Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Chemical "Hivi Diamond ni Nani Kwani Mpaka yeye tu Ndio Awe na Mafanikio Kuliko Wote?

$
0
0

Rapper Chemical Ameamua Kuvunja Ukinywa wa kile kinachoendelea ya kuwa Diamond ndio Mwanamuziki mwenye maendeleo kuliko wote Tanzania huku wengine wakiwa hawana chochote....Soma alichoandika kwenye picha

Una maoni gani juu ya hiki alichoandika @chemical_tz kuhusiana na @diamondplatnumz?

Argentina Yatupwa Nje Kombe La Dunia, Mbappe amfanya kitu mbaya Messi

$
0
0
Timu ya Taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia nchini Urusi jioni hii baada ya kuitungua Argentina ikiongozwa na kapteni wao, Lionel Messi kwa bao 4-3, mchezo uliokuwa mkali na wenye hisia miongoni mwa mashabiki.

Ushindi huo wa Ufaransa umechagizwa zaidi na Kylian Mbappe ambaye ametupia kambani mabao mawili huku akisababisha penati ya bao la kwanza.

Ufaransa walikuwa wa kwanza kufunga kunako dakika ya 13 kupitia kwa Antoine Griezmann kwa mkwaju wa penati baada ya Mbappe kufanyiwa madhambi ndani ya boksi kabla ya Angel Di Maria kusawazisha dakika ya 43. Hadi kipindi cha kwanza kinamalizika, Ufaransa 1-1 Argentina.

Kipindi cha pili, Argentina walianza na kasi ya ajabu ambapo dakika ya 48 walifanikiwa kupata bao la pili kupitia kwa Gabriel Mercado.

Game ikawa ngumu kwa upande wa Ufaransa, lakini upepo ulibadilika  ambapo Benjamin Pavard alisawazisha na kufanya bao kuwa 2-2. Dakika ya 64, Kylian Mbappe akaandika bao la tatu kwa Ufaransa na kabla ya mchezaji huyo kuwamaliza na bao la 4 dakika ya 68.

Argentina walizinduka dakika za mwisho na kufunga bao la tatu kupitia kwa Sergio Aguero dakika ya 90. Mpaka kipenga cha mwisho kinapulizwa, Ufaransa 4-3 Argentina.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya July 1

$
0
0

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya July 1

Mastaa Lionel Messi na Cristiano Ronaldo Wanyanganywa Gari

$
0
0
MASTAA wa dunia, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wametupwa nje ya Fainali za Kombe la Dunia baada ya timu zao za Ureno na Argentina kufungwa jana Jumamosi kwenye mechi za mtoano.

 Vipigo hivyo vimepoteza ndoto za wakali hao wawili kutwaa Kombe la Dunia kwani umri unazidi kuwatupa mkono huku Ronaldo akiwa na umri wa miaka 33 wakati mwenzake Messi ana 31.

 Watu wengi wanaamini kuwa fainali huenda zikawa za mwisho kwa mastaa hao, ambao wametwaa mataji mengi na klabu zao za Real Madrid na Barcelona za Hispania lakini hawajaweza kutwaa Kombe la Dunia.

Ufaransa na Uruguay sasa zitakabiliana kwenye robo fainali Ijumaa ijayo baada ya kuibuka kidedea kwenye mechi zao za mtoano jana. Straika wa Uruguay, Edinson Cavani ndio alizima ndoto za Ronaldo za kusonga mbele kwenye Kombe la Dunia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili ilipoibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ureno kwenye Uwanja wa Fisht mjini Sochi.

 Cavani alipachika bao la kwanza katika dakika ya saba baada ya kuunganisha kwa kichwa krosi maridadi ya Luis Suarez lakini Ureno ilisawazisha katika dakika ya 55 kwa bao lililofungwa na beki Pepe kwa kichwa baada ya kuunganisha krosi ya Guerreiro.

 Cavani, ambaye aliumia na kutoka nje, aliongeza bao la pili baada ya kupokea pasi akiwa mwenyewe pembeni ya goli akapiga shuti kali lililotinga wavuni mnamo dakika ya 62.

 Nayo Ufaransa ilikata tiketi ya robo fainali baada ya kuinyuka Argentina mabao 4-3 kwenye mechi ya mtoano iliyochezwa kwenye Uwanja wa Kazan Arena. Straika yosso wa Ufaransa, Kylian Mbappe ndio alikuwa nyota wa mchezo huo kutokana na kufunga mabao mawili. Pamoja na kufunga mabao mawili lakini Mbappe alisababisha penalti iliyozaa bao

Malima Afunguka Tajiri Zacharia Kuwapiga Risasi Maofisa wa Usalama wa Taifa

$
0
0
KUFUATIA tukio la mmiliki wa mabasi ya ‘Zacharia’, Peter Zacharia kushikiliwa na vyombo vya dola mkoani Mara kwa tuhuma za kuwapiga risasi maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa wakiwa katika majukumu yao, Mkuu wa Mkoa huo, Adam Kighoma Malima, amefunguka na kueleza tukio hilo lilivyotokea.

Akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo, leo Juni 30, 2018, Malima amesema kabla ya tukio hilo, maofisa watano wa Usalama wa Taifa walifika katika kituo cha mafuta kinachomilikiwa na Zakaria kwa nia kujaza mafuta kwenye gari lao ambapo muda mchache wenzao wawili walishuka kwenye gari hilo kwa lengo la kukagua gari walilokuwa wakilitumia, ghafla wakashambuliwa kwa risasi na Zakaria aliyekuwepo eneo hilo.

“Maofisa wawili walishuka kwenye gari, Zacharia alitoka kwake na kukasikika milio ya risasi. Baadaye ilionekana wale maofisa wawili walikuwa wamejeruhiwa kwa risasi. Hivyo waliobaki kwenye gari waliamua kumdhibiti Zacharia na kumtia nguvuni,” amesema Malima.

Kutana na Maalim Fadhili Rashid ni Mtaalam Watiba za asili kwa Kutumia Nyota na Kurwani

$
0
0
KUTANA NA MAALIM FADHILI RASHIDI NI MTAALAM WATIBA ZA ASILI JE? UMEACHWA NAMPENZI WAKO? JE? NA HAUJUI NAMNA YA KUMRUSHA?

MAALIM FADHILI RASHIDI HURUDISHA MAHUSINO NA MPENZI WAKO ALIE KUACHA NDANI YA MASAA (72) TU MUONE HARAKA AKUSAIDIE, ACHA KUTESEKA NA MAPENZI

MAALIM FADHILI RASHIDI NI BINGWA WAKUTIBU MARADHI SUGU KAMA VILE MIGUUKUUMA NAKUWAKA MOTO, PRESHA, KISUKARI, VIDONDA VYATUMBO, PUMU,

TEZI NA UVIMBE TUMBONI, ANA UWEZO WAKURUDISHA MTU ALE POTEA KIMAZINGIRA (MSUKURE), KUMFANYA MKE/ MUME/ MPENZI ASIKUSALITI, DAWA YA ( LIMBWATA) KUMTAWALA MPENZI WAKO UNAVYOTAKA,

KUMUONA MBAYAWAKO LIVE KWA SABABU MAALUMU, ANATOWA PETE YA BAHATI NA KUMILIKI MALI ZA MAJINI, DAWA YA UZAZI, KUSHIKA UJAUZITO NDANI YA SIKU (14) TU

DAWA YA KUONGEZA UUME SAIZI UPENDAYO, DAWA YA NGUVU ZA KIUME, PIA ANAYO DAWA YA KUONGEZA HIPSI SHEPU KUWA NA UMBO BOMBA,
KAMA UMEIBIWA AMA KUDHULIMIWA UTARUDISHIWA MALI YAKO NDANI YA MASAA (72) TU, ANAFUNGA KESI NAKUPATA HAKI YAKO, MVUTO WA MAPENZI NA BIASHARA, KUUZA MALIYAKO KWA HARAKA

KUZUIYA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA, KUSAFISHA NYOTA NA KUTOWA MIKOSI, KUPANDISHWA CHEO KAZINI, ACHAKUHANGAIKA MAALIM FADHILI RASHIDI NDIO MKOMBOZI WAKO

CALLING +255 7193628 06/ +255 763276239/
WHATSAPP IMO +255 785786436

Harmonize Amvisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake Sarah

$
0
0


Staa wa muziki wa Bongo fleva kutoka label ya WCB anayefanya vizuri na ngoma yake ya ‘Kwangwaru’ Harmonize amemvalisha Pete ya uchumba mpenzi wake mwenye asili ya Italia Sarah Michelotti.

Harmonize na Sarah walikuwa kwenye mgogoro wiki chache zilizopita baada Sarah kumtuhumu mpenzi wake huyo kwa kuchepuka baada ya kuona picha zake na mtangazaji kutoka Nigeria Nancy Isime na kudai ni wapenzi.

Lakini Sarah na Harmonize walionekana kumaliza tofauti zao siku chache zilizopita baada ya kuonekana pamoja Kwenye shoo  ya Kusi Night wakiwa wanakumbatiana stejini.

Hatimaye wawili hao wameweka wazi kuwa wamechumbiana baada ya Kuposti video iliyomuonyesha Harmonize akimvalisha Sarah Pete na Sarah Kuposti Kwenye ukurasa wake wa Instagram na Kuandika “Thank You Baby ♥️“.

KIMENUKA..Mtuhumiwa wa Mauaji ya Xxxtentacion Alawitiwa Gerezani

$
0
0
Mtuhumiwa wa kwanza Dedrick William aliyeshtakiwa kwa mauaji ya Marehemu Xxxtentacion aripotiwa kulawitiwa akiwa gereza la Broward County na taarifa za harakaharaka zinahusisha kundi la Kodak Black  kuhusika na ishu hiyo .

Inaripotiwa kuwa Derick William alikuwa akioga ndipo watu wakamvamia na kumfanyia kitendo hicho na wengine kudai kuwa kutokana na ukaribu aliokuwa nao Marehemu Xxxtentacion na kundi la Kodak Black huenda wakahusika mojamoja na tukio hilo.

Kuna uthubitisho wa message zinazodaiwa kuwa zilitumwa na mmoja wa askari wa gereza hilo la Broward County na kitendo hicho kusemekana kilipangwa kufanyika siku ya kuuaga mwili wa Marehemu Xxxtentacion.

Kutana na Jamaa wa Kenya Anayetaka Kumuoa Bintiye Barack Obