Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104747 articles
Browse latest View live

Picha za Utupu za Mke wa Mchungaji Meagan Good Zavuja Mitandaoni

$
0
0
Meagan Good is one of Hollywood’s most successful and beautiful actresses. She is one beauty queen that has always killed men and her pictures have always been on the screensaver of most men. Today, Her N()de pictures were leaked to the world. As usual, Udaku Specially is always on spot to get you the Hottest and the Latest gossip in Africa and the rest of the world.
Check out the pictures:




Jack Patrick Atuma Ujumbe Mzito Kwa Watanzania Huku Akiwa Gerezani China

$
0
0
Stori: Imelda Mtema
MWANAMITINDO wa Bongo aliyepo nyuma ya nondo huko Macau, Hong Kong nchini China akitumikia kifungo cha miaka sita baada ya kukutwa na hatia ya kubeba madawa ya kulevya ‘unga’, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ ametuma ujumbe mzito kwa mashabiki wake.

Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili, rafiki wa karibu wa Jack ambaye hakupenda jina lichorwe gazetini, alisema kwamba mwanamitindo huyo amekuwa akimuandikia barua mara kwa mara lakini safari hii ametaka ujumbe wake uwafikie Watanzania.

“Amesema watu wasimhurumie kuhusu kufungwa, amesisitiza sana juu ya suala mavazi na mitindo. Amesema hapendi kuona Tanzania inayumba katika masuala ya mitindo ambayo yeye alikuwa akiiamini kwamba ni kazi ambayo inaweza kuwaingizia kipato watu wengi,” alisema rafiki huyo wa karibu.

Rafiki huyo alizidi kuweka wazi kuwa mara nyingi Jack hapendi kuwaambia juu ya maisha ya jela kwani hapendi kabisa kuwapa watu simanzi bali anapenda watu wajue anaishi maisha ya kawaida.
“Mara nyingi Jack hapendi kabisa kueleza maisha ya jela, hapendi kuwaumiza wat, anachopenda ni kujua nini kinachoendelea katika fasheni,” alisema rafiki huyo wa Jack.

Rafiki huyo alisema kuwa Jack bado anaagiza nguo ambazo alikuwa akipenda kuvaa hasa lineni nyeupe na kuwataka watu wahisi kama yupo masomoni na atarejea tu akiwa salama.
Jack alikamatwa Desemba 19, mwaka jana akiwa amebeba madawa ya kulevya aina ya Heroin yenye uzito wa kilo 1.1 katika Uwanja wa Ndege wa Macau akitokea Bangkok, Thailand kuelekea Guangzhou, China.
GPL

Nora 'Najuta Kuolewa Mapema Kama Sivyo Ningefanya Mambo Mengi na Mbali Sana '

$
0
0
Stori: Imelda Mtema
MAJUTO! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ amefunguka kuwa siku zote katika maisha yake anajuta kuolewa mapema kwani asingefanya hivyo angeweza kufanya mambo mengi na angekuwa mbali sana kisanii na kielimu.

Nora alisema kuwa kipindi alipoolewa na aliyekuwa mganga wa tiba za asili, marehemu Ngwizikulu Jilala, alikuwa akimnyima uhuru wa kuendelea na sanaa na masomo.

“Unajua kweli najuta sana mimi kuolewa mapema kama si hivyo ningeendeleza fani yangu na sasa ningekuwa mbali lakini kipindi chote cha ndoa nilisimama sikuweza tena kuigiza,” alisema Nora.
Msanii huyo amesema kwa sasa amerudi upya kwenye gemu na tayari ameandaa sinema mpya inayokwenda kwa jina la Msimamo Wangu ambayo imeshakamilika, itatoka hivi karibuni.

Moses Iyobo wa Aunt Ezekiel Amkana Mke Wake..Asema Hajaoa Bali Amezaa Tuu na Mwengi

$
0
0
Stori: Imelda Mtema
MAHABAT! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amefunguka kuwa  hajawahi kuoa wala kuchumbia bali amezaa na mwanadada anayeitwa Mwengi.

Dansa huyo ambaye hivi sasa anadaiwa kukolea kwa penzi la mwigizaji Aunt Ezekiel, alizidi kutiririka kuwa anachukizwa sana na watu wanavyomuita mume wa mtu wakati bado hajafikiria.
“Mimi jamani nimezaa na nina mtoto lakini bado sijaoa na wala sijafikiria kufanya hivyo,” alisema Moses.
GPL

Mwanamitindo Hamisa Mabeto Amwanika Mpenzi Wake na Kumwagia Sifa Kede Kede

$
0
0
MAHABA niue! Mwanadafada ambaye ni mwanamitindo Bongo, Hamisa Mabeto ameamua kumwanika mwandani wake baada ya kumuweka kwenye mitandao ya kijamii  huku akimmwagia sifa kemkem.

Akipiga stori na mwandishi wa gazeti hili baada ya kuvutiwa waya, Hamisa alisema mwanaume huyo ni mtu ambaye anampenda sana na wana malengo ya kuoana muda wowote kuanzia sasa na jina lake ataliweka hadharani soon!

