Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Shilole na Barnaba Mahaba Tena? Wagandana kama Ruba Serengeti Fiesta Musoma

$
0
0
Stori: Musa Mateja

WASANII waliowahi kuogelea katika dimbwi zito la mahaba kisha kumwagana, Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’ na Elias Barnaba ‘Barnaba Boy’, wamezua maswali mapya kwa mashabiki na kuleta tafsiri kuwa huenda wamerudiana.

Tukio la wawili hao kugandana kama zamani lilijitokeza juzikati walipokuwa kwenye shoo ya Serengeti Fiesta, Musoma ambapo kwenye gari walikuwa wamekaa pamoja na hata mazungumzo yao yalikuwa kama ya mtu na mtuwe.

Paparazi wetu aliyekuwa eneo la tukio alipenyezewa nyepesi juu ya ukaribu wa wawili hao, aliingia mzigoni ambapo aliwaona wako kwenye mazingira ya pamoja kila walipokuwa wakipiga misele.
Baada ya kukwepa mitego mingi ya kamera, paparazi wetu aliamua kuwauliza kama wamerudiana au laa?

“Hahahaaa....hebu utuache na mambo yetu bwana maana tunajua wenyewe tunachokifanya, kuachana au kutoachana huo siyo mwanzo wala mwisho wa sisi kuongea au kuwa pamoja,” alisema Shilole huku Barnaba akidakia.

“Mimi ni mwalimu wa muziki wa Shilole na ni mtunzi mzuri tu kwake so ukaribu wetu una maana nyingi.”
GPL

Maskini Jina la Jackline Wolper Latumika Kutapeli Mamilioni Watu Bila Mwenyewe Kujua

$
0
0
Na Shakoor Jongo
STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe ‘Jack Wolper’ amejikuta akitumika kwenye utapeli wa mamilioni ya shilingi kupitia mitandao ya kijamii bila yeye kujua,limeinyaka.
Akizungumzia sakata zima huku alibubujikwa na machozi, Wolper alisema: “Siku moja nilikutana na dereva teksi mmoja aitwaye Ismail, baada ya kupiga stori nilimpa namba yangu ya simu na yeye akanipa yake, tukaagana.

“Siku chache baadaye Ismail akanipigia simu na kuniuliza kulikoni naomba sana watu wanisaidie pesa kwenye WhatsApp kwa ahadi ya kuwarejeshea?“Akaniambia kama nina tatizo bora wakati mwingine nimshirikishe kuliko kila kukicha kuombaomba pesa.

“Hapo ndipo nikagundua kuna mtu kajisajili kwa jina la Jacqueline Masawe na hata kwenye namba nyingine za simu anazotumia kuomba watu pesa, amejisaliji kwa jina hilohilo.“Pia kwenye Facebook, WhatsApp anatumia picha zangu, hapo ndipo nikagundua kuwa, kuna mtu anatapeli watu kupitia jina langu,” alisema Wolper.

Akaongeza kuwa, baada ya kugundua utapeli huo akashangaa wanajitokeza watu wakisema wanamdai ambapo imebainika mtu huyo alikuwa kakopa pesa kwa watu tofauti zinazofikia shilingi milioni 10 lakini wengi walimuelewa hivyo kuripoti tukio hilo kwa vyombo vinavyohusika ili kumsaka mtuhumiwa.

TAHADHARI YA MHARIRI
Baadhi ya watu wamekuwa wakitapeli kupitia njia ya mtandao hivyo ni vyema kila mmoja kuwa makini ili kuepukana na matatizo kama yaliyomkuta Wolper.
GPL

Utajuaje Kuwa Mwanamke Ana Fake Ama Unamfikisha Wakati wa Mechi ya Raha Tupu ?

$
0
0
Haya jamani katika pitapita zangu kwenye Mitandao yetu ya mawasiliano nimekutana na Posti hii, Imenivutia na nimeona Si mbaya kuwagawia wadau wangu wa Udaku Specially

Note: Nimeikopi kama nilivyoikuta.


DALILI ZA MWANAMKE ANAE FOJI KILIO
WAKATI WA  RAHA TUPU ILI AKUTEKE KIHISIA
ILI UJUE NAWEWE WAMO KUMBE HAUMO..

1.Analia mfulululizo kama kinanda cha
parokia bila kubadili key wala Tyun.

