Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104415 articles
Browse latest View live

Download Hapa Application ya Udaku Special Uweze Soma Vimbwanga na Udaku Mtaani Kila Siku

0
0
Mpendwa msomaji wetu, tunakukumbusha Kuidownload Upya Application yetu ya UDAKU SPECIAL Maana ile ya Zamani Tutaifuta.

Kuna Marekebisho Makubwa tumeyafanya ikiwa na tatizo la Notification kutatuliwa

NB: App mpya ina Icon Nyekundu

 Bonyeza Hapa Chini

==>>Unaweza Kuidownload << kwa Kubofya Hapa>>
   

Mwanaume, Fanya Haya Ili Kumroga Mwanamke, Hata Kama Huna Kitu..!!!

0
0
Salam enyi watanzania wenzangu.

Mungu kanituma niwaeleze haya mambo mazuri kwa ajili ya kudumisha mahusiano yetu, hasa mke na mume au wachumba nk.

Kwanza kabisa, wanawake wana akili sana katika kututawala sisi wanaume na wana uelewa na creativity kubwa sana ya kukusoma vizuri mwanaume kila unachofanya na kila unakokwenda na issues zako zote. Hata kama hakwambii, elewa anajua kila kitu, anakustahi tu.

Kujiamini ni nguzo muhimu sana kwa sisi wanaume kumkalisha mwanamke chini, awe billionea, awe professor, awe na cheo nk kwako si kitu kama mwanaume unayejiamini.

Asijue kitu fulani hujui, asijue kitu fulani huna, asijue kama umeshindwa mahali. Wanawake hutumia "failures" za mwanaume kuwa "opportunities" kwao. Atafanya ya ajabu kwakuwa anajua huwezi kitu fulani, huna kitu fulani, huna uwezo fulani.

Hata kama ikitokea ndani hakuna kitu, mwambie tu 'kuna mtu nimemwelekeza ataleta hapa nyumbani'. Hata kama huna hela mwambie tu 'kuna jamaa anatuma sasaivi kwenye mpesa'.

Hata kama huyo mtu asipoleta, huyo mtu asipotuma kwenye simu, we kauka tu...endelea hivyohivyo kubadili visentensi ili aridhike, huku wewe unaplan/unastruggle kinyakimya kuhakikisha chochote kuhakikisha mambo yanakaa vyema.

Usirogwe ukamwambia mwanamke "siwezi, sijui, sina, nitaangalia, ngoja kwanza, ". Otherwise atafanya anachoweza kuhakikisha anapata kila kitu na hata kukulisha wewe.

Kujiamini, kujiamini, kujiamini ndo dawa ya 'Eva' huku duniani.

Wema, Rihama Waaumbua Washakunaku

0
0
Wema, Rihama Waaumbua Washakunaku
WAKATI habari zikienea mitandaoni na mitaani kwamba mastaa wawili wa filamu, Wema Isaac Sepetu na Riyama Ally wako kwenye bifu, wenyewe wameibuka na kuwaumbua washakunaku na kuwaonesha kwamba wako sawa, Risasi Mchanganyiko linakupa mkanda mzima.

Awali, habari zilienea kwamba, wawili hao hawako sawa na wana bifu na hiyo ni baada ya Wema kushinda Tuzo ya Msanii Bora wa Kike kwenye Tuzo za Sinema Zetu aliyokuwa akishindania na Riyama ambapo mwanamama huyo aliangua kilio alipokuwa akihojiwa na kituo kimoja cha runinga akisema kwamba amedhalilishwa kushindanishwa kwenye tuzo hiyo.



Kikizungumza chanzo makini kilieleza kwamba, wawili hao kwa mara ya kwanza tangu tuzo hizo zitolewe, walikutana uso kwa uso Jumapili iliyopita kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar ambako kulikuwa na zoezi la kumpokea msanii mwenzao, Monalisa aliyeshinda Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike Afrika huko nchini Ghana ambapo Wema na Riyama walionekana wakiwa pamoja na kuzungumza kama kawaida.

