Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104416 articles
Browse latest View live

Bongo Bovie Hakuna Wanaume Mashoga, Wote Marijali- Steve Nyerere

0
0
Mwenyekiti wa Bongo Movie Tanzania Steve Nyerere amefunguka na kuweka wazi kuwa katika Tasnia ya filamu Tanzania hakuna muigizaji wa kiume mwenye tabia za kishoga,Steve amesema hayo leo alipokuwa katika kipindi cha Power Jams

ya East Africa Radio leo alipokuwa akielezea changamoto alizokutana nazo wakati akichat Live kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV katika kipengele cha Kikaangoni Live kinachofanyika kila siku ya Jumatano kuanzia saa sita mchana.
Steve amewataka watanzania kuwa na uzalendo na kuthamini wasaniii wa nyumbani na kazi zao na sio kuwapakazia na kuwaharibia sifa zao kwa maneno machafu na kuwapakazia mambo yasiyokuwa na ukweli ndani yake,Steve alisema hayo pale alipokuwa akijibu swali la moja ya shabiki wa ukurasa wa Facebook wa EATV.

Habibu Mchange Akana Tuhuma za Kuhusika Kulipua Helkopta iliyombeba Myika na Slaa

0
0
Leo mchana katika mkutano wake na waandishi wa habari,Mchange amewashambulia waziwazi viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na maendeleo na kuwatuhumu kuhiska na mauaji ya aliyekua mbunge wa CHADEMA Tarime,marehemu Chacha Wangwe,kisha kumkana mtu aliyehusika na mauaji hayo Deus Mallya,wakati alikuwa mjumbe katika kamati iliyokuwa chini ya John Mnyika,na rafiki wa Mnyika lakini Mnyika kumkana hajawai hata kumuona.

Kisha kawataja Lissu,Mbowe na Slaa kuajiri vijana na kuwalipa kuwatesa vijana wanaoonyesha kuiunga mkono CCM katika kampeni mbalimbali za chama,hasa kwa kumwagia watu tindikali.

Pia amesema Lissu ni mbinafsi na fisadi aliyedhurumu fedha za miradi ya mazingira,na kujenga nyumba ya ghorofa Tegeta,Mbowe anahujumu mamilioni ya CHADEMA,na Slaa akihujumu fedha za chama kulipia mkopo wa NSSF.

Dawa Salama ya Kudhibiti Michepuko Hatimaye Yapatikana

0
0
Dunia ina mambo Kampuni moja ya nchini Japan imedai kufanikiwa kutengeneza midoli ya ngono ‘sex dolls’ yenye muonekano halisi wa mwanamke ambayo huwa na ngozi ya mwili kama ya binadamu na macho kama ya ukweli. Mdoli wa ngono Orient Industry imesema ni ngumu kuitofautisha midoli hiyo na msichana halisi pale unapoitazama kwa mara ya kwanza.

Midoli hiyo imepewa jina la ‘Dutch Wives’, na matangazo ya midoli hiyo yanasema kuwa iwapo mwanaume akifanya nayo mapenzi hawezi kumtamani mwanamke halisi tena. Bei ya midoli hiyo ni £1,000 ( zaidi ya shilingi milioni 2.7) kwa kila mmoja. Midoli hiyo imetengenezwa kwa kuweka viungo ambavyo vinamfanya mtumiaji kuigeuza katika
position atakayo.

CHANZO: Daily Mail

HATARI!! Diamond Aamua Kuwapa ''Makavu Live'' Team Wema Baada ya Wao Kumdiss.

0
0
Baada ya mashabiki wa mwanadada Wema "kumjia juu mwanamuziki Diamond Platnumz" kuhusu tuhuma za yeye kumtumia mwanadada huyu kimwili zaidi bila kumuendeleza, hatimaye raisi huyu wa kundi la WCB ameamua nay eye kufunguka haya mazito juu ya kauli hizo. Kupitia ukurasa wake wa mtandao ule maarufu wa kijamii Diamond ameandika haya..

 Nafkiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa Msanii wenu... kama mngemshauri apunguze Mashoga wapenda anasa na apunguze Stareh zisizo na Faida, wenda ingemsaidia Pesa kuzitumia kwenye kufanya kazi na kuleta maendeleo badala ya kuwapa viwanda vya pombe...

