Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104429 articles
Browse latest View live

Maneno ya Niki wa Pili Baada ya Serikali Kuzifungia Nyimbo"Nyimbo za Matusi Zilikuwepo kipindi cha Kampeni Hapa Walezi Walikaa Kimya"

0
0
Maneno ya Niki wa Pili Baada ya Serikali Kuzifungia Nyimbo"Nyimbo za Matusi Zilikuwepo kipindi cha Kampeni Hapa Walezi Walikaa Kimya"
Bado mambo ni moto, ni baada ya serikali kuwafungia na kutoa onyo kwa baadhi ya wasanii ambao kazi zao zilionekana kwenda kinyume na maadali. Baada ya hatua hiyo ya serikali kumeibuka mjadala mpana kila kona.

Rapper Nikki wa Pili kutoka kundi la Weusi ameeleza kuwa kipindi cha kampeni (2015) kulikuwa na nyimbo nyingi ambazo zilikuwa kinyume na maadili. Kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika;

“Tukizungumzia nyimbo za matusi bwana zilitoka wakati wa kampeni, bwana we matusi ya nguoni, tena yakitukana watu wazima na heshima zao, hapa walezi walikaa kimyaaa,” amesema Nikki.

“Basata kama walezi wetu, msisahau pia kuyalinda maadili yetu ya kiuchumii, kama mlezi halafu watoto wako wanakuwa wanaishia kufa, inamanisha hawakulelewa vizuri kiuchumi,” ameongeza.

Hapo jana Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ilimfungia kwa miezi sita msanii wa muziki wa Hip Hop, Roma Mkatoliki kutojihusisha na shughuli zozote za sanaa baada ya kukaidi agizo la kubadilisha maudhi ya wimbo wake wa Kiba_100, pia serikali ilitoa onyo kwa msanii Nay wa Mitego kutokana na mwenendo wake kisanaa kukiuka maadili..

Watafiti Nchini Marekani Wagundua Robot la Kutengeneza ‘Furnitures’

0
0
Watafiti Nchini Marekani Wagundua Robot la Kutengeneza ‘Furnitures’
Watafiti nchini Marekani wameongeza uhodari na shughuli zinazoweza kufanywa na robot, ambapo siku za hivi karibuni roboti  ameongezewa uwezo na sasa anaweza kutengeneza samani za ndani (furniture) jambo linaloaminika kuwa litaongeza usalama.

Timu ya watafiti kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Massachusetts’ (MIT) wameongeza uwezo huo wa robot kufanya kazi ya kutengeneza samani, sio kwa maana ya mafundi seremala bali kuwafanya mafundi hao wajikite katika kutengeneza mitindo ya samani hizo.

Inaaminika kuwa teknolojia hii itaongeza usalama kwa kupunguza kesi za mafundi seremala kuumia wakiwa wanatengeneza furniture na kwamba itakuwa ni teknolojia ya bei ya chini.

RC Makonda, Wema Sepetu Mambo ni Moto..... Awapa Makavu Wanaomchukia

0
0
RC Makonda, Wema Sepetu Mambo ni Moto..... Awapa Makavu Wanaomchukia
Huwezi kumwambia kitu malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu kwenye utendaji kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Wema Kupitia mtandao wa Instagram, ameweka picha ya kiongozi huyo ya kumsifia huku akitupa jiwe gizani kwa kuandika ujumbe kwa watu wanaomchukia.

And he keeps doing what he does Best… My RC… Mtumishi wa Mungu… .

Hujalazimishwa kupenda lakini… Gnyt World… Ok bye…


Usajili wa Laini za Simu kwa Alama za Vidole Kuwashikisha Adabu Wanaotumia Mawasiliano Vibaya

0
0
Usajili wa Laini za Simu kwa Alama za Vidole  Kuwashikisha Adabu Wanaotumia Mawasiliano Vibaya
Serikali imezindua mfumo wa kusajili laini za simu kwa kutumia alama za vidole (biometria), ambao utadhibiti changamoto za usajili zilizopo.


Changamoto hizo ni pamoja na udanganyifu unaofanyika sasa kwa kutumia laini za sasa, sambamba na kuisaidia serikali kuwa na takwimu sahihi ya watumiaji wa huduma za simu za mkononi, zitakazosaidia kuweka mipango ya uchumi wa Taifa.

Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Mawasiliano, Dk Maria Sasabo, Mwakilishi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Kitolina Kippa, alisema usajili wa laini za simu kwa kidole, utafanyika kwa majaribio katika mikoa sita nchini. Alisema pamoja na kuwepo matumizi sahihi ya simu za mkononi, lakini bado kuna watumiaji wachache ambao wanatumia huduma za mawasiliano vibaya. “Hawa wanatumia mianya katika usajili wa laini za simu kujipatia laini ambazo zimesajiliwa kwa majina bandia au ambazo hazijasajiliwa.

