Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live

Download Hapa Application ya Udaku Special Kwenye Simu Yako Kushuhudia Vimbwanga Mtaani na Stori za Mapenzi


Tunatibu na Kuponesha Kabisa Tatizo la Upungufu wa Nguvu za Kiume, Busha Bila Kupasua na Vidonda vya Tumbo

$
0
0


TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME BUSHA BILA BILA KUPASUA NA VIDONDA VYA TUMBO: kwa nini uhendelee kuteseka NA kujiona mpweke pale ukutanapo NA mke au mpenzi wako kwa sababu tu hunaupunguvu wa nguvu za kiume na uume mdogo

MAPRO POWER NO 2 ndio tiba sahii ya kukurudishia heshima ya ndoa yako 1 itakufanya uchelewe kufika kileleni mda wa dakika 15-20 kwa tendo LA kwanza 2 itaufanya uume wako uhonekane mkubwa hasa kwa wale wanaume ambao wamefanyiwa tohara wakiwa wadogo sana au wakiwa watu wazima kwani ipo dawa ya kuimalisha misuli ya uume 3 itakupa uwezo wa kurudia tendo LA ndoa zaidi ya Mara tatu 4 uhuimalisha misuli iliyolegea na kusinyaa ?

WAI SASA UPATE TIBA YA UKWELI NA UHAKIKA NA NI TOFAUTI NA ULIZOWAI KUTUMIA ata wazee wa miaka 80 wanatumia na kupona kabisa ? Tunatoa dawa za uzazi maumivu ya mgongo na kiuno ,kupunguza kitambi ,matiti makubwa,dawa za kisukari,presha,dawa za mvuto wa mpenzi ambaye akutaki au hakuhudumii ipasavyo kutengeneza shepu kwa kina Dada, fika ofisini kwetu MBAGALA ZAKHEMU BARABARA YA JESHINI HIENDA KIBONDEMAJI utaona ifisi himeandikwa MABULA CLINIC

AU PIGA SIMU NO 0743362017 DR AGU

KWA AMBAO HAWANA NAFASI YA KUFIKA OFISINI UDUMA HII UTALETEWA

Pole Pole "Mimi Siwezi Kulia kwa Masuala ya Mapenzi, na Kifo ila Naweza Kulia Kwa Hili..."

$
0
0
"Mimi siwezi kulia kwa masuala ya mapenzi, na kifo ila naweza kulia kama kuna jambo tulikubaliana mwanzoni halafu ukanigeuka"- Polepole

Nini maoni yako

EATV

Steve Nyerere 'Nawashangaa Wanaosema Nimeachana na Mke Wangu Sababu ya Wellu Sengo'

$
0
0
KITENDO cha msanii wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kuzaa na mwigizajimwenzake Wellu Sengo hakimaanishi kwamba ni lazima amuoe, Amanilimeinyaka.

Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni baada ya kuulizwa swali kama ana mpango wa kumuoa Wellu kufuatia kuwepo kwa madai kwamba ameachana na mkewe, Nyerere alifunguka kuwa, mipango hiyo haipo.

“Ni kweli nimezaa na Wellu, nawashangaa wanaosema nimeachana na mke wangu kwa ajili ya Wellu sio kweli, mke wangu yupo nyumbani na hatuna tatizo lolote, na watu wajue tu kwamba kuzaa na mtu sio kuoa hivyo sidhani kama nitamuoa Wellu,” alisema Nyerere.



 Stori: Memorise Richard

Mpenzi wa Dogo Aslay Afunguka Hatma ya Penzi Lao Baada ya Kuhudhuria Futari Kwa Uwoya Kila Mtu Kivyake

$
0
0
MZAZI mwenzake staa wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka ‘Dogo Aslay’, Tessy Chocolate amefunguka kuwa kama imepagwa aoane na msanii huyo itakuwa tu licha ya kuwa kwa sasa wamemwagana.

Tessy alitoa kauli hiyo hivi karibuni alipoulizwa kuhusu hatma ya penzi lake na Aslay baada ya mwanahabari wetu kuona wamehudhuria futari iliyoandaliwa na muigizaji Irene Uwoya huku kila mmoja akiwa na hamsini zake.

“Tumetengana ndio lakini kama ipo ipo tu, kama amepangwa awe mume wangu atakuwa tu,” alisema Tessy. Aslay alipoulizwa kuhusu ishu hiyo hakutaka kuzungumza lolote.

