Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104431 articles
Browse latest View live

Yajue Magonjwa yanayowezwa Kusababishwa na Unene

0
0
Tafiti zinaonesha ya kwamba watu wenye uzito kupiliza wana uwezakano wa kushambuliwa na magonjwa kwa kiwango kikubwa zaidi ukilinganisha na watu wembawemba.

Magonjwa hatari tunayoweza kupata kutokana na kuwa na uzito mkubwa ni kama yafuatayo:


    Magonjwa ya moyo.
    Shinikizo kubwa la damu.
    Kiharusi.
    Aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari.
    Baadhi ya aina za saratani.
    Ugumba.
    Msongo wa mawazo.
    Ugonjwa wa mifupa na
    Maumivu ya mgongo.


Ngorongoro Heroes yachezea kichapo, Yajiweka Katika Madhingira Magumu ya Kufuzu

0
0
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20, imekubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa timu ya vijana ya Mali kwenye mchezo uliomalizika jioni kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

Ngorongoro imejiweka kwenye mazingira magumu ya kufuzu hatua inayofuata ikiwa na kazi ya kubadili matokeo ugenini ili iweze kushinda na kufuzu kutokana na kuruhusu mabao ya ugenini kwa Mali.

Katika mchezo huo uliochezeshwa na waamuzi kutoka Comoro, Soulaimane Ansudane aliyepuliza kipyenga akisaidiwa na washika vibendera Mmadi Faissoil na Abdoulmadjid Azilani, hadi mapumziko tayari Mali walikuwa mbele kwa mabao 2-1.

Ousmane Diakite alianza kuifungia Mali bao la kuongoza kabla ya Samadiare Dianka kufunga bao la pili wote wakitumia makosa ya walinzi na mlinda mlango Abdultwali Msheri.

Mshambuliaji chipukizi wa Azam FC, Paul Peter ndiye aliyeifungia Ngorongoro Heroes bao la kufutia machozi dakika ya 44 akiuwahi mpira uliotemwa na kipa wa Mali, Youssouf Keita kufuatia shuri la mpira wa adhabu.

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo

0
0

BREAKING: Elizabeth Michael ‘Lulu’ Ameachiwa Kutoka Gerezani

0
0
Leo May 14, 2018 Taarifa iliyotufikia muda huu ni kumhusu Muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael marufu Lulu, amebadilishiwa adhabu kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania na sasa atatumikia kifungo cha nje.

Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia.

Hukumu ya kesi hiyo ilisomwa na Jaji wa Mahakama Kuu, Sam Rumanyika, ambaye baada ya kusikiliza utetezi kutoka kwa mawakili wa upande wa mshtakiwa alitoa hukumu.

Lulu, alishtakiwa kwa kesi ya kumuua bila kukusudia, aliyekuwa muigizaji maarufu wa filamu nchini na nje ya nchi, Steven Kanumba ambaye pia alikuwa mpenzi wake.

Wasiliana na Dr Mabula Anatibu Upungufu wa Nguvu za Kiume, Busha na Matatizo ya Maumbile Madogo kwa Mwanaume

0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO
Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliongahika sehemu mbalimbali bira MAFANIKIO MABULA CLINIC ni kituo cha tiba asilia kilichopo mbagara zakhemu njia kuu ya JESHINI JE HUNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO NA MWEMBAMBA?

MAPRO PAWER NO 2 ndio Tiba kwa sasa utibu matatizo matatu kwa pamoja 1hitakufanya uchelewe kufika kilekeni dikika 15-20 kwa tendo la kwanza 2 uhimalisha misuli iliyoregea na kusinyaa hasa kwa wale walio hasirika na upigaji punyeto 3 itakufanya upate amu ya kurudia tendo zaidi ya Mara tatu

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MPENZI AU MKE WAKO kisa unawai kukojoa au unakomea bao moja tu na huku dawa zipo MAKAKANUA mix ni dawa iliyochanganywa na miti Shamba 9 na Kuwa na uwezo wa kuongeza uume saizi upendayo inchi 5-8 Kwa Urefu na unene sentimita 1-5 dawa hizi hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ata wazee wenye umri mkubwa wanapona? zipo dawa za mvuto wa mpenzi mme au mke Kwa masaa matatu tu na kukupigia simu yeye mwenyewe mvuto wa biashara kutengeneza mwonekano mzuri wa mwili kwa wanawake yani shepu tunatibu ngiri miguu mgongo na kiuno kuumwa kupunguza kitambi minyama uzembe matiti na mwili mkubwa