Wapo wanaotumia simu za mkononi kutuma ujumbe wa kashfa, matusi, kejeli, maudhi, dhihaka na unyanyapaa,” alisema. Alisema mfumo huo wa usajili ni hatua muhimu ya matumizi ya teknolojia katika kudhibiti changamoto za usajili na kuwezesha watoa huduma, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na serikali kuwa na takwimu sahihi za watumiaji wa huduma za simu za mkononi na vifaa vingine vya mawasiliano vinavyotumia laini za simu. Pia alisema kuwepo kumbukumbu sahihi za laini za simu, kutafanikisha kuanzishwa na kuwekwa kwa Kanzi Data ya laini za simu zilizosajiliwa ambayo inatakiwa na TCRA.

“Usajili sahihi pia ni muhimu kwa watumiaji wa huduma na wateja wa bidhaa kujihakikishia usalama wa kutotapeliwa au kuibiwa mitandaoni. Usajili wa laini za simu unawalinda watumiaji dhidi ya wahalifu wanaotumia mitandao,” alisema. Alisema; “Serikali tunafurahi tunapoona na kushuhudia ubunifu na utekelezaji wa mipango ambayo inalenga kuhakikisha maendeleo ya sekta na uchumi wa nchi kwa ujumla na ambayo inawahakikishia wananchi usalama wao na faida za kiuchumi na kijamii wanapotumia mitandao ya simu,” alisema.

Mapema Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, James Kilaba alisema kuwa mfumo huo wa usajili wa kutumia biometria umeanza kwa majaribio katika mikoa sita ikiwemo Dar es Salaam, Pwani, Iringa, Tanga, Singida na Mjini Magharibi na watakapokamilisha wataendelea na mikoa mingine. “Ili kukabiliana na changamoto za usajili, TCRA, watoa huduma za simu za mkononi kwa kushirikiana na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) tuliazimia kuja na mfumo huu wa usajili wa laini za simu hapa nchini ili kuepuka udanganyifu na kudhibiti uhalifu,” alisema.

Daraja la Kivule Limekatika Kutokana na Mvua Zinavyonyesha

0
0
Daraja la Kivule Limekatika Kutokana na Mvua Zinavyonyesha
Daraja la Kivule lililopo eneo la Sirari Wilaya ya Ilala limekatika kutokana na mvua zilizoanza kunyesha jana jijini Dar es Salaam.

Kumeshuhudiwa msururu wa watu wakishindwa kupita kwenye daraja hilo huku wakitafuta njia mbadala, Daraja hilo lilikatika baada ya kuzolewa na mvua kubwa iliyonyesha leo kuanzia asubuhi mpaka mchana.



Magari yote yanayoelekea Kivule yalishindwa kupita yakiwemo ya abiria yaliyolazimika kuishia Mwembeni.

Serikali Yawapa Onyo Wakazi wa Mabondeni

0
0
Serikali Yawapa Onyo Wakazi wa MabondeniWizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa imewaonya kwa mara nyingine wakati wa mabondeni kuchukua tahadhari kufuatia mvua kubwa zinazotabiriwa kunyesha ndani ya mwezi huu kwani zinasababisha mafuriko makubwa.


TMA ilisema mvua zilizoanza jana zinatarajiwa kuongezeka katika baadhi ya maeneo ya kati ya nchi kuanzia leo, hivyo ni vyema wakazi wa mabondeni wakachukua tahadhari ikiwamo kuhama maeneo
hatarishi.

Eric Omondi Awatolea Uvivu Wanaoendeleza Mjadala wa Video Yake ya Utupu

0
0
Eric Omondi Awatolea Uvivu Wanaoendeleza Mjadala wa Video Yake ya Utupu
Mchekeshaji mahiri wa nchini Kenya, Eric Omondi amefunguka na kuwashangaa baadhi ya watu wanaoendelea na mjadala wa video ya utupu iliyosambaa mtandaoni na kuacha vitu vyenye tija ambavyo watu wanapaswa kuvijua imekuwaje.


Omond ametoa kauli hiyo leo (Ijumaa) kupitia ukurasa wake maalumu wa kijamii baada ya kushambuliwa kwa maneno makali na mashabiki zake na kutaka apelekwe Mahakamani ili aweze kujibu mashtaka ya udhalilishaji kutokana na kuweka mtandaoni 'video' iliyokuwa ikimuonesha akiwa utupu akiogelea katika mto na watoto.

"Sasa hivi kila kituo cha redio, 'blogger' pamoja na magazeti wanataka stori yangu, macho yao yote yapo kwangu, wanataka 'attention' yangu. Labda ni muda muafaka kwangu mimi kusema kuzungumza, kwasababu kuna mtu anaweza akasoma hichi nilichoandika na ninasali watu sahihi wasome",amesema Omondi

"Vipaumbele vyetu kama taifa vinaweza kuwa havijakaa sawa. Wakati tunajadili kuhusiana na kijana wa kiafrika ambaye aliogelea mtoni, kijana mdogo wa chuo alipigwa risasi na kufariki  na hospitali ya taifa ikamfanyia upasuaji mgonjwa mwingine asiyehusika. Ninatamani kujua stori ya kijana huyo. Alikuwa anasomea nini? ndoto zake ni zipi? alikuwa ni mtoto wa pekee", amesema Omondi.

