivi

0
0
JACQUELINE (VIDEO QUEEN) Nililala na RAYVANNY Kitanda Kimoja, Alishindwa Kuvumilia na Kuniambia hivi

Lulu Diva Azungumzia Picha Yake iliyozua Mjadala Mitandaoni...ni ile Akiwa Anapika Chakula nje Kwake

0
0
Imesambaa sana mitandaoni ikimuonesha akipika katika mazingira ambayo wengi wameyatafsiri hayafai kwa mtoto wa kike.Picha hiyo iliyopigwa na mwandishi wa Global publishers alipom tembelea LULUDIVA nyumbani kwake mbezi.Hapa anaelezea nini kilitokea...

Je Unasumbuliwa na Tatizo la Nguvu za Kiume?

0
0
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na maumbile madogo ya uume limekuwa kwa lika zote Tiba sahihi ya matatizo haya
Chanzo chake na visababisho vyake

DALILI: mwili kuchoka maumivu ya mgongo na kiuno kutopata choo vizuli kinakuwa kigumu kama cha mbuzi
RADI: hutibu matatizo kwa mda mfupi na inakufanya uchelewe kufika kileleni kwa dakika (30) kwa tendo(1) utaludia Mara (4) bila kuchoka pia uongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa maradufu

BOMBA; dawa ya kupunguza matiti makubwa unene na kitambi
ITUJA; dawa inatibu michilizi mwilini inaongeza makalio hips miguu saizi uipendayo

HUDUMA HIZI NA ZINGINE UTAZIPATA POPOTE TANZANIA MUONE DR LAJABU AU PIGA SIM 0711494261 au 0783823120

Nuh Mziwanda Alia Wimbo Wake Kuvujishwa

0
0
Nuh Mziwanda Alia Wimbo Wake Kuvujishwa
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amejikuta akihuzunishwa na kitendo cha wimbo wake kuvuja kwani hakuwa na mpango wa kuutoa sasa hivi.

Akipiga stori na Risasi Vibes, Nuh alisema wimbo huo unaojulikana kwa jina la Upofu ulivuja hivi karibuni huko mkoani Morogoro baada ya mdogo wake kwenda na flash iliyokuwa na wimbo huo kwenye kibanda cha kuingiza nyimbo kuweka nyimbo na hapo ndipo ulipochukuliwa kwenye flash na kuanza kupigwa.

“Nimeumia sana maana wimbo huo haukuwa kwenye mpango wa kuutoa sasa hivi lakini ndiyo hivyo imeshatokea umevuja, nawaomba mashabiki zangu waupokee na wanipe sapoti ili kuweza kusonga mbele zaidi kimuziki ndani na nje ya nchi,” alisema Nuh Mziwanda

Msukuma Amtolea Uvivu Waziri Mpina " Acha Kufanya Kazi kwa Mihemko"

0
0
Msukuma Amtolea Uvivu Waziri Mpina " Acha Kufanya Kazi kwa Mihemko"
MBUNGE na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma amemshambulia kwa maneno Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina juu ya ‘operation’ anazozifanya za kionevu za kupambana na uvuvi haramu kwa kumwambia aache kufanya kazi kwa mihemuko.



Msukuma ameeleza hayo katika mkutano wa 10 kikao cha sita cha Bunge kinachoendelea mjini Dodoma wakati akichangia uwasilishaji wa kamati ya kudumu ya Bunge ya kilimo, mifugo na maji baada ya kupita miezi kadhaa tokea Waziri Mpina kutoa kauli yake kuachia madaraka endapo tatizo la uvuvi haramu litaendelea kuwa sugu nchini jambo ambalo kwa sasa Msukuma anadai kiongozi huyo analifanya bila ya kufuata sheria zilizopo kwa kuzuia watu wasivue dagaa na kupelekea kuwapa athari wananchi wanyonge na kumuomba aundiwe tume ya uchunguzi yeye timu yake.



