Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104414 articles
Browse latest View live

Spika Ndugai: Mbowe Atumii Gari la Bunge Kutokana na Dereva Wake Kustaafu

0
0
Spika Ndugai: Mbowe Atumii Gari la Bunge Kutokana na Dereva Wake Kustaafu
Spika wa Bunge, Job Ndugai ametoa sababu za kiongozi wa upinzani bungeni kutokuwa na gari lake linalohudumiwa na Bunge kuwa ni kutokana na dereva wake kustaafu.

Spika Ndugai amesema dereva wa gari hilo alistaafu katika kipindi cha Bunge la Tisa lakini aliendelea kuwa na mkataba kwa vipindi vyote hivyo sasa Bunge limeona umri wake umekuwa mkubwa zaidi.

Ndugai ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Aprili 17 wakati anatolewa ufafanuzi wa mwongozo ulioombwa April 12 na Mbunge Ukonga(Chadema),  Mwita Waitara kuhusu watumishi wa upinzani walioondolewa.

Spika Ndugai amekiri kuwa hawapo baada ya kumaliza muda wao wa mkataba tangu Desemba mwaka jana na akasema kwa sasa wanaendelea kutazama na watalizungumza kwani linahitaji mjadala mpana hivyo akaomba upinzani wasigomee kusoma hotuba za upinzani.

Kiongozi huyo amesema mbali na watumishi wanne wa upinzani, lakini Bunge limewafungashia virago watumishi watano wa upande wa CCM hivyo nao hawana watendaji hadi Bunge litakapoamua vinginevyo kutokana na mambo ya kiusalama.

Viwanja vya Makazi Vinauzwa Bunju Bei Rahis

0
0

Plots for sale: BUNJU
Viwanja vipo Kimele, km 5 kutoka Bunju sokoni na km 3 kutoka main Road (Bunju to Bagamoyo road).
vipo viwanja ukubwa wa 20/30, 20/40, 35/40 na 60/40 na bei zake ni mil 7, 9, 15 na 25 respectively. Bei zote ni negotiable.
call/watsap 0757489709

Okoa Ndoa yako Sasa...Umepungukiwa na Nguvu za Kiume na Unashindwa Kupanda Mlima Vizuri

0
0
OKOA NDOA YAKO SASA : JE UMEPUNGUKIWA NA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO AU MPENZI WAKO HAKUTIMIZII UTAKACHO:


Acha kujiona mpweke pale ukutanapo na mpenzi au mke wako kwa sababu ya kutokuwa na nguvu za kiume au Uume wako mdogo

Dawa YA MAPRO POWERA ndio dawa sahihi na tiba tosha kwa sasa Kutibu tatizo na kuponesha kabisa tatizo LA KUWAI KUFIKA KILELENI KABLA MWENZI WAKO BADO AJAKOJOA

KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA NA MWILI KUCHOKA

UUME KUSINYAA NA KUWA LEGELEGE

KUUMWA NA TUMBO WAKATI UNAPOMALIZA KUFANYA TENDO

Dawa hii utumiwa ata na wazee wenye umri mkubwa na haina madhara yoyote

MAKAKANUA HII NI dawa ya maumbili madogo urefusha na kunenepesha saizi upendayo saiz 5-6-7-8 na unene sm 3-4-5 kwa mini huabiki kwa kuwa na UUME mdogo wai sasa upate tiba sahihi kabisa na ni tofauti na ulizowai kutumia :

Tunarudisha mke au mpenzi ndani ya masaa matatu tu zipo dawa za presha kisukali vidonda vya tumbo korodani iliyovimba dawa za uzazi tunapunguza matiti makubwa kitambi na mwili mkubwa dawa zipo FIKA OFISINI KWANGU MBAGALA ZAKHEMU KWA WATEJA AMBAO AMTAKUWA NA NAFASI YA KUJA OFISINI AU MLIO MKOANI MTALETEWA p

Piga simu 0743362017 au 0789234653

DR AGU

Video: Hivi Ndivyo Alikiba Ametoa Majibu ya Harusi Yake kwa Kijaluo

0
0
Hivi Ndivyo Alikiba Ametoa Majibu ya Harusi Yake kwa Kijaluo
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba amechukua headlines kupitia short video clips katika mtandao wa instagram baada ya kuoneka akizungumza lafudhi ya Kijaluo na wengi kujiuliza je Ali Kiba ataoa upande wa Kenya kutokana na tetesi zinazoendelea mitandaoni kuwa Ali Kiba anakaribia kuoa?
 

