Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live

Baada ya kutangaza kuacha muziki, Q Chief apigiwa simu na Mzee wa Upako

0
0

Baada ya kuweka wazi dhamira yake ya kuacha muziki, msanii Q Chief amesema amepigiwa simu na watu wengi mmoja wapo ni Mchungaji Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’

Muimbaji huyo amesema kuwa Mzee wa Mpako alionyesha kuguswa na hatua hiyo aliyoamua kuichukua.

“Nimepokea simu kutoka kwa mtu kama Anthony Lusekelo, usiku saa tisa unaweza kuona ni jinsi gani mchungaji anaweza kuguswa na kusema mwanangu nimetaka kama kulia hivi, nimepigia simu na maostadhi wakubwa sana Tanzania hii,” Q Chief ameiambia Clouds TV.

Ameongeza kuwa amefikia maamuzi hayo na hana kinyongo chochote na mtu ila kwa sasa ameona mapenzi makubwa sana kutoka kwa watu kwenda kwa Q Cheif.

Ndege ya Air Tanzania Boeng 787-8 Yanaswa Ikiwa Tayari Huko Majuu

0
0
Ndege yetu aina ya Boeing 787-8 imemaliza hatua zote muhimu za uunganishwaji wa vifaa vya ndani kwa mafanikio makubwa. Zoezi hilo lililoanza 4/5/2018 na kumalizika 21/05/2018 linatoa picha ya ndege hii kuweza kuwa delivered kabla hata ya tarehe tajwa (9/7/2018).

PICHA: Prince Harry Anapenda Wanawake Wenye Ngozi Nyeusi..Tazama Picha Zinaongea

0
0
 PICHA: Prince Harry Anapenda Wanawake Wenye Ngozi Nyeusi..Tazama Picha Zinaongea
Meghan asibwete kabisa.


Gigy Money Aomba Radhi kwa Aliyoyaongea

0
0
Siku kadhaa zilizopita msanii Gigy Money alimwaga povu baada ya kufanyiwa mahojiano na Ayo Tv na aliongea kuhusu mahusiano yake ya kimapenzi na mzazi mwenzake Mo J na moja kati ya vitu alivyozungumza ni kuwa mtoto sio wa Moj. 

Kupitia ukurasa wake wa instagram Gigy Money ameomba msamaha kwa mashabiki zake na watu wake wa karibu kutokana na kile alichokiongea kwenye mahujiano hayo .
”Sometimes mnajua hasira inaharibu vitu vingi. My last interview I was so angry, nimeongea mpaka kuptiliza so kwa wale nnaofanya nao kazi, nawaomba radhi. Kwa wale wanaonichukulia kama kioo cha jamii, wajue kwamba life is a journey and I’m learning with every step and to my fannnns, yani wapenzi wa dhati, asanteni for your love and support. Watch this space so mnajua Mama Myra sio wa mchezo mchezo. It will only get better.”

Breaking News: Babu Tale Arudishwa Tena Rumande Kesi Yake Yahairishwa

0
0
Babu Tale Afikishwa Mahakamani...... Arudishwa Tena Rumande
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tip Top Connection ya jijini Dar es Salaam na Meneja wa mwanamuziki Naseeb Abadul ‘Diamond’, Hamis Taletale ‘Babu Tale’, leo amefikishwa katika Mahakama Kuu jijini Dar ambako baada ya hakimu aliyetoa amri ya kumkamata kutokuwepo kesi imeharishwa na Babu Tale atarudishwa mahabusu ya Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.



Kipindi cha nyuma mahakama hiyo ilimwamuru Babu Tale alipe Sh. milioni 250 Mhadhiri wa Dini ya Kiislamu, Sheikh Hashim Mbonde kiasi hicho baada ya kupatikana na makosa ya ukiukwaji wa haki za hakimiliki kwa kutumia masomo yake kibiashara bila ridhaa yake kinyume cha Sheria ya Hakimiliki na Hakishiriki.