Pamoja na hayo, Eric Omondi ameendelea kwa kusema "ninataka kuongea na kila mvulana na msichana, kila ndoto inaweza kutimia kuwa kweli. Kama unataka kuruka usikubali mtu mwingine akuambie huwezi au kukatisha tamaa, hata kama ni kuna nguvu ya mvutano ruka. Ila unatakiwa kuwa tayari kupanda milima na kushuka kwenye mabonde lakini mwisho wa siku utafika kileleni".

Kwa upande mwingine, mchekeshaji huyo amewatia moyo vijana wenzake waendelee kupambana na huku wakumbuke kumtanguliza Mungu mbele ili wafike wanapopahitaji.

Sababu za Sugu Kuinyanyasa CCM, Polepole Azianika

0
0
Sababu za Sugu Kuinyanyasa CCM, Polepole Azianika
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole, ametoboa siri ya CCM kushindwa mara mbili mfululizo uchaguzi Jimbo la Mbeya Mjini ambalo linaongozwa na Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na kusema kwamba Ubaguzi ndiyo chanzo cha mambo yote.


Polepole amesema hayo alipokuwa akizungumza na viongozi wa CCM ngazi mbalimbali wilaya ya Mbeya Mjini, ambapo amefafanua kwamba siasa za makundi na ubaguzi wa kikabila zimekuwa zikiikosesha CCM ushindi kwenye jimbo hilo la Mbeya.

Kiongozi huyo ameongeza kwamba tatizo hilo lilibainika wakati uongozi wa juu ulipofanya tathmini ya majimbo ambayo CCM haikushinda kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, likiwamo jimbo hilo ambalo ni ngome ya CHADEMA pia yenye madiwani wengi.

Amefafanua kuwa ubaguzi huo umekuwa ukiifanya CCM kuonekana nyonge/dhaifu  mbele ya wapinzani na hivyo kukosa hoja kwenye uchaguzi pamoja na kuwapa faida wapinzani.

“Siasa za ubaguzi wa kikabila haziwezi kutufikisha popote, haijalishi kiongozi huyo anatoka kabila gani, cha msingi awe anashughulikia changamoto za wananchi. Viongozi fanyeni kila linalowezekana kuondoa tatizo hilo, ili tushinde kwenye chaguzi zijazo" .

Polepole amesema ubaguzi wa aina hiyo ni wa miaka mingi hivyo akawataka viongozi wa chama hicho kuhakikisha wanaondoa changamoto hiyo haraka, ili kufanikisha ushindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani na Uchaguzi Mkuu wa 2020.


Lemutuz Atoa Mpya " Ukikutana na Mtu Kama Mimi Utaishia kulalamika Kua "Jamaa Mjuaji Sana"

0
0

From @lemutuz_superbrand - EXTRA STRAIGHT TALK:- The Art of KUKARIRISHWA ...picha hii ni siku ya kwanza baada ya kurudi Bongo from USA nyumbani kwa my Dad ...Again naomba kuongeza kidogo Maisha yetu ya Kibongo ni madogo sana hayatupi nafasi ya kufikiri sana kwa mapana na the worst ni kama Kijana Mbongo umekulia na kusomea hapa hapa Bongo na hujishugulishi na kusoma hasa kwenye Google seriosly ukikutana na mtu kama mimi utaishia kulalamika kua "JAMAA MJUAJI SANA" WHY? ndio uwezo wako wa kufikiri unapoanzia na kuishia ..baada ya mimi kuishi Miaka 30 Europe na USA na kutembelea almost Dunia nzima unategemeaje akili yangu iwe sawa na yako ambaye hujaenda hata Nairobi na hujui kwamba you are missing some serious things in your life KWA KUTOJIONGEZA HATA KUSOMA SANA GOOGLE? For sure nitakua kama mchawi kwako kwa mfano mimi siwezi kununua anything bila kuhakikisha kua hakuna alternative kabla ya kununua nitatafuta kila mahali kuhakikisha bei unayoniuzia haina alternative ni bei ile ile kila mahali sasa wewe nikikuambia hivyo nitakua tu "NAJIFANYA NAJUA SANA" hahahah ...guys seriously huwa ninapata taabu sana ya kuongea na Vijana na watu wengi hapa mjini kwa sababu akifungua mdomo tu ninaipata clear kua unaongea maneno ya kukaririshwa like a dead brain now cha kuchekesha ni hua nakutana na Wabongo wengi wananiambia "ZAMANI NILIKUA NAKUONA KAMA MJINGA FULANI HIVI SIKU HIZI NAKUKUBALI SANA" guys kama ulishawahi kuniambia haya maneno ujue nilikuona ni Juha namba moja wa Dunia ila sijawahi kukuambia so nakuambia leo kwa sababu hakuna bnadam mwenye akili timamu na kubwazzz anaweza kusema maneno kama hayo unless useme hivi "UNAJUA NILIPOKUONA MIREMBE NILIJUA WEWE KICHAA LAKINI KUMBE HUKUA: that makes a sense lakini hunijui sikujui hujawahi kuongea na mimi hata siku moja now unaniona kwa mbali unaambiwa Jamaa kakaa Majuu 30 years karudi na anaendelea kuishi maisha yake now wewe gutts za kuniambia nilikua nakuona mjinga umezitoa wapi kama sio kuishi kwa kukaririshwa? then ninajiuliza nina marafiki wengi Matajiri na Viongozi wa Taifa kwa nini hakuna hata mmoja aliyewahi kutamka hayo maneno? WHY? ila Masikini wenzangu tu! WHY?..hahaha! - le Mutuz

Wanaume: Hizi ni Sehemu 10 zenye Msisimko zaidi Kwenye Mwili wa Mwanamke.

