Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live

Mwanaume Alishtaki Kanisa Baada ya Kuwekewa Masharti Magumu ya Kuoa

$
0
0
Mwanaume Alishtaki Kanisa Baada ya Kuwekewa Masharti Magumu ya Kuoa
Mwanaume mmoja ameshitaki kanisa moja nchini Uganda akipinga kanuni za utaratibu wa kufunga ndoa akieleza kuwa zinakwenda kinyume na katiba.

Michael Aboneka amepeleka kesi hiyo katika mahakama ya katiba mjini Kampala kulishtaki kanisa la Watoto Church wakati waumini wengine wa kanisa hilo wakiunga mkono taratibu za kanisa lao.

Michael Aboneka amesema kuwa Watoto Church, linawanyima vijana wengi haki yao ya kikatiba ya kufunga ndoa na wapenzi wao baada ya kutimiza umri wa miaka 18 kama katiba ya Uganda inavyosema.

Ameeleza kuwa baada ya kuzisoma kanuni hizo za kufunga ndoa, ameona kuwa zinakwenda kinyume na katiba.

'Kwanza wanasema nilazima upate barua kutoka kwa wazazi wa bibi harusi ambayo wanaita Baraka. Kwangu inakwenda na kinyume cha katiba kifungu 31 ya ndoa ya pili ni kukabidhi barua ya Dakitari ya majibu ya kupima virusi vya ukimwi kwa kanisa'.

'Nimekwenda hospitalini kupimwa na mchumba wangu tumepata majibu tunafahamu majibu ya kila mmoja wetu. Kwa hiyo mimi na mchumba wangu kukabidhi vipimo vya ukimwi kwa kanisa inavunja haki ya uhuru wa siri zetu, nimekuta ni kinyume na katiba'. amesema Aboneka.



Babu Tale Atoka Sero Jeshi la Polisi Lamuachia Huru

$
0
0
 Babu Tale Atoka Selo Jeshi la Polisi Lamuachia Huru
MKURUGENZI wa Kampuni ya Tip Top Connection na Meneja wa Diamond Platnumz, Hamis Taletale maarufu Babutale ameachiwa kutoka Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam tangu jana Alhamisi na sasa yupo uraiani japo haijafahamika iwapo yupo nje kwa dhamana au vinginevyo.

Tale alifikishwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar, juzi Jumatano Mei 23, 2018 kufuatia kesi yake anayodaiwa na Sheikh Hashim Mbonde kiasi cha Tsh. Milioni 250 ambapo kesi hiyo iliahirishwa baada ya hakimu aliyetoa amri ya kumkamata kutokuwepo mahakamani hapo.

Kipindi cha nyuma mahakama hiyo ilimwamuru Babu Tale alipe Sh. milioni 250 Mhadhiri wa Dini ya Kiislamu, Sheikh Hashim Mbonde, baada ya kupatikana na makosa ya ukiukwaji wa hakimiliki kwa kutumia masomo yake kibiashara bila ridhaa yake kinyume cha Sheria ya Hakimiliki na Hakishiriki.

Hukumu hiyo ilitolewa na Jaji Agustine Shangwa, Februari 18, mwaka juzi, katika kesi ya madai namba 185 ya mwaka 2013, iliyofunguliwa na Sheikh Mbonde aliyewalalamikia ndugu hao kutumia mahubiri yake kibiashara bila ridhaa yake.

Masikini Zari Azidi Kumkumbuka Ivan Don ‘'Najua Unatabasamu Katika Utukufu wa Mungu’'

$
0
0
Maskini Zari Azidi Kumkumbuka Ivan Don ‘'Najua Unatabasamu Katika Utukufu wa Mungu’'
Ni mwaka mmoja sasa umepita tangu aliyekuwa mume wa Zari The Boss, Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ afariki.

Zari ameeleza jinsi anavyomkumbuka Ivan ambaye walijaliwa kupata watoto watatu pamoja. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Zari ameandika;

Mwaka mmoja umepita tangu siku hiyo ya kusikitisha ulipoitwa. Mungu alikuchukua nyumbani kwake, ilikuwa mapenzi yake lakini katika nyoyo zetu bado unaishi.