Hukumu hiyo ilitolewa na Jaji Agustine Shangwa, Februari 18, mwaka juzi, katika kesi ya madai namba 185 ya mwaka 2013, iliyofunguliwa na Sheikh Mbonde aliyewalalamikia ndugu hao kutumia mahubiri yake kibiashara bila ridhaa yake.

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

0
0
Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU

 0753471612/ 0715249530
0623 386 305

DR KUZENZA

Rais Paul Kagame Akamata Fursa Uingereza, Sasa Rwanda Kutangaza Utalii Kupitia Jezi za Arsenal

0
0
Rais Paul Kagame Akamata Fursa Uingereza, Sasa Rwanda Kutangaza Utalii Kupitia Jezi za Arsenal
Ukitaja marais barani Afrika ambao wanapenda soka huwezi kumtoa Rais wa Rwanda, Paul Kagame ambaye yeye ni shabiki wa kutupwa wa klabu ya Arsenal.

Sasa kutokana na ukaribu uliopo kati ya Rais Kagame na Viongozi wa klabu ya Arsenal huenda ukawa ni chanzo cha nchi hiyo kusaini mkataba wa miaka mitatu wa kuitangaza nchi Kiutalii.

Kwa mujibu taarifa iliyotolewa na serikali ya Rwanda imeeleza kuwa Jezi za Arsenal kwa miaka mitatu itavaa jezi zenye logo ndogo mkononi zilizoandikwa ‘Visit Rwanda’ kwa lengo la kupromoti utalii.

Logo hiyo itawekwa kwa timu zote za Arsenal za wanaume na wanawake kuanzia msimu mpya wa 2018/19 unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi mwezi Agosti.

Rwanda kwa mwaka inapokea watalii milioni 1.3 na kwa hatua hii huenda watalii wakaongezeka maradufu ndani ya miaka mitatu.

Watoto wa Darasa la Pili Waokoa Maiti ya Mzee Aliyekufa Baada ya Kuzama Kwenye Bwawa

0
0
Watoto wa Darasa la Pili Waokoa Maiti ya Mzee Alikufa Baada ya Kuzama Kwenye Bwawa
Watoto wawili wenye umri wa miaka 8-12, wameibuka mashujaa baada ya kuokoa mwili wa mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mzee Nampwenge aliyekufa na maji, baada ya kuzama kwenye bwawa alipokuwa akiogelea huko Namayanga, Naliendelea mkoani Mtwara.

Akizungumza na mwandishi wetu mwenyekiti wa mtaa wa Namayanga Ally Salum Nayove amesema ni kweli watoto hao waliotambulika kwa majina ya Faraji Muhibu, na Islam Shaibu, wanaosoma darasa la nne na mwingine la pili ndio walioweza kujitosa kwenye bwawa hilo ambalo limejaa maji kutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha, na kuutoa mwili huo.

Naye mzee Hamisi Nahoda  ambaye ni rafiki wa karibu wa Mzee Nampwenge aliyekuwa naye siku ya tukio wakiogelea, amesema kwamba rafiki yake huyo alikuwa anajikumbusha kuogelea lakini maji yalimzidi na kufariki dunia saa chache kabla ya kufuturu.

Kutokana na tukio hilo mwenyekiti Ally Salum Nayove  amewataka wananchi na watoto wadogo kutocheza katika maeneo hayo, ambayo awali yalikuwa ni machombo ya mchanga na sasa kujaa maji kutokana na mvua.