Wasanii hao walionekana kuwaumbua washakunaku waliokuwa wakisema kwamba wana bifu kwani muda mwingi walikuwa pamoja wakipiga stori na hata alipowasili Monalisa walikwenda pamoja kumpokea kwa kumkumbatia kwa pamoja kisha walichukua tuzo zake na kupiga nazo picha wakiwa wawili tu.



“Yaani Wema na Riyama wameamua kuwaumbua waliokuwa wanasema kuwa wana bifu maana walivyokutana uwanja wa ndege walionekana wakizungumza na kupiga picha pamoja na hawakuonesha kama wana tofauti yoyote,” alieleza msanii mmoja aliyekuwa uwanjani hapo aliyeomba hifadhi ya jina.

Hivi karibuni Wema alishinda tuzo mbili kwenye Tuzo za Sinema Zetu, moja ikiwa ni ya Msanii wa Kike Mwenye Ushawishi na ya pili ni ile ya Mwigizaji Bora wa Kike ambayo ilizua mjadala mzito huku wengi wakisema hakustahili kwa kuwa Riyama anaigiza vizuri kuliko yeye.

Baada ya tuzo hizo, Riyama aliangua kilio akidai kwamba alidhalilishwa kushirikishwa katika tuzo hizo na hata kama akifa ahitaji kupewa tuzo ya heshima kama wengine wafanyiwavyo.

Stori: Mwandishi Wetu, Dar

Mimi Mars Kuja na Kipindi cha Udaku

0
0
Mimi Mars Kuja na Kipindi cha Udaku
Msanii wa Bongo Flava kwa sasa, Mimi Mars amefunguka kuhusu kurejea katika utangazaji wa TV.

Muimbaji huyo aliyekuwa akitangaza kipindi cha Weekend Gossip kupitia TV 1 amesema mipango ya kurejea katika utangazaji ipo ila bado ni vigumu kuweka wazi ni kipindi gani hasa.

“Mipango inafanyika kikubwa ni ku-keep up na mimi na watajua na watapata kusikia ni lini, wapi na sehemu gani,” Mimi Mars ameiambia Bongo5.

Katika hatua nyingine amezungumzia maisha ya muziki na yale ya utangazaji, utofauti upo wapi.

“Hamna utofauti kwa sababu kile kipindi watu walikuwa wanakifurahia, kusema kweli kile kipindi ndio kilinianzisha watu waweze kujua Mimi Mars ni nani na mashabiki wangu wengi nimewapata kupitia kipindi kile hadi nilipoingia kwenye muziki,” amesema.

Mimi Mars ambaye kwa sasa anatamba na ngoma ‘Papara’ ana historia yenye kushabiana na ile ya dada yake, Vanessa Mdee ambaye awali alikuwa mtangazaji wa MTV Base na Choice FM kabla ya kuingia katika muziki.

Mke wa Aliyekuwa Rais wa Marekani George HW Bush Aaga Dunia

0
0
Mke wa Aliyekuwa Rais wa Marekani George HW Bush Aaga Dunia
Barbara Bush, mke wa aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani na mwanaharakati amefariki akiwa na umri wa miaka 92.

Ndiye aliyekuwa nguzo ya kisiasa ya marais wawili wa taifa hilo akiwemo mumewe George HW Bush na mwanawe George W Bush.

Mwana wao George alichaguliwa 2000 na kuhudumu kwa miula miwili kama rais wa 43 wa Marekani.

Katika tanzia alisema katika taarifa yake kwamba ''mamangu mpendwa ametuwacha akiwa na umri wa miaka 92. Laura Barbara, Jenna na mimi tunaomboleza , lakini roho zetu zimepumzika kwa sababu tunajua yake pia imepumzika.

Dogo Janja Atoa Ushauri Huu kwa Wanawake wa Mjini

0
0


Dogo Janja Atoa Ushauri Huu kwa Wanawake wa Mjini
Dogo Janja ameamua kufunguka na kuwapa ushauri wanawake wanaopokea hela kutoka kwa wapenzi wao na kuwataka wawe makini na maisha yao ya baadae na kuwaacha na swali kama wataendelea kupewa hela au kupewa kazi?

