Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104689 articles
Browse latest View live

" Nitaendelea Kusema Ilihali Nipo Ndani ya Bunge Hili" Bashe

$
0
0
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussen Bashe (CCM), amesema kwamba Bungeni kumekuwa na siasa mbaya za kuamini kila anayesema ukweli anamchukua Rais Magufulii ilihali anaisaidia serikali kuikumbusha mapungufu yake na kuyafanyia kazi ili kuboresha utendaji na kupeleka maendeleo kwa wananchi.

Bashe amesema hayo Bungeni jijini Dodoma leo Ijumaa, Mei 18, 2018 wakati akichangia hoja kuhusu Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyowasilishwa bungeni na waziri wake, Luhaga Mpina.

” Sisi hatuna nia mbaya na mawaziri, humu ndani kumekuwa na siasa mbaya sana, kila anayejaribu kusema ukweli anapewa jina kwamba anamchukia Rais Magufuli. Mimi simchukii Rais, nilimchagua kwa kumpigia kura, nilimpigia kampeni kwa siku 60, ninafahamu atakuwa mgombea wangu wa urais mwaka 2020 ndiyo maana nayasema haya.

 “Kama ningejua Rais Magufuli siyo mgombea wangu mwaka 2010 wala nisingejali kusema haya ninayoyasema ndani ya bunge, mimi nitaendelea kusema ilihali nipo ndani ya bunge hili. Naomba hii bajeti irudi, wala siyo kwa nia mbaya….. Bajeti ya Maendeleo iliyotengwa katika Wizara ya Mifugo na Uvuvi mwaka jana ni asilimia sifuri, tunaenda wapi?

“Mvuvi amekataliwa kuvua, option yake ni nini? Tunamtia umaskini mkulima…. Nchi yetu leo mkulima ananyanyasika, mfugaji ananyanyasika, mvuvi ananyanyasika, machinga ananyanyasika, mfanyabiashara ananyanyasika, nataka nikwambie Mhe. Spika, unda kamati, mimi siyo mtaalam wa kanuni,” alisema Bashe.


Madee baada ya kusikia Mikel Arteta atakuwa kocha mkuu Arsenal

$
0
0
Madee ni miongoni mwa mashabiki wa kutupwa wa Arsenal na mara kadhaa amekuwa akitoa maoni juu ya mwenendo wa klabu hiyo ikiwa ni pamoja na kutaka mzee Arsene Wenger kuachia nafasi ya ukocha.

Baada ya kuonekana mchezaji wa zamani wa Arsenal Mikel Arteta anapewa nafasi kubwa ya kuwa kocha wa klabu hiyo mkali wa BongoFleva Madee ametoa mtazamo wake juu ya Arteta kuwa kocha mkuu wa The Gunners.

“Kwa sababu tayari alikuwa pale Emirates North London, vitu vingi anavijua mule ndani, alitoka akaenda Manchester City kama kocha msaidizi tunajua Guardiola ni kocha mzuri kwa hiyo kuna vitu atakuwa kajifunza atavileta nyumbani, tunachoangalia na kusubiri ni kuona yale tunayoyatamani tutayapata?

“Hatutakiwi kuwa na matumaini kwamba tutapata mafanikio ambayo tunayaona kwa Zidane  hiki ndio kitu kimewajaa sana mashabiki wa Arsenal.”

“Arteta sehemu ambayo yupo naamini ni sehemu ambayo anaifahamu vizuri na hatuna shaka nae kabisa.”

“Tutaanza kulalamika msimu wa 2019/20 lakini 2018/19 hatuta lalamika sana kwa sababu tutakuwa tunaangalia alichojifunza kwa sababu Arsenal ni timu kubwa na jukumu aliliopewa ni kubwa kuibeba Arsenal.”

“Nadhani kuna vitu vingi sana atatakiwa ajifunze kwa hiyo kwa msimu ujao mimi binafsi sitatoa lawama yoyote lakini 2019/20 nikiona bado tunaumia kama alivyokuwa Wenger itakuwa tatizo tena.”

“Sisi hatuhitaji sana wachezaji wa gharama kwa sababu hata falsafa yetu haituruhusu kwa hiyo hatuhitaji pesa za kununua wachezaji wa milioni 100, tunachohitaji ni beki wa kati na kiungo ndio maeneo yenye matatizo lakini mbele hatuna tatizo. Tunahitaji wachezaji kama watatu ‘world class’ lakini sio wa milioni 100 au 200.”