2.Anaaongea english nyingi za kwenye move
za series

3.Anarudia maneno yale yale kuanzia dakika
ya kwanza hadi ya 90 kama script ya bongo
move

4.Mtu analia kama Suzuki inapanda mlima na
namba

5. Kinanda si Kinanda Gitaa si gitaa mlio
haubadiliki..FEKI

6,.Anafoji Orgasm za kiingereza kama
alizomuona OLIVIA POPE akilia kwenye
Scandal akiwa anamegwa na President,mtu
analia vitu vya hatari,Ohh yeah bless me with
it,dig it deeper,Touch my Soul like that,Oh
babe be my Vampire take all the Blood,Hit me
and leave me breathless...Yaani utamu
umenoga utakumbuka kuhusu kuunga
Present continuous Tense kweli hadi
kipatikane kilio??FEKI HUYO..

7.Ukiacha Wachaga ambao wao kilio chao ni
Automatic kama AC za gesti mtu analia kwa
Script,Analia Oh yeah mara 2,Ohh Yes mara
3..halafu Oh yeah mara 2 tena,halafu
Pozi..Mara anauliza where have u been
jamani...NILIKUWA KWETU!...Heri Wachaga
hatuwalaumu,maana wao dude likipita
penyewe ni mwendo wa Kiruuuu
Yeuwiii..Yesu wangu Nini hiyo
umeingiza...Baba Klaree Puliza


Diamond na Yami Alade Katika Poz Tata, Diamond Auliza Swali Mashabiki

$
0
0
Diamond na Yami Alade Katika Poz Tata, Diamond Auliza Swali Mashabiki 
'What do you Think we were talking here?? (We unahisi tulikuwa tunazungumza nini Hapa??

Jaji Warioba: Namshangaa Sitta Kung’ang’ania Kuendelea na Bunge la Katiba Licha ya Rais Kuridhia Lifike Kikomo

$
0
0
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema anashangazwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kung’ang’ania kuendelea na Bunge hilo licha ya Rais Jakaya Kikwete kuridhia lifikie kikomo Oktoba 4 mwaka huu.

Hivi karibuni, Rais Kikwete alikutana na viongozi wa vyama vya siasa vilivyo chini ya Kituo cha Demokrasia (TCD) na kukubaliana kusitisha mchakato wa Katiba hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015.

Akizungumza katika mahojiano maalumu wiki hii jijini Dar es Salaam, Jaji Warioba alisema ameshangazwa na uongozi wa Bunge Maalumu la Katiba kuendelea na vikao wakati uwezekano wa kukamilisha mchakato haupo.

“Hivi kuna haraka gani ya kuwa na rasimu katika Bunge hili? Mimi nilivyoelewa makubaliano ya Rais na TCD ni kama walikuwa wanasema kwa ustaarabu hebu twende polepole. Nimeambiwa kuwa Rais alitoa muda mpaka Oktoba 4, lakini uongozi wa Bunge ukapanga mpaka mwisho wa Oktoba,” alisema Jaji Warioba na kuongeza:

“Mimi nafikiri makubaliano kati ya Rais na viongozi wa vyama ni kukataa kuongeza muda. Hiyo kwangu ni lugha ya kistaarabu kwa Bunge kwamba hamwezi kumaliza kazi hii kwa kipindi hiki,” alisema Jaji Warioba.

Alimtaka Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Sitta kukubali kukosolewa kama yeye anavyokubali kukosolewa kuhusu Rasimu ya Katiba iliyoandaliwa na Tume yake, badala ya kujihami.

“Nilipoanza wakati ule mengi yalisemwa, lakini nilijua, ukipewa kazi maalumu lazima upate maoni ya watu ya kila aina. Kuna wale ambao watakusifu na wengine watakusema vibaya. Nilisemwa mengi sana. Lakini kwa kuwa nimefanya kazi ya Taifa siwezi kuhangaika na mtu mmoja mmoja,” alisema na kuongeza:

“Sitta asikilize wale wanaosema kuwa ana kasoro, asije akafikiri kuwa hana kasoro.”

Aliongeza: “Nashangaa sana mambo yanavyoendelea kwenye Bunge, hata siku hizi siangalii tena. Ni wakati fulani mtu anaweza kunipigia simu, hebu angalia wanavyosema....”

New Big Brother House & Launch Date Confirmed!

$
0
0
M-Net and Endemol South Africa are delighted to confirm that a new Big Brother house has been found and is located in Johannesburg, South Africa following the devastating fire that demolished the original house on September 2. 

The search was concluded after exploring all possible options both locally and internationally, for a suitable venue to produce the 9th season of Africa's biggest reality show.

