Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live

Ofisa Mauzo Kizimbani Kwa Kuchapisha Taarifa za Uchochezi Telegram

$
0
0
Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Aggrey&Clifford, Razack Hamad (26) amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kosa la kuchapisha taarifa za uchochezi kupitia mtandao wake wa Telegram.

Wakili wa serikali, Patrick Mwita amedai mbele ya Hakimu Mkazi, Martha Mpazi kuwa mshtakiwa anakabiliwa na kosa la kuchapisha taarifa ya uchochezi kinyume na kifungu cha 53(1)(c) na 52(1)(a) cha Sheria ya Habari Namba 12, ya mwaka 2016.

Inadaiwa mshtakiwa ametenda kosa hilo, Machi 9, mwaka huu akiwa jijini Dar es Salaam ambapo alitumia mfumo wa kompyuta katika simu yake kupitia mtandao wake wa Telegram kwa kuandika; “Nimepata wazo kwa group jingine huko tunaweza kukwepa gharama pia kuandika hata kwenye kuta za wazi #April 26 Magufuli Out, Pinga Dictator” Maneno ambayo yangeibua chuki kwa Watanzania.

Mshtakiwa amerudishwa rumande kwa kushindwa kutimiza masharti yaliyomtaka kuwa na wadhamini wawili watakaosani bondi ya Sh milioni tano. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Mei 24, mwaka huu.

Bulembo Ahoji Kigugumizi Cha Mwijage Kwa Wamiliki Wa Viwanda

$
0
0
Mbunge wa kuteuliwa, Abdallah Bulembo (CCM), amemtaka Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage kuweka kando kigugumizi alichonacho katika kuwanyang’anya wamiliki wa viwanda walioshindwa kuviendeleza.

Bulembo ametoa kauli hiyo jana  Mei 11, bungeni jijini Dodoma wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2018/19, na kuongeza kuwa inashangaza kuona Mwijage anashindwa kuwachukulia hatua wamiliki hao ilihali tayari Rais John Magufuli alimwagiza kutekeleza agizo hilo mara kadhaa.

“Viwanda vingi vilibinafsishwa na wamiliki wengi wameshindwa kuviendesha, serikali na Rais magufuli amekuambia wanyang’anye… kuna watu wamepewa vina mashine lakini hakuna kitu.

“Baadhi ya viwanda kule Dar es Salaam, Mara , Lindi na Bukoba, wamiliki wamevichukua na kuvigeuza kuwa maghala, sasa unaogopa nini kuwanyang’anya ilihali tayari wamekiuka masharti ya mkataba,” alisema Bulembo.

Bulembo alisema watendaji walioko chini ya waziri wanamhujumu Mwijage kwa kuwa wanaamini nafasi ya uwaziri ni ya kisiasa kwa kuwa baada ya miaka mitano atakuja kiongozi mwingine.

“Ukipanga nyumba ya mtu ukakuta ina nondo kesho ukiweka mbao mwenye nyumba akikufukuza utampeleka mahakamani? wengine wana viwanda wanachechemea afadhali hao kuliko ambao wamebadilisha matumizi,” amesema.

Mwijage: Niko Tayari Kutolewa Kafara au Kupigwa Risasi

$
0
0
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema yuko tayari kutolewa kafara au kupigwa risasi kwa kuhubiri viwanda kwa kuwa tayari amefanikiwa kufufua viwanda 18 kati ya 56.

Pia amesema hana mamlaka ya kufuta baadhi ya viwanda vilivyobinafsishwa kwa wamiliki walioshindwa kuviendelea hadi hapo atakapopata baraka za Baraza la Mawaziri.

Mwijage ametoa kauli hiyo jana Mei 11 bungeni wakati akihitimisha bajeti ya wizara yake kwa kujibu hoja za baadhi ya wabunge.

Alisema kazi aliyopewa kuhusu viwanda vilivyobinafsishwa ni kuhakikisha viwanda vyote bila kujali mmiliki binafsi au serikali, vinafanya kazi vizuri ndiyo maana serikali inatambua mazingira wezeshi.

Amekiri kuwa ni kweli Tanzania katika takwimu za Benki ya Dunia haiko vizuri katika muktasari wa mazingira wezeshi ila ipo katika juu ya wastani wa asilimia 50.

