Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live

Alichokisema Mbunge Hamidu Bobali Muda Mfupi Baada ya Kutimuliwa Bungeni

0
0

Muda mfupi baada ya mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge na Spika Job Ndugai, amesema chanzo ni uamuzi wake wa kutaka kueleza ukweli kuhusu suala la ushuru wa Korosho.


Bobali ametimuliwa nje ya ukumbi wa Bunge leo mchana baada ya kuibuka mvutano kati yake na Ndugai.


Bobali amesema alisimama kupingana na maelezo yaliyokuwa yakitolewa na mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel kwa madai kuwa alikuwa akilipotosha Bunge.


“Nilishindwa kuvumilia ndio maana nilitaka kumpata taarifa Dk Mollel kuhusu ukweli wa masuala ya korosho. Sikupendezwa na maelezo yake wakati wa mjadala wa Muswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2018,” amesema.


“Hata hivyo nashukuru Mungu kwa kuniepusha kwa sababu sitaki kuwa sehemu ya watu watakaopitisha sheria hii ambayo naona inakwenda kuua zao la Korosho hasa kwa watu wa mikoa ya kusini,”amesema Bobali na kusisitiza kuwa sasa anarejea kwa wananchi wa jimbo lake kuwaeleza kuhusu suala la Korosho.

Ijue misingi ya Uvumilivu katika Ndoa

0
0

Ni wazi kuwa migogoro kwenye uhusiano wowote ule ipo, hasa pale wenza hao wasipopeana nafasi ya kusikilizana. 

Kila siku narejea hii hoja kuwa, hata kwenye uhusiano wa mapenzi lazima kutakuwepo na mikwaruzano ya hapa na pale jambo la msingi ni namna ya kushughulikia misuguano hiyo bila kuibua chuki na hatimaye kuvunja uhusiano. 

Hata katika uhusiano wa kawaida, mikwaruzano na misuguano ni kama kukanyaga bomu, bila kuchukua tahadhari na kutegua bomu lenyewe, ukiondoa mguu mtu bomu hilo linalipuka na kuharibu kila kitu. 

Uvumilivu ndio jibu kubwa kwa wenza endapo itatokea kukwaruzana au kutoelewana. 
Endapo mwenza wako amekuudhi na kukupandisha hasira jambo la msingi kabisa ni kuhakikisha unadhibiti hasira hizo. Jaribu kuelewa kwanza tatizo kabla hasira hazijakuathiri na kukutawala. 

Kumbuka kuwa hasira hasara na siku zote mtu mwenye hasira huzungumza na kufanya mambo ambayo baadaye hujikuta akijilaumu. Lakini pia watalamu wa masula ya mahusiano wanasema ya kwamba siku zote epuka kuchukua maamuzi ukiwa na hasira. 

Unapotokea msuguano katika mapenzi epuka kuwa mzungumzaji na mlalamishi, kuwa mtulivu na tanguliza busara mbele kabla ya kutamka chochote kinywani kwako. 

Huo ndio msingi wa uvumilivu. 
Katika hili, vitabu vingi vya uhusiano vinashauri kuwa endapo mwenza anaona hali na mazingira ya mazungumzo hairidhishi kutokana na ugomvi wenyewe ni bora kuahirisha mazungumzo hayo na kupanga muda mwingine wakati wote wawili wakiwa wametulia.

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

0
0
Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU

 0753471612/ 0715249530
0623 386 305

DR KUZENZA

Rais Magufuli Kufanya Ziara ya Kihistoria Nchini Kenya

0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuzuru nchini Kenya mwezi ujao katika ziara ambayo itakuwa ya kihistoria.


Uhuru Kenyatta na Rais Magufuli kwenye picha alipofanya ziara ya kwanza nchini Kenya mwaka 2016

Rais Magufuli kwenye ziara yake ataungana na Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani nchini humo Raila Odinga na kisha kutembelea katika Kaunti ya Nyanza.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na gazeti la Nation la nchini Kenya limeeleza kuwa Rais Magufuli anatarajiwa kuwasili nchini Kenya Ijumaa ya wiki lijalo.