TIBA NA USHAULI MUONE DR MABULA AU PIGA SIMU NO 0752348593 UDUMA ZANGU UTAZIPATA POPOTE ULIPO KAMA UWEZI KUFIKA OFISINI

Madhara Ya Kuangalia Video Za Ngono (Porn) Na Namna Ya Kuacha

0
0
Kuangalia video za ngono sio jambo jipya kwa jamii yetu, kimsingi ni watu wachache sana wanaweza kujizuia kujichua au kupiga punyeto baada ya kuangalia video za ngono.

Bahati mbaya tabia ya kuangalia video hizi watu wengi huipata wakiwa wadogo sana na usipokua makini tabia hii itakufanya vibaya sana kisaikolojia.

Tabia ya kujichua sasa iko wazi kwa jinsia zote yaani wanawake na wanaume japokua imekua ikiathiri zaidi wanaume sababu ya maumbile yao.

Japo wengi hufanya kwa siri na kuficha ili wasijulikane na wengine. Vijana wengi wamekuwa wakiangalia video hizo wakiwa wamejificha wenyewe chumbani, na hasa nyakati za usiku.

Kuangalia video za ngono kuna madhara mbalimbali ya kiafya na kisaikolojia. Haya hapa ni baadhi ya madhara unayoweza kuyapata kama utaangalia sana video za ngono.
Kuishiwa hamu ya tendo la ndoa na nguvu za kiume

Kuangalia sana video za ngono hukufanya ushindwe kusisimuliwa na mwanamke au mwanaume wa kawaida, video za ngono zina wanawake na wanaume wazuri sana ambao wako vile sababu ya kufanyiwa upasuaji mbalimbali wa kuongeza makalio na matiti, hata wanaume hufanyiwa upasuaji wa kuongeza uume hivyo mwanamke anayeangalia atatamani uume mkubwa kama ule au mwanaume anayeangalia atatamani mwanamke kama yule ambaye katika mazingira ya kawaida hayupo.

Sasa wanaume wanao angalia video za ngono hawawezi kusisimka au kuamsha uume hata mwanamke wa kawaida akipita uchi na hii huweza kuathiri sana mahusiano yao na kuonekana hawana nguvu za kiume kwani wao hutegemea video hizo kuamsha uume.

Kujichua au kupiga punyeto sana
Video za ngono zina wanawake na wanaume tofauti, kila video nzuri unayoangalia utaenda kujichua huku ukimuwaza wanaume au mwanamke husika. Hii itakufanya ujichue hata mara kumi kwa siku kama unaziangalia mara kwa mara. Kuishiwa nguvu za kiume, kusahau sana, kushindwa kumpa mwanamke mimba, kuchoka sana na kufika kileleni haraka wakati wa tendo la ndoa ni moja ya madhara makuu ya punyeto.

Kushindwa kudumu kwenye mahusiano
Kuangalia video za ngono hukufanya uwaze kujiridhisha mwenyewe tu na hata mwenza wako akitaka kulala na wewe unakua hutaki tena. Lakini hata kwa vijana ambao hawako kwenye mahusiano hujikuta wanakua waoga sana kuwafuata wanawake au wasione sababu ya kua kwenye mahusiano. Vile vile wanaume hushindwa kuwaridhisha wenza wao na wanawake kusingizia kuchoka kila siku.

Kuanza kufanya ngono ambazo sio za kawaida
Hivi karibuni idadi kubwa ya wanawake wamekua wakijihusisha sana na mapenzi ya kinyume na maumbile. Hii imesababishwa sana na kuangalia video za ngono na kuona ni kitu cha kawaida wakati kina madhara mengi. Wanawake waliozoea kuingiliwa nyuma hata wakiolewa huendelea kufanywa na wanaume wa nje hasa kama waume waliowaoa hawajawahi kujihusisha na tabia hiyo. Aina zingine za ngono ambazo zinababishwa na tabia ya kuangalia video hizi ni ushoga, usagaji, au mwanamke kulala na wanaume zaidi ya mmoja au mwanaume kulala na wanawake zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.