Ndoa ya FA Yapata Baraka Apata Mtoto wa Pili wa Kike

0
0
Ndoa ya FA Yapata Baraka Apata Mtoto wa Pili wa Kike
Ipokee habari njema kutoka kwa staa mkongwe katika muziki wa Bongo Fleva Mwana FA ambaye amebahatika kupata mtoto wa pili wa kike usiku wa jana May 22,2018

Mwana FA ni miongoni mwa mastaa wachache ambayo hawaweki mahusiano yao ya kimapenzi katika mitandao ya kijamii na pia amekuwa mtu ambaye ni msiri kuhusiana na familia yake kwenye mitandao ya kijamii

Mwana FA alifunga pingu za maisha na mke wake Helga mwaka 2016 na hivyo baada ya miaka miwili wamebahatika kuongeza mwanafamilia mwingine katika familia yao, hongera nyingi ziwafikie


Zitto Kabwe Amlipua Waziri Mahiga Bungeni Kisa Hiki Hapa

0
0
Zitto Kabwe Amlipua Waziri Mahiga Bungeni Kisa Hiki Hapa
Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo) Zitto Kabwe amesema kitendo cha Waziri wa Mambo ya Nje, Dk Augustine Mahiga kuonekana akigonganisha glasi na Waziri Mkuu wa Israel,  Benjamin Netanyahu kimemtia aibu.

Amesema kitendo hicho huenda kikaibua tafsiri tofauti kwa Palestina ambao kwa muda mrefu nchi hizo mbili zimekuwa na mvutano.

Akizungumza leo Mei 23, 2018 katika mjadala wa bajeti ya wizara hiyo mwaka 2018/19, Zitto amesema Tanzania

ilijenga heshima ya kupigania haki kwa wanyonge tofauti na sasa.

“Tuliweka Mwenge juu ya Mlima Kilimanjaro ili umulike ndani na hata nje ya nchi na ulete upendo pasipo na upendo, matumaini pasipo matumaini, heshima palipo jaa dharau. Ndiyo mambo yaliyopo katika sera ya mambo ya nje,”amesema.

Amesema  kuanzia mwaka 2016 Tanzania imeona aibu kupigia  kura katika majukwaa ya kimataifa ya kuwaunga mkono wanyonge.

Amesema Dk Mahiga alikuwa Israel wakati akigonganisha glasi na Netanyahu, jambo alilodai kuwa linawaumiza Wapalestina.

“Nchi inaona aibu kulaani mauaji ya wanyonge walionyanganywa nchi yao. Umeonekana (Mahiga) katika televisheni ya Israel  ukizungumza bila kusema lolote kuhusu wanyonge (Palestina),” amesema.

Balozi wa Marekani Atimuliwa Venezuela

0
0
Balozi wa Marekani Atimuliwa Venezuela
Rais Nicolas Maduro ameamuru mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Marekani aondoke nchini Venezuela baada ya kuwekewa vikwazo vingine kufuatia uchaguzi uliomrejesha madarakani Jumapili.

Maduro alitangaza hatua hiyo Jumanne kupitia televisheni ya taifa baada ya kutangazwa rasmi kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu wa rais uliofanyika Jumapili.

"Himaya hiyo haitutawali hapa," alisema Maduro na kuwapa saa 48 mwambata wa kisiasa Todd Robinson na naibu wake Brian Naranjo kuondoka. "Tumechoshwa na njama zenu."

Aliwashutumu wawili hao kwa kuhujumu uchaguzi wa rais wa Venezuela kwa kuwashinikiza wagombea kadhaa wa upinzani wasishiriki katika mbio hizo. Maduro alimtaja Naranjo kuwa mkuu wa shirika la ujasusi la Marekani (CIA) nchini Venezuela.

Uchaguzi huo ulisusiwa na vyama vikuu vya upinzani na ulishutumiwa vikali na jumuiya ya kimataifa. Vyama vya siasa viliamua kutoshiriki baada ya maofisa kuwazuia viongozi wao mashuhuri kushiriki uchaguzi.

Maduro alishinda kwa asilimia 68 ya kura lakini asilimia 52 ya wapigakura hawakujitokeza idadi ambayo ni kubwa katika historia ya nchi hiyo watu kususia uchaguzi.

Ikulu ya White House iliutaja uchaguzi huo kuwa "ulaghai", na Rais wa Marekani Donald Trump aliidhinisha amri iliyoiwekea Venezuela ukomo wa uwezo wa kuuza mali zake na hivyo kuongeza shinikizo kwa serikali ya Maduro inayokabiliwa na ukata.