“Sisi ni wa 137 kati ya nchi 190, lakini tupo juu ya asilimia 50. Sitaki kujivuna na hiyo nitafuata maelekezo yenu, ndio maana tunakuja bodi maalumu ambayo hizi taasisi mnazozilalamikia zitaanza kufanya kazi.

“Nimshukuru shangazi yangu Riziki Lulida (CUF), alisema nisiwe kondoo wa kafara, lakini hili la viwanda niko tayari kuwa kafara, nitahubiri viwanda anayetaka kunipiga risasi anipige risasi.

“Lulida unajua mtoto hakui kwa shangazi yake, nilipoelekezwa suala la viwanda, vilivyobinasishwa vilikuwa 156, nilifanya tathmini baada ya Rais kule Tanga aliponiambia namkwaza. Vilivyokuwa vinafanya kazi vizuri vilikuwa 62, vilivyokuwa havifanyi vizuri 56, vilivyokuwa vinasuasua 28, vilivyouzwa kwa vipuri mfano injini peke yake vilikuwa 10,” alisema.

Alisema baada ya kufanya kazi kwa muda wa mwaka mmoja kati ya viwanda 56, viwanda 18 vimekarabatiwa na vimeanza kazi.

“Na 35 vilivyobaki nitawasilisha kwa Spika haya ni mambo ya kitaalamu, vingine havina sifa ya kuitwa viwanda ila kwa mamlaka niliyonayo siwezi kuvifuta.

“Kwa mfano eneo la kiwanda cha kuunga trekta hapo Dar es Salaam nimeenda kufanya kukagua nikakuta wamejenga shopping mall nzuri kabisa inaajiri watu, inaitwa Quality Center, mimi mall naipenda kwa sababu inazalisha ajira, mnanishauri nikabomoe shopping mall?.

“Kulikuwa na viwanda vya kupasua mbao lakini sasa misitu imekwisha, sasa huyu mtu nimfanyeje nimuue huyo mtu? Vingine mali ya serikali mfano kiwanda cha maziwa mali ya NHIF (Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya), kiwanda cha serikali  siwezi kukichukua.

“Nimemwambia ajenge kiwanda cha dawa. Yupo kwenye mchakato na suala dawa hivi namaliza kablda ya asubihi, wengine mnasema Mwijage you are not serious (hauko makini) siwezi kujiua,” alisema.

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

$
0
0
Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU

 0753471612/ 0715249530
0623 386 305

DR KUZENZA

Samatta Kaamka Ubelgiji..Atumbukiza Goli la Kwanza Mwaka Huu

$
0
0
Hatimaye Mbwana Samatta ametumbukia nyavuni kwa mara ya kwanza kuifungia klabu yake katika mchezo wa ligi tangu kuanza kwa mwaka 2018.

Samatta ambaye alikuwa anakabiliwa na majeraha ya muda mrefu kabla ya kurejea uwanjani aliifungia klabu yake goli lake la mwisho mwezi Oktoba 2017 katika mchezo ambao KRC Genk ilishinda 2-0 dhidi ya KAA Gent.

Akiingia dakika ya 54 kuchukua nafasi ya mshambukiaji Nikolaos Karelis huku timu ikiwa nyuma kwa bao 1-0 Samatta alisawazisha goli hilo dakika ya 66 kuinusuru KRC Genk na kichapo kutoka KAA Gent.

Mchezo huo ulikuwa ni wa play off kwa ajili ya kupambania nafasi ya kuheza michuano ya UEFA Europa Liague na UEFA Champions League msimu ujao.

Genk ina pointi 32 ikiwa katika nafasi ya sita (6)  huku ikiwa imesalia michezo miwili, ili ijihakikishie kucheza mashindano ya Ulaya msimu ujao ni lazima imalize katika nafasi nne za juu.

Sallam SK alisaini kundi la Nany Kenzo, Diamond kuiachia video ya wimbo Baila

$
0
0
Meneja wa Diamond na AY, Sallam SK jana katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ametangaza kulisimamia Kundi la Muziki la Nanvy Kenzo.

Sallam amesema kuanzia wiki ijayo kazi za kundi hilo ambao lilikuwa kimya zitaanza kuachiwa.