Dogo Janja ameandika >>>“Kuna watu wa aina mbili anayekupa hela ya kula na anayekupa kazi upate hela ya kula anaekupa hela ya kula hakutakii mema maisha ya mbeleni siku akikatisha huduma hio utataabika sana ili upate msingi wa kupata hela ya kula. Anayekupa kazi upate hela ya kula”

“Huyu anakupatia msingi mzuri wa maisha yako ya baadae ata asipokuepo hautapata shida ata ukianguka atakupa support sasa uchague upewe hela ama upewe kazi”


TFF Ywapa Ujumbe Huu Yanga

0
0
TFF Ywapa Ujumbe Huu  Yanga
Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF limesema kuwa imani yao kwa Yanga ni kubwa na wanaamini timu hiyo itaibuka na matokeo mazuri kwenye mchezo wa marudiano kesho dhidi ya Welayta Dicha.


Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF Salum Madadi, amebainisha hayo leo, ambapo amesema Yanga inaweza kuitoa Woilata Dicha, kama watatumia tena udhaifu ulioonekana kwa wapinzani hao, kwenye mchezo wa kwanza.

''Yanga ni timu bora na walionesha hilo kwenye mchezo wa kwanza kwa kuwafunga Dicha mabao 2-0 kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam hivyo tuna imani kubwa sisi kama shirikisho Yanga watalinda ushindi wao na kusonga mbele hatua ya makundi'', amesema.

Madadi ameongeza kuwa kocha wa Yanga aliyeondoka George Lwandamina amepata CV nzuri akiwa na klabu hiyo, kwa hiyo si jambo geni kwa makocha wa nje kuondoka pale wanapopata mafanikio Tanzania.

Okoa Ndoa yako Sasa...Umepungukiwa na Nguvu za Kiume na Unashindwa Kupanda Mlima Vizuri

0
0
OKOA NDOA YAKO SASA : JE UMEPUNGUKIWA NA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO AU MPENZI WAKO HAKUTIMIZII UTAKACHO:


Acha kujiona mpweke pale ukutanapo na mpenzi au mke wako kwa sababu ya kutokuwa na nguvu za kiume au Uume wako mdogo

Dawa YA MAPRO POWERA ndio dawa sahihi na tiba tosha kwa sasa Kutibu tatizo na kuponesha kabisa tatizo LA KUWAI KUFIKA KILELENI KABLA MWENZI WAKO BADO AJAKOJOA

KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA NA MWILI KUCHOKA

UUME KUSINYAA NA KUWA LEGELEGE

KUUMWA NA TUMBO WAKATI UNAPOMALIZA KUFANYA TENDO

Dawa hii utumiwa ata na wazee wenye umri mkubwa na haina madhara yoyote

MAKAKANUA HII NI dawa ya maumbili madogo urefusha na kunenepesha saizi upendayo saiz 5-6-7-8 na unene sm 3-4-5 kwa mini huabiki kwa kuwa na UUME mdogo wai sasa upate tiba sahihi kabisa na ni tofauti na ulizowai kutumia :

Tunarudisha mke au mpenzi ndani ya masaa matatu tu zipo dawa za presha kisukali vidonda vya tumbo korodani iliyovimba dawa za uzazi tunapunguza matiti makubwa kitambi na mwili mkubwa dawa zipo FIKA OFISINI KWANGU MBAGALA ZAKHEMU KWA WATEJA AMBAO AMTAKUWA NA NAFASI YA KUJA OFISINI AU MLIO MKOANI MTALETEWA p

Piga simu 0743362017 au 0789234653

DR AGU


Jina la Mtoto Lawafikisha Wazazi Mahakamani

0
0
Jina la Mtoto Lawafikisha Wazazi Mahakamani
Wazazi wawili wenye dini ya Kiislam nchini Ufaransa wamepelekwa mahakamani baada ya kumpa mtoto wao jina la 'Jihad' na kujaribu kulisajili rasmi serikalini.


