Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104684 articles
Browse latest View live

Kutana na 'Baba' wa Familia Aliyepata Ujauzito na Kujifungua!

$
0
0
Lakini kwa mujibu wa Bianca, wawili hao wamekuwa wakishiriki tendo la ndoa kama kawaida kwa kuwa wanaamini kubadili kwao mfumo wa maisha hakuwezi kubadili viungo vyao vya mwili. Matokeo yake, baba alipata ujauzito na kujifungua. Na hivi sasa wana watoto wawili.

Cha kushangaza ni kwamba wana ndoa hao hawawachanganyi majirani tu, lakini pia wamewaficha hadi watoto wao wadogo ambao wanaamini kabisa kuwa Bianca ndiye aliyewazaa na baba yao ni Nick. Lakini siri hii itakaa hadi lini ili hali majirani wanajua na wa wanandoa hao wameshaeleza kwenye vyombo vya habari?

“Sifahamu lini tutaanza kuwaambia ukweli, labda wakati ambapo Kai (mtoto wao mkubwa) atakapokuwa na miaka sita hivi, lakini wanatakiwa kuwa na umri mkubwa wa kutosha kuelewa. Ni muhimu wakifahamu kwa kuwa ni siri kubwa ya kuwaficha watoto wako na kama wakifahamu kupitia njia nyingine watachukia sana.” Alisema Bianca.

Biana aliendelea kujitetea kuwa kuwa jike dume/ dume jike haielezi jinsi ulivyo. Ni kama kuwa na rangi nyeupe, nyeusi, mnene au mwembamba haielezi kitu kuhusu jinsi ulivyo.

Kwa upande wa Nick, anasema mara ya kwanza alipopata ujauzito wa Kai alibadilika na kuishi kama mwanamke, hivyo ikawa kama yeye na mumewe wote ni wanawake. Wengi walidhani wanacheza mchezo wa kusagana.

Lakini alipopata ujauzito wa pili ndipo alipoamua kuishi maisha yake ya kawaida kama baba na kitumbo chake. Hali ilimnyima raha mbele za watu waliokuwa wanamshangaa sana.

“Lakini, nilipokuwa na ujauzito wa Pax (mtoto wa pili), watu walikuwa wananishangaa sana, kitu kilichonifanya nikose ujasiri. Sikuweza kuvumilia hali ile, watu kunong’onezana wakiniona, kuninyooshea video na mwisho nikawa siwezi kutoka nyumbani. Nilitoka kwenda kumuona daktari tu. Watu waliogopa kile wasichokifahamu.” Alisema Nick.

Naye Biance alipoulizwa kuhusu suala la kufanya mapenzi, hakusita kueleza wanavyoichukulia.

“Tunaviungo vyote kwa hiyo tunavitumia. Kama tungeweza kuvibadili tungefanya hivyo, ni ingekuwa tofauti- lakini hatuwezi na watoto wanakuja kwanza.”

Sasa hii tunaiitaje? Kila mmoja anatafsiri yake, kwa imani yake na uelewa wake pamoja na mila na desturi. Maajabu hayaishi!

Kimenuka Meninah Atajwa Kuwa Ni Mchepuko wa Diamond Platnumz, Wema Apata Adui Mpya

$
0
0
Msanii wa Bongo Flava Meninah la Divah ametajwa kuwa katika mahusiano ya kisirisiri na Diamond Platnumz taarifa hizo zimevuja kupitia kwa marafiki wa karibu na Meninah wamedai kuwa wawili hao walikutanishwa na moja kati ya ndugu wa Diamond na hivi karibuni katika kipindi cha Tv anacho host Meninah eti Diamond aliwahi kumkataza Meninah asishiriki kwa sababu atakutana na wanaume wengine lakini dada wa diamond Queen Darlin ambaye pia yupo katika kipindi hiko cha Tv akaahidi kumlinda wifi yake mwanzo mwisho ndio mzee akatoa ruhusa

Sikiliza Hapa:

Producer Nisher Apewa za Uso na Alie Kuwa Msaidizi Wake Kupitia Facebook

$
0
0
Katika pitapita zangu leo Facebook nkakutana na post ya aliyekua muandaaji mwenza wa Nisher Director wa video za mziki hapa Bongo ikitoa ufafanuzi kuhusu alichokiandika Nisher katika ukurasa wake Facebook. Bamushka amesema kua alichokiandika Nisher ni uongo na huu ndo ukweli aliouandika Facebook

