Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104415 articles
Browse latest View live

Makalio Makubwa Yageuka Bunduki Kwa Mademu Wa Mujini....

0
0
Nimefanya kajiutafiti nikagundua wanawake wengi wa Kitanzania au kiafrica wamekuwa tegemezi sana kwenye silaha moja tu.

"MAKALIO YAO" Asilimia kubwa ya wanawake hasa wa mjini wamekuwa wakitumia makalio yao"Wowowo"Kuwanasa wanaume haswa maofisini n.k.
Nimejiuliza bila makalio mbinuko hawa watu wangetumia nini kutunasa?

We wafuatilie watembeapo huzungusha makalio, wapigapo picha hubinuwa makalio, walalapo kwa Bed huyaweka makalio yao juu juu.

Hivi ina maana makalio yenu yamegeka silaha yenu?
Na hii imewachangia baadhi ya wanaumme wawaze kuwatafuna utumbo mdogo a.k.a"T"
Unakuta mwanamke kwa sura mzuuriii..Lakini kama ni flat screen anapoteza confidence kabisa.

At the same time unaweza kumkuta demu sura nguumuu..Imekunjamana kama kalamba ndimu. Lakini kwa sababu kajaaliwa Makalio mbinuko anajiamini plus kiburi juu.

Makalio a.k.a Wowowo ni SMG kwenu?

Kujeni mjitolee tafsiri wenyewe mabibi na wazee wa Mikia.


Nimetumbukia Kwenye Majaribu Mazito na Mke wa Rafiki yangu

0
0
Kuna Rafiki yangu ambae tulikua tumeshibana sana miaka kadhaa iliyopita lakini bahati mbaya urafiki wetu ulitumbukia nyongo na tumechuniana zaidi ya miaka minne Kwa sababu ambazo sijazielewa hadi leo,
Jamaa alikataza hadi mkewe kujihusisha na familia yangu

Kumbe jamaa hana kazi mwaka Wa nne sasa yupo benchi alifukuzwa kazi
Kama miezi miwili iliyopita nilikutana na mkewe accidentally, tukapeana contact upya na alikua mjamzito Wa miezi kama mitano hivi kuelekea sita, Akawa ananipigia simu kuomba hela kila baada ya siku mbili tatu, jambo ambalo lilinishangaza sana maana kwa maisha yao yalivyokua mazuri haikua rahisi kuamini

Baada ya kumpa kama laki na hamsini hivi jumla nikaanza kumkwepa, haikusaidia akawa ananipigia kwa namba zingine,
Siku moja akaniomba tuonane
Katika kuonana akanieleza kwa urefu sana matatizo yao ifuatavyo

Moja ni kuwa mumewe hajishugulishi na chochote amekaa tu home tangu afukuzwe kazi miaka minne iliyopita
Pili anategemea wazazi ndo wamtumie hela Mara kwa Mara

Tatu hata ikitokea mtu ameumwa ndani inabidi waombe ombe pesa kwa watu mbali mbali

Nne, anadai hali ni mbaya kuzidi Maelezo

Amekua akimsisitiza aje anione ili nimsaidie maana nipo hr department na jamaa anajua hilo lakini mwanamke akimgusia jambo hilo Jamaa ananzisha hadi ugomvi mkubwa hivyo amemuacha tu

Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni wiki kama tatu zilizopita aliniomba tuonane kinondoni machi machi guest house nikashtuka sana, nikamuuliza kulikoni guest akaniambia ww njoo hapo tukionana bar huwez jua nan atatuona so tuongee kwa dakika chache then nasepa

Nilipofika alikua jiran na hapo akaja tukaingia ndani, kwa hali ya ujauzito alionao niliamin wazi hatuwez kufanya chochote, surprisingly alianza kunivua nguo kama wale watu Wa wrestling, nilijikuta nimeshindwa kuhimili mhemko na bahati mbaya tukajuana
Sikujua kama jamaa ameoa mwanamke mpenda pesa kiasi kile maana pale pale akaniomba laki moja nikampa elfu hamsini cha ajabu jioni akaanza kunisumbua hamsini iliyobaki