“Exclusive mimi ni meneja wa Nany Kenzo, nimeshawasaini na kuanzia wiki ijayo naanza nao kazi,” alisema Sallam kupitia Dizzim Online. “Kwahiyo Aika na Nahreel wapo chini ya SK kibiashara kuanzia sasa hivi,”

Aliongeza, “Naomba niongezee video ya Diamond Platnumz Baila inatoka hivi karibuni, halafu AY ana project kama tatu na mpaka sasa hivi hatujajua ipi itoke lakini nadhani leo tulikuwa tunampango wa kupiga ana anadoo. Kwa upande wa Nany Kenzo wana project tano wameshoot video zote, kwa hasira wamesema ukiwa kama meneja wetu mpya tunakuletea video 5 chagua yoyote ambayo inatoka kwahiyo ni mtihani mgumu, kwahiyo katika video itayotoka ya Navy Kenzo nitaichagua mimi, kama nitakuwa nimekoseha nisameheni,”

Nao Nany Kenzo amethitisha kusainiwa na Sallam SK huku wakiwaahidi mashabiki wao kazi nyingi hivi karibuni.

Natumaini Sugu anakwenda kuwa Rais wa Tanzania huko mbeleni – Professor Jay

$
0
0
Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya Chadema, Joseph Haule ‘Professor Jay’ amesema kuwa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ anakwenda kwenye mchakato wa kuwa rais wa Tanzania kutokana na kile alichopitia.

Professor Jay amesema hayo leo May 11, 2018 kabla ya kuanza kuchangia bajeti ya wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji kwa mwaka wa fedha 2018/19. Professor Jay amempongeza Sugu kwa kwenda jela na kurudi na kueleza kuwa hicho kinajenga zaidi.

“Natoa pongezi kubwa sana kwa pacha wangu a.k.a Sugu kwa kuhitimu mafunzo huko ndani ambayo yameongeza ujasiri na CV yake ya kisiasa na nanitumaini sasa hivi hatakuwa rais wa Mbeya bali anakwenda katika mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania huko mbeleni,” amesema Professor Jay.

Pongezi kama hizo, zimetolewa pia na mbunge wa viti maalum (Chadema), Devotha Minja ambaye amesema kilichompata Sugu ni harakati za ukombozi wa taifa la Tanzania.

Sugu aliachiwa huru hapo jana May 10, 2018 baada kutumikia kifungo kwa zaidi ya miezi minne. Alihukumiwa kifungo cha miezi mitano jela February 26, 2018 kwa kutoa lugha ya fedhea dhidi ya Rais John Magufuli.

Bodi Ya Mikopo Yasema Umiliki Wa Leseni Za Biashara Kwa Wazazi Sio Kigezo Watoto Wao Kukosa Mikopo

$
0
0
Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zisizo za kweli zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa waombaji wa mikopo ambao wazazi wao wanamiliki leseni za biashara hawatapata mikopo ya elimu ya juu katika mwaka wa masomo 2018/2019. Taarifa hizo sio sahihi na zinapotosha waombaji mikopo na umma kwa ujumla.

Ufafanuzi wa kina ni kama ifuatavyo:
a)   Mikopo inayotolewa na Serikali kupitia HESLB inaongozwa na Sheria ya HESLB (SURA 178) pamoja na Mwongozo unaotaja sifa, vigezo na utaratibu wa kuwasilisha maombi ya mikopo. Mwongozo huu unapatikana katika tovuti ya HESLB (www.heslb.go.tz) na hautaji kigezo cha umiliki wa leseni kama sifa ya kukosa mkopo;

b)   Pamoja na mwongozo huu, HESLB pia imeandaa kitabu kwa lugha nyepesi ya kiswahili chenye Maswali na Majibu 21 ili kuwawezesha waombaji mikopo kufahamu sifa na utaratibu wa kuwasilisha maombi ya mikopo kwa ukamilifu na usahihi. Kitabu hiki pia hakijataja umiliki wa leseni kwa mzazi au mlezi kama sifa ya mwanafunzi kukosa mkopo;

c)    HESLB inaamini umiliki wa leseni ya biashara kwa wazazi ni jambo jema na linapaswa kupongezwa kwa kuwa linaimarisha mifumo ya utambuzi kwa wafanyabiashara.