Donald Ngoma Afunguka Mazito Yanga

0
0
Donald Ngoma Afunguka Mazito Yanga
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Yanga Donald Ngoma amefunguka mengi baada ya kipindi kirefu kupita akiwa kimya na mengi kuzungumzwa wakati akiwa nje ya uwanja kwa takribani nusu msimu kutokana na maumivu ya goti.


Akiongea kupitia mahoajiano na mtandao wa klabu hiyo Ngoma ameeleza jinsi ambavyo alikuwa anapata ugumu kuona mashabiki wanaongea vitu tofauti na uhalisia wakati yeye alikuwa akipata matibabu ili aweze kurejea na kucheza vyema.

''Wakati mwingine ni vigumu kujua vipi mtu mwingine anaamini kwenye hali uliyonayo, kwenye soka upo wakati mgumu mchezaji unaweza kuupitia'', hiyo ni sehemu tu ya machache ambayo Donald Ngoma ameyasema kupitia mahojiano hayo.

Ngoma ambaye ni raia wa Zimbabwe amekuwa akituhumiwa na mashabiki kuwa hana uzalendo na timu hiyo na amekuwa akitumia njia ya kuumwa kama sababu ya kutocheza wakati ni mzima kabisa.

Ngoma amerejea hivi karibuni baada ya daktari wa timu ya Yanga Edward Bavu kujiridhisha na hali ya goti la nyota huyo hivyo kumpa ruhusa ya kuanza kucheza baada ya kuwa nje tangu mwaka jana. Mahojiano kamili yanapatikana kwenye mtandao wa Yangatv.

Video ya Mobetto na Daimond Wakifanya yao Kitandani Yamtoa Povu Tunda Amtupia Dongo Hili Mobetto

0
0
Video ya Mobetto na Daimond Wakifanya yao Kitandani Yamtoa Povu Tunda Amtupia Dongo Hili Mobetto
Video vixen maarufu Tunda Sebastian amerudi tena Kwenye headlines baada ya kumtupia Dongo Zito hasimu wake namba moja Hamisa Mobetto baada ya video zake za chumbani na Diamond kuvuja mtandaoni.

Usiku wa jana Diamond na Hamisa walizua gumzo baada ya kuonekana pamoja chumbani wakiwa wanakumbatiana kwenye mahaba mazito jambo lililozua gumzo kuwa wamerudiana.

Lakini muda mfupi baada ya Hamisa kuonekana na Diamond video zilizomuonyesha Diamond na demu wa kizungu wakila Madenda nazo zilivuja mtandaoni jambo lililowachanganya watu wengi kuona Diamond na wanawake wawili tofauti katika usiku mmoja.

Kama utakumbuka Tunda na Hamisa wameshawahi kuwa na bifu siku za nyuma huku ikiaminika kuwa walikuwa wanamgombania Diamond kwani wote wawili wameshahusishwa kuwa na Mahusiano na Diamond.

Tunda ameibuka na kumpa Dongo Zito Hamisa baada ya video zake na Diamond kusambaa mtandaoni ambapo amedai kuwa anamuonea huruma Hamisa maana amedhalilishwa na mwanaume ambaye ni wazi kabisa kuwa hamtaki.

Uamuzi Kesi ya Vigogo Chadema May 15

0
0
Uamuzi Kesi ya Vigogo Chadema May 15
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inatarajia May 15,2018 kutoa uamuzi wa kesi ya kufanya maandamano/mkusanyiko usio halali inayowakabili viongozi 9 wa CHADEMA akiwemo Freeman Mbowe kama iende Mahakama Kuu ama lah.

Hatua hiyo inatokana na mvutano wa hoja za kisheria zilizotolewa jana na Wakili wa utetezi, Peter Kibatala kisha kujibiwa leo na Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.

Katika majibu yake Wakili Nchimbi ameiomba mahakama hiyo kutupilia mbali hoja za utetezi zilizotolewa na Kibatala kwa sababu zitapelekea ucheleweshaji wa shauri hilo pasipokuwa na sababu za msingi.