Nimejiingiza kwenye jambo ambalo limekua mzigo mkubwa kwangu, natoa hela kila siku mbili tatu
Ingawa akiniomba twende guest nakua mdhaifu nashindwa kukataa, kwa kawaida mke wangu akiwa mjamzito huwa hapendi tendo kabisa na style yetu huwa ni moja tu miezi yote ya wote kutazama upande mmoja

Ila huyu shemeji huwezi amini mtu ana mimba ya miezi saba kwenda nane anajibinua anakaa doggie hadi mi naogopa

Nahitaji kuachana nae lakin amekua all over me, anasema anakaribia kipindi cha kujifungua hivyo anahitaji msaada wangu, anaona kuwa tukiachana siwezi kumsaidia kama tulivyo wapenzi

Hivi sasa ananisumbua ada ya mtoto wao Wa kwanza ambae kafunga shule, na mm sina hiyo hela kwa kweli maana mm binafsi Nina watoto watatu, mmoja nilizaa kabla sijaoa ivo namhudumia mm
Hili jambo linanishinda kwenye gharama tu

Kuna mwenye suluhisho hapa nilitatue vipi hili tatizo?

Binti wa Advanced Level Sec Ananikosesha Raha Ndani ya Ndoa Yangu

0
0
Wajumbe mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33 Ni Mwajiriwa wa Serikali, nimeoa na nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 3.
Licha ya kwamba niko kwenye ndoa, lakini ilitokea siku moja asubuhi nikiwa barabarani na gari langu nikitokea nyumbani kwangu Mitaa ya Kihonda Magorofani nikielekea kazini Morogoro mjini.Nilikutana na Mwanafunzi kavaa sare za shule na alikuwa akielekea shuleni nae.Nilisimamisha gari na kumuuliza kama anaenda shuleni maana baada ya kuona sare alizovaa niliweza kutambua ni shule gani anasoma.Baada ya kumuuliza kama anaenda shule aliitikia kwamba anaenda shuleni, nilitoa Lock ya Milango ya gari nikamwambia apande nimsogeze kidogo.

Cha kushangaza niliona akifungua mlango wa mbele na kuingia maana nilikuwa peke yangu.Niliondoa gari tayari kuendelea na safari,tukiwa njiani niliweza kumuuliza jina lake, wazazi wake kadharika tulipeana hadi namba za simu.

Baada ya siku mbili alinitumia msg iliyosomeka hivi."Shikamoo, Habari ya kazi?Nimeona sio vizuri kukaa kimya wakati juzi ulinisaidia nikawahi shuleni.Jioni Njema na karibu nyumbani." Bahati mbaya hiyo msg sikuweza kuijibu maana nilikuwa niko na wife na zaidi niliifuta baada ya kuisoma.Baadae nilitafuta nafasi nikampigia kumjulisha msg yake nimeipata akadai amefurahi sana kusikia sauti yangu.Na mimi kama mwanaume nikamuomba atafute muda japo siku moja tukutane tena tuongee.Alikubali na kuniahidi nimtafute siku za Ijumaa jioni, Juma mosi na jumapili maana hizo siku anakuwa free.

Ilipofika Ijumaa nilimtafuta tukaenda Hotel moja nje kidogo ya Mji tukaongea sana na ikafikia hata mimi nikamwambia namtaka, alionekana mpole na akakubali ombi hilo pia akaomba tukutane siku inayofuatia ambayo ni Juma Mosi.Tuliingia kwenye gari nikamuacha jirani na nyumbani kwao na mimi nikarudi kwangu

Jumamosi mida ya saa 8 alinibeep nikampigia then nikamwambia ajiandae ndani ya nusu saa nitampitia. Time ilipofika nilimpitia sehemu tuliokubaliana tukaelekea sehemu husika, huko huko ndio tulipeana mapenzi(Nilimgegeda effectively). Baada ya siku hiyo kugegeda ikawa Continuously.

