Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104756 articles
Browse latest View live

Taarifa rasmi ya Serikali kuhusu kesi ya kupinga Kanuni za Mitandaoni na maelekezo mahsusi kuhusu usajili wa mitandao ya kijamii.

$
0
0


Taarifa rasmi ya Serikali kuhusu kesi ya kupinga Kanuni za Mitandaoni na maelekezo mahsusi kuhusu usajili wa mitandao ya kijamii.


Lukuvi Apiga Marufuku Kampuni Za Kupima Ardhi Kudai Wananchi Gharama za Upimaji

$
0
0

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amepiga marufuku makampuni yanayopima ardhi yasiwadai wananchi gharama za upimaji wa ardhi.

Amesema kila makampuni hayo yatakapokuwa yakipima ardhi yatatakiwa kulipwa fedha za upimaji kupitia kwenye vikundi vilivyochaguliwa na wananchi.

Lukuvi ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma leo, alipokuwa akiwasilisha bajeti ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2018/19.

“Aidha, wapimaji hao wanatakiwa kutoa taarifa katika uongozi wa wilaya husika kuhusu uwepo wao katika maeneo wanayopima ardhi,” amesema.

Pamoja na mambo mengine, Waziri Lukuvi aliwahimiza wananchi kuwa na kawaida ya kulipa kodi ya ardhi kila mwaka kwa kuwa ni wajibu wao kisheria.

“Kwa upande wa wananchi wanaokabiliwa na migogoro ya ardhi, nawaomba wafike kwa maofisa wa wizara yangu ili migogoro yao iweze kutatuliwa haraka iwezekanavyo,” amesema Lukuvi.

Bunduki Ya Kivita Yaokotwa Vichakani

$
0
0


Bunduki ya kivita aina ya AK 47, ikiwa na risasi nne ndani imeokotwa ndani ya vichaka katika Kijiji cha Naan, Wilaya ya Ngorongoro mjini Arusha.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 29, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Ramadhani Ng’anzi amethibitisha kuokotwa kwa silaha hiyo na kuongeza kuwa Jeshi la Polisi linaendelea kumsaka mmiliki wake.

“Mbali na bunduki hiyo, pia tumekamata pikipiki saba zinazodhaniwa kuwa ni mali ya wizi na watuhumiwa saba kupitia msako tuliofanya hivi karibuni,” amesema.

Kamanda Ng’anzi amezitaja mali zilizokamatwa kuwa ni televisheni sita, camera tatu, lensi mbili za camera, fedha taslimu Sh 915,000 na vitu vingine vya ndani na vifaa ofisini.

Pamoja na mambo mengine, Kamanda Ng’anzi amewaomba wakazi wa Arusha waliowahi kuibiwa kufika kituoni hapo ili kukagua kama wanaweza kutambua mali zao.

Mama Wema Sepetu Asema Mtoto Wake Yupo India Kwa Matibabu

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kuendelea na kesi inayomkabili staa wa filamu nchini, Wema Sepetu,  anayekabiliwa na kesi ya kutumia dawa za kulevya ambapo ameshindwa kufika katika mahakama hiyo leo Mei 29, mwaka huu,  kwa ajili ya kuendelea kujitetea katika kesi yake ya matumizi ya dawa za kulevya kwa madai kwamba amekwenda nchini India kufanyiwa upasuaji.

Hayo yameelezwa leo na mama mzazi wa staa huyo, Miriam Sepetu,  mbele ya hakimu, Thomas Simba, baada ya Wakili wa Serikali, Constantine Kakula, kuhoji kwa nini Wema hakufika mahakamani.

Wakili huyo  amedai kuwa anashangaa kutomuona Wema, kwani hata ahirisho la mwisho la kesi yake hakuwepo. Baada ya kueleza hayo, Mama Wema akatoa nyaraka za Wema za kusafiria na kuieleza mahakama kuwa Wema anaumwa na amekwenda nchini India kufanyiwa upasuaji.
Wakili Kakula amesema kuwa hakuna uthibitisho wowote wa kuonyesha Wema anaumwa, hivyo akaiomba mahakama isimamie sheria. Kutokana na hoja hiyo, Hakimu Simba amesema ni kweli hakuna uthibitisho, hivyo katika tarehe ijayo uthibitisho unapaswa kuwepo, ambapo ameahirisha kesi hiyo hadi Juni 13, mwaka huu.