Bodi ya Mikopo inapenda kuwakumbusha wadau wote, wakiwemo wazazi, walezi na wanafunzi waombaji wa mikopo kusoma kitabu cha mwongozo wa utoaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019 na kitabu chenye maswali 21 ambavyo vinapatikana katika tovuti (www.heslb.go.tz).

Vitabu hivi ndiyo nyaraka rasmi za HESLB zinazotoa mwongozo kuhusu maombi ya mikopo kwa mwaka 2018/2019.

Aidha, HESLB inapenda kuwakumbusha wadau wote, wakiwemo wanahabari, kusoma nyaraka hizo na kutumia kalamu na kamera kuwaelimisha waombaji mikopo kwa usahihi.

Imetolewa na:
Abdul-Razaq Badru
Mkurugenzi Mtendaji
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
DAR ES SALAAM

Nilimpenda Diamond Sana ila Madharau yalizidi – Zari Afunguka

$
0
0

Aliyekuwa Baby Mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady amesema alimpenda sana muimbaji huyo na kila mtu alifahamu hilo ila madharau yalizidi ndipo akaamua kuvunja mahusiano yao.

Zari katika mahojiano na Kiss FM nchini Kenya amesema kwa kuwaida mwanaume anaweza kuchepuka ila kwa Diamond dharau zilizidi na alihisi kama utu wake umeshushwa.

Ameendelea kwa kusema kuwa Diamond alikuwa akimkosea heshima katika mitandao ya kijamii na hakuwa na heshima kwa wanawake kitu kilichopelekea hata watoto wake kutukanwa na ukizingatia hawana baba hivyo hakuona sababu ya kuendelea na mahusiano hayo.

I loved him so much and everyone knows about that, you can go cheat there as a man but when it comes in with disrespect that is when it became too much. I felt that my integrity was so low.

Diamond misbehaving on social media, they will not have respect for women when they grow up. I asked myself, why do I have to settle low for this? My children were insulted on social media. Being the fact that they do not have a father, they will know that in future they need to respect women and that is why I left.

February 14 mwaka huu ndipo Zari alitangaza kuvunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platnumz. Kwa sasa Zari upo nchini Kenya kwa ajili ya event yake ‘The Colour Purple’ itakayofanyika weekend hii Uhuru Gardens.

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo

$
0
0

Dawa Bora za Nguvu za Kiume na Kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa

$
0
0
DAWA BORA ZA NGUVU ZA KIUME NA KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
Baada ya utafiti wa muda mrefu juu ya matatinzo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurundia tendo kwa haraka Sasa inakuletea suluhisho juu ya matatizo haya kwa kutumia dawa za FULL POWER

Full Power dawa asili yenye vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume dawa hii inamchanganyiko wa kutosha kuzalisha vichocheo vingi vya hernone za gestro gen zikiwemo vitamin b6 na b1 vitamin e pamoja na madini aina ya zinc

Itakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wakufanya tendo la ndoa zaidi hatua nne au zaidi na kuchelewa kufika kileleni zaidi ya dakika 20/30 ZAT 50

Inarundisha maumbile ya uume yaani kurefusha na kunenepesha nchi 3/7 na upana cm 3/4 standard.kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukitumia maumbile yatabaki kuwa hivyo siku zote pia anatibu matatizo mengine kama presha kisukari ngiri chango la tumbo kujaa gesi kutopata choo vizuri minguu kuwaka moto matatizo ya uzazi bawasili na magonjwa ya zinaa kama kisonono na kaswende

Tunapatikana Dar es Salaam  na mikoan wasiliana na DR Oshinda no 0755505099 au 0714126118  Karibuni kwa hunduma bora

Simba Kupewa Kombe Singida?

$
0
0
Baada ya Simba kujihakikishia ubingwa wa VPL 2017/18 Haji Manara aliiomba bodi ya ligi kuwakabidhi kombe mara baada ya mchezo wao dhidi ya Singida United kwenye uwanja wa Namfua mkoani Singida.

Lengo la Manara lilikuwa ni kupitisha kombe hilo kwenye baadhi ya mikoa wakati timu ikirejea Dar: Tutaandaa utaratibu mkubwa wa kufurahia kombe Singida na namna ya kulirudisha Dodoma, Morogoro mpanga Dar.”

Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kuu Tanzania bara (TPLB) Boniface Wambura amesema hajapokea ombi lolote kutoka Simba wakitaka kukabidhiwa kombe uwanja wa Namfua Singida.

“Ombi la Simba kukabidhiwa kombe Singida mimi sina taarifa hiyo wala hawajawasiliana na bodi ya ligi, utaratibu wa kukabidhi kombe tutautangaza baada ya mechi ya kesho dhidi ya Singida United.

Producer wa Mariah Carey, Michael Jackson afanya kazi na Vanessa Mdee

$
0
0


Vanessa Mdee amekuwa akipambana kwa kila hali kuhakikisha muziki wake unafika mbali zaidi. Msanii huyo amekutana na producer na audio engineer, Humberto Gatica ambaye ni mshindi wa tuzo 16 za Grammy na kufanya naye kazi.

Vanessa amekutana na producer huyo katika studio maarufu duniani ya Abbey Road iliyopo nchini Uingereza na kutengeneza project ya kazi kwa ajili ya tamasha la Bantu Jazz litakalofanyika Juni 9 ya mwaka huu nchini Garbon.

Akiongea na mtangazaji Fredrick Bundala, Vee Money amesema kuwa Gatica pia atakuwepo kwenye tamasha hilo litakalofanyika Garbon.

Gatica amewahi kufanya kazi na wasanii wakubwa duniani akiwemo Barbra Streisand, Mariah Carey lakini kubwa zaidi ni Thriller ya Michael Jackson, My Heart Will Go On ya Celine Dion na nyingine.

Hizi Ndizo sifa kuu sita 6 za kuwa za kiongozi bora

$
0
0
Mwana falsafa mmoja aitwaye John Quincy Adams yeye aliwahi kusema ya kwamba “Kama matendo yako yanawahamasisha wengine kupata ndoto zaidi, kujifunza zaidi, kufanya na kuwa zaidi, wewe ni kiongozi.”

Kwa muktadha huo swali linaweza kuja tena je kiongozi bora ni yupi? Je kiongozi bora ni yule mwenye wafuasi wengi au miaka mingi katika uongozi? La hasha, kiongozi bora hujengwa kwa sifa anuwai.

Ni rahisi kufikiri kuwa kiongozi bora hutokea kwa bahati tu au hakuna haja ya kujifunza jinsi ya kuwa kiongozi bora. Wewe kama mtu anayehitaji kusimamia na kuratibu shughuli mbalimbali ni lazima ufahamu sifa zinazomfanya mtu kuwa kiongozi bora ili uwe na mafaniko.

Zifuatazo ni sifa za kiongozi:

1. Lazima awe Maono chanya.
Maono ni picha inayojengeka katika fikira ya matokeo ya jambo ambalo linapangwa kutekelezwa.

Kama wewe ni kiongozi asiyeweza kuona picha ya baadaye ya kampuni au taasisi hutawea kuiongoza kampuni kufikia mafaniko na malengo yake. Jitahidi kujifunza kuwa na maono katika jambo lolote unalolifanya ili lifanikiwe. Hata mwanafalsafa  John C. Maxwell aliwahi kusema ya kwamba “Kiongozi ni yule anayejua njia, anakwenda njia hiyo na anaonyesha njia.”

2.  Kiongozi bora lazima awe muwazi.
Uwazi ni sifa muhimu inayomfanya mtu kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora ni lazima awe wazi katika utendaji kazi wake.

Uwapo kiongozi kuna siri za kazi lakini namna ya utendaji kazi hautakiwi uwe siri au usioeleweka kwa wale unaowaongoza. Kiongozi bora anatakiwa kuwa na mpangilio mzuri na unaoeleweka wa utendaji kazi wake.

3. Uadilifu.
Ili uwe kiongozi bora huna budi kuwa mwadilifu. Heshimu kazi, tunza muda, tunza fedha pia tumia nafasi yako kwa njia amabyo si ya kibadhirifu.

Ni rahisi mtu kushawishika kutumia ofisi au nafasi ya kiuongozi kwa maslahi binafsi jambo ambalo linamfanya kupoteza sifa yake ya kiongozo bora.