M-Net and Endemol SA are pleased to announce that Big Brother Hotshots will officially launch on Sunday, October 5 at 19:00 CAT. 

As they countdown to the launch, fans across the continent can look forward to some pleasant surprises in true Biggie fashion.

The producers wish to thank fans far and wide for all the patience and continuous support over the past few days.

Mama Mzazi Wa Msanii Nay wa Mitego Ana Wasiwasi na Mwanae Kuwa Keli ni Freemason

$
0
0
Mama mzazi wa mkali wa bongofleva Nay wa Mitego ameongea kwa mara ya kwanza na millardayo.com na kusema ana wasiwasi na mwanae ambae hivi karibuni ametoa video mpya aliyoifanya nchini Kenya.
Amekiri kweli kwamba siku kadhaa zilizopita ilibidi amwite na kumuweka chini Nay wa Mitego akitaka amueleze kama ni kweli amejiunga na ‘freemason’ ambayo wengi wanaitafsiri kwamba ni dini ya kumwabudu shetani kitu ambacho kiliwahi kukanushwa na aliyewahi kuwa mmoja wa viongozi wa freemasons Tanzania.
Mama anasema alimketisha Nay chini baada ya video ya ‘Mr. Nay’ kutoka ambapo baadhi ya picha sio za kawaida mfano damu pamoja na alama zilizotumika ndani yake.

Amesema ‘Naitwa Matilda Mwaipopo ni mama mzazi wa Nay, kwakweli mwanangu namchukulia lakini sifa tu zinazokuja kama Nay kwenye magazeti, Nay freemason, watu wanakuja wananisimamisha…. mwanao Nay kweli? mbona tunasikia freemason? basi kichwa changu kinapagawa…. ‘
‘Nikiangalia miziki anayoifanya kama hii aliyoitoa juzi, jamani mwanangu anaambiwa freemason usikute kweli freemason, Nay wa Mitego nimemuita…. mwanangu vipi? ninayoambiwa ni ya kweli? Freemason wewe? mbona wimbo wako huu siuelewielewi?  ananiambia mama mimi sio freemason, namwambia hapana mwanangu hapana….. nasikia freemason watu wanatoaga hata wazazi sadaka’

‘Mimi ndio mama niliebakia baba yenu alifariki aliniacha ukiwa na miaka mitatu nimejitahidi kukulea mpaka leo…… unitoe sadaka mama yako kweli?????!!! Nay wa Mitego sana ni kucheka…… anaona tu mama kama anapagawa, lakini kwakweli mwanangu simuaminiamini miziki yake hii anayoifanya’

Maajabu: Kutana na Mwanaume Aliyetembelea Mbinguni Mara Nne na Kuchora Ramani ya Mbinguni

$
0
0


Anaitwa Sibusiso Mthembu, mwenye miaka 64, anaetokea south Afrika kwa zulu-natatal anasema ni kweli ameenda mbinguni mara 4.Nani ajuaye kama kweli alisha wahi kwenda huko,but inawezekana ikawa kweli pia,mara ya kwanza ilikuwa mwaka 1998 baaada ya hapo ailienda pia mwaka 2004,2006 na 2008.

Yote hayo yalianza mwaka 1993,alipotembelewa na mtu mweupe(ina wezekana malaika) na akamwambia kwamba alikuwa anahitajika mbinguni.

Baada ya kutembea mbinguni alifanikiwa kuchora ramani ya huko na kutuletea sisi tusio na bahati hiyo ya kwenda mbinguni,ili tuweze kuamini ambacho ana kisema.

Jengo la Ghorofa Linalomilikiwa na Mchungaji TB Joshua Laanguka na Kuuwa Watu Kadhaa

$
0
0
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki mjini Lagos Nigeria baada ya jengo moja linalohusishwa na muhubiri mashuhuri nchini humo TB Joshua kuanguka.

Ripoti zinasema kuwa miili kadhaa imetolewa katika vifusi vya jengo hilo.

Shirika la kusimamia dharura nchini humo NEMA ,limesema kuwa jengo hilo ni la nyumba za kulala za wanachama wa kanisa la All Nations katika wilaya ya Ikotun.

Jengo hilo la ghorofa mbili lilikuwa likiongezwa ghorofa nyengine mbili lilipoanguka.