Najua kwa hakika kwamba hatuwezi kupoteza watu tunaowapenda wanapokufa. Wanaendelea kushiriki katika kila jambo, mawazo na uamuzi tunayochukua.

Upendo wao unaacha kitu katika kumbukumbu zetu.

Mimi na vijana wangu tunapata faraja kwa kujua kwamba maisha yetu yamejitosheleza kwa upendo wako. Wale tunaowapenda hawaondoki wanatembea nasi kila siku. Hawaonekani, hasikikii lakini kila siku wapo karibu nasi, bado tunawapenda na tunawakumbuka.

Najua unatabasamu kutoka katika utukufu wa Mungu. Endelea kupumzika kwa amani Don🌹 #CommemoratingIvan #CelebratingIvansLife

Soma Pia; Diamond ashindwa kuhudhuria mazishi ya Ivan, Uganda

Ivan alifariki May 25, 2017, alijipatia umaarufu mkubwa tangu nchini mwake Uganda hadi Afrika Kusini ambako ameacha utajiri mkubwa uliomfanya kuwa mmoja ya watu matajiri nchini humo kabla ya kufikwa na mauti

Man Walter Amefunguka Sababu ya Alikiba Kuitosa Kolabo na Ne-Yo

$
0
0
Man Walter Amefunguka Sababu ya Alikiba Kuitosa Kolabo na Ne-Yo
Producer anayedondosha hit baada ya hit kutoka kwa Alikiba, Man Walter amefunguka sababu ya muimbaji huyo kuachana na mpango wa kumshirikisha Ne-Yo katika ngoma yake ya Seduce Me.

Man Walter amesema tayari mipango yote ya kufanya kolabo hiyo ilikuwa imekamilika ikiwa ni pamoja na kumtumia vocal ila baadaye walikuja kuona muimbaji huyo alikuwa na kolabo nyingi na wasanii kutoka Afrika.

“Nilipigiwa simu nikaambiwa Kiba anafanya na Ne-Yo, nikaanza kutafuta biti nikapata biti ila nikasema mbona ni danso kama Miss Independent ya Ne-Yo, nikasema niitoboe kidogo nipate kitu ambacho naweza kutambulisha vitu vyetu vya Kiafrika, tukapata kitu kama kile, Kiba aliifurahi,” amesema.

“Tukatuma pia kwa Ne-Yo kulikuwa kuna mazungumzo yanaendelea na kukamtumia zile sauti but sijui nini kilitokea katika maamuzi labda pengine Kiba aliona Ne-Yo kwa wakati ule alikuwa na project nyingi za kufanya na wanamuziki wa Afrika, watu wasije wakaona kama tumeadandia kolabo ya bure, tukafanya maamuzi, tuachane nayo,” Man Walter ameiambia All Access ya Clouds TV.

Utakumbuka Ne-Yo kutoka nchini Marekani ameshafanya kolabo na msanii mmoja kutoka Tanzania, Diamond Platnumz ambaye mwaka 2017 walidondosha wimbo uitwao Marry You. Alikiba ambaye kwa sasa anatamba na ngoma inayokwenda kwa jina Mvumo wa Radi nayo ilikuwa katika mipango ya kushirikishwa Fally Ipupa kutokea Congo, hata hivyo nalo liliwekwa kando.

Spika Ndugai Awashangaza Wabunge Aketi Sehemu ya Wageni Bungeni.... Atambulishwa Kama Mgeni

$
0
0
Spika Ndugai Awashangaza Wabunge Aketi Sehemu ya Wageni Bungeni....  Atambulishwa Kama Mgeni
Imezoeleka kumuona Spika Job Ndugai akiongoza kikao cha Bunge au kuketi ndani ya ukumbi wa Bunge kama ilivyo kwa wabunge wengine.

Lakini leo Ijumaa Mei 25, 2018 hali ilikuwa tofauti baada ya kuketi eneo maalumu kwa ajili ya wageni ndani ya ukumbi huo akiwa sambamba na mgeni wake, Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma.

Wakati Ndugai akiwa katika eneo hilo, kikao cha Bunge kilikuwa kikiongozwa na mwenyekiti, Mussa Azzan Zungu ambaye alionyesha kushangazwa na kitendo hicho akidai ni jambo lisilo la kawaida.