"NISHER WEWE HUKUNIFUNDISHA MIMI NNA ELIMU YANGU KUBWA TU YA PRODUCTION NA ULINIKUTA NAYO....FOR REAL IMESKITISHWA NA POST ZAKO ZOTE MBILI NILIAMUWA KUKAA KIMYA COZ MIMI NI MTU MZIMA NA NAJUWA NINI NAFANYA NA NAJUWA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI UNAISHIA WAPI ... BUT NAONA STIL UNAENDELEA KUDANGANYA WATU KWA KUNICHAFUWA MIMI NIONEKANE NIME KU SNITCH...UKWELI NI KWAMBA SIWEZI FANYA KAZI ISIYO NA FAIDA MIMI NI MTU MZIMA NAHITAJI KU RUN MAISHA YANGU KUPITIA KILE NNACHOKIFANYA ASA KAMA HAKUNA MASLAHI KWANINI NIENDELEE KUWA UNDER YOU? ( sifanyi kazi isiyo na faida ) .... THEN VIDEI ZOTE ULIZO ZITAJA HAPO JUU WEWE HUKUHUSIKA HATA KIDOGO YANI HATA KIDOGO HIZO VIDEO HAZIPO UNDER N.E HIZO ZIPO UNDER ME...MPAKA ZINAFIKA INTERNATIONAL LEVEL U JUST KNOW NOTHING ABOUT IT IS JUT MY OWN POWER...ZINGAITIA HAKUNA ULICHONIFUNDISHA BUT TUMEFUNDISHANA...WEWE HUJANIFUNDISHA WAPO WALIONIFUNDISHA NA WAMEKAA KIMYA... KAMA UMENIFUNDISHA HEBU FANANISHA VIDEO YA CHIN BINZ - LET ME KNOW NA YA LUCCI - SUMU ZOTE NI WHITE SCREEN NA TULITOA AT THE SAME TIME...HIVI NI VIDEO YANGU GANI WE USHAWAHI KUJA LOCATION KAZI YA HIZO ULIZOZITAJA HAPO JUU?... ME SIWEZI LOST A DAYS KUFANYA KAZI ISYONIINGIZIA PESA COZ MIMI SIO KAMA WEWE UKIRUDI HOME UNAKUTA FOOD ON THE TABLE..MEN I DO MY OWN HUSTLING NAHITAJI FIGHT FOR MA OWN...SOO MIMI KUACHA KUFANYA KAZI NA WEWE ISIKUUME KIASI CHA KUKESHA UNA POST POST SHIT ABOUT ME...UKWELI NI KWAMBA NAHITAJI FANYA MISHE ZANGU AU WEWE HUPENDI MIMI NIKIFANIKIWA ? SOMETIMES ETI UNANIKATAZA NISIPIGE STORY NA Hanscana dE Lavenche HIVI WE UNAJUWA ME NA HUYU JAMAA TUMETOKA FAR KIASI GANI ?...MEN ME SIO DIRECTOR WA FACEBOOK WALA INSTAGRAM KAMA WEWE...NYAMAZA LET WORK MAKE NOISE...KUWA MWANAUME SOMETIMES ... AM DONE ... 1 COPPY TO DIRECTOR HANSCANA Minzi Mims Jozeey Joseph Adam Shani Shine Ande John Cyrill Kamikaze G-The Navigator George Laurent F J Kimbatu Jimmy Cooge Guru G-lover NA WOTE WANAOTUFAHAMU SINCE DAY 1"

Nisher nae aliandika kua "Nisher Entertainment Inasikitika kuwataarifu Wadau wake wote na Mashabiki wote wa kazi zetu Kua Khalfani Bamushka hatakua Akifanya kazi pamoja nasi Tena!
Ni kama mwaka na Nusu sasa NISHER (C.E.O and President wa NISHER ENTERTAINMENT) Ali-gundua Kipaji Cha khalfani kwa njia ya facebook.. na baada ya hapo walikutana na kuanza kufanya kazi pamoja... Khalfani amejifunza Mengi Kuhusu Video Production Kutoka kwa Mshindi wa Tuzo Za watu 2014 Director Nisher, katika kipindi chote alichokaa kwa karibu sana na Nisher. Khalfani aliweza pia kupata nafasi ya kufanya videos alizozioongoza yeye mwenyewe Chini ya Nisher Entertainment kama "LET ME KNOW" ya Chin Bees iliyo pata kuchezwa Channel O...., pamoja na Video Mpya Ya Baby Madaha, Pamoja na Kazi Nyinginezo Nyingi ambazo zilimwezesha Kupata Jina na Kujiweka vizuri zaidi katika Uongozaji na Uandaaji wa Videos.