4. Kiongozi bora ni Yule mwenye subira.
Kuna mambo yanayohitaji subira katika maisha. Kiongozi asiye bora hutaka kila kitu kitimie kwa siku moja. Kuwa kiongozi mkomavu ni kuwa subira na uvumilivu.

Wakati mweingine kampuni au taasisi yako inaweza kuwa inapita kwenye kipindi kigumu; usipokuwa kiongozi mwenye subira unaweza kufanya maamuzi ambayo yataathiri kampuni daima.

5. Kongozi bora ni Yule ambaye siku zote ni jasiri.
Huwezi kuwa kiongozi bora kama hutakuwa na ujasiri katika maswala mbalimbali. Unahitaji ujasiri kufanya maamuzi mbalimbali katika eneo au taasisi unayoiongoza kama vile kufanya uwekezaji mpya, kubadili mfumo wa utendaji kampuni au taasisi n.k.

Lazima kiongozi aoneshe ujasiri kwa watawaliwa au wafanyakazi wengine katika maamuzi yake anayoyafanya kila siku.

6. Kiongozi bora ni Yule mwenye nidhamu.
Kuna mambo ambayo huwezi kufanya unapokuwa kiongozi hata kama wengine wanayafanya au unavutiwa nayo. Siku zote epuka tabia zisizo endana na kiongozi bora kama vile ulevi, umbeya, uvivu, anasa, strarehe kuongea hovyo n.k.

Onesha watu unaowaongoza kuwa wewe ni kiongozi mwenye uelewa uliokujengea nidhamu na kujitawala.

Harmonize Afurahishwa na Mapokezi Airport Mwanza

$
0
0
Na James Timber, Mwanza
Msanii wa Bongo flava kutoka WCB Harmonize amewasili jijini Mwanza kwa ajili ya uzinduzi wa Mashindano ya Miss Mwanza na Lake zone.

Harmonize na mkewe wamefurahishwa na mapokezi hayo na kuwaomba mashabiki  wasikose kwani wamewandalia vitu vipya.

Harmonize anayetamba na kibao cha Kwangaru aliyemshirikisha Rais wa WCB Diamond, ameambatana na mkewe Sarah, na kupokelewa na baadhi ya washiriki wa mashindano ya Miss Mwanza.

Mashindano hayo yaliyoandaliwa na Mepal Management Wakala wa Miss Mwanza 2018 , yanatarajia kuzinduliwa Mei 12 kwenye viwanja vya Rock City Mall.


Mvua kubwa kunyeesha Dar, TMA yatoa tahadhari

$
0
0
Mamlaka ya hali ya hewa iliyopo chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Tanzania imewatahadharisha wananchi kuwepo kwa vipindi vya mvua kubwa na upepo mkali unaozidi km 50 na zaidi kwa saa katika maeneo yote ya pwani kuanzia leo

Hayo yamebainishwa na taarifa zilizotolewa na mamlaka hiyo jioni ya jana (Ijumaa) na kudai kutakuwepo vipindi vya mvua kubwa katika saa 24 ambavyo vinatarajiwa katika maeneo ya mkoa wa Dar es Salaam, Pwani, Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Mbali na hilo, TMA imesema kwa matazamio kwa siku ya Jumapili Mei 13, 2018 kutakuwa na ongezeko la mvua katika maeneo ya Ukanda wa Pwani ya Kaskazini.

Je Wajua Kwanini Asilimia Kubwa ya Wanaume Wana Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo?

$
0
0
JE' WAJUA KWANINI ASILIMIA KUBWA YA WANAUME WANA UPUNGUFU, UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO YA UUME?

CHANZO HUWA NI:

(Kisukari, presha, ngiri, korodani kuvimba na kuuma, busha,zinaa,tumbo kuuma chini ya kitovu na kuunguluma nakujaa gesi, kutopata choo vizuri, punyeto, vidonda vya tumbo, bawasili.

Haya ni baadhi ya magonjwa yanayochangia upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume na uume kuwa mdogo.

TIBA YAKE NI "KIBOKO POWER"

Kiboko Power Ni dawa ya mitishamba ya vidonge yenye uwezo mkubwa sana wa kutibu upungufu au ukosefu nguvu za kiume.

(1) Itakufanya uwe na uwezo mkubwa sana wa kufanya tendo la ndoa.

(2) Inaongeza hamu ya tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha.

(3) Itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dk 30 nakuendelea.

(4) Itaufanya uume uwe na nguvu mara dufu wakati wote wa tendo la ndoa.

TIBA YA KUKUZA UUME SAIZI UIPENDAYO NI " SUPER FARU"

Super Faru Inanenepesha na kurefusha uume saizi uipendayo kuanzia nchi 3 hadi 8 na unene sm 2 hadi 4 .

(1) Inaimarisha mirija ya uume iliyolegea au kusinyaa.
(2) Inasaidia kusafisha mishipa ya uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi msukumo wa damu kwenye mishipa ya uume.

(3) Inasaidia kuurudisha nje uume ulioingia ndani.
(4) Inasaidia kuongeza manii nyingi ambazo zina viini vya uzazi
(5) Inatibu pia madhara yanayosababishwa na upingaji punyeto, matumizi ya madawa ya kizungu ya kuongeza nguvu au maumbile ya uume, milungi, bangi na sigara.

PIA NATIBU MAGONJWA YOTE SUNGU NAYALIYOSHINDIKANA KAMA VILE,

Kisukari, korodani kuvimba na kuuma, busha bila upasuaji, tezi dume, presha, zinaa miguu kuwaka moto au kufa ganzi, presha, mgoro nk.

Pia narudisha mme, mke, mchumba, hawara, aliyekuacha ndani ya masaa 4 tu, nakutimiza ahadi zote ulizoahidiwa.

Pia natoa utajiri wa majini ambao hauna masharti magumu na kutoa ndangu za utajiri.

Kumbuka nashughulika na matatizo yote yaliyopo ndani ya mzunguko wa binadamu usisite kunieleza hata kama sijayaandika.

WASILIANA NA DR ULIMWENGU KWA TIBA BORA NA SALAAMA KABISA

ANAPATIKANA DAR MAGOMENI SIMU 0759030343 / 0622790494.

KAMA HAUNA MUDA WA KUFIKA OFISINI HUDUMA HII UTAIPATA POPOTE ULIPO.

Tunda Man Asaliti Wana...Adai Alikiba Amemzidi Diamond Mbali

$
0
0
Msanii wa muziki Bongo, Tunda Man amefunguka na kusema kuwa mashabiki wanaowashindanisha Alikiba na Diamond wanakosea.

Muimbaji huyo kupitia Refresh ya Wasafi TV amesema kuwa Alikiba amemzidi Diamond na kinachotakiwa kuwepo kati yao ni heshima tu.

“Hata wale wanaowashindanisha Diamond na Alikiba ni kitu kibaya sana kwa sababu wanachangia vitu vya…, kwa sababu Alikiba ni mkubwa, hiyo ni heshima tu inatakiwa iwepo halafu vitu vingine vinaendelea kama kawaida,” amesema Tunda Man.

Katika hatua nyingine Tunda Man ameeleza kushangazwa na kile alichodai kuwa Diamond anamuona snitch kwa vile yupo karibu na Alikiba.

Tunda Man ameeleza kuwa urafiki wake na Alikiba ulikuwepo toka siku nyingi kabla hata hawajaanza muziki na hata alipowashirikisha wote wawili katika video ya wimbo ‘Starehe Gharama’ Diamond alikuwa anaona urafiki wao.

“Kwenye Starehe Gharama Alikiba amefanya chorus, amefanya intro, Naseeb hajafanya chochote lakini alikuwepo, why sasa hivi ananiona snitch,” amehoji.

“Naseeb ni kama mdogo wangu kwa sababu mimi nimemzidi kwa vitu vingi sana, kwa hiyo kufanikiwa na kutofanikiwa ni mipango ya Mwenyenzi Mungu lakini heshima ni kitu kikubwa sana katika maisha,” amesema.

Tunda Man kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya’ Boss Hanuniwi’, ambavyo ilitoka pamoja na ngoma nyingine mbili.

Zamaradi Ajitwisha Sakata la Rambirambi ya Masogange

$
0
0
Sakata la pesa ya rambirambi za aliyekuwa video vixen, Agnes Masogange linaendelea kufukuta kila kukicha lakini mtangazaji, Zamaradi Mtetema amekuja kulimaliza.

Steve Nyerere ambaye alikuwa mratibu wa msiba huo, aliingia matatani baaada ya familia ya marehemu kudai hawajapata rambirambi iliyobaki.