Mkuu wa Kanisa Katoliki Ajiuzulu kwa Kashfa ya Ulawiti

0
0
Mkuu wa Kanisa Katoliki Ajiuzulu kwa Kashfa ya Ulawiti
Askofu Mkuu wa kanisa katoliki nchini Australia, Adelaide Philip Wilson amejiuzulu nafasi yake ya uongozi wa juu wa kanisa hilo baada ya kukutwa na hatia ya kuficha uovu uliotendwa na Padri mwezake Fletcher wa kulawiti.

Askofu huyo mwenye miaka 67 anakabiliwa na kifungo cha miaka 2 jela kwa kosa hilo la kufumbia macho na kushindwa kutoa ripoti kwa mamlaka husika juu ya kitendo hicho ambacho ni kinyume na sheria za nchini humo alichokifanya Padre James Fletcher cha kulawiti watoto wanaotumikia kanisani kwenye  miaka 1970.

Wilson ambaye ndiye Askofu mwenye nafasi juu ya uongozi wa kanisa Katoliki Australia amesema anaachia madaraka yake ya uongozi wa kanisa hilo na yuko tayari hata kujiuzulu uaskofu wake ikimbidi kufanya hivyo.

Askofu Wilson alikuwa Padre tu wakati Padre Fletcher akifanya maovu hayo na Padre Fletcher alikutwa na hatia na kuhukumiwa kifungo cha miaka 10 jela ambapo mwaka 2006 alifariki gerezani ikiwa ni mwaka mmoja tu baada ya hukumu.

Wasiliana na Dr Mabula Anatibu Upungufu wa Nguvu za Kiume, Busha na Matatizo ya Maumbile Madogo kwa Mwanaume

0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO
Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliongahika sehemu mbalimbali bira MAFANIKIO MABULA CLINIC ni kituo cha tiba asilia kilichopo mbagara zakhemu njia kuu ya JESHINI JE HUNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO NA MWEMBAMBA?

MAPRO PAWER NO 2 ndio Tiba kwa sasa utibu matatizo matatu kwa pamoja 1hitakufanya uchelewe kufika kilekeni dikika 15-20 kwa tendo la kwanza 2 uhimalisha misuli iliyoregea na kusinyaa hasa kwa wale walio hasirika na upigaji punyeto 3 itakufanya upate amu ya kurudia tendo zaidi ya Mara tatu

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MPENZI AU MKE WAKO kisa unawai kukojoa au unakomea bao moja tu na huku dawa zipo MAKAKANUA mix ni dawa iliyochanganywa na miti Shamba 9 na Kuwa na uwezo wa kuongeza uume saizi upendayo inchi 5-8 Kwa Urefu na unene sentimita 1-5 dawa hizi hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ata wazee wenye umri mkubwa wanapona? zipo dawa za mvuto wa mpenzi mme au mke Kwa masaa matatu tu na kukupigia simu yeye mwenyewe mvuto wa biashara kutengeneza mwonekano mzuri wa mwili kwa wanawake yani shepu tunatibu ngiri miguu mgongo na kiuno kuumwa kupunguza kitambi minyama uzembe matiti na mwili mkubwa

TIBA NA USHAULI MUONE DR MABULA AU PIGA SIMU NO 0752348593 UDUMA ZANGU UTAZIPATA POPOTE ULIPO KAMA UWEZI KUFIKA OFISINI

Watoto Wawili Waibuka Mashujaa Baada ya Kuopoa Mwili wa Mzee Aliyekufa Maji Akiogelea