Nisher Entertainment Pamoja na C.E.O. wake Tunatambua Juhudi na Bidii aliyokua nayo Khalfani na Tunamshukuru Kwa Mchango wake Katika Kufanikisha Shughuli zote za Nisher Entertainment.

Mwisho....Nisher Entertainment inaendelea kufanya Msako wa Vipaji mbali mbali ili kuwapa Ajira vijana wetu kupitia Mitandao ya kijamii... hivyo wadau wote na wote wale wanao penda kazi zao zionekane Msiache kuzituma kwenye inbox yetu....Tunawashukuru kwa kuendelea ku-Support kazi zetu! Ahsanteni.

NISHER ENTERTAINMENT"

Pombe si Chai Jamani Jionee ilivyomfanya Huyu Binti Mrembo

$
0
0
Hizi ni picha zinazo muonesha Mwanadada mrembo in the name of partying toka anapoingia hadi ku- black out aka KUZIMA......Jionee mwenyewe....POMBE NOUMA....
Hapa Alianza Kuona Nyota Nyota

Hapa Ameanza kula Nyasi

Hapa Haja Kubwa imemtoka
Kwisha kazi ni wa Kubebwa sasa

Nadhani Nimeshamzidi Agness Masogange Kwa Uzuri wa Umbo Check My Photos

What Is Really Wrong With Our Ladies? Why Are They So Desperate?..See Pic

$
0
0
Why all these nonsense they are posting on facebook and twitter? Should they sell themselves so cheap like this before the guys in here hit on them?

Guys, are you really the cause of all these stupidity girls have been exhibiting lately on social network?

Do you guys really like cheap girls compared to expensive ones and decent ones? If yes, then you should blame yourself for this nonsense this Prisca girl is doing on twitter.

Madaktari Nchini Uingereza Wameumba Masikio Kutokana na Ubavu wa Kijana Aliyezaliwa Bila

$
0
0
Kijana huyo wa miaka tisa Kieran Sorkin alizaliwa bila masikio na madaktari wamekuwa wakifanya majaribio ya mbinu mpya ya matibabu katika hospitali ya Great Ormond Street iliyoko jijini London..

Takwimu nchini Uingereza zinaonesha kuwa takriban watoto 100 huzaliwa bila kiungo hicho muhimu nchini Uingereza .

Madaktari wanaita ugonjwa huo microtia.

Kieran aliyezaliwa kama kiziwi hakuwa na masikio alipozaliwa badala yake alizaliwa na shimo mbili na ndewe tu badala ya masikio.

Tayari kieran anasikia baada ya upasuaji wa awli ambao ulimsaidia kupandikiza kifaa kinachomsaidia kupaza sauti ndani ya masikio yake.

"Ningependa watu wakome kuniuliza kwanini unakaa tofauti hivi ", alisema Kieran akiwa katika mtaa wa Hertfordshire.

"nimefurahishwa sana kufanana na marafiki wangu ''.
"Hata mimi ninafurahi kuwa sasa nitaweza kuvaa miwani na vifaa vya kusikizia muziki."

Madaktari waunda masikio toka ubavuni mwa kijana mwenye miaka 9 

Mamake Kieran ,Louise Sorkin alisema kuwa kijana huyo ni mchangamfu sana na alikuwa anasubiri kwa hamu kufanyiwa upasuaji wa kupandikiza masikio hayo.

"Sikuwa nafurahiwa watoto wenzake wakimkejeli kutokana na maumbile yake."

Asubuhi ya siku ya upasuaji huo Neil Bulstrode aliumba masikio hayo na akapandikiza akitumia teknolojia ya kisasa ya kushona masikio hayo chini ya ngozi ya kichwa chake .

Wanasayansi hao wanasema kuwa walitumia mbinu mpya ya kukuza viungo hivyo.
Kieran alifurahishwa sana alipooeshwa masikio yake mapya siku tatu baada ya operesheni hiyo.

