Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104687 articles
Browse latest View live

TANZIA : Maria na Consolata Ambao ni Mapacha Walioungana Wamefariki Dunia

$
0
0

TANZIA : Maria na Consolata ambao ni mapacha walioungana wamefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Iringa.

Mwenyezi Mungu azipumzishe roho za wapendwa wetu mahali pema peponi.
WOTE TUSEME #AMEN/RIP huu katika hospitali ya Iringa.

Mwenyezi Mungu azipumzishe roho za wapendwa wetu mahali pema peponi.
WOTE TUSEME #AMEN/RIP

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya June 3

$
0
0


Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya June 3

Dawa Bora za Nguvu za Kiume na Kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa

$
0
0
Baada ya utafiti wa muda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka sasa

MWASELE HERBAL CLINIC. inakuletea suluhu juu ya matatizo haya kwa kutumia dawa za

FULL POWER .ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu zakiume. dawa hii ina mchanganyiko wa kutosha kuzalisha vichocheo vingi vya hormone za gestrogen ziwemo vitamin B6&B1, vitamini E pamoja madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na muzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi na kuchelewa kufika kileleni zaidi ya dakika 20-30. ZAT 50 inarudisha maumbile ya uume yaani kurefusha na kunenepesha ulefu nchi 3-7, upana cm, 3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukitumia maumbile yatabaki kuwa hivyo siku zote . pia tunatibu matatizo mengine kama presha, kisukari , ngiri ,chango la tumbo,tumbo kujaa gesi, kutokupata choo vizuri,miguu kuwaka moto,matatizo ya uzazi, bawasili namagonjwa yazinaa kama kisonono nakaswende.

Tunapatikana DAR ES SALAAM. SHINYANGA NA ZANZIBAR. kwa wakazi wa dar es salaam utaletewa huduma hii popote ulipo . wa mikoani tunawatumia kwanjia ya mabasi .

Wasiliana nasi kwa sim no 0717702227 au 0754568767.DR . SAGUDA nyote mnakaribishwa

Serikali Yashauriwa Kutosaini Upya Mkataba wa Songosongo Pindi Utapomalizika

$
0
0

Kamati ya Bunge iliyoundwa na Spika Job Ndugai kuchunguza mapato yatokanayo na gesi asilia imependekeza mkataba wa Songosongo usihuishwe mara utakapofikia mwisho wake mwaka 2024.

Kauli hiyo imetolewa leo Jumamosi Juni 2, 2018 na mwenyekiti wa kamati hiyo, Dunstan Kitandula wakati akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.

Amesema kuwa mkataba huo namna ulivyo hauna faida kwa Serikali, badala yake umeegemea upande mmoja wa mwekezaji.

Kitandula amesema mkataba huo unamalizika mwaka 2024 na kwamba hadi sasa kamati yake ina amini kuwa mwekezaji alisharudisha gharama zake.

“Pamoja na hayo, tunapendekeza kuwa wahusika wote katika miradi ya gesi ikiwemo mradi kuchunguzwa na vyombo vya ulinzi na usalama ili kuona kama walikuwa na nie njema na nchi yetu au la,” amesema Kitandula.

Amesema kuwa inashangaza kuona baadhi ya watumishi walioliingiza Taifa kwenye mikataba hiyo ya utata bado wapo ndani ya Serikali wakiendelea na utumishi.

Kamati Maalumu Ya Bunge Yaibua Madudu, Mawaziri Watajwa

$
0
0

Kamati iliyoundwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai kuchunguza mwenendo wa biashara ya sekta ya gesi asilia nchini imebaini madudu katika sekta hiyo ikiwamo mikataba ya serikali na wawekezaji ilivyoliingiza hasara taifa kupitia sekta hiyo huku mfanyakazi mmoja akilipwa mamilioni.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo iliyoundwa Novemba mwaka jana, Dunstan Kitandula amesema hayo bungeni jijini Dodoma leo wakati akiwasilisha ripoti ya kamati hiyo kwa Bunge.