Mbali na Wema, washtakiwa wengine ni Angelina Msigwa na Matrida Abbas.Kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka mawili ya kukutwa na kiwango kidogo cha dawa za kulevya na kuzitumia.

Amber Lulu Afunguka Kuhusu Video yake na Nuh Mziwanda Iliyovuja Wakifanya yao

$
0
0
Msanii wa bongo fleva na muuza nyago katika video za wasanii Amber Lulu amefungukia video inayosambaa mitandaoni ikimwonyesha yeye na msanii mwenzake Nuh mziwanda wakiwa katika pozi za kimahaba.

 Amber Lulu amesema video hiyo imetokana na nyimbo yao mpya watakao uachia hivi karibuni na wala hana uhusiano wowote wa kimapenzi na Nuh Mziwanda huku akidai kuwa video hiyo imemsababishia ugomvi na mpenzi wake ambaye ni msanii wa Kenya, Prezzoo.

VIDEO:

Vodacom M-Mpesa Yasherehekea Miaka Kumi ya Kubadilisha Maisha ya Watanzania

$
0
0


Huduma ya Vodacom M-PESA imetimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake mwaka
2008. Katika miaka hiyo, Vodacom M-Pesa imejikita katika kutoa huduma mbalimbali
kama kulipia huduma na bidhaa, huduma za kibenki, kuweka na kukopa pesa,
kutuma pesa nje ya nchi na huduma nyingine nyingi. Huduma hizo zote zinapatikana
kwa njia rahisi sana ya huduma ya pesa kwa njia ya mtandao ambayo ilikuwepo
tangu mwanzoni.

MKurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (katikati) akifafanua jambo
kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam jana, kuhusiana na
maadhimisho ya sherehe ya Miaka 10 ya M-Pesa itakayofanyika Juni 13, 2018,
wakati wa mkutano na waandishi uliofanyika makao makuu ya Kampumi hiyo. Kulia
kwake ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc,
Rosalynn Mworia.
Hadi sasa, Vodacom M-Pesa inaongoza Tanzania kwa huduma za kifedha za
mtandao kwa makampuni ya simu za mkononi kwa asilimia 42 na imeweza kutoa
huduma kwa Watanzania vijijini na mijini ambapo wameweza kutumia huduma halali
ya kifedha na kusababisha kukua kwa uchumi wa Taifa kutoka 58% 2013 na 44%
2009 hadi 65% kwa mwaka 2017.
“Mafanikio ya M-Pesa kwa miaka kumi iliyopita yanamaanisha mwanzo mpya wa
malipo kwa njia ya kidijitali hapa Tanzania. M-Pesa imegusa na kubadilisha maisha
ya mamilioni ya Watanzania pekee. Miaka kumi iliyopita, M-Pesa ilimaanisha kutuma
na kupokea pesa kutoka kwa mteja mmoja kwenda kwa mwingine. Leo hii, M-Pesa

inaamanisha maisha ya kila siku na inaendelea kukua kwa huduma mbali mbali.
Vodacom M-Pesa ndio mtandao pekee hapa Tanzania wenye kutumia huduma za
QR code na hivyo kuongoza kwenye huduma za ziada na nafuu na kuwa teknolojia
inayoongoza kiuwekezaji na sio Tanzania tu bali barani Afrika,” alisema Ferrao.


Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (kulia) akimkabidhi zawadi
mwandishi wa habari wa EATV, ambaye alikuwepo wakati wa uzinduzi wa huduma
ya M-Pesa 2008, Samweli Njonanje. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na
Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia.

VIDEO:

Wabunge Chadema Wakwama kuhudhuria kikao cha Bunge

$
0
0
Wabunge wa Chadema leo Jumatano Mei 30, 2018 hawajahudhuria kikao cha Bunge la Bajeti, kwa madai kuwa  wengi wamekwenda mkoani Kigoma kushiriki maziko ya aliyekuwa mbunge wa chama hicho, Kasuku Bilago.

Bilago ambaye alikuwa mbunge wa Buyungu, alifariki dunia Jumamosi Mei 26, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Aliagwa jana na wabunge kwenye viwanja vya Bunge na mwili wake kusafirishwa mkoani Kigoma kwa maziko.