Mimi kama bwana, wajibu wangu ni kuhakikisha Mpenzi wangu anakula vizuri, anavaa vizuri, analala vizuri, na kumuwezesha mtaji wa kufanyia kazi. Waswahili wanasema Mchungaji bora anatakiwa kuhakikisha anampeleka Ng'ombe wake Kwenye Maji safi....ila yeye ng'ombe mwenyewe ndio anatakiwa aamue kunywa maji!!!!! Au mnataka nikishampa mtaji niache kufanya na show tena na kuigiza nimuigizie mie ???? Nisiende Studio nikae dukani nimuuzie mie????.. ni juhudi zako kwanza!... leo hii mimi Hata ningepewa Mamilioni ya mamilioni kama nisingekuwa na moyo wa mie mwenyewe kwanza kutaka kujituma na kupenda kufanya kazi yangu nisingefikia hapa nilipo!....Mxieeeeeeeew!"Diamond

Dallas Alikumbuka Penzi la Jackline Wolper….Aomba Warudiane

0
0
Yule zilipendwa wa sexy lady wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe aitwaye Ramadhan Abdallah Mtoro ‘Dallas’ anadaiwa kukumbuka shuka kukiwa kumeshakucha ikielezwa kwamba eti anabembeleza kurudiana na staa huyo waliyetengana takriban mwaka mmoja uliopita ili wakamilishe taratibu za kufunga pingu za masha.

Akizungumza na Amani  hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Lango la Jiji uliopo Magomeni, Dar, Dallas alisema kuwa anamshangaa Wolper kumkatalia ombi lake la kurudisha uhusiano wao wa kimapenzi huku akijua fika kuwa bado anampenda. “Nampenda sana Wolper. Pliz namuomba turudiane tu.

Ningejua kipindi kile nilivyorudi kutoka nje ningefunga naye ndoa kwani sasa hivi angekuwa ni mke wangu niliyechaguliwa na Mungu lakini ndiyo hataki,” alisema Dallas. Kwa upande wa Wolper alisema kuwa Dallas kwa sasa ni mshikaji wake tu na atabaki kuwa hivyo lakini kuhusiana na mapenzi, hakuna kitu kama hicho.


Nitasaidiana naye kwa kitu kingine lakini siyo mapenzi, kwa sasa niko na mtu wangu,” alisema Wolper. Kabla ya jahazi kwenda mrama, penzi la Wolper na Dallas lilitikisa mji huku kukiwa na maneno mengi ambayo yalimshinda mkali huyo wa filamu za Kibongo ambaye aliamua kuchukua hamsini zake.

Balaaa Ugonjwa Hatari wa Ebola Wasemekana Kuingia Dar , Wawili Wakutwa Nao

0
0

Ugonjwa Hatari wa Ebola umeingia nchini kufuatia watu wawili wanaodhaniwa kuwa na maambukizi yake kuwasili nchini.
Wagonjwa hao wamepelekwa katika kituo maalumu kwa ajili ya wagonjwa wa ugonjwa huo kilichopo Temeke jiji Dar es salaam.

Watu hao wawili walipatikana katika uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Baada ya Kuwasili kutoka sehemu tofauti , mmoja ni raia wa Benin na Mwingine ni Mtanzania.

Kisa cha Adam Mchomvu Kumuumbua Fid Q kwenye Interview Ni Nini?

0
0
Juzi wakati msanii Fareed Kubanda - Fid Q yuko ndani ya XXL ya Clouds fm anatambulisha ngoma yake mpya inaitwa Bongo Hip Hop, mtangazaji Adam Mchomvu amekuwa anambana na maswali sana kiasi cha Fid kumtolea uvivu kuwa "najua umeagizwa kuja kuni-harass kwenye interview yangu".
Adam alikuwa anambana sana na maswali ya kwa nini amerudia ngoma hii kutoka Tongwe Records aliyomshirikisha Juma Mohamed Mchopanga (Jay Moe) na kuirudia Bongo Records akimshirikisha P.Funk Majani?
Adam anaonekana kumind hii kitu kiasi cha kulazimisha kuipiga ngoma ile version ya mwanzo ya Tongwe baada ya hii version ya Bongo Recz kumalizika (ingawa kibishi sana maana B12 alikuwa anataka kubana. Ila kabla ya ngoma kuisha B12 akaikata na Adam anasikika akimind na kusema kesho atashusha mzigo mwingine.
Kilichonipa maswali hapa ni Je Adam ni ile loyalty yake ya kuwa Record Label kule Tongwe Records ama ana ubia kule Tongwe ndiyo sababu ya kuishupalia hii kitu namna hii? Hebu mwenye idea na hii kitu atujuze wadau.

