Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104756 articles
Browse latest View live

Muone Ustadhi Ashrafu Atimize ndoto yako..Anatumia Nyota na Nguvu za Asili Kutibu

$
0
0


Muone Ustadhi Ashrafu Atimize ndoto yako. yawezekana ulizaliwa nanyota yakitajiri ila watu wabaya wameikalia mpaka sasa ikawa hufahamu chochote. Mtafute ust Ashrafu Airudishe nyota yako yakitajiri kwakupitia pete inayoendana na nyota yako. Ust Ashrafu Ananguvu zamajini katika utendaji wake.

Anauwezo wakutoa Mali kwakupitia pete nakwakupitia majini wake. Na anauwezo wakuzirudisha Mali zilizopotea kwanjia zakichawi kwakupitia Pete yakifalme Ambayo inayong'aa muda wowote nakubadilikabadilika rangi. Ust Ashrafu Ametembea baadhi ya nchi kwakuwapatia watu huduma mbalimbali. Kama vile maradhi yakisukari, presha, ukimwi, bawasiri, tezidume, mwiliwote kupooza nakutetemeka, NK. Navilevile Amewapatia wengi huduma yamvuto wa kibiashara, nayamvuto wakimapenzi.

Nawengi wametoa shukrani zao kwa ust Ashrafu namna Alivyozirudisha Ndoa zao zilizo sambaratika kwamuda mrefu. Mtafute ust Ashrafu ili akusaidie juu yamambo yako. Nahuyu ust anasaidia matatizo yauzazi, nguvu zakiume, kuwashwa mwilini, kutokwa namapere usoni nasehemu za siri, NK. Na anadawa yakumtuliza mume asiesikia nakutulia inayoitwa limbwata. Na anadawa yakumrudisha mpenzi ktk mahusiano kwamda mchache.

Na amezipatanisha familia nyingi zilizogombana. Na anauwezo wakufarakanisha maadui waliokua pamoja.

Mtafute Ustadhi Ashrafu kwa no. 0768486717-0627423037 Au Mtafute kwa whasapp 0659438578

Hizi ndio namba zake mpigie muda wowote usiogope yupo kwaajili yako. Mpigie hupate muongozo wa bure naushri. Ustadhi Ashrafu huduma zake hupatikana mahala popote utakapo muhitaji, ila sehemu kuu anapatikana Bagamoyo.

Masikini Mwarabu Fighter Apata Ajari Mbaya Apasuka Kichwa

$
0
0
BODIGADI wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Mwarabu Fighter amedai kuwa amepata ajali mbaya iliyosababisha kupasuka kichwani na kukimbizwa katika Hospitali ya Lugalo iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa ajili ya huduma ya kwanza kabla ya kupelekwa Muhimbili kwa matibabu zaidi.



Mwarabu kupitia akaunti yake ya Instagrama amewashukuru madaktari wa Lugalo kwa huduma ya kwanza lakini hakueleza ajali hiyo imetokea lini, wapi na ilikuwaje, tutaendelea kukujuza kuhsu undani wa tukio hilo.



Ameandika hivi;

“Ndugu zangu nimepata ajali mbaya sana nimepasuka kichwani ila ninawashukuru Lugalo Hosptal kwa kunipatia huduma ya kwanza sasa hivi wananikimbiza Muhimbili kwa hiyo dua zenu ndugu zangu,” amesema Mwarabu.



Ajali Yaua Mke wa Mfalme na Mwanaye

$
0
0
Ajali Yaua Mke wa Mfalme na Mwanaye
Jeshi la polisi limesema kuwa ajali iliyosababisha kifo cha mke wa mfalme wa nchi hiyo Ouk Phala ni ya kawaida nchini Cambodia.

Iliripotiwa kuwa ajali mbaya ya barabani iliyotokea jumapili asubuhi mkoani Preah Sihanouk, kusini magharibi mwa Cambodia na kusababisha majeruhi ya mwana wa mfalme wa nchi hiyo Norodon Ranariddh na kifo cha mkewe Ouk ni “ajali ya kawaida”.

Kaimu Mkuu wa Polisi nchini humo Him Yan amemlaumu dereva wa taxi Mil Saret kwa kusababisha ajali hiyo mbaya, na kwamba dereva huyo amefunguliwa mashtaka ya uendeshaji mbaya na kusababisha kifo.

 Amesema ajali hiyo imetokea kwa kuwa dereva aliendesha kwa kasi na kujaribu kupita gari nyingine, na kugongana uso kwa uso na gari ya mwana mfalme.

Nuh Mziwanda Amkana Amber Lulu na Shilole

$
0
0
Nuh Mziwanda Amkana Amber Lulu na Shilole
Msanii wa Bongo Flava, Nuh Mziwanda amefunguka kuhusu mahusiano yake na Amber Lulu na iwapo kwa sasa ana ukaribu na aliyekuwa mpenzi wake, Shilole.

Muimbaji huyo akipiga stori na Wasafi TV amesema kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na Amber Lulu kama inavyodhaniwa.

Kauli ya msanii huyo inakuja baada ya hivi karibuni kuvuja kwa video mtandaoni ikimuonesha akiwa na Amber Lulu katika mahaba mazito.