Inawezekana wewe unayesoma hapa tayari hii tabia inakuumiza sana kwa sasa na umeshindwa kuiacha, kuna mambo ya msingi unaweza kufanya ili uweze kuacha kuangalia video hizi..

Ondoa zana zote za kuangalia video hizi
Kama una tarakilishi (computer) au simu futa video zote, futa tovuti (website) zote za video ambazo unazitumia kuangalia. Kuna watu wamo kwenye makundi ya WhatsApp ya kutumiana video za ngono, ondoka kabisa huko kwani unajiharibu.

Anza kufanya mazoezi
Ni mazoezi pekee yanayoweza kumfanya mtu aweze kuachana na tabia zote ambazo sio za kawaida ambazo alikua anazifanya kipindi cha nyuma. Unapofanya mazoezi utatumia nguvu nyingi na mwili wako utachoka na kupata usingizi. Vilevile ufanyaji wa mazoezi hukuepusha na kukaa bila shughuli yoyote.

Jijengee tabia ya kukaa na marafiki zako muda mrefu au kufanya shughuli nyingine zitakazokuweka ‘busy’

Kama una tabia ya kuangalia video hizi basi, fanya mpango uwe unafanya mambo mengine muda ambao umekua ukiangalia hizi video, ikiwemo kusoma vitabu au kuongea na watu. Hii itakusaidia kusahau video hizo na kuacha kabisa.

Pata ushauri wa kitaalamu na matibabu
Unaweza kumuona mtaalamu wa ushauri wa kisaikolojia ili kukusaidia ushauri wa namna ya kufanya ili kuepukana na tabia hiyo. Kama umeshapata madhara kiafya, basi waone wataalamu wa afya hasa masuala ya uzazi ili wakushauri namna ya kulitibu tatizo lako.

Jenga mahusiano ya karibu na mpenzi wako
Hii itakusaidia kumuwaza yeye zaidi ya video za ngono na pia pale unapopata hamu ya kufanya mapenzi basi hutoogopa kumwambia ili mfanye. Kuwa karibu na mpenzi wako kutakujengea ujasiri na kuyakuza mahusiano yenu.

Sakata la Trilion 1.5 Dr Slaa Asema ni Sababu ya Bunge Kupitisha vitu Hewa..Hapa Anakiri Tumepigwa

0
0

Sakata la Trilion 1.5 Dr Slaa Asema ni Sababu ya Bunge Kupitisha vitu Hewa..Hapa Anakiri Tumepigwa

RC Gambo Atangaza Kuanza Msako wa Mafuta ya Kula na Sukari

0
0
Baada ya Waziri Mkuu kuagiza wafanyabiashara wa mafuta ya kula pamoja na sukari kutokuficha bidhaa hizo, Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema watafanya msako kubaini waliokiuka agizo hilo.

“Natumia fursa hii kuwakumbusha wafanyabiashara kuwa agizo la Waziri mkuu litaisha tarehe 12 mwezi wa tano, tutafanya msako kwenye maghala yote na kwenye maduka yote” -RC Gambo
VIDEO:



Magoli ya Samatta yamefufua Matumaini ya KRC Genk kucheza Europa League 2018/19

0
0
Baada ya nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta usiku wa May 10 2018 kufunga goli lake la kwanza dhidi ya KAA Gent akiwa na KRC Genk toka afanye hivyo kwa mara ya mwisho October 25 2017 katika mchezo dhidi ya Club Brugge, maneno yake baada ya kufunga goli hilo yameanza kutimia.

Mbwana Samatta ambaye alikuwa akipambana na majeraha ya goti miezi kadhaa nyuma, baada ya kufunga goli May 10 2018 dhidi ya KAA Gent na kuinusuru timu yake na kipigo baada ya goli lake kuwa ndio la kusawazishia, alisema kuwa goli hilo litafungua milango ya kufunga zaidi kwa maana alivyikosa kufunga kwa muda mrefu hali yake ya kujiamini ilishuka ukizingatia alikuwa anapambana kurejesha makali yake baada ya kupona goti.