Ila shida imekuja sasa huyu binti anadai nimpeleke nyumbani kwangu ili nikamtambulishe kwa Mke wangu ili wafahamiane. Nimejaribu kumshauri kwamba yeye bado ni mwanafunzi hivo atulie kwanza amalize masomo yake lakini hanielewi

Anadai kila siku asubuhi niwe nampeleka shuleni na jioni kumrudisha kwa gari langu.Hilo nalo nikamshauri kwamba isiwe kila siku ila pale tukapoona inafaa bado haelewi.

Nimemkataza kunipigia simu au kutuma msg hasa mida ya usiku maana mke wangu atanielewa vibaya hilo nalo haelewi

Amechukua namba ya simu ya mke wangu kwenye simu yangu bila mimi kujua na kumpigia simu mke wangu nae akiwa kazini kwake akimtaarifu kuwa yeye ni mke mwenzie na baadae kurusha msg kibao akidai huo ni utambulisho tosha.Kwa ujumla siku hiyo hayo yote yalipotendeka mimi na mke wangu hatukulala kwa amani kabisa,Wife alilia karibu akataka kukesha.

Nilimfuata yule Binti nikamuonya vikali nusura kuchapa makofu na nikamwambia simuhitaji tena ila yeye kakomaa kwamba kama nataka kumpiga sababu ya mke wangu basi na nikimuacha anajiua na kuacha ujumbe.Ameenda mbali kuniambia kwamba nimemuharibia akili zake maana toka nifanye nae mapenzi hana hamu kabisa ya kusoma au kwenda shuleni.

Wakuu nifanye hapo, Kuna hatari mbili ambazo ni:
1. Ndoa kuvunjika (Wakati tayari tuna mtoto)
2. Kwenda Jera (ukizingatia huyu ni Mwanafunzi)

Naomba mchango wenu

Paul Makonda Ashindwa Kutokea Ugeni Rasmi Mechi ya Simba na Yanga, Aipiga Kijembe Yanga

0
0

Paul Makonda Ashindwa Kutokea Ugeni Rasmi Mechi ya Simba na Yanga
, Aipiga Kijembe Yanga

Paul Makonda amefunguka haya katika ukurasa wake wa Instagram:

"Asanteni sana Viongozi wangu Kwa kunipa Heshima ya kuwa Mgeni Rasmi. Kutokana na wingi wa majukumu nimeshindwa kuwa nanyi, naamini Amani na uwezo vitatawala ktk uwanja wetu japo Mvua imepunguza mashabiki hasa wale wa jangwani kutokana na ofc yao kuwa Baharini" Paul Makonda

Hamisa na Diamond Waonekana Wakitanua Kwenye Boat Slipway....Picha zafichua Siri

0
0

Location za picha zinazonyesha Hamisa yupo Slipway pia Diamond yupo Slipway... na katika Instastory ya Hamisa kaweka video akiwa na mpenzi wa Rayvanny.... je! mpaka hapo kuna swali kwamba Hamisa na Diamond hawajarudianana?

Simba Yaitandika Yanga Uwanja wa Taifa

0
0

Yanga leo imepokea kichapo kitakatifu kutoka kwa watani wao wa Jadi Simba Sport, Mpaka mpira unakwisha Dakika ya 90 Simba 1, Yanga 0 , Goli limefungwa na Erasto Nyoni

Serengeti Boys Wametwaa Taji la CECAFA

0
0

BUJUMBURA, BURUNDI: Timu vijana wa Tanzania chini ya miaka 17(Serengeti Boys) wametwaa taji la CECAFA la chini ya miaka 17 kwa mwaka 2018 baada kuifunga Somalia goli 2-0
-
Katika michuano hiyo Uganda imemaliza ikiwa nafasi ya tatu na Kenya nafasi ya nne
.
Je, mpenzi wa soka la Tanzania unadhani huu unaweza kuwa mwanzo mzuri kwa soka letu kufika mbali katika michuano tofauti kwa siku za usoni endapo tutawekeza kwa vijana hawa?

Vitu Nane vya Kipumbavu Ambavyo Wadada Hufanya Kwenye Mapenzi

0
0
1.Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. Usiwe mjinga.