0
0

MTWARA: Watoto wawili umri wenye umeri wa miaka 8 na 12, wameibuka mashujaa baada ya kuopoa mwili wa Mzee Nampwenge aliyekufa maji
-
Mzee huyo alifikwa na mauti wakati akijikumbusha kuogelea katika bwawa hilo lililopo huko Namanyanga, Naliendele Mkoani Mtwara
-
Akithibitisha tukio hilo Mwenyekiti wa Mtaa wa Namanyanga, Ally Salum Nayove amesema ni kweli Watoto hao waliojitosa kwenye bwawa lililojaa maji kutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha na kuutoa mwili huo
-
Mmoja wa mashuhuda amesema kwamba Mzee huyo ambaye pia ni rafiki yake alikuwa akijikumbusha kuogelea lakini maji yalimzidi na kufariki dunia saa chache kabla ya kufuturu

Hii Hapa Orodha ya Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora Simba Yaongooza

0
0
Hii Hapa Orodha ya Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora Simba Yaongooza
Kamati ya Tuzo za VPL, imekamilisha orodha ya awali ya wachezaji 30 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msimu wa mwaka 2017/18, ambayo sherehe zake zitafanyika Juni 23 mwaka huu.

Kila mwezi Kamati ya Tuzo, imekuwa ikitangaza jina la mchezaji aliyefanya vizuri kwa mwezi husika kutokana na vigezo mbalimbali na pia ripoti kutoka kwa makocha waliopo katika viwanja ambavyo ligi hiyo inachezwa.

Wachezaji walioshinda tuzo za mwezi ligi ya msimu huu na miezi yao katika mabano nimshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (Agosti), beki wa Singida United, Shafiq Batambuze (Septemba) na mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa (Oktoba). Wengine ni kiungo wa Singida United, Mudathir Yahya (Novemba), mshambuliaji wa Mbao FC ya Mwanza, Habibu Kiyombo (Desemba), mshambuliaji wa Simba, John Bocco(Januari), kiungo wa Yanga, Papy Tshishimbi (Februari), mshambuliaji wa  Lipuli, Adam Salamba (Machi) na mshambuliaji wa Majimaji, Marcel Kaheza (Aprili).

Wachezaji hao kila mmoja amepewa zawadi ya tuzo, king'amuzi cha Azam na fedha taslimu sh. Mil. Moja kutoka kwa wadhamini Vodacom.

Hivyo wakati huu tukielekea mwisho wa ligi, leo tunatangaza wachezaji 30 ambao watawania tuzo hiyo, ambao watachujwa na kubaki 10, kisha watabaki watatu ambao ndiyo wataingia fainali ya kuwania tuzo siku ya mwisho.

Wachezaji hao 30 ni

1. Habibu Kyombo (Mbao)

2. Khamis Mcha- Ruvu Shooting

3. Yahya Zayd-Azam

4. Razack Abalora-Azam

5. Bruce  Kangwa-Azam

6. Aggrey Morris -Azam

7. Himid Mao –Azam FC

8. Awesu Awesu –Mwadui

9. Adam Salamba-Lipuli

10. Mohammed Rashid-Prisons

11. Shafiq Batambuze-Singida

12. Mudathir Yahya-Singida United

13. Marcel Kaheza- Majimaji

14. Ditram Nchimbi-Njombe Mji

15. Eliud Ambokile- Mbeya City

16. Shaaban Nditi-Mtibwa

17. Tafadzwa Kutinyu-Singida

18. Ibrahim Ajibu- Yanga

19. Gadiel Michael-Yanga

20. Papy Tshishimbi-Yanga

21. Kelvin Yondani-Yanga

22. Obrey Chirwa-Yanga

23. Aishi Manula-Simba

24. Emmanuel Okwi-Simba

25. John Bocco-Simba

26. Jonas Mkude-Simba

27. Erasto Nyoni-Simba

28. Shiza Kichuya-Simba

29. Asante Kwasi –Simba

30. Hassan Dilunga-Mtibwa

Nampenda Lipumba, Sakaya Kwasababu Wanajua Hesabu ya Kuvuruga Vyama- Mbunge Msukuma

0
0
Nampenda Lipumba, Sakaya  Kwasababu Wanajua Hesabu ya Kuvuruga Vyama- Mbunge Msukuma
Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Joseph Kasheku (Musukuma) bado anakazia kauli yake ya kuitaka serikali  iruhusu biashara ya bangi na mirungi.