Stori: Imelda Mtema

Zari Awaonya Wasafi Tv Kuwa “ Endapo Mtaendekeza Kiki za Kijinga Mtapotea”

$
0
0
Mzazi mwenza wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz Zarinah Hassan ‘Zari’ amekitolea uvivu kituo cha Wasafi Tv.

Bila kujaribu kuwa mmiliki wa kituo hicho cha habari ni Diamond, Zari amewajia juu akiwataka kuripoti Habari za maana kuhusu mambo yanayoendelea nchini.

Zari alitoa povu hilo baada ya Wasafi Tv kuposti clip ya kipindi cha Refresh kinachorushwa na kituo hiko kikionyesha mahojiano waliyofanya na video Queen maarufu Irene Au Lynn.

Kwenye mahojiano hayo Irene aliulizwa endapo anamfahamu Zari ambapo alijibu kuwa hamjui Zari wa hajawahi kumsikia ambapo alisikika akisema ‘Zari Who?’.

Baada ya clip hiyo kusambaa Kwenye mitandao ya kijamii Zari alienda kwenye ukurasa wa kituo hicho na kuwataka waripoti mambo ya maaan yanayoendelea Kwenye jamii badala ya kukazania mambo ya kijinga.

Baada ya Skendo ya Chupi Kuyeyuka..Nandy Awachokoza Wasanii wa Kike Bongo... Ajitapa Kwa Kusema Hivi

$
0
0
Staa wa muziki wa Bongo fleva anayeendelea kufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Ninogeshe’ Faustina Charles ‘Nandy’ ameibuka na kusema yeye ndio Msanii was kike anayeongoza Bongo.

Nandy amefunguka na kudai anaamini kuwa kwa sasa yeye ndio msanii wa kike ambaye amekuwa consistant na kushika chati za juice kutokana na ngoma anazotoa.

Kwenye Interview aliyofanya na Clouds Tv, Nandy amekiri kuwa yeye ni namba kwa kigezo cha namba ila anawaheshimu wale wote waliomtangulia kimuziki.

“Namba moja kwa Tanzania sasa hivi, au wewe unaonaje?, go with numbers, go YouTube, go Subscriber, go every where, go with numbers. Usiangalie tu nani anafanya nini, angalia numbers.Kabla sijawa namba moja, namba moja yangu Lady Jaydee lakini bado nitamuheshimu, ni mkubwa amenitangulia. Yeyote yule ambaye amenitangulia lazima nimuheshimu kwamba ni mkubwa”.

Lakini pia Nandy amesema ingawa kuna wasanii wengi wakongwe anaowaheshimu kama Lady Jay Dee lakini haimaanishi wao watakaa Kwenye chati milele lazima wapishane kila mtu kwa nafasi yake atabeba chati.

Ofa Kubwa ya EID, Pata Bidhaa za Urembo na Kukufanya Mwanaume Kuwa Rijali Kutoka Natural Beauty

$
0
0

OFA KUBWA YA EID

NATURAL BEAUTY PROD
Ni kampuni inayotoa bidhaa ORIGINAL na zilizothibitishwa kiafya.
Sasa inatoa ofa ya punguzo la bei la 10% kwa kila bidhaa wahi sasa upatne tiba za uhakika na uweze kufulahia matokeo mazuri kwa haraka.



1.HANDSOME UP ORIGINAL_ Inaongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli (wiki 2) @240,000/=
2.SHARK POWER GELY_ Inaongeza uume inch 6 (wiki 4) @170,000/=
3VigRX CREAM_ Inaongeza uume inch 7.5 hadi 8 (wiki 2-3) @200,000/=
4.Vidonge maalum vya kuongeza nguvu na hamu ya tendo hata kwa wenye kisukari na BP @150,000/=
5. MAXMAN 2-Hii ni vidonge vinavyoongeza nguvu za kiume pamoja na uume @230,000/=
6.VIGA SPRAY OG_ Inaongeza uwezo ktk tendo na kuchelewesha kufika kileleni @150,000/
7.BOTCHO MULT PLUS_Hii ni dawa ya kunywa ya kuongeza ( Hips mapaja na makalio) inapatikana kwa @170,000/=
8.BOTCHO CREAM HOLOGRAM_ Hii ni yakupaka ya kuongeza (HIPS na MAKALIO) @150,000/=
9.LEG BOOSTER_Ni dawa ya kuongeza miguu (CHUPA YA BIA) @150,000/=
10.BODY BOOSTER_ Hii ni yakuongeza mwili pamoja na hamu ya kula vizuri @140,000/= N.K

NB:Hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa NATURAL BEAUTY PROD ili kuthibitisha ubora wa bidhaa zetu.
Wasiliana nasi Popote ulipo duniani kwa no÷

(+255) 659618585
au
0759029968
Follow us instagram-
Google
@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod

CECAFA Yakubali Kujitoa Kwa Yanga Kombe La Kagame Cup Msimu Wa 2018

$
0
0
Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limekubali maombi ya Yanga kujiondoa katika mashindano ya KAGAME baada ya kutuma barua iliyoeleza kuomba kujitoa

Yanga ilituma barua kupitia TFF ikiomba kujiondoa ili kuwapa nafasi wachezaji wake mapumziko kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Gor Mahia FC ya Kenya.

Barua hiyo ilieleza kuwa ratiba ya michuano imekuwa si rafiki kwao na itakuwa inawabana sababu wanapaswa kuwajibika kwenye mashindano ya shirikisho pia wachezaji wake wengi hawana mikataba.

Kutokana na maombi hayo, CECAFA wamemua kuuwaalika Vipers SC ya Uganda kuchukua nafasi ya Yanga ambapo katika kundi C wataungana na Simba, Dakadaha ya Somalia na St. George ya Ethiopia.

Michuano hiyo inatarajia kuanza kurindima June 28 mwaka huu na kumalizika Julai 13 2018.

CCM Yamkana James Daud Lembeli 'Kashindwa Kufuata Taratibu na Katiba ya Chama'

$
0
0
Na magdalena Kashindye -KAHAMA
Chama cha mapinduzi (CCM) wilayani Kahama mkoani Shinyanga kimesema hakina taarifa ya urejeo wa James Daud Lembeli katika chama hicho kutokana na kushindwa kufuata taratibu na katiba ya chama.

Akizungumza na Mpekuziblog ofisini kwake katibu mwenezi wa CCM wilayani ya  Kahama Joachim Simbila amesema chama kimesikia urejeo wa Lembeli  lakini hakuna taarifa rasmi iliyothibitishwa, hivyo alichokifanya ni kuutangazia umma kuwa amehama kutoka Chadema kujiunga na CCM.

Simbila amesema katiba ya chama inasema mwanachama aliyehama chama na kurudi kwa mara ya pili anatakiwa kujaza fomu ambayo itaidhinishwa na tawi la eneo analoishi ambapo wao kama viongozi baada ya kusikia taarifa hizo waliwasiliana na uongozi wa eneo husika lakini hakuna taarifa za James Daud Lembeli kujaza fomu

Pia Simbila amesema mkutano aliouandaa James Lembeli haukuwa na viongozi wa chama wilaya sambamba na viongozi wa tawi ambapo katika mkutano huo alikuwepo kiongozi wa serikali ya kijiji kitu ambacho kiongozi huyo hana mamlaka ya kumpokea mwanachama mpya kuingia ndani ya chama.

Daud James Lembeli (mwanamaria) June 13, 2018 alitangaza kuachana na Chadema na kurejea chama cha mapinduzi CCM ambapo alisema ameachana na siasa za majukwaani kwani wazazi wake wote ni waasisi wa TANU ambacho kiliunda CCM hivyo yeye kuwa chama cha upinzani ni kuwakataa wazazi wake

Ushuru Pombe za Nje JUU....Za Ndani Utabaki Palepale

$
0
0
Ili kutimiza azma ya serikali ya awamu ya tano ya kujenga uchumi wa viwanda, imependekezwa kutofanyika mabadiliko ya viwango maalum vya ushuru wa bidhaa zisizo za petroli zinazozalishwa hapa nchini na kuongeza viwango vya ushuru wa bidhaa zisizo za petroli zinazoagizwa kutoka nje ya nchi.

Akiwasilisha bungeni jana  mapendekezo ya serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi 2018/19, Waziri wa Fedha na Mipango Dk.Philip Mpango alisema mapendekezo hayo ni pamoja na ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji baridi utaendelea kutozwa kwa kiwango cha Sh.61 kwa lita.

Aidha amesema ushuru wa bidhaa kwenye maji ya kunywa yaliyosindikwa kwenye chupa yaliyoagizwa kutoka nje utaongezeka kutoka Sh.61 kwa lita hadi Sh.64.05 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la Sh.3.05 kwa lita.

Kadhalika, ushuru wa bidhaa kwenye maji yanayozalishwa hapa nchini utaendelea kutozwa kwa kiwango cha sasa cha Sh.58 kwa lita.

Pia amesema ushuru wa bidhaa kwenye maji ya matunda(juisi) iliyotengenezwa kwa matunda yanayozalishwa hapa nchini hautaongezeka na utaendelea kutozwa kwa kiwango cha Sh.9 kwa lita.

Hata hivyo amesema ushuru wa bidhaa kwenye maji ya matunda iliyotengenezwa kwa matubda ambayo hayazalishwi hapa nchini utaongezeka kutoka Sh.221 hadi Sh.232 kwa lita, hivyo ongezeko ni Sh.11 kwa lita.

Akizungumzia bidhaa ya bia, Dk.Mpango alisema ushuru wa bidhaa hiyo inayotengenezwa kwa nafaka ya hapa nchini ambayo haijaoteshwa hautaongezeka na utaendelea kutozwa kwa kiwango cha Sh.450 kwa lita.

Pia kwa bia zinazoagizwa kutoka nje ya nchi utaongezeka kutoka Sh.765 kwa lita hadi Sh.803.25 kwa lita,ikiwa ni ongezeko la Sh.38.25 kwa lita.

Waziri huyo amesema ushuru wa bidhaa kwenye bia zisizo za kilevi ikijumuisha vinywaji vya kuongeza nguvu vinavyoagizwa nje ya nchi utaongezeka kutoka Sh.561 hadi Sh.589.05 kwa lita, kwa bidhaa hizo zitakazozalishwa nchini zitatozwa kiwango cha sasa Sh.561 kwa lita.

"Kuanzisha ushuru wa bidhaa wa Sh.200 kwa lita kwenye mvinyo uliotengenezwa kutokana na usindikaji wa matunda (kama ndizi, rozela, nyanya) yanayozalishwa hapa nchini tofauti na zabibu kwa kiwango kinachozidi asilimia 75, "alisema

Diamond Aamua Kula Sikukuu ya Eid Tandale

$
0
0

MATUKIO KWA PICHA : Msanii @diamondplatnumz Akiingia Maeneo ya Tandale kwa Ajili ya Kutoa Sadaka Maalum Nyumbani Kwao Ikiwa ni Sehemu ya Kuwakumbukuka Wananchi Alioishi nao Pamoja na Kuadhimisha nao Sikukuu ya Eid

Yanga Yamjibu Kibabe Mo Dewji....Kisa Mchezaji Said Ndemla

$
0
0

YANGA sasa imeamua. Katika kinachoonekana kama ni kumjibu bilionea wa Simba, Mohammed ‘MO’ Dewji, Kamati ya Usajili ya Yanga sambamba na ile ya vigogo 12 imeanza kujadili usajili wa kiungo fundi wa Simba, Said Ndemla ili atue Jangwani.

Hata hivyo, hatma ya Ndemla kutua Yanga inategemea na maamuzi ya mwisho ya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mwinyi Zahera anayesubiriwa arejee kutoka Ufaransa, ingawa tayari mabosi wawili walio nje ya kamati zote za Yanga kumaliza kazi mapema.

Ndemla hajasaini mkataba mpya na Simba mpaka sasa huku mazungumzo yakiyumba kutokana na kiungo huyo kuweka dau kubwa mezani mwa mabosi wake wa sasa na pia akiwa anaona kubaki Msimbazi ni kama kupoteza muda wake bure.

Kinachomchanganya Ndemla kwa mujibu wa chanzo makini kutoka ndani ya Yanga ni kiasi kikubwa cha ofa aliyopewa na Yanga ambayo ni mara mbili kulinganisha na ile aliyopewa na Simba.

Yanga wanatafuta kiungo mchezeshaji na akili yao wanaona Ndemla sio mbaya akipatikana lakini maamuzi kamili akaachiwa Zahera aweze kuamua kipi kitamfaa kutoka kwa kiungo huyo.

Usajili wa Ndemla upo mikononi mwa vigogo wawili ambao akili yao inataka kufanya mambo kwa weledi, lakini kama wakipata ruhusa basi watahakikisha wanapeleka jina la kiungo huyo Jangwani huku Simba ikiwa kilio.

Mwanaspoti linafahamu Simba imemwekea mezani kiasi cha fedha kisichozidi Sh40 milioni, lakini kiungo huyo alipovuka mtaa wa pili akaambiwa utachukua zaidi ya hiyo kama uko tayari sema tupeleke jina lako Ufaransa aliko Zahera kwa sasa ili atupe jibu kamili.

Mwanaspoti ndio wa kwanza kubandika habari ya Ndemla kutakiwa na Yanga kabla ya Ligi Kuu Bara mzunguko wa kwanza kumalizika.

Jana Mwanaspoti lilirudi kwa Ndemla katika kujua ukweli wa hilo alisema mkataba wake na Simba umeshamalizika na anachosubiria ni kukaa mezani na mmiliki wa klabu hiyo Bilionea Kijana Mohammed Dewji ‘MO’ na si kuongea na mtu yeyote wa kati.

“Nimemaliza mkataba nikiwa na Simba na naimani wameelewa huduma yangu niliyokuwa nikiwapa kipindi chote nikiwa hapa na sitasaini mkataba kokote mpaka nitakoposhindwana na Simba,” alisema.

“Naimani nitakutana na MO na tutaongea na kumalizana kuhusu mkataba mpya, lakini kuhusu Yanga, siwezi kusema kama wamenifuata au hawajanifuata ni jukumu la wakala wangu,” alisema Ndemla.

Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya kuivusha Yanga katika kipindi cha mpito, Tarimba Abbas alifunguka akidai baadhi ya nyota wa klabu hiyo ni mizigo na hawana hadhi, hivyo watafanya usajili wa kimya kimya kuisuka Yanga ya Kimataifa.

Tarimba alisema kwa sasa wapo katika harakati za kutafuta wachezaji watakaoweza kurejesha heshima ya timu hiyo baada ya kupoteza ubingwa msimu huu kwa watani zao Simba wanaotambia fedha za mwekezaji wao, Bilionea Mohammed Dewji.

“Kwa sasa tuna wachezaji wengi ambao wanashindwa kuleta matokeo mazuri, klabu yetu imekuwa kubwa zaidi yao, tuna jukumu la kufumua kikosi hicho na kuhakikisha tunasajili nyota wa kurejesha faraja kwa klabu, zoezi ili litafanyika kwa kushirikiana na Kamati ya Usajili, benchi la ufundi na wadau wengine wanaoitakia mema Yanga.”

Tarimba alisema wamekuja na staili ya kumfukuza mwizi kimya kimya katika kufanya mambo ya usajili na wanafanya hivyo kutokana na tabia ya baadhi ya timu kuwasajili wachezaji ambao walikuwa katika rada zao.

“Tunahitaji kuwa na timu ambayo itacheza soka na kuleta matokeo hata kama baadhi ya wachezaji wana matatizo, tunataka kuona kocha mkuu anakuwa na kikosi kipana ambacho kitafanya vizuri katika mashindano yoyote,” alisema.

Aidha Tarimba alisema kujitoa kwao kwenye michuano ya Kombe la Kagame ni sahihi kwa sababu ni vigumu kushiriki katika mashindano hayo ambayo hayakuwepo katika Kalenda ya Soka.

Alisema Yanga, Simba, Singida na JKU zilijua mapema mara baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu Bara, kutakuwa na mashindano ya SportPesa Super Cup nchini Kenya kutokana na umakini waliokuwa nao.

“Michuano hii haikuwepo katika mwezi uliopangwa na hata Yanga haikujua ili kuweka mikakati ya usajili mapema, kwa sasa wachezaji wengi hawana mikataba na wapo likizo, ni vigumu kufanya mambo hayo makubwa mawili kwa mpigo,” alisema.

Mipango ya Harusi ya Lulu Michael na DJ Majizo

$
0
0

HABARI ya mjini ni harusi itakayotingisha nchi ya mwigizaji wa filiamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’anayedaiwa kutaka kufunga ndoa na mmiliki wa Redio EFM, Francis Shiza ‘DJ Majizo.’

Taarifa za kuwepo kwa ndoa hiyo zilienea baada ya mkuu mwenye Jiji lake la Dar es Salaam, Paul Makonda kuthibitisha kwenye mitandao atakuwa mwenyekiti wa shughuli hiyo ambayo itafanyika hivi karibuni.

Katika akaunti yake ya Instagram Makonda aliandika: Nikiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi ya Bw. Majizo na Bi.

Elizabeth Michael (Lulu) nimeupitisha wimbo huu wa Mrisho Mpoto na Harmonize kuwa wimbo rasmi wa harusi yao, kuhusu tarehe za harusi endelea kufuatilia 92.5 Dodoma.”

Baada ya taarifa hiyo, wenye maneno yao wakaanza kuyasambaza. Wengine wakidai ni kiki lakini wengine wakidai habari ndio hiyo.

Mtu wa pili kuthibitisha habari hizo ni mtu wake wa karibu kabisa na Lulu, Makhsein Awadhi ‘Dk. Cheni’. Naye aliposti picha ya Majizo na Lulu wakiwa pamoja na kuandika kuna mtu mwenye swali?

Kama haitoshi baadaye akaposti picha yake na kuandika kuwa “Naitwa Dk. Cheni ni MC wa siku hiyo inayosubiriwa sijui ya nani vile mh,”akamtagi Makonda.

Unadhani Majizo alikaa kimya?

“La hasha aliposti picha inayoonyesha 95.5 Morogoro, na kuandika: “Tupo hewani kuanzia sasa hivi, namba yenu ya bahati ni 95.5 FM… Hatudaiani #ByBwanaharusi cc Mwenyekiti wa kamati kuu.” Akamtagi Paul Makonda.

Hata Mwanaspoti nalo halikukaa kimya, likamvutia waya, Lucresia Karugila huyu ni mama mzazi wa Lulu ili athibitishe au akanushe uwepo wa iyena hiyo.

“Mbona una haraka? Siku ikifika itawekwa wazi kwa kila mtu, kwa sasa siko tayari kuzungumza hilo, ila ni kweli Majizo ni mkwe wangu.”

Imebainika taarifa za Lulu kufunga ndoa na Majizo hazikuanza kusikika leo. Umbea ulianza kuzagaa tangu mwaka jana na Lulu alithibitisha wakati akikakunusha taarifa za kuachana kwao.

Hata hivyo, haikufanyika. Sababu kubwa ikitajwa ni kesi iliyokuwa ikimkabili staa huyo wa filamu.

Pia, inadaiwa mipango ya Lulu kutaka kufunga ndoa ilianza tangu mwaka 2012 lakini Mungu hakupenda ikayeyuka.

Mwaka huo, kulikuwa na taarifa za Lulu kuvishwa pete ya uchumba na msanii mwenzake, Steven Kanumba na kufikia kutambulishwa ukweni, lakini Lulu alipoulizwa hakuwa akitoa ushirikiano hadi alipokutwa na sakata la kumuua Kanumba bila kukusudia.

Kwa vile Kanumba alikuwa hatajwi katika ishu hiyo, ndipo ikafunguka kwa wadau kumbe mwanaume aliyetaka kumuoa ndiye huyo.

Habari za Lulu kutaka kuolewa hajziwahi kukoma, mwaka 2013 Lulu alipata mchumba wa kuziba pengo la Kanumba aliyejukana kwa jina la Lusekelo Samson ‘Seki’wa Mwanza. Kwa bahati mbaya naye alifariki.

Baada kifo hicho, Lulu alijiondoa katika mitandao hususan ule wa Instagram, baada ya kushambuliwa kwa matusi akihusishwa na kifo cha Seki.

Mwaka mzima Lulu alikuwa kimya.

Ulipoingia mwaka 2015 ikaanza kusikika tena kuwa Lulu amepata mchumba.

Tena ni mfanyabihashara maarufu wa jijini Dar es Salaam.

Katika mitandao ya kijamii umbeya ulisema mfanyabiashara huyo anataka kufunga ndoa na Lulu.

Mwaka 2016, ikagundulika kuwa mfanyabiashara huyo ni Majizo aliyetoka kuachana na Hamisa Mobetto na uhusiano wao ulianza tangu mwaka 2015.

Mwaka 2016, umbeya ukazidi kudai kuwa Majizo alishamlipa mahari kwa siri na hakutaka mambo ya vyombo vya habari.

Ndipo mwaka 2017 zilipozuka habari za Lulu kuachana na Majizo.

Mwanaspoti lilizungumza na Lulu na alikuwa na haya ya kusema: “Najua wapo watu wanatamani niachane na Majizo, lakini watapigwa na butwaa maana siku zinakaribia na karibu tarehe ya ndoa yangu itatangazwa.

“Kwa uwezo wa Mungu, hapo ndipo waliotamani tuachane wataziba midomo, maana natarajiwa kuwa mke halali hivi karibuni.’’

Lulu ni nani?

Akiwa na umri wa miaka saba tu, alionwa na Dk. Cheni kupitia bonanza la kuibua vipaji lililoandaliwa na nyota huyo aliyekuwa akiigiza katika Kundi la Kaole.

Dk. Cheni ndiye aliyempeleka Lulu kuigiza katika Kundi la Sanaa la Kaole ambako nyota yake ya uigizaji ikaanza kung’aa fasta.

Alionyesha uwezo mkubwa wa kuvaa uhalisia wa nafasi anazopewa kuigiza, jambo lililomtengenezea mashabiki wengi.

Mbali na uigizaji, Lulu pia amewahi kujihusisha na utangazaji kwenye Kipindi cha Watoto cha Runinga ya ITV mwanzoni mwa miaka ya 2000.

Jina la Lulu alipewa na msanii mwingine wa zamani wa Kaole, Chiki Mchome ambaye mbali na kumtaka alitumie katika filamu yake, alimsihi alitumie kibiashara kwani litamfungulia milango ya neema siku za usoni.

Walimwengu wanasubiri kuona nini kitafanyika na zaidi kumwona Lulu akiingia maisha mapya.

Gigy Money Akiri Kutomjua Baba wa Mtoto Wake, Amwangushia Zigo la Kulea Diamond

$
0
0

Gigy alikiri kuwa hamjui baba wa mtoto wake

-Mama huyo wa mtoto mmoja alisema alimchagua Diamond kuwa mlezi wa mwanawe kwa kuwa nyota huyo wa Bongo anajua kuwalea watoto

-Matamshi ya Gigy yalijiri siku chache baada ya kumteama mpenziwe na kumkashifu kwa kuwa na wapenzi wengine

Mcheza densi wa Tanzania Gigy Money alifichua kuwa mwanawe wa kike ni wa msanii maarufu wa Bongo Diamond Platinumz.

Akizungumza na jarida la Dizzim Online, Gigy alifichua kuwa hamjui baba wa mwanawe lakini aliamua kumjata Diamond kama mlezi wa mwanawe.

“Baba mwa mwanangu ni Naseeb Juma Abdul aka Diamond Platinumz. Sababu yangu kusema hivyo ni kuwa simjui baba halisi wa mwanangu. Nimeamua kumpa Diamond mwanangu. Diamond anajua kuwalea watoto na anawapenda pia. Aliniambia nimwarifu nitakapojifungua na kuahidi kukidhi mahitaji yangu ya kila wiki. Nimejifungua na mwana wangu ni wa Naseeb Juma Abdul.” Gigy alisema.

Gigy aliyasema hayo siku chache baada ya kumtema mpenziwe Moj ambaye alimkashifu kwa kuwa na wapenzi wengine na kumdhulumu wakati wa uja uzito wake.

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH mzee khamisi Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

$
0
0
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH mzee khamisi Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..

JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na Mzee khamisi Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU.

Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.
Mzee khamisi Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..

Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..

Na mengi zaidi whatsapp +255 623448511 au 0783636592 au +255 622588038
NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE...

Mama Dangote Athibitisha ‘Yeye Ndio Msemaji wa Mwisho Hata Mseme Nini”.

$
0
0
Mama mzazi wa dimaond platinumz amefunguka na kuandika katika ukurasa wake wa instagram amesema kuwa hata isemwe nini lakini pia wanatakiwa wajue kuwa yeye ndio msemaji wa mwisho katika kila kitu na kila anachosema yeye hakiwezi kupingika hata siku moja.

Kama inavyojulikana kuwa katika mitandao ya kijamii sasa hivi mama mzazi wa Diamond Platinumz amekuwa na mgogoro mkubwa na Hamisa Mobeto na mama yake pia kutokana na ukweli kwamba hamtaki Hamisa kuolewa na mtoto wake na kwa sababu yeye hataki anaamini kuwa hakuna anayeweza kupinga hilo.

Kiuhalisia mimi ndio FINAL SAY.. subirienei REALITY SHOW..on @wasafitv ntakavyoweka bayana kila kitu- Aliandika mama yake Diamond.