“Hii itaingia katika historia ya kitabu cha Guiness Book (kitabu cha maajabu duniani). Hili ni la pekee nikiamini kuwa hata wapiga picha mtakuwa mmepata picha nzuri sana, asante Spika,” amesema Zungu.

Baada ya utambulisho huo, Ndugai na mgeni wake walisimama na kushangiliwa kwa nguvu na wabunge kabla ya kuondoka wakipitia mlango wa  wageni wa kawaida kisha wakazunguka kwenda ofisi ndogo ya Spika iliyopo nyuma ya ukumbi wa Bunge.

Baba Amuua Kikatili Mwanaye wa Miaka Miwili Kisa Kujisaidia Kinyesi

$
0
0
Baba Amuua Kikatili Mwanaye wa Miaka Miwili Kisa Kujisaidia Kinyesi
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia mwanaume mmoja kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake wilayani Ukerewe mwenye miaka miwili baada ya kumchapa fimbo sehemu mbalimbali za mwili kutokana na kujisaidia kinyesi kwenye nyumba hali iliyopelekea kupoteza maisha.


Hayo yamebainishwa na Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza Naibu Kamishina wa Polisi Ahmed Msangi wakati alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari na kumtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Buyanza Magayane (39) ambapo baada ya kufanya tukio hilo alimzika mtoto huyo aliyefahamika kwa jina la Baraka Buyanza kwenye shambani lake ambalo liliopo nyuma ya nyumba yake, ambapo kitendo hicho ni kosa kisheria.

Aidha, Kamanda Msangi amesema inadaiwa mtuhumiwa huyo alikuwa ametengana na mkewe yani mama wa marehemu kwa muda mrefu, hivyo marehemu alikuwa akiisha na baba yake mzazi anayetuhumiwa kusababisha kifo chake pamoja na mama yake wa kambo.

Inasemekana Mei 23, 2018 mtuhumiwa alikuwa ametoka kwenye shughuli zake za kila siku ndipo aliporudi nyumbani alimkuta marehemu akiwa amejisaidia kinyesi katika sehemu tofauti tofauti za nyumba yake ndipo alipomchukua kisha kumchapa kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na kumfungia ndani ya chumba peke yake baada ya muda alipokwenda kumuangalia alimkuta mtoto huyo ameshafariki.

Mbali na hilo, Kamanda Msangi amesema mwili wa marehemu tayari umeshafukuliwa na umeenda kuhifadhiwa katika hospitali ya Wilaya ya Ukerewe kwa ajili ya uchunguzi na pindi utakapomalizika mtuhumiwa atafikishwa mahakamani ili hatua stahiki za kisheria ziweze kuchukuliwa dhidi yake.

Kwa upande mwingine, Kamanda Msangi ametoa wito kwa walezi na wazazi kuacha tabia ya kutoa adhabu za vipigo mara kwa mara kwa watoto pindi wanapokosea bali wawaelekeze kwa hekima na busara.

Dulla Makabila Aikana Tuhuma ya Kubaka Mwanafunzi ''Sijabaka Wala Sina Kesi Polisi"

$
0
0
Dulla Makabila Aikana Tuhuma ya Kubaka Mwanafunzi ''S ijabaka Wala Sina Kesi Polisi"
Msanii maarufu wa singeli Dulla Makabila amefunguka kupitia eNewz ya EATV kuwa hajabaka na hana kesi Polisi kama ambavyo tetesi zinasema.


Msanii huyo amesema kuwa amekuwa akipokea simu nyingi pamoja na familia yake kwa tuhuma ambazo amedai sio kweli na zinapelekea migogoro na mkewe.

“Mambo ya kuzushiwa ni mengi sana hali inayopelekea muda mwingine ugomvi na mke wangu, nimepokea simu nyingi sana kuhusu hilo tukio la kuhusishwa kwenye tuhuma za kubaka lakini mimi nilikuwa mikoani kwenye kazi zangu taarifa hazina ukweli wowote” amesema Makabila

Hivi karibuni kulikuwa na tetesi zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa msanii huyo amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kubaka mwanafunzi, mtazame Dulla Makabila akifunguka zaidi hapo chini

JE, Wajua Kwanini Asilimia Kubwa ya Wanaume Wana Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo?

