Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104756 articles
Browse latest View live

Nalia Nikimaliza Kufanya Mapenzi..Naombeni Ushauri Jamani

$
0
0
Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.

Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.

Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?

Ushauri jamani


Moja ya Sababu za Wanawake Kudundwa na Wanaume Wao

$
0
0
Jana jioni nilipotoka kazini nikapitiliza nyumbani, nipo na mchumba wangu kama mwezi hapa alikuja kunitembelea.

Nilipofika nikamkuta anaangalia tamthilia, nikavua nguo nikaenda kuoga.

Ukweli njaa ilikuwa imenibana kishenzi.

Nilivyotoka bafuni nikaambiwa, baby leo zamu yako kupika, nikadhani nimesikia vibaya, nikamuuliza tena na kupewa jibu lile lile.

Nikavaa nguo nikaenda zangu pub nikaagiza chakula nikala(sio kwamba kupika siwezi ila kupangiwa ratiba).
Nilivyorudi nyumbani nikapitiliza moja kwa moja kulala.

Baada ya muda akaanza kunifokea na kuniambia nilikuwa kwa malaya wangu na nimekula huko.

Nilipatwa na hasira nikamtandika vibao. Asubuhi tumeamka ananiambia anataka kuondoka, nikampa nauli na kumtakia safari njema.

Nikamwambia ‘umepoteza maksi zaidi ya nusu'.
Mpaka sasa hajaondoka na anaomba tuyamalize.

Wadada, hata kama umesoma kiasi gani mambo ya haki sawa na kupangiana ratiba hayapo dunia hii. Nitapika siku nikijisikia na sio uanze kunipangia ratiba ya kupika.

Ugomvi mwingine mnautafuta bila sababu za msingi.

Bora hata angeniambia naomba tusaidiane kupika leo.

Ali Kiba Awachana Mastaa wa Kike Bongo

$
0
0
NYOTA wa Bongo Fleva Afrika Mashariki na Kati, Ally Kiba, amewataka wanawake maarufu kwenye soko la muziki na filamu Tanzania, kuitumia ipasavyo mitandao ya kijamii kwa manufaa ya maisha yao ya sasa na baadaye.

Kiba, anayetamba na ngoma ya ‘Mvumo wa Radi’, aliyasema hayo juzi alipohojiwa na kituo kimoja cha runinga jijini Dar es Salaam.

Katika mahojiano na mwandishi wa runinga hiyo, Ally Kiba, aliwatolea povu mastaa wa Bongo akiwataka waache  maisha ya kuigiza na kujianika uchi mitandaoni.

“Stara ni kitu kizuri sana katika jamii na maisha yetu kwa ujumla, mastaa wengi hasa dada zetu wanaamini kukaa utupu ndio kupendwa, lakini sisi wanaume hatuko hivyo,” alisema Kiba.

Mwanamuziki Justin Bieber Amrudia Mungu

$
0
0

NYOTA wa muziki wa pop nchini Marekani, Justin Bieber, ameanza kurudi kanisani baada ya aliyekuwa mpenzi wake, Selena Gomez, kutumia ukurasa wake wa Instagram na kusema ‘hawezi kurudi nyuma’.

Kauli hiyo ya Selena imekuja mara baada ya kutangaza kuwa anatarajia kuachia wimbo wake mpya hivi karibuni.

Aliyekuwa mpenzi wa staa wa pop, Justin Bieber, Selena Gomez, amezidi kumchanganya staa huyo baada ya kutumia ukurasa wake wa Instagram na kutangaza kuwa anataka kuachia wimbo wake mpya ujulikanao kwa jina la ‘Back 2 You’, hivyo mashabiki waliamini kuwa wimbo huo unamaanisha anataka kurudi kwa mpenzi wake huyo wa zamani baada ya kuachana.

Mrembo huyo aliamua kuwajibu mashabiki hao kwa kusema hawezi kurudi nyuma kama wanavyodhani, hivyo kauli hiyo imemfanya Bieber kuanza kurudi kanisani kwa ajili ya kumwomba Mungu.

Siku za hivi karibuni msanii huyo hakuwa anaonekana kanisani, lakini baada ya kauli hiyo, Bieber ameamua kuanza tena kumkumbuka Mungu.