0
0

Kila mwanaume anapenda kua fundi wa tendo la ndoa akiwa faragha na mke au mchumba wake lakini bahati mbaya sana hakuna kanuni maalumu ya kumsisimua mwanamke kwani kila mwanamke ana eneo lake ambalo likiguswa anakua taabani hivyo ni wajibu wa mwanaume kulitafuta na kuligundua eneo hilo.

Mazoea ya kufanya mambo yaleyale kila siku kwa muda mrefu hufanya tendo hilo la ndoa lianze kua baya na huenda ikawa chanzo cha mtu kuchepuka kutafuta ladha zingine.

Kitaalamu katika sayansi ya binadamu kuna maeneo kadhaa ambayo wanawake wote wakiguswa hupata msisimko mkali lakini msisimko hutafautiana kutokana na mwanamke husika kama ifuatavyo.

1. Kichwani.
Juu ya kichwa cha binadamu kuna mishipa mingi ya damu na ile ya fahamu hivyo maeneo haya yakishikwa homoni kama oxytocin na serotoinin huachiwa mwilini na kuleta msisimko mkubwa.

Jinsi ya kufanya; mshike kwanzia nyuma ya sikio kisha ingiza vidole katikati ya nywele kama unamkuna kichwa bila kutumia nguvu.

2. Sikio.
Sikio ni sehemu yenye mishipa ya fahamu inayoenda kwenye ubongo, mara nyingi sikio watu hua wanalipuuza sana na kuzani halihusiki lakini naomba nikwambie ni moja ya sehemu inayoweza kumfanya mtu achanganyikiwe.

Jinsi ya kufanya; anza kwa kumnong'oneza kwa sauti nzito, kisha libusu sikio lake baada ya hapo unaweza kulamba sehemu ya sikio la nje na baadae kuingiza ulimi ndani ya sikio kabisa. hapa msisimko ni mkali sana na anaweza kukukwepa na kutoa sauti kali ya kimahaba.

3. Ulimi 
Ulimi ni sehemu ya mwili ambayo ina mishipa mingi mara mia moja zaidi kuliko ile mishipa ya fahamu ya viganja vyetu. msisimko wa ulimi unasababishwa kumwagika kwa homoni ambazo zinatuletea furaha ya mioyo yetu.

Jinsi ya kufanya; busu tu inatosha kusisimua ulimi wa mtu wako, bahati mbaya kuna watu hawajui kubusu. ukiwa unabusu mtu usipanue mdomo mzima kama samaki mfu... fungua mdomo wako kidogo kisha nyonya lips za juu wakati mtu wako ananyonya za chini na hii ndio busu linavotakiwa kua.

4. Shingo; 
Hii ni sehemu ya mwili yenye ngozi laini sana ambayo inasisimka hata kwa kuipumulia tu na pua. ni moja ya sehemu nzuri sana kunyonya, kulamba na kubusu.

Jinsi ya kufanya; ukiwa umemkumbatia mtu wako basi busu upande wa kulia au wa kushoto wa shingo huku ukinyonya ngozi la eneo hilo.

5. Chuchu; 
Wanaume wengi wanatumia sehemu hii kama sehemu kuu kumsisimua mwanamke, ni kweli kabisa tafiti zinaonyesha kwamba sehemu ya ubongo ambayo husisimuka chuchu za mwanamke zikiguswa ni sehemu hiyohiyo ambayo inasisimka kinembe na uke vikiguswa. kwa hiyo ni moja ya sehemu muhimu sana.

Jinsi ya kufanya; tomasa matiti yote ya mwanamke kwa kutumia mikono yako miwili kisha nyonya chuchu yake taratibu huku kama unaing'ata na kuiachia. badilisaha kwa kuchocha chuchu ya kulia na kushoto.

6. Kiuno au mgongo wa chini; 
Kama umechunguza ni kwamba wanawake wengi husisimka sana wakiguswa viuno vyao ghafla hata wakati wa kukumbatiwa tu. hii ni sababu ya mishipa ya fahamu inayoenda hadi kwenye sehemu zake nyeti hupita huko.

Jinsi ya kufanya; tomasa kama unafanya masaji sehemu ya chini kabisa ya kiuno kabla makalio hayajaanza. hii itamfanya arelax sana lakini pia kuongeza damu kwenda sehemu zake nyeti tayari kwa tendo la ndoa.