Nchimbi amedai kuwa katika mazingira ya mwenendo wa kesi hiyo toka ilipoanza hadi leo hakuna swali lolote la msingi lililoibuliwa na upande wa utetezi ambalo linajikita na uvunjifu ama ukiukwaji wa haki ya kikatiba.

“Nasema hivyo kwa sababu ukiangalia msingi wa hoja zilizowasilishwa na upande wa utetezi jana zimejikita katika mashtaka yanayowakabili washtakiwa” -Nchimbi

Alibainisha kuwa ukiangalia mlolongo wa hati ya mashtaka ni hati ambayo washtakiwa wamesomewa mashtaka zaidi ya mara moja ama mbili ikiwamo jana na washtakiwa waliyasikia mashtaka, wakayaelewa ndiyo maana wakaenda mbele wakayakanusha.

“Kama kweli washtakiwa waliona mashtaka haya siyo halali, hati ya mashtaka ilitolewa mapema hoja zilizowasilishwa na upande wa utetezi zingewasilishwa kabla washtakiwa hao hawaja enterpre,” -Nchimbi.

Nchimbi amedai kuwa washtakiwa wamefunguliwa kesi ya jinai wakati walikuwa katika mkutano halali wa kampeni ya uchaguzi mdogo na kwamba kuwafungulia mashtaka hayo ni uvunjifu wa haki ya kikatiba, alisisitiza kuwa ni rai ya upande wa mashtaka kwamba yote yaliyoongelewa na upande wa utetezi hayawezi kuitwa ni maswali ya kikatiba ambayo yangeilazimu mahakama kupeleka kesi hiyo Mahakama Kuu.

“Hakuna suala la kikatiba hapa na ukiendelea kufuatilia hoja za utetezi hawajashambulia vifungu vya kisheria vilivyotumika kuwashtaki washtakiwa hao, hivyo hoja zao hazina mashiko.” -Nchimbi

Baada ya kutolewa kwa hoja hizo,Wakili Kibatala aliiaambia mahakama kuwa mchakato wa kijinai ni mchakato mtakatifu ambao haukukusudiwa kuwashtaki watu ambao wanatekeleza majukumu yao kikatiba.

Kibatala alisisitiza kuiambia mahakama kuwa wanataka kwenda Mahakama Kuu ili kupata tafsiri ya je ni kweli mtu akiwa anatekeleza majukumu yake ya kikatiba ashtakiwe kijinai.

Baada ya kusikiliza hoja hizo, Hakimu Mashauri ameahirisha kesi hiyo hadi May 15,2018 kwa ajili ya kutoa uamuzi kama kesi hiyo iende Mahakama Kuu ama lah.

Mbali na Mbowe, washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalimu na Naibu katibu Mkuu bara na Mbunge wa kibamba John Mnyika.

Mbunge wa Tarime mjini Esterher Matiko, Katibu wa chama hicho Dk  Vicenti  Mashinji, Mbunge wa Kawe Halima Mdee, mbunge wa Tarime vijijini, John Heche na mbunge wa bunda, Ester Bulaya.

Washtakiwa hao wanakabiliwa na jumla ya mashtaka 12 katika kesi ya jinai namba 112 ya mwaka 2018 ikiwamo kula njama, kufanya mkusanyiko usio halali kinyume cha sheria na kuendelea kufanya mkusanyiko usio halali ama maandamano yaliyosababisha kifo cha Akwilina.

Kamanda Mambosasa: Daimond Ameshahojiwa na Aachiwa kwa Dhamana

0
0
Kamanda Mambosasa: Daimond Ameshahojiwa na Aachiwa kwa Dhamana
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz jana Jumatatu Aprili 16 alishikiliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano kufuatia kusambaza picha zisizo na maadili.

Mambosasa ameiambia MCL Digital leo Jumanne Aprili 17 kuwa Diamond alihojiwa na kupewa dhamana jana Jumatatu huku uchunguzi zaidi ukiwa unaendelea na utakapokamilika ataitwa tena polisi.

“Alihojiwa jana na akapewa dhamana, upelelezi unaendelea,” amesema Mambosasa.