$
0
0
JE' WAJUA KWANINI ASILIMIA KUBWA YA WANAUME WANA UPUNGUFU, UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO YA UUME?

CHANZO HUWA NI:

(Kisukari, presha, ngiri, korodani kuvimba na kuuma, busha,zinaa,tumbo kuuma chini ya kitovu na kuunguluma nakujaa gesi, kutopata choo vizuri, punyeto, vidonda vya tumbo, bawasili.

Haya ni baadhi ya magonjwa yanayochangia upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume na uume kuwa mdogo.

TIBA YAKE NI "KIBOKO POWER"

Kiboko Power Ni dawa ya mitishamba ya vidonge yenye uwezo mkubwa sana wa kutibu upungufu au ukosefu nguvu za kiume.

(1) Itakufanya uwe na uwezo mkubwa sana wa kufanya tendo la ndoa.

(2) Inaongeza hamu ya tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha.

(3) Itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dk 30 nakuendelea.

(4) Itaufanya uume uwe na nguvu mara dufu wakati wote wa tendo la ndoa.

TIBA YA KUKUZA UUME SAIZI UIPENDAYO NI " SUPER FARU"

Super Faru Inanenepesha na kurefusha uume saizi uipendayo kuanzia nchi 3 hadi 8 na unene sm 2 hadi 4 .

(1) Inaimarisha mirija ya uume iliyolegea au kusinyaa.
(2) Inasaidia kusafisha mishipa ya uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi msukumo wa damu kwenye mishipa ya uume.

(3) Inasaidia kuurudisha nje uume ulioingia ndani.
(4) Inasaidia kuongeza manii nyingi ambazo zina viini vya uzazi
(5) Inatibu pia madhara yanayosababishwa na upingaji punyeto, matumizi ya madawa ya kizungu ya kuongeza nguvu au maumbile ya uume, milungi, bangi na sigara.

PIA NATIBU MAGONJWA YOTE SUNGU NAYALIYOSHINDIKANA KAMA VILE,

Kisukari, korodani kuvimba na kuuma, busha bila upasuaji, tezi dume, presha, zinaa miguu kuwaka moto au kufa ganzi, presha, mgoro nk.

Pia narudisha mme, mke, mchumba, hawara, aliyekuacha ndani ya masaa 4 tu, nakutimiza ahadi zote ulizoahidiwa.

Pia natoa utajiri wa majini ambao hauna masharti magumu na kutoa ndangu za utajiri.

Kumbuka nashughulika na matatizo yote yaliyopo ndani ya mzunguko wa binadamu usisite kunieleza hata kama sijayaandika.

WASILIANA NA DR ULIMWENGU KWA TIBA BORA NA SALAAMA KABISA

ANAPATIKANA DAR MAGOMENI SIMU 0759030343 / 0622790494.

KAMA HAUNA MUDA WA KUFIKA OFISINI HUDUMA HII UTAIPATA POPOTE ULIPO.


Je, miaka 7 bado ni umri sahihi kumuanzisha mtoto shule ya msingi?

$
0
0
Mimi nipo kwenye tasnia ya elimu hasa shule binafsi za International..

Nimeshuhudia watoto wanaanzishwa shule wakiwa na umri wa miaka 3 hadi 4 na anafuatilia kitaaluma hivyo harudii darasa. Matokeo yake anamaliza shule bado mdogo sana.

Kuna watanzania bado wanasubiri mtoto afike miaka 7 ndio aanze shule?

Kama ni kwa sababu za kiuchumi, siku hizi kuna Nursery Schools hata mitaani. Nashauri umpeleke mwanao na umfatilie ili asiizoee shule, awe serious nayo. Kwa kufanya hivyo, atamaliza elimu akiwa mdogo na itamsaidia kwenye soko la ajira.

Pia tenga muda wa kumpa tuition, hata kama yupo darasa la 2. Kaa nae hata 1 hour kwa siku, mfundishe vitu vya darasa la 2 na au la 3.