Wamarekani Wamshukia Hasheem Thabeet Kwa Ukicheche

0
0

Jisomee mwenyewe madudu ya ndugu yetu. siyo wabongo, bali wamarekani wenyewe.

One BA reader dishes the tea on OKC Thunder player Hasheem Thabeet and his seemingly fairytale relationship with longtime girlfriend. Looks like things may not be as blissful as they seem. Read the Baller Mail below! 

"I believe it's time he be exposed before another girl makes this horrible mistake! Hasheem Thabeet of the OKC Thunder. Him and his girlfriend of nearly 5 years Bethany (@lovequeenbee or @waterbirthbee) just had a son Prince about 4 months ago. 

They are this little happy family and she acts like he's the perfect dad and boyfriend. Well not only does Hasheem have a 3 year old son whom he doesn't acknowledge with Meliqua (@melpillard) but he has a 9 month old son that he doesn't claim with Asha (@lolabvalentine). There are even rumors that there is another girl pregnant right now with his daughter! 

This man barely gets tick time on the court and obviously just uses his job to go city to city raw dogging any girl that will let him. He's a horrible father. His girlfriend wants to fit in with the other Thunder WAGs. But in reality she got pregnant while his 2nd bm was pregnant. And Meliqua and Asha are not the first 2 girls he got pregnant outside of his relationship, the others just aborted the kids. Maybe his girlfriend felt left out. 

I can't understand why any woman would lay down and risk having babies (or catching diseases) with this man, he barely makes 1 million dollars and his career will be ending soon.

I give Meliqua the most credit because at least she got popped when he was bringing in that #2 Draft pick check. The other chicks are just plain fools. Anyways ladies if his looks don't make you avoid opening your legs for him hopefully this info will."
I predict this will be another Baller crying broke over child support checks soon. Mark my words!

Irene Paul wa Bongo Movie Akiri Kuishi na Mwanaume Bila Ndoa

0
0
Angelina Jolie wa Bongo’ Irene Paul amekiri kuwa kwa sasa hajaolewa ila anaishi na mwanaume kwa kumpikia na kumpakulia.

Akiongea hivi karibuni, Irene ambaye mara nyingi ni mchoyo wa kuyaanika maisha yake ya kimapenzi alisema; “Sipendi watu wajue kuhusu maisha yangu nje ya sanaa. Kwa kifupi sijaolewa ila sitafuti mpenzi kwani nina mtu ambaye tuko siriasi zaidi.


“Naishi naye, nampikia na kumpakulia ila ndoa bado, nadhani kilichobaki ni hicho kufunga pingu za maisha.”

Gardner G. Habash Apangua Madai ya Kuachana na Mke wake Lady Jay Dee

0
0
Mtangazaji Maarufu Gardner G. Habash  Ambae pia ni Mume wa Mwanamuziki Lady Jay Dee Amezipangua Tuhuma ambazo zilienea Kwenye Mitandao Week iliyopita kuwa ndoa yao haipo tena, Gardner Amesema kuwa watu wanaunganisha unganisha matukio na kutunga yao ila si kweli kwamba wameachana...

Si mara ya kwanza kwa mastaa hao kudaiwa kutibuana kwani walisharipotiwa kutaka kutengana lakini mara nyingi huwa wanakaa chini na kuyamaliza kimyakimya.

Wema Sepetu Afunguka 'Namchukua Halima Kimwana Mpaka Basi'

0
0
Na Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
Wema Sepetu a.k.a Beautiful Onyinye amekula kiapo cha kumchukia dada wa hiyari wa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’, Halima Kimwana ambaye wamekuwa na bifu kwa kipindi kirefu huku sababu zikiwa hazijulikani.

Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Wema alisema ugomvi wake na Halima Kimwana hautaisha na siku zote atamuonyesha chuki za wazi sababu hana upendo naye hata kidogo.

“Kusema kweli yule dada namchukia mpaka basi, simpendi na sitompenda kamwe, haitatokea hata siku moja kwenye maisha yangu nikapatana naye, yaani suala la kupatana mimi na yeye halipo kabisa, hata yeye mwenyewe anajua simpendi maana damu zetu zimekataana, siwezi hata kuonyesha upendo wa maigizo kwake,” alisema Wema.
GPL

Kikwete Asema Uraia Pacha Kwa Sasa ni Ndoto

0
0
Dar/Dodoma. Rais Jakaya Kikwete amesema suala la uraia wa nchi mbili linaonekana kutokuwa na nguvu kwa sasa kutokana na kutojitokeza katika Tume ya Mabadiliko ya Katiba, hivyo kutoingia katika Rasimu ya Katiba inayojadiliwa sasa bungeni.

Kauli ya Rais Kikwete imekuja wakati suala hilo likionekana kuwagawa wajumbe katika Kamati za Bunge Maalumu, kutokana na kuwapo kwa mapendekezo kwamba suala uraia pacha liingizwe kwenye rasimu hata kama halikuwekwa na Tume.

Juzi, suala hilo liliwagawa wajumbe wa Kamati Namba mbili inayoongozwa na Waziri Kiongozi mstaafu wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha na kusababisha ibara hiyo kukosa theluthi mbili ya kura kutoka pande zote za muungano.

Akizungumza katika kongamano maalumu linalowakutanisha Watanzania waishio nje ya nchi Dar es Salaam jana, Rais Kikwete alisema suala hilo limekosa wasemaji wanaoguswa moja kwa moja ambao wangeweza kulitetea, hivyo kutokuwa miongoni mwa vipaumbele katika rasimu hiyo.

“Msijipe matumaini kwa sababu kwa namna ilivyoandikwa kwenye Rasimu ya Katiba, haiwezi kuzaa uraia wa nchi mbili, bali inaweza kutoa stahiki ya fursa wanazoweza kupata Watanzania waishio nje ya nchi, kupitia sheria,” alisema.

Kongamano hilo la kwanza la siku mbili linawakutanisha Watanzania waishio katika nchi 17 duniani, lililoandaliwa na Asasi ya Tanzania Diaspora Initiative (TDI).

Rais Kikwete alisema Serikali yake inafahamu umuhimu wa kupatikana kwa uraia pacha kwa watu wake lakini suala la uraia ni la kikatiba na siyo la Rais kwa kuwa Katiba ndiyo inayoamua.

Alisema hata chama chake (CCM), kilipojaribu kuliingiza lilionekana kutokuwa na nguvu ya kutosha kwa kuwa hakuna ambaye lilikuwa likimgusa moja kwa moja.

Aliwashauri kuwatumia wajumbe katika Bunge linaloendelea mjini Dodoma ili wapaze sauti zao na ikiwezekana watumie fursa zote za mawasiliano kufikisha ujumbe wao.

“Sisi upande wa Serikali tunaliona ni suala jema, ila halina nguvu kwa sababu wabunge wengi haliwagusi moja kwa moja, hivyo si rahisi kulipigania. Mbona nchi nyingine watu wao wananufaika na hili! Kwa nini hapa kwetu lishindikane?” alihoji.

Ndani ya kamati

Habari kutoka ndani ya kamati zinasema wajumbe wamegawanyika kuhusu suala hilo na wengine wameshindwa kufikia mwafaka kama ilivyotokea katika Kamati namba 11 inayoongozwa na Mbunge wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango Malecela.

Mwandishi wetu alidokezwa kuwa kulikuwa na mvutano mkali kuhusu pendekezo la kuanzishwa kwa uraia pacha na hadi sasa uamuzi wa kura bado haujafanyika kuhusu suala hilo na wajumbe wa Kamati namba tano inayoongozwa na Hamad Rashid Mohamed walikubaliana kwa kauli moja kuongeza ibara inayoruhusu kuanzishwa kwa uraia pacha.

Itakumbukwa kuwa suala hilo ndilo lilizua mvutano mkali baina ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsi na Watoto, Sophia Simba kiasi cha kutoleana maneno makali wakati wakilijadili kwenye Kamati namba 6 inayoongozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wasira.