Maafisa wa serikali wa Ufaransa baada ya taarifa hiyo waliamua kuwafikisha kwa waendesha mashtaka, ambao sasa hivi wanaendesha kesi hiyo kupingana nalo wakiamini kuwa jina hilo lina muunganiko na ugaidi.

Wazazi hao walijaribu kujitetea kwa kuwaeleza waendesha mashtaka kwamba jina hilo halina maana ya vita vitakatifu kama ambavyo wengi wanafahamu, bali ni nguvu na kuweza kujipigania.

Hata hivyo maafisa wa serikali wa Ufaransa wamesema wamewataka wazazi hao kubadili jina la mtoto huyo ili kumlinda na madhara yake baadaye, na wazazi hao kufikia muafaka hapo jana April 16, 2018, na kumuita Jahid.

Nchini Ufaransa mzazi ana uhuru wa kumpa mtoto jina lolote analopenda, lakini lisiwe na madhara kwenye maisha ya mtoto huyo kwa namna yoyote ile.

Harusi ya Mwanamziki Ali Kiba Kurushwa live na Azam TV Pekee

0
0
Haya wale mashabiki wa kiba msio na king'amuzi cha azam tv, huu ndio muda muafaka wa kukinunua ili muweze kushuhudia star wenu akichukia jiko huko mombasa,kenya.
mambo ni  Fireee

Polisi Kumuhoji Tena Daimond Sakata la Kuvujisha Video

0
0
Polisi Kumuhoji Tena Daimond Sakata la Kuvujisha Video
Baada ya hapo jana April 16, 2018 msanii Diamond kuhojiwa na Polisi kufuatia kusambaza video zisizo na maadili mtandaoni, msanii huyo anatarajiwa kuhojiwa tena.



Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kushikiliwa kwa Diamond hapo jana kwa ajili ya mahojiano ila sasa ameachiwa kwa dhamana wakati uchunguzi zaidi unaendelea na utakapokamilika ataitwa tena polisi kwa mahojiano.



Taarifa za kuhojiwa Diamond na Polisi simesikika kwa mara ya kwanza leo Bungeni ambapo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe alisema Polisi walimkamata Diamond hapo jana, pia aliangiza msanii Nandy nae ahojiwe.



Hapo Juzi April 15, 2018 Diamond aliweka video mbili mtandaoni zisizo na maadili akiwa na wanawake wawili tofauti. Kabla ya hilo ilivuja video mtandaoni ikimuonyesha msanii Nandy akiwa faragha na msanii mwenzie, Bill Nass.

Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo

Likizo ya Uzazi ni Mara 1 kwa Miaka Mitatu- Mkuchika

0
0
Likizo ya Uzazi ni Mara 1 kwa Miaka Mitatu- Mkuchika
Serikali ya awamu ya tano kupitia Wizara ya Nchi Ofisi ya Utumishi na Utawala Bora imesema haioni haja ya kubadilisha sheria iliyopo ya uzazi kwa sasa, kwasababu inampa fursa mwanamke kupumzika kutozaa mara kwa mara na kufuata uzazi wa mpango kama nchi inavyoelekeza nasio vinginevyo.


Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Wizara hiyo, George Mkuchika leo Aprili 18 Bungeni jijini Dodoma kwenye kikao cha 12 mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalum Sonia Juma Magogo aliyetaka kufahamu mpango wa serikali wa kutaka kuwasaidia wakina mama ambao wanajifungua kabla ya kipindi cha kuruhusiwa kupata miezi mitatu ya mapumziko ili waweze kuwanyonyesha vichanga hivyo na kuendelea majugumu yao ya kiofisi ?.

"Kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma za mwaka 2009. Mtumishi wa umma anapojifungua hupewa likizo ya malipo ya siku 84 na iwapo atajifungua zaidi ya mtoto mmoja (mapacha) ataongezewa siku 14 na kuwa jumla ya 98. Endapo mtumishi atajifungua mtoto tena kabla ya kutimiza miaka mitatu atapewa likizo maalum ya wiki sita ili kuhudumia mtoto wake kwa mujibu wa kanuni na baada ya hapo serikali inaweza kumuongezea siku za kupumzika kulingana na ushauri wa daktari", amesema Mkuchika.

Pamoja na hayo, Waziri Mkuchika ameendelea kwa kusema "likizo ya uzazi hutolewa mara moja katika kipindi cha miaka mitatu kwa kuzingatia sera ya afya ya mama na mtoto inayosisitiza kulinda na kujenga afya ya mama na mtoto na kuhimiza uzazi wa mpango. Sheria hizi ni za nchi nzima hivyo zinapaswa ziheshimiwe na kufuatwa kwa wale waliokoa serikali na mashirika ya umma.

Kwa upande mwingine, Waziri George Mkuchika, ametoa rai kwa watumishi wa umma au sekta binafsi, kuwa endapo yeyote atakayenyimwa haki ya likizo ya uzazi basi aitaarifu Wizara husika ili hatua stahiki zichukuliwe kwa mwajiri wake.

Mdogo Lakini Mmmnh Mimi Ndio Ninajua Dogo Janja Ndiye Moyo Wangu- Irene Uwoya

0
0
Muigizaji wa Bongo movie Irene Uwoya amefunguka mazito kwa mumewe staa wa Bongo fleva Dogo Janja ambapo amedai kuwa ni moyo wake na kukiri kuwashangaa watu wanaosema yeye ni mdogo.

Ndoa ya Dogo Janja na Irene Uwoya ilishangaza watu wengi ilipofungwa mwaka jana mpaka hivi sasa kuna watu ambao hawaamini kuwa wawili hao wameoana.

Na imekuwa ngumu kwa watu wengi kuzoea Mahusiano hayo hasa kwa sababu tofauti kubwa iliyopo baina yao kuanzia umri mpaka vitu vingine ambavyo vinaonekana baina yao.

Lakini kadri siku zinavyozidi kuenda wapendanao hao wameendelea kuuthibitishia uma wa Watanzania kuwa wanapendana na watazidi kuwa pamoja.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Uwoya kamfungukia mazito mumewe Dogo Janja ambapo amekiri kuwa anampenda mumewe na kusema anawashangaa watu ambao wanekazana kumsema ni mdogo kwani yeye anamuona mtu mwenye akili sana:

"Nakupenda sana sijawahi kukutana na mwanaume mwenye akili kama wewe na muelewa kama wewe….mdogo lakini mmmnh mimi ndio ninajua ndio maana wakiongea nawaangalia tu nasema iiiiii Dogo Janja wewe ndiye moyo wangu”.

Dogo Janja naye anaonekana amekolea na penzi la Irene kwani mara kwa mara anamposti mkewe na kumwagia sifa lukuki kama mke mwema na mwaminifu na kadhalika.

Viongozi wa ZFA Wakalia Kuti Kavu Baada ya Kufungiwa CECAFA

0
0
Viongozi wa ZFA Wakalia Kuti Kavu Baada ya Kufungiwa CECAFA
Baada ya Karume Boys kufungiwa na CECAFA, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara yake ya Vijana Sanaa Utamaduni na Michezo imesema kama viongozi wa ZFA watapatikana na kosa basi wajiandae kukaa kando.


Katibu mkuu wa Wizara hiyo Omar Hassan (King) amesema ikithibitika kuwa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) wao ndio wenye makosa mpaka Karume Boys wakaondolewa katika mashindano basi wajiwajibishe wenyewe kwa kujiuzulu.

"Kama itakuwa kosa lao ZFA na kama na mimi nimo ZFA basi nitakaa pembeni, naamini na wao wenyewe watatumia busara ya hali ya juu kukaa pembeni kupisha watu wengine watimize majukumu kama wao yamewashinda", amesema Mh. Omar.