Wanaume Kenya Wajificha Kukimbia Kutairiwa Kwa Lazima, Walala Vichakani na Mitaroni

$
0
0
Nchini Kenya ambapo wanaume kutoka kabila la Turkana na makabila mengine ambayo hayana utamaduni wa kutahiri wanaume sasa wanaishi kwa hofu baada ya baadhi yao kutahiriwa kwa lazima.
Vijana kutoka kabila la Bukusu wamekuwa wakiwavamia wanaume ambao hawajatahiriwa katika mji wa Moi's Bridge na kuwapaka matope na maji taka na kisha kuwatahiri hadharani kando ya barabara .
Wabukusu huchukulia mtu asiyetahiriwa kuwa mchafu na mwoga, lakini wanaume wanaotahiriwa bila ridhaa yao wanalalamika kuwa wanatwikwa utamaduni usio wao.
Wange wanakimbia nyumba zao na kulala Vichakana kuhofia kuvamiwa na kufanyawa tohara 

Ukawa Waanza Vita Upya, Wampiga Mkwara Jakaya Kikwete

$
0
0
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umemtaka Rais Jakaya Kikwete kusitisha Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma na iwapo hatafanya hivyo utaongoza maandamano nchi nzima.

Umoja huo pia umeeleza kuwa kuendelea kwa Bunge hilo ni sawa na kuvuruga mchakato wa kupata Katiba Mpya, kuiweka nchi rehani, kufuja fedha za walipakodi, kuwahadaa Watanzania kwa kupitisha Katiba isiyotokana na maoni yao, huku kanuni zikibadilishwa na kuingizwa mambo ya Tanganyika katika Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano.

Kadhalika, umemtaka Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalumu wa matumizi ya fedha za Bunge hilo kwa maelezo kuwa zinatumika bila maelezo sahihi.

Is This Kissing Ama Kutafunana Lips..See Shocking Photos

$
0
0

EBWANA EEE: Is This Kissing Or Just Some Crazy Lip Eating....Hahahaa Unahisi Hawa Wametokea Mkoa Gani ?

Mrembo wa Kenya Aliyechaguliwa Kwenda Big Brother Huyu Hapa, Vera Sidika Apigwa Chini

$
0
0

Meet The Sexy Lady Ella Ciku Who Beat Vera Sidika And Other Hotties To Represent Kenya At The Big Brother Africa!!

About Vera Sidika Not Going On BBA

The biggest reality show in the continent, Big Brother Africa Season 9 is just around the corner. As it’s commencement date nears, Kenyans have been wondering who will be representing them.

For the past week, rumor has been making rounds on the internet that Nairobi’s ‘it’ girl, Vera Sidika is among the shortlisted candidates.

Well, the controversial socialite came out rubbishing the rumors claiming that she will not be participating in the reality show. The lass broke the rather sad news through her Instagram page where she posted a photo with the caption: 

Been getting lots of messages, rumors going round about BBA. “Media should stop misleading my sweethearts/fans. I am not going for BBA. They are just using my name to make news.All the blogs and papers should stop with gutter press. I wouldn’t want y’all to fall for such then anticipate. Just know it’s all lies my sweethearts.Blessed Sunday. Much love”

What is Wrong With These Ladies ? Is it a Fashion Madness or Umalaya?

$
0
0



 What is Wrong With These Ladies ? Is it a Fashion Madness or Umalaya?

Wema Sepetu: Najuta Kumrudia Diamond

$
0
0
Takribani  wiki  sasa  kumekuwa  na  taarifa  zinazoeleza  kuwa  Miss  Tanzania  2006, Wema  Sepetu  hayuko  sawa  katika  mahusiano  yake  ya  kimapenzi  na  nguli  wa  Bongo  Fleva, Diamond  Plutnumz….

Kwa  mujibu  wa  rafiki  wa  karibu  na  Wema, imefika  mahali  Wema  anajuta  kuwa  na  Diamond  kwa  sababu  ya  kuandikwa  kwa  mambo  mengi  yasiyo  na  ukweli  na  yanayomfedhehesha  moyoni….

Rafiki  huyo  amedai  kuwa  mara  kwa  mara  Wema  amekuwa  akijiuliza  sababu  ya  kuandikwa  taarifa  mbalimbali  zisizo  na  kichwa  wala  miguu  ambapo  mwisho  wa  yote  hupata  jibu  ni  kwa  sababu  ya  kuwa  na  mahusiano  na  Diamond….