Aliyemnunulia Zari gari na kutoswa, aibuka na mapya mazito

$
0
0

Baada ya Zari The Boss Lady kukataa gari aina ya Range Rover Sport ya mwaka 2017 kutoka kwa Ringtone Apoko ambaye ni msanii wa muziki wa Injili nchini Kenya, muimbaji huyo ameibuka na mapya tena.

Katika mahojiano na kipindi cha 10 Over 10 cha Citizen TV, Ringtone Apoko amesema kwa mara ya kwanza aliona taarifa za Zari kuachana na Diamond katika TV lakini kwake ilikuwa ni habari ya kawaida kama zilivyo nyingine.

Soma Pia: Msanii wa Kenya amnunulia Zari Range Rover Sport 2017, ni yule aliyetangaza kumuoa

Hata hivyo anaeleza kuwa alipokwenda kulala alijikuta akikosa usingizi kitu ambacho hakikuwa kawaida kwake.

“Kwa mapenzi ya Mungu kwa dakika chache nikapata usingizi, wakati nimelala nikaota na kuona Zari. Nikaamka nikasikia sauti ikiniambia Zari ndiye mtu sahihi kwangu,” amesema.

Soma Pia; Aliyetangaza kumnunulia Zari Range Rover Sport 2017 ala za uso

Wakati Zari akiwa nchini Kenya kwa ajili ya event yake ‘The Colour Purple’ iliyofanyika weekend iliyopita, alisema hamfahmu kijana huyo kwani ana watu zaidi ya milioni 3.9 katika mtandao wa Instagram ambao wanamfuatilia.

Kiboko ya Matatizo ya Nguvu za Kiume, Maumbile Madogo, Mvuto wa Mapenzi na Magonjwa Sugu

$
0
0
KIBOKO YA MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME,MAUMBILE MADOGO, MVUTO WA MAPENZI ,MAGONJWA SUGU

Usikate tamaa ondoa maradhi yako, maana matatizo haya yamekua yakiasili watuwengi kisaikolojia hasa baada ya kujiona wako tofauti sana na wengine kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamapunguvu katika mwiliwake.

Kunasababu nyingi sana zinazosababisha matatizo haya, chango hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngili :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli. Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na marakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kushindwa kabisa

SUPER CHAN :- nidawa ya mitishamba iliyotengenezwa kwa mfumo wa vidonge, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka 15-90 , inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uludie tendo la ndoa zaidi ya mara nne (4) birahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk (20-30 )

LUGINI 3 POWER:- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwa mda mfupi sana,

MANUS :- nidawa inayotibu ama kutatua tatizo la kisukali kwawaliohangaika bila mafanikio, huondoa tatizo la kisukali na kupona kabisa, vilevile ninadawa ya magonjwa sugu km vile presha, vidondo vya tumbo, miguu kuwakamoto, muwasho mwilin, kaswende,uzazi nk.

TULIZA :- nidawa ya mvuto wa mapenzi, humtuliza mke, mme, mchumba, hawara au mtu yoyote umpendae na kumfanya akutimizie chochotekile unachokitaka kutoka kwake na kumfunga asiwe na mtu yoyote zaidi yako.

WASILIANA NA DR GALIMBO NAPATIKANA DAR ES SALAAM KUMBUKA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO
PIGA SIMU 0759208637

“Katika miaka yote niliyokaa Yanga, hawa vijana wanastahili sifa”-Cannavaro

$
0
0
Nahodha wa Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amesema kila mtu kwa sasa anafahamu kipindi wanachopitia wao kama Yanga lakini kwa upande wake amekuwa akizungumza na wenzake ili kutambua wajibu wao kama wachezaji.

Cannavaro ameiambia Sports Xtra kuwa hakuna wachezajk waliogoma ingawa kumekuwa na maneno mengi kwa baadhi ya wapenzi wa soka nchini.

“Mimi ndio napata sana tabu kwa sababu mimi ni kiungo ambaye nawaangalia sana wachezaji wenzangu hasa katika kipindi hiki ambacho tunapita, ni kigumu sana.”

“Kila mwana Yanga anajua tunapita katika kipindi gani, lakini nawapongeza sana vijana wangu wamefanya kazi na wanastahili sifa.”