Leo katika kipindi cha maswali na majibu bungeni, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amesema polisi inamshikilia msanii huyo na Nandy ambao kwa nyakati tofauti wanadaiwa kusambaza picha sisizo na maadili kwenye mtandao.

Wasanii hao wanadaiwa kusambaza picha hizo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Yatangaza Neema kwa Wanafunzi

0
0
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Yatangaza Neema kwa Wanafunzi
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema inatarajia kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2018/19 kuanzia wiki ya kwanza ya mwezi Mei baada ya kukamilishwa kwa maboresho makubwa ya mfumo wa uombaji kwa njia ya mtandao.


Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-Razaq Badru wakati akizungumza na waandishi wa habari leo na kusema kuwa maombi yote yatapokelewa kwa njia ya mtandao ambao umefanyiwa maboresho na Kituo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UCC-UDSM).

Aidha, Badru amesema dirisha hilo la litafunguliwa sambamba na kutangazwa kwa mwongozo wa kina utakaotoa utaratibu wa kuwasilisha maombi, tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi, sifa na vigezo vitakavyotumika katika kuchambua na kutoa mikopo kwa mwaka ujao wa masomo unaotarajiwa kuanza mwezi Oktoba, 2018.

"Tunawasihi wale wote wanaotarajia kuomba mkopo wa elimu ya juu kusoma kwa makini mwongozo tutakao utoa kwa vyombo vya habari na tovuti mwanzoni mwa mwezi Mei, 2018 na kuuzingatia. Mwaka jana, kwa mfano, zaidi ya waombaji 10,027 kati ya waombaji zaidi ya 61,000 hawakuambatisha nyaraka muhimu kama vyeti vya kuzaliwa au hata vile vya vifo vilivyothibitishwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama tulivyoelekeza", amesema Badru.

Pamoja na hayo, Badru amesema Nyaraka muhimu ambazo waombaji mikopo wanapaswa kuziandaa ni pamoja na nakala za vyeti vya kitaaluma za kidato cha nne, sita na stashahada ambazo zimethibitishwa na Kamishna wa Viapo yaani Wakili au Hakimu.

Kwa upande mwingine, Badru amesema mwaka huu maafisa wa Bodi ya Mikopo watatembelea mikoa mbalimbali ili kukutana na waombaji mikopo kwa lengo la kuwaelimisha waombaji mikopo kuhusu taratibu sahihi za kuwasilisha maombi yao ya mikopo kwa njia ya mtandao. Ratiba na maeneo itakapofanyia mikutano hiyo itatangazwa mwanzoni mwa mwezi Mei, 2018.

Baba Ashtakiwa kwa Kumtupa Mwanawe Kutoka Juu ya Paa la Nyumba

0
0
 Baba Ashtakiwa kwa Kumtupa Mwanawe Kutoka Juu ya Paa la Nyumba
Raia mmoja wa taifa la Afrika Kusini ameshtakiwa mahakamani kwa unyanyasaji wa mtoto baada ya kumtupa mtoto wake wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja kutoka juu ya paa la nyumba yake wiki iliopita.

Mashtaka yake yalipunguzwa kutoka kwa jaribio la kutaka kuua , kulingana na mwandishi mmoja wa shirika la habari la eNCA aliyetuma ujumbe wa Twitter.

Mtu huyo mwenye umri wa miaka 38 alichukuliwa katika kanda ya video akimrusha mtoto huyo wakati wa maandamano dhidi ya uvunjanji wa mitaa ya mabanda katika mji wa pwani wa Port Elizabeth.

Polisi walikuwa wakivunja vibanda 150 katika makaazi ya Joe Slovo ambayo wanasema yalijengwa katika ardhi iliokaliwa kinyume na sheria.

Mtu huyo ambaye nyumba yake ndio iliokuwa haijavunjwa , alisaidiwa kupanda juu ya paa na mwanamke aliyeripotiwa kuwa mama wa mtoto huyo.

Alikuwa juu ya paa hilo kwa takriban dakika tano kabla ya kumtupa huku wakaazi wengine wakipiga kelele ''mtupe, mtupe, mtupe'' kulingana na jarida la Herald.