7. Tumbo; 
Tumbo ni sehemu ambayo watu wengi hawaitilii manani sana lakini misuli ya tumbo imeungana na uke moja kwa moja ndio maana baadhi ya wanawake hufika kileleni kwa kufanya mazoezi ya tumbo kitaalamu kama core exercises..

Jinsi ya kufanya; tomasa tumbo lake kwanzia juu kabisa ya tumbo na kwenda tumbo la chini na kisha busu taratibu maeneo mbalimbali ya sehemu ya tumbo na unaweza kumalizia kwa kunyonya kitovu.

8. Katikati ya mapaja
Hii ni sehemu yenye msisimuko mkubwa kwenye mwili wa mwanamke, watu wanaondesha magari wanajua siri hii kwani wakimpakia mwanamke wanatumia njia hii kumsisimua kwa kuweka mkono mmoja kwenye mapaja yake.

Jinsi ya kufanya; shikashika sehemu za katikati ya mapaja kwanzia magotini kwenda mpaka karibu na uke.unaweza fanya hivyo wakati ukiwa unambusu.

9. Nyayo za miguu.
Nyayo za miguu zikiguswa hata kwa mtu ambaye sio wa kike zina msisimko sana kama wa kutekenywa hivi na sina msisimko mkubwa kuliko sehemu nyingi nilizotaja.

Jinsi ya kufanya; shika nyayo moja ya mguu kisha kwa kutumia viganja viwili tomasa katikati ya mguu kwanzia kwenye kisigino mpaka kwenye vidole.usitumie nguvu nyingi...

10. Kinembe ;
Hii ni sehemu ya mwanamke ambayo kazi yake ni kuleta msisimko tu na raha kwa mwanamke..eneo hili linazaidi ya mishipa ya fahamu 8000, ni eneo dogo sana lakini shughuli yake sio ndogo. naweza kusema ndio eneo lenye msisimko mkali kuliko yote niliyotaja hapo juu na likiguswa tu mwanamke analoana kabisa.

Jinsi ya kufanya; kidole chako kikubwa cha kinganyani bonyeza na kuachia sehemu hiyo kama mtu anayekagua parachichi pia sugua kwenda chini, juu na pembeni kuangalia muhusika anapenda wapi zaidi pia kama una uhakika na usafi au afya ya muhusika unaweza lamba pia kwa ulimi.


Mwisho:

Sehemu zote nilizotaja hapo juu ni muhimu sana kwa ajili ya kumuandaa mwanamke japokua kila mwanamke anapata msisimko zaidi kutokana na yeye mwenyewe alivyo yaani mwingine shingo linaweza kua na msisimko wa kawaida likiguswa lakini mwingine ikawa msisimo mkali zaidi.

Ally Kiba kufunga Ndoa ya Kimya Kimya Mombasa

0
0

Kumekuwa na tetesi kadhaa zinazomuhusisha Mbongofleva Alikiba kufunga ndoa ya kimya kimya nchini Kenya.

Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa kwenye website ya Ghafla, Alikiba anatarajia kufunga ndoa na mwanamke anayefahamika Kwa jina la Amina Ijumaa ya wiki hii (Machi 2). Harusi hiyo inatarajiwa kufanyika Pande za Mombasa huku ikihudhuliwa na watu wa karibu tu.

Hii inakuwa mara ya kwanza kwa staa huyo wa Seduce Me kufunga ndoa rasmi licha ya kuwa na watoto watatu kutoka kwa mama tofauti.
Harusi yake itahudhuliwa pia na wanasiasa wakubwa wa Kenya akiwemo Hassan Joho ambae ni mshikaji wake wa karibu.
lilOmmy.com itafuatilia kwa karibu kinachoonekana kuwa trend na tutarudi na taarifa za uhakika baada ya kuthibitisha kinachozungumziwa.

Baba yake Ommy Dimpoz Alalamika Kutengwa na Mwanae Licha ya Dimpoz Kuonekana Kula Bata za Ulaya

0
0
Pichani mwenye tshet nyekundu ni baba yake mzazi Ommy Dimpoz ambapo Amesema mwanae huyo amemtelekeza miaka Mingi licha ya Dimpoz kusifika kwa kula bata nchi mbalimbali duniani.

Baba Dimpoz ana miaka 64 na ni dereva wa bajaji huko Tabora. Babaji amenunua mwenyewe. Wanaomjua wamesema anashindia mihogo na kachumbari !! .

Mzee Faraji Nyembo akizungumza na Globalpublishers anasema "Ni kama Wema Sepetu anavyohangaika kutafuta mtoto, siku akimpata hata kama hamsaidii chochote atamshukuru tu Mungu hivyo na mimi huwa ninamshukuru Mungu maana nimeshamleta Omary duniani.

Yeye kama mtoto, ndiye anayetakiwa kujua mzazi wake anahitaji nini, yaani ukimuuliza sasa hivi Dimpoz akupe namba yangu, utaona, atakujibu nini maana ninaamini hana.