Eneo wanaloketi wabunge wa chama hicho ndani ya ukumbi wa Bunge, lipo tupu, wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo asubuhi, maswali ya wabunge hao wa Chadema likiwamo la Joseph Mkundi (Ukerewe), yaliulizwa na wabunge wa CCM.

Muone Ustadhi Ashrafu Atimize ndoto yako..Anatumia Nyota na Nguvu za Asili Kutibu

$
0
0
Muone Ustadhi Ashrafu Atimize ndoto yako. yawezekana ulizaliwa nanyota yakitajiri ila watu wabaya wameikalia mpaka sasa ikawa hufahamu chochote. Mtafute ust Ashrafu Airudishe nyota yako yakitajiri kwakupitia pete inayoendana na nyota yako. Ust Ashrafu Ananguvu zamajini katika utendaji wake.

Anauwezo wakutoa Mali kwakupitia pete nakwakupitia majini wake. Na anauwezo wakuzirudisha Mali zilizopotea kwanjia zakichawi kwakupitia Pete yakifalme Ambayo inayong'aa muda wowote nakubadilikabadilika rangi. Ust Ashrafu Ametembea baadhi ya nchi kwakuwapatia watu huduma mbalimbali. Kama vile maradhi yakisukari, presha, ukimwi, bawasiri, tezidume, mwiliwote kupooza nakutetemeka, NK. Navilevile Amewapatia wengi huduma yamvuto wa kibiashara, nayamvuto wakimapenzi.

Nawengi wametoa shukrani zao kwa ust Ashrafu namna Alivyozirudisha Ndoa zao zilizo sambaratika kwamuda mrefu. Mtafute ust Ashrafu ili akusaidie juu yamambo yako. Nahuyu ust anasaidia matatizo yauzazi, nguvu zakiume, kuwashwa mwilini, kutokwa namapere usoni nasehemu za siri, NK. Na anadawa yakumtuliza mume asiesikia nakutulia inayoitwa limbwata. Na anadawa yakumrudisha mpenzi ktk mahusiano kwamda mchache.

Na amezipatanisha familia nyingi zilizogombana. Na anauwezo wakufarakanisha maadui waliokua pamoja. Mtafute Ustadhi Ashrafu kwa no. 0768486717-0627423037 Au Mtafute kwa whasapp 0659438578

Hizi ndio namba zake mpigie muda wowote usiogope yupo kwaajili yako. Mpigie hupate muongozo wa bure naushri. Ustadhi Ashrafu huduma zake hupatikana mahala popote utakapo muhitaji, ila sehemu kuu anapatikana Bagamoyo.


Mafanikio ya Daimond Yanatokana na Juhudi Zake Sijui Hata Kama Huwa Analala – Master J

$
0
0
Mafanikio ya Daimond Yanatokana na Juhudi Zake Sijui Hata Kama Huwa Analala – Master J
Producer Mkongwe wa muziki Bongo, Master J amesema kuwa mafanikio ya Diamond Platnumz katika muziki ni kutokana na juhudi zake.

Master J amesema ambao wanaweza kumshangaa mafanikio anayopata kwa sasa pengine ni wale waliomjua hivi karibuni.

“Kwa wale ambao wanamjua kwa undani wanajua kwamba hivi vitu havijaja kwa urahisi, ni mtu ambaye anafanya kazi, sijui hata kama huwa analala, ana juhudi na ana bidii sana, kwa hiyo haya matunda tunaona leo ni matokeo kujitoa kwa miaka mingi sana,” amesema.

“Kwa hiyo mimi ninavyoona sasa hivi anaanza kupata matunda kusema kweli nafurahi sana na ninamshukuru Mungu,” Master J ameiambia Wasafi TV.

Licha ya kufanya vizuri katika muziki wa Bongo Flava, Diamond ameingiza bidhaa zake sokoni ‘Chibu Perfume na Diamond Karanga’ na sasa amefungua Wasafi Media na hivi majuzi ameweka wazi kumiliki moja gari la kifahari.

Wabunge Wampa Ushauri Mzito Waziri Lukuvi

$
0
0
Wabunge Wampa Ushauri Mzito Waziri Lukuvi
Baadhi ya wabunge wamemshauri Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kuchukua hatua mbalimbali ili kutatua migogoro ya ardhi nchini.