2. Kukubali kuwa mke wa pili. Samahani sana nitakao gusa imani zao

3. Kuvaa pete ya uchumba ya mwanaume ambaye even hata kwenu hapajui. Na pengine hata wazazi wako hawajui.

4. Kutumia picha ya boyfriend wako kama profile picture wakati yeye hana hata wazo la kufanya hivyo.

5. Kumpa thamani yako PRIDE (Bikira), mwanaume ambaye hajatoa posa au mahari kwenu.

6. Kupika chakula mara kwa mara na kufua nguo kuonyesha upendo kwa boyfriend wako ambaye sii mume wako.

7. Kutokumuheshimu mzazi wako kwa sababu tu ya kumpata mwanaume ambaye hata wazazi wako hawamjui.

8. Kumpa mwanaume sex kirahisi tu kwa sababu amekuambia anakupenda na atakuoa.

JITAMBUE!!!!

Tazama Picha Kutoka Katika Sherehe ya Ali Kiba na Abdu Kiba Usiku Huu

0
0
Leo ndio ule usiku tuliokuwa tukiusubiria sisi mashabiki wa muziki mzuri.
Maharusi washaingia ukumbini, kwa sasa First Lady Mstaafu, Bi Salma anawapa vijana mawaidha.
Kuna watu maarufu wengi wamehudhuria kutoka Tanzania na Kenya pia.
Tuwatakie maisha mema vijana hawa 







Huyu ndio Shemeji/Wifi yetu 'Mkali' Kwa Nikki wa Pili

0
0

"Kila nikiona kibinda nadinda nakitia mimba" Moja ya mstari kwenye ngoma zake...Je unadhani ilikuwa tu bahati mbaya akaimba hiyo line? Basi unaambiwa huyo ndo Mchumba wa Nikki wa Pili , Anakibinda si cha nchi hii...Naona harusi nyingine ya Staa Bongo hivi karibuni....

Enyi Wanaume Ishini na Wake Zenu Kwa AKILI" La Sivyo Mwanamke Atakukoroga Maisha Yako Yote

0
0
BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema.Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"

Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'
Wanawake wanaweza kukwambia "Mi nataka Mwanaume anipende tu BHAASSS!!Ukidhani kwamba Upendo wako unatosha kwake UTAKUWA UMEFELI
Wanawake wanahitaji vitu 4 na vyote VIENDE KWA PAMOJA(Perpendicularly),vitu hivyo ni

1.HELA
2.GOOD S3X
3.CARING MAN
4.MUDA

Kuna Wanaume wanajua "Kukaza vizuri" mwanamke anatosheka,na wana hela ila WAKO BUSY...Hii factor ya wewe kuwa Busy tu itamfanya mtu mwingine mwenye Muda "Amkaze kiulaini kabisa" halafu wewe utashangaa..."Mke wangu nampa kila kitu,hela za kila kitu nampa..YES,Amekaa muda mrefu uko bize unasaka hela na adui namba 1 wa Mwanamke ni LONELINESS....

A lonely Woman can easily be trapped by anyone..hata Houseboy akimpa ATTENTION endlessly anakula mzigo

Unataka Mwanamke awe wako peke yako???Fuata kanuni ya KIBIBLIA, ishi nae kwa akili....Mpe MUDA..Mpe HELA...Mpe Kisago kitandani...Mpe CARE na ATTENTION
Sikiliza maneno ya Nabii Seth uyatendee kazi,maana TB JOSHUA hatakwambia haya KAMWE!Nimemaliza!

Source:Nabii Seth

Baba wa Marehemu Chacha Heche Suguta Aliyeuawa na Polisi Afunguka

0
0
Baba mdogo wa marehemu Chacha Heche Suguta ambaye pia ni mdogo wa Mbunge John Heche, Bwana Issa Suguta, amevitaka vyombo vya dola kulinda wananchi wake kama inavyopaswa, na kama wameshindwa basi iwaache wananchi wajilinde wenyewe kwa namna wanayoijua.

Akizungumza na waandishi wa habari waliofika  kituo cha polisi mara baada ya wananchi kukizingira kufuatia tukio hilo, Mzee Suguta amesema kwamba kama serikali imeshindwa kuwalinda wananchi wake, basi iwape uhuru wa kujilinda wenyewe.