Aliendelea kusema kuwa wana miezi sita mpaka sasa na amekuwa mtu ambaye anajua nini thamani ya mapenzi kwani muda wowote akimuhitaji anakuwa karibu yake.

Ni kweli ni mpenzi wangu ambaye tunapendana sana na muda wowote kuanzia sasa tutafunga pingu za maisha kama mipango yetu ikikaa vizuri,” alisema Hamisa.

Tishio la CHADEMA Kuandamana Nchi Nzima, Polisi Wakesha Wakilinda Sehemu za Wazi

$
0
0
Leo ndiyo rasmi CHADEMA imetangaza kuanza migomo, maandamano nchi nzima lakini kwa hapa Arusha mjini polisi tangu saa kumi wamejazana sehemu zote ambazo kuna uwezekano CHADEMA wakakusanyika ama kuanzia maandamano yao au kuweka kambi na cha kushangaza nimemuona na rafiki yangu ambaye ni mwanajeshi nae kajaa magwanda ya polisi nikamuuliza vipi siku hizi wewe ni polisi kaniambia hali ni mbaya sana kwa jeshi la polisi wameomba tuwasaidie.Ameomba atanipigia simu kunielezea.

Kama Mbowe Anataka Watanzania Waandamane Basi Aitangulize Mbele Familia yake

$
0
0
Kuna vitu ukisikia vinatamkwa na mtu mwenye mamlaka na anayesimamia sheria inakuongzea hasira. Leo akihojiwa na BBC DCI amesema ikiwa Mbowe anataka watananzania wamuunge mkono kwenye maandamano yake atangulize familia yake vinginevyo watanzania wajue maandamano hayo ni kinyume cha sheria.

Uhitaji mganga wa kienyeji kujua huyu anatumika na Ccm. Maneno hayo yalisemwa na Nape akiwa Pwani, sasa ili kuwafuruhisha mabwana zake anatumia maneno yale yale huku akijua anapaswa kutumia sheria na siyo mipasho. Sasa atueleze ikiwa Mbowe atatanguliza familia yake maandamano ni halali?

Aliwahi kuona Mbowe ametangaza maandamano alafu yeye akabaki nyuma? Kama yeye anaongoza maandamano utasemaje hawezi kutanguliza familia? DCI naye atangulize familia yake CCM au awe anavaa sare za chama hicho ofisini tumjue kabisa!

Mama Yangu Alinifundisha Umalaya, Kwa Siku Nilikuwa Nalala na Wanaume zaidi ya Kumi Ili Tupate Hela

$
0
0
Ukistaajabu ya Musa basi labda Hujayaona ya Juma, Nimepata e-mail kutoka kwa msichana mmoja akieleza jinsi alivyoingia kwenye Umalaya na Kuanza Kuuza Mwili wake:

Admin  Udaku Specially Mimi ni Msichana mwenye Miaka 20 tu lakini niliyopitia ni zaidi ya mwanamke mwenye miaka Thelathini , Mimi nimelelewa na Mama peke yake hata baba yangu simjui mama aliniambia kuwa baba alimwacha baada ya hali ya maisha kuwa ngumu, Nikiwa na Miaka 15 nikiwa naishi maeneo ya Mwananyamala na Mama, maisha yalikuwa magumu kiasi mama akawa analeta wanaume ndani ya nyumba usiku na hata mchana ili tupate hela ilifikia wakati wale wanaume wakija nyumbani wananitamani na kuumuuliza mama kama mimi ni mtoto wake, Siku moja mama alikuja na jamaa mmoja usiku wa manane wakiwa wamelewa sana , basi kwa vile tulikuwa chumba kimoja yule jamaa alivyoingia ndani akawa anamwambia mama ananitaka , na mama akaanza kunilazimisha kilevi nilale nae kuwa atanipa hela nyingi ,usiku ule nilijikuta nimelala na yule jamaa huku mama akiwa kalewa chakari iliniuma sana , akatuachia sh 25,000 asubuhi , basi mwendo uliendelea hivyo hivyo mpaka muda mwingine mama akawa ananiita twende nae kwenye mabaaa , ambapo tulipata wanaume mbali mbali ili tupate kipato , nami nikazoea kabisa , kwa siku nilikuwa nalala na wanaume zaidi ya kumi, kwasasa nimepanga chumba kimoja naishi kijitonyama nataka kuachana na hiyo kazi kwani siipendi nataka niwe msichana wa kawaida , nimepima ukimwi nimeambiwa sina..ila sasa sina shughuli yoyote ya kuniingizia kipato kwa sasa na elimu sina, Naomba Kama unawajua watu naweza fanya hata shughuli za ndani au kuuza Duka ili mradi niepuke na umalaya.