Musukuma amesema kuwa bangi ni nzuri kuliko pombe kwani mtu akivuta ana kuwa na nguvu za kufanya shughuli zake huku akidai kuwa hata bungeni kuna viongozi wakubwa wanatumia bangi.

“Mule ndani (bungeni) kuna viongozi wakubwa tu wanavuta bangi, na wakija mule wanakuja na mizuka yao, nilimuomba Spika niwataje akanikataza,” amesema Musukuma kwenye kipindi cha Kikaangoni cha EATV.

Kwa upande mwingine, Musukuma amemtaja Prof. Lipumba kama ndio kiongozi wa upinzani anayemvutia kwenye siasa za upinzani nchini Tanzania.

“Mwanasiana wa upinzani anayenivutia ni Lipumba anajua hesabu za kuvuruga vyama nampenda sana, Lipumba yeye na Sakaya ni mabingwa wa kutibua siasa anajua kupiga hesabu za kuchekecha vyama, na mimi katika maisha yangu nataka niwe kama yeye.”ameeleza Musukuma.

Mwanaume Kama Hujui Kutunza utaishia Kuitaga Shemeji

0
0
Sasa leo nataka niseme kitu kimoja kwenu wanaume,

Mwanamke mzuri anahitaji pesa jamani,usitegemee utampata mwanamke mzuri kwa sasa hivi kama hauna mkwanja mrefu,hilo sahau kabisa,

Vinginevyo utaishia kuwaita mashemeji tu kwa hiyo wakati ukimtamani mdada mrembo ujue hadi unamuona mrembo ni pesa hizo.

Unakuta mkaka unawasiliana nae wiki nzima,unamjib text,akipiga unaongea nae fresh haha unashindwa kutuma tigo pesa hata elfu 30 useme jiunge bando?

Wallah mie nasemaje kama huna pesa au hujui kutunza usinisumbue kabisa coz hatutoendana
Unataka meeting na mie hutumi hata laki 1 ya saloon licha ya mafuta ya kukufata inahuuu
Badilikeni basi.

Q Chief Amtupia Lawana B Dozen "Nilishawahi Kumfuata Anisaidie Lakini Haikuwezekana"

0
0

Katika maelezo yake #QChief anasema kati ya watu ambao aliwatafuta sana ili kupata msaada wakati muziki wake unaenda vibaya ni Mtangazaji @bdozen. Hata hivyo kutokana na sababu mbalimbali Chilla anasema hakupata msaada aliotarajia kutoka kwa Dozen.

Katika kueleza hilo Dozen alisema. "Katika kipindi ulichonifuata nikusimamie sikuwa naweza kufanya hivyo. Ilifika kipindi wewe pia uliacha kunisukuma na unajua kuna majukumu mengi nafanya. Lakini hapa tuongee kitu cha maana ili kuendelea mbele..... Mimi kama Dozen nakupa ahadi kama leo utasitisha uamuzi wako wa kuacha muziki, nakupa ahadi ya kukupa mchango wa mawazo, mbinu na kadri nitakavyojaaliwa ili kukusaidia kurudi unapostahili. Lakini siwezi kukuahidi kwamba tutatengeneza hits.” @bdozen.

Baada ya Kushindwa Kumalizana Babu Tale Kusota Rumande kwa Muda Usiojulikana, Wakili wa Sheikh Mbonde Afunguka

0
0
Baada ya Kushindwa Kumalizana Babu Tale Kusota Rumande kwa Muda Usiojulikana, Wakili wa Sheikh Mbonde Afunguka
Bosi wa Tip Top Connection, Hamis Taletale maarufu Babu Tale, umerudishwa rumande mchana huu (Mei 23, 2018) na atakaa huko kwa muda usiojulikana mpaka Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda Maalum, Wilbard Mashauri aliyetoa amri ya kumatwa atakapo rejea ofisini baada ya kupata dharula ya kikazi.