Mtu huyo ambaye bado hajaulizwa kujitetea amewekwa kizuizini

Je Unasumbuliwa na Tatizo la Kukosa Hamu na Kufika Kileleni na Maumbile Madogo? Muone Huyu

0
0
JE, UMESUMBUKA KUTAFUTA SULUHISHO LA👇👇 
☆Kukosa hamu ya tendo.
☆Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kurudia tendo.
☆Maumbile madogo ya uume.
☆Kuchoka sana wakati wa tendo na uume kusinyaa  nk?
      @markson_beauty_pr tumeandaa tiba bora kabisa kama ifuatavyo:-
1.HANDSOME UP ORIGINAL_ Inaongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli (wiki 2) @250,000/=
2.SHARK POWER GELY_ Inaongeza uume inch 6 (wiki 4) @150,000/=
3VigRX  CREAM_ Inaongeza uume inch 6.5 hadi 8 (wiki 2-3) @200,000/= 
4.Vidonge maalum vya kuongeza nguvu na hamu ya tendo hata kwa wenye kisukari na BP @150,000/=
5. MAXMAN 2-Hii ni vidonge vinavyoongeza nguvu za kiume pamoja na uume @250,000/=
6.VIGA SPRAY OG_ Inaongeza uwezo ktk tendo na kuchelewesha kufika kileleni @150,000/
        NB:Hakikisha unapata risiti yenye muhuri na garantii ili kukuhakikishia ubora na usalama wa bidhaa za
 MARKSON BEAUTY LTD

    Wasiliana nasi Popote
  ulipo duniani kwa (+255)
          0767447444  au
             0714335378
👉🏻Google search:- Markson Beauty

        

Viongozi wa Chadema Wakamatwa na Polisi

0
0
Viongozi wa Chadema Wakamatwa na Polisi
Viongozi wawili wa Baraza la la Wazee Taifa la CHADEMA, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro usiku wa kuamkia leo Aprili 17, 2018 ambapo mpaka sasa haijafahamika kusudio la kukamatwa kwao.


Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje Chadema, John Mrema wakati alipokuwa anazungumza na mwandishi wa habari hizi na kuwataja viongozi hao waliokamatwa kuwa ni dereva Proaches Urassa na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Jimbo la Morogoro Kusini Mzee Daniel Banzi.

"Jambo la kusikitisha ni kuwa jana usiku Polisi walivamia walikokuwa wamelala Viongozi na kuwakamata baadhi yao ambao walikuwa kwenye ziara ya kukutana na wazee kwenye vikao vya ndani. Hakuna maelezo ya maana yanayotolewa zaidi ya Polisi kusema ni ukaguzi wa kawaida, ila ukweli ni kwamba kila wanapoonekana viongozi wa CHADEMA Polisi wanawakamata", amesema Mrema.

Pamoja na hayo, Mrema ameendelea kwa kusema "mpaka sasa tumewatuma Mawakili wetu mkoani Morogoro ili waweze kujua viongozi hao walikamatwa kutokana na tatizo gani. Tunalaani kwa nguvu zote udhalilishaji huu unaofanywa dhidi ya viongozi na wanachama wetu".

Mjukuu wa Malkia Elizabeth Prince William Ahaidi Kuipa Tanzania Ulinzi

0
0
Mjukuu wa Malkia Elizabeth wa Uingereza Prince William Ahaidi Kuipa Tanzania Ulinzi
Mjukuu wa Malkia Elizabeth wa Uingereza, William Arthur amemuahidi Makamu wa Rais Samia Suluhu kuwa ataisaidia Tanzania katika kuboresha ulinzi wa wanyama pori kwa kutumia teknolojia ya hali juu na kumualika Rais Magufuli katika mkutano wa masuala ya wanyapori utakaofanyika Oktoba 2018.


Prince William ameeleza hayo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Mama Samia leo katika Jumba la Kifalme la Buckingham Palace nchini Uingereza ambapo Makamu wa Rais amekwenda kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa nchi za jumuiya ya Madola.​

Kwa upande wake Makamu wa Rais alimweleza Prince William kuwa Tanzania inatambua mchango wake katika kuzuia ujangili wa wanyama pori na serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua hatua mbalimbali ya kupambana na kuzuia ujangili ingawa bado haijawa na teknolojia yenye uwezo wa wa kutambua na kuona wanyama wote lakini wameendelea kuimarisha ulinzi wa wanyama pori.