“Katika miaka yote niliyokaa Yanga, hawa vijana wanastahili sifa. Siwezi kutangaza masuala ya klabu yangu lakini vijana wanastahili sifa kwa sababu ni wastahimilivu.”

“Kuwarudisha kwenye mchezo inahitaji moyo sana unakaa na kuzungumza nao kinachosaidia ni kwamba wananisikiliza kila nikiwaambia kituna bado tunaendelea kupambama na timu yetu ili tuifikishe kwenye hali nzuri. Kwa sasa wachezaji wengi wanasumbuliwa na majeraha nikiwepo mimi mwenyewe.”

“Kwenye ligi tumekosa, sasa hivi macho yetu yapo kwenye Caf Confederation Cup kama tukiweza kupata nafasi hapa na kufika nusu fainali tunaweza kupatabupendeleo wa kuongeza timu tukapata nafasi ya kuingiza timu tatu hadi nne kwenye mashindano ya Afrika.”

“Nawaita wachezaji wazoefu tunajadili kwamba kitu fulani kina wezekana na vitu vingine haviwezekani nikimalizana na wachezaji wazoefu wale wengine vijana hawanisumbui naweza kuzungumza nao vizuri.”

“Hakuna mtu ambaue hajui Yanga imepita kwenye kipindi kigumu mwaka huu, nasikia fununu watu wanasema wachezaji wa Yanga tumegoma, hakuna mchezaji aliyegoma. Huu ni mpira wachezaji tunaendelea na mazoezi, najua kila mtanzania anajua Yanga tuna shida lakini sisi tunapambana hii ndiyo kazi yetu.”

“Sijaelewa kwa sababu kuna watu wanamaliza mikataba yao sijui viongozi watakaa vipi na wachezaji, mchezaji anapomaliza mkataba inakuwa nje ya uwezo wangu. Mtu akimaliza mkataba siwezi kuzungumza nae kwa sababu ni suala ambalo lipo nje ya mkataba wangu.”

Salome ya Diamond ‘yamuweka kizuizini’ Hamisa Mobetto

$
0
0

Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefunguka ni kwanini siku hizi hatokei tena kwenye video za muziki.

Hamisa amesema kuwa ili aweze kutokea kwenye video ya wimbo wowote ule ni lazima uwe mzuri zaidi ya Salome ya Diamond ambao video yake ndio ya mwisho yeye kuonekana.

“Sifanyi video tu nimefanya, ninachagua. Ninachagua wimbo, nachagua maudhui, nachagua kila kitu, so for me kutokea kwenye video nyingine inabidi iwe nzuri zaidi ya Salome,” amesema Hamisa.

Video ya Salome kutokwa kwa Diamond Platnumz akishirikiana na Rayvanny ilitoka September 18, 2016 na hadi sasa ina views Milioni 23 katika mtandao wa YouTube.

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

$
0
0
Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU

 0753471612/ 0715249530
0623 386 305

DR KUZENZA

Kocha mpya Yanga asaini mkataba na kuondoka

$
0
0


Kocha Zahera Mwinyi baada ya kuwasili kwa lengo la kuifundisha klabu ya Yanga ilionekana alikuwa bado hajasaini mkataba, hatimaye kocha huyo amesaini mkataba wa kuifundisha  klabu hiyo.

Hussein Nyika mwenyekiti wa kamati ya usajili Yanga amethibisha kocha huyo kusaini mkataba wa miaka miwili.

“Tumemalizana na mwalimu siku ya Ijumaa amesaini mkataba kwa ajili ya kuifundisha Yanga lakini kesho (Jumamosi) anataraji kuondoka kwenda DR Congo kwa ajili ya majukumu ya timu ya taifa kwa sababu mwalimu huyo tulimchukua wakati yupo kwenye majukumu ya kitaifa.”

“Kwa hiyo anakwenda kutimiza majukumu yake kwa sababu timu ya DR Congo ina mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Nigeria weekend ijayo.”

“Atarejea Tanzania baada ya wiki moja kutoka kwenye mechi ya kirafiki kati ya DR Congo dhidi ya Nigeria.”

Nyika amefafanua kwa nini Zahera alikuwa haikai kwenye benchi la ufundi la Yanga katila mechi zilizochezwa tangu alipowasili Yanga.