Mbwana Samatta usiku wa May 13 ikiwa ni siku tatu zimepita toka afunge goli, ametimiza maneno yake kwa kuifungia KRC Genk magoli mawili katika ushindi wa magoli 4-1 dhidi ya Charleroi, Mbwana Samatta ndio alianza kuifungia goli Genk dakika ya 23 na 61, Leandro Trossard dakika ya 34 na Diemerci Ndongala dakika ya 77 wakati goli pekee la Charleroi la kufutia machozi  lilifungwa na Cristian Benavente dakika ya 31.

Ushindi huo sasa wa magoli 4-1 umefufua matumaini ya KRC Genk kupata nafasi ya kucheza hatua ya play off ya UEFA Europa League msimu wa 2018/2019 kwani wamesogea hadi nafasi ya 5 katika timu sita zinazocheza game za play off Ligi Kuu Ubelgiji Genk wakihitaji kupata ushindi tu game yao ya mwisho May 20 2018 dhidi ya Anderletch ili wamalize nafasi ya nne lakini itategemea na matokeo ya mchezo wa KAA Gent dhidi ya Club Brugge kama KAA Gent akipoteza ni faida kwa Genk akishinda.

Mtangazaji wa BBC Swahili Salim Kikeke na Thomas Ulimwengu walikuwepo uwanjani kuangalia game ya Genk dhidi ya Charleroi.

“Nina Hasira, Mimi Nina Uchungu na Nchi Yangu” –Ruge Mutahaba

0
0
Ruge Mutahaba ambaye ni Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group ni miongoni mwa washiriki waliosimama kutoa darasa katika semina ya Wanafunzi wa chuo kikuu Dodoma (UDOM) iliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wa kubadilisha fikra na kutimiza wajubu wao katika sekta ya elimu na jamii kwa ujumla.

“Tukae tuambiane ukweli, matatizo ya kwetu sisi ni kitu cha kujivunia kwasababu ndio sehemu ya kujipatia. Kwanini hakuna mtu humu ndani anaanzisha kitu ambacho kinabeba na kinaweka wasanii wote na kutengeneza pesa? Tuache kulalamalalama”- Ruge Mutahaba

 VIDEO:

Idadi ya vIjana Wenye Miaka 24 Hadi 36 Wanaoishi kwa Mama zao imeongezeka

0
0
Nakusogezea ripoti iliyotolewa na Zillow ambao unasema Idadi ya vijana wenye umri kati ya miaka 24 hadi 36 ambao wanaendelea kuishi nyumbani kwao na mama zao imeongezeka zaidi katika kipindi cha miaka kumi iliyopita.

Ripoti ya Zillow imesema Mji wa New York, nchini Marekani ni miongoni mwa miji 5 yenye idadi kubwa zaidi ya vijana kati ya miaka 24 hadi 36 wanaoendelea kuishi nyumbani na mama zao.

Ripoti hiyo imesema kwamba asilimia 22.5 au vijana wapatao milioni 12 bado wanaishi na mama zao kote nchini Marekani. Katika miji ya New York, Los Angeles, Riverside na California zaidi ya asilimia 30 ya vijana wenye umri kati ya 24 hadi 36 bado wanaishi na mama zao.

Jibu la Hamisa Mobetto Kuhusu Kufunga ndoa na Diamond

0
0
Mwanamitindo Hamisa Mobetto amejibu iwapo yupo tayari kufunga ndoa Diamond Platnumz mara baada ya muimbaji huyo kuweka wazi atafanya hivyo mwaka huu.

Akizungumza katika uzinduzi wa Filamu ya Mama kutoka kwa Aunt Ezekiel, Hamisa alipoulizwa iwapo yupo tayari kuolewa na Diamond alijibu kwa sasa huwezi kuzungumzia hilo.

“Siwezi kujibu hilo swali,” aliongea Hamisa kwa kifupi.

Katika hatua nyingine Hamisa alidai kuwa yeye sio single mother kwani wazazi wenzie wanamsaidia katika malezi ya watoto.

“You can’t call your self Single Mother kama unasaidiwa kulea mtoto na baba watoto wako, so facts is mababa watoto wangu wote wananisaidia kulea watoto vizuri, kwa hiyo siwezi nikasema single mother sababu nasaidiwa kulea watoto,” alisema Hamissa.

Hamisa ni mama wa watoto wawili ambao wa kwanza alizaa na Majay na wapili alizaa na Diamod Platnumz.