Nimekuwa nikimpigia, lakini simu yake unaambiwa inatumika, angekuwa anaona umuhimu si angekuwa na namba maalum kwa ajili ya kuwasiliana na mimi baba yake kama mastaa wengine wanavyofanya kuwa na namba kwa ajili ya mashabiki na nyingine ya watu muhimu,” alisema na kuongeza “Mfano nikifa kama leo ni bora huyo Ommy asinizike au kuja Tabora maana watu watampiga na kwanza atasema ni nani wake amefariki dunia maana hivi niko hai hana ushirikiano,” alisema baba huyo

Miujiza ya Sharifu Seif Mohamed..JE Umeachwa na Mme/Mke au Mpenzi, Umesongwa na Mitihani ya Maisha..Piga Simu Upate Muujiza Wako

0
0
SHARIFU SEIF MOHAMED ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOENDELEA KUPIGA SIMU, WENYE MATATIZO NA WALE WANAOTOA  SHUKRANI NA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO WASAIDIA,

(Rudisha mahusiano yako ndani ya masaa 72 tu)

SHARIFU MOHAMED Ni  mtaalam na mnajimu maarufu wa nyota na kubashiri mambo yanayo watesa binadamu duniani kote na kupata ufumbuzi, Anatumia kitabu cha QUR'AN na Nyota

Je Umeachwa na UMPENDAE awe Mme/Mke na bado unampenda? Je Umekimbiwa na Mmeo/ Mkeo n anaishi na mtu mwingine? Je Umejaribu sehemu nyingi bila mafanikio? Mpigie simu SHARIFU SEIF sasa hivi ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo, Anauwezo wa hali ya juu wa kusambaratisha mahusiano yao na kumrejesha kwako haraka sana na Kumfanya Atimize Ahadi zote Ndani ya Muda Mfupi Endapo Utafwata Atakacho Kuelekeza

 ZINDIKO LA NYUMBA NA BIASHARA, PETE ZA BAHATI, HUMALIZA KABISA TATIZO   HUZUIA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA, HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA, NA KUPONYA MAGONJWA SUGU ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA ALIE MBALI AU ALIECHUKULIWA MSUKULE, KUPANDISHA NYOTA NA KUSHINDA BAHATI NA SIBU, KASAFISHA NYOTA NA KUKUPA MVUTO WA AJABU, KUTOA NUKSI NA VIFUNGO MBALIMBALI,  MAFANIKIO YA MAISHA NA UTAJIRI BILA MASHARI, NA MENGINE MENGI YA SIRI,

JE UMAHANGAIKA KUPATA MTOTO BILA MAFANIKIO? WASILIANA NA MTAALAMU HUYU KWANI YEYE HUFAULU PALE WOTE WALIPOSHINDWA, PIA UMALIZA KAZI ZILIZO SHINDIKANA NA WATAALAM WENGINE NDANI YA MASAA 24 TU,

(NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE AU MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFWATA MAELEKEZO YAKE)

Kwa ushauri na mawasiliano  zaidi Piga SIMU No:

Mobile +255 654-836970
WhatsApp 0622766715

Madaktari Kenya Wasimamishwa Kazi Baada ya Kumfanyia Upasuaji wa Kichwa kwa Mgonjwa Asiyestahili

0
0
Madaktari Kenya Wasimamishwa Kazi Baada ya Kumfanyia Upasuaji wa Kichwa kwa Mgonjwa Asiyestahili
Madaktari Hospitali ya Kenyatta wasimamishwa kazi kwa kufanya upasuaji wa kichwa kwa mgonjwa asiyestahili.

Taarifa kutoka mkurugenzi mkuu wa hospitali hiyo, Lily Tare, zinabainisha kuwa wagonjwa wawili waliokuwa hawajitambui na mmoja kati yao ndiye alihitaji upasuaji wa kichwa ili kuondoa damu ilionekana imeviria.

Madaktari Tanzania wafanya upasuaji wa kihistoria
Wanawake waandamana kuhusu madai ya ubakaji katika hospitali Kenya
Lakini pia mkurugenzi huyo ameomba radhi na kusema "tunafurahi kuwatangazia umma kwamba mgonjwa huyo sasa ametibiwa na anaenedelea vizuri"

Wafanyakazi wanaochunguzwa katika sakata hilo ni pamoja na daktari wa upusuaji wa ubongo, muuguzi, mtalaam wa dawa za usingizi.

Hili sio sakata la kwanza kukumba hospitali hiyo, mwezi wa kwanza mwaka huu, waziri wa afya nchini Kenya Dkt Cleopha Mailu aliamrisha uchunguzi ufanyike baada ya wanawake waliojifungua kudai kwamba wanadhalilishwa kingono.

Taarifa zilizoenezwa kwenye mitandao zilidai kina mama waliojifungua wamekuwa wanashambuliwa na baadhi ya wafanyikazi wakati wakienda kwenye chumba cha watoto wachanga kuwanyonyesha watoto wao.

Tukio hilo liliibua maandamano na wanaharakati na wanawake walikasirishwa na usalama duni na utendaji kazi wa hospitali hiyo.

Kwa upande wa Tanzania, sakata kama hili liliwahi tokea mwaka 2007.

Tarehe 8 Novemba, madaktari wawili wa upasuaji wa ubongo katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili walimpasua kichwa Emmanuel Didas kutoa uvimbe ambao haukuwepo.

Wakati mgonjwa Emmanuel Mgaya, aliyekuwa na uvimbe huo alipasuliwa goti.

Madaktari hao walichukuliwa hatua na kufutwa kazi na mamlaka ya hospitali.

Viongozi wa ACT Wazalendo Wakihama Chama Wajiunga CCM

0
0
Viongozi wa ACT Wazalendo Wakihama Chama Wajiunga CCM

VIONGOZI kadhaa wa chama cha ACT Wazalendo na wanachama wao wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Ijumaa, Machi 2, 2018.

Akizungumza na wanahabari jijini Dar wakati wa kutoa maamuzi hayo, Katibu wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Ernest Theonest Kalumuna,  amesema yeye na Katibu wa ACT Jimbo la Ubungo na wanachama wao wengine wamefikia hatua hiyo kutokana na uongozi wa juu wa chama kushindwa kusimamia misingi thabiti ya chama chao.

“Tunautangazia umma hali mbaya ya chama chetu kilichoibuka kama chama mbadala wakati wa kuanzishwa kwake. Misingi ya chama haitekelezwi sawia, viongozi wetu wa juu wanapoungana na wanaohujumu juhudi za serikali kupigania wanyonge katika taifa letu.
“Hakuna tena kamati kuu, siku hizi kuna kikundi cha wapambe wachache wanakaa na kuamua mambo mazito ya chama, kujitoa kwenye uchaguzi bila mkutano halali, chama kimebaki kikundi cha wanaharakati tu, ofisi za majimbo zimefungwa zimebaki Mwanza na Kigoma wala viongozi hawashtuki.
“Tumeshtushwa na kauli za Kiongozi wa Chama Zitto Kabwe kuhamasisha Chadema wafanye maamuzi huku akisema sisi tunaunga mkono, anasema serikali hii ni rahisi zaidi kuiangusha. Hii ni ishara ya kwamba kiongozi wa chama amefilisika kisiasa.
“Atuambie ni Serikali ipi anataka kuiagusha? Ni ya Rais Magufuli ambaye Zitto alimsifia sana wakati akitoa hotuba yake ya kwanza bungeni Novemba 2015 baada ya kuingia madarakani au ni serikali nyingine? Mbona hasemi ni jambo gani ambalo Rais aliliahidi na hajalitekeleza?
“Hatuwezi kuendelea kuwa kwenye kikundi cha namna hii, kwa pamoja tunatangaza kujivua uanachama wa ACT Wazalendo na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM), hatuwezi kubaki kwenye chama kilichokosa mwelelekeo, kinaongozwa na kiranja anayetoa maagizo kutoka juu kwenda chini, bila kujali wanawapelekea akina nani.  Tumeamua kwa nia moja kulitumia taifa kwa misingi ya utu na uzalendo,” alisema Kalumuna.

Fid Q Aanza Kumpigania Roma Baada ya Kupewa Kifungo na Basata..Aomba Kukutana na Basata

0
0
Fid Q Aanza Kumpigania Roma Baada ya Kupewa Kifungo na Basata
Rapa Fareed Kubanda ameamua kuchukua jukumu la kuanzisha majadiliano na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuhusu adhabu ambayo wamempa rapa Roma Mkatoliki ikiwa pamoja na kufungiwa kutojihusisha na sanaa kwa muda wa miezi sita.


Fid Q yeye anaamini kuwa muda ambao wamemfungia Roma Mkatoliki ni muda mrefu kwa kuwa ni msanii ambaye ana familia na anaendesha familia yake hiyo kwa kazi ya sanii tu hivyo anaamini kifungo hicho si kizuri kwa msanii huyo.

"Waswahili wanasema "mambo ya kusadifu (kutosheleza haja ) ni ya chunguni ( yale yaletayo faida kama chakula n.k)" Tunaomba mturuhusu tuje tujadili hii sheria ya kifungo upya siku ya Jumatatu BASATA ili kumuokoa baba anayetegemewa na familia kwa kupitia sanaa" alisema Fid Q

Kupitia ombi la Fid Q Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekubali ombi la msanii huyo kwenda kujadili kwa pamoja juu ya kifungo hicho na masuala mengine ambayo yanahusu sanaa haswa katika muasuala ya muziki na wasaniii.

"Milango iko wazi muda wote. Baraza limesukuma kuundwa kwa umoja wa wasanii ili kujenga mfumo rasmi wa mawasiliano na majadiliano. Bahati mbaya wasanii wengi bado wako nje ya mfumo huu. Limekua likiitisha vikao vya mashauriano, mahudhurio yamekua hafifu. Kupitia umoja uliopo karibuni" ilisema taarifa ya BASATA

Machi 1, 2018 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Daniel Shonza alimfungia msanii Roma Mkatoliki kutojihusisha na masuala ya muziki kwa muda wa miezi sita kwa kosa la kutofanya marekebisho katika wimbo wao  wa Kibamia kama ambavyo walikubaliana awali.