“Sijawahi kuwa na mahusiano na Amber Lulu, mabwana zake wengi pia ni watu ambao mimi nawafahamu. Hata siku kinafanyika kile kitu bwana yake mmoja alikuwepo,” amesema Nuh.

Alipoulizwa iwapo amewahi kwenda kula kwenye mgahawa ‘Shishi Ford’ wa aliyekuwa mpenzi wake, Shilole, alisema ni kitu ambacho hawazi kukifanya.

“Siwezi hata kukanyaga mguu wangu pale, siwezi na siwezi kwenda pale kula, hata mama yangu anajua kupika,” amesisitiza.

Utakumbuka baada Nuh Mziwanda kuachana na Shilole alifunga ndoa na binti aitwae Nawal hata hivyo walikuja kuachana. Baadae kabisa Shilole naye alikuja kuolewa na Uchebe.

Baada ya Bajeti Yao Kupingwa Kusomwa Bungeni Chadema Kuisambaza Mitandaoni

$
0
0
Baada ya Bajeti Yao Kupingwa Kusomwa Bungeni Chadema Kuisambaza Mitandaoni
Chadema kimetafuta mbinu mpya ya kuisambaza hotuba mbadala ya bajeti ya kambi ya upinzani bungeni kwa mwaka 2018/19.

Chadema wamesema kuanzia sasa bajeti hiyo itapatikana katika tovuti maalumu ya chama hicho.

Hatua hiyo imefikiwa ikiwa ni siku chache tangu bajeti hiyo yenye kurasa 521, kuzuiwa kusomwa ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Taarifa ya chama hicho iliyotolewa jana Juni 21 na mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano, Tumaini Makene inaeleza kuwa kama chama kinapinga na kulaani kwa nguvu zote uamuzi huo wa Bunge kuzuia kusomwa kwa hotuba ya bajeti mbadala, kinyume na Kanuni za Bunge.

“Wananchi wamenyimwa fursa adhimu ya kusikia namna ambavyo Chadema na Ukawa wangefanya ili kuwakwamua katika hali ngumu wanayopitia. Tutasambaza hotuba hiyo na kwa sasa tayari inapatikana katika tovuti ya chama,” alisema Makene.

 Alisema Spika Job Ndugai alipaswa kujisikia vibaya kwa sababu kambi rasmi ya upinzani bungeni chini ya uongozi wake, ililazimika kujichangisha na kutumia fedha kutoka mifuko ya wabunge wake kutafuta watu wa kuwafanyia utafiti, uchambuzi na kuandika hotuba, jambo ambalo lilipaswa kuwa sehemu ya wajibu wa Ofisi ya Bunge.

  “Tunatoa wito kwa Spika Ndugai atambue unyeti wa mamlaka ya mhimili wa Bunge, majukumu ya wabunge na Bunge lote kwa ujumla na asimamie sheria zote,” alisema.

Mkewe Netanyahu Ashtakiwa kwa Ulaghai

$
0
0
Mkewe Netanyahu Ashtakiwa kwa Ulaghai
Mkewe waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameshtakiwa kwa ulaghai kutokana na madai ya ubadhirifu wa fedha za umma.

Sara Netanyahu ameshtakiwa kwa ubadhirifu wa $100,000 kwa huduma za upishi katika makaazi rasmi ya waziri mkuu.

Mawakili wake wameyataja mashtaka hayo kama ya kiwendawazimu na yasio na msingi wowote.

Alishtakiwa Alhamisi pamoja na Ezra Seidoff, aliyekuwa mkurugenzi mkuu katika ofisi ya waziri mkuu.

Ofisi ya mwendesha mashtaka imesema imeamua kuwasilisha mashtaka dhidi ya wawili hao baada ya 'kuchunguza ushahidi wote na kupima uzito wa kesi yenyewe'.

Mwaka jana Mkuu wa sheria Avichai Mandelblit alitangaza kuwa anatafakari iwapo amshtaki Bi Netanyahu kuhusu shutuma hizo baada ya uchunguzi wa muda mrefu, ambao umezusha uvumi mwingi katika vyombo vya habari Israel.

Tuhuma ni zipi?
Kwa mujibu wa mashtaka, Bi Netanyahu na bwana Seidoff wanatuhumiwa kwa kuhusika katika matumizi ya fedha katiya Septemba 2010 na Machi 2013 walizotumia kununua chakula kilichopelekwa katika makaazi ya waziri mkuu na pia kuwaajiri wapishi binafsi.


Waziri mkuu Netanyahu amejibu kwa hasira kwa kile ambacho kwa muda mrefu amekiona kuwa kuandamwa kwa familia yake na wanasiasa wa upinzani.

"Sara Netanyahu ni mwanamke mwenye nguvu na heshima, na hajafanya makosa yoyote katika hatua anazochukua," taarifa katika ukurasa wa waziri mkuu wa Facebook ilisema.

Mawakili wa Netanyahu wamesema hakuna ulaghai wowote na hakujua mipangilio.

Mtu aliyeagiza vyakula ni aliyekuwa msimamizi wa makaazi hayo ambaye sasa ni shahidi wa serikali katika kesi, waliongeza.