Katika ripoti hiyo, Kitandula amewataja mawaziri zamani wa iliyokuwa Wizara ya Nishati na Madini, Daniel Yona, Nazir Karamagi, William Ngeleja na marehemu Abdallah Kigoda kuingia mikataba hiyo, ambayo alisema imekuwa ikiliingizia hasara taifa.

“Mawaziri hao walikuwa wakisaini mikataba hiyo na makampuni ya kigeni kupitia aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Yona Kilaghani.

“Aidha, katika uchunguzi wetu, kamati ilibaini mfanyakazi mmoja wa kigeni wa Kampuni ya Payet, analipwa mshahara wa Sh milioni 96 kwa mwezi tofauti na wazawa ambao wanalipwa mshahara kidogo.

“Kutokana na hali hiyo, kamati inapendekeza vyombo vya dola vichunguze mikataba yote katika sekta ya gesi iliyoingiwa na viongozi hao ili kuona kama walikuwa na nia njema au waliiisaini kwa kujali maslahi yao,” amesema Kitandula.

Kamati Maalumu ya Bunge ya Uvuvi Nayo Yaibua Madudu....Trilioni 5.9 Zimepigwa

$
0
0
Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Bunge ya Uvuvi wa Bahari Kuu, Anastazia Wambura amesema Serikali imepoteza Sh5.98 trilioni kati ya mwaka 2009 hadi 2017, sawa na asilimia 14.51 ya bajeti ya mwaka wa fedha 2017/18.

Pia, amesema katika kipindi hicho Tanzania imepata hasara ya Sh3.169 trilioni kutokana na mfumo mbovu kwenye bahari kuu.

Akizungumza leo Jumamosi Juni 2, 2018 katika makabidhiano ya taarifa za kamati mbili za kuchunguza uvuvi wa bahari kuu na gesi, Wambura amesema hatua ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kusitisha utoaji wa leseni za meli za kigeni ulisababisha hasara ya Sh5.4 bilioni katika kipindi cha 2016/17.

Amesema mbali na hasara hiyo, Taifa limekuwa likipoteza Sh352 bilioni kila mwaka kutokana na kuuza samaki ghafi nje ya nchi.

Katika taarifa yake hiyo, Wambura amesema hatua ya kutokuwa na bandari ya uvuvi kumeisababishia Serikali hasara ya Sh31.2 bilioni katika kipindi cha mwaka 2009 hadi 2017.

Amesema kiuhalisia sekta ya uvuvi inaweza kutoa mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa nchi, lakini Taifa halinufaiki kutokana na changamoto walizobaini.

Hamisa Kachoka......Kamtaka Diamond Awaambie Ndugu Zake Waache Dharau na Wamheshimu

$
0
0
Mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye ni mama mtoto wa Diamond Platinumz amefunguka kupitia ukuraasa wa Instagram wa Baba mtoto wake, Diamond Platinumz mara baada ndugu wa msanii huyo kuongea maneno yaliyoonesha kumkejeli.

Kufuatia maneno hayo ambayo yamezagaa katika mtandao wa Instagram Hamisa ameibuka na kuandika waraka mzito akimtaka Diamond Platinumz kuoa mwanamke ambaye ndugu, maneja na mashabiki wa Diamond wanamtaka aoe kwani katika andiko lake ameonesha kukerwa na baadhi ya maneno yaliyoongelewa katika mitandao ya kijamii kuhusu yeye mara baada ya wimbo wa Iyena kutoka.

Ambapo katika wimbo huo Diamond ameonekana akifunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wake na mama watoto wake Zarinah Hassan.