“Nafikiri watu walikuwa hawaelewi kwa sababu gani mwalimu alikuwa anashindwa kukaa kwenye benchi, ni kwa sababu hakuwa na mkataba, huwezi kupata kibali cha kufanya kazi kama hauna mkataba wa kufanya kazi sehemu ambayo unatakiwa kufanya kazi.”

“Baada ya kusaini mkataba, kuanzia Jumatatu tunashughulikia vibali vyake kwa ajili ya kuitumikia Yanga. Kwa hiyo mpaka atakapo rudi atavikuta vibali vitakuwa tayari na ataanza kukaa kwenye benchi la Yanga.”

Ni kweli wanaume waaminifu Afrika Mashariki wanatoka WCB – Harmonize

$
0
0

Msanii wa muziki Bongo kutoka WCB, Harmonize amedai kuwa wananaume waaminifu katika mahusiano wanatokea katika label hiyo.

Awali kauli kama hiyo ilitolewa na mmoja kati ya mameneja wa WCB, Babu Tale July 2017.

Muimbaji huyo anayetamba na ngoma ‘Kwa Ngwaru’ ameiambia Mambo Mseto, Citizen Radio kuwa kitu hicho ni cha kweli kabisa na uaminifu wao umevuka mipaka, sio Bongo tu.

Ni kweli kabisa asilimia mia moja, hamna matukio halafu sisi ndio tunangoza kwa kusalitiwa,” amesema Harmonize.

Soma Pia:Kauli ya Babu Tale ‘wanaume wa WCB wote waaminifu’ yawa gumzo

Alipolizwa kuhusu Diamond kuwahi kuwa na mahusiano na Zari na wakati huo huo kuna taarifa za kurudiana na Hamisa, alijibu kuwa hilo halijui ila kwa upande wake hana mpenzi mwingine zaidi ya Sarah.

Bongo5

Ajali ya Ndege Yauwa watu 100

$
0
0

Watu zaidi ya 100 wamedaiwa kufariki dunia katika ajali ya ndege aina ya Boeing 737 iliyoanguka mjini Havana, Cuba Ijumaa hii.

Ndege hiyo ambayo ilikuwa imebeba abiria 104 pamoja na wahudumu 6 ilianguka na kulipuka karibu na uwanja mkuu wa ndege wa Jose Marti. Imeelezwa kuwa Wahudumu wote sita wa ndege hiyo walikuwa ni raia wa nchini Mexico lakini abiria waliokuwa wamepanda ndege hiyo ni raia wa Cuba.

Hata hivyo kwa mujibu wa mtando wa The Sun umesema kuwa, wanawake waliokolewa kutoka kwenye mabaki ya ndege hiyo wakiwa hai lakini hali zao ni maututi.

Serikali ya Cuba imeanzisha uchunguzi wa ajali hiyo na kutangaza siku mbili za maombolezo ya kitaifa. Ndege hiyo ilikuwa inatoka mjini Havana kwenda Holguin, Mashariki mwa Cuba.


Je, Una Upunguvu wa Nguvu za Kiume, Hamu ya Tendo au Maumbile Madogo ya Uume?

$
0
0

JE, UNA UPUNGUVU WA NGUVU ZA KIUME, HAMU YA TENDO LA NDOA AU MAUMBILE MADOGO YA UUME?
SOMA HAPA👇👇.
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume au ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa limezidi kuongezeka kwa kasi duniani kote na limekuwa chanzo kikubwa cha ndoa nyingi na mahusiano kukosa uaminifu kutokana na wengi kutoka nje ya ndoa ili kupata mtu atakayemtosheleza na kumfikisha kileleni. Pia udogo wa maumbile ni tatizo kubwa na limekuwa likiwakosesha wanaume wengi uwezo wa kujiamini katika tendo na kusababisha tendo hilo kutokufanyika kwa usahihi. Hili pia huchangia kwa kiasi kikubwa wanawake wengi kwenda nje ya ndoa ( MAHUSIANO) kutafuta mbadala wake.
BAADHI YA DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI KAMA:-
☆Kukosa hamu ya tendo la ndoa
☆Uume kusimama kwa ulegevu
☆Kuwahi kufika kileleni
☆Uume kusinyaa katikati ya tendo
☆Kushindwa kurudia tendo kwa wakati
☆Kuchoka sana baada ya round ya kwanza na hata kukinai kabisa.