Madhara ya Kujichubua Ngozi na Vipodozi vya Mitaani Vya Bei Rahisi

$
0
0
"Kujichubua ndio Habari ya Mjini ...Haha Hako kamsemo nakasikia sana mitaani kutoka kwa wasichana na kweli ukiangalia wasichana Wengi hasa mastaa wetu hapa Bongo Wamejichubua Ngozi na kuonekana Weupe..Mie siwakatazi ila nawapa Onyo tu , Ukiamua kujichubua basi tumia Vipodozi Sahihi na ambavyo vimeshajaribiwa , Wengi Wanatumia Mikorogo ya Mitaani ambayo madhara yake ni kama unavyoona kwenye picha hapo juuu, na wengine wamejichubua na kushindwa kuendelea kutumia dawa sahiii ambazo ni ghali hivyo kugeukia migorogo ya mitaani ama kuacha kabisa na ngozi yao kugeuka kuwa kama ya chura ..Hao mastaa waliojichubua wanahela za kumaintain mikorogo ya Ukweli ..Kama hujajichubua ni bora usifanye hivyo..Tafuta vipodozi vitakavyo ng'arisha ngozi yako lakini si kujichubua" Udaku Specially

Sugu na Jide ni Wasanii Wasioguswa, Ukiwagusa Umepotea Kimoja, Pitia Hapa Ushuhudie

$
0
0
1. Lady Jaydee

Uyu dada ndio msanii mwenye washabiki kuliko wasanii wote Bongo, ni mwanamuziki anayeheshimika na wasanii wenzake karibu wote na wadau mbalimbali wa muziki na sekta zingine.

Aliyejaribu kumgusa Msanii yoyote anayejaribu kumgusa uyu dada unapotea yeye, wasanii waliioonja joto ya Jide ni awa wafuatao na wakapotea

Chidi benzi;
uyu baada ya kuvuma sana akawa anamchokoza uyu dada kwa kufanya mambo ya kumkosea heshima Komando leo amebakia hadithi, ameishia kuwa mteja.

Mwana FA;
uyu alikuwa rafiki mkubwa wa Jide na alimshirikisha Jide kwenye album zake zote, ata maisha ya kawaida walikuwa wakishirikiana kwenye vingi.
Mwishoni alikuja kumsaliti Jide kwa kutumika na Joseph Kusaga na Clouds kujaribu kudhoofisha mahudhrio ya show ya Jide ya kutimiza miaka 10, hii ilizua ugomvi mkubwa kati yao na baada ya hapo FA akapoteza mashabiki wake wengi sana waliomchukulia kama msanii mwenye upeo mkubwa.
Ana wimbo mpya mkali sana ‘mfalme’ ila umepotea kwa kuwa FA ameshatoka mioyoni mwa watu.

Mrisho Mpoto

Msanii uyu wa ushahiri alijiharibia baada ya kumtaka Jide amkabidhi kijiti Lina au Recho wakati wake umepita, na aliyazungumza haya kwenye jukwaa la fursa.
Baada ya hapo waliomchukulia kama mwanaharakati ambao ndio walikuwa washabiki wake wakubwa wakambeza na kumpotezea moja kwa moja.
Mpoto amebaki kupata matangazo ya serikali ila muziki umeisha na ataki kukabidhi kijiti kwa Mpoki wanaefanya style moja kama alivyomtaka Anaconda.

Ben Pol
Uyu alimwita Jide mgonjwa wa akili kupitia social networks, baada ya Jide kumtuhumu kuvunja mkataba wa kutumbuiza show yake ya kutimiza miaka 10. Kwa sasa Ben ni hadithi iliyopita.

Wapo wengi wengine ni ishu za chini ya kapeti


MR II Sugu aka Nyerere wa Rap

Uyu ndio baba wa Bongofleva na hiphop kwa ujumla. Ni msanii anayeheshimika kwa misimamo yake ‘tata’ na uwezo wa kupambania mambo mbalimbali. Historia na mchango wake kwenye muziki wa Tanzania hakuna anayeweza kumnyang’anya japo kuna waliojaribu ila wakashindwa.
Kwa sasa ameeegemea zaidi kwenye siasa, akiwa kama mwakilishi wa watu wa Mbeya mjini.

Waliomgusa

Mwana FA

Uyu FA alikuwa rafiki mkubwa wa Sugu, aligeuka adui baada ya FA kujigeuza ngao kwenye ugomvi wa Sugu na Clouds media akisimama kati kumzuia Sugu asifikishe makombora yake kwa upande wa pili (refer AntiVirus Saga). Tangia hapo FA alijipoteza ushawishi na zaidi baada ya kuharibu na kwa Jide, akajibrand upya kama kibaraka.

Roma Mkatoriki

Uyu alimdiss Sugu kwenye wimbo wake wa KKK na ukawa ndio mwisho wa Roma. Kwa sasa anatoa ngoma zinabaki kuwa habari tu kuwa Roma ametoa mpya ila zinabuma.

Bwana Misosi

Alimdiss Sugu kwenye kwenye ‘nitoke vipi’ na akafanikiwa kuvuma kwa muda . Ingawa alikuja kusahihishakauli lakini alipotea yeye akamwacha Sugu aliyemkashifu .

Joh Makini

Kwenye wimbo wake ‘ manuva’ alimdiss Sugu akisema anafanya harakati magirini. Kwa sasa Joh anasafiria nyota ya weusi maana nyimbo anazotoa baada ya hapo zinabuma.

Kuna wengine wengi tu kina Afande sele, Mox, Jafarai na wengineo wote waliomjaribu Sugu wamepotea.

Kifupi hakuna aliyewahi kuwagusa awa manguli akabaki salama.

Swali ni je, Kwa nini imekuwa hivi?

Written By  Mr Gentleman

Mez B Ajitetea Baada ya Picha Alizopiga na Wasichana Wawili Wakiwa Watupu Kuvuja

$
0
0
Member wa kundi la zamani la Chemba Squad, Moses Bushagama aka Mez B amejikuta akiingia kwenye kashfa baada ya picha alizopiga na wasichana wawili wakiwa watupu huku amewashika maziwa, kuvuja na kusambaa kwenye mitandao

Mez B amejitetea kwa kusema kuwa alilazimishwa kupiga picha hizo na maboyfriend wa wasichana hao ambao ni wazungu.

“Zile picha bwana dah hata mimi nimesikitika pia… mi nilikuwa nashoot video…sasa kuna wadada wawili walikuwa wanaoga kwenye swimming pool na maboyfriend zao wazungu Mikadi na walikuwa vifua wazi tu vile vile, sasa mwisho wa picha wakaomba kupiga picha. Actually mimi nilikataa kwa style ile, mwisho wa siku wakaja na maboyfriend zao wakawa wananilazimisha please please just do it just do it bana picha tu, director wangu mwishoni akasema ngoja tupige tu tuwaridhishe then si tunazifuta”. Amesema Mez B kupitia U Heard ya XXL ya Clouds Fm.

Mez B ameongeza kuwa tukio hilo lilitokea mwaka jana mwishoni na hajui ni nani ambaye amezivujisha picha hizo.

“Ni muda sana yaani hizo picha ni za mwaka jana mwishoni mwezi wa 12 nilipokuwa nashoot video ya shemeji, kwahiyo sasa nimeshangaa hizo picha hazikufutwa na zimesambaa na hata director mwenyewe nimemuuliza yeye mwenyewe anashangaa na kwasababu kuna dogo mmoja alikuwa anafanya nae pale kazi wakagombana, yule dogo aliondoka kwahiyo akawa anamuhisi huyo dogo atakuwa ndio amezivujisha.Director mwenyewe anasema sio yeye ofcourse ni mtu na heshima zake yaani”.
Credits:Bongo5

Makubwa:Johari Adai Hajawai Kuwa na Uhusiano wa Kimapenzi na Ray

$
0
0
Msanii mkongwe wa filamu nchini, Blandina Chagula maarufu kama Johari, ambaye ni ‘business partner’ wa msanii mwenzake, Vicent Kigosi aka Ray, amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na Ray pamoja na mipango yake ya kuolewa

Akizungumza na Bongo5 leo, Johari amesema anashangazwa kuwaona watu wakivumisha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ray.

“Mimi na Ray cha kwanza ni mtu na swahiba wake, cha pili ni kama kaka yangu kwasababu tumekaa kwa muda mrefu sana. Tumefanya kazi kama partner wangu, tuna ukaribu ambao upo kikazi zaidi na kampuni yetu, lakini uhusiano mwingine ambao watu wanauzungumzia sidhani kama upo ni maneno ya watu,” amesema. “Hatujawahi kutokea uhusiano wa kimapenzi na Ray. Unajua kuna watu wanaongea vitu vya kubuni, mimi na Ray tunafanya kazi kampuni moja na wote ni wakurugenzi kwahiyo ina maana tungekuwa tuna ugomvi tungevunja kampuni. Lakini kitu kama hicho hakipo na bado tunafanya kazi vizuri na tunaheshimiana na kila mmoja kampuni inampatia maisha mazuri. Kwa sasa sijaolewa lakini siwezi kuweka wazi sana mahusiano yangu kwa sababu muda haujafika ila muda utakapofika tutawaweka watu wazi. Nitawaweka wazi hivi mbioni kwa sababu zangu. Inaweza ikawa ni mapema zaidi ila natawataka watu wasubiri ili waone nini kitatokea,” aliongeza Johari.

Pia Johari alizungumzia jinsi ambavyo wanashare kampuni ya RJ pamoja na mipangilio ya kutoa kazi zao.