Wakatazwa Kuingia Kwenye Ndege, Kisa HIV

0
0
Abiria wawili wa china waliokuwa wakisafiri na ndege ya shirika la ndege la China (China Airline), wameamua kulipeleka shirika hilo mahakamani kwa kile walichokieleza kuwazuia kusafiri na shirika hilo eti tu kwasababu walikua wanaishi na virusi vya ukimwi HIV.
Hata hivyo inaelezwa kwamba abiria hao si mara ya kwanza kusafiri na China Airline kutoka kaskazini mwa mji wa Shenyang katika kipindi cha machipuko ,wakati huu sasa shirika hilo la ndege lilipoamua kughairisha safari za abiria hao.
Masharti ambayo abiria hao wameyatoa Kufuatia kughairishwa kwa safari hiyo,shirika hilo la ndege litalazimika kuomba radhi na kulipa fidia ya dola za kimarekani elfu nane .Mahakama katika mji wa Shenyang imeipokea na kukubali kesi hiyo ya kwanza na ya kipekee nchini China.
Viongozi wa serikali kutoka China wamesema kua wamejitahidi kujaribu kupunguza historia ya muda mrefu ya unyanyapaa kwa wanaoishi na virusi vya HIV na ukimwi.

Babu Tale Azungumzia Inayoitwa beef ya Diamond na Ali Kiba, Aifananisha na ya Davido na Wizkid

0
0
Meneja wa Diamond, Babu Tale amezungumzia kile kile kinachoelezwa kuwa ni beef kali ama ushindani mkubwa kati ya Diamond na Ali Kiba, moja kati ya mada ambazo zinatengeneza mijadal mingi sana kwenye mitandao ya kijamii.

Akizungumza kupitia kipindi cha Sunrise cha 100.5 Times Fm na Fadhili Haule, Babu Tale amejibu swali la msikilizaji aliyetaka kufahamu mtazamo wake kuhusu uwepo wa beef kati ya wasanii hao wawili.

“Mimi sidhani kama Diamond na Ali Kiba wana beef, ni biashara…challenging. Sijawahi kuona wanagombana katika maisha yangu. Watu wanaoandika nyuma wanaandika kwa sababu wanaamua kuandika lakini mwisho wa siku Diamond na Ali Kiba wote ni wanamuziki. Without challenge Diamond hawezi kuendelea au Ali Kiba hawezi kuendelea.” Amesema Babu Tale.

Ameeleza kuwa hiyo kwake anaona challenge hiyo ni nzuri kibiashara na sio tatizo na kwamba likionekana ni tatizo watalitatua.

“Kama unamfollow Davido na Wizkid. Kila anapopost Wizkid kwamba hapa nafanya show hivi, Davido nae anamjibu kuwa angalia watu wamejaa huku hivi. Ni biashara. Ugomvi wanagombania nini? Ali Kiba anakula kwale ana maisha yake, Diamond anakula kwake na ana maisha yake.” Ameongeza Babu Tale.

Alipoulizwa kuhusu ujio wa Ali Kiba kuchukuliwa kama ndio sehemu ya mapinduzi dhidi ya utawala wa Diamond, Babu Tale aliipinga kauli hiyo.

“Huwezi kusema Ali Kiba anakuja, Ali Kiba yupo na alikuwepo. Huwezi kumuambia anakuja unamdhalilisha, Ali Kiba yupo alikuwepo na ana uwezo wake. Anafahamu base yake. Huwezi kumwambia anakuja, anakuja ni msanii mpya…Raymond wa Tip Top anakuja sio Ali Kiba. Usiwe na mind kuwa Ali Kiba hayupo kwenye Game, yupo.”

Ameongeza kuwa hajafirikia kuhusu suala la Ali Kiba kumpindua Diamond.

Mapya kuhusu Ndege ya Malaysia iliyopotea, Ripoti Ya Benki Zinaonesha Abiria Wameendelea Kuchukua Pesa

0
0
Ndege ya Malaysia Flight MH 370 iliyopotea miezi mitano iliyopita imerudi tena kwenye vichwa vya habari ikiwa na ripoti za kushangaza.

Ripoiti ya benki ya Kuala Lumpur, Malaysia inaoensha kuwa akaunti za abiria wanne wa ndege hiyo zimechukuliwa pesa July 18 mwaka huu fedha ambazo zitajwa kuwa zaidi ya £20,000.

Msaidizi wa mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai Malaysia, Izany Abdul Ghany ameiambia Mirror kuwa wanaendelea kufanya uchunguzi kufahamu jinsi ambavyo pesa hizo zilivyopotea.

 “We are investigating the case as unauthorised access with intent to commit an offence,We are getting CCTV footage from the bank to identify the suspects involved.”

Ameeleza kuwa pesa hizo zilitolewa katika akaunti ya abiria watatu na kuwekwa katika akauti ya abiria wanne kabla ya kutolewa kabisa.