Kwa kutumia mimea na matunda bila kemikali 🍇🍍🍓🌿🍉🍒🍎🍑 @markson_beauty_pr Tunakuletea suluhisho la matatizo hayo hata kwa wenye "KISUKARI NA PRESSURE" kwa:-
1.HANDSOME UP ORIGINAL:- kifaa chenye uwezo wa 99% kuongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @250,000/=
2.SHARK POWER ni gely ya kupaka inayoongeza uume kwa wastani wa inch 5.5 hadi 6 @150,000/=
3.VigRX CREAM:- ni gely iliyoboreshwa mahususi kwa ajili ya kuongeza maumbile kwa wastani wa inch 6.5 hadi 8 na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @200,000/=
4.Vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza nguvu na hamu ya tendo la ndoa hata kwa wenye kisukari @150,000/=
5.Spray ya kuchelewesha kufika kileleni na kuweza kurudia tendo ×3. @150,000/=
BIDHAA HIZI HAZINA MADHARA KIAFYA NA ZIMETHIBITISHWA
NA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO).
KWA BIDHAA HIZI NA NYINGINE NYINGI TEMBELEA UKURASA WETU WA INSTAGRAM :-
@markson_beauty_pr
@markson_beauty_pr
@markson_beauty_pr
WEB:www.markbeauty.org
Wasiliana nasi Popote
ulipo duniani kwa (+255)
0767447444 na
0714335378
UTAPATA HUDUMA
NB:Matokeo ni uhakika na garantii na hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.

WELCOME ALL

Mbunge wa CCM Ailalamikia Serikali Kuhusu Hali za Wafanyakazi na Wafanyabiashara - VIDEO

$
0
0

Mbunge wa Kuteuliwa(CCM), Abdallah Bulembo amesema kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina hawatendei haki Watanzania hasa sekta ya uvuvi kwa Operation ya uvuvi haramu aliyomtaka aisimamishe kwa kile alichodai inaumiza wavuvi.

Bulembo ameyasema hayo, wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ya mwaka 2018/019 ambapo amesema haiwezekani Wafanyakazi wanalia, wafanyabiashara, watu wote wanalia inawezekanaje?

Aidha Bulembo aliongeza kuwa Kama Waziri hawasikilizi watu wa seta yake Uwaziri wake ni nini? alihoji kwa uchungu.

“Kuna wafugaji wapo hapo nje wanalalamika ngo’mbe wao wameuzwa, hii haipo ndani ya Ilani ya CCM kwamba Waziri utakuwa baada ya kumsaidia Rais unamsababishia matatizo, Msimchanganye Rais na Rais hawezi kushangilia wananchi wanateswa, hawezi kushangilia wananchi wake wanaumizwa, Rais amepigiwa kura anatakiwa kurudi kuomba kura kule kwanini mnamchanganya Rais na matatizo ya mtu mmoja ambaye ni Waziri?,” alihoji.

TAKUKURU Lindi Yamdaka Mgombea kwa Tuhuma za Kugawa Mlungula

$
0
0

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoa wa Lindi imemkamata na kumshikilia aliyekuwa mgombea wa nafasi ya ukatibu wa kata wa  Chama Cha Mapinduzi(CCM), kwa tuhuma za kugawa fedha kwa ajili ya rushwa.

Akieleza tukio hilo,kamanda wa TAKUKURU wa mkoa wa Lindi,Stephen Chami alisema tukio hilo lilitokea jana katika kijiji na kata ya Kilangala,wilaya na mkoa wa Lindi,wakati wa uchaguzi wa marudio ndani ya chama katika kata ya Kilangala.

Kamanda Chami alimtaja aliyekamatwa na kushikiliwa na taasisi hiyo yenye dhamana ya kupambana na kuzuia rushwa kuwa ni Mohamed Njengu,aliyekuwa anashindania nafasi hiyo na Mohamed Nandala.

Chami alisema walipewa taarifa na viongozi wa CCM kwamba kuelekea siku ya uchaguzi kulikuwa na vitendo vilivyoashiria kuwepo rushwa kabla na wakati wa uchaguzi huo uliokuwa nawajumbe arobaini.Hivyo taasisi hiyo kuweka mtego uliofanikisha kukamatwa mtuhumiwa huyo, wakala wake nawaliogawiwa fedha ili kuwashawishi wamchague mgombea huyo.