Ndo uoe Huyo Mwanamke ambae anatakiwa na Ndugu zako … na manager zako bila kusahau mashabiki … sio kutwa mie mtoto wa watu naandamwa na kukaliwa mie kooni!!! Sijakuita wala kukufunga kamba ……

Kila siku maneno mimi Kwani alishindwa kukufata kukushauri ? Mpaka akimbilie kwenye MaTv na Mitandao ? Unapokaa hapajui , number ya simu yako pia hana? …. kwani mie hayo maTv hayaombi kuniombi kunihoji mbona nakaa kimya ? Tena saa ingine nakaa Kimya kuwastiri kwa mengi na pia dee akikua asione hii migogoro lakin ndugu zako hawabebeki its too much 🙌🏽 talk to Your familia maana wewe ni mwananume na uwezo wa kuyamaliza ……… 
Na pia waambie unahitaji Mke sio House girl wa Nyumba🤚🏽… Mwanamke kazi yake kukupikia Ule , au nlikua sikupikii tena sio wewe tu na Ndugu zako mkala na kusaza ? … leo imekua hamisa hajui kupika kusafisha nyumba kwahiyo chumba chako tukimaliza lalana huwa anasafisha nani ? 

Au walitaka niende kuwafulia vyupi vyao nikimaliza niwapigie deki mpaka chumbani kwao ? Wakishindwa kuniheshimu basi waambie waheshimu damu yako . The End !

Mobeto amefunguka hayo kufuatia post mbalimbali zilizokuwa zikitumwa na watu wa karibu wa Diamond Platinumz wakidai kuwa wamemkumbuka sana Zari hivyo wanataka arudi ili ndoa iweze kufungukika.

Wimbo wa Iyena pamoja na mistari yake umewaibua watu wengi na mashabiki wengi ambao wameonekana kumshambulia kwa maneno mwanadada Hamisa Mobetto.



ROSA REE NA EMTEE WAFANYA MAAJABU TAZAMA HAPA CHINI KWENYE VIDEO:

Wema Sepetu Anawa Mikono...Atia Neno 'Ndoa' ya Diamond na Zari

$
0
0
Msanii Maarufu wa filamu za Kibongo , Wema Sepetu,  amempongeza Diamond Platnumz kwa video yake mpya ya ‘Iyena’ aliyomshirikisha Rayvanny.

Katika maudhui ya video hiyo, Diamond amecheza na mzazi mwenziye, Zarina Hassan (Zari The Boss lady),  kama wamefunga ndoa, Wema amemtaka msanii huyo kufanya kweli kama filamu hiyo inavyoonyesha.

“New Track Alert Ila kama ingekuwa Pambe ingekuwa Kweli. Just thinking out Loud, Diamond Chibudeeee Fanya kweli bwana. Inshallah mwaka huu hata mwakani. Tuje kucheza Baikoko sie, Rayvanny Kazi nzuri,” ameandika Wema kupitia ukurasa wake wa Instagram.”

Kabla ya Diamond na Zari kuwa na mahusiano yaliyowaletea watoto wawili na baadaye kutengana, mwanamuziki huyo alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Wema.

Hata hivyo, Siku ya Wapendanao (Valentine Day) mwaka huu,  Zari alitangaza kuvunja kwa mahusiano yake na mwimbaji huyo akidai alikuwa na mtandao mkubwa wa wapenzi wengine.


ROSA REE NA EMTEE WAFANYA MAAJABU TAZAMA HAPA CHINI KWENYE VIDEO:


Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

$
0
0

Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU

 0753471612/ 0715249530
0623 386 305

DR KUZENZA

Download Hapa Application Mpya ya Udaku Special Uweze Soma Vimbwanga na Udaku Mtaani Kila Siku

Harmonize 'Siwezi Kumchagulia Diamond Mwanamke wa Kuoa...Aoe Yeyote, Kwani Utamu Ntapata Mimi?'

$
0
0
Diamond Platnumz bado amezid kukamata headline mitandaoni kuhusu maisha yake  ya kimahusiano, safari hii Harmonize naye katia neno katika hayo yanayoendelea.

Harmonize amesema hawezi kumshauri Diamond Platnumz awe na nani kwa sasa kati ya Zari, Hamisa au Wema ila ataonesha ushirikiano kwa yeyote akayechaguliwa na Diamond.

“Mimi yeyote; akiniambia leo tunarudi South Africa mimi nipo pale Pictorial, akiambia kwa wakati huu tuhamie Ununio, nipo pale kwa Madam, akiambia official tunachukua Hamisa tunaweka ndani nipo, sasa jamani kwani utamu napata mimi,” Harmonize ameiambia Wasafi TV.