Gazeti hilo pia halijaeleza ziara hiyo itakuwa ya siku ngapi na itakuwa na lengo gani katika kipindi hiki ambacho Rais Uhuru Kenyatta na Odinga wameonekana kupatana na kuweka tofauti zao za kisiasa kando.

Hii ni mara ya pili kwa Rais Magufuli kuzuru nchini Kenya ni baada ya kuzuru mwaka jana ambapo alikutana na Rais Uhuru Kenyatta.

Hata hivyo, Rais Magufuli hata kabla ya kukutana na Kenyatta mwaka 2016  kwenye ziara yake nchini Kenya mwaka huo huo alitembelewa na Raila Odinga kijijini kwake Chato..

Ziara hiyo inakuwa ni ya kihistoria na ya kwanza kwa Rais Magufuli kukutana na viongozi hao wawili na wenye nguvu zaidi kwenye siasa za Kenya.

DC Madusa Awajia Juu Baadhi ya Wakemia Serikali Ambao si Waaminifu

0
0
DC Madusa Awajia Juu Baadhi ya Wakemia Serikali Ambao si Waaminifu
Mkuu wa wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya, Rehema Madusa amesema kuwa kuna baadhi ya wakemia wilayani humo ambao si waaminifu na wanatumia vibaya taaluma yao kwa kuwaibia wananchi dhahabu.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya matumizi ya kemikali kwenye madini, amesema kuwa mbali na kuwanyima haki yao wananchi, wakemia hao pia wamekuwa wakiikosesha serikali mapato.

Mkurugenzi wa idara ya usimamizi na udhibiti kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Christopher Nyambo amesema kuwa kwa mujibu wa sheria kila mtu anayejihusisha na matumzi au usambazaji wa kemikali anapaswa kusajiliwa na kupata mafunzo maalum.

Aliwataka watumiaji wote wa kemikali kujisajili na kuwa waaminifu ili kuepusha athari za kiafya na mazingira zitokanazo na matumizi yake

Baada ya Kunusurika Kwenye Ajali Hii Hapa Kauli ya Mwarabu Fighter

0
0
Baada ya Kunusurika Kwenye Ajali Hii Hapa Kauli ya Mwarabu Fighter
BAADA ya kupata nafuu kutokana na ajali aliyopata mnamo June 22, 2018, Bodigadi wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Mwarabu Fighter amesema kuwa kama si mipango ya Mungu basi angekuwa ameshafariki dunia kutokana na ajali hiyo.

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuiona siku ya leo maana kama sio mapenzi yake inawezekana kabisa leo hii nisinge kuwepo kutokana anajali mbaya sana nilio nusurika…🙏

Wapandishwa Kizimbani kwa Kughushi Risiti za Mashine za Kieletroniki

0
0
Wapandishwa Kizimbani kwa Kughushi Risiti za Mashine za Kieletroniki
Wafanyabiashara wanne na mkulima mmoja wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka tisa ya kughushi risiti za mashine za kieletroniki (EFD) za kampuni mbalimbali.

Wakili wa Serikali, Christopher Msigwa leo Juni 28, 2018 mbele ya hakimu Augustine Ruizile amewataja  washtakiwa hao kuwa ni   Cost Nsolo (23) mkazi wa Mbagala, Monica Manase Mnuna (34) mkazi wa Kimara, Sumo Laurent Njige (45) mkazi wa Kimara, Maulid Ally  Mchila (38) mkazi wa Kigamboni pamoja na Brian Paul Minja (43) mkulima na mkazi wa Tabata.

Baada ya Msigwa kusomewa mashtaka hayo washtakiwa wote waliyakana na upande wa mashtaka ulidai  kuwa upelelezi bado haujakamilika.

Hakimu Ruizile alitoa masharti ya dhamana kwa washtakiwa hao, kutaka kila mshtakiwa kuwa na wadhamini wawili na kila mdhamini atasaini bondi ya Sh 5 milioni.

Washtakiwa walikamilisha masharti hayo ya dhamana na kuachiwa huru. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Julai 13,2018.



Tunatibu na Kuponesha Kabisa Tatizo la Upungufu wa Nguvu za Kiume, Busha Bila Kupasua na Vidonda vya Tumbo

0
0

TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME BUSHA BILA BILA KUPASUA NA VIDONDA VYA TUMBO: kwa nini uhendelee kuteseka NA kujiona mpweke pale ukutanapo NA mke au mpenzi wako kwa sababu tu hunaupunguvu wa nguvu za kiume na uume mdogo

MAPRO POWER NO 2 ndio tiba sahii ya kukurudishia heshima ya ndoa yako 1 itakufanya uchelewe kufika kileleni mda wa dakika 15-20 kwa tendo LA kwanza 2 itaufanya uume wako uhonekane mkubwa hasa kwa wale wanaume ambao wamefanyiwa tohara wakiwa wadogo sana au wakiwa watu wazima kwani ipo dawa ya kuimalisha misuli ya uume 3 itakupa uwezo wa kurudia tendo LA ndoa zaidi ya Mara tatu 4 uhuimalisha misuli iliyolegea na kusinyaa ?

WAI SASA UPATE TIBA YA UKWELI NA UHAKIKA NA NI TOFAUTI NA ULIZOWAI KUTUMIA ata wazee wa miaka 80 wanatumia na kupona kabisa ? Tunatoa dawa za uzazi maumivu ya mgongo na kiuno ,kupunguza kitambi ,matiti makubwa,dawa za kisukari,presha,dawa za mvuto wa mpenzi ambaye akutaki au hakuhudumii ipasavyo kutengeneza shepu kwa kina Dada, fika ofisini kwetu MBAGALA ZAKHEMU BARABARA YA JESHINI HIENDA KIBONDEMAJI utaona ifisi himeandikwa MABULA CLINIC

AU PIGA SIMU NO 0743362017 DR AGU


Baada ya Kupewa Nyumba Tanzania, Leo Rosa Ree Kapewa Gari Aina ya Benz Huko South Africa

0
0

Habari za kunyapia nyapia nilizozipata Leo ni kuwa ile Lebo ya Muziki iliyompa Rosa Ree nyumba ya Million 400, Leo tena wamemkabithi gari aina ya Benzi kwa ajili ya kutumia akiwa nchini South Africa, Mwenye amedhibitisha hilo kwa kupost kwenye ukurasa wake wa Instagram


Rosa Ree kwa sasa yupo South Afrika ambapo atakuwepo huko kwa muda kuutangaza mziki wake

50 Cent Alivyoishangaza Dunia Kwa Kujikondesha Kupita Kiasi ili Acheze Movie...

0
0

Moja ya kitu kikubwa ambacho ili entertainment industry yoyote ifanye vizuri ni pale ambapo wahusika watafikia hatua ya kuacha kufanya vitu kwa mazoea na kufanya katika uhalisi zaidi.

Imezoeleka mara nyingi iwe kwenye film au music kunatokeaga kasoro mbalimbali ambazo huwafanya mashabiki kuanza kuzichoka baadhi ya kazi kwa kuona hazijafanyika kwenye kiwango husika na badala yake imefanyika kwa mazoea zaidi.

Mwaka 2011 mwanamuziki maarufu duniani @50cent aliingia kwenye upande wa film na kitu kikubwa cha kujifunza ni jinsi ambavyo aliamua kujikondesha kabisa kwa ajili ya kubeba uhalisia kwenye film iliyojulikana kama ALL THINGS FALL A PART.

Kitu alichokifanya @50cent kilikuwa kinabeba uhalisia wa film hiyo kwa sababu ilikuwa inaonesha kwamba kila kitu alichokuwa anakitegemea maishani alikipoteza na ili kuonesha uhalisia aliona akisema amefilisika halafu anaonekana ana afya uhalisia utapotea akaamua kujikondesha kabisa ili kuonesha uhalisia wa kile kinachoonekana kwenye film hiyo.

JE KWA UPANDE WAKO UNAHISI ENTERTAINMENT INDUSTRY KWA MAANA MUSIC NA FILM HAPA TANZANIA WANAKOSEA WAPI KATIKA UHALISIA WA KAZI ZAO.

JE, Dada Unapenda Kuwa Mrembo? Na Kaka Unapenda Kuwa Mtanashati na Kurudisha Heshima ya Ndoa?

0
0

JE, DADA UNAPENDA KUWA MREMBO? NA KAKA UNAPENDA KUWA MTANASHATI NA KURUDISHA HESHIMA YA NDOA? Tumia Bidhaa halisi za MARKSON kwa mafanikio ya uhakika na bila madhara. 
Zimetengenezwa kwa mimea na matunda na kuthibitishwa kiafya. 
🍉🌿🍓🍒🎄🍍🍀🍓🍉 
Pata bidhaa hizi ktk ubora 👇👇 

1. kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @150,000/= 
2. Kuongeza shepu (hips, makalio na mapaja) kwa (a)BOTCHO MULT-PLUS 10× @200,000/= 
(b)Vidonge @250,000/= 
3. Kuwa mweupe na softi mwili mzima bila sugu kwa:- (1)Mafuta @150,000/= 
(11)Vidonge @170,000/= 
4. Kupunguza unene na manyama uzembe @150,000/= 
5. Kuongeza uume pamoja na nguvu za kiume kwa:- 
(a) Gely ya kupaka @150,000/= 
(b) Vidonge kwa ajili ya kuongeza nguvu hata kwa wenye kisukari na BP @150,000/= (c)Handsome up original>Kifaa kinachoongeza maumbile kwa size uipendayo na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @250,000/= 
6. Kuondoa mvi milele zisiludi tena @150,000/= 
7. Kuongeza unene wa mwili mzima na uzito pamoja na hamu ya kula @150,000/= 
8. Kupunguza tumbo (kitambi) na nyama za pembeni kwa:- 
(a) Dawa ya kunywa au kupaka @150,,000/= 
(b) Mkanda wa kawaida @120,000/= 
(c) micro-computer belt unaovaibret @250,000/= 
9 .Kupunguza maziwa na kuyasimamisha @150,000/= 
10. Kushepu miguu na kuwa minene na kuondoa kigimbi @150,000/= 
11. Kuondoa mipasuko mwilini (michirizi) @120,000/= 
12. kubana uke na kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke @130,000/= 

NB: Hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako. 
Wasiliana nasi :- 
(+255) 0767447444 na 
0714335378 
Follow us on instagram @Markson_beauty_pr 
@Markson_beauty_pr 
#cosmetics 
#hipsnamakalio 
#bidhaaTz 
#nguvuzakiume 
#punguzauzitoTz 
#shepuTz 
#punguzamaziwaTz 
#shepuBombaTz

Kamanda wa 'Watapata Tabu Sana' Kupata Dili la Matangazo?

0
0

Mitaa na mitandao imechafuka kwa msemo wa #WatapataTabuSana ambao ulisemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,RPC G Muroto na kupewa umaarufu na @soudybrown na @kwisa__mzee_mkavu (#Shilawadu)

Sasa Kamanda huyo amezungumza na @mamybabytz na kusema kwamba anaweza kutoa msemo mwingine wakati ukifika. Ameongeza kwamba ikitokea kuna watu wanataka kufanya naye 'dili' (mfano matangazo) labda anaweza kufanya kwa kushauriana na Mkuu wa Jeshi la Polisi.

Tunatibu na Kuponesha Kabisa Tatizo la Upungufu wa Nguvu za Kiume, Busha Bila Kupasua na Vidonda vya Tumbo

0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME BUSHA BILA BILA KUPASUA NA VIDONDA VYA TUMBO: kwa nini uhendelee kuteseka NA kujiona mpweke pale ukutanapo NA mke au mpenzi wako kwa sababu tu hunaupunguvu wa nguvu za kiume na uume mdogo

MAPRO POWER NO 2 ndio tiba sahii ya kukurudishia heshima ya ndoa yako 1 itakufanya uchelewe kufika kileleni mda wa dakika 15-20 kwa tendo LA kwanza 2 itaufanya uume wako uhonekane mkubwa hasa kwa wale wanaume ambao wamefanyiwa tohara wakiwa wadogo sana au wakiwa watu wazima kwani ipo dawa ya kuimalisha misuli ya uume 3 itakupa uwezo wa kurudia tendo LA ndoa zaidi ya Mara tatu 4 uhuimalisha misuli iliyolegea na kusinyaa ?

WAI SASA UPATE TIBA YA UKWELI NA UHAKIKA NA NI TOFAUTI NA ULIZOWAI KUTUMIA ata wazee wa miaka 80 wanatumia na kupona kabisa ? Tunatoa dawa za uzazi maumivu ya mgongo na kiuno ,kupunguza kitambi ,matiti makubwa,dawa za kisukari,presha,dawa za mvuto wa mpenzi ambaye akutaki au hakuhudumii ipasavyo kutengeneza shepu kwa kina Dada, fika ofisini kwetu MBAGALA ZAKHEMU BARABARA YA JESHINI HIENDA KIBONDEMAJI utaona ifisi himeandikwa MABULA CLINIC

AU PIGA SIMU NO 0743362017 DR AGU

Tundu Lissu. Awajibu Wanaosema Dereva Wake Alihusika Katika Shambulio Lake

0
0
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameamua kuondoa utata kutokana na kile ambacho kimekuwa kikihojiwa na baadhi ya watu kuhusu shambulio alilopitia Septemba 7, 2017 Area D huko mkoani Dodoma.


Mbunge huyo amesema kwamba mara nyingi hapendi kujibizana na watu wanaohisi kwamba maswali kuhusu shambulio lake yanaweza kukosa majibu kutoka kwa viongozi wa chama chake ambapo amesema yeye kama muathirika na kiongozi wa CHADEMA atatoa ufafanuzi.

Lissu amewajibu wanaotaka kumvisha dereva wake uhusika wa shambulio lake hasa baada ya kutofika kituo cha polisi kuhojiwa, amesema kuwa utaratibu wa kisheria haukufuatwa na baada ya shambulio hakukuwa na wito wa kumtaka yeye (dereva) afike kituo cha polisi mpaka alipofika Nairobi.

"Dereva wangu aliondokea Dodoma kuja Nairobi na aliletwa na Mheshimiwa Goddie Lema. Hakukuwa na wito wowote kutoka polisi ambao hakuutii. Polisi walipoanza kuulizia habari zake tuliwaambie wamfuate Nairobi alikokuwa. Tuliwaambia wafuate utaratibu wa Sheria ya Kusaidiana Katika Masuala ya Jinai ili dereva wangu na mimi mwenyewe tuhojiwe kuhusiana na shambulio dhidi yangu.  Waliahidi kuja Nairobi. Tuliwasubiri, hawakuonekana mpaka tuliposafiri kuja Ubelgiji" Lissu.

Ameongeza kuwa dereva wake alisafiri kwenda Ubelgiji kwa pesa zile zile za msaada wa Wasamaria wema.

Akifafanua kuhusu kuumia mguu wa kulia zaidi wakati gari lake limeonekana kupigwa risasi upande wa kulia Lissu anasema kwamba "Sio kweli kwamba ni mguu wa kulia tu ndio ulioathirika, maeneo mengine yaliyopigwa na kuumizwa vibaya ni mguu wa kushoto ulipigwa mara mbili ijapokuwa hakuna mfupa uliovunjika, mkono wa kushoto ulipigwa na kuvunjwa vibaya chini ya kiwiko".

Aidha, "kipande cha risasi kilitolewa kwenye kiwiko chenyewe, mkono wa kulia ulipigwa na kuvunjwa vibaya chini ya kiwiko. Risasi sita zilitolewa tumboni na nyingine imebaki karibu na uti wa mgongo".