Awali amri hiyo pia, ilielekeza atakapokamatwa meneja huyo wa Diamond, ilitaka apelekwe Gereza la Ukonga akiwa ni mfungwa wa kesi ya madai, hadi hapo mahakama hiyo itakapotoa maelekezo mengine.

Baada ya kufikishwa Mahakama Kuu Jumatano hii, alikutana na Naibu Msajili, Ruth Massam na kutoa muda wa dakika kumi kwa upande wa Sheikh Mbonde na upande wa Babu Tale wazungumze na kuangalia kama kuna namna wanaweza kumalizana wenyewe.

Wawili hao walishindwana kuelewana na ndipo msajili huyo alivyotoa amri ya Tabu Tale kurudishwa rumande hadi pale Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda Maalum, Wilbard Mashauri atakapo rejea kazini.

Katika kesi ya msingi, Sheikh Mbonde alikuwa akidai kuwa aliingia mkataba na kampuni ya kina Babu Tale (Tiptop Connection) ili wamrekodi mahubiri yake kisha wayauze na kugawana mapato.

Hata hivyo baada ya kurekodi masomo saba, walimkatia mawasiliano na alipowatafuta na kukutana nao wakamweleza kuwa wameamua kuachana na mpango huo.

Sheikh Mbonde alidai kuwa akiwa kwenye mahubiri Dodoma ndipo akakutana na mikanda ya video katika mfumo wa DVD yenye mahubiri yake huku kukiwa na namba za simu za viongozi hao wa Tiptop.

Sheikh Mbonde alidai baada ya kufanya uchunguzi alibaini kuwa DVD hizo zilikuwa zikiuzwa katika mikoa mbalimbali, ndipo akawafungulia kesi ya madai ya fidia kutokana ukiukwaji wa Sheria ya Hakimiliki na Hakishiriki.

Baada ya kupeleka madai yake Mahakamani, Mahakama ilimuamuru Babu Tale kumlipa Mhadhiri wa Dini ya Kiislamu, Sheikh Hashim Mbonde kiasi cha Sh250 milioni, baada ya kupatikana na makosa ya ukiukwaji wa haki za hakimiliki kwa kutumia masomo yake kibiashara bila ridhaa yake kinyume cha Sheria ya Hakimiliki na Hakishiriki.

Wema Sepetu, Nuh Mziwanda Wamuanika Mtoto wa Steve Nyerere Aliyezaa na Staa wa Bongo Movie

0
0
Wema Sepetu, Nuh Mziwanda Wamuanika Mtoto wa Steve Nyerere Aliyezaa na Staa wa Bongo Movie
Msanii wa filamu Bongo Steve Nyerere ametuonesha picha za mtoto wake mdogo anayetimiza mwaka siku ya leo May 22, 2018 mtoto aliyezaa na Msanii wa filamu Wellu Sengo ‘Matilda‘ kama utakumbuka wawili hawa waliwai kuhusishwa kutoka kimapenzi kipindi cha nyuma.



Licha ya Steve Nyerere kutuonesha picha za mtoto huyo ambaye ni wakike lakini pia mastaa mbalimbali akiwemo Wema Sepetu na Nuh Mziwanda wamempost na kumtakia heri mtoto huyo…….>>>”TIVU…!!! TIVU….!!! TIVU….!!! Aaaaah sijui hata niseme nini… Umejifungua Baba… Mashallah Jamani… Waone mlivyo kama mapapai… Hapa ulituliza Kosekshen yako… Hongera Tivu akee… Mungu akutunzie Binti yako na Familia yako”

“Ila pia mpende sana @sengomatilda @sengomatilda @sengomatilda … My Baby sister umempa huyu mtu Bichwa kubwa sana kwakweli… Kababy kenu ni kashweet kupita maelezo… 😍😍😍” -WEMA SEPETU

…>>>“Twins ‘Hongera sana Brother copy kabisa @stevenyerere2 🔥” -Nuh Mziwanda
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live




Latest Images