Ndege ya Malaysia ilipotea March 8, 2014 ikiwa imebeba wafanyakazi 12 na abiria 227 kutoka katika mataifa mbalimbali na bado haijapatikana huku maafisa wakitangaza kuwa watu wote waliokuwa kwenye ndege hiyo wamepoteza maisha.

H.Baba: Diamond Muoe Wema Muishi Kwa ‘Raha Mustarehe’

0
0
Msanii wa muziki na filamu H.Baba ambaye yupo ndani ya ndoa na msanii mwenzake Flora Mvungi ametoa maoni yake kwa kile kinachooendelea kati ya pande mbili za kishabiki za Diamond na mpenzi wake Wema.

Kupitia ukurasa Instagram, H.Baba amesema:

Tanzaniteone uyo anawaambia sina chakusema kuhusu baba yangu na mama yangu ila baba analolakuwaambia Wema na Naseeb. Wema kapewa lawama nyingi ila asilaumiwe kwasababu kuu nyingi tu anaeweza kumuongoza Wema ni Naseeb au mama Wema na Martin, upande mwingine Wema na Daimond wanamakosa kwani wanasubiri nini kuowana kama Kweli wanapendana wangefunga ndoa yaya yote yasingetokea kusaidiana kazini ipo ata mie huwanapanda na Mama Tanzaniteone kwenye show zangu pia filamu ya wife nashiriki. ushauri wangu Diamond unaweza kumuongoza Wema vyema tuu kama mimi ninavyomuongoza Mama Tanzaniteone ninaimani unaweza kumuongoza vyema zaidi yetu sisi. Wawili wakipendana kuingilia penzi ni inshu ila wanapendezana sana chamsingi wangesaidiana kwenye kazi zaidi kama wema anavyoonekana akitoa #saport kubwa kwa #NASEEB na naseeb aonyeshe ushirikiano kwenye mov za wema awepo pia watauza sana kama tunavyouza filamu zetu Mie namamatanzaniteone Ikitoka leo inaisha fasta.

Pia amuongoze kwenye kipindi cha WEMA SHOW mnasaidiana kwelii ata maadui wataogopa #diamond anaweza kumpandisha wema na wema anaweza kumpandisha #daimond wote mnanguvu sana mnamashabiki sana #owaneni mtulie tuuu kwani nn mnakosa mbona sisi tupo tunaishi vyema kwa uwezo wa mungu kazi tunapata mtoto tunamlea vyema hatujalala Njaa kwasababu mwanaume kazini mwanamke kazini #NDOA raha sana asikudanganye mtu unaheshimika popote palee kama #Mume wa mtu na #mke wa mtu #Muda ndo huu umriii uwoo unakwenda fanyeni yenu fasta #leo juu kesho chini #tunawapenda sana tunawatakia maisha mema yenye Furaha kama sisi apa tunafuraha Muda wote? Karibuni kwenye ndoa muone rahaaa..

Diamond Amepanic Kuwajibu Mashabiki wa Wema, Majibu Yake Yanaweza Tia Doa Mapenzi Yao

0
0
Leo Diamond Aliamua Kuwajibu Mashabiki wa Wema Sepetu walio mshutumu anamtumia Wema Kwa Faida yake
Bahati mbaya, majibu ya Diamond kupitia Instagram yamekuwa makali kiasi cha kuwashtua wengi na kuona kama kamkosea heshima mpenzi wake. Kwakuwa sitaki kuonekana kama namhukumu Diamond kwa kile alichoandika, ningependa kuongea kwa lugha ya busara kadri iwezekanavyo, na isitoshe nimegusia suala la ‘udhaifu’ na ‘ubinadamu’ katika aya zangu za mwanzo.

Diamond ametumia kauli nzito na ya hasira kidogo katika kuwajibu vinara wa kampeni hiyo. Si jambo la busara kumuita mtu umpendaye kwa kuandika ‘msanii wenu’ baada ya jina lake, pale alipoanza kwa kuandika: Nafikiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa ‘Msanii wenu’. Ingekuwa vyema kama angeandika; Nafikiri ningewaona kweli Mnaakili na Mapenzi ya dhati kwa ‘Wema Sepetu’. Again, hizo ni hasira tu na ndio maana aliamua kuifuta post hiyo.

Kwa maelezo aliyoyatoa staa huyo, imebainika wazi kuwa ni Wema ndiye aliyeamua kuishi hivyo na pengine ameridhika na hatua aliyofikia. Inavyoonekana Diamond hapendwezi na muenendo na maisha ya mpenzi wake hasa kwa kudai anaendekeza urafiki na watu wanaopenda anasa na kula bata.