“Toka nazaliwa sijawahi kuona sheria hizi zinazotumiwa na Waziri wa Mifugo Mpina, umri wangu huu nimeshuhudia awamu zote za Mawaziri. Nafikilia kwamba ndio tunaanza kutunga sheria au hii ilikuwa imefichwa ndio inaibuka. Sijawahi kuona Waziri anasimama na kujisifu kwamba kwao hakuna samaki na kutamani watu wote wasile samaki. Mungu ametupa neema tofauti, sijawahi kuona mtu anaenda kukamata mitego dakika mbili faini hana unachoma nyavu zake bila ya kuhakikisha kwamba ni feki au laa”, amesema Msukuma.



Aidha, Msukuma amesema ana muhitaji Waziri huyo siku akihudhuria Bunge basi aweke wazi kuhusiana na sheria hizo anazozitumia amezitoa wapi na kama akishindwa kutokea katika kipindi basi watamsubiri katika Bunge la bajeti ili wambane vizuri juu ya hilo.



“Nitoe rai kwa Mawaziri kwamba Mawaziri wa aina kama hii nina washauri wapunguze mihemuko kwa sababu hata sisi tunatamani kuendelea kuwa Wabunge humu ndani lakini kwa ‘dizaini’ mnayoenda mtuambie mmewapanga wabunge wa kina nani ambao mnataka wawe wabunge maeneo yetu. Nina zungumza kwa wabunge wanaotoka Kanda ya Ziwa sidhani kama sisi tutarudi humu Bungeni”, amesisitiza Msukuma.



Kwa upande mwingine, Msukuma amemtaka Waziri Mpina na timu yake kiujumla wajipange kuwafundisha wavuvi na wala sio kuwafilisi.

Lipumba Kuwatimua ya Madiwani wa CUF Dar

0
0
Lipumba Kuwatimua ya Madiwani wa CUF Dar
Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma wa CUF kwa upande wa Maalim Seif, Mbarala Maharagande amefunguka na kuweka wazi kuwa Profesa Lipumba pamoja na genge lake wamepanga njama kuwafukuza madiwani wote wa CUF Dar es Salaam.


Akiongea na waandishi wa habari Mbarala Maharagande amesema kuwa Lipumba amepanga njama za kuwafukuza madiwani wa CUF Dar es Salaam wakiwepo wastahiki Meya kutokana na madiwani hao kutokuwa na ushirikiano na Lipumba na kundi lake.

"Lipumba amepanga njama za kutaka kuwafukuza uanachama madiwani kwa tiketi ya CUF-Chama cha Wananchi mkoa wa Dar es salaam; wakiwemo wastahiki Manaibu Meya, kutokana na madiwani hao kukataa kumsaidia msaliti Lipumba na genge lake katika kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Kinondoni. Lipumba na watu wake wamejikuta katika wakati mgumu kwa uamuzi wao wa kusimamisha mgombea wakipingana na uamuzi wa UKAWA wa kusimamisha mgombea mmoja kutoka miongoni mwa vyama washirika. Uamuzi huo wa Lipumba ambao umetafsiriwa kuwa ni mpango wa kutaka kuzigawa kura ili kuisadia CCM ishinde, umeshitukiwa na wananchi wa jimbo la Kinondoni na kusababisha kususiwa mikutano yao ya kampeni na wadau mbalimbali"

Mbali na hilo Maharagande amedai kuwa chama hicho kimejipanga vyema kukabiliana na njama hizo zinazotaka kufanywa na Profesa Ibrahim Lipumba

"Tayari jopo la wanasheria wa Chama (CUF TAASISI) wamejipanga kukabiliana na hujuma hiyo vilivyo. Tutaendelea kutoa taarifa kwa wanachama wote na umma wa Watanzania kwa ujumla juu ya kila kinachoendelea kwa wakati muafaka. Tunatoa wito kwa wanachama wote, wapenda mabadiliko na demokrasia kwa ujumla kuzidi kuwa wastahimilivu na kuongeza kasi ya ushiriki wa shughuli mbalimbali za CUF Taasisi katika hatua hizi za mwisho za kumalizana na Wasaliti wa Mabadiliko na Demokrasia nchini" alisisitiza
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live




Latest Images