Mzee Suguta ameendelea kwa kuitaka serikali ya awamu ya tano kuwatetea wanyonge pale inapobidi, kama ambavyo inajitangaza kuwa ni serikali ya wanyonge.

“Tunaomba vyombo vya dola vituangalie vitulinde, na kama hakuna ulinzi tujilinde wenyewe, kama mtu anakuja kuuawa hapa, maaskari wanakamata mtu badala wapite naye kwenye lami, wanapita naye nyuma kuja kumuulia sehemu kama hii, wananchi tuwaelewe vipi?  ninaomba serikali ya Magufuli kama kweli ni serikali ya wanyonge, muwatetee wanyonge kama hawa waliopata shida hapa”, amesema Mzee Suguta.

Ijumaa ya April 27, 2018, Kijana Chacha Heche Suguta aliuawa kwa kuchomwa kisu na polisi wa kituo cha Sirari Tarime, tukio ambalo limethibitishwa na Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya Henry Mwaibambe, na kumshikilia polisi huyo aliyefanya mauaji.

Wamiliki Soba House Wawajibu Wabunge Kuhusu Tuhuma za Kuwachoma Sindano Vijana ili Waendelee Kukaa Sober House

0
0
WAMILIKI wa nyumba zinazosaidia waathirika kujinusuru na dawa za kulevya nchini maarufu kama Soba house wamejibu tuhuma za kuwachoma vijana sindano pindi wapatapo nafuu.

Akiongea na waandishi wa habari leo Jiji Dar es Salaam Katibu wa Umoja wa Soba house nchini, Pili Missanah ambaye ni mmoja wa wamiliki wa vituo hivyo ameeleza kuwa, April 25 mwaka huu katika mjadala wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baadhi ya wabunge walieleza kuhusu tabia chafu  za baadhi ya wamiliki wa nyumba hizo kuwachoma sindano za dawa za kulevya baadhi ya waathirika pindi wanapokaribia kupona ili wazazi au walezi waendelee kuchangia fedha kwenye nyumba hizo.

Pili ameeleza kuwa lengo la nyumba hizo sio baya bali ni kuwasaidia waathirika wa dawa za kulevya na zinaendeshwa kwa kufuata sheria ambayo Serikali iliweka kupitia Mamlaka ya kudhibiti kupambana na dawa za kulevya na kuweka mwongozo wa kuziendesha nyumba hizo ambao ulizinduliwa na Waziri Mkuu.

Aidha, Pili amekanusha vikali tuhuma hizo  na kueleza kuwa wanawaomba wabunge waliotoa tuhuma hizo kutoa ushahidi na watakaobainika wachukuliwe hatua na wamiliki hao wapo tayari kutoa ushirikiano, pia wameiomba Serikali kupitia mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya kufanya uchunguzi kuhusiana na tuhuma hizo ambapo ameeleza kuwa hawajapata malalamiko yoyote kutoka kwa wazazi au walezi wa waathirika hao juu ya tuhuma hizo.

Ameongeza kuwa, tuhuma hizo hazitawarudisha nyuma bali zimewapa nguvu za kuendelea kupambana na kuwasaidia waathirika hao ili waweze kurudi katika hali yao ya kawaida na kuendelea kujenga taifa.

Wamiliki wa nyumba wameeleza kuwa kuna nyumba 22 pekee Tanzania na hadi sasa zina waathirika 737 wanaopatiwa matibabu wakiwemo wanawake 21 na wanaume 726 na hadi sasa wameokoa watu zaidi ya 4,000 ambao wameachana na matumizi ya dawa za kulevya na wanaendelea na shughuli nyingine za kimaendeleo.

Umoja huo umeeleza nia yao ya dhati katika kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dkt John Pombe  Magufuli katika suala la kupiga vita suala la biashara na matumizi ya dawa za kulevya nchini na watasimamia kauli mbiu yao ya; ” Msaidie muathirika wa dawa za kulevya apate huduma ya matibabu na usimnyanyapae” na “Tuwasikilize watoto na vijana ili kuwaepusha na dawa za kulevya.”