Download Hapa Application Mpya ya Udaku Special Uweze Soma Vimbwanga na Udaku Mtaani Kila Siku

$
0
0
Mpendwa msomaji wetu, tunakukumbusha Kuidownload Upya Application yetu ya UDAKU SPECIAL Maana ile ya Zamani Tutaifuta.

Kuna Marekebisho Makubwa tumeyafanya ikiwa na tatizo la Notification kutatuliwa

NB: App mpya ina Icon Nyekundu

 Bonyeza Hapa Chini Kuinstall Upya:


==>>Unaweza Kuidownload << kwa Kubofya Hapa>>    

Waziri Mkuu "Ajira za wageni zinazotolewa nchini ni za kitaalamu ambazo Watanzania hawana uwezo"

$
0
0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa ajira zinazotolewa kwa wageni ni zile Kitaalum tu ambazo Watanzania hawana uwezo nazo.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo Mei 17, wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu ambapo pamoja na hayo ameelza kuwa wataendelea kusimamia na kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata fursa namba moja ya kuajiriwa.

“Serikali imeratibu vizuri sana suala la ajira nchini, na imetoa kipaumbele kwa Watanzania kupata ajira kwenye sekta zote nchini, wageni wanazo fursa lakini kwa masharti, ajira za wageni zote nchini ni nafasi za kitaalamu tu ambazo Watanzania hawana uwezo nazo,” amesema Waziri Mkuu.

Aidha ameongeza kuwa serikali itaendela tutaendelea suala la ajira na kuhakikisha kwamba Wtanzania wanakuwa namba moja katika kuajiriwa katika sekta zote ndani ya nchi.

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume, Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

$
0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za:

GUMBA POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.

NTINJE:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0754741788, 0715741788, 0783741788

DR MAGISE

Huyu Mwanamke Kanishangaza Sana..Haridhiki !!

$
0
0
Nina mpenzi wangu anayefanya kazi Morogoro, mwezi march alikuja kunitembelea sababu alikuwa likizo na alikaa kwangu wiki 2 na siku 3 tangu afike. Alishikwa na malaria kali ikabidi niombe ruhusa kazini ili nimuuguze.

Kiukweli nilimpa kila kitu anachotakiwa kupewa mgonjwa including dawa,vyakula vilivyopendekezwa na daktari na vyakula alivyopenda mgonjwa, pamoja na gari kumpeleka hospitali au sehemu yoyote aliyopenda ili kumliwaza mgonjwa. Mungu akasaidia akapona na amerudi morogoro.

Lakini cha ajabu juzi ananiambia sikumjali alipokuwa anaumwa sababu sikuwahi kumletea kadi ya get well soon pamoja na Mauwa kama wenzake wakiumwa wanavyofanyiwa. Ebu nisaidieni kadi na maua tu ndio mtu akujali?

Mbunge Chadema augua ghafla, kesi inayomkabili Yapigwa Kalenda

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro imeahirisha kesi ya tuhuma za kuchoma ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Sofi baada ya mshtakiwa wa kwanza, Suzan Kiwanga kuugua ghafla.

Kabla ya kuhairishwa kwa kesi hiyo leo Alhamisi Mei 17, 2018, upande wa mashtaka ukiongozwa na Wakili wa Serikali,  Sunday Hyera ulionekana kutokubaliana na taarifa hizo za ugonjwa.

Hali hiyo ilimfanya hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Ivan Msack kumtaka mdhamini pamoja na wakili wa upande wa utetezi, Barthelomew Tarimo kuwasilisha taarifa ya daktari itakayothibitisha taarifa hizo za ugonjwa.

Wakili Tarimo na mdhamini wa Kiwanga walitoka na kwenda kuchukua taarifa hiyo ya daktari wa kituo cha afya cha Aga khan iliyoeleza kuwa Kiwanga anasumbuliwa na kichwa na maumivu ya mwili na kuiwasilisha mahakamani.

Katika taarifa hiyo ya daktari ilieleza kuwa Kiwanga amepumzishwa kwa saa sita na hivyo Mahakama iliahirisha kesi hiyo hadi Mei 18 mwaka huu.

Rais Magufuli: " Unadaiwa na Jeshi hulipi ??!!, hizo ni dharau...Natoa Mwezi Mmoja"

$
0
0
Rais John Magufuli ametoa  mwezi mmoja kwa taasisi za  Serikali na watu binafsi wanaodaiwa Sh 41.4 billioni na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuhakikisha wanalipa fedha hizo.