Shilole Afunguka Haya Kuhusu Video ya Utupu ya Nandy na Bill Nass

0
0
Shilole Afunguka Haya Kuhusu Video ya Utupu ya Nandy na Bill Nass
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Shilole amefunguka kuhusu tuhuma za kuvujisha video ya utupu ya Nandy na Bill Nas, na kusema kwamba ahusiki na hajawahi kuona picha yoyote ya wawili hao wakiwa faragha.

Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Shilole amesema post aliyoweka insta kuhusu kuwa na picha za faragha za wawili hao alikuwa anatania, lakini ukweli ni kwamba hana picha yoyote na hajawahi kuona picha yoyote kabla.

Akiendelea kutoa utetezi wake Shilole amesema ahusiki kwenye kuvujisha video hiyo, isipokuwa inawezekana kuna mtu alikuwa nayo akapata kisingizio baada ya Shilole kupost ili aonekane ni yeye aliyevujisha.

“Hamna kitu kama hicho, mimi nilileta mzaha na nilitania tu, ni kama vile unamwambia mtu tuone kama kesho utaamka, kesho mtu anakufa kweli unaonekana ndiye wewe, kumbe watu walikuwa na mambo yao tayari, lakini kiukweli sihusiki, sijawahi kuziona nimetania, hiyo ni mtu ametembea na link au mtu alikuwa anatafutia sababu”, amesema Shilole.

Hivi karibuni baada ya video ya utupu ya Nandy na Bill Nas kuvuja mtandaoni, watu wengi wamekuwa wakimtuhumu Shilole wakiamini ndiye kavujisha, baada ya kusema kwamba ana picha nyingi za faragha za wawili hao, kwenye ukurasa wake wa instagram.

Mkuchika Amuonya Zitto "Zitto Endelea Hivyo Hivyo"

0
0
Mkuchika Amuonya Zitto "Zitto Endelea Hivyo Hivyo"
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika amefunguka na kumpongeza Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Mhe. Zitto Kabwe kwa kuendelea kumpigania diwani wa CCM Simon Kanguye ambaye amepotea kwa kutekwa toka mwaka jana.

Zitto Kabwe alihoji bungeni juu ya kupotea kwa Simon Kanguye ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri Kibondo ambaye anadaiwa kutekwa miezi 9 sasa na hafahamiki wapi yupo hivyo alihitaji vyombo vya usalama viweze kuweka wazi jambo hilo ili wajue kama ameshakufa ili waweke matanga au kama wao wanamshikilia.

Kufuatia taarifa hiyo serikali kupitia kwa Waziri Mkuchika ndipo ikaweka wazi kuwa jambo hilo lipo chini ya jeshi la polisi lakini alitumia nafasi hiyo kumpongeza Zitto Kabwe kwa kuweza kufuatilia jambo hilo ili hali diwani huyo ni mwanachana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

"Navyomuelewa Zitto Kabwe alivyo msomi, kijana anayeipenda nchi yake tena ana akili simuoni Zitto anahamasisha watu kuchukua sheria mkononi bali yale maneno aliyaweka tu kutuhimiza watu wa serikali jamanii eehh fanyieni kazi, na sisi tumelipokea, ila suala la kupotea kwa diwani huyo lilisharipotiwa polisi na uchunguzi unaendelea na tena hapa nampongeza ndugu yangu Zitto Kabwe huyu diwani anayemtetea tumtafute mpaka tumpate wala siyo wa chama chake cha ACT Wazalendo bali ni diwani wa CCM hii inaonyesha jinsi alivyomzalendo, anavyopenda haki itendeke kwa kila mtu sasa uendelee hivyo hivyo mdogo wangu Zitto usiyumbe kwenye mengine endelea hivyo hivyo" alisisitiza Mkuchika

Haya Ndio Majibu ya Serikali kwa Nape Nnauye "Soko ni Baya, Watanzania Waitumie Kula Maana ni Chakula Kizuri"

0
0
Haya Ndio Majibu ya Serikali kwa Nape Nnauye "Soko ni Baya, Watanzania Waitumie Kula Maana ni Chakula Kizuri"
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye ameuliza serikali imefikia wapi kutafuta soko la Mbaazi baada ya msimu uliopita matatizo ya soko kushusha bei kutoka Tshs 2,000 mpaka 150. Amesema serikali iliahidi Bungeni kuwa itahakikisha inahangaika kupata soko la kuaminika la zao hilo.