Awali Harmonize alisema kuwa licha ya kufanya kazi na Diamond kwa ukaribu na kusaidiana  katika mambo mbali mbali ni vigumu kwa yeye kumshauri kuhusu mahusiano yake ila watu wa karibu kutoka kwenye familia yake kama Romy Jons na Esma Platnumz wanaweza kufanya hivyo.

ROSA REE NA EMTEE WAFANYA MAAJABU TAZAMA HAPA CHINI KWENYE VIDEO:

Nay Wa Mitego Ampa Ushauri Mzito Diamond Kuhusu Zari...." Acha Kupuyanga Na Hao Mapugi Machafua Nyota"

$
0
0

Msanii Nay wa Mitego ametoa neno katika ngoma mpya ya Diamond Platnumz ya ‘Iyena’ ambapo amesema hata angetupa ngoma hiyo barabarani inge – hit tu.

Nay amesema kuwa licha ya kwamba ngoma hiyo ni  kali, lakini yupo na mzazi mwenzie mwenye nyota na mafanikio, Zari The Bass Lady. Amemtaka Diamond aache kupuyanga na wachafua nyota.

“Mzee Mwenzangu Diamond platnumz Hii Ngoma Iyena Ata Ungeenda Kuacha Tu Barabarani Ukajifanya Kama Umeitupa Inge Hit Tu. Licha Ya Kwamba Ngoma Kali Pia Upo Na Mkeo Original Mama Tee Mwenye Nyota Ya Hela Na Mafanikio. Sasa Wewe Endelea Kupuyanga Na Hao Mapugi Machafua Nyota. Nitaongea Na Mama Tee Yaishe Tu.Haya Fanya Muende YouTube,” ameandika Nay wa Mitego kupitia mtandao wake wa Instagram.

Maskini Rais Magufuli Awalilia Mapacha Walioungana Maria na Consolata Baada ya Kufariki Dunia

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, Masista wa Maria Consolata na wote walioguswa na kifo cha mabinti mapacha walioungana Maria na Consolata Mwakikuti waliofariki dunia jana jioni katika hospitali ya Mkoa wa Iringa.

Mhe. Rais Magufuli aliwatembelea Maria na Consolata walipokuwa wakipata matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini Dar es salaam tarehe 06 Januari, 2018.

Pamoja na kuwapa pole, Maria na Consolata waliongoza sala ya kuliombea Taifa na Viongozi wake.

Mhe. Rais Magufuli anasema anatambua kuwa Maria na Consolata walikuwa na ndoto kubwa ya kuja kulitumikia Taifa baada ya kumaliza Chuo Kikuu cha Masista wa Consolata Ruaha (RUCO) walikokuwa wakiendelea na masomo yao, lakini haikuwa hivyo.

Amewaombea Mwenyezi Mungu aziweke roho zao mahali pema peponi, Amina.

Donald Trump Anyoosha Maelezo...Asema Mkutano na Kim Jung Un Utafanyika

$
0
0
Rais wa Marekani Donald Trump Ijumaa amekutana kwa dakika 80 katika ofisi ya Oval na Jenerali ambaye amemuelezea kama ni mtu wa pili mwenye madaraka ya juu kuliko wote nchini Korea Kaskazini.

Baadae, Trump amewaambia waandishi waliokuwako White House kwamba mkutano wa Juni 12 huko Singapore kati yake na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, utafanyika.

Lakini, Trump alikataza kuwepo baadhi ya matumaini makubwa, akisema mkutano huo ni “mwanzo “ na mazungumzo ya hapo baadae huenda yatahitajika ili kuweza kufikia makubaliano na Pyongyang juu ya kuondosha silaha zake za nyuklia.

“Sio kwamba tutakwenda katika mkutano na kusaini kitu fulani Juni 12, na wala hatukutaka iwe hivyo,” amesema. “Tutaanza kwa pamoja mchakato fulani.”