Magufuli ametoa maagizo hayo leo Alhamisi Mei 17, 2018 alipokuwa akizindua kituo cha uwekezaji  cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), jijini Dar es Salaam.

Ametoa maagizo hayo baada ya Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Venance Mabeyo kumuomba kiongozi mkuu huyo wa nchi kusaidia kulipwa kwa madeni hayo.

Awali,  Mabeyo alimueleza Rais kuwa changamoto waliyonayo ni kutolipwa madeni na watu wanaofanya nao kazi.

Amesema kupitia Suma JKT walitengeneza na kukopesha watu mbalimbali na matrekta yenye thamani ya Sh40bilioni na zilizolipwa ni Sh2 bilioni na kubaki deni la Sh 38bilioni.

Ameeleza pia Suma JKT wanaolinda taasisi za Serikali wanadai  Sh 3.4 billion,  hivyo kufanya madeni hayo kwa Sh 41.4 billioni.

 "Tunaomba utusaidie kutia msukumo katika hili kwa sababu taasisi za Serikali zina lugha ya tutalipa tu endeleeni na ulinzi tu" amesema Mabeyo.

Mabeyo amesema kuwa kutokana na hali hiyo wanashindwa kuwalipa pamoja na gharama nyingine za kujikimu.

 "Waziri wa Ulinzi,  Katibu mkuu wa wizara ya Ulinzi waandikieni barua na mnitumie nakala ili niwe nafuatilia watakapokuwa wameanza kulipa.  Nataka fedha hizo zipatikane ili ziweze kutumika kujenga viwanda vingine ."amesema Magufuli akijibu maombi ya Mabeyo.

"Mtu anaanzaje kuacha kulipa fedha ya jeshi,  hii  ni  dharau kubwa,  raia wadharauliwe na Jeshi pia?”

“Niwaombe wote wanaodaiwa madeni kwa kuchukua matrekta, mimi niwape mwezi mmoja. ndani ya mwezi mmoja wawe wamelipa, baada ya mwezi mmoja vyombo vyote vya ulinzi na usalama vianze kuwasaka wote.”

Katika hatua nyingine; Magufuli ameagiza kuwa apelekewe majina ya maofisa waandamizi wa jeshi wastaafu ili awateue kwenye bodi mbali mbali.

"Nileteeni majina yao kwani napata shida kuteua viongozi wa bodi kutokana na tatizo la uadilifu wao. Lakini hawa bado wana uadilifu na nidhamu ya kutosha na bado vijana ambao sidhani kama yupo atakayekataa nikimteua atusaidie,” amesema.

Ubosi Unanifanya Nisiolewe, Umri Unazidi Kusonga..Naombeni Ushauri

$
0
0
Tangu nimalize harakati za masomo ni miaka 6 sasa. Wenzangu wote niliyokuwa nao ama wameolewa na kupata watoto ama wamepata watoto nje ya ndoa.

Mimi tangu nikiwa mdogo na kwa maadili niliyolelewa niliapa kutokuzaa nje ya ndoa. Lakini mpaka sasa nina miaka 33 sijapata mume wa kunioa.

Mbaya zaidi kwa sasa nina cheo kazini kwangu, basi kila mwanaume ananiogopa. Hapa nauona uzee unasogea sina mume wala mtoto.

Najiuliza, nivunje kiapo changu cha kutokuzaa nje ya ndoa ama niendelee kusubiria mume nisiyejua atapatikana lini na huku umri unaenda?

Niko njia panda jamani naombeni ushauri.

Naibu Spika amzuia Waziri Mkuu kujibu maswali ya wabunge wa Chadema

$
0
0
Wabunge wawili wa Chadema leo Mei 17, 2018 wamejikuta njia panda baada ya Naibu Spika, Dk Tulia Ackson kumzuia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kujibu maswali yao  kwa madai kuwa si ya kisera.

Waliomuuliza Waziri Mkuu maswali bungeni leo katika kipindi cha maswali ya papo kwa hapo  kiongozi huyo wa shughuli za Serikali bungeni  ni mbunge wa Tunduma, Frank Mwakajoka , Pauline Gekul (Babati Mjini).

Gekul alimuuliza Waziri Mkuu  kuhusu sera ya Serikali ya mwaka 1996 ya kushusha madaraka katika halmashauri na lengo likiwa ni kuzipa halmashauri nguvu, kubuni vyanzo vya mapato na kutumia.

“Stendi ya mabasi ya babati ilipokonywa kwa madai kuwa ni agizo la Rais na Rais amesema hahusiki bali ni viongozi wa Manyara, nini kauli ya serikali,” amehoji Gekul.

Baada ya swali hilo, Dk Tulia amesema si la kisera na linaweza kujibiwa na waziri hivyo kumtaka kukaa na kutafuta swali jingine.

Hata pale Gekul alipopewa fursa ya kuuliza jingine bado amesema ,”ni swali la kisera, “ jambo lililomfanya Dk Tulia kumtaka aketi.

Kwa upande wake Mwakajoka amesema kumekuwa na migogoro katika halmashauri mbalimbali nchini kati ya wakuu wa wilaya na madiwani, kutolea mfano Gairo, Malinyi na Mbeya Mjini.

Amesema katika Halmashauri ya Tunduma kuna mgogoro ambao umesababisha baraza la madiwani kutokaa kikao tangu Agosti 2017, kwamba licha ya maelekezo kadhaa ya waziri ila mkuu wa mkoa na wilaya wanagoma kufanyika kwa kikao hicho.

Kama ilivyokuwa kwa Gekul, Dk Tulia pia alipangua swali hilo na kubainisha kuwa linaweza kujibiwa na waziri mwenye dhamana.

Mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kumalizika, Gekul amesimama kuomba mwongozo akitumia kanuni ya 68(7) akizungumzia swali lake lilizozuiwa akisema ni swali la kisera,  “Lakini lina maslahi kwa umma kwa watu wa Babati na Naibu Spika hili swali limekwisha kufikishwa kwa Waziri Mkuu na nyaraka tulishampatia, hili jambo limekuwa likisingiziwa Rais.”

“Waziri Mkuu ni msimamizi wa shughuli za Serikali na Rais kajivua hahusiki na mimi nimeuliza, nashindwa kuelewa, wabunge wengine wanauliza suala la jimboni na anajibiwa, nikuombe mwongozo wako, suala hili litaendelea hadi lini na suala la dhuruma mwisho hukurudia. Kwa nini meza isimwache waziri mkuu ajibu maswali yetu badala ya kumchagulia?”

Akijibu mwongozo huo, Dk Tulia amesema utaratibu waliojiwekea, kwamba maswali atakayoulizwa Waziri Mkuu yana utaratibu wake na ya mawaziri yana nafasi yake, “kama waziri mkuu analijua au halijui hilo si lenye mamlaka yangu.”

“Maswali ya majimbo yanaulizwa kwa mawaziri, maswali ya kisera ambayo mawaziri hawawezi kujibu ndio anaulizwa Waziri Mkuu. Kanuni zetu zimesema wazi maswali ya kisera au ya kijamii, kijamii si barabara ya jimbo lako.”

Amesisitiza, “ Si swali la Gekul pekee hata la Mwakajoka limezuiwa, swali la Tunduma waziri mkuu analijuaje. Niwasihi maswali kwa Waziri Mkuu tujielekeze katika maswali ya kisera.”

Esha Buheti Afungukia Kumtafutia Mke Alikiba-VIDEO

$
0
0
Muigizaji nguli wa Filamu Bongo, Esha Buheti amefungukia kuhusu tetesi zilizokuwa zikisambaa mitandaoni kuwa yeye ndiye aliyemtafutia mke Mfalme wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba’ ambaye ameoa wiki chache zilizopita huko Mombasa nchini Kenya. VIDEO:

Serikali yatoa Neno Kuhusu Matokeo ya Sensa zinazofanyika Nchini

$
0
0
Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Luhaga Mpina amewataka Watanzania kutumia takwimu za sensa mbalimbali zinazotolewa na ofisi ya Taifa ya Takwimu ili kuongeza tija na hatimaye kupunguza umasikini nchini.

Mpina ametoa wito huo Jana Jijini Dodoma, alipokuwa akizindua matokeo ya utafiti wa Kilimo wa mwaka 2016/2017 ukiwa ni utafiti wa pili kufanyika nchini ambapo wa kwanza ulifanyika mwaka 2014/2015.

“Tunapenda kufanya sensa lakini mwisho wa siku hakuna anayetumia sensa hiyo. Huwezi kufanya mapinduzi ya kiuchumi bila ya kutumia matokeo mbalimbali ya tafiti,” alisema Mhe. Mpina.