“Wakati  mwingine  anasema  angelijua  bora  angebaki  bachela  kwani  kuna  kikundi  cha  watu  hakipendi  kumuona  akiwa  na  Diamond  hivyo  kinafanya kazi  ya  kumzushia  taarifa   zisizoeleweka  kila  mara  kwa  lengo  la  kumshushia  hadhi,” kimesema  chanzo  hicho
Mwandishi  alipokiuliza  chanzo  hicho  ni  kwa  kiasi  gani  Wema   anamwamini  Diamond  kilisema:

“Ukweli  ni  kwamba  Wema  anampenda  sana  Diamond  lakini  hamwamini  kwa  sababu  wakati  mwingine  taarifa  zinazoandikwa  magazeti  hutolewa  na  Diamond  mwenyewe, hali  hiyo   inampa  wakati  mgumu  sana  Wema  kujua  ashike  wapi  na  wapi  apaache,”

“Unajua  Diamond  haaminiki, unaweza  kukuta  Wema  anagombana  na  watu  kumbe  mtoa  taarifa  ni  Diamond  mwenyewe.”

Shibuda Amlipua Lissu na Kumuita Interahamwe

$
0
0
SIKU moja baada ya Mbunge wa Maswa Magharibi, mkoani Simiyu, Bw. John Shibuda kutangaza kuachia ngazi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mbunge huyo ameibuka tena na kusema aliahidiwa kupewa helikopta mbili na uongozi wa chama hicho aweze kuzitumia katika kampeni za Uchaguzi Mkuu 2010 lakini hakupewa.

Alisema uongozi wa chama hicho ukiongozwa na Katibu Mkuu, Dkt. Wilbrod Slaa, ulimwahidi kumpa helikopta hizo kwenye kampeni zake na kumpigia debe Katibu huyo aliyekuwa akiwania nafasi ya urais.

Bw. Shibuda aliyasema hayo juzi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Malampaka, wilayani Maswa na kuongeza kuwa, alijitolea kutumia pesa zake katika uchaguzi huo na kuahidiwa kurudishiwa lakini mpaka sasa bado kurudishwa.

“Katika kampeni za mwaka 2010, mbali ya kuahidiwa helikopta, pia nilikuwa chanzo kikubwa cha Dkt. Slaa kupata kura nyingi kwa mara ya kwanza na kuongoza kwenye Wilaya ya Maswa akimzidi mgombea mwenzake kutoka CCM, Rais Jakaya Kikwete.

“Helikopta nilizoahidiwa, hata wakati wa kampeni sikupewa, nilipouliza niliambiwa nitapewa…mimi ndiye chanzo kikubwa cha Rais Kikwete kupata kura ndogo katika jimbo langu, nilitumia gharama zangu kumfanyia kampeni Dkt. Slaa,” alisema.

Wakati huo huo, Bw. Shibuda alisema msimamo wake ni Serikali mbili na kusisitiza hawezi kuwaunga mkono wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ambao msimamo wao ni Serikali tatu ambazo zitawaongezea mzigo wananchi wangu ambao ni wakulima na wafugaji.

Bw. Shibuda alisema wananchi wake hawataki kuongezewa mzigo wa Serikali; bali wanataka kutatuliwa kero walizonazo hasa zinazohusu kilimo cha pamba, migogoro ya wakulima na wafugaji.

“Siko tayari kuunga mkono muundo wa Serikali tatu kwa sababu wakulima wa pamba wana matatizo makubwa katika bei ya zao hili na pembejeo, pia katika wilaya yangu kuna migogoro mikubwa ya wakulima na wafugaji inayopaswa kutatuliwa kwa serikali hii tuliyonayo,” alisema Bw. Shibuda.

Katika mkutano huo, Bw. Shibuda alikwenda mbali zaidi akimfananisha Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Mwanasheria wa chama hicho, Bw. Tundu Lissu na kundi la Interahamwe lililochochea ubaguzi wa kikabila uliosababisha mauaji ya kimbari nchini Rwanda akidai mbunge huyo amekuwa mchochezi wa vita ndani na nje ya chama.

“Tundu Lissu ni Interahamwe kwani amekuwa mtu  mchochezi mwenye tabia ya kuwatukana wenzake, hana tofauti na kundi hili kama wenzake walivyosababisha mauaji nchini Rwanda,” alisema.