Mngemshauri apunguze mashoga wapenda anasa na apunguze starehe zisizo na faida, wenda ingemsaidia pesa kuzitumia kwenye kufanya kazi na kuleta maendeleo badala ya kuwapa viwanda vya pombe,” yanaendelea kusomeka majibu ya Diamond. Maelezo hayo yanaeleweka wazi kuwa Wema amekuwa ni mtu wa starehe na kula raha na marafiki zake (Aunty Ezekiel haikwepi hii sentensi, inamhusu). Kwa kauli ya Diamond, Wema anaonekana kuendekeza ulevi kwa kutumia fedha anayopewa na mchumba wake.

Mimi kama bwana, wajibu wangu ni kuhakikisha mpenzi wangu anakula vizuri, anavaa vizuri, analala vizuri, na kumwezesha mtaji wa kufanyia kazi.”

Sentesi hiyo inamaanisha kuwa, Diamond anatimiza wajibu wake na tayari amempa mtaji mpenzi wake. Kuna taarifa pia kuwa hata filamu yake ya Family aliyoigiza na Aunty Ezekiel ilidhaminiwa na Diamond.

Waswahili wanasema mchungaji bora anatakiwa kuhakikisha anampeleka ng’ombe wake kwenye maji safi, ila yeye ng’ombe mwenyewe ndio anatakiwa aamue kunywa maji,” anaendelea Diamond. “Au mnataka nikishampa mtaji niache kufanya na show tena na kuigiza nimuigizie mie ? Nisiende studio nikae dukani nimuuzie mie? Ni juhudi zako kwanza.”

Maneno ya Diamond yanajielezea yenyewe kuwa Wema amejisahau. Maswali ya wengi ni kuwa wao kama wapenzi hawajawahi kuzungumza haya na kushauriana? Diamond hajawahi kumkanya mpenzi wake kuwa mwenendo wake sio? Au ameshamuambia hadi amechoka na ndio maana ameamua kuuambia umma kile kinachoendelea?

Kwa lawama na matusi ambayo Diamond ameyapata kutokana na kampeni hiyo, ilikuwa inahitaji uvumilivu wa hali ya juu kukaa kimya. Nahisi uvumilivu ulimshinda na ndio maana aliamua kuandika alichokiandika ambacho bahati mbaya kinaweza kutia tena doa uhusiano wao. Sijui Wema atasemaje!!

Nashangaa Mnamsifia Masogange, Kwa Umbo Langu Huyo Masogange Wenu Atasubiri Sana

0
0
Admin
Nashangaa mnamsifia sana masogange kwa Makalio Mazuri nakwambia ukweli yaaani huyo Masogange wenu atasubiri sana kwangu check hiyo picha moja ya Trailer tu nyingine ntakutumia kesho ujionee,,,Wengine tumetulia tu hajisifiii ila ni moto wa kuotea mbali
-Janice

Shilole Afunguka Sababu za Kurudiana na Mziwanda Baada ya Kuachana kwa Siku Moja

0
0
Shilole alisema mpenzi wake huyo aligundua kwamba aliteswa na wivu na kusababisha wagombane hivyo alipotambua kosa lake, aliomba msamaha wakarudiana na mambo yakawa swari.

“Kikubwa ni kwamba ameomba msamaha ndiyo maana na mimi sikuwa na hiyana, nikapatana naye siku chache tu baada ya kugombana,” alisema Shilole.Hivi karibuni wawili hao waliripotiwa kuwa wamegombana na kila mtu kuchukua hamsini zake.

Lady Jay Dee Awakata Wambea Midomo Kupitia Page yake ya Instagram

0
0
Kama mnavyojua kwasiku mbili tatu hizi kumekuwa na taarifa mbalimbali kupitia blogu hizi za udau na hata SOSHO MEDIA kupitia AKAUNTI za wadaku ikiwemo mimi…kuwa Komando Lady Jaydee ametengana na mumewe Gadner G Abash...Haya sasa Lady Jay Dee Ametukata Midomo kwa Kuweka Picha ya Vidole vyake huku vikiwa bado na Pete ya Ndoa .....Na kuandika "Kucha zimekosa rangi ya Oriflame tu, ili zing'ae zaidi ya hapo"
Viewing all 104416 articles
Browse latest View live




Latest Images