Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Waangalizi EU Kutoka Nchi 46 Waanza Kazi Zimbabwe

$
0
0

Waangalizi EU Kutoka Nchi 46 Waanza Kazi Zimbabwe
Serikali ya Zimbabwe imesema itaendelea  na uchaguzi wake wa kwanza tangu kuondoka madarakani kwa Robert Mugabe licha ya mlipuko wa bomu uliotokea mwishoni mwa wiki iliyopita.

Msemaji wa polisi nchini Zimbabwe, Charity Charamba amesema mlipuko huo ambao nusra umpate Rais Emmerson Mnangagwa alipokuwa kwenye mkutano wa kisiasa, umesababisha vifo vya watu wawili.

Waangalizi kutoka nchi 46 na mashirika 15 ya kikanda na kimataifa wataangalia jinsi uchaguzi huo uliopangwa kufanyika Julai 30 utakavyoendeshwa.

Katika uchaguzi wa urais, Emmerson Mnangagwa wa chama tawala ZANU-PF ambaye ana umri wa miaka 75 atapambana na mgombea wa chama cha muda mrefu cha upinzani cha MDC, Nelson Chamisa ambaye ana umri wa miaka 40.

 Uchunguzi uliofanywa unaonyesha kuwa wagombea hao wawili hawajaachana mbali na kinyang'anyiro kitakuwa kikali.


Rais wa Ufilipino Amtukana Mungu Amwita Mpumbavu

$
0
0
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amemwita Mungu "mpumbavu", hatua ambayo imekera sana watu katika taifa hilo lenye Wakatoliki wengi.

Kiongozi huyo amesema hayo kwenye hotuba iliyopeperushwa moja kwa moja kupitia runinga.

Aidha, amekosoa vikali hadithi ya Adam na Hawa kuhusu jinsi walivyotenda dhambi na kuondolewa kutoka kwenye neema ya Mungu.

Kadhalika, amekosoa wazo kwamba kila binadamu tangu wakati huo huzaliwa akiwa na dhambi asilia.

Bw Duterte anajulikana sana kwa matamko yake yenye kuzua utata pamoja na matusi yenye kutumia lugha kali dhidi ya wapinzani wake.

Ingawa kanisa na raia wamemshutumu kwa hilo, afisi ya rais huyo imesema alikuwa tu anaeleza imani yake binafsi.

Rais huyo amewahi kumshutumu pia Papa kwa kutumia maneneo makali na ana historia pia ya kuwatusi viongozi wengine.

Tamko la sasa alilitoa katika hotuba mji wa Davao, mji ambao alikuwa kiongozi wake kabla ya kuwania urais.

Gigy Money Afunguka Mazito Kuhusu Mwanaye "Daimond ndo Baba wa Mtoto"

$
0
0
Gigy Money Afunguka Mazito Kuhusu Mwanaye "Daimond ndo Baba wa Mtoto"
Bado ni drama tele kwa upande wa msanii wa muziki Bongo na video vixen, Gigy Money kuhusu baba mzazi wa mwanae.

Hii ni baada ya kueleza mtoto si wa aliyekuwa mpenzi wake wa siku zote, Mo J. Kila mara anapoulizwa hujibu kuwa baba wa mwanae ni msanii Diamond Platnumz.

Time hii Gigy Money ameendeleza kile alichokianza toka mwanzo kuwa Diamond ndiye baba wa mwanae.

“Sasa Diamond ndio baba mlezi, yaani kama kuna baba ubatizo, Diamond ni baba yake, lazima awe baba yake. Sasa Bongo hii baba mwingine atakuwa nani jamani, Chibu ila baba yake phisically, biologically ni huyo,” Gigy ameiambia Wasafi TV.

Gigy Money ameongeza kuwa tangu alipomueleza Mo J kuwa mtoto si wake hamuhudumii tena na hata mawasiliano hawana kwa sasa. Gigy alijifungua usiku wa kuamkia April 27, 2018 mtoto wa kike.

Wabunge Mkiikataa Bajeti ya Serikali Rais Atalivunja Bunge- Spika Ndugai

$
0
0
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kama wabunge wataipigia kura ya hapana Bajeti ya Serikali ya mwaka 2018/19, Rais atalivunja Bunge.

Spika Ndugai ametoa kauli hiyo leo asubuhi bungeni Juni 26, 2018 wakati akitoa maelezo ya kile kitakachofanyika leo saa 11 jioni ya kuipitisha bajeti.

“Endapo mlio wengi mtaikataa Bajeti ya Serikali, Bunge hili Rais atalivunja haraka,” amesema Spika Ndugai.

Baada ya kauli hiyo, minong’ono ya kutoka pande zote za wabunge ilisikika. Spika Ndugai hakuishi hapo, akasema tena:

 “Na baadhi yenu, mkirudishwa majimboni hamrudi kwa hiyo akili za kuambiwa changanya na zako.”

Amewaomba wabunge wote kuwapo bungeni ifikapo saa 11 jioni huku akisisitiza kwamba mbunge hapigi kura kwa jambo moja, bali ni kwa mfuko wote wa bajeti, kwa hiyo ni vizuri wananchi wakaelewa.

Katika hatua nyingine, Spika Ndugai amesema kuanzia sasa bendi ya muziki ya polisi, (Brass Band) itaingia bungeni kuongoza wimbo wa Taifa kabla na baada ya kikao cha Bunge kuanza.

Tumia Super Mkuyati Kurudisha Heshima ya Ndoa

$
0
0

SUPER MKUYATI ILIYO IMALA HESHIMA YANDOA super mkuyati nidawa ya mitishamba iliyo sheheni miti mbalimbali na kugundulika ina pambana na magonywa sugu

SUPER MKUYATI inanguvu (3) nainafanya kazi kwapamoja (1) itakufanya uchelewe kufika kileleni ndani ya dk 15-20 bila kuchoka (2) ina zalisha homon kwa wingi na kukufanya uwe na mbengu nyingi zenye vimeleo vya uzazi vyilivyokomaa (3) inaongeza ume mdogo uliosinyaa,kunenepesha uume na kurefusha adi nchi 5-8 na upanda sm 2-3 dawa hii haina mazala kwa mtumiaji ata kwa wazee walionaumri 60-80

SUPER MKUYATI ponyo la maradhi yako tumia Leo uone mjabu yake

OFISI YETU ZINAPATIKANA DR MTONI KIJICHI KAMAUNA NAFASI UTALETEWA POPOTE ULIPO KWALE WAMIKOANI UTATUMIWA DR GATUNDU Sm 0717777402/0768408794

Mama Atiwa Mbaroni Kwa Kumtupa Mtoto Wake Chooni

$
0
0

Rhobina Andrew (40) mkazi wa Kitongoji cha Nyatiti kijiji cha Buriba, kata ya Sirari wilayani hapa mkoani Mara, anashikiliwa na polisi akidaiwa kujifungua na kutupa kichanga kwenye choo cha shimo.


Kamanda wa Polisi Tarime/Rorya Kamishina Msaidizi Mwandamizi Henry Mwaibambe, amesema jeshi hilo linaendelea na uchunguzi na ukikamilika mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.


Amesema jeshi hilo lilimkamata Rhobina jana Juni 25 baada ya kupewa taarifa na wananchi ambako alifikishwa kituo cha polisi Sirari.


Mwenyekiti wa Kitongoji cha Buriba, Alex Chacha alisema alipigiwa simu Juni 25 na mkazi wa kitongoji hicho na kuelezwa kuwa mtoto huyo ameokotwa kwenye tundu la choo akiwa hai.


“Tulfanikiwa kubomoa choo na kutoa mtoto akiwa hai, tukamwosha kwa kuwa hakuwa amefunikwa chochote mwilini lakini wakati tunampeleka kituo cha afya akafariki dunia," amesema Chacha.

Gigy Money "Irene Sio Mzuri Ukimuona Live..Ningekuwa Mwanaume Nisingeweza Tembea Naye"

$
0
0

Bifu kati ya mwanadada Gigy Money na Irene bado linaendelea na wanazidi kutoleana maneno ya kashaf katika mitandao ya kijamii, hivi karibuni Gigy Money amefunguka na kumpinda vibaya mwanadada Irene na kumwambia kuwa hana uzuri woowte labda ile rangi ndio inayompa kiburi mjini.

katika Interview yake Gigy Money anasema kuwa Irene sio mtu wa kutamani kukutana nae personally kama watu wengi wanavyomuona alivyo huko Instagram , lakini ni msichana wa kawaida tu na hana uzuri owowte huku akiongezea na kusema kuwa kama angekuwa mwanaume baai wala hasingehangaika kutembea na Irene.

sijawahi kufikiria kumpenda hata siku moja na hata siku tunakutana i was too drunk,na nilipokutana nae sikumjua hata mana live na personal ni tofauti kabisa,mimi ni mwanamke lakini ningekuwa mwanaume wala nisingepita.


#Godseeker,
I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.

Habari Njema Kwa Wanaume Wote Wenye Matatizo ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo

$
0
0


Je unawahi hufika mapema kileleni? Je uume wako hausimami imara ipasavyo? Je hupati hamu ya kurudia tendo la ndoa? Je unamaumbile madogo ya uume?

Sasa ipo tiba sahihi inayomaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume na maumbile madogo kwa wakati.

- NGAKWA ni dawa bora ya asili inayotibu tatizo la nguvu za kiume nakulimaliza kabisa bila tatizo tena kujirudia.

- NKOMA ni dawa ya asili inayokuza na kunenepesha maumbile ya uume yaliyo madogo au kusinyaa kabisa wastani (Inch 6-7)

- Pia tunatibu matatizo mengine ya mfumo wa uzazi kwa mwanaume na mwanamke kama Ngiri, Kuvimba Korodani, Kushika au Kutia mbimba, Fangasi Sugu, Uvimbe kwenye kizazi Nk.

Dr FARU anapatikana Buguruni Dar es salaam, Piga Namba - 0755996494

HUDUMA ITAKUFIKIA POPOTE PALE ULIPO.

Kolabo Yangu na Ali Kiba Imenipa Mafanikio Makubwa-Nuh Mziwanda

$
0
0
Kolabo Yangu na Ali Kiba Imenipa Mafanikio Makubwa-Nuh Mziwanda
Mwanamuziki wa muziki wa Bongo fleva Nuh Mziwanda amefunguka na kudai wimbo wake wa ‘Jike shupa’ aliomshirikisha Ali Kiba ndio wimbo wake uliompa mafanikio makubwa.

Mwezi uliopita Nuh Mziwanda alianika Rasmi mjengo wake mpya ambao alikuwa anajenga na sasa anaweka wazi kuwa pesa za mjengo huo zinatoka katika ile Kolabo na Ali Kiba ambayo ilimpa Tour nchi nzima.

Nyumba ni yangu na katika ujenzi nilikuwa namshirikisha sana mama yangu, yeye ndio aliyekuwa anashughulika na mafundi. Mimi sikuwa nafuatilia, kipindi kile ndio nilikuwa nimeachia Jike Shupa, nilifanya tour Tanzania nzima, chaka to chaka wilaya kwa wilaya.

Nilikuwa nikipata pesa yangu kidogo kidogo namtumia mama anajenga, kwa hiyo mimi narudi huku nakuta nyumba imefika sehemu nzuri kwa sababu nakumbuka nilikaa miezi mitatu”.

Kolabo hiyo ndio moja ya nyimbo pekee ya Mziwanda aliyofanya vizuri kwani ina viewers milioni mbili Kwenye mtandao wa Youtube.

Mwalimu Aliyemfundisha Diamond Kingereza Afunguka Kuifundisha WCB Nzima

$
0
0
Mwalimu Aliyemfundisha Diamond Kingereza Afunguka Kuifundisha WCB Nzima
Mwalimu alyemfundisha msanii mkubwa tanzania diamond platinumz kingereza maefunguka na kusema kuwa yeye ndie alimfundisha diamond kingerza na alikuwa mwanafunzi mzuri na mwenye jitihada sana alipokuwa akisoma kozi hiyo.

Hata hivyo mwalimu huyo amefunguka na kusema kuwa kwa sababu ya kufanya vizuri kwa diamond, alijikuta anapewa tenda ya kuwafundisha wasanii wengine wa wcb akiwemo harmonize.

Diamond platinumz, Diamond he was very smart na kuna muda mwingine alikuwa akiwa ananirudisha nyumbani tukiwa kwenye gari unakuta ameshika na kitabu huku anasoma.

Hata hivyo, mwalimu huyo alipoulizwa kuhusu kingereza cha harmonize iliyofanyika hivi karibuni alipokuwa Nigeria alijibu na kusema kuwa mambo haya kwenda vizuri kidogo lakini kila kitu kitakuwa sawa.

Alishawahi kunipa deal nikafundisha WCB wote, nilimfundisha Momo,Nikamfundisha Harmonize,Rich , Rayvany.kuhusu mahojiano ya harmonize ni kwamba darasa lilikuwa gumu kidogo.

Casto Dickson Atoboa Siri ya Kuchora Tattoo Ya Tunda

$
0
0
Casto Dickson Atoboa Siri ya Kuchora Tattoo Ya Tunda
Mtangazaji wa kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds Tv, Casto Dickson amefunguka na kutaja sababu zilizomsukuma mpaka kufikia uamuzi wa kuchora tattoo ya jina la Tunda mkononi mwake.

Siku ya jana Casto alianika tattoo yake mpya Kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuonyesha jinsi gani amekolea kwa mpenzi wake huyo mpaka kuamua kuchora Jina lake.

"Kikubwa kilichonifanya ni mapenzi tu na tunda hajawahi kunishawishi ila mimi nimeamua kuchora tatuu kwenye mwili wangu naamini mimi ni wangu wa maisha japo mungu anapanga kila kitu japo nimeyapanga mengi" Casto

Jeshi la Polisi Lasitisha Utoaji wa Ajira Mpya Zilizotangazwa

$
0
0
Jeshi la Polisi Lasitisha Utoaji wa Ajira Mpya Zilizotangazwa
Jeshi la Polisi limetangaza kusitisha utoaji wa ajira zilizotangazwa kwa vijana wa JKT waliopita oparesheni Kikwete ambazo zilikuwa zimetangazwa katika vyombo mbalimbali vya habari nchini.

Taarifa hiyo imetolewa na Ofisi ya Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Mussa Taibu leo akielekeza kwa wote ambao wameshatuma maombi na ambao wana nia ya kutuma.

Pam D Afunguka Jinsi Wasanii Wa Kike Wanavyokatishwa Tamaa na Wapenzi wao

$
0
0
Pam D Afunguka Jinsi Wasanii Wa Kike Wanavyokatishwa Tamaa na Wapenzi wao
Mwanadada  Pam d amefunguka na kusema kuwa mara nyingi mahusiano pia uwakwamisha sana wakina dada na kujikita wanakata tamaa kabisa ya kufanya kazi za sanaa.Akielezea kwa undani zaidi, pam d anajitolea mfano wake na kusema kuwa hata yeye mpenzi wake aliwahi kumzonga sana kila napopata sapoti kutokwa kwa msanii wa kiume.

sijawahi kuachana na mwanaume kisa muziki lakini ushauri na kulalamika pam sijui nini na kukorofishana ndo kwingi sana,na kuhisiwa kuwa unatoka na msanii mwingine kisa muziki ni mara nyingi kwa mfano unaona labda diamond kakupost sana anaanza kuuliza kwanini wewe na sio msichana mwingine,

na hii imekwamisha wasichana wengi sana ktika muziki na katika game ndo  sababu hakuna wasichana wengi katika game kwa sababu hiyo,na wasichana sisi sijui tukoje unakuta ukishaambiwa hivyo basi na wewe unakuwa kama umepunguzwa makali

Pam d anasema kuwa miwsho wa siku wadada wengi wanaishia kuolewa na kufuata kile anachokitaka mwanaume kwa sababu tu mwanaume anakuwa alikwisha mkatisha tamaa siku nyingi.

Vilio Vyatanda Mazishi ya Watu 6 wa Familia Moja Kati ya 14 Waliokufa kwa Ajali Mkuranga

$
0
0
Vilio Vyatanda Mazishi ya Watu 6 wa Familia Moja Kati ya 14 Waliokufa kwa Ajali Mkuranga
SIMANZI imetawala katika eneo la Ngunguti wilayani Mkuranga mkoani Pwani ambako watu 10 wa familia moja ni kati ya 14 waliofariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea jana eneo la Dundani.



Ajali hiyo ilihusisha lori lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mkuranga kupoteza mwelekeo na kugongana uso kwa uso na Toyota Hiace iliyobeba abiria 18 waliokuwa wakielekea Msata kwenye mahafali.



Wakizungumzia ajali hiyo ndugu wa marehemu wamesema kuwa wamepokea kwa majonzi taarifa za vifo vya ndugu zao huku wakisema tukio hilo si la kwanza kutokea katika eneo hilo hivyo kuwataka madereva kuwa makini.



Mmoja wa majeruhi katika ajali hiyo Mohammed Rashidi ameeleza kisa cha ajali hiyo Hata hivyo Mwenyekiti wa Kitongoji cha kiloweko Omary Hamza ametoa ushauri kwa madereva wa magari makubwa kuzingatia sheria za usalama wa barabarani kutokana na wengi wao kuwa wabishi.

Simba Yakamilisha Usajili wa Kagere Kutoka Gor Mahia Mshahara Kufulu

$
0
0
Simba Yakamilisha Usajili wa Kagere Kutoka Gor Mahia  Mshahara Wake Hatari Tupu
Mabingwa wa soka nchini klabu ya Simba imekamilisha usajili wa mshambuliaji Meddie Kagere kutoka klabu ya Gor Mahia ya Kenya. Kagere ambaye ni raia wa Rwanda amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo.

Dau la usajili wa mshambuliaji huyo ambaye amewika na klabu ya Gor Mahia kweney mashindano mbalimbali msimu uliopita ikiwemo michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika limetajwa kuwa ni dola 60,000 zaidi ya milioni shilingi 120.

Mbali na dau hilo la usajili ambalo linatua kwa klabu yake ya Gor Mahia, Kagere amesaini kulipwa mshahara wa dola 5,500 sawa na shilingi milioni 11 kwa mwezi pamoja na kupewa gari na nyumba ya kuishi yenye kila kitu.

Kagere ni miongoni mwa washambuliaji ambao walijizolea umaarufu kweney ukanda huu wa Africa Mashariki na kati baada ya kufunga mabao 3 kwenye michuano ya SportsPesa Super Cup nchini Kenya na kuisaidia timu yake ya Gor Mahia kuibuka mabingwa wa michuano hiyo.

Mnyarwanda huyo anaungana na nahodha wa timu yake ya taifa Haruna Niyonzima ambaye naye atakuwepo Simba kwa msimu wa pili sasa baada ya kusajili msimu uliopita akitokea Yanga. Hata hivyo Gor Mahia imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Vipers ya Uganda Erisa Ssekisambu kwaajili ya kuziba nafasi ya Kagere.

Gigy Money Afunguka Mazito Beef Yake na Nai wa Moni Centrozoni "Hayupo Sawa Mwizi Aliniibia Mswaki na Chaji"

$
0
0
Gigy Money Afunguka Mazito Beef Yake na Nai wa Moni Centrozoni "Hayupo Sawa  Mwizi Aliniibia Mswaki na Chaji"
Msanii wa Kike kutoka kiwanda cha Burudani Nchini Gigy Money na rafiki yake wa karibu video vixen Nai ambaye ni mpenzi wa Moni Centrozoni ambaye imeonekana kama gigy kumfanyia unafki mwanadada huyo adi kufikia Nai na Moni Kuachana kupitia Wasafi TV Gigy ameamua Kufungukia beef hiyo ilivyokua.

 " Nai aliniita mm mnafki mimi kweli ni mnafki wa vyeo na vyeti na CV ninayo yeye anatoka huko na kuja kwangu kumponda mpenzi wake anataka nimshauri,  mimi siwezi zaidi nitampa namna ya kuachana naye na kumuumiza, mimi yangu na moj yananishinda na sijawahi kumuomba ushauri yeye ndo mswahili ila asitegemee nimwambie aende kumbembeleza mwanaume wake alale naye yaishe mimi sipo hivo ukija kwangu ntakushauri namna ya kumsahau tu na si mengine" alisema Gigy.

Gigy amesema ugomvi ulianza baada ya yeye kumwambia ukweli Nai kuwa Moni anamsaliti kwa mwanamke mwingine ambaye alifika kwake na kumpamba na kuona moni amempigia simu huyo mwanamke akaona si makosa kumwambia shoga yake huyo na si kumpelekea maneno ya kinafki ili kuwagombanisha.

 "Siku mnafki kama anavyo dai kwanza nisije kumzalilisha Nai anatabia ya wizi alikuja kwangu akaiba mswaki siku nyingine nilienda naye kuchukua hela ya mtoto kwa baba yake aliiba chaji ya simu yeye ni mdokozi ambao unamualibia CV Aaache hiyo tabia wezi sisi tunakuibia mchana peupe na wewe upo hapo hapo " aliendelea gigy

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume? Suluhisho Hili Hapa

$
0
0
KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME DR SITTA NDO SULULISHO LAKO tatiza, hili limekuwa likiwaasili watu wengi,sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine, kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo zipo , sababu nyingi zinazosababisha, tatizo hilo baadhi ni (i) upungufu wa vichocheo vya HORMONES ZA CETROGEN ambazo mwanaume, anapobarehe vichocheo hivi, HORMONES hizo, husaidia ukuaji wa uume

SUPER MIZIZI, ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mlija iliysinyaa,

NSHOLA ni dawa bora, ya kurudisha nguvu, za, kiume bari inatibu ,kabisa kutoa tatizo hilo, na kukupa , hamu ya , kurudia tendo, la ndoa zaidi, ya mala nne 4 ,bila kuchoka atakama unaumli ,wa mika 80,! pia ana ,dawa za ,kutibu, presha ya kupanda ,na kushuka, kisukari kuondoa, mafuta , mwilini ,na maumivu ya, mgogo kiuno, dawa zipo, matazo, ya hedhi, kwa ,wanawake hedhi, zisizokuwa na, mpangilio, na kasonono, pia , vidonda ,vya, tumbo ,(STOMACHI UCLENS) IHUSHI ndoji lako.

NKANYA ni dwa ya mvuto wa kimapenzi ,mchumba mpenzi ariyekuacha, mke mme, atakuludia kwa, mda, wa msaa3 tu , ukishaitumia atarudi ,mwenyewe bila ,ugovi tena, NKOMA ni dawa kuongeza HIPS na mguu wa bia kwa wadada .