Asanteni

By Gentleman P/JF

Diamond aibua jipya tuhuma za Hamisa Mobetto kupigwa na Bi. Sandrah

$
0
0
Tangu wiki iliyopita zimesambaa taarifa za Hamisa Mobetto kuchezea kipigo cha ‘Mbwa Koko’ kutoka kwa mama yake Diamond – Hata hivyo ukweli wa taarifa hizo haukuwezekana kufahamika mpaka sasa.
Lakini Diamond ameonekana kuibua upya suala hilo huku akionekana kutoa jibu la tukio hilo lakini kwa kutumia njia ya mafumbo.

Msanii huyo wa WCB, amecomment kwenye video ya mama yake ambayo ameiweka kwenye mtandao wa Instagram kwa kumfananisha mama huyo na bondia aliyekuwa hatari zaidi ulingoni, Mike Tyson.

Mtoto Achapwa Viboko na Baba yake Hadi Kufa Baada ya Kukutwa Amejisaidia Ndani ya Nyumba

$
0
0

UKEREWE, MWANZA: Jeshi la Polisi linamshikilia mwanaume mmoja, Buyanza Magayane(39) kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake mwenye umri wa miaka miwili

Inadaiwa mtoto huyo alipoteza maisha baada ya mwanaume huyo kumchapa fimbo sehemu mbalimbali za mwili kutokana na kujisaidia haja kubwa kwenye nyumba

Kamanda wa Polisi Mkoa Naibu Kamishina wa Polisi Ahmed Msangi alisema baada ya kufanya mauaji hayo mwanaume huyo ambaye sasa yupo mikononi wa Polisi alimfukia mtoto kwenye shambani lake lililopo nyuma ya nyumba yake

Inasemekana Mei 23, 2018 mtuhumiwa ambaye ameachana na mkewe alitoka kwenye shughuli zake na kurudi nyumbani na kumkuta marehemu akiwa amejisaidia katika sehemu tofauti za nyumba

Wasiliana na Dr Mabula Anatibu Upungufu wa Nguvu za Kiume, Busha na Matatizo ya Maumbile Madogo kwa Mwanaume

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO
Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliongahika sehemu mbalimbali bira MAFANIKIO MABULA CLINIC ni kituo cha tiba asilia kilichopo mbagara zakhemu njia kuu ya JESHINI JE HUNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO NA MWEMBAMBA?

MAPRO PAWER NO 2 ndio Tiba kwa sasa utibu matatizo matatu kwa pamoja 1hitakufanya uchelewe kufika kilekeni dikika 15-20 kwa tendo la kwanza 2 uhimalisha misuli iliyoregea na kusinyaa hasa kwa wale walio hasirika na upigaji punyeto 3 itakufanya upate amu ya kurudia tendo zaidi ya Mara tatu

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MPENZI AU MKE WAKO kisa unawai kukojoa au unakomea bao moja tu na huku dawa zipo MAKAKANUA mix ni dawa iliyochanganywa na miti Shamba 9 na Kuwa na uwezo wa kuongeza uume saizi upendayo inchi 5-8 Kwa Urefu na unene sentimita 1-5 dawa hizi hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ata wazee wenye umri mkubwa wanapona? zipo dawa za mvuto wa mpenzi mme au mke Kwa masaa matatu tu na kukupigia simu yeye mwenyewe mvuto wa biashara kutengeneza mwonekano mzuri wa mwili kwa wanawake yani shepu tunatibu ngiri miguu mgongo na kiuno kuumwa kupunguza kitambi minyama uzembe matiti na mwili mkubwa

TIBA NA USHAULI MUONE DR MABULA AU PIGA SIMU NO 0752348593 UDUMA ZANGU UTAZIPATA POPOTE ULIPO KAMA UWEZI KUFIKA OFISINI

Msichana wa Kazi 'House Girl' Niliyetembea Naye Ameniweka Pabaya Sana

$
0
0
Mwezi uliopita, mke wangu alisafiri kikazi mkoani. Nikawa nimebaki mimi, msichana wa kazi na watoto wetu 3. Kati ya hizo siku ambazo mke wangu alikuwa safarini nilifanya tendo la mdoa na msichana wa kazi takribani mara 4, sikutaka kufanya naye zaidi ya mara moja ila ukweli mambo aliyonifanyia sikuamini macho yangu, machine full intackt. Siwezi kusema nilifanya nae kimakusudi au bahati mbaya bali muhemko ulinipelekea kufanya hivyo hasa uhuru ulio kuwepo na mavazi ya msichana wa kazi yalichangia.