Mambo Hadharani Kuhusu Kitenge Kumuoa Zari Huu hapa Ukweli Wote

$
0
0
Mambo Hadharani Kuhusu Kitenge Kumuoa Zari Huu hapa Ukweli Wote
 Kama ulisikiasikia minong’ono na kuona picha kwenye mitandao ya kijamii bila kujua ukweli wa ishu ya mtangazaji Maulid Kitenge kutinga Sauz, nyumbani kwa mzazi mwenzake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ na kudaiwa kutaka kumuoa, basi Amani limezungumza na Kitenge ‘live’, ameanika ukweli wa mambo ulivyo.

ISHU ILIANZA HIVI

Picha na video zinazomuonesha Kitenge akiwa nyumbani kwa Zari, zilisambaa usiku wa Jumapili iliyopita kwenye mitandao ya kijamii hususan Instagram na kuzua gumzo kwa wafuasi mbalimbali wa mitandao ya kijamii.

VIDEO ZENYEWE

Kwenye video hizo, Kitenge alionekana akiwa na watoto wa Zari akichezacheza nao huku Zari akiwa bize jikoni kuandaa msosi. Kwenye baadhi ya vipande vya video hizo, mtangazaji huyo wa EFM amesikika akimsifia Zari kuwa ni msafi na anajua kupika.

AGUSIA SUALA LA POSA

Katika vipande vingine vilivyopo mitandaoni, Kitenge alisikika akiwauliza mashabiki wake kama mrembo huyo wa Kiganda anafaa kuolewa au la.

“Nilete posa au nisilete?” alisikika Kitenge huku wafuasi wake mtandaoni wakimpa maoni tofautitofauti.

Kuna ambao walimwambia afanye kweli amuoe, kuna wengine wakamtaka amuache maana ataingia kwenye bifu zito na Diamond ambaye yupo kwenye harakati za mwishomwisho kurejesha penzi lake lililokuwa limevunjika.


KITENGE ASAKWA

Mara baada ya kukusanya maoni mbalimbali mitandaoni, Amani liliamua kumvutia waya Kitenge moja kwa moja akiwa Sauz wanaporusha matangazo ya Kiswahili ya Kombe la Dunia.

Hata hivyo, jitihada za kumpata Kitenge zilifanyika kwa siku nzima ya Jumatatu na kufanikiwa kumpata usiku wa saa nne kutokana na ubize wa kazi zake nchini Sauz.

TUJIUNGE NA KITENGE

Amani: Kaka vipi, tunataka kufahamu kuhusu picha zako na Zari zilizosambaa mitandaoni, tunaweza kujua mlikutana vipi na ‘mlispendi’ muda gani nyumbani kwake?

Kitenge: Alinialika kwake kwa lunch tu kama rafiki yake.

Amani: Rafiki yako sawa, mlikutana wapi hadi mkafikia hatua ya kwenda nyumbani kwake?

Kitenge: Kwanza tulikutana alipokuja hoteli tuliyofikia (Sauz) alikuwa na kikao na watu baadaye tukaonana hapo so kutokea hapo akanialika lunch kwake.

Amani: Oooh mbali na kupika vizuri kama tulivyosikia ukimsifia kwenye mitandao, Zari ni mwanamke wa aina gani anapokuwa nyumbani kwa jinsi ulivyomuona?

Kitenge: Ni mwanamke anayependa usafi na ni mwanamke ambaye akiwa nyumbani anakuwa mama kweli kwa kuwaangalia watoto, kuwajali pia wageni wake.

Amani: Sasa pale nyumbani kwake mbali na kula, mlifanya nini cha ziada?

Kitenge: Kanizungusha kuiona nyumba yake na anavyoishi, kwa kweli

ni mwanamke wa aina yake.

Amani: Lakini, zile video hazikuleta shida kwa mkeo Bongo alipoona unamsifia Zari kuwa anajua kupika na kuuliza kuwa upeleke posa?

Kitenge: Miye Muislamu hata hivyo na yeye Muislamu hajaolewa!

Amani: Kwa hiyo mkeo Bongo hakukunja hata mdomo?

Kitenge: Video hazikuleta shida.

Amani: Huku nchini Wabongo wamelipuka vibaya wanataka kusikia kauli yako upo ‘serious’ kweli unaweza kumng’oa Zari? Wanasema si unajua Diamond bado anataka kurudisha majeshi?

Kitenge: Si wameachana? Maana kaniambia anaishi mwenyewe na analea watoto.

Amani: Duuh sasa umemkaribisha na yeye huku? Lakini si anatambua na wewe una mke huku? (Kitenge ana wake wawili).

Kitenge: Hehe nimemkaribisha na tumekubaliana aje Agosti Dar.

Amani: Unataka kuniambia kwamba kama ataridhia unaweza kumuoa? Huoni kama italeta bifu kali kwa Diamond akija huku kwa ajili yako?

Kitenge: Hayo tutayazungumza yote!

Amani: Ok kaka nashukuru, nikutakie usiku mwema na kazi njema.

Kitenge: Ahsante usiku mwema.

UMEMUELEWA KITENGE?

Kutokana na mahojiano hayo ni dhahiri kwamba Kitenge anaweza kuingiza majeshi kwa Zari endapo watakubaliana kwa sababu amesema dini yake inamruhusu kuoa wake zaidi ya mmoja.

Na kwa vile amesema amemualika Agosti mwaka huu, tusikilizie na lolote linaweza kutokea!

ZARI VIPI?

Jitihada za kumpata Zari ili kuweza kusikia kauli yake kuhusu Kitenge hazikuzaa matunda kufuatia kuwepo na ugumu wa mawasiliano yake.

TUJIKUMBUSHE

Zari alitangaza kumwaga Diamond aliyezaa naye watoto wawili Februari 14, mwaka huu kwa kudai staa huyo wa Bongo Fleva amekuwa akimsaliti mara kwa mara.

Hata hivyo, hivi karibuni kwa nyakati tofauti Diamond na meneja wake, Hamis Taletale ‘Babu Tale’ wamefika Sauz kwa ajili ya kusaka suluhu ya uhusiano huo ambapo taarifa za awali zilieleza kwamba mazungumzo yao yalikuwa yanakwenda vizuri.
Chanzo: Global Publishers

Mambo Bado Magumu Kesi ya Babu Tale

$
0
0
 KESI inayomkabili Mkurugenzi wa Tip Top Connection, Hamis Taletale ‘Babu Tale’ dhidi ya Shehe Salum Mbonde bado inaonekana ni ngoma nzito baada ya wawili hao kuitwa tena mahakamani kwa ajili ya kupitiwa tena kwa kesi yao.  Babu Tale, akisimama kwa niaba ya wamiliki wa Tip Top Conection, alishitakiwa na shehe huyo kwa madai ya kudurufu ‘CD’ za mawaidha za Shehe Mbonde na baadaye mahakama ilitoa uamuzi kwamba Babu Tale, amlipe fidia mlalamikaji ya shilingi milioni 250 kwa kosa hilo.  Akizungumza na Amani hivi karibuni, Shehe Mbonde alisema kwamba, waliitwa Mahakama Kuu Tanzania Juni 8, na Jaji Edson Mkasimongwa, ambaye alimtaka wakili wake Mwesigwa Mhingo kuieleza mahakama historia nzima ya kesi hiyo.  “Wakili wangu alisimulia juu ya kesi hiyo yote mpaka hukumu yake, ambapo baada ya kumaliza upande wa mshitakiwa (Babu Tale), waliibua hoja kwamba aliyetoa hukumu ya kesi hiyo Jaji Augustine, alikwisha staafu na alisaini hukumu hiyo wakati akiwa ni mstaafu.  “Lakini hoja nyingine ambayo waliibua upande huo wa pili ni kwamba, Msajili wa Mahakama Kuu, Mashauri ambaye alitoa hukumu ya kesi hiyo, hana mamlaka kisheria kumpeleka jela mtuhumiwa wa kesi ya madai,” alidai Shehe Mbonde.  Shehe huyo aliendelea kusimulia kwamba, hata hivyo hoja ya kwanza ilijibiwa na mahakama kwamba hakukuwa na tatizo lolote kwa jaji Augustine kusaini hukumu yake akiwa amestaafu au la, kwani kama alianza nayo kabla hajastaafu alikuwa ana uwezo wa kuimaliza hata alipostaafu.  “Kwa hiyo mahakama ilitupilia mbali hoja hiyo ya kwanza kwani Jaji Mkasimongwa, hayupo kwa ajili ya kutengua hukumu iliyotolewa na jaji mwingine,” alisema Shehe Mbonde.  Aliendelea kueleza kwamba; “Kwa upande wa hoja ya pili, wakili wangu aliibua vifungu vya sheria vilivyoonyesha kwamba msajili ana mamlaka ya kumpeleka jela mtuhumiwa wa kesi ya madai.”  Shehe huyo alimaliza kwa kueleza kuwa baada ya mvutano mkubwa mahakamani, mahakama ilipanga pande zote mbili kukutana mahakamani Jumatatu ya Juni 25 mwaka huu.
KESI inayomkabili Mkurugenzi wa Tip Top Connection, Hamis Taletale ‘Babu Tale’ dhidi ya Shehe Salum Mbonde bado inaonekana ni ngoma nzito baada ya wawili hao kuitwa tena mahakamani kwa ajili ya kupitiwa tena kwa kesi yao.

Babu Tale, akisimama kwa niaba ya wamiliki wa Tip Top Conection, alishitakiwa na shehe huyo kwa madai ya kudurufu ‘CD’ za mawaidha za Shehe Mbonde na baadaye mahakama ilitoa uamuzi kwamba Babu Tale, amlipe fidia mlalamikaji ya shilingi milioni 250 kwa kosa hilo.

Akizungumza na Amani hivi karibuni, Shehe Mbonde alisema kwamba, waliitwa Mahakama Kuu Tanzania Juni 8, na Jaji Edson Mkasimongwa, ambaye alimtaka wakili wake Mwesigwa Mhingo kuieleza mahakama historia nzima ya kesi hiyo.

“Wakili wangu alisimulia juu ya kesi hiyo yote mpaka hukumu yake, ambapo baada ya kumaliza upande wa mshitakiwa (Babu Tale), waliibua hoja kwamba aliyetoa hukumu ya kesi hiyo Jaji Augustine, alikwisha staafu na alisaini hukumu hiyo wakati akiwa ni mstaafu.

“Lakini hoja nyingine ambayo waliibua upande huo wa pili ni kwamba, Msajili wa Mahakama Kuu, Mashauri ambaye alitoa hukumu ya kesi hiyo, hana mamlaka kisheria kumpeleka jela mtuhumiwa wa kesi ya madai,” alidai Shehe Mbonde.

Shehe huyo aliendelea kusimulia kwamba, hata hivyo hoja ya kwanza ilijibiwa na mahakama kwamba hakukuwa na tatizo lolote kwa jaji Augustine kusaini hukumu yake akiwa amestaafu au la, kwani kama alianza nayo kabla hajastaafu alikuwa ana uwezo wa kuimaliza hata alipostaafu.

“Kwa hiyo mahakama ilitupilia mbali hoja hiyo ya kwanza kwani Jaji Mkasimongwa, hayupo kwa ajili ya kutengua hukumu iliyotolewa na jaji mwingine,” alisema Shehe Mbonde.

Aliendelea kueleza kwamba; “Kwa upande wa hoja ya pili, wakili wangu aliibua vifungu vya sheria vilivyoonyesha kwamba msajili ana mamlaka ya kumpeleka jela mtuhumiwa wa kesi ya madai.”

Shehe huyo alimaliza kwa kueleza kuwa baada ya mvutano mkubwa mahakamani, mahakama ilipanga pande zote mbili kukutana mahakamani Jumatatu ya Juni 25 mwaka huu.

Instagram Yazindua Mfumo Mpya wa Video Ndefu wa IGTV

$
0
0
Instagram yazindua mfumo mpya wa video ndefu wa IGTV
Ikiwa utawaalika watumiaji wakuu wa mtandao wa Instagram kwa warsha, ni vyema uhakikishe kuwa warsha hiyo inaweza kuwafaa.

Mfumo mpya wa video ndefu inayosimama ambao utaanza kutumika kwenye mtandao wa Instagram na ambao utakuwa na app yake ni muhimu sana kwa kampuni mzazi Facebook.

Vijana wanaiona Facebook kama mtandao unaowafaa wazazi au babu zao.

Ndio sababu wao huelekea kwa Snapchat au YouTube kuweza kupata huduma za mitandao.

Hawapendi video zinazotengenezwa kwa kutumia mfumo wa zamani lakini baadala yake hutafuta mambo yaliyo na mahanjamu.

Kwa mfumo wa IGTV, Instagram sawa na vile imefanya awali, imenakili teknoljia ambayo tayari imefumbuliwa na wengine. Inaaamini kuwa matumizi yake makubwa na fedha ilizo nazo vitaiwezesha kuwa mshindi.

Instagram tayari imenakili mfumo wa Snapchart ambapo watumiaji huchapisha watakacho ni kilichochapishwa hutoweka baada ya siku moja.

IGTV haitakuwa na matangazo ya biashara lakini mkuu wa Instagram Kevin Systrom anasema hilo litabadilika karibuni.

Download Hapa Application ya Udaku Special Kwenye Simu Yako Kushuhudia Vimbwanga Mtaani na Stori za Mapenzi

Miujiza ya Maalim Khatibu Kutoka Bagamoyo Pwani

$
0
0



MAALIM KHATIBU anawashukuru wale wote wanaopiga simu za shukrani, na wale ambao bado wanamatatizo musikate tamaa kwa kuchelewa kupokelewa simu zenu,

(Rudisha mahusiano yako ndani ya masaa 72 tu)

MAALIM KHATIBU Ni  mtaalam na mnajimu maarufu wa nyota na kubashiri mambo yanayo watesa binadamu duniani kote na kupata ufumbuzi, Anatumia kitabu cha QUR'AN dawa za asili ya afrika na njiwa,

Je Umeachwa na UMPENDAE awe Mme/Mke na bado unampenda? Je Umekimbiwa na Mmeo/ Mkeo n anaishi na mtu mwingine? Je Umejaribu sehemu nyingi bila mafanikio? Mpigie simu MAALIM KHATIBU sasa hivi ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo, Anauwezo wa hali ya juu wa kusambaratisha mahusiano yao na kumrejesha kwako haraka sana na Kumfanya Atimize Ahadi zote Ndani ya Muda Mfupi Endapo Utafwata maelekezo yake,

 ZINDIKO LA NYUMBA NA BIASHARA, PETE ZA BAHATI, HUMALIZA KABISA TATIZO   HUZUIA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA, HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA, NA KUPONYA MAGONJWA SUGU, ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA ALIE MBALI AU ALIECHUKULIWA MSUKULE, KUPANDISHA NYOTA NA KUSHINDA BAHATI NA SIBU, KASAFISHA NYOTA NA KUKUPA MVUTO WA AJABU, KUTOA NUKSI NA VIFUNGO MBALIMBALI,  MAFANIKIO YA MAISHA NA UTAJIRI BILA MASHARI, NA MENGINE MENGI YA SIRI,

JE UMAHANGAIKA KUPATA MTOTO BILA MAFANIKIO? WASILIANA NA MTAALAMU HUYU KWANI YEYE HUFAULU PALE WOTE WALIPOSHINDWA, PIA UMALIZA KAZI ZILIZO SHINDIKANA NA WATAALAM WENGINE NDANI YA MASAA 24 TU,

(NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE AU MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFWATA MAELEKEZO YAKE)

Kwa ushauri na mawasiliano  zaidi Piga SIMU No:

Mobile +255 710-332103
WhatsApp +255 766-705404
Instagram: Follow@maalim_khatibu

USHAURI: Ni vyema kupiga simu kuliko kutuma sms ili upate msaada kwa wakati.