Maelfu ya watu mara nyingi uhudhuria maombi yanayoongozwa na TB Joshua anayejulikana kama mtume,kwa kuwa wanavutiwa na uwezo wake wa kuwaponya watu

Alikiba Avunja Rekodi ya Downloads Kwenye Mtandao wa Mkito.com

$
0
0
Nyimbo mbili za Alikiba zimefanikiwa kuongoza kama nyimbo zinazopakuliwa kwa wingi katika tovuti ya Mkito.com. Wimbo uliotokea kupendwa zaidi wa Mwana ulipanda hadi nafasi ya kwanza ndani ya masaa 12 baada ya kuzinduliwa Julai 24 mwaka huu. Mpaka sasa “Mwana” ya Alikiba imeendelea kuwa wimbo uliopakuliwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Mkito.com mwezi Mei mwaka huu, Wengine Wanaofanya Vizuri ni Fid Q, Vanessa Mdee na Diamond.

Hakuna Ubishi Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji Ndio Anaivuruga Klabu Hiyo.

$
0
0
Mchezaji wa zamani wa Yanga, Ally Yusuph ‘Tigana’, amesema Mwenyekiti wa Yanga, Yusuph Manji (pichani) ‘anaivuruga’ klabu hiyo.

Tigana aliliambia gazeti hili juzi katika mahojiano maalumu kuwa Manji amekuwa akifanya uamuzi aliouita wa kibabe, ambao umekuwa ukichangia kuivuruga timu hiyo.

Winga huyo wa zamani wa Yanga na timu ya taifa (Taifa Stars), alisema Yanga imekuwa ‘ikipelekwapelekwa’ na

kiongozi huyo na kusisitiza kuwa amekuwa akifanya anavyotaka kwenye klabu hiyo huku Wanayanga wakikaa kimya kwa sababu ana fedha.

“Yanga sasa inapotea sababu ya kiongozi mmoja tu, sababu ana fedha, ndani ya klabu kumekuwa na uamuzi ambao si wa wote unafanywa na mtu mmoja kisa ana fedha, hivyo anaamua kufanya anavyojisikia,” alisema Tigana na kuongeza.

“Hata suala la Okwi (Emmanuel) linafanywa kibabaishaji isitoshe mchezaji huyo alistahili kwenda Simba, mimi sioni sababu ya Yanga kuendelea kumng’ang’ania na kutishia kwenda FIFA, lakini kwa kuwa mwenyekiti wetu ana pesa basi anaamua kufanya ubabe

EPL: Matokeo ya Man City vs Arsenal Haya Hapa

$
0
0
Baada ya mapumziko ya takribani siku 14, hatimaye ligi kuu ya England imerejea tena leo kwa mchezo mkali kati ya Man City dhidi ya washika bunduki Arsenal.
Mchezo uliopigwa kwenye dimba la Emirates ulikuwa mkali na wa kusisimua kwa timu zote zikipoteza nafasi kadhaa za ushindi.
Matokeo ya mwisho ya mchezo yalikuwa sare ya 2-2.
Sergio Aguero alianza kuifungia City katika dakika ya 28, na mpaka mapumziko vijana wa Pellegrini walikuwa mbele kwa 1-0.
Kipindi cha pili kilianza vizuri kwa Arsenal na ndani ya dakika 15 tu Jack Wilshare aliisawazishia timu yake.
Dakika kadhaa baadae Alexis Sanchez akaongeza goli la pili, lakini furaha ya Arsenal ikadumu kwa muda mfupi baada ya Martin Demichelis kuisawazishia City kwa goli la kichwa kupitia kona ya David Silva.
Dakika chache kabla ya filimbi ya mwisho Man City walikosa makosa magoli kadhaa huku Samir Nasri akikataliwa goli baada ya kufunga akiwa offside.

Kumbe Wanaume Nao Wanapenda Huhongwa Kama Wanawake

$
0
0
Katika mapenzi Kila mtu anapendwa kuhongwa na Mpenzi wake haijalishi ni Mwanaume au Mwanamke,

Tatizo linalo kuja hapa ni kwamba wahongaji wakike ni wachache kuliko wanaume,

Ukipata mwanamke anayekupa hela, mwanaume huwanga tunafulahi sana, tunapopewa hela na wapenzi wetu wa kike.