Wabunge hao wameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma walipokuwa wakichangia bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2018/19

Mmoja wa wabunge waliochangia wizara hiyo ni Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Anne Kilango (CCM), ambaye amesema mashamba ya mkonge yaliyoko katika Kata za Makanya na Ndungu wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro, hayana faida kwa wananchi wa kata hizo.

“Kutokana na hali hiyo naiomba Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ichukue hatua ili kuwapa ardhi vijana na wananchi wa kata hizo,”.

Wakati huo huo, Mbunge wa Liwale, Zuberi Kuchauka (CUF) aliitaka wizara hiyo iongeze kasi ya kutatua migogoro kwa kuwa inarudisha nyuma maendeleo ya wananchi.

Kwa upande wake Mbunge wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka (CCM) aliitaka serikali ifanye uhakiki wa viwanja vyote vyenye migogoro ili kujua wamiliki halali wa maeneo hayo.

Wabunge Hawafuati Utaratibu- Pius Msekwa

$
0
0
Wabunge Hawafuati Utaratibu- Pius Msekwa
Sakata la matibabu ya Wabunge, Spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Pius Msekwa amesema kuwa Wabunge hawafuati utaratibu kwa kufanya maamuzi yao binafsi.


Msekwa amefunguka hayo wakati akizungumza na eatv.tv na kusema kuwa kuna taratibu za matibabu kwa Wabunge na hairuhusiwi kutibiwa hospitali yoyote kwa uamuzi binafsi lakini wanashindwa kufuata miongozo hiyo na kuibua migogoro.

“Mbunge akiugua huwa anapelekwa hospitali ya serikali na endapo akitakiwa kuhamishwa hospitali atapewa rufaa na lazima bunge liwe na taarifa hakuna anayefanya maamuzi yake binafsi alafu anahitaji kulipwa”, amesema Msekwa.

Aidha, Msekwa ameongeza kuwa hakuna upendeleo kama ambavyo Kambi ya Upinzani Bungeni inavyodai na imekuwa hivyo tangu mwanzo kwa kuwa fedha zinazotumika ni za umma na zinataratibu zake.

Hayo yamejiri baadaya kuwepo kwa madai kuwa Wabunge wa upinzani hawapewi kipaumbele pindi wanapotakiwa kupatiwa matibabu.

Rais wa Ufaransa Amtaka Kabila Kuang’atuka Madarakani na Kuandaa Uchaguzi

$
0
0
Rais wa Ufaransa Amtaka Kabila Kuang’atuka Madarakani na Kuandaa Uchaguzi
Rais Emmanuel Macron amemhimiza kiongozi wa DR Congo Joseph Kabila kung’atuka madarakani na kuandaa uchaguzi kama ilivyopangwa Desemba mwaka huu.

Akizungumza alipokutana na Rais wa Angola João Lourenço ambaye yuko ziarani nchini Ufaransa, Macron alitoa wito huo kwa Kabila kuheshimu makubaliano yaliyofikiwa chini ya upatanishi wa Kanisa Katoliki kwamba uchaguzi ufanyike mwaka huu.

“Tunaunga mkono upatanishi wa kieneo,” amesema Macron katika ikulu ya Élysée Palace akiwa na mgeni wake Lourenço kama alivyonukuliwa na jarida la Kifaransa la Jeune Afrique.

Marais wawili hao walisimamia katika dhamira ya kuunga mkono makubaliano yaliyofikiwa Saint Sylvester kwamba uchaguzi mkuu ufanyike Desemba 23 “ambao Joseph Kabila hatashiriki.” Hata hivyo, Macron aliongeza kwamba Ufaransa “haina haja ya kutoa amri” kwa Kabila nini cha kufanya.


Lakini japokuwa Kabila haruhusiwi kisheria kugombea, hajasema hadharani ikiwa hawezi kujitokeza, hali inayochochea wasiwasi kwamba anaweza kubadili katiba na akagombea tena. Muhula wa utawala wa Kabila ulimalizika Desemba 2016.

Lourenço alimwambia rais mwenzake wa Ufaransa kwamba mazungumzo ya upatanishi yanayofanywa hivi sasa na wakuu wa nchi washirika, “Omar Bongo, Denis Sassou Nguesso, Cyril Ramaphosa, na Paul Kagame” ambao “tunajadili mara kwa mara juu ya mustakabali wa DRC, kama ilivyo kwa hali ya baadaye ya Kabila”.