"Nimekata Tamaa na Bongo Fleva Bora Niende America." P FUNK MAJANI

$
0
0
Producer aliyetengeneza ngoma nyingi za Bongo fleva P Funk (Majani) amefunguka mambo mengi kwenye muziki ikiwemo biashara ya Muziki wa Bongo Flava Kufa....Tazama Video Hapa Chini Akilalamika

VIDEO:

"Nikimuona Idris Sultan Napagawa Kabisa." Jolie

$
0
0
Msanii anayekuja vizuri kwenye muziki wa Bongo fleva, Jolie ameweka wazi watu anaowakubali zaidi....Tazama hapa


VIDEO:

Aliyegongelewa Misumari Miwili Kichwani na Bosi Wake Amefariki

$
0
0
Mwanaume aliyepigiliwa misumari miwili na Bosi wake kichwani nchini Kenya amefariki katika hospitali ya taifa ya Kenyatta.

Robert Muchangi amefariki leo June 21, 2018 katika hospitali ya taifa ya Kenyatta alipokuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi baada ya kukumbwa na kisanga hicho mjini Meru.

Ikumbukwe kuwa Muchangi alipigiliwa misumari miwili kichwani kwake na Bosi wake baada ya kwenda kumdai fedha walizokubaliana baada ya kumjengea nyumba Bosi wake huyo.

Aidha Muchangi ameacha bili ya zaidi ya Shilingi Milioni 6 za Kitanzania katika hospitali hiyo ambazo ndugu zake wanatakiwa wazilipe.

Kwa upande mwingine ndugu zake Muchangi wamelilalamikia jeshi la Polisi nchini humo kwa kukaa kimya juu ya tukio hilo.

“Jamani Hali ni Mbaya, Watu Wanafunga Biashara” –Mbunge Hawa

$
0
0
Mbunge wa viti maalum CHADEMA Hawa Mwaifunga amelieleza Bunge kuwa wafanyabiashara nchini wamekuwa na hali ngumu kutokana baadhi ya wafanyakazi ya TRA kuwatengenezea mazingira ya kuwakamatisha ili mwisho wa wiku wapewe rushwa Tazama VIDEO:

MKE Alininyanyasa Sana Nilipofukuzwa Kazi, MUNGU Ameniona, Sasa Yamegeuka

$
0
0
Siku moja nisiyopenda kuikumbuka nilitwa ofisini kwa bosi wangu na kukabidhiwa barua ya kufukuzwa kazi
Hiyo ilikua ni baada ya uchunguzi wa miezi kdhaa wa kosa nililokua nimelifanya bahati mbaya. Miezi mitatu nyuma nilimuingizia pesa mteja kimakosa kwenye akaunti yake kiasi cha million mia tatu na hamsini ambazo alitakiwa kuwekewa Mteja mwingine halali kupata pesa hizo.

Kama humu ndani Kuna banker ataelewa nachokisema, kwamba makosa kama haya benki ni kawaida sana. Ukigundua kosa kama hili unawahi una reverse hiyo entry una m-credit anaetakiwa shida ni kama uliemwekea kimakosa akawahi kuzichukua ndipo yanakukuta yaliyonikuta mimi.

Baada ya kufukuzwa kazi mke wangu alibadilika kabisa
Nilishuhudia yafuatayo:-

(1) Alitamka mimi ni mjinga ndio maana nimefukuzwa kazi.

(2) Chake kikawa chake tu.

(3) Akawa anawaambia wazi watoto kuwa kitu fulani kimenunuliwa na yeye na sio mimi.

(4) Muda wa kurudi home ukabadilika sasa anarudi usiku mwingi, nampa kipigo cha nguvu anazira na kukimbilia kwao, kwenye usuluhishi anawaambia wasuluhishi kwamba mimi namuonea wivu kwa kuwa ana kazi mimi sina.

(5) Niliuza Gari zangu mbili ili nipate mtaji wa kufanya biashara hivyo nikawa sina Gari nilijua maadam wife ana Gari tutatumia wote maana hata yeye wakati hana Gari alikua akitumia magari yangu.

Kinyume na matarajio hakutaka kabisa niguse Gari lake mimi nikawa mtu wa miguu.Majirani wakawa wanashangaa mfumo wetu wa maisha.

(6) Life yetu ya bedroom ikawa imekufa no intimacy no love making nothing. Alianza kidogo kidogo leo mara aseme anaumwa, kesho kachoka, hadi mwezi unaisha. Nikaamua isiwe tabu nikaacha kuulizia tena, nae akawa amepotezea moja kwa moja.

Hata wazazi wangu aliwa mistreat sana wakawa hawaji tena kwangu, mama yangu akawa ananitumia vitu kwa njia basi kutoka nyumbani kama mchele, maharage, unga na kadhalika ili na mm nionekane nachangia.Wakuu siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Kila nilichojaribu kukifanya ili nijinasue kinakwama, nakuta mtaji wote unakata naanza moja.Ilikatika miaka minne nikiwa kwenye hali hii maana nilipata matatizo 2010. Mwaka Jana kuna Dada mmoja tulisoma wote primary school akaamua kunisaidia, huyu dada tulikutana Posta accidentally tukapeana contact
mimi nilishamsahau ila yeye alinikumbuka.

Baadae akaniunganisha na mumewe ambae ni HR manager kwenye shirika fulani, nikamwelezea ukweli wote na akaniingiza kaziniWife sikumwambia kuwa nimepata kazi akaanza kuona nakuja na mahitaji ndani, nikawa naondoka zangu alfajiri narudi usiku mwingi. Nikaita mafundi wakabomoa ukuta wote wa fensi uliokua umeoza waliiba sana cement wakati wa ujenzi ukajengwa upya, vitu vyote vilivyochoka ndani nikabadilisha. Wife alishangaa sana ila akashindwa kuniuliza maana hadi hapo tulikua hatuongeleshani zaidi ya salam za asubuhi na jioni tu basi.

Wana jf siwezi kuwaficha sehemu niliyopata naingiza hela Mara kumi ya ile kazi yangu ya benki, hii sikutokana na mshahara bali njia mbali mbali katikati ya mwezi kitengo chetu tupo wanne,hali ikiwa nzuri huwa tunagawana hadi laki mbili kila siku, kama hali ni mbaya tunagawana laki moja kwa siku hii ni mbali na ile tunayogawana mwisho wa mwezi kama million 3 each person mshahara ni mdogo tu ni laki saba tu kwa mwezi.Maana mshikaji alisema anaweza kuniingiza kazini ila kama mfanyakazi wa kawaida kwa kuwa benki nilifukuzwa hakukua na reference wala background check so nikaamua kufuta kwenye CV kuwa nilifanya bank.

Nimeanza mchakato wa talaka kupitia mwanasheria mmoja rafiki yangu, mwezi January mwaka huu amemwandikia barua ya kumtaarifu uamuzi huo na copy Ustawi wa jamii pia, baadae tutafungua shauri la talaka.Kinyume na matarajio yangu wife kwa kuwa alishañichoka na hakuna kinachoendelea kati yetu nilijua angekubali tu. Cha ajabu hivi sasa kupitia wazee wake wameniita kikao zaidi ya Mara 6 sasa ili tusuluhishe tofauti zetuKawa mpole sana, alidhan nitaendelea kuteseka milele

Wakuu sasa sipo nyumbani kwa hasira ya mambo aliyonitendea hivi sasa sipo nyumbani nimepanga upande wa nyumba nimeanza ujenzi ili nihamie. Kila siku lazima nipite kwa watoto niwaone ndo niondoke. Nimesimama njia panda, mm binafsi nilishaamua simtaki tena huyu mwanamke ila wazee na viongozi wa dini tunakoabudu wanasema turudiane juzi mke wangu alinipigia magoti tukiwa kikaoni kwamba nimsamehe, nifute kusudio la kuomba talaka mahakamani. Wazazi wangu hawataki kusikia kabisa neno msamahakwa matendo aliyotufanyia.


NB: Nimetaja kipato ili kuwapa mwanga na uelewa wa tatizo isichukuliwe vinginevyo

Nimesikia amepata matatizo kazini ila sina uhakika na taarifa hizo

Naomba ushauri wenu

By Christo devries/Jamii Forums

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume? Suluhisho Hili Hapa

$
0
0
KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME DR SITTA NDO SULULISHO LAKO tatiza, hili limekuwa likiwaasili watu wengi,sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine, kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo zipo , sababu nyingi zinazosababisha, tatizo hilo baadhi ni (i) upungufu wa vichocheo vya HORMONES ZA CETROGEN ambazo mwanaume, anapobarehe vichocheo hivi, HORMONES hizo, husaidia ukuaji wa uume

SUPER MIZIZI, ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mlija iliysinyaa,

NSHOLA ni dawa bora, ya kurudisha nguvu, za, kiume bari inatibu ,kabisa kutoa tatizo hilo, na kukupa , hamu ya , kurudia tendo, la ndoa zaidi, ya mala nne 4 ,bila kuchoka atakama unaumli ,wa mika 80,! pia ana ,dawa za ,kutibu, presha ya kupanda ,na kushuka, kisukari kuondoa, mafuta , mwilini ,na maumivu ya, mgogo kiuno, dawa zipo, matazo, ya hedhi, kwa ,wanawake hedhi, zisizokuwa na, mpangilio, na kasonono, pia , vidonda ,vya, tumbo ,(STOMACHI UCLENS) IHUSHI ndoji lako.

NKANYA ni dwa ya mvuto wa kimapenzi ,mchumba mpenzi ariyekuacha, mke mme, atakuludia kwa, mda, wa msaa3 tu , ukishaitumia atarudi ,mwenyewe bila ,ugovi tena, NKOMA ni dawa kuongeza HIPS na mguu wa bia kwa wadada .