"SIYO WANAWAKE TU WANAOPENDA KUHONGWA"

Hawa Pichani Ndio Waanzishili na Wamiki wa Jamii Forums Maxence Melo na Mike

$
0
0
Udaku Specially Imefanikiwa Kupata Picha za Waanzilishi wawili wa Mtandao Mkubwa East Africa wa Jamii Forums ambao ni Maxence Melo na Mike , Najua ni Wengi Mlikuwa mnapenda Kuwajua kama mimi nilivyokuwa nahamu ya kuwaoana, Jamii forums ni mtandao ambao watu huingia na kujadili mambo mbali mbali kama Siasa, Udaku , Biashara n.k 
Hongera zao 

Sitta Ageuka Mbogo, Awashambulia Wasomi

$
0
0

Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, amejibu mapigo akiwashambulia wasomi wanaohoji uhalali wa wajumbe wa Bunge hilo kupiga kura wakiwa nje ya nchi, akisema wasomi hao wanachanganya sheria za nchi.

Sitta aliwafananisha viongozi wa Ukawa na wasanii waigizaji, akitabiri kuwa watashindwa vibaya katika uchaguzi mkuu wa 2015.

Halikadhalika, mwenyekiti huyo ametumia fursa hiyo ‘kuwapoza’ wajumbe ambao ni waumini wa Dini ya Kiislamu wanaopaza sauti wakitaka Mahakama ya Kadhi itambuliwe, akisema kuna ‘namna’ itaingizwa kwenye Katiba.

Sitta alitoa matamko hayo mawili jana, wakati akiendesha vikao vya Bunge hilo mjini Dodoma, katika kipindi ambacho suala la Mahakama ya Kadhi likiwa limewagawa wajumbe wa Bunge hilo katika makundi mawili kwa misingi ya imani za dini zao.

Alianza kwa suala la wasomi mbalimbali wanaohoji uhalali wa Bunge hilo kutaka kuruhusu wajumbe wake watakaokuwa nje ya nchi, kupiga kura ya uamuzi kupitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa akisema:

“Kuna watu wanaojiita wasomi, nadhani wanaohusiana na hao wanaoitwa Ukawa (Umoja wa Katiba ya Wananchi) ambao jitihada yao kubwa sana ni kuzuia kabisa isipatikane katiba.” Sitta akaongeza kusema, “Leo (jana) nimemsikia mmoja anasema kwamba kupiga kura (nje) itakuwa sivyo tutakuwa tanavunja katiba ya nchi. Huyu mtu kasoma sheria ya uchaguzi,” alisema.
Source:Gazeti la Mwananchi

Mateka Mwengine Akatwa Kichwa na Kundi la Himaya ya Kiislamu

$
0
0
Serikali ya Uingereza imesema kuwa inachukua hatua za dharura ili kubaini ukweli wa kanda ya video inayoonyesha mateka wa Uingereza David Haines aliyetekwa nyara na kundi la himaya ya kiislamu akikatwa kichwa.

Mfanyikazi huyo wa misaada aliyekamatwa nchini Syria mnamo mwezi Machi mwaka jana ameonyeshwa akipiga magoti katika jangwa, kando yake akiwa ni mtu aliyeficha uso wake ambaye amebeba kisu.

Atakuwa mateka wa tatu wa magharibi kukatwa kichwa katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.

katika kanda hiyo ya Video mtu aliyeshika kisu anaonekana akishtumu mataifa yanayounga mkono Marekani,naye Haines ambaye anaonekana kuwa chini ya shinikizo anaonekana akimlaumu waziri mkuu nchini Uingereza David Cameron kwa hatma yake.

Mwisho wa kanda hiyo mateka wa pili wa Uingereza anaonyeshwa na kutishiwa.

Wakati huohuo Waziri mkuu nchini Uingereza David Cameron ameshtumu kukatwa kichwa kwa David Haines kama kitendo cha kishetani.

Amesema kuwa wauaji watakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria ata iwapo itachukua mda mrefu.

Katika taarifa yake rais Obama pia ameshtumu mauaji ya kikatili ya David Haines.

Amesema Marekani inaomboleza na Uingereza kifo cha mateka huyo na kungezea kuwa itashirikiana na muungano mkubwa wa kimataifa ili kuwakamata washukiwa mbali na kuharibu tishio hilo kwa ulimwengu.

Wanahabari wawili Steven Sotlof na james Foley waliuawa na wapiganaji hao mwezi uliopita.

Agness Masogange Ndani ya Kanga Moko ..Hot or Not?

$
0
0
Agness Masogange Ndani ya Kanga Moko ..Hot or Not?