Amesema: “Makubaliano yaliyofikiwa (katika mkesha wa mwaka mpya) yamepata Baraka za kanisa na chochote kinachokuwa kimebarikiwa lazima kiheshimiwe. Tunamshauri Joseph Kabila kufuata njia hii. Lakini huu ni ushauri siyo sharti.

“Hatuna haki ya kumwambia (Joseph Kabila) kwamba lazima ang’atuke, itakuwa juu ya wapigakura kusema hivyo kupitia sanduku la kura. Lakini tunaamini katika uhalali wetu kuzuia machafuko.”

Mambo ni Motoo Harmonize Afunga Ndoa ya Siri na Mzungu Wake Sarah

$
0
0
Mambo ni Motoo Harmonize Afunga Ndoa ya Siri na Mzungu Wake Sarah
Staa anayetamba na wimbo Kwangar, Harmonize amebainisha kuwa amefunga ndoa  na mpenzi wake Sarah Michelotti ingawa hakupenda kuliweka wazi kwa kuwa anaamini ndoa inapaswa kutambulika kwa Mungu.

Akizungumza na mwandishi wa Gazeti dada la Mwananchi, Nation la nchini Kenya, Harmonize alikiri kufunga ndoa kwa siri akisema kuwa hawezi kueleza zaidi kwa kuwa walishaamua iwe hivyo.

“Ndio tumefunga ndoa. Si lazima kutangaza unapoamua kuchukua uamuzi kama huo. Naamini Mungu pekee akifahamu inatosha,” anasema Harmonize.

Akizungumzia kuhusu ujauzito wa mpenzi wake huyo ambao  waliutangaza mwanzoni mwa uhusiano wao anasema uliharibika.

Siku za hivi karibuni Harmonize aliingia katika malumbano katika mitandao ya kijamii na aliyekuwa mpenzi wake, mwigizaji Jackline Wolper baada ya kumtuhumu kuwa analelewa na mwanamke huyo mwenye asili ya Italia.

Mwandishi wa Nation, Thomas Matiko alipomuuliza iwapo amemuoa Sarah kwa kuwa anatoka katika familia yenye fedha, Harmonize alisema: “Kila mtu ana uhuru wa kuongea, wataongea sana lakini najua nampenda mke wangu na ninafurahia maisha.”

Baada ya Tetesi za Shishimbi Kumalizana na Simba, Yanga Waibuka na Kutoa Tamko

$
0
0
Baada ya Tetesi za Shishimbi Kumalizana na Simba, Yanga Waibuka na Kutoa Tamko
Baada ya kuenea kwa tetesi kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusiana na kiungo wa Yanga, Papy Tshishimbi kuhusishwa kuwa ameshamaliza na Simba, Yanga wameibuka na kutoa tamko.

Mkuu wa Idara ya Habari ndani ya Yanga, Dismas Ten, amesema kuwa taarifa hizo hazina uhalisia wowote na anachokijua Tshishimbi alipowasilia Yanga alisani mkataba wa miaka miwili.

Ten ameeleza kuwa hana mengi zaidi ya kuzungumzia kuhusiana na Tshishimbi na badala yake amesisitiza akieleza kuwa Tshishimbi bado ni mchezaji wao.

Kiungo huyo mwenye asili ya Congo aliyewahi kuichezea Mbabane Swallows ya Swaziland alijiunga na Yanga Agosti 2017 na kusaini mkataba wa miaka miwili.