"Tulipopewa taarifa tulikwenda kuweka mitego,siku ya uchaguzi tulimkamata wakala wake anayetambulika kwa jina la Mohamed Mbuta.Huyo bwana Mbuta tulimkuta na orodha ya majina,mengine yakiwa yamewekwa tiki kwamba wenye majina hayo walishalipwa shilingi elfu mbili kila mmoja,"alisema kamanda Chami.

Kamanda huyo alisema Mbuta alikiri kuwa alipewa shilingi 50,000 na Njengu awagawie wajumbe ili wanunue maji ya kunywa.Huku akibainisha kwamba Njengu ambae anashikiliwa na taasisi amekiri pia alimpa Mbuta kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kuzigawa kwa wajumbe 34 waliorodheshwa kwenye orodha.

"Alichanga karata na kupiga hesabu vizuri za ushindi kupitia rushwa aliyokuwa anagawa kwa wajumbe.Alikuwa na uhakika wakupigiwa kura 34 kati ya 40 za wajumbe halali wa mkutano huo," alibainisha Chami.

Chami aliwataja wajumbe waliokamatwa kuhusiana na tukio hilo,ambao wapo nje kwa dhamana ni Mohamed Ñdongwele,Rashid Mkuwele,Seleman Chilu,Mohamed Tondolo na Mohamed Mpwatile.

Aliwataja wengine kuwa ni Elias Kawawa,Betrine Yakobo na Thobias Karatasi.Huku akibainisha kuwa takribani asilimia tisini ya waliopewa fedha wamekiri na wamerejesha fedha hizo.

Alisema mtuhumiwa huyo anaendelea kuhojiwa na maofisa wa taasisi hiyo.Ambapo baada ya kukamilisha uchunguzi kupitia mahojiano hayo atapelekwa mahakamani.

Mbali na hayo,kamanda Chami alitoa wito kwa wananchi kuwachagua wagombea kwa sifa ya uwezo wa kuwaongoza badala ya rushwa.Huku akibainisha kwamba kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa,taasisi hiyo imejipanga vema kuhakikisha viongozi wagombea hawachaguliwi kwasababu ya uwezo wao wa fedha.

Kwa mujibu wa kamanda Chami uchaguzi huo wamarudio ulitokana na mtuhumiwa huyo kukata rufaa na kupinga matokeo ya uchaguzi wa awali.Ambayo yeye alishindwa kuchaguliwa kwa nafasi hiyo.

Snura Afunguka Kinagaubaga Kuhusu Bifu Kati yake na Shilole

$
0
0

Msanii wa muziki Bongo, Snura Mushi amefunguka kuhusu taarifa zinazodai kuwa bifu lake na Shilole bado lipo.

Muimbaji huyo amesema hakuna kitu kama hicho hata tuzo ambayo Aunt Ezekiel alitoa kwa Shilole wakati wa uzinduzi wa Filamu yake ‘Mama’ yeye ndiye alipokea.

“Sina beef hadi juzi kwa Aunt mimi sindonimempokelea zawadi, yeah, hatuna bifu na nimempelekea,” Snura ameiambia Bongo5.

Snura kwa sasa anatamba na ngoma ‘Vumbi la Mguu’ baada ya kufunika na Zungusha ambayo alimshirikisha Christian Bella.

Conte Adai ana 'Uhusiano wa Kawaida' na Jose Mourinho

$
0
0

Meneja wa Chelsea Antonio Conte amesema atamsalimia Jose Mourinho kwa mkono watakapokutana Chelsea wakikabiliana na Manchester United katika fainali ya Kombe la FA uwanjani Wembley Jumamosi.
Mameneja hao wawili wamekuwa na uhasama kila klabu zao zinapokabiliana Ligi ya Premia.

Lakini Ijumaa, Conte alisema: "Kesho, nitamsalimia kwa mkono na sote wawili tutafikiria kuhusu mechi."
"Si muhimu yale yaliyopita awali. Kuna uhusiano wa kawaida kati yangu naye."

Uhasama kati ya wawili hao ulianza Oktoba 2016, msimu wa kwanza wa Conte ligi kuu England pale Mwitaliano huyo alimpomshambulia Mourinho akisherehekea baada ya Chelsea kuwalaza United 4-0.
januari, Conte alimweleza Mreno huyo kama "mwanamume mdogo" baada ya kurushiana maneno kupitia vyombo vya habari.