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, (TMA) Yatoa Tahadhari ya Mvua Kubwa Hadi May 17

0
0
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari ya kunyesha mvua kubwa kwa siku tano kuanzia jana, ambazo zinaweza kuleta mafuriko katika maeneo ya mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara na Visiwa vya Unguja na Pemba.

Katika taarifa ya TMA iliyotolewa jana Mei 13, mvua hizo zilizoanza kunyesha  zitaendelea mpaka Mei 17 mwaka huu.

TMA imesema athari zinazinaweza kutokea ikiwemo mafuriko ambayo yanaweza kusababisha kuvurugika kwa usafiri, barabara kubwa kutopitika na maisha ya watu kuwa hatarini  kutokana na maji kujaa au kupita kwa kasi.

Pia imetoa wito kwa wakazi wa maeneo hayo kuchukua tahadhari stahiki na kuendelea kufuatilia taarifa pamoja na tahadhari zitakazotolewa.

Shamsa Akiri Kuumizwa na Harmonize

0
0
Muigizaji wa Filamu Bongo, Shamsa Ford amekiri kuumizwa na kitendo cha Harmonize kumuhusisha mume wake katika ugomvi wake na ex-girl friend wake, Wolper.

Utakumbuka wiki iliyopitia katika kurushiana maneno kati ya Harmonize na Wolper, mume wa Shamsa Ford, Chid Mapenzi alitajwa na Harmonize katika orodha ya wanaume 12 aliodai wametoka kimapenzi na Wolper.

Sasa Shamsa amesema si kwa mume wake pekee bali hata mtu wake wa karibu anapozungumzwa kwa ubaya huwa anaumia.

“Lazima uumie ukiwa kama binadamu hasa kwa mtu ambaye unampenda sio lazima kwa mume kwa mtu yeyote ambaye unampenda, yupo katika sehemu ya maisha yako lazima ujisikie vibaya,” amesema Shamsa.

Wema Sepetu Aeleza Sababu za Kushindwa Kufika Kwenye Uzinduzi wa Filamu ya Aunt Ezekiel

0
0
Malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu ameeleza sababu ya kushindwa kuhudhuria kwenye uzinduzi wa filamu fupi ya dakika 20 ‘MAMA’ ya Aunt Ezekiel iliyofanyika usiku wa jana (Jumapili) Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Madam Sepenga ametoa taarifa hiyo kupitia kwenye mtandao wa Instagram akidai kuwa alichelewa kutokana na Mama yake ndio alimchelewesha na kujikuta ameshindwa kufika kwenye uzinduzi huo.

“I was soooo Ready for MAMA Short Film But My MAMA Took my Time aswell… Nikachelewa…😩😩😩,” ameandika Wema kwenye mtandao huo.

Hata hivyo Aunt Ezekiel alipohojiwa na Mwananchi Digital sababu za Wema Sepetu kushindwa kufika katika uzinduzi huo alisema ni kutokana na gauni la mrembo huyo alilotakiwa kuvaa kwenye uzinduzi huo lilikuwa bado lipo kwa fundi halijamalizika kwa sababu ya kukatika kwa umeme.

Kiboko ya Matatizo ya Nguvu za Kiume, Maumbile Madogo, Mvuto wa Mapenzi na Magonjwa Sugu

0
0

KIBOKO YA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME,MAUMBILE MADOGO, MVUTO WA MAPENZI ,MAGONJWA SUGU

Usikate tamaa ondoa maradhi yako, maana matatizo haya yamekua yakiasili watuwengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamapunguvu katika mwiliwake.

Kunasababu nyingi sana zinazosababisha matatizo haya, chango hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngili :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli. Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na marakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kushindwa kabisa

MASISA 3POWER :- nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka 15-90 , inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya mara nne (4) birahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk (20-30 )

YONINANI:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwa mda mfupi sana,

SUPER MORINA :- nidawa inayotibu ama kutatua tatizo la kisukali kwawaliohangaika bila mafanikio, huondoa tatizo la kisukali na kupona kabisa, vilevile ninadawa ya magonjwa sugu km vile presha, vidondo vya tumbo, miguu kuwakamoto, muwasho mwilin, kaswende,uzazi nk.