Inasikitisha Wanakijiji 10 Wameuawa kwa Kukatwa Vichwa

$
0
0
Inasikitisha Wanakijiji 10 Wameuawa kwa Kukatwa Vichwa
Wanavijiji wapatao 10 wameuawa kwa kukatwa vichwa mwishoni mwa wiki iliyopita na watu wanaosadikiwa kuwa ni Waislamu wenye msimamo mkali wa kidini katika Jimbo la Kaskazini mwa nchi.
Watoto ni miongoni mwa watu ambao wanalengwa katika shambulio lililofanyika kijiji cha Monjane, mkoa wa Cabo Delgado, aneo ambalo ni maarufu kwa shughuli za uchimbaji madini na utafiti wa mafuta.
Kikundi cha wapiganaji wa Kiislamu kiliripotiwa kufanya mashambulizi ya kushtukiza katika eneo hilo mwaka jana. Inaaminika kikundi hicho kinajipatia mamilioni ya dola kwa kuuza mbao na madini ya rubi.
Kikundi hicho, ambacho wenyeji wanakiita al-Shabab, kilianzishwa mwaka 2015 kama shirika la kidini na hakuna taarifa rasmi ikiwa kina uhusiano na kikundi cha wapiganaji wa jihadi wa Somalia wanaotumia pia jina hilo.
Mmoja wa waathirika wa shambulizi hilo lililofanywa mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye kijiji cha Monjane aliliambia shirika la habari la AFP: "Walimlenga mkuu wa kijiji kwa kuwa amekuwa wakiwapatia taarifa polisi kuhusu mahali ambako al-Shabab wamejificha msituni.”
Utafiti wa kisomi wa hivi karibuni, ukiwemo uliochapishwa wiki hii katika majarida ya habari na makala fupifupi, ulibaini kwamba wafuasi wa mwanzo wa kikundi hicho ambao wakati fulani wanaitwa al-Sunna, walikuwa wafuasi wenye msimamo mkali wa mhubiri wa Kenya aliyeuawa mwaka 2012.
Wafuasi wake walihamia Kusini na wakaenda kuweka makao Kibiti Kusini mwa Tanzania na karibu na mpaka na Msumbiji.
Polisi wamefanikiwa kuwakamatwa zaidi ya watu 200 wakihusishwa na mashambulizi ya wapiganaji wa Kiislamu kuanzia Oktoba mwaka jana.
Wiki iliyopita, mamlaka zilifungua misikiti sita ambayo ilikuwa imefungwa katika kipindi yalipohanikiza mashambulizi baada ya kukataa mafungamano na wapiganaji hao.

Mwanafunzi Aliyetumia Pesa Alizotumiwa Kimakosa Afikishwa Mahakamani kwa Mashtaka ya Wizi

$
0
0
Mwanafunzi ashtakiwa wizi kwa kuponda pesa alizotumiwa kimakosa Afrika Kusini
Mwanafunzi wa kike wa Afrika Kusini ambaye alitumia zaidi ya dola $63,000 kati ya dola milioni moja na laki moja ($1.1m) alizopokea kimakosa amefikishwa mahakamani kwa mashtaka ya wizi .

Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 28, anayesoma masomo ya uhasibu katika Chuo Kikuu cha Walter Sisulu, alikamatwa na polisi wa kitengo kinachokabiliana na uhalifu mkubwa baada ya kumtaka ajisalimishe kwapolisi, amesema Anelisa Feni, msemaji wa kitengo hicho maalumu katika mahojiano na waandishi wa habari.

Vijana 11 wa Tanzania walioshtakiwa ubakaji Afrika Kusini waachiwa huru
Mwaka jana Sibongile Mani alikuwa anafaa kupokea kiwango dola $110 kwa mwezi kama pesa ya chakula kutoka hazina ya kitaifa za msaada wa karo ya wanafunzi (NSFAS ), unaowasaidia wanafunzi wanaotoka katika jamii zisizojiweza kiuchumi.

Hata hivyo, mwezi Juni alitumiwa dola milioni moja na laki moja $1.1m, na alipogundua hilo alianza kuzitumia kiholela .

Mara baada ya Hazina ya Kitaifa za Msaada wa Karo ya Wanafunzi kubaini makosa yake miezi mitatu baadae, iliweza kupata ujumbe wa taarifa za pesa kutoka kwenye akaunti ya benki ya Sibongile Mani.

Bi Mani hakuambiwa akiri mashtaka alipofikishwa kortini Jumanne, badala yake mahakama ikaamua kumuonya na kumuagiza arejee mahakamani tena tarehe 2 Julai.

Watu mtandaoni walikuwa na maoni tofauti huku baadhi kwenye Twitter wakimkosoa na wengine wakimuhurumia.

Awali Chuo Kikuu cha Walter Sesulu kilisema kuwa makosa hayo yakijulikana baada ya risiti ya akaunti ya mwanafunzi huyo kuonyesha kuwa na mamilioni ya pesa baada ya kuwekwa katika mtandao wa kijamii.

Download Hapa Application Mpya ya Udaku Special Uweze Soma Vimbwanga na Udaku Mtaani Kila Siku

Wasiliana na Dr Mabula Anatibu Upungufu wa Nguvu za Kiume, Busha na Matatizo ya Maumbile Madogo kwa Mwanaume

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO
Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliongahika sehemu mbalimbali bira MAFANIKIO MABULA CLINIC ni kituo cha tiba asilia kilichopo mbagara zakhemu njia kuu ya JESHINI JE HUNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO NA MWEMBAMBA?