Conte anatarajiwa na wengi kuondoka Chelsea majira ya joto na alipoulizwa kuhusu mustakabali wake, aliwachezea wanahabari na kusema: "Ninaweza kusema kwa kweli kwamba mechi hii itakuwa yangu ya mwisho, msimu huu.
"Kwangu na wachezaji, itakuwa mechi yetu ya mwisho. Kisha, kama mjuavyo vyema sana, nina mkataba na nimejitolea kwa klabu hii."

Mourinho alikataa kuzungumzia mustakabali wa Conte akisema: "Hadi iwe rasmi kwamba Antonio ameondoka, sijui. Kwa kweli, mkiniuliza kama nafuatilia hili - ni hamu tu ya kutaka kujua.
"Kuhusu mechi ya kesho (Jumamosi), iwapo itakuwa mechi yake ya mwisho au la, sifikiri hilo litabadilisha mtazamo wake kwa mechi hii na hamu yake ya kutaka kushinda."

Mourinho alipoulizwa kuhusu heshima kati yake na mashabiki wa Chelsea, alisema: "Kitu pekee ninaweza kusema kuhusu mashabiki wa Chelsea ni kwmaba tangu siku yangu ya kwanza 2004 hadi siku ya mwisho nilipofutwa miaka kadha iliyopita, waliniunga mkono kikamilifu," alisema Mourinho, 55, aliyeshinda vikombe vinane akiwa Stamford Bridge.
"Waliniunga mkono kila siku. Waliniunga mkono kila mechi, waliniunga mkono haa siku nilipofutwa - mara mbili, moja 2008 na miaka kadha iliyopita.

"Hilo sitalisahau kamwe kwa sababu walifanya kile ambacho ninaamini mashabiki wazuri hufanya, ambacho ni kumuunga mkono meneja wao hadi siku ya mwisho.
"Kuhusu mashabiki wa Chelsea, hilo sisahau: walikuwa wazuri sana."
Mourinho ndiye meneja aliyefanikiwa zaidi Chelsea baada ya kushinda mataji matatu vipindi viwili alivyokuwa Stamford Bridge mwaka 2005, 2006 na 2015.


Wasiliana na Dr Mabula Anatibu Upungufu wa Nguvu za Kiume, Busha na Matatizo ya Maumbile Madogo kwa Mwanaume

$
0
0

 TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO
Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliongahika sehemu mbalimbali bira MAFANIKIO MABULA CLINIC ni kituo cha tiba asilia kilichopo mbagara zakhemu njia kuu ya JESHINI JE HUNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO NA MWEMBAMBA?

MAPRO PAWER NO 2 ndio Tiba kwa sasa utibu matatizo matatu kwa pamoja 1hitakufanya uchelewe kufika kilekeni dikika 15-20 kwa tendo la kwanza 2 uhimalisha misuli iliyoregea na kusinyaa hasa kwa wale walio hasirika na upigaji punyeto 3 itakufanya upate amu ya kurudia tendo zaidi ya Mara tatu

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MPENZI AU MKE WAKO kisa unawai kukojoa au unakomea bao moja tu na huku dawa zipo MAKAKANUA mix ni dawa iliyochanganywa na miti Shamba 9 na Kuwa na uwezo wa kuongeza uume saizi upendayo inchi 5-8 Kwa Urefu na unene sentimita 1-5 dawa hizi hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ata wazee wenye umri mkubwa wanapona? zipo dawa za mvuto wa mpenzi mme au mke Kwa masaa matatu tu na kukupigia simu yeye mwenyewe mvuto wa biashara kutengeneza mwonekano mzuri wa mwili kwa wanawake yani shepu tunatibu ngiri miguu mgongo na kiuno kuumwa kupunguza kitambi minyama uzembe matiti na mwili mkubwa

TIBA NA USHAULI MUONE DR MABULA AU PIGA SIMU NO 0752348593 UDUMA ZANGU UTAZIPATA POPOTE ULIPO KAMA UWEZI KUFIKA OFISINI

Je, Kuna SIRI gani kwenye Namba 40?