Kwa bahati mbaya msichana wa kazi anavitu vingi ninavyo vipenda ikiwemo makalio mazuri pamoja na rangi ya mwili wake. Sasa shida katika familia yangu imeanza baada ya mke wangu kurudi. Heshima ile ambayo msichana aliyekuwa nayo kwa mke wangu haipo tena. Kila kukicha mke ni kumpigia makele kutokana na uzembe wa utendaji wake wa kazi. Ikafikia siku msichana wa kazi alimwambia wife kwamba leo upo utanisaidia kufanya kazi. Mbaya zaidi kuna siku mke alikosea alipo mpa nguo zangu afue akawa ameichanganya nguo yangu ya ndani katika hizo nguo.

Msichana akaifua huku akifahamu kwamba ajawahi pewa nguo kama hiyo aifue. Kila siku nimekuwa ni msuluhishi wa matatizo ya mke wangu na msichana wa kazi. Siku moja katika usululishi mke alitamka kwamba huyu siku hizi ananiona tupo sawa. Akili ikanizunguka. Sasa kibembe kilikuwa jana. Mke aliondoka mapema kwenda kazini, nikaamua kumkalisha msichana wa kazi chini kumuhoji mabadiliko yake pamoja na ugomvi wa kila siku kati yake na wife. Sasa wakati namuhoji alibanwa na kitu kooni ikamlazimu akimbilie wash room. Nikabaini msichana ana dalili za ujauzito.

Nikaanza kumtyte kama ana mimba na jee hiyo mimba ni ya nani ili anieleze nijue wapi pa kuanzia. Ukweli mimi nilitembea naye kavu kavu ila nilikuwa makini sana wakati wa kufika mshindo. Nilihakikisha sperm nazimwaga njee. Nikamwambia si anafahamu fika kwamba wakati nilifanya naye mbegu zangu nilizimwaga njee, akanijibu hafahamu. Nilijitahidi sana kumbana ili aniambie ni kijana yupi pale mtaani ana mahusiano naye, lakini alikataa kata kata. Ikanilazimu kwenda pharmacy kununua kifaa cha kumpimia ujauzito. Nikamwomba anipatie mkojo wake nikampima.

Ukweli mistari mwekundu ikatokea miwili ikimaanisha tayari anayo. Nikamjibu kwamba hana mimba ili hali mimi nampeleleza kijana ambaye anamahusiano naye nimfahamu. Binafsi naamini kabisa siyo muhusika wa hiyo hali. Sasa kinachonichanganya mpaka dunia naiona chungu ni hili. Je, ikija kubainika kwamba mimi nilikwisha wahi kushare na msichana wa kazi itakuwaje kwa mke wangu na ndugu jamaa na marafiki? Je ndoa yetu tukufu itakuwaje? Je msichana akisema hiyo mimba ni ya kwangu itakuwaje?

Ndugu zangu hili jambo linaweza mtokea mtu yeyote kati yetu kwa sababu tuna mioyo ya nyama na si ya chuma. Naombeni mnipe option yeyote ambayo aitafanya mke wangu aifahamu hili swala ambayo naweza ifanya within 4 days ahead. Nimechanganyikiwa wandugu

Haya Ndio Madhara ya Wapenzi Kunyonyana Sehemu za Siri kwa Kutumia Midomo Wafanyapo Mapenzi

$
0
0
ZAIDI ya nusu ya vijana Duniani wanakumbwa na magonjwa mbalimbali yanayotokana na maambukizi ya virusi vinavyotokana na ngono zembe.

Kwa muujibu wa utafii uliofanywa na jopo la Madaktari nchini Marekeni umebaini kwamba, vijana wengi hususan Barani Afrika wanakumbwa na magonjwa ya kuambukiza kutokana na tabia ya kufanya ngono zembe na kunyonyana sehemu mbalimbali za miili yao.