MAPRO PAWER NO 2 ndio Tiba kwa sasa utibu matatizo matatu kwa pamoja 1hitakufanya uchelewe kufika kilekeni dikika 15-20 kwa tendo la kwanza 2 uhimalisha misuli iliyoregea na kusinyaa hasa kwa wale walio hasirika na upigaji punyeto 3 itakufanya upate amu ya kurudia tendo zaidi ya Mara tatu

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MPENZI AU MKE WAKO kisa unawai kukojoa au unakomea bao moja tu na huku dawa zipo MAKAKANUA mix ni dawa iliyochanganywa na miti Shamba 9 na Kuwa na uwezo wa kuongeza uume saizi upendayo inchi 5-8 Kwa Urefu na unene sentimita 1-5 dawa hizi hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ata wazee wenye umri mkubwa wanapona? zipo dawa za mvuto wa mpenzi mme au mke Kwa masaa matatu tu na kukupigia simu yeye mwenyewe mvuto wa biashara kutengeneza mwonekano mzuri wa mwili kwa wanawake yani shepu tunatibu ngiri miguu mgongo na kiuno kuumwa kupunguza kitambi minyama uzembe matiti na mwili mkubwa

TIBA NA USHAULI MUONE DR MABULA AU PIGA SIMU NO 0752348593 UDUMA ZANGU UTAZIPATA POPOTE ULIPO KAMA UWEZI KUFIKA OFISINI

Kauli Ya Kitila Mkumbo Kuhusu Katibu Mpya wa CCM

$
0
0
Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema mhadhiri wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Dk Bashiru Ally ni mtu sahihi kwa zama za sasa kuwa katibu mkuu wa chama hicho tawala.

Jana Halmashauri Kuu, ambayo ni chombo cha pili kwa ukubwa cha CCM ilikutana kwa siku mbili Ikulu jijini Dar es Salaam, na kumpitisha msomi huyo ambaye aliongoza kamati iliyohakiki mali za chama hicho kwa miezi mitano, kuwa katibu mkuu.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter Profesa Mkumbo amesema, “katika kipindi ambacho silaha ya siasa ni nguvu ya hoja, weledi, na uimara CCM imepata katibu mkuu sahihi kwa zama sahihi nakutakia mafanikio makubwa komredi Dk Bashiru Ally.”

Uteuzi huo umekuja baada ya aliyekuwa katibu mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana kuandika barua ya kujiuzulu kwa mwenyekiti wa chama hicho, Rais John Magufuli.

Uwoya adaiwa ndio chanzo cha Dogo Janja kuwa na muonekano wa kike

$
0
0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo janja ambaye sasa hivi ameachia video ya wimbo wake mpya wa 'Wayu wayu' na kuacha gumzo kwa mashabiki kwa kuvaa uhusika wa mwanamke, na kusema kuwa mke wake ndiye alimfanya awe hivyo.

Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Dogo Janja amesema mke wake ambaye ni muigizaji wa filamu za bongo, Irene Uwoya, ndiye alianza kumfanyia make up wakiwa mapumzikoni Zanzibar, na kumvalisha vitu vya kike, ndipo walipopata idea ya kufanya video akiwa kama mwanamke.

“Mke wangu kabla sijaanza kushoot alianza kunifanyia make up na kunivesha vesha tulipokuwa vacation (mapumzikoni) Zanzibar, akawa ananicheka, mpaka siku tunaenda kushoot ile make up ilibidi anifanyie yeye lakini ilitokea dharula hakuwepo, akaniambia niende kwa mtu anifanyie make up ya nude mimi hata siijui, hata lile wigi alinipa mke wangu na mimi nikapita nalo”, amesema Dogo Janja.

Kitendo cha Dogo Janja kuigiza kama mwanamke kimeonekana kuwakwaza watu wengi wakisema sio kitu kizuri mwanaume kuvaa hivyo na kujipodoa kama mwanamke, lakini kwa upande wake amesema ilikuwa ni ubunifu kwa lengo la kuboresha kazi.

Viewing all 104756 articles
Browse latest View live




Latest Images