Nape amesema sasa ni msimu wa kilimo hicho, kama bado hali haieleweki wananchi washauriwe waachane na mbaazi na badala yake wajikite kwenye mazao mengine ambayo yana soko la uhakika.

Akijibu swali hilo naibu waziri wa kilimo, Eng. Stella Manyanya amemjibu kuwa ni kweli hakukuwa na hali inayoridhisha kwenye soko la mbaazi na ni kutokana na wadau waliokuwa wanategemewa sana ilikuwa ni India.

Eng. Stella amesema mbaazi ni chakula kizuri chenye protini na watanzania wanaweza kula badala ya kuwategemea watu wa maeneo mengine.

Amesema biashara ni ushindani na kila watu wanahakikisha wanakidhi soko lao la ndani, upande wa Tanzania wanaendelea kutafuta soko lakini wakati huo huo wanaendelea kusisitiza watu wapende kutumia mbaazi.

Amesema Dodoma Mbaazi inauzwa mpaka 1,800 kwa kilo na soko la Dar es Salaam kwenye supermarket inauzwa mpaka 2,400 hivyo tusitegemee soko mpaka kutoka nje kwani hata ndani ya nchi bado kuna watu wanaweza kula mbaazi yeye akiwa mmojawapo pia inategemewa hata mashule yanaweza kutumia wakati masoko yanaendelea kutafutwa.

Uongozi wa Yanga Wamng'ang'ania Lwandamina Wambembeleza Kimya Kimya Kurejea Yanga

0
0
Uongozi wa Yanga Wamng'ang'ania Lwandamina Wambembeleza Kimya Kimya Kurejea Yanga
Uongozi wa klabu ya Yanga umekuwa ukifanya kila juhudi kuhakikisha Kocha George Lwandamina anarejea kikosi hapo na kuungana na wenzake.

Taarifa za ndani zimeeleza, Yanga wamekuwa wakifanya juhudi hizo ili Lwandamina arejee na kujiunga na kikosi hicho na kukiongoza dhidi ya Wolayta Dicha.

"Kweli juhudi zinafanyika kwa kuwa kocha hakuwa amemaliza mkataba. Tunaona aje na kuungana na wachezaji atakapomaliza mkataba, basi anaweza kwenda ambako anakwenda.

"Tulianza mazungumzo naye baada ya kupata uhakika kuwa hakusaini mkataba na Zesco kama ilivyoelezwa. Wanatarajia kuasaini baadaye, hivyo si vibaya akaja kumalizia muda wake," kilieleza chanzo kutoka Awassa, Ethiopia.

Noel Mwandila ndiye ameridhi mikoba ya Lwandamina kwa muda. Tayari ameanza kazi ya kuinoa Yanga na kesho ina kibarua cha kuwavaa Wolayta Dicha wakiwa nyumbani.

Katika mechi ya kwanza, Yanga wakiwa nyumbani waliwanyoosha Wahabeshi hao kwa mabao 2-0.

Shilole Apangua Tuhuma za Kuivujisha Video ya Uchi ya Nandy

0
0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Shilole amefunguka kuhusu tuhuma za kuvujisha video ya utupu ya Nandy na Bill Nas, na kusema kwamba hahusiki na hajawahi kuona picha yoyote ya wawili hao wakiwa faragha.

Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Shilole amesema post aliyoweka insta kuhusu kuwa na picha za faragha za wawili hao alikuwa anatania, lakini ukweli ni kwamba hana picha yoyote na hajawahi kuona picha yoyote kabla.

Akiendelea kutoa utetezi wake Shilole amesema hahusiki kwenye kuvujisha video hiyo, isipokuwa inawezekana kuna mtu alikuwa nayo akapata kisingizio baada ya Shilole kupost ili aonekane ni yeye aliyevujisha.