Trump aliweka wazi kuwa “hajawahi kusema kuwa hilo litafanyika katika mkutano mmoja,” lakini mchakato huo “ hatimaye utakuwa wenye mafanikio.”

Alipoulizwa na VOA iwapo Korea Kaskazini imekubali kukamilisha, uhakiki na kutositisha kuondolewa kwa silaha za nyuklia, Trump alijibu kuwa “tumezungumzia masuala mengi sana.”

Rais amemwambia Kim Yong Chol, mkuu wa zamani wa idara ya usalama katika jeshi la Korea Kaskazini, “chukua muda wako. Tunaweza kwenda haraka. Na tunaweza kwenda polepole.”

Rais ameweka wazi kuwa vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini havitaondolewa, mpaka pale nchi hiyo itakapokubali kuacha kutengeneza silaha zake za nyuklia.

Wakati mazungumzo juu ya mkutano wa Singapore yakijadiliwa, baadhi ya wafuatiliaji wa suala hili wanahisi kuwa Trump na Kim Jong Un kila moja anajua kiuhakika kile ambacho wanataka hatimaye kukifikia.

Wasiliana na Dr Mabula Anatibu Upungufu wa Nguvu za Kiume, Busha na Matatizo ya Maumbile Madogo kwa Mwanaume

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO
Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliongahika sehemu mbalimbali bira MAFANIKIO MABULA CLINIC ni kituo cha tiba asilia kilichopo mbagara zakhemu njia kuu ya JESHINI JE HUNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO NA MWEMBAMBA?

MAPRO PAWER NO 2 ndio Tiba kwa sasa utibu matatizo matatu kwa pamoja 1hitakufanya uchelewe kufika kilekeni dikika 15-20 kwa tendo la kwanza 2 uhimalisha misuli iliyoregea na kusinyaa hasa kwa wale walio hasirika na upigaji punyeto 3 itakufanya upate amu ya kurudia tendo zaidi ya Mara tatu

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MPENZI AU MKE WAKO kisa unawai kukojoa au unakomea bao moja tu na huku dawa zipo MAKAKANUA mix ni dawa iliyochanganywa na miti Shamba 9 na Kuwa na uwezo wa kuongeza uume saizi upendayo inchi 5-8 Kwa Urefu na unene sentimita 1-5 dawa hizi hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ata wazee wenye umri mkubwa wanapona? zipo dawa za mvuto wa mpenzi mme au mke Kwa masaa matatu tu na kukupigia simu yeye mwenyewe mvuto wa biashara kutengeneza mwonekano mzuri wa mwili kwa wanawake yani shepu tunatibu ngiri miguu mgongo na kiuno kuumwa kupunguza kitambi minyama uzembe matiti na mwili mkubwa

TIBA NA USHAULI MUONE DR MABULA AU PIGA SIMU NO 0752348593 UDUMA ZANGU UTAZIPATA POPOTE ULIPO KAMA UWEZI KUFIKA OFISINI


Hizi Hapa Ndio Mbinu za Mabingwa wa Kusaliti Katika Mapenzi

$
0
0
USALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo wanasaliti na wenzi wao kutogundua kama wanasalitiwa.

Siku zote anayesaliti huwa anajiona mjanja kwamba, yeye anasaliti wakati mwenzake hasaliti. Kwa asilimia kubwa, wanaume hujiona kama usaliti ni halali yao. Wanataka wao wasaliti lakini wapenzi wao wasithubutu kusaliti.



Kwa nini hawataki wenzi wao wasaliti? Eti wanaumia. Hakuna kitu kinachomchukiza mwanaume kama kusalitiwa. Kusaliti asaliti yeye, akisaliti mwenzake ni kosa la jinai. Anaona amedhalilishwa.

Anajisikia fedheha kwamba mpenzi wake amemuonaje? Amemchukuliaje? Hajakamilika idara gani? Anawaza sana. Anajiuliza jamii yote inayojua kitendo hicho inamtazamaje? Kwamba ni boya kiasi gani hadi anaibiwa kirahisi. Hana nguvu za kiume? Hana uwezo kifedha?



Hapo ndipo unapokuta mwanaume anaamua kuchukua uamuzi mgumu ikiwemo hata kuhatarisha maisha ya mwenzi wake.

Marafiki zangu, watu wanauana kwa sababu ya usaliti. Kwa mwenye penzi la dhati, kamwe hawezi kuvumilia usaliti.

Nikirudi katika mada yangu kama inavyojieleza hapo juu, kuna viashiria mbalimbali ambavyo ukiviona kwa mwenzi wako basi ujue unasalitiwa. Vifuatavyo ndivyo viashiria vyenyewe:



KUTOPENDA KUCHIMBWA

Mara nyingi anayesaliti huwa hapendi kuchimbwa mambo kwa undani. Anahofu anaweza kuchanganya madawa. Hupenda mazungumzo mafupi na moja kwa moja. Hapendi kuulizwa maswali mengi, ukimuuliza anayakwepa haraka na kutaka kukupeleka kwenye mazungumzo anayoyataka yeye.

Ukimuuliza kuhusu mipango yenu, ukimuuliza kuhusu mustakabali wa penzi lenu baadaye hukuondoa kwenye mstari na kukufanya usiwe na hamu ya kumuuliza mara mbilimbili.



HAPENDI UJUE RATIBA YAKE

Mara nyingi mtu ambaye ana lake jambo huwa hapendi ujue ratiba yake. Anataka usimzoee. Iwe anafanya maamuzi yake kulingana na yeye mwenyewe anavyojua. Ikitokea unaijua ratiba yake, atakuwa ni mtu wa kutoa udhuru kila wakati.

Leo atakwambia kuna mgonjwa anakwenda kumuona. Kesho atakwambia kuna vikao na wafanyakazi wenzake. Siku nyingine atakuambia gari imepata pacha, analazimika kusubiri mafundi hadi wafike ndio aweze kuanza safari ya kurudi nyumbani.

Ukiona mtu ana visingizio vingi, jua kwamba njia zake si salama. Hataki ujue nini anafanya kwa wakati fulani. Kwa ambaye hana makando kando, anaeleza ratiba yake kwa uwazi. Hata kama inatokea dharura, anaieleza na inaeleweka.



SIMU YAKE KITUO CHA POLISI

Anayesaliti mara nyingi hapendi kuacha simu yake kiholela. Simu inakaa mfukoni kwake hata kama hakuna ulazima wa kufanya hivyo. Mpo nyumbani, mpo kwenye mazungumzo ya kifamilia yeye simu yake ipo mfukoni.

Imetolewa mlio. Hataki uione maana inawezekana akatumiwa ujumbe, picha na mambo mengine ya kimapenzi. Anayejiamini na yupo kwenye uhusiano imara, hana sababu ya kufichaficha simu yake. Anaiweka hadharani.

Mwingine atakusetia simu yake. Ukimpigia kila wakati inaonekana iko bize. Kila ukipiga inaonekana inatumika, kumbe yeye ndio anatumika wakati huo. Anakusaliti.



ANACHATI SANA

Wanaosaliti wengi wao hupenda kutumia meseji katika mawasiliano yao. Yani amewazoesha michepuko wake wote kusaliti. Hapendi kupokea sana simu. Zaidi anapenda kuchati hivyo ni rahisi kuwasiliana na mchepuko wake.



HAKUTAMBULISHI NDUGU, MARAFIKI

Msaliti anataka usiwajue watu wake wa karibu. Anahofia wanaweza kuvujisha taarifa bila hata kujua wanauza silaha. Kuepuka hilo, anataka umjue yeye na watu wake wachache.

Zaidi sana atakutambulisha kwa rafiki yake ambaye ni mchepukaji mwenzake. Wanajua namna ya kucheza michezo ya usaliti.

Usalitiwa kunauma. Kuepuka maafa ni vyema wapendanao wakawa waaminifu. Kila mmoja aheshimu hisia za mwenzake. Amtunzie heshima, awe na hofu kwamba akifanya hivyo anamuumiza mwenzake na kama ambavyo yeye ataumia akifanyiwa.