“Kazi zangu zote ninazotoa zinatoka ndani ya RJ Company lakini kwa sababu kwenye kampuni ni yetu wote na wote ni wakubwa tunapishana katika kutoa kazi,” anasema. “Pia hata wasanii ambao wanafanya kazi kwenye kampuni yetu tunajaribu kupishanisha ili kuleta manufaa mazuri katika kazi tunazofanya. Kampuni ya RJ Company ni kampuni mbayo imesajiriwa ina TIN namba, yaani ni kampuni kama kampuni nyinge kubwa na sidhani kama inaweza kuvunjika kwa sababu tulikotoka na tulipo sasa hivi ni mbali sana. Kwahiyo kampuni kama kampuni inafanya kazi zake vizuri na haiwezi kuvunjika leo wala kesho kwakuwa kila mtu ananufaika vizuri na hiyo kampuni.”

Big Up Daimond Kwa kingereza Ulichoongea Coke Studio, Matunda ya Mwalimu Wema Yaonekana

$
0
0
Katika Interview ya Coke Studio iliyofanyika Siku Kadhaa Zilizopita Akihojiwa Diamond Platnumz pamoja na Mwimbaji wa Nigeria, Diamond alijitahidi Sana kujibu Maswali aliyokuwa anatupiwa kwa kingereza na Host wa Show Hiyo, Mimi Mwenyewe nilikuwa naogopa atachapia, lakini kwa elimu ya St Kayumba aliyonayo Diamond Ki ukweli alijitahidi sana, Wasanii wengi wa Bongo Kingereza ni shida..Hongera Wema Kwa Kumbrash kijana wetu ..Diamond mwenyewe alishawahi kusema Wema Ndio Humfundisha Kidhungu…Kwi kwiii

Big Brother Africa Wamemtaja Mshiriki wa Pili Ambae Ataiwakilisha Tanzania Katika Shindano Hilo

$
0
0
Bachelor of Arts & Social Sciences graduate Laveda was born in Dar Es Salaam. She’s single and describes herself as eccentric, loving, caring, simple and fun.

Laveda is the eldest of three children, she has a younger brother and sister. She says her mom is her role model because she has moulded her over the years and inspired her in different ways ‘through the struggles and joys of life’.

Laveda says her favourite foods are pasta, minced meat and prawns. She likes to read John Grisham novels and enjoys Shakira, D’banj, Miriam Makeba, P-Square, Rihanna, Beyonce, Tiwa Savage, Yvonne Chaka Chaka and Brenda Fassie’s music. She’s a mean entertainer herself, she plays the saxophone, sings, acts and dances. She thinks she has what it takes to be a presenter. Laveda’s favourite movies include The Notebook, Titanic and Avatar.

She entered Huge Brother Hotshots to be a role model and act as a voice for Africa’s youth. Laveda says that viewers can expect ‘massive entertainment’ from her and that if she wins, she’ll give her mom some money, surprise disadvantaged children, travel and invest the rest.

The bubbly Tanzanian says her alter-ego is a go-getter. Her personal motto is to “live everyday like it were it is your last.”

Balotelli Aleta Kasheshe Dhidi Ya Mashabiki Wa Man Utd Katika Mtandao wa Kijamii

$
0
0
Polisi nchini Uingereza wameanzisha uchunguzi kuhusu tukio ambalo mshambulizi kutoka nchini Italia na klabu ya Liverpool Super Mario Balotelli alitukanwa kutokana na rangi ya ngozi yake kupitia kwa mtandao wa kijamii wa Twitter.

Polisi katika mji wa Merseyside wameanzisha uchunguzi kufuatia matusi hayo yaliyotokea baada ya mshambulizi huyo wa Liverpool kutuma ujumbe akiicheka kichapo cha Manchester United mikononi mwa timu ndogo ya Leicester siku ya jumapili.

Baloteli aliandika ''Man Utd...LOL'' na ujumbe wake ukasambazwa zaidi ya mara 150,000 na mashabiki wake.

Hata hivyo miongoni mwa mwa wale waliouona ujumbe huo walimfokea kwa kuicheka United na wakamtusi kwa msingi wa rangi yake.

Japo ni raiya wa Italia, Balotelli mwenye umri wa miaka 24 ana asili ya kiafrika.

Polisi tayari wamefunga kurasa kadha zilizotuma jumbe hizo huku wakianza uchunguzi waliozimiliki ni kina nani na wanaishi wapi iliwakamatwe na kujibu mashataka ya ubaguzi wa rangi.

Kundi linalopigania kumaliza ubaguzi wa rangi katika michezo Kick It Out lilisema kuwa baada ya kuarifiwa kuwepo kwa matusi yenye kumdhalilisha Balotelli, kundi hilo lilianzisha uchunguzi kwa ushirikiano na polisi wa mitandao ya kijamii.

Sio mara ya kwanza kwa mshambuliaji huyo kudhulumiwa kwa misingi ya rangi yake.

Balotelli ambaye alikuwa uwanjani Liverpool ilipobamizwa mabao matatu kwa moja dhidi ya West Ham mwishoni mwa juma lililopita amewahi kudhulumiwa kwa misingi ya rangi yake wakati timu ya Italia ilipokuwa ikijifua kwa ajili ya fainali za kombe la dunia mwezi mei mwaka huu .

Awali pia aliwahi kutukanwa akiwa klabu za Inter Milan na AC Milan zote za nchini kwao Italia.

Picha: Ben Pol Azua 'Zogo' Baada ya Kupost Picha ya Alicia Akiwa Mtupu

$
0
0
Mwanamuziki wa RnB Tanzania amezua balaa katika baada ya kupost picha ya mwimbaji wa kike Alicia Keys akiwa mtupu na mjamzito na kuandika ‘I Love it’ .

Picha hiyo imepokelewa kwa mitazamo tofauti ya mashabiki wanaomfuata Instagram ambapo wengine walionesha kushangazwa na kitendo hicho huku wengine wakimsapot na kumtetea wakieleza kuwa hakuna kosa kwa kuwa alikuwa anasapoti kampeni ya ‘We are Here’ inayopewa nguvu na Alicia kwa mtindo huo.

Kampeni hiyo inatafuta sapoti ya watu wote duniani wanaopenda dunia iwe na amani kwa ajili ya kuwalinda zaidi watoto. Alicia amefanya wimbo maalum kwa ajili ya kampeni hiyo na ameeleza kuwa anataka dunia nzima iuimbe.

Ingia hapa kufahamu zaidi kuhusu kampeni ya We Are Here inayolenga katika kuhamasisha amani na uzazi salama kwa ajili ya watoto wote duniani.

“It’s you and me on a mission to create a kinder and more peaceful world. The #WeAreHere Movement begins today. Read more here and thank you @nickkristof for sharing your bright voice with all of us. (Link in bio).” Aliandika Alicia kwenye post yake aliyoweka picha hiyo.

Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki:

JohnKyara: Alicia Keys ni among verY few singers wasiokuwa na skendo za nude Pics ... Currently anafanya project aliyoiita WE ARE HERE na lengo la hii project is to channel her music and her fans to social justice causes, from stricter gun laws to criminal justice reform, from gay rights to global girls’ education... Kaongea mengi Kuhusu Blood sheds huko Gaza, raping and all kinda staffs .. Na yeye kama yy kasema idea ya pic ni ku draw attention ya fans wake ili wajue wat she z doing for the world . . Mnaopaza saut kukemea jiulize mara ya mwisho kumsaidia mtu ilikuwa ni lini?. . #Instatarumbeta tuuu, na uvivu wa kutaka kujua Zaidi



Cleophaskalega: Cijui nani yake lakini ni kuzalilisha wanawake, wakati ye kioo cha jamii@ maalimswafi.

Read more at http://websta.me/n/iambenpol#a1sot4Hjof7ZJ82L.99

Jarumanunited: Kioo cha jamiii maaana yake nini nyiee acheni hizo mambo za Mwaka 47 , kamuweka tu huyo dem as it seems anaweza Akawa tayar mjamzitoo

Lilyana_g16: @iambenpol thank you for posting this, The cause is fulfilling & I think she looked super sexy pregnant way better than u judgemental, conservative & ignorant #instatarumbetazzzzzzz (or ur hoe's/bae's/wife's - whatsoever)

Harunabobani:  Mbona ts like people are talking shits....every one has the right to whatever he/she wants....respect to @aliciakeys ....jamaaa aliepost hii picha HE IS ONE OF MY FAVRTE R&B SINGER APA BONGO respect to ya @iambenpol

temy10 Yah nice @iambenpol 9h

 jurgenroc @drydenbryden watanzania wana hasira c mchezo maskin Alicia 9h

 jarumanunited Yeye kapenda kuweka kama ana kubore mu unfollow 9h

 stansylambat Ni sahihi huyu ni Alicia Keys.., Lakini Hii imekushushia Heshima kidogo.! 9h

 prostevejr nmekwazika @iambenpol 9h

 cutemy10 U know wanawake huwa hatu dhalilishwi wenyewe ndio tuna jidhalilisha my dia usitukane bure kwani huyo ben pole kaenda kumpiga pcha au kapiga mwenyewe big dada then sorry ni hili tu umeliona linatudhalilisha@cleophaskalega and @neliusneestory 9h

 misshatibu Duh this people who comments are judgemental&ignorant,they don't even no y she did that?they don't even know y u posted her

 heddyson12 Nilikuwa nakuheshimu saana wewe kama kioo cha jamii, unapost picha kama hii bwana, hacha utoto bwana wewe!

 ansiqthedonjames Tuache kama ilivyo lbda kapenda kmchek alickeys

 lilykifaluka Mmmmmmh@iambenpol,naw umezid yan nahis sasa utatuwekea uchi sasa maana duuu 9h

 nichodaffa Uyo @aliciakeys iyo pic amepiga mwenyewe n tc a campaign o a project named #iamhere so kama mtu ameipenda is t bad for him to post t. By the way even u, u r kioo cha jamii ila ujajijua tuu kama amekubore unfollow

 rklzi Nc

 marynyabenda Lakini sio poa kabisa tambua hata wewe ulikuwa humu jaribu kutustiri jamani,muheshimu sana mama kwani pepo yako ipo chini yake c et my @doble_j_2 9h

 chricsam Mnajfanya Mnamaadir Pumbavu Wengne Malaya Humu Hamna Lolote! Love @aliciakeys love @iambenpol We Post Wakuchukia Ni Mmewe SwizB Sio Nyie Watomba Watombwaji 9h

 siahkhamis Jamn majaji mtende haki isimshushie heshima aliepiga na kuisambaza imshushie jina yy??

 totochokozi Gjjgfyujbnlyqfhloiuyfuck ujkejkiekrruykyoy 9h

 moodychanday Kwan aliyepost hiyo picha na aliyepiga nani Kioo Cha Jamii zaid ya Mwenzie!!? 9h

 jarumanunited Kwani aliepostiwa hapo ni mama enu ??? Hebu muaacheni Ben wa watu malaya wakubwaa nyiee , halafu watu kama nyiee ndio mnaongoza kwa kufilanaa 9h

 hashimsagitoi Dooo?salala.. 9h

 eye_de_marie oh my God many people are so ignorant... Kama hujui sababu ya mtu kupost kitu alicho post ni bora unyamaze....kwani nini cha ajabu hapo....mbona picha za utupu mnawatch au kisa hamjulikani thats why mnakuwa wepesi wa kujudge watu....acheni ujinga wa kujifanya nyie ndo wenye heshima kumbe hamna lolote.... He posted that because he has a reason behind so stop being so fool minded.....let him do his things the way he likes...you are not God to judge him so stop the bullshit....we all have haters so if you hate @iambenpol just unfollow him ok...go live ur poor minded life you all that hate people for no reason

 leylaally92 Mmmmh ben nakukubali sana lakin tena jaman dah@iambenpol 9h

 who_iz_salmenah_bebe mmh

 suma_john @eye_de_marie well said

 cutehildambisa Jamani muache Bernard wa watu ye kakop na kupesi km anasema mkandamizajii.. Aliyekubali kupigwa hiyoo picha ndo fu***k co @aimbenpol ..mtukaneni Alicia na mmewe ### Over 9h

 d_brother_mjukuu_wa_ntimba In short ukisapot ugoro nawee ni mpenda ugoro xo means huyo ben pol ata yeye anawaza kufanya hivyo coz hajatupia comment tukaelewa alicho kiwaza kupost hiyo pic 9h

 ben_gulayi Mbona face ka alicia Keys? @ ben pol

 obi_g_mbise @lytxbaybie

 hapixlucas Nyie vp??? Kioo cha jamii gan?? Jtu zma miaka 39 lnalalama et kioo cha jamii,km hukufunzwa kwenu uctegemee ben akufunze nyambaf!! Wengne mmejaza pcha za x kwny cm zenu saiv mnajdai kioo cha jamii my foot!! Hamjui ata kwnn kapost @nichodaffa baelezeee!! Mfyuuuuuuu! 9h

 lemyjohn Wote mnaocoment kumtukana @iambenpol hamjelew hamna uelewa tuseme hyo pic benpol alienda kumpiga pic we unajua kaitoa wapi ye huyo Alicia keys mnafikir ye mjinga kama nyie hajui kama hyo pic ipo kwenye mitandao asingeirusha yye hyo benpol angeionajee wee kma huoni yee ni kioo cha jamii unfollow account yake nawala hajarusha kwa maana mbaya @#all 9h

 neliusneestory :Haufai hata kwenye jamiii msenge ww umekosa picha za kuweka k.m....

 doble_j_2 : Mh ni shidaaaaaa jamani @marynyabenda mh yetu macho

 rakwisha :I looove it tooo

 littoface Hahaa Tanzania kwa kujudge hamjambo! Loool!, @iambenpol I looove t!

 matnardmb Utakoma @iambenpol

 samirnasibu Hahahahahaha umenichekesha sna @jarumanunited.

 mwandiga Hilo nalo nenooooo @hapixlucas

 thayna_tannah I luv......2

 queenmartha1 @iambenpol

 tajiri_wa_mahaba haaaaaa jamanii mimi napita tu humu ruksa kunifollo 9h

 mwavitayamungu Asante sn @cutemy10

 eye_de_marie Thanks my....i hate these kind of people....they do nothing but judge people...if you take their phones some of them wana video za x na naked pictures ambazo hazi wasaidii chochote bt my @iambenpol posted that picture of #iamhere by @aliciakeys kwa sababu zake ila wenye akili mbili wanakimbilia kujudge bila kujua sababu zlizofanya afanye hivyo. Angepost rihana picha ya uchi wange like na ku comment "sexy" na utumbo kibao ila kisa @iambenpol amepost waananza diss eti watamshushia heshima..kwani heshima zenu zinamlisha. Wengine hata mama zenu hamuwaheshimu alafu mnabwabwaja.....go live ur lives khaaaaaaaa.....usilolijua litakusumbua so its better to SHUT UR MOUTH