LUGIMBA :- nidawa ya mvuto wa mapenzi, humtuliza mke, mme, mchumba, hawara au mtu yoyote umpendae na kumfanya akutimizie chochotekile unachokitaka kutoka kwake na kumfunga asiwe na mtu yoyote zaidi yako.

WASILIANA NA DR CHIPUPA NAPATIKANA DAR ES SALAAM KUMBUKA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO 0758840958 / 0785687900

Thea afunguka hakuna staa mpya anayempa changamoto

0
0

MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ ambaye kwenye gemu amedumu kwa miaka 20 sasa amedai kuwa hakuna staa yeyote wa sasa anayempa changamoto kiasi cha kumtisha.

Akiongea na safu hii Thea ameeleza mengi lakini pia akaweka wazi jinsi anavyoweza kuulinda ustaa wake akidai ni kwa kutengeneza kazi nzuri ambazo zinahitajika sokoni.

MSIKIE MWENYEWE 
“Nina miaka 20 kwenye gemu hili, sina changamoto yoyote ninayokumbana nayo kwa mastaa wa sasa lakini naweza kuwaambia wafanye kazi kwa bidii kwani gemu hili kudumu kwa miaka hiyo ukiwa bado unafanya kazi nzuri na zinalipa ni gumu sana.”

ANA FILAMU NGAPI MPAKA SASA?
“Nina filamu zaidi ya hamsini mpaka sasa, miongoni mwa hizo ni Ukungu, Dadaz, Malaika, Jiwe, Kipusa, Sengoto, Moses, Revanger, Bad Rest, Good Fellow, Sikitiko Langu, Born to Suffer, Selura na Suspenser.” Katika zote hizo mwenyewe anaeleza kuwa anaipenda sana Sengito.

ANAVYOPENDELEA
Alisema amekuwa akijipenda lakini analala saa sita kama hana kazi, akiwa na kazi za kuandaa filamu hulala saa tisa.

Chakula anachokipenda ni pilau, mandazi na kuku, lakini pia ndio anapenda kupika chakula hicho miongoni mwa vyakula vyote.

USHAURI KWA MASTAA
Wafanye kazi kwa kujituma sana, waachane na skendo

Mkuu wa Magereza Afunguka ‘Kama sio Msamaha wa Rais, Lulu angetoka hii Tarehe? (+Video)

0
0
Leo May 14, 2018 Taarifa iliyotufikia muda huu ni kumhusu Muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael marufu kama Lulu, amebadilishiwa adhabu kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania na sasa atatumikia kifungo cha nje.

Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kuua bila kukusudia ambapo AyoTV na millardayo.com zimezungumza na Mkuu wa magereza Dar es salaam DCP Augustino Mboje aliekiri Lulu kubadilishiwa kifungo na atakua akifanya shughuli za kijamii kwa siku 5 kwa wiki.

Je kama sio msamaha wa Rais, Lulu angetoka gerezani Jumamosi? kuna sharti gani ambalo Lulu hakutimiza……… “bado ni Mfungwa” bonyeza play hapa chini kumtazama Mkuu wa Gereza akiongea.

VIDEO

Billnass akabidhiwa tuzo na chuo alichokuwa anasoma Marehemu Akwilina

0
0
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Billnass alikuwa ni miongoni mwa mastaa waliohudhuria msiba wa mwanafunzi wa chuo cha usafirishaji NIT Marehemu Akwilina Akwilin aliyefariki kwa kupigwa risasi February 16,2018

Billnass akiwa ndiye msanii pekee aliyehudhuria msiba wa Marehemu Akwilina katika ibada ya kuuaga mwili katika chuo cha NIT February 22,2018 amefanikiwa kukabidhiwa tuzo na uongozi wa chuo cha NIT Dar Es Salaam  kama shukrani zao kwakwe kwa kufanya hivyo.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Bill Nas ameandika
“Ahsanten Sana Wasomi na Uongozi Mzima Wa CHUO CHA (NIT) Dar es Salaam Campus Tuzo yenu imenifikia na nimeipokea kwa Moyo Mmoja na Heshima kama Mlivyoitoa kwa Heshima nasema Ahsanten Sana #amhumbled #Linthemaking#TAGIUBAVU”

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume, Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za:

GUMBA POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.

NTINJE:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0754741788, 0715741788, 0783741788

DR MAGISE
Viewing all 104431 articles
Browse latest View live




Latest Images