HERBON, ni, dawa, ya kuongeza, CD4, NGAKAMA ,ni dawa ya kutibu ,miguu, kufaganzi, na ,kuwaka moto, huduma zetu ,zipo ,vizuri, popote pale dawa utaletewa! DR SITTA, amebobea, kwa tiba asilia

DAR ANAPATIKANA MBAGALA, ZAKHEM, SONGEA BOMBAMBILI SHINYANGA, KAHAMA MJINI, KWA MAELEZO ZAIDI ,

PIGA SIMU 0763172670 au 0715172670

WOTE MNAKALIBISHWA, KAMA, UTAKUWA NA TATIZOUTAHUDUMIWA

Kajala- Sina Urafiki na Wema, Nina Marafiki Wapya

$
0
0
Kajala- Sina Urafiki na Wema, Nina Marafiki Wapya
Muigizaji wa Bongo movie Kajala Masanja amefunguka kuhusu urafiki wake na msanii mwenzake Wema Sepetu na kudai kwa sasa hawana urafiki tena.

Wema na Kajala walikuwa marafiki wakubwa sana mara baada ya Wema kumlipia Kajala shilingi milioni 13 katika kesi yake lakini urafiki huo ulivunjika baada ya Kajala kumsaliti Wema na kumuibia mwanaume wake.

Baada ya uadui wa miaka kadhaa mwaka jana Wema na Kajala walionekana kulimaliza bifu lao baada ya Wema kumtumia Kajala salamu za siku ya kuzaliwa.

Kwenye mahojiano aliyofanya na Global Publishers  Kajala anaweka wazi kuwa hana urafiki na Wema na kusisitiza ana rafiki yake mwingine ambaye amemtaja:

Kuhusu suala la urafiki wangu na Wema yameshapita hayo na mimi kwa hivi sasa nina marafiki zangu wengine kabisa na rafiki yangu kipenzi ambaye anajua mambo yangu yote ni Lamata”.

Lakini pia Kajala alikataa Tetesi za kutaka Kuolewa na Kigogo hivi karibuni lakini amekiri ana mpango wa unalipa Kwenye mjumba wake wa kifahari.

Umesikia Kuhusu Bifu ya Dudu Baya na Mwanawe Willie? Basi Wille Kafunguka Makubwa, Agoma Kuomba Msamaha

$
0
0
Baada ya kufanya mahojiano maalum na mwanamuziki mkongwe wa Hip Hop Bongo, Dudu Baya, kuhusiana na sakata la kudaiwa kumtelekeza mwanae Wille, Global TV imeamua kutia maguu mpaka katika Fukwe za Coco Beach na kumtafuta Wille ili aweze kuelezea mkasa mzima wa yeye kutengana na Baba Yake mzazi.

 Fuatilia Video hii Mwanzo Mwisho uweze kuelewa kilichosababisha mtafaruku huu wa baba na mwana.

VIDEO:

Dawa Bora za Nguvu za Kiume na Kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa

$
0
0

Baada ya utafiti wa muda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka sasa  

MWASELE HERBAL CLINIC. inakuletea suluhu juu ya matatizo haya kwa kutumia dawa za   

FULL POWER .ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu zakiume. dawa hii ina mchanganyiko wa kutosha kuzalisha vichocheo vingi vya hormone za gestrogen ziwemo vitamin B6&B1, vitamini E pamoja madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na muzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi na kuchelewa kufika kileleni zaidi ya dakika 20-30. ZAT 50 inarudisha maumbile ya uume yaani kurefusha na kunenepesha ulefu nchi 3-7, upana cm, 3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukitumia maumbile yatabaki kuwa hivyo siku zote . pia tunatibu matatizo mengine kama presha, kisukari , ngiri ,chango la tumbo,tumbo kujaa gesi, kutokupata choo vizuri,miguu kuwaka moto,matatizo ya uzazi, bawasili namagonjwa yazinaa kama kisonono nakaswende.   

Tunapatikana DAR ES SALAAM. SHINYANGA NA ZANZIBAR. kwa wakazi wa dar es salaam utaletewa huduma hii popote ulipo . wa mikoani tunawatumia kwanjia ya mabasi .   

Wasiliana nasi kwa sim no 0717702227 au 0754568767.DR . SAGUDA nyote mnakaribishwa
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images