Aliendelea kusema, matokeo ya tafiti hizo yametumika katika kupima mchango wa shughuli za kilimo katika Pato la Taifa, ambapo takwimu zinaonesha kuwa mwaka 2014 uchumi ulikuwa kwa asilimia 7.10 wakati mwaka 2017 uchumi ulikuwa kwa asilimia 7.1. Aidha mchango wa shughuli za kilimo kwa mwaka 2014 ulikuwa asilimia 28.8 wakati mwaka 2017 ulikuwa asilimia 30.1.

Vile vile amesema, matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa zao la mahindi mwaka 2016/2017 uzalishaji wake ulikuwa tani 5,766,984 na kwa takwimu za utawala za mwaka 2017/2018uzalishaji ni tani 6,681,000. Katika mwaka 2017 ongezeko la thamani ya shughuli za kilimo cha mazao iliongezeka na kufikia shilingi trilioni 5.3 kutoka shilingi trilioni 5.1 mwaka 2016.

Mpina amesema, kwa upande wa Tanzania Baramkoa wa Mbeya umeendelea kuongoza katika uzalishaji wa zao la mahindi kwa tani 578,280 (10%) wakati Mkoa wa Morogoro umeongoza.

Aidha kwa upande wa mifugo, Tanzania Bara inaidadi ya ng’ombe 30,496,687, mbuzi 18,947,657, kondoo 5,565,468 na kuku wa asili 38,595,106 ambapo mikoa inayoongoza kwa asilimia kubwa ya ng’ombe ni pamoja na Tabora (8.7%), Mwanza (7.9%) na Manyara (7.2%). Tanzania Zanzibar ina idadi ya ng’ombe wapatao 175,314, mbuzi 107,993, kondoo 517 na kuku wa asili 1,754,786 na mikoa inayoongoza kwa asilimia kubwa ya ng’ombe kwa Tanzania Zanzibar ni Kaskazini Pemba (30.3%) ikifuatiwa na Kusini Pemba (19.9%).

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dkt. Albina Chuwa amewaomba watumiaji wa takwimu hizo kuzitumia kwa manufaa ya kufuatilia na kutathimini mipango ya maendeleo ya sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi na si vinginevyo.

Hata hivyo amesema, Tanzania bado ni nchi ya pili katika Bara la Afrika kwa kuwa na mifugo mingi hivyo ni dhahiri kuwa uwezo wa viwanda vya nyama hapa nchini na kuuza nyama na bidhaa zake zinazozalishwa kwa lengo la kujipatia fedha za kigeni.

Ben Pol Atupilia Mbali Tetesi Kuhusu Darassa na Dawa za Kulevya, ‘Kusema Kweli Siamini’

$
0
0
Msanii wa muziki Bongo, Ben Pol amefunguka kuhusu tetesi zinazodai kuwa rapper Darassa ametumbukia kwenye matumizi ya dawa ya kuelewa.

Muimbaji huyo anayetamba na ngoma ‘Zai’ ameiambia Clouds TV kuwa kitu hicho bado hakiamini kwani amekuwa  akiwasiliana na Darassa mara kwa mara.

“Kusema kweli siamini, sina element yoyote inayonifanya niamini chochote kuhusiana na hizo tetesi kwa sababu ili mtu uweze kusema kitu lazima uwe na element ambazo umeziona lakini mimi hamna element,” amesema.

“Mimi tunaongea masaa mawili, saa zima kwenye simu, video call sometime kwa hiyo sioni kuna element ya hicho kitu,” ameongea.

Darassa amemshirikisha Ben Pol katika nyimbo mbili ambazo ni Sikati Tamaa na Muziki, huku Ben Pol akimshirikisha Darassa katika ngoma moja, Tatu.

Wasiliana na Dr Mabula Anatibu Upungufu wa Nguvu za Kiume, Busha na Matatizo ya Maumbile Madogo kwa Mwanaume

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO
Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliongahika sehemu mbalimbali bira MAFANIKIO MABULA CLINIC ni kituo cha tiba asilia kilichopo mbagara zakhemu njia kuu ya JESHINI JE HUNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO NA MWEMBAMBA?