Zanzibar iliondolewa katika mashindano ya CACAFA kwa vijana wa umri chini ya miaka 17 yanayoendelea nchini Burundi kwa kosa la kuorodhesha wachezaji waliozaliwa kabla ya 01/01/2002 ambapo kanuni ya mashindano iliwataka wachezaji waliozaliwa kuanzia 01/01/2002.

Katibu Mkuu wa CECAFA Nicholaus Musonye alisema kuwa ZFA walitumiwa ufafanuzi wa umri kwenye Barua Pepe ya shirikisho hilo labda kama hawakusoma.  Karume Boys imepewa adhabu tatu ikiwemo kuondolewa mashindanoni, na faini dola 15,000 (Sh 30 milioni).

Rais Trump Afanya Mazungumzo ya Siri na Hasimu Wake Kim Jong Un

0
0
Rais Trump Afanya Mazungumzo ya Siri na Hasimu Wake Kim Jong Un
Baada ya kutumiana vijembe na maneno ya kashfa kwa muda mrefu kati ya Rais wa Marekani, Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, hatimaye wawili hao wafanya mazungumzo mafupi kwa siri wiki mbili zilizopita.

Mazungumzo hayo yalifanyika baada ya  Mkurugenzi wa shirika la upelelezi nchini Marekani (CIA), Mike Pompeo wikiendi ya pasaka kuzuru mjini Pyongyang na kufanya mkutano wa siri na kiongozi wa taifa hilo, Kim Jong Un,  hii ni kwa mujibu wa duru za vyombo vya habari nchini Marekani.

Mkutano huo ulifanyika kwa lengo la maandalizi ya mkutano mwengine mkubwa kati ya Rais Donald Trump na Kim Jong Un ambapo hadi sasa bado haijajulikana ni wapi utafanyika.

Hata hivyo, Rais Trump amekiri kufanyika kwa mazungumzo na kiongozi huyo wa Korea Kaskazini kwa njia ya simu, wakati wa sherehe za kumpokea Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe zilizofanyika mjini Florida juzi Jumatatu.

Mkutano huo wa siri ambao haukutarajiwa ndio utakuwa mkutano wa kwanza mkubwa  kati ya Marekani na Korea Kaskazini tangu 2000, wakati Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani kipindi hicho, Madeleine Albright alipokutana na Kim Jong-il, babake kiongozi wa sasa wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un.

Yanga Leo Kupambana na Wolaitta Dicha ya Ethiopia kwa Mechi ya Marudiano

0
0
Yanga Leo Kupambana na Wolaitta Dicha ya Ethiopia kwa Mechi ya Marudiano
YANGA leo inacheza mechi ya marudiano na Wolaitta Dicha ya Ethiopia katika kufuzu makundi ya Kombe la Shirikisho, tayari timu hiyo imepambana na kuvivuka vikwazo viwili.

Kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa Yanga, Shadrack Nsajigwa, timu yake imeshapambana na baridi kali iliyopo Awassa huko Ethiopia watakapocheza mechi yao pia wamemaliza tatizo la ubutu katika safu yao ya ushambuliaji.

Yanga leo inacheza mechi ya marudiano na Dicha ugenini mjini Awassa huko Ethiopia ili kufuzu makundi ya Kombe la Shirikisho baada ya awali kushinda mabao 2-0 nyumbani kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Akizungumza na Championi Jumatano, Nsajigwa alisema, hali ya hewa pekee ndiyo ilikuwa ikilalamikiwa na wachezaji wake na sasa wameahidi kupambana nayo.

Nsajigwa alisema: “Hatutaki kuifanya hali ya hewa ya baridi iwe sababu ya sisi kupoteza mchezo huu, nataka wachezaji kila mmoja kutimiza wajibu wake ndani ya uwanja ili kufanikisha ushindi katika mechi hiyo.

“Tulifika mapema kwenye mji huu kwa ajili ya wachezaji kuzoea hali ya hewa ya hapa ikiwa ni siku mbili tulizofanya mazoezi ya pamoja.