“Hamna kitu kama hicho, mimi nilileta mzaha na nilitania tu, ni kama vile unamwambia mtu tuone kama kesho utaamka, kesho mtu anakufa kweli unaonekana ndiye wewe, kumbe watu walikuwa na mambo yao tayari, lakini kiukweli sihusiki, sijawahi kuziona nimetania, hiyo ni mtu ametembea na link au mtu alikuwa anatafutia sababu”, amesema Shilole.

Hivi karibuni baada ya video ya utupu ya Nandy na Bill Nas kuvuja mtandaoni, watu wengi wamekuwa wakimtuhumu Shilole wakiamini ndiye kavujisha, baada ya kusema kwamba ana picha nyingi za faragha za wawili hao, kwenye ukurasa wake wa instagram.

Jecha Salim Jecha Ang'atuka Tume ya Uchaguzi Zanzibar

0
0
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha amemaliza muda wake wa majukumu ya tume hiyo kwa kipindi cha miaka mitano kilichoanzia Aprili 30,2 013 hadi Aprili 29, 2018 ambapo yeye na wajumbe wa tume hiyo wamekabidhi ripoti yao ya kazi.

Akitoa taarifa yake kwa Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Jecha amesema kuwa tume inaamini kwamba, mafanikio yaliyopatikana wakati wa utekelezaji wa majukumu yake hasa ya kiuchaguzi yalitokana na ushirikiano wa wadau mbalimbali na wananchi kwa jumla.

"Ndani ya miaka mitano tume imeweza kuendesha jumla ya chaguzi ndogo nne, zikiwemo chaguzi ndogo tatu za Udiwani na chaguzi moja ya uwakilishi pamoja na kusimamia uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25,2015 na ule wa marudio yake Machi 20, 2016. Tume imefanya mapitio ya majimbo ya uchaguzi na kubadilisha mipaka ya majimbo ya uchaguzi, majina ya majimbo na kuongeza idadi ya majimbo kutoka 50 hadi 54", ameeleza Jecha.

Pamoja na hayo, Jecha ameendelea kwa kusema "Tume imeweza kufanya uandikishaji wa wapiga kura kwa awamu mbili na kuliendeleza daftari la kudumu la wapiga kura sambamba na kuendesha programu mbalimbali za elimu ya wapiga kura kupitia vyombo vya habari, mikutano ya wadau, uchapishaji wa vipeperushi, majarida na makala mbalimbali".

Aidha, Mwenyekiti huyo amemueleza Dkt. Shein kuwa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imechaguliwa kuwa kiongozi wa Uchaguzi Mkuu wa nchini Congo utakaofanyika mwezi Disemba mwaka huu.

Kwa upande wake, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein ameipongeza Tume hiyo kwa kutekeleza vyema majukumu yake ndani ya miaka mitano kwa kuendesha chaguzi zote .

"Tume hii inastahiki pongezi kwa kuifanikisha vyema kazi waliyopewa ikiwa ni pamoja na kuendesha chaguzi zote ukiwemo uchaguzi Mkuu, chaguzi ndogo na ule uchaguzi wa marudio ambazo zote hizo zilifanywa kwa ufanisi mkubwa", amesema Dkt. Shein.

Wajumbe wa tume hiyo ambao wamemaliza muda wao ni Mwenyekiti mwenyewe Jecha Salim Jecha, Jaji Abdul-hakim Ameir Issa, Balozi Omar Ramadhan Mapuri, Nassor Khamis Mohammed, Ayoub Bakari Hamad, Haji Ramadhan Haji na Salmin Senga Salmin ambao wote hao waliapishwa rasmi  Mei,4, 2013.

Dada Aliyedai nini Mtoto wa Mzee Edward Lowassa na Kuwa Ametelekezwa Akamatwa na Polisi

0
0
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema wanamshikilia Fatuma Chikawe kwa tuhuma za kudanganya kuwa ni mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa.

 Hii ni wiki moja baada ya Fatuma kujitokeza kwenye vyombo vya habari na kudai ametelekezwa na Lowassa kwenye zoezi la kusikiliza malalamiko ya wanawake waliotelekezewa watoto linaloendeshwa chini ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, ambaye alisisitiza wahusika watoe taarifa za ukweli.
Viewing all 104414 articles
Browse latest View live




Latest Images