Pamoja na hayo Lissu ameondoa utata ulikuwa ukihoji kwa nini Mwenyekiti wa Chama chake Freeman Mbowe alikuwa wa kwanza kufika hospitali  "Mbowe hakuwepo kwenye eneo la shambulizi lakini watu wengine walikuwepo.Mfanyakazi wangu wa nyumbani alikuwepo. Mke wa Waziri wa Madini Medard Kalemani ambaye tunaishi jengo moja alikuwepo. Kwenye jengo jirani anakoishi Naibu Spika Tulia, mfanyakazi wake wa nyumbani alikuwepo na ndiye aliyenikimbiza hospitalini".



"Baada ya kushambuliwa na wakati nakimbizwa hospitali, mimi ndiye niliyemwambia dereva wangu ampigie simu Mwenyekiti Mbowe na wabunge wengine kuwapa taarifa. Walifika hospitalini more or less muda huo huo niliofika mimi. Nilikuwa na fahamu muda wote mpaka nilipoingizwa theatre ndio nikapoteza fahamu" .

Mwenyekiti Mbowe anaishi upande wa pili wa Area D. Site 3 (ninakokaa mimi) na Sengia (anakoishi Mwenyekiti) zinatenganishwa na ukuta mmoja. Yote ni majengo ya TBA na njia yetu ya kwenda au kutoka bungeni na mjini ni moja.

Pamoja na hayo Lissu amefafanua sababu iliyompelekea yeye mida ile kuleke nnyumbani kwake ambapo mesema kwamba
"Mimi na dereva wangu tulitoka bungeni saa saba mchana tukaelekea nyumbani kwangu Area D kula chakula cha mchana. Hatukukutana na mtu yeyote njiani na wala hatukusimama mahali popote mpaka tulipofika nyumbani. Tulianza safari ya kwenda Area D takribani saa saba mchana. Bunge lilikuwa limeahirishwa kwa ajili ya chakula cha mchana"

Bifu ya Chris Brown na Drake Juu ya Rihanna Imeisha...Ona Kilichotokea

0
0

Ikiwa ni Masaa Kadhaa Tu Yamepita Tangu Itoke Album Mpya ya Mnyamwezi @champagnepapi inayoitwa #Scorpion , Mkali wa RnB na Pop Chris Brown amepost ScreenShot ya Cover ya Album hiyo kutoka kwenye Account ya Instagram ya Drake.

Ikumbukwe Kuwa Wawili Hao walikua na Bifu kubwa lililopelekea Mpaka Kuzua Ugomvi Mkubwa Kwenye Mitandao ya Kijamii na Hata Maisha Halisi.

@chrisbrownofficial Ameiweka Screenshot hiyo kwenye Insta Story ya Account yake na Hii Inaonesha Kuwa Wawili Hao Hawana Matatizo Yoyote kwa Sasa.

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

0
0

Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU

 0753471612/ 0715249530
0623 386 305

DR KUZENZA

Lori la Mafuta Lalipuka na Kuua Watu 9 na Kuunguza Magari 54

0
0
Lori la Mafuta Lalipuka na Kuua Watu 9 na Kuunguza Magari 54
Watu 9 wamefariki na magari 54 kuungua baada ya lori moja la mafuta kulipuka na kukamata moto barabarani wakati magari yakiwa kwenye foleni nchini Nigeria June 29.

Lori hilo liligongana na gari moja la abiria na kuanza kuwaka moto barabarani hapo wakati magari yakiwa kwenye foleni majira ya saa 11 jijini Lagos nchini Nigeria.

Inataarifiwa kuwa vifo kutokana na ajali hiyo vinategemewa kuongezeka kutoka Watu 9, huku moto huo ukiyafanya zaidi ya magari 50 yawe nyanganyanga.



Duru za kuaminika zinasema kuwa Watu waliofariki ni wale ambao walikuwa karibu na lori hilo ambalo lililipuka na kuwaka moto huku Watu wengine wakikimbia na kuacha magari yao kuokoa uhai wao.

Hata hivyo imeelezwa kuwa ajali za namna hiyo nchini Nigeria sio ngeni kwa maana huwa zinatokea mara kwa mara.

Kadinda Afunguka Kuhusu Hali ya Wema Sepetu

0
0
Kumekuwa na taarifa katika mitandao ya kijamii, zinazodai kuwa msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu anaumwa na kudai kuwa ndio chanzo cha ukimya wake katika mitandao na matukio mbalimbali.

Eatv ilimtafuta Wema Sepetu ili kutaka kufahamu ukweli kuhusiana na taarifa hizo lakini hakupokea simu na alivyotumiwa ujumbe mfupi wa maandishi, amejibu kuwa “Sifanyi interview sasa hivi I’m sorry”.

Meneja wa mwanadada huyo ambaye ni Martin Kadinda, amekanusha taarifa hizo wakati akizungumza na eatv.tv ambapo amedai kuwa Wema kwa sasa uhusiano wake alionao unamfanya kuwa msiri sana kwenye maisha yake ya kawaida.

“Wema Sepetu sio mgonjwa kama taarifa zinavyosambazwa na ukimya wake unatokana na uhusiano wake wa sasa una mbana sana kutokuweka maisha yake hadharani”, amesema Martin.

Hivi karibuni Mama mzazi wa  kuwa mwanadada huyo, aliiambia Mahakama kuwa mwanae alikwenda nje ya nchi kwa ajili ya matibu, kutokana na kushindwa kuhudhuria mahakamani katika kesi inayomkabili ya matumizi ya dawa za kulevya.

Mbolea ya Mkojo wa Binadamu Yazinduliwa

0
0
Mkufunzi mmoja kutoka chuo kikuu cha Afrika Kusini, anayejulikana kama Dkt.Dyllon Randall amevumbua mbolea inayozalishwa kutokana na mkojo wa binadamu.

Dkt. Randall  akizungumza kwenye mkutano na taasisi ya maji ya Afrika Kusini  (WISA) amesema kuwa wanachukua kinyesi na mkojo wa binadamu na kuchanganya na maji machafu na kuzalisha mbolea inyojulikana kwa jina ‘new liquid gold- think fertiliser’.

"Mkojo peke yake ni asilimia 1, maji machafu  ni  asilimia 80 (nitrogen), asilimia 70 ni (potassium) na asilimia 50 (phosphorus) hivi ndivyo virutubisho kwa ajili ya kutengeneza mbolea kutoka kwenye mkojo”,  amesema Randall.

Aidha Dkt.  Randall ameongeza kuwa sayansi hiyo italisaidia taifa hilo kutokana na  hali ya ukame  iliyopo,  hivyo  serikali itatumia gharama ndogo kuagiza mbolea ya nje.

Kuna Wabunge Waliingia Mitini Kupima Ukimwi- Spika Ndugai

0
0
Spika wa Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewakumbusha wabunge kupeleka habari ya kupima Virusi vya Ukimwi kama walvyopima baadhi ya wabunge huku akisema kuna baadhi waliingia mitini (hawakupima).

Ndugai ameyasema hayo leo baada ya Waziri mjuu, kassim majaliwa kuwasilisha hoja ya kuharisha bunge la Bajeti lililokuwa likiendelea Jijini Dodoma.

“Mh. waziri Mkuu ametukumbusha habari ya kupima VVU, yeye alipima na mimi nikamuunga mkono nikapimwa na wengine baadhi mkafanya hivyo lakini baadhi waliingia mitini kupima. Ombi letu ni kwamba tunapoenda Majimboni iwe ni moja ya agenda zetu ambazo tutazifikisha kwa wananchi wetu,”amesema Spika Ndugai.

Bunge limehairishwa rasmi leo,Juni 29,2018 hadi tarehe 4 Septemba, 2018 Siku ya Jumanne) saa 3 kamili asubuhi.
Viewing all 104417 articles
Browse latest View live




Latest Images