MAPRO PAWER NO 2 ndio Tiba kwa sasa utibu matatizo matatu kwa pamoja 1hitakufanya uchelewe kufika kilekeni dikika 15-20 kwa tendo la kwanza 2 uhimalisha misuli iliyoregea na kusinyaa hasa kwa wale walio hasirika na upigaji punyeto 3 itakufanya upate amu ya kurudia tendo zaidi ya Mara tatu

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MPENZI AU MKE WAKO kisa unawai kukojoa au unakomea bao moja tu na huku dawa zipo MAKAKANUA mix ni dawa iliyochanganywa na miti Shamba 9 na Kuwa na uwezo wa kuongeza uume saizi upendayo inchi 5-8 Kwa Urefu na unene sentimita 1-5 dawa hizi hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ata wazee wenye umri mkubwa wanapona? zipo dawa za mvuto wa mpenzi mme au mke Kwa masaa matatu tu na kukupigia simu yeye mwenyewe mvuto wa biashara kutengeneza mwonekano mzuri wa mwili kwa wanawake yani shepu tunatibu ngiri miguu mgongo na kiuno kuumwa kupunguza kitambi minyama uzembe matiti na mwili mkubwa

TIBA NA USHAULI MUONE DR MABULA AU PIGA SIMU NO 0752348593 UDUMA ZANGU UTAZIPATA POPOTE ULIPO KAMA UWEZI KUFIKA OFISINI

Steve Nyerere Amchana Mama Kanumba

$
0
0
Muigizaji filamu bongo Steven Nyerere amefunguka juu ya kitendo cha Mama Kanumba kutoridhishwa na kubadilishiwa adhabu Elizabeth Michael (Lulu) ambaye alifungwa kwa kosa la kumuua bila kukusudia mwanaye Kanumba.


Akizunguma na www.eatv.tv  Steve Nyerere amesema kwamba amefuta namba ya mama Kanumba kwani hana shughuli naye, na asitake kushindana na serikali kwa sababu hata yeye ilimsaidia alipohitaji msaada.

“Mimi namba ya yule mama nimeifuta nimekasirika nimeona hana shughuli tu, kwa sababu anaongea vitu ambavyo havipo yaani, na sikioni kama kina tija, unajua kuna vitu vingine sio vya kukurupuka kuongea, unatakiwa ukae na watu wakupe hata ushauri, halafu yeye sio mtu wa kugombana na serikali, serikali alipokufa Kanumba ilimsaidia sana, hata hapo alipokuwa anaishi ni serikali ilimpa, yeye hakutakiwa kujibu chochote, alitakiwa kunyamaza na maisha yakaendelea, hata ukimfunga Lulu miaka mia, mtoto atarudi!? Sasa usiilazimishe jamii ikuone umefeli na usiilazimishe jamii ikuone una roho mbaya”, amesema Steve Nyerere.

Steve Nyerere ameendelea kwa kusema kwamba mama huyo hapaswi kulalamika sana kwani hana uhakika kama kweli aliua, kwani pia wawili hao walikuwa kwenye mahusiano.

Hata hivyo East Africa ilifanya jitihada za kumtafuta Mama Kanumba juu ya tuhuma mbali mbali anazopewa, na kusema kwamba hawezi kuzungumza kwa wakati huo.

Waweza Kwenda Jela miaka 5 Ukimkonyeza Mwanamke

$
0
0
Imeelezwa kuwa shambulio la aibu kwa mwanamke sio tu kupiga kelele dhidi yake au kumgusa bali hata kumkonyeza pekee ni lugha ya ishara inayoweza kukupeleka kuenda jela endapo ushahidi ukithibitika.

Mara baada ya kuibuka mjadala uliozua gumzo mitandaoni kuhusiana na shambulio la aibu dhidi ya wanawake eatv.tv ilimtafuta mwanasheria ili kupata ufafanuzi kuhusu shambulio hilo ambapo, Wakili wakujitegemea Johanes Konda amesema kwamba wanawake wengi hawatambui kama kukonyezwa bila ridhaa yao ni kosa kisheria.

"Kanuni za adhabu sura ya 16 ndio inaelezea zaidi kuhusiana na shambulio la aibu lakini kulingana na mazingira na tamaduni zilizopo sasa, dada zetu wanaona kawaida tuu lakini sheria imewekwa kwa ajili ya kuwatetea wao dhidi ya shambulio hilo ambalo linaweza kuwa ni kwa kuguswa au kwa ishara kama kukonyeza au kupiga kelele za kuashiria kuna kitu cha tofauti kimepita", amesema Wakili Konda.