 mwandiga Naungana na ww @eye_de_marie,

 lopezmrema Sas kosa lake nn???kama unaona kakuboa jiblock kila mtu Anaright yakufanya anachojisikia......binadamu bwana!!!!!bwahahaaaa love dat!!..@iambenpol

 brendamnguto Love it also soooo gooood, watu weusi bhn kama mimi mnafurahsha kioo cha jamiii kinausiana nini na hii pic sasa kwani ben yeye ndio camera men yeye ka copy na ku paste how cum mwamtukana kueeeeni na fikira sio kumtukana tuuuuu foooools nyie mnae mtukana ben maaaana mwaaandika bila kufikiria,@neliusneestory wewe ndio utakuwa msenge kwa sababu watukana mtu ambae yeye pia ameiga wataka aweke picha za ma padre na askofu na masheikh,msenge wewe mi nachukua majitu yanayo ongea without kufikiria stupid

 ridifrid Nyie hebu achen hzo kubishana msivo vijua ua right kabisaaaa @iambenpol kama unajua kiingereza na unaakil timamu analia @aliciakeys mfollow utajua maana ya hyo pcha.

Licha ya Vitisho vya Polisi Wafuasi wa Chadema Musoma Waandamana leo Kupinga Kuendelea Kwa Bunge la Katiba

$
0
0
Leo hii maandamano ya CHADEMA yameanza kutoka kata mbalimbali, wapo walioanzia barabara kuu inayotoka Mwanza kuelekea Musoma Mjini.

Wapo wanaotokea Bweri,wapo wanaotokea wilaya ya Butiama Etaro watu wote hawa wanaenda kukutania ofisi ya mkuu wa mkoa, ofisi ya mkuu wa wilaya na kwingineko kupinga bunge la katiba linaloendelea.

Sisi tunaoanzia Bweri kuelekea mjini kuanzia sasa kwani wananchama wameamua kuandamana usiku na mchana na kusitisha shughuli zote.

Makamanda wote wa Musoma tukutane mahali tulipokubaliana.

Ni shidaaah!!! Tazama Picha ya Shilole aliyoipost, Akionyesha Makalio

$
0
0
Katika pitapita leo huko instagram nkakutana na picha hii ya msanii wa kizazi kipya Shishi Baby au mamaa ya Mziwanda, kiukweli shilole anavutia sana..embu jionee mpodido huo ni nouma,

Dk.Mengi na Patrick Ngowi Waibuka na Tuzo za Wafanya Biashara Bora Africa

$
0
0
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, ameibuka mshindi wa tuzo mbili kwenye fainali ya shindano la kuwania Tuzo ya Mwaka ya Mfanyabiashara Bora Afrika (AABLA) kundi la Afrika Mashariki.

Sherehe za kutoa tuzo hizo zilifanyika jijini Nairobi, Kenya Jumamosi iliyopita.

Dk. Mengi alitunukiwa Tuzo ya Mfanyabiashara Bora Afrika kwa mwaka 2014, kutoka kundi la Afrika Mashariki. Majaji wa shindano hilo pia waliamua kumtunuku Tuzo ya Maisha ya Mafanikio kwa kuongoza katika suala la uwajibikaji kwa jamii.

Dk. Mengi ambaye pia liingia kwenye kurasa za gazeti maarufu la Forbes Africa la Julai mwaka huu wa 2014, amekuwa akichangia sehemu kubwa ya muda na rasilimali zake kwa ajili ya kufadhili kazi zinazogusa maisha ya jamii.

Kwa upande wa Tuzo ya Kijana Mfanyabiashara Kiongozi wa Mwaka, tuzo hiyo ilienda kwa Patrick Ngowi, CEO wa Helvetic Solar anayeongoza kampuni inayokua kwa kasi kwenye mtandao wa nishati mbadala katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Anaongoza wafanyakazi zaidi ya 300, akichangia kwenye ukuaji na maendeleo yanayolenga mipango ya kibiashara katika taifa la Tanzania na ukanda mzima wa eneo hili.


Shilole 'Nimekoma na Ningejua Hata Nisingejichubua'

$
0
0
MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara ambaye pia ni msanii wa filamu, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kwa alichokiona, amekoma kutumia mkorogo.
Akipiga stori na Ijumaa, Shilole alisema mwanzo alikuwa akitumia mkorogo aina ya ‘karolaiti’ lakini amegundua badala ya kumfanya awe mzuri zaidi, umemletea matatizo kwenye mwili wake.

Niseme tu kwamba nimekoma na ningejua nisingefanya jaribio la kujichubua, nimeathrika sana na sijaona faida yoyote, zaidi umeniharibia ngozi yangu,” alisema Shilole na kuongeza:
“Imefika wakati natamani niirudishe ile ngozi yangu ya asili lakini siwezi, sasa hivi nikiumia kidonda kinachukua muda mrefu kupona sababu ya huu mkorogo, warembo wanaojipenda ni bora wakaachana na mambo hayo.
Viewing all 104747 articles
Browse latest View live




Latest Images