Tukutane wiki ijayo. Waweza kunifuata katika mitandao yangu ya kijamii; Instagram na Facebook natumia jina la Erick Evarist, Twitter ni ENangale.


ROSA REE NA EMTEE WAFANYA MAAJABU TAZAMA HAPA CHINI KWENYE VIDEO:

Mtibwa Yatwaa Ubingwa wa Kombe la FA Kwa Kuchapa Singida

$
0
0
 Mtibwa Sugar wametangazwa rasmi kuwa mabingwa wa Kombe la Shirikisho baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Singida United katika mchezo wa fainali uliopigwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Katika mchezo huo ulioanza kwa kasi huku Singida wakiongoza kumiliki mpira kwa kipindi cha kwanza ulishuhudiwa nyavu za Singida United zikianzwa kutikishwa mnamo dakika ya 22 na Salum Kiwimbwa.


Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo alipomkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 50, nahodha wa mabingwa wapya wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports, Shaaban Nditi.

Bao la Kiwimbwa lilidumu kwa dakika 15 tu ambapo katika dakika ya 37 Mtibwa walijipatia bao la pili kupitia kwa Issa Rashid ‘Baba Ubaya’ aliyefunga kwa mpira wa kona ulioenda moja kwa moja langoni na kumuacha kipa Ally Mustafa wa Singida United akiwa hana la kufanya.

Wakati dakika 45 za kwanza zikielekea kumalizika huku ubao wa matokeo ukisomea ni 2-1, Singida walipata nafasi ya kuandika bao la kwanza likitiwa kimiani na Chuku kwenye dakika ya 43, mpaka Mwamuzi anapuliza kipyenga kuashiria mapumziko, matokeo yalikuwa ni 2-1.


Kipindi cha pili kilianza tena kwa kasi huku Singida wakilishambulia zaidi lango la Mtibwa Sugar, na katika dakika ya 71 ya mchezo, mshambuliaji wa timu hiyo Tafadzwa Kutinyu aliisawazishia na kubadilisha ubao wa matokeo kwa kusomeka 2-2.

Kipindi hicho wakati mpira ukielekea mwishoni, kikosi cha Mtibwa kilibaki pungufu baada ya Baba Ubaya kutolewa nje kwa kadi ya nyekundu kufuatia mchezo usio wa kiungwana.

Kuondoka kwa Baba Ubaya hakukuwakatisha tamaa Mtibwa kwani walijitahidi kupigana na katika dakika ya 90, Ismail Kahesa aliweza kuiandikia timu yake bao la 3 na mpaka mchezo unamalizika, Mtibwa walikuwa mbele kwa mabao hayo matatu dhidi ya mawili ya Singida United.


Mtibwa sasa itakuwa mwakilishi wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu ujao kufuatia kuchukua ubingwa huo, na hii ni kwa mujibu wa sheria na kanuni za TFF kuwa bingwa wa FA ataiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo.

Stori na Na George Mganga


ROSA REE NA EMTEE WAFANYA MAAJABU TAZAMA HAPA CHINI KWENYE VIDEO:

Familia ya Diamond Yampa Tano Zari, Wema Sepetu...Mama Mobeto Atakwa Povu la Mwaka

$
0
0

FAMILIA ya Staa wa bongo fleva, Diamond Platinumz imewa imewamwagia misifa kwa kuwachambua waliowahi kuwa wapenzi wa kijana wao huyo ambapo imemtaja Zari The Boss Lady kama mwanamke msafi anayejua kutimiza wajibu wake kwa mwanamke, huku Wema akitajwa kuwa mwanamke anayejua kupika vizuri.

 Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mama Diamond amebainisha sifa kuu ya Zari kuwa msafi huku mwanaye, Esma akikoment na kusema Wema ni mtaalam wa mapishi.


Baada ya maneno hayo, Mama Mobeto naye aliibuka na kutoa povu lake huku akisihi mwanaye kuwa mvumilivu hasa katika wakati huu mgumu kwake.