Msafara wa Rais Magufuli Wasimamishwa Barabarani.,.......Atoa Ujumbe Mzito Kwa Wakazi Iringa

0
0
Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, umesimamishwa na wananchi wa eneo la Migori mkoani Iringa ili kutoa kero zao zinazowakabili, kwa kiongozi huyo mkubwa wa nchi.

Msafara huo ambao ulikuwa ukipita kuelekea mkoani Irnga kwa ajili ya tukio la uzinduzi wa barabara ya Iringa Migori  yenye urefu wa km 189, umelalamikiwa kero mbali mbali zinazowakabili wananchi wa eneo hilo pamoja na changamoto zinazoikabili shule ya sekondari Nyerere iliyopo mkoani Iringa, na kutoa fedha taslim shilingi milioni 5 ili kusaidia ujenzi wa madarasa na nyumba za walimu.

Baada ya Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Walend Manga kuelezea hatua walizofikia za ujenzi wa nyumba za walimu wanazojenga kwa nguvu yao na wananchi, pamoja na kumshukuru Rais Magufuli kwa fedha zinazopelekwa mashuleni, Rais Magufuli alisikika akisema ..."Ahsante sana Mwalimu Mkuu, shule yenu ina jina zuri, jina la Nyerere, na mimi nitawaongezea milioni 5, sina milioni tano hapa!!? Hebu nisaidie hapa hapa kabisa, bahati nzuri nina milioni 5 hapa, nakupa hapa hapa, kazitumie vizuri, mimi huwa nafuatilia, siku moja nitapita hapa nicheki hizi milioni tano zimetumika wapi.

Sambamba na hilo Rais Magufuli amemtaka Mkandarasi aliyepewa jukumu la kusambaza miundombinu ya umeme kwenyye eneo hilo kukamilisha mapema, ili kuwaletea wananchi maendeleo.

Aidha,  Rais Magufuli amewataka wanakijiji hao kuchapa kazi na kutumia barabara ya lami ya Iringa-Dodoma kujitajirisha.

“Barabara imekamilika mnaiona, itumieni ili mtajirike, limeni mazao kwa bidii na msafirishe kwenda sehemu mbalimbali za nchi,” amesema Rais Magufuli.

Aliwataka kutumia mvua zinazoendelea, kulima na kufuga ili waweze kunufaika.

Kutana na Mtaalam wa Matabibu ya nyota za Binadam na Bingwa wa Tiba za Asili Afrika Mashariki.

0
0
Je Wewe ni Mwanasiasi, Mfanyabiashara , Msani, ama mwanafunzi tunazo dawa na pete za bahati zenye uwezo mkubwa wakuyabadilisha maisha yako nakukupatia mafanikio makubwa ndani ya mda mfupi tu.

Kutana na SHABA WA SHABA kutoka Tanga,
Yeye ni mtaalam na mtabibu wa nyota za binadam na bingwa wa tiba za asili Afrika mashariki.
Wasiliana na mtaalam huyu kwani yeye ufaulu pale wote waliko shindwa na pia humaliza kazi zilizo shindikana ama zilizo achwa ndani ya siku1 tu. Sasa amezianza ziyara zake za mikoani na atayatembeleye maeneo mbali mbali ndani na inje ya nchi.

Anatibu magonjwa sugu yanaojulikana nasiojulikana kwakutumia maji, Kioo na mitishamba.
Anazo dawa za mapenzi, kumrudisha alipoteya, kutoa Mikosi, Kutatuwa shida za chumaulete, mvuto wa biashara na sehem za kazi, kusafisha nyota, kurudisha mali zilizo ibiwa, zilizpotea, ama zilizodhulumiwa, kushika wezi na wachawi, kutoa ndagu , Kutoa kinga ya mwili, nyumba, Biashara, kufukuza majini wabaya, Kuuza kwa haraka ( shamba, nyumba, Gari,...), Kesi mahakamani, Kuweka Zindiko ya mwili, nyumba, shamba, Gari, kupata Kazi na kupandishwa cheo, mali na utajiri bila masharti na mengine mengi ya Siri...

Kwa tiba na ushauri wasiliana na ofisi kwa nambari ya simu :
+255 785 358 267 ,
+255 785 358 267

Familia ya Heche Yagoma Kumzika Ndugu yao...Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Leo April 30

0
0


Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Leo April 30

Rais Magufuli asema hakula nyama mwezi mmoja akiwa Iringa Sekondari ya Mkwawa.