Wakili Konda amesema kuwa endapo wahusika ambao ni wanawake wakizitambua haki zao na kuwashitaki watuhumiwa wanaweza kusaidia kuondoa tabia hizo na endapo ikithibitika basi adhabu yake ni kuanzia miaka isiyozidi 10 kushuka chini.

Hivi karibuni Kamanda wa Polisi wa mkoa wa mjini Magharibi Kamishna Msaidizi Mwandamizi Hassan Nassir amesema ni marufuku kukohoa pale unapopishana au unapomwona mwanamke mwenye makalio makubwa kwamba kukohoa huko kutapelekea kukamatwa kwa maana kitendo hicho ni 'shambulio la aibu”.

‘Ukiwa na Njaa Utafanya Lolote Hata Kudanga Nitadanga Nipo Serious’ Gigy Money

$
0
0
Muimbaji Gigy Money amewajibu watu waliokuwa wakimsema kuwa ameanza kufanya kazi kabla ya arobaini ya mtoto kitu ambacho siyo kawaida kama ilivyozoeleka, ambapo yeye kasema kuwa anafanya vile ili kumsaidia mwanae na atafanya lolote kwa ajili ya mtoto wake.

Gigy Money ambaye amewajibu watu hao kwa kuandika ujumbe wenye mafumbo kupitia Instagrama yake ameandika hivi…

“Ogopa sana mapenzi ya mama na mtoto yani Mama anaweza kujikuta anafanya lolote kwa ajili ya kesho ya mwanae ata awe chizi hawezi kumtupa mwanae haijalishi wakati wa mimba mangapi yamepita nachowaza saivi ni binti yangu tu ataaa kudanga ntadanga npo serious mjue nawale ambao mnanitukana kwann kipindi hiki nafanya kazi natoka kabla ya 40 Naomba”

“Niwajibu kiufupi kama mkubwa utaelewa kama mtoto endelea kunijazia comments za matusi yaaani ni iviii (utamaduni wa mtanzania ni njaaa ukiwa na njaaa unaweza fanya lolote sidhani kama ningekua napewa kila kitu ningetoka tu) so usilaumu kitabu tu kwasabu juu umeona fuvu ukajua iko kitabu kinahusu mazombie …. kisome kwanza. Ndio uogope Muwe na siku njema” – Gigy Money

Kimenuka..Ex wa Ali Kiba Sabby Angel Amtolea Povu Zito Staa Huyo

$
0
0
Muigizaji wa Bongo movie Sabby Angel ameibuka na kumtolea povu zito Staa wa Muziki wa Bongo fleva Ali Kiba baada ya kauli tata aliyoitoa kuhusu warembo wa Bongo.

Sabby Angel ambaye alishawahi kukiri kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ali Kiba siku za nyuma kidogo ameshindwa kuvumilia na kumpa ukweli Staa Huyo aliyeoa hivi karibuni.

Hivi karibuni Kwenye mahojiano aliyofanya na Clouds Fm, Ali Kiba alifunguka kuwa sababu ya yeye kuwaacha warembo wote wa Bongo na kwenda kuoa Kenya ni kwa sababu wasichana wengi wakibongo wanaendekeza vigodoro na wengi sio wasomi.

Sabby Angel ameonekana kukasirishwa na kauli hiyo kutoka kwa mpenzi wake wa zamani na ameandika ujumbe huu:

"Ni jambo la Kheri kwa Ali K kuoa lakini sijapenda comment yake eti kusema eti Tanzania hakuna wanawake wasomi wa kuoa.
"Binafsi kama mtu umeamua kuoa we oa tu kwa manufaa yako lakini sio kukashifu wanawake wote. Kwani hapo wakati anatoka na hao wanawake wa Kitanzania haukuona hayo mapungufu? Kwani watu wanaoa vyeti? Wanaoa kukimu mahitaji yao binafsi na kuzaana?.
 "Hiyo ni kumaanisha hata wazazi wetu wa kike na hata mama yake ni wale wale it is very immature”.

Ali Kiba alifunga ndoa na binti kutoka Mombasa Kenya wiki chache zilizopita.
Viewing all 104756 articles
Browse latest View live




Latest Images