Nick Minaj Apata Aibu Kubwa Baada ya Tako Lake Feki Kuporomoka Akiwa Jukwaani

$
0
0
Tokea nicki minaj aanze kujulikana kwenye tasnia hii ya muziki , ni wazi kujua kwamba minaj anamtindo wa kufanya plastic surgery  kwenye mwili wake kama hauamini jaribu ku-google picha zake za zamani. Taarifa ni kwamba Nicki Minaj anasumbuliwa na maumivu kwenye tako lake baada ya tako  hilo kuhama upande wakati akiperform kwenye Fashion Rocks  siku ya jumanne usiku. Mtandao wa MediaTakeOut umeripoti..
Taarifa zinasema Minaj alijiumiza wakati akijaribu kujibinua. Watu walisikia kelele kwa wakati huo na wengi wao walizani limepasuka sababu tako hilo ni feki. 

Inaumiza Na Kukatisha Tamaa Tunapoandikwa Kwa Habari Za Uongo Kwenye Magazeti Ya Udaku: Johari

$
0
0
Muigizaji maarufu wa filamu Tanzania 'Johari' Blandina Chagula amsema kuwa kuandikwa vibaya na uzushi kwa mambo yanayodhalilisha ndiyo mambo yanayokwaza na kukatisha tamaa katika uigizaji.

Akizungumza na gazeti moja la kila siku lisilo la udaku Johari aliweka wazi kuwa star wa filamu nchini anahitajika kuwa na moyo mgumu kwa kuwa uzushi na mambo mbalimbali ya kusingiziwa huchangia kwa kiasi kikubwa kuwaondoa kwenye tasnia hiyo waigizaji wengi wakubwa.

Johari ameyasema hayo huku baadhi ya wasanii wakiyalalamikia baadhi ya magazeti ya udaku kwa madai ya kuwaandika kwa habari za uongo na wakati mwingine hutokea pale msanii anapokuwa hakubaliani na matakwa yao katika kitu flani na kuishia kuandikwa kwa habari za kumchafua.

Natafuta Dancers Wa Kike Kwa Muda Mrefu Ila Bado Kupata Wenye Viwango Vya Kimataifa: Diamond Platnumz.

$
0
0
Licha ya kuonekana na madansa wa kike katika jukwaa la Fiesta 2014 Mwanza, Diamond anasema hajabahatika kumpata dansa wa kike mwenye vigezo anavyovitaka.
“Sina madansa wa kike pale wawili ni wa Vanessa naweza sema wote si wangu, zamani nilikuwa na madansa wa kike, lakini kwa sasa Tanzania tuna upungufu kwenye muziki wa Bongo Fleva na muziki wa bendi kuna madansa ambao wamebobea kucheza muziki wa dansi pekee. Nilitamani kuwa na madansa wa kike zamani lakini ilishindikana maana kuwapata ni ngumu sana,” anasema na kuongeza:
Mpaka sasa bado natafuta madansa wa kike sijawapata, nahitaji dansa wa kike ambaye anajua, awe anajiamini afuatilie madansa wa nje wanachezaje, awe na unyamwezi kidogo ni ngumu sana, awe mbunifu afuatilie muziki wa nje na vitu kama hivyo. Kwa hiyo nikatamani nifanyaje nikaamua kuazima madansa wa watu nifanye nao shoo,” anasema.
Akiwazungumzia madansa wake wa kiume ambao ni sita, Diamond anasema ni madansa wanaolipwa pesa ndefu ukilinganisha na madansa wote Afrika Mashariki.
"Siwezi kusema nawalipa kiasi gani itakuwa kama nawavua nguo, lakini hakuna madansa wanaolipwa vizuri kama wangu Afrika Mashariki, ikiwa bei inaongezeka na mimi nawaongeza katika malipo yao. Wako sita kwa kweli nimetoka nao mbali tangu ‘Kamwambie’ mwaka 2009, nimekua nao kifikra, kiumri na kiakili na kuona kwamba hawa ni mzigo wangu mimi na wanafanya kazi pamoja na mimi, wale ni mafanikio yangu wana msaada mkubwa sana pengine nisingekuwa hapa bila wao,” anasema.
Hata hivyo, anaweka wazi kwamba linapofika suala la shoo za nje, huwa inategemea ni wapi kwani shoo zingine hairuhusiwi kwenda na madansa wote hivyo huwa anawabadilisha kwa zamu.
Katika mahojiano hayo maalum na Mwananchi, superstar huyo alisema kuwa kwasasa muziki wa Bongofleva unakubalika nje ya nchi tofauti na zamani.
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images