Mwigizaji huyo alibanwa kila kona kwa madai kuwa ametia kapuni salio la rambirambi ambalo lilipangwa apewe mtoto wa marehemu aitwaye Sania.

Baada ya tetesi hizo Steve kuibuka kukanusha tuhuma hizo, huku mtangazaji mashuhuri Zamaradi Mketema naye aliibuka kumtetea akisema fedha zilizobaki anazo yeye.

Kwa mujibu wa mtandao wa gazeti la Mwananchi limedai, Mketema amesema fedha hizo anazo na familia ya marehemu inafahamu huku ikisubiriwa utaratibu wa kumfungulia akaunti benki ili wamuewekee kwa ajili ya kupa ada atakapoanza kidato cha kwanza mwakani.

Pendeza Kwa Kutumia Kessy Products..Mafuta na Dawa zisizo na Madhara

$
0
0

PENDEZA_KESSY_ PRODUCT WEKA MUONEKANO WAKO NA UPENDEZE SASA,TUMIA BIDHAA HALISI NA UREMBO MAFUTA/DAW ZISIZO NA MADHARA ZIMETENGENEZWA KWA MIMEA NA MATUNDA MATOKEO NIMAZURI KUANZIA WEEK 2/4🍍🌾

1)-KUTOA MVI SUGU PIA ZAKUZALIWA_130,000/
2)-RUREFUSH NYWELE ZAKO NA KUZIJAZA -120,000/
3)-TENGENEZA MWILI WAKO KUWA NA UMBO ZURI (HIPS KALIO NA MAPAJA (@) KUNYWA/VIDONGE/KUPAKA_130,000/
4)-ONDOA NYAM UZEMBE NA KUTOA MAFUTA_100,000/
5)-PUNGUZA NA KUKIMALIZA KITAMBI KABISA (@)KUPAKA 100,000/ (@)KUNYWA (VIDONGE)-130,000/
6)-PUNGUZA MWILI MZIMA KUANZIA KILO 15&20
@) KWADAW YAKUNYWA NA KUMEZA (VIDONGE)_130,000/
7)-PUNGUZA MAZIWA NA KUYASIMAMISHA _100,000/
8)-KUONGEZA MAZIWA SAIZI UNAYOHITAJI WEWE_100,000/
9)-ONGEZA UNENE WA MWILI MZIMA_100,000/
10)-TOA MICHIRIZI SUGU NA MIPASUKO_90,000/
11)-TOA MAKOVU, CHUNUSI, WEUSI KWENY MAPAJA KIKWAPAN_90,000/
13)-KUWA MWEUPE MWILI MZIMA (@)VIDONGE VYAKUMEZA_130,000/(B)MAFUTA YAKUPAKA YASIO NAHARUFU YAKUKERA_100,000/
14)-TOA NDEVU NA VINYWELEO MWILINI _100,000/
15)-ONGEZA NGUVU KWA WANAUME (@)DW ZAKUPAK AINAZOTE -100,000/(B)VIDONGE VENYE
UHARAKA_100,000/
16)-REFUSH MAUMBILE NA UNENE SAIZI UNAYOTAKA
@) (HANDSOME UP) MASHINE _200,000/
@) JELI/VIDONGE UREFUSHA NCH 5%6&_130,000/
17)-RUDISHA HAMU YA TENDO LA NDOA_100,000/
18)-DAW YA KURUDISH USCHANA (BIKRA)-100,000/
19)-TOA MAFUT USONI WEKA USO MKAVU_100,000/
20)-ONDOA MIKUNJO USON NGOZI YAKUZEEKA I00,000/(21)-ENGEZA MGUU (WABIA)_100,000/ 21)- PATA MIKANDA YAKUPUNGUZA TUMBON AINA ZOTE 22) DAW YA NGIRI_100,000/🍍🌾🍉🍌🍁

TUNAPATIKANA TZ NZIMA NA TUNATUM MIZIGO POPOTE ULIPO NCHI YOYOTE ILE WASILIANA NASI (+255)0719955528
(+255)0756259180
(+255)0785371237 @Pendeza_kessy_product @Pendeza_kessy_product
Delivery POPOTE ULIPO,
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live




Latest Images