$
0
0

Kwa nini Nuhu alitengeneza Safina kwa Muda wa miaka 40?
Mvua ya Ghalika ilinyesha Siku 40?
Waisrael walikaa Utumwani Misri kwa Miaka 40?
Pia Waisrael walisafiri nyikani kwa Muda wa Miaka 40?
Mnara wa Babeli ulijengwa kwa muda wa Miaka 40?
BWANA YESU Kristo Alifunga kwa Siku 40?
Pia Alipaa Mbinguni baada ya Siku 40? na kwa nini siku za Mwizi ni 40?
Hata Mtoto hutolewa Nje baada ya Siku 40
Hata Matanga ya Marehem Hukaliwa kwa muda wa Siku 40? Je, Kuna SIRI gani kwenye Namba 40?

Mama Diamond "Hamisa Mobetto sio Wife Material Hafai Kuwekwa Ndani"

$
0
0

Mama mzazi wa Diamond Platinumz ambaye ni Bi Sandra amesema siku ambayo mwanaye Abdul Naseeb maarufu kama Diamond Platinumz atapoamua kufunga ndoa na mama mtoto wake Hamisa Mobetto hatokanyaga katika harusi hiyo.

Bi sandra amesema kuwa Hamisa Mobetto hafai kuwa mwanamke wa kuwekwa ndani yaani ”Wife material” kutokana na mambo ambayo hayakumridhisha kipindi ambacho mlimbwende huyo aliishi nyumbani kwake Madale. ”Siwezi kukanyaga kwenye hiyo harusi hata siku moja watasherekea wenyewe” amesema Bi Sandra.

Hata hivyo Mama Diamond ameeleza kisa cha kutomkubali mama mtoto wa mjukuu wake Abdul ni kufuatia sakata la mwanadada huyo kuwaita Shilawadu kurekodi tukio lake la kumtembelea hospitali pindi alipojifungua mtoto wake, Abdul jambo ambalo lilipangwa kufanywa siri baina yao.

Aidha ameongelea swala la kuwarusha mtandaoni watoto wa Zarina Hassan Tiffah na Nillan zaidi ya ambavyo anampost Abdul ambaye ni mtoto wa Hamisa Mobetto, amesema kuwa bado anamuheshimu sana Zari kwani ndiye mwanamke wa kwanza kumfanya mwanaye Diamond Platinumz aitwe Baba. ”Ninamheshimu Zari kwa sababu ni mwanamke ambaye ndiyo wa kwanza kabisa kumfanya mwanangu aitwe baba” amesema Bi Sandra

Harmonize aeleza undani wa video ya faragha ya Diamond na Hamisa

$
0
0

Msanii Harmonize amedai kuwa video ya faragha iliyovuja mtandao ikimuonyesha Diamond akiwa na wanawake wawili ambao miongoni mwao alikuwepo Hamisa Mobetto, ilikuwa ni sehemu ndogo ya movie waliyokuwa waki-shoot.

Harmonize ameiambia Citizen Radio kuwa movie hiyo inalenga kuwafundisha wanaume ambao wamekuwa na tabia za kuwadhalilisha wanawake.


“Walikuwa wanashuti movie ambayo inaelezea wanaume ambao wanadhalilisha wanawake. Sasa ili iweze kuleta attantion, ile iweze kulata item of bisness, iweze kuleta value wakamtumia Diamond kama mtu ambaye ameshaonekana katika mahusiano tofauti tofauti,” amesema Harmonize.

Utakumbuka April 19, 2018 Diamond Platnumz aliomba radhi Watanzania kutokana na kusambaza video hizo, hiyo ilikuwa ni baada ya kuitwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo alisema kuwa amejifunza sheria za makosa ya kimtandao na kuhaidi kutorudia tena.

Mambo ni hivi: Snura aeleza kinachoendelea kati yake na Shilole

$
0
0

Msanii wa muziki Bongo, Snura Mushi amefunguka kuhusu taarifa zinazodai kuwa bifu lake na Shilole bado lipo.

Muimbaji huyo amesema hakuna kitu kama hicho hata tuzo ambayo Aunt Ezekiel alitoa kwa Shilole wakati wa uzinduzi wa Filamu yake ‘Mama’ yeye ndiye alipokea.

“Sina beef hadi juzi kwa Aunt mimi sindonimempokelea zawadi, yeah, hatuna bifu na nimempelekea,” Snura ameiambia Bongo5.

Snura kwa sasa anatamba na ngoma ‘Vumbi la Mguu’ baada ya kufunika na Zungusha ambayo alimshirikisha Christian Bella
Viewing all 104689 articles
Browse latest View live


Latest Images