Credit: Majira

Jokate Naye Avamia Fani ya Bongo Flava, Ahahidi Kumzidi Venessa Mdee

$
0
0
Mrembo Jokate Ambaye Tumezoea kumuona Kwenye Mitindo na Utangazaji Naye Ameamua Kufuata Nyayo za Mtangazaji Mwenzake Venessa Mdee Kwa Kujiingiza kwenye Fani ya Kuimba Bongo Flava, Jokate Kwa mara ya Kwanza alipanda jukwaani na Wacheza Show wake kwenye Show ya Ufunguzi wa Fiesta Huko Mwanza na Kushangiliwa sana Mashabiki kwani Alifanya Kama Surprise. 

Udaku Specially Tuliongea nae kuhusu hilo la kujiingiza kwenye music Akasema amejipanga sawa sawa Mashabiki wakae tayari kwa Mambo makubwa kwani yupo kamili na amesema lazima amzidi Venessa Mdee Ambae ni mwenzake katika utangazaji. 
Je Ataweza?

Mr. Blue: Wema Sepetu na Naj Walinifilisi Sana Nilipokuwa Nao Kimapenzi

$
0
0

NYOTA wa Bongo Fleva, Herry Samir maarufu kama Mr. Blue amesema wasichana warembo, Wema Sepetu na Najma ambao aliwahi kutoka nao kimapenzi kwa nyakati tofauti miaka ya nyuma, walimfilisi kutokana na matumizi makubwa ya fedha alipotoka nao viwanja.

Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Mr. Blue, msanii aliyeanza kupata umaarufu akiwa bado kijana mdogo, alisema alilazimika kutumia fedha nyingi akiwa nao, kwani vinginevyo wangemuona hana pesa, kitu ambacho hakuwa tayari kuona kinatokea.
“Mademu wengi walikuwa wanapenda sana starehe, kila day (siku) wanataka twende kiwanja, ndiyo maana kama unakumbuka niliyumba kimuziki.
“Wanawake wengi niliotoka nao hawajulikani, ila kuna Wema na Najma, ilikuwa ukizama nao dukani lazima ufanye shopping (manunuzi) ya nguvu, kuanzia laki saba, nane na kuendelea ili wakuone unazo na mademu wengi wakisikia tu umepiga shoo, sms hazikauki kuomba uwatumie mawe (pesa),” alisema.

Kuhusu maisha yake ya sasa, Mr. Blue alisema yamebadilika sana, kwani hivi sasa ameoa mwanamke mwenye asili ya Kiarabu na amejaliwa kupata mtoto mmoja, hivyo ni baba wa familia ambaye pia anakaribia kumaliza mjengo wake siku si nyingi.
Hata hivyo alisema mkewe siyo maarufu, ana malengo na upendo kwani amekuwa akimuaga kila safari anayofanya na kwamba hata yeye anaporejea nyumbani, hupokelewa vizuri.
Mr. Blue ni mmoja kati ya wasanii wa muda mrefu ambao bado wanafanya muziki na wenye mashabiki wengi ndani na nje ya Bongo

Ladies:Mwanaume Anakomeshwa Kwa Akili na Busara, Ukiwa Mpumbavu Utaivunja Ndoa Yako Mwenyewe

$
0
0
Ulipoamua kumgawia Moyo wako uliapa KWA SHIDA NA RAHA,huku unatabasamu ndani ya Suti/Shela yako ukiwa na lots of Expectations LAKINI usisahau umeoa/umeolewa na BINADAMU mwenye Mapungufu hata kama hukuyaona kabla hujaingia ndoani..
Ameshakuwa mkeo/mmeo...Unagundua kwamba AMECHEAT na ushahidi unao...Mna mtoto/watoto ndani tayari
MASWALI YA KUJIULIZA:
1.Ukimuacha kwa sababu amekusaliti na kumuona hafai,Nani ni Mkamilifu??
2.Ukimuacha kwa sababu amekusaliti,huyo unayeenda kumpa moyo wako upya yeye sio Binadamu ni Malaika?
Zimwi likujualo halikuli likakwisha,Tena Heri huyo wako ukute ana udhaifu mmoja tu wa 'kujinyoosha kidogo tu kamguu ka kati' ni afadhali kudeal na Kitu kimoja..Unaweza ukamuacha mwenye kaudhaifu kamoja ukaenda kupambana na mtu mwenye madhaifu 6...Sawa hana udhaifu kama wa yule ila ana mijiudhaifu mingine tu kama 6 hivi..Hajali...Levi..Hakufikishi...ila ANA HELA...
Umekuta Condom kwenye Suruali ya Mmeo asubuhi ukiwa unamnyooshea???Mwambie tu Baba nimeona..Nakutakia kazi njema..na busu takatifu juu...Akirudi jioni mpikie chakula anachopenda na mpe penzi moja matata ambalo hujampa kama Mwaka na usimkumbushie ulichoona asubuhi MILELE...Lazima awaze sana na kujirudi...na ipo siku atafunguka tu na ku-apologize YEYE MWENYEWE!Mwanaume hakomeshwi kwa MANENO..tushayazoea..Ukimtukana ndo unaharibu zaidi...Mwanaume anakomeshwa kwa Akili na Busara..How you handle him at his faults...Ajue amekucheat umejua na ndo unampa HUBA TEULE zaidi,it will make him think twice kwanini anakutenda na wewe unazidi kumpenda..Sasa kizazi hiki cha Wanawake WANATAKA USAWA...NTAMKOMESHA...TIT FOR TAT...AKITOKA NA MIMI NATOKA
Pole sana...Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe...Asema BWANA!
Ukiguswa Gusika halafu HAMASIKA!