0
0
Rais John Magufuli amesimulia mara ya kwanza alipopelekwa mkoani humo kusoma kwamba hakula nyama kwa mwezi mmoja baada ya kutahadharishwa na watu kuwa akifika asile kitoweo hicho.

Akihutubia wakazi wa Iringa wakati wa ufunguzi wa barabara ya Iringa-Fufu jana Aprili 29, 2018; Rais Magufuli alisema alifika Iringa kwa mara ya kwanza mwaka 1978/79 kwa ajili ya masomo katika Sekondari ya Mkwawa.

“Niliambiwa usile nyama, usile mshikaki Iringa na kweli sikula," alisema na kwamba, baada ya kukaa muda alibaini wakazi wa Iringa hasa wanaume kuwa ni wakarimu.

"Wanaume wa Iringa ni wapole sana, unamchokoza lakini anajinyonga yeye badala ya kukuadhibu wewe," aliongeza Rais Magufuli huku akishangiliwa na umati wa wananchi.

Anasema watu wa Iringa ni tofauti na wenzao wa mkoani Mara ambao ukiwachokoza utakiona cha mtema kuni.

VIDEO: Alikiba Amezindua Kinywaji Chake ‘MOFAYA’ Amekizungumzia

0
0
Jana April 29, 2018 Staa wa Bongofleva Alikiba amezindua kinywaji chake kinachoitwa ‘MOFAYA’ katika reception yake na mdogo wake Abdukiba..

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichozungumza Alikiba akizindua kinywaji hicho.

VIDEO:

Kocha Nsajigwa wa Yanga Amewajibu Wanaomlaumu Kumtoa Tshitshimbi

0
0
Club ya Yanga jana ilicheza mchezo wake wa marudiano wa Ligi Kuu Tanzania bara uwanja wa Taifa Dar es salaam dhidi ya watani zao Simba SC, mchezo ulimalizika kwa Yanga kupoteza kwa goli 1-0 lililofungwa na Erasto Nyoni dakika ya 37.

Baada ya mambo kwenda mlama kocha msaidizi wa Yanga Shadrack Nsajigwa alifanya mabadiliko ya kumtoa Papy Tshitshimbi na kumuingiza Emmanuel Martin mabadiliko ambayo mashabiki wa Yanga hawakuyapenda, Nsajigwa ameongea sababu za kumtoa Tshitshimbi kwa sababu alikuwa majeruhi.

VIDEO:

Ukweli Kuhusu Kinywaji cha Ali Kiba Mofaya...Kumbe Mmiliki yupo South Afrika

0
0
DJ Sbu 



Pongezi kwa Ali Kiba kwa kuingia kwenye biashara,iwe ni ya ubalozi au umiliki cha msingi ni kujua umuhimu wa uwekezaji kwenye biashara.

Nimeona watu wakianza kupotosha umma na kuanza kujikweza na kuanza kuponda wengine kwa kusema Ali ndio mmiliki halali na sio balozi wa hicho kinywaji
lakini ni vyema watu hao wakafahamu kuwa MOFAYA ni Kinywaji kinachomilikiwa na Kampuni ya South Africa na wana product mbali mbali za kinywaji hicho ikiwemo Mofaya Premium,Mofaya Carb O,Ultimate....


SOMA NA HII PIA........South African radio DJ, recording artist and television presenter DJ Sbu has created a new energy drink brand called MoFaya.

Writing about the new drink on Facebook, the entertainer said: “#MoFaya to burn & melt all the NONSENSE in these fridges. Skhathele. Finally a local BRAND is here.

“#MoFaya has been 3 years in the making. Making sure we comply with all the health standards & regulations.”

The new energy drink was founded by a team of eight South Africans, with a collective 97 years of working experience, and every can sold will go towards educating a child in the region.

“#MoFaya will take at least 100 students to university/year starting 2016 & create at least 100 entrepreneurs/province per year.”
Viewing all 104415 articles
Browse latest View live




Latest Images