Utafiti huo umebaini kwamba, vijana wengi wanapenda kuiga tabia  zinazofanywa na baadhi ya watu mbalimbali wanaoigiza muvi mbalimbali duniani zikiwemo muvi za ngono.

Madaktari hao katika utafiti wao wamebaini kwamba, vijana wengi hupenda kunyonyana ndimi zao,sehemu za siri,makwapani sehemu za makalio kwenye matiti bila kujali kwamba, mwili wa binadamu unazalisha bakteria nyingi kila kukicha na kwamba bakteria hizo, huwa sumu pale zinapoingia kwa binadammu mwingine.

Katika hatua nyingine utafiti huo pia umebaini kwamba, kuna baadhi ya wanawake wanapenda kunyonya ndimi za watoto wao wakati wa kuwalisha vyakula, ama kuwabiga mabusu kila wakati bila kujali usafi wa vinywa vyao, kiasi cha kusababishi maambukizi ya magonjwa ya ngozi kwa watoto wao.

Kuhusu filamu hizo madakati hao walisema kwamba, watu wanaoigiza katika picha mbalimbali wanakuwa chini uchunguzi wa watalaam wa afya, kabla na baada ya kurekodi filamu, tofauti na watu wanavyo dhani kwamba wale kweli ndiyo tabia yao na pengine ni watu waliokutana na kuanza kunyonyana ovyo.

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

$
0
0
Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU

 0753471612/ 0715249530
0623 386 305

DR KUZENZA

Lulu Diva Afunguka Kuhusu Kumzalia Rich Mavoko, Hapo Hapo Atangaza Ndoa

$
0
0
Lulu Diva Afunguka Kuhusu Kumzalia Rich Mavoko, Hapo Hapo Atangaza Ndoa
Muimbaji Lulu Diva amefunguka ukweli wa taarifa za kumzalia mtoto Rich Mavoko mwaka huu.

Muimbaji huyo amesema taarifa hizo si za kweli ila anahitaji atapokuwa tayari kufanya hivyo awe na muda wa kutosha tofauti na sasa ambapo muziki umemtinga.

“Ni ungo bwana!, nahitaji mtoto wangu ambaye nitazaa apate time yangu na pia baba mtoto awe tayari,” Lulu Diva ameiambia Uhondo, E FM.

Alipoulizwa kuhusu kuolewa, alijibu; ‘Soon naolewa lakini bado after miaka mitatu’.

Katika hatua nyingine amekana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Rich Mavoko, huku Mavoko naye akieleza kuwa na mahusiano yake ambayo yamempatia watoto wawili.

Lulu Diva na Rich Mavoko kwa sasa wanafanya vizuri na ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la Ona.

Nape Awapa Somo Mawaziri wa JPM

$
0
0
Nape awapa somo Mawaziri wa JPM
Mbunge wa Mtama (CCM) Nape Nnauye, amewataka Mawaziri katika serikali ya awamu ya tano kuwa na tabia ya kusikiliza ushauri na kukubali kukosolewa ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.


Nape amesema hayo leo Mei 25, 2018 Bungeni Jijini Dodoma, wakati wa kuchangia hoja mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Nishati na kuwataka Mawaziri hao kuiga mfano wa Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani na Naibu wake kwani ni watu ambao wanakubali kupokea ushauri.

“Wito wangu kwa Mawaziri wengine igeni mfano wa Kalemani, ukiambiwa jambo usilolipenda, wewe ni kiongozi kubali, sikiliza, mimi naamini Kalemani atakwenda vizuri, zipo changamoto kwenye Wizara yako, lakini ninaamini ukiendelea kuwa msikivu yale ambayo yapo juu ya uwezo wako mimi najua watu watakusamehe, lakini yale ambayo yapo ndani ya uwezo wako ukisikiliza na ukayatekeleza tutakuunga mkono” amesema Nape.

Mbunge huyo aliendelea kumwaga sifa kwa Waziri Kalemani kwa kufanikiwa kuiunganisha Mikoa ya Lindi na Mtwara katika Gridi ya Taifa pamoja na kupeleka Meneja wa TANESCO katika Mkoa wa Lindi.