Lynn 'Sina Papara Kuolewa na Diamond, Mwenye Kasha Nihakikishia Atanioa ila...'

$
0
0
VIDEO Queen Irene Charles ‘Lynn’ ambaye aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na msanii wa muziki Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amesema ametulia na hana papara kwani kama Mungu amepanga aolewe na msanii huyo, lazima itokee! Akizungumza na Risasi Jumatano, Lynn alisema, hawezi kuleta drama kwenye mitandao kuhusiana na suala lake na Diamond ila anachojua yeye kama Mungu amepanga aolewe naye, itakuwa hivyo na kama siyo basi ataolewa na mwingine aliyepangiwa.

“Unajua siku zote ndoa hupangwa na Mungu hivyo kama Dai (Diamond) alipangwa kuwa wangu basi atakuwa wala sina papara, kama hajapangwa kuwa......

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume? Suluhisho Hili Hapa

$
0
0

KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME DR SITTA NDO SULULISHO LAKO tatiza, hili limekuwa likiwaasili watu wengi,sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine, kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo zipo , sababu nyingi zinazosababisha, tatizo hilo baadhi ni (i) upungufu wa vichocheo vya HORMONES ZA CETROGEN ambazo mwanaume, anapobarehe vichocheo hivi, HORMONES hizo, husaidia ukuaji wa uume

SUPER MIZIZI, ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mlija iliysinyaa,

NSHOLA ni dawa bora, ya kurudisha nguvu, za, kiume bari inatibu ,kabisa kutoa tatizo hilo, na kukupa , hamu ya , kurudia tendo, la ndoa zaidi, ya mala nne 4 ,bila kuchoka atakama unaumli ,wa mika 80,! pia ana ,dawa za ,kutibu, presha ya kupanda ,na kushuka, kisukari kuondoa, mafuta , mwilini ,na maumivu ya, mgogo kiuno, dawa zipo, matazo, ya hedhi, kwa ,wanawake hedhi, zisizokuwa na, mpangilio, na kasonono, pia , vidonda ,vya, tumbo ,(STOMACHI UCLENS) IHUSHI ndoji lako.

NKANYA ni dwa ya mvuto wa kimapenzi ,mchumba mpenzi ariyekuacha, mke mme, atakuludia kwa, mda, wa msaa3 tu , ukishaitumia atarudi ,mwenyewe bila ,ugovi tena, NKOMA ni dawa kuongeza HIPS na mguu wa bia kwa wadada .

HERBON, ni, dawa, ya kuongeza, CD4, NGAKAMA ,ni dawa ya kutibu ,miguu, kufaganzi, na ,kuwaka moto, huduma zetu ,zipo ,vizuri, popote pale dawa utaletewa! DR SITTA, amebobea, kwa tiba asilia

DAR ANAPATIKANA MBAGALA, ZAKHEM, SONGEA BOMBAMBILI SHINYANGA, KAHAMA MJINI, KWA MAELEZO ZAIDI ,

PIGA SIMU 0763172670 au 0715172670

WOTE MNAKALIBISHWA, KAMA, UTAKUWA NA TATIZOUTAHUDUMIWA,

'Calisah si Lolote, Watu Wamemjua Baada ya Kutembea na Wema Sepetu tu' Ben Breaker Aponda

$
0
0
Mwana mitindo ben breaker amefunguka na kukanusha tetesi zinazosema kuwa jina lake limekuwa likijulikana kupitia mgongo wa Calisah na kusema kuwa yeye anajulikana kupitia kazi zake na wala sio kitu kingine na amewaomba watu waache kumfananisha na Calisah kwa sababu Calisah kapata jina kupitia kutembea na Wema.

Watu wengi wamemjua calisah baada ya calisah kutoka kimapenzi na wema sepertu lakini ukiangalia mimi nimeanza kujulikana zaman kutokana na kazi zangu na sio kingine,nimeshinda tuzo za fashion nyingi tanzania na uganda pia hata nigeroia na mwaka huu tena niko naminated kuwania tuzo,kwaio mimi napata jin akutokana na kazi zangu uwezi kunilinganisha na watu wanaofanya skendo kufankiwa na kujulikana.

Calisah alipata jina sana kipindi flani kutokana na kutembea na  wema sepetu lakini baadae alikuja akapotea  kwa sababu hana kazi ya maana anayoifanya.
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live




Latest Images