Kwa upande wake, Wema amemsifu Diamond kwa kuachia ngoma mpya ya Iyena aliyomshirikisha Rayvanny ambayo ndani yake yumo Zari na mpenzi wa Rayvanny, Fayvanny.

PICHA 3: Noma Sana Aslay Amjibu Rosa Ree, Huu ndo Mjengo Mpya wa Aslay

$
0
0
Muimbaji Aslay ambaye alisema kuwa pesa ya kubadilishia mboga anayo na ikiwemo gari yake aina ya BMW na nyumba ya kuishi, sasa jana June 2, 2018 mkali huyo kutokea bongoflevani ametuonesha picha za mjengo mkali na yeye akiepo.

Je hii ndo nyumba ya Aslay tunayoisikia…? Nakukaribisha kutazama baadhi ya picha alizotuonesha mkali huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram….
”Mambo Mawili Huonesha Picha Yako Halisi (1) Subila Yako Ukiwa Huna Kitu (2)Mwenendo Wako Pindi Unapokuwa Na Kitu, Kila Hatua Dua #dingimtoto“ – ASLAY



ROSA REE NA EMTEE WAFANYA MAAJABU TAZAMA HAPA CHINI KWENYE VIDEO:

Uganda Yaamua Kujenga Makumbusho ya Dikteta Idi Amin

$
0
0
Uganda wanafikiria kuvutia Watalii wengi duniani kwenda nchini humo kwa kujenga Makumbusho ya Vita ya Uganda itakayokuwa na historia na taarifa zote za nchi hiyo katika kipindi kibaya cha historia ya Uganda.

Katika Makumbusho hayo Mauaji na maovu yote yaliyotendeka wakati wa miaka 8 ya utawala wa Rais wa zamani wa nchi hio Nguli Idi Amin pamoja na jeshi la waasi Lord’s Resisitance Army (LRA) yataoneshwa.

“Tunataka kuweka kumbukumbu na historia ya taifa hili wazi” alisema Mkurugenzi Mtendaji wa wa Bodi ya Utalii ya Uganda Stephen Asiimwe.

Katika Makumbusho hayo ya Vita ya Uganda kutakuwa pia na historia ya taifa hilo kabla ya ukoloni na wakati wa ya ukoloni.

“Historia inakuwa utajiri kadri siku zinavyokwenda na kuwa ya kuvutia kama mvinyo” aliongeza Asiimwe huku akiweka sawa kuwa Makumbusho hayo hayana nia ya kuamsha hisia mbaya na kupotosha watu juu ya historia ya nchi hio.

Hata hivyo baadhi ya taarifa zinazomuhusu Idi Amin ambazo zitakuwepo kwenye makumbusho hayo ni pamoa;

Alijiunga na jeshi la King’s African Rifles akiwa kwenye miaka ya 20
Alichukua madaraka mwaka 1971
Watu takribani 400,000 wanadaiwa kuuawa katika utawala wake
Mwaka 1972 aliwafukuza watu wote wa jamii kutoka bara la Asia akiwatuhumu kwa kushusha uchumi wa nchi hiyo
Alibadili dini na kuwa Muislamu na kuoa wake watano na kufanikiwa kupata watoto wengi huku akisisitiza kuitwa ‘Bigg Daddy’
Alijitangaza kama Mfalme wa Uskochi na kuzuia uvaaji wa nguo fupi
Mwaka 1979 aliondoshwa na majeshi ya Tanzania na kukimbia nchi
Na mwaka 2003 alifariki nchini Saud Arabia
Aidha John Sempebwa ambaye ni makamu Mkurugenzi Mtendaji wa Muongozaji wa Bodi ya Utalii ya nchi hiyo amesema kuwa anawakatalia wale wote wanaosema kuwa nchi hio inataka kuwarejeshea maumivu wananchi wake yanayotokana na matukio ya huko nyuma kwa kujenga kwa Makumbusho hayo.

 ROSA REE NA EMTEE WAFANYA MAAJABU TAZAMA HAPA CHINI KWENYE VIDEO:


Viewing all 104687 articles
Browse latest View live




Latest Images