“Hadi kufikia siku ya mchezo huo tutakuwa tumefikisha saa 48, hivyo benchi letu la ufundi lina matumaini mazuri ya wachezaji wetu kuzoea hali ya hewa ya baridi tuliyoikuta hapa.


“Tayari tumefanyia marekebisho kwenye kikosi chetu baada ya mechi iliyopita tuliyocheza nyumbani ambayo ni safu ya ushambuliaji pekee ambayo ilikosa umakini katika kufunga mabao.”

Stori: Wilbert Molandi, Dar es Salaam

Wema Sepetu Awaacha Watu Kwenye Mshangao mkubwa .... Aposti Picha Yenye Utata

0
0
Wema Sepetu Awaacha Watu Kwenye Mshangao mkubwa .... Aposti Picha Yenye Utata
Staa wa bongo movies Wema Sepetu amewaacha watu katika mshangao na kuchanganyikiwa baaada ya kuweka posti ya kusikitisha inayohusu mwanamke ambae alipata tatizo la kuharibika kwa mimba.

Watu wamekuwa wakijiuliza je post hiyo inamkumbusha mimba iliyoharika kipindi cha nyuma au ni mimba nyingine imeharibika tena.Watu wengi wameonekana kuguswa na jambo hilo na kusema kuwa Wema anapitia kipindi kigumu sana kwa sasa kutokana na hamu yake kubwa ya kutaka kuwa na mtoto lakini inashindikana.

Wema aliweka picha hiyo katika ukurasa wake wa instagram na kuandika “Story of my life”

Gigy Money Ahofia Kupotea Kwenye Gemu Baada Ya Kushika Ujauzito

0
0
Gigy Money Ahofia Kupotea Kwenye Gemu Baada Ya Kushika Ujauzito
Msanii wa Bongo fleva Gift Stanford maarufu kwa Jina la usanii kama Gigy Money aliyetamba na kibao chake cha Nampa papa amehofia kupotezwa katika gemu ya Bongo fleva kipindi hiko ambacho ni mjamzito.

Gigy Money ameibuka baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu huku hali hiyo Ikiwa imesababishwa na kuwa mjamzito hivyo kukiri kuwa anashindwa kufanya kazi nyingi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Gigy Money ameongelea hofu yake ya kusahaulika kutokana na kuwa kimya na kuandika ujumbe mfupi uliosindikizwa na picha zake mpya:

"Hapa mjini nikisema siposti msije mkanisahau bure nipo kiranja wa mashangingi hali ni mbayaaa hali ni teteee." 

Ratiba ya Ndoa ya Alikiba Yawekwa Wazi Hii Hapa

0
0
Ratiba ya Ndoa ya Alikiba Yawekwa Wazi Hii Hapa
MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva, Alikibaba ‘King Kiba’ amesafiri pamoja na familia yake Jumanne hii (April 17, 2018) kuelekea mjini Mombasa nchini Kenya kwaajili ya kufunga ndoa na mpenzi wake, Aminah Rikesh itayofanyika April 26, 2018 katika ukumbi wa Diamond Jubilee wa nchini humo.

Taarifa za ndoa yake ziligubikwa na usiri mkubwa hali ambayo ilivifanya vyombo vingi vya habari nchini Tanzania na Uganda kuandika tetesi za ndoa hiyo huku vingine vikienda mbali zaidi kwa kudai ndoa hiyo ilishafungwa.

Ukweli wa ndoa hii  umepobainika kwamba muimbaji huyo anafunga ndoa April 26, 2018 na siku ya jana amesafiri pamoja na familia yake kwenda Mombasa Kenya.


Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, ndoa hiyo itarushwa live na kituo cha runinga cha Azam TV baada ya kukunua hali ya kurusha ndoa hiyo kwa kiasi kinachodaiwa ni zaidii ya milioni 100 za Tanzania.

Viewing all 104415 articles
Browse latest View live




Latest Images