Kwa upande mwingine Nape ameishauri serikali kuangalia uwezekano wa kuligawa Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) ili liweze kufanya kazi kwa ufanisi kwa kutenganisha majukumu ya uzalishaji na usambazaji na kutaka serikali kuingia ubia na sekta binafsi ili umeme uzalishwe katika kiwango kikubwa.

Serikali Yaanza Kuwachunguza Waliosafirisha Korosho

$
0
0
Serikali Yaanza Kuwachunguza Waliosafirisha Korosho
Serikali imeanza kufanya uchunguzi ili kubaini watu  walioruhusu kupelekwa Korosho zilizochanganywa na mawe bila ya kuchambuliwa nje ya nchi na uchunguzi ukikamilika serikali itatoa kauli mara moja.


Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Kilimo Mh.Mary Mwanjelwa wakati akijibu swali la Mh. Abdulrahman Ghasia Mbunge wa Mtwara Vijijini aliyetaka kujua ni hatua gani zimechukuliwa kwa wale walioruhusu kusafirishwa kwa Korosho zenye mawe nje ya nchi.

Mh. Mwanjelwa amesema hatua zilizochukuliwa na serikali ni pamoja na kuwafanyia uchunguzi wa kina wale wote walioripotiwa katika taarifa ya timu ya uchunguzi iliyoundwa na serikali ili hatua stahiki zichukuliwe kwa watakaobainika kuruhusu Korosho zilichongaywa  na kokoto kwenda nje ya nchi .

Hatua zingine zilizochuliwa ni kuitaka Bodi ya Korosho , Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi Ghalani, Tume ya Maendeleo ya Ushirika na Mamlaka ya Serikali za Mitaa kushirikiana.

Pamoja na hayo Mhe Mwanjelwa amefafanua mikakati iliyoafikiwa na serikali ni pamoja na kuimarisha usimamizi wa ubora wa Korosho ili kudhibiti uhalifu kama huo .

Inasikitisha! Muuguzi Auawa Kikatili Kisha Mwili Wake Wafukiwa Pembezoni mwa Nyumba Yake

$
0
0

Inasikitisha! Muuguzi Auawa Kikatili Kisha Mwili Wake Wafukiwa Pembezoni mwa Nyumba Yake
Muuguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, Rosemary Mgombela anadaiwa kuuawa na kisha mwili wake kufukiwa pembeni ya nyumba yake.

Shangazi wa marehemu Veronica Mapunda amesimulia ilivyokuwa huku akimshuku mume wa marehemu huyo kuhusika kutokana na malalamiko aliyokuwa anayapata kutoka kwa marehemu kuwa hawaelewani.

Baada ya kutekeleza unyama huo mwanaume inaelezwa kuwa aliuzika mwili wa Mkewe pembezoni mwa nyumba wanayoishi.

Mamia ya Wananchi wamekusanyika kushuhudia tukio la kuufukua mwili huo.

Auawa Kwa Kuchomwa Kisu Kifuani Baada ya Kunywa Bia ya Rafiki Yake

$
0
0
Auawa Kwa Kuchomwa Kisu Kifuani Baada ya Kunywa Bia ya Rafiki Yake
Kijana Fredrick Ochieng mwenye miaka 23 ameuawa na rafiki yake Ian Omondi mwenye miaka 22 kwa kuchomwa na kisu mara mbili, kifuani na tumboni baada ya kunywa bia ya rafiki yake  katika baa moja mjini Bondo nchini Kenya.

Kwa mujibu wa uongozi wa Wich-Lum Beach ambapo vijana hao walikuwa wakifanya starehe zao umesema kuwa vijana hao walikuwa wakibishana kabla ya Fredrick kulazimisha kunywa bia ya mwenzake.

Baada ya marehemu kunywa bia ya mwenzake kwa lazima rafiki yake huyo alichomoa kisu na kumchoma kifuani na tumboni Fredrick kitu kilichopelekea marehemu kuanguka chini na kutokwa damu nyingi iliyopelekea kukatisha uhai wake.

Aidha Makamu wa Chief wa eneo hilo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na amesema mwili wa marehemu umepelekwa katika hospitali ya Bondo kabla ya mwili huo kufanyiwa uchunguzi zaidi
Viewing all 104709 articles
Browse latest View live


Latest Images