Msanii wa Kenya Azamiria Kumuoa Zari Aeleza Sababu Zinazomsukuma

0
0
Msanii wa Kenya Azamiria Kumuoa Zari Aeleza Sababu Zinazomsukuma
Msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Kenya, Ringtone Apoko amefunguka kwanini alitangaza nia ya kuwa katika mahusiano na Zari The Boss Lady.

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha 1 on 1 cha Citizen TV kuwa Zari anamuhitaji mwanaume kama yeye ambaye anamjua Mungu, mrefu, handsome na anayejua kutabasamu.

“Halafu unajua nikimwangalia Zari because she is an entrepreneur anaweza akakuwa mama wa kanisa mzuri sana, ataleta maendeleo kwa kanisa,” amesema.

Soma Zaidi; Msanii wa Kenya ajitosa kwa Zari

Ameongeza kuwa  sababu ya kuandika ujumbe katika mtandao wa Instagram ni ili watu kujua hilo na Mungu ataamua awe mke wake kwa sababu yupo single, ni mtu wa Mungu, ana hofu na Mungu, mrefu na handsome.

Siku ya wapendanao (Valentine’s Day) February 14 mwaka huu Zari The Boss Lady alitangaza rasmi kuachana na Diamond kutokana na kuchoshwa na habari za kusalitiwa ambazo husikika kila siku katika vyombo vya habari.

Kwa Mujibu wa Sheria za Nchi Mkaa Bado ni Halali kwa Matumizi ya Nyumbani- Mabula

0
0
Kwa Mujibu wa Sheria za Nchi Mkaa Bado ni Halali kwa Matumizi ya Nyumbani- MabulaMbunge wa Jimbo la Nyamagana jijini Mwanza Stanslaus Mabula, amesema  kwa mujibu wa sheria na sera zilizopo hapa nchini mkaa bado ni halali kwa matumizi ya nyumbani na popote unapotumika.

Akizungumza na wananchi wa Kata ya Mkuyuni jijini hapa amesema  wasimamizi na afisa misitu waliopo kituo cha Usagara wamekuwa  wakiwanyanyapaa wauza mkaa ikiwa ni pamoja na kuwanyang'anya mkaa, na kisha kwenda kuuza kwa bei chee kwa maslahi yao binafsi.

"Afisa misitu wamekuwa wanawanyanyasa wauzaji wa mkaa kwa kuwakamatia mkaa na kutaifisha baiskeli zao kisha kuuza wao kwa bei ya chini kinyume na taratibu", alisema Mabula.

Pia amewataka wauzaji wa mkaa wadogo, kumfikishia taarifa katika ofisi yake pindi wanapokamatiwa mkaa na ikiwa na kutaifishwa baiskeli zao, ili wawafikishe mahakamani wakajibu vizuri.

Wauza mkaa hao wanaosafirisha mkaa kutoka  vijijini mpaka mjini kwa kadirio la mwendo wa kilomita 120,  wamemshukuru mbunge kwa kuwapa wepesi kwani wamekuwa wakikamatiwa baiskeli na mkaa pamoja na faini kubwa ambayo haitolewi risiti.
Kwa Mujibu wa Sheria za

Askari Atakayemkamata Dereva Anayemshauri Askari Kupokea Rushwa Kupandishwa Cheo

0
0
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limeanzisha kikosi kazi maalumu kwa ajili ya kufuatilia madereva wanaowashawishi askari kupokea rushwa pindi wanapokutwa na makosa ya usalama barabarani na kuahidi kuwa litawapandisha vyeo askari watakamata dereva hao.


Kamanda wa Polisi Mkoa  wa Pwani Jonathan Shana, amewaambia waandishi wa habari kuwa huo ni mkakati mmoja wapo wa kupambana na ajali za barabarani mkoani humo.

Aidha Kamanda Shana amefafanua kuwa kikosi kazi hicho ambacho kinaundwa na makachero kimeshaanza kazi na hatua za kisheria zitachukuliwa mara moja kwa madereva watakaokutwa na makosa hayo ikiwa ni pamoja na kufikishwa mahakamani.

Kamanda Shana amesema mkakati huo wa kupunguza ajali pia utalenga kuwafungia leseni pia kutangaza kwenye vyombo vya habari makampuni  yote ya mabasi ambayo yatakuwa yamekithiri kwa makosa ya mwendo kasi.

Gari Dogo Lateketea kwa Moto Dar

0
0
Gari Dogo Lateketea kwa Moto Dar
GARI dogo limeteketea kwa moto leo Ijumaa, Machi 2, 2018 asubuhi katika maeneo ya Ukonga Banana kwenye barabara ya kuelekea Kitunda karibu na Shule ya Air Wing.

Tutumie video ya tukio lolote ambalo limetokea hapo ulipo kupitia WhatsApp 0753 715 779 tutakulipa mkwanja papo hapo
Viewing all 104429 articles
Browse latest View live




Latest Images