-Mtume na Nabii Seth,Facebook Church of All Nations(FCOAN)-


Tundu Lissu: Nitawania Urais Kupitia CHADEMA 2015

$
0
0
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), kwa mara ya kwanza amefunguka na kusema ana nia ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 iwapo chama chake kitaridhia.

Ametoa kauli hiyo ikiwa ni miaka miwili tangu Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), alipojitokeza hadharani akisema kwamba hatawania tena ubunge katika jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu ujao na badala yake atajitosa kwenye urais.

Hata hivyo, kauli hiyo ya Zitto ilisababisha mvutano mkubwa kati yake na viongozi wenzake ndani ya chama hicho, huku mmoja wa waasisi wake, Edwin Mtei, akipinga uamuzi wa mwanasiasa huyo na akidai hakuutoa wakati mwafaka.

Mtei alisema hatua ya Zitto kutangaza kutaka kuwania urais wa mwaka 2015 haikuwa na shida kwa sababu alionyesha hisia zake lakini alikuwa ikitengeneza mzozo ndani ya chama.

Mwanasiasa huyo alimshauri Zitto kuhakikisha anakiunganisha chama na si kukigawa na kukivuruga.

Akizungumza katika mahojiano maalumu na MTANZANIA mwishoni mwa wiki iliyopita, Lissu alisema ana uzoefu wa uongozi hivyo yuko tayari kuwania urais iwapo vikao vya chama chake vitaridhia.

Sijawahi Kuridhishwa Kimapenzi ( kufikishwa kileleni) na Mwanaume Yeyote-Efranciya

$
0
0
Msanii wa Bongo Movies Anayeongoza kwa kuwa na Umbo Kubwa Kati ya Wasanii wa Kike Hapa Bongo Ameibuka na Kusema kuwa Hajawahi pata mwanaume akamrizisha kimapenzi au kufikishwa kileleni toka aanze mapenzi , Amesema mpaka sasa aamini kama itakuja kutokea kwake .
Msanii huyo mwenye mtoto mmoja aliibukia kwenye Mashindano ya Maisha Plus na kujizolea umaarufu Mkubwa.

Madee:Nampenda Ney wa Mitego Ila Rais wa Manzese ni Mimi Hata Dunia Inajua Hilo

$
0
0
Rais wa Manzese ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake ya tema mate tuwachape Madee amefunguka na kusema kuwa anampenda na kumkubali Ney wa mitego kutokana na ukweli kwamba mkali huyo anajua akifanyacho na piaanajiamini katika kazi yake,Madee amefunguka na kusema hayo leo alipokuwa akicha Live kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV katika kipengele cha Kikaangoni Live.

Madee aliongeza kuwa licha ya Ney wa Mitego kumletea upinzani juu ya cheo chake cha Raisi wa Manzese lakini bado ataendelea kuwa Rais wa manzese kwa sababu dunia nzima inatambua kuwa Madee ndiyo Rais wa Manzese na kamwe haitakuja kujirudia maana hakuna uchaguzi mwingine uliofanyika na kamwe hautakuja fanyika hivyo yeye ndiye Rais wa manzese. "Madee Seneda ndio rais wa manzese na dunia yote inalijua ilo,vilevile uchaguzi mwengine haujafanyika na hautafanyika tena,so nitaendelea kuwa raisi wa Manzese"
Viewing all 104684 articles
Browse latest View live




Latest Images