HERBON, ni, dawa, ya kuongeza, CD4, NGAKAMA ,ni dawa ya kutibu ,miguu, kufaganzi, na ,kuwaka moto, huduma zetu ,zipo ,vizuri, popote pale dawa utaletewa! DR SITTA, amebobea, kwa tiba asilia

DAR ANAPATIKANA MBAGALA, ZAKHEM, SONGEA BOMBAMBILI SHINYANGA, KAHAMA MJINI, KWA MAELEZO ZAIDI ,

PIGA SIMU 0763172670 au 0715172670

WOTE MNAKALIBISHWA, KAMA, UTAKUWA NA TATIZOUTAHUDUMIWA,

Akon Kutoa Sarafu Yenye Jina Lake Senegal

$
0
0
Akon Kutoa Sarafu Yenye Jina Lake Senegal
Akon anasema kuwa anapanga kutoa sarafu ilio na jina lake itakayoitwa Akoin.

Akizungumza katika tamasha la Cannes Lions siku ya Jumatatu , mwimbaji huyo amesema kuwa anaamini kwamba sarafu hiyo ya kidijitali huenda ikaiokoa Afrika.

Tovuti rasmi ya Akoin inasema kuwa msanii huyo anataka programu hiyo kuweka katika kila simu ya rununu kati ya sasa na mwezi Disemba.

Na Akon anasema kuwa anapanga kujenga mji wa kidijitali nchini Senegal utakaokuwa na 'hali halisi ya Wakanda'.

Tovuti hiyo imefaidika na ekari 2000 za ardhi kutoka kwa rais wa Senegal ili kujenga mji huo - ambao ameutaja jina lake.

Ameutaja kuwa mji wa kidijitali asilimia 100 huku sarafu ya kidijitali ikutumika kufanya biashara.

Chini ya mazingira ya sarafu ya kidijitali ya Akoin, wateja wataweza kununua , kuhifadhi na kutumia sarafu hiyo moja kwa moja kutoka kwa simu zao za rununu.

''Inarudisha uwezo kwa raia na kurudisha usalama katika mazingira ya sarafu hiyo'', Akon alielezea.

''Pia inawaruhusu watu kuitumia kwa njia ambayo wanaweza kujiendeleza na kutoruhusu serikali kufanya mambo yanayoakwamisha maenedeleo''.

Hatahivyo Akon amekiri kwamba hajui maswala ya kiufundi ya uwekezaji huo mpya.

''Nilikuja na mradi huu hivyobasi nataka magwiji kuketi chini na kuona utakavyofanyika'', alisema.


Inatumia habari katika kodi ambayo haiwezi kutambulika kwa urahisi ili kufanyia biashara. Hatua hiyo inaifanya kuwa vigumu kutengeza sarafu bandia.

Sarafu ya kwanza ya kidijitali ni Bitcoin ambayo ilianzishwa na mtu asiyejulikana kwa jina Satoshi Nakamoto mwaka 2009.

Baadhi ya watu maarufu wameunga mkono na kuwekeza katika fedha za kidijitali kama vile Katy Perry, 50 Cent na Ashton Kutcher.

Obama Kutua Kenya Kutembelea Kijiji Alichozaliwa Baba Yake

$
0
0
Obama Kutua Kenya Kutembelea Kijiji Alichozaliwa Baba Yake
Taarifa ya kuifahamu leo June 22, 2018 ni kutoka Ikulu ya nchini Kenya ambapo imethibitisha Rais mstaafu wa Marekani Barrack Obama anatarajiwa kuwasili nchini humo katikati ya mwezi ujao.

Obama atakuwepo nchini humo kwa saa 24 tu kabla ya kupanda ndege kuelekea nchini Afrika Kusini ambako atahutubia kwenye mkutano wa 16 wa kuhusu taasisi ya Nelson Mandela.

Taarifa zinadai kuwa Obama ambaye ataambatana na mwendesha kipindi maarufu Oprah Winfrey pia atafanya mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta kabla ya kuwatembelea ndugu zake kwa mara nyingine katika kijiji cha Kogelo alikozaliwa baba yake mzazi.

Tayari wananchi wa kijiji hicho wamekwisha anza maandalizi kwa ajili ya kumpokea ndugu yao huyo kutoka nchini Marekani anayetarajiwa kuwasili July 16 mwaka huu.

Simba Wamalizana na Mavugo Wamruhusu Kwenda Mbao

$
0
0
Simba Wamalizana na Mavugo Wamruhusu Kwenda Mbao
BAADA ya timu ya Mbao FC kumtaka mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, kuziba pengo la Hababu Kiyombo, uongozi wa timu hiyo umewatoa hofu na kuwataka waende wafanye biashara kwani wao hawana shaka na mchezaji huyo kuondoka.



Mavugo ambaye alijiunga na Simba msimu wa 2016/17 akitokea timu ya Vital’O ya kwao Burundi, amemaliza mkataba na mabingwa hao na sasa ni mchezaji huru kutua timu yoyote.



Akizungumza na Championi Ijumaa, Ofisa Habari wa Sim­ba, Haji Manara, alisema kwa sasa hawana papara na usajili wa dirisha kubwa ila kama kuna timu inawahitaji kusajili wachezaji wao waende ku­zungumza hawana shida.



“Usajili tuliofanya ni ule wa kina Salamba tu, sisi Mavugo tush­amalizana naye mkataba, kama Mbao wanamtaka waje tu wafanye naye mazungumzo kwani ameshamali­za mkataba na sisi,” alisema Manara.
Viewing all 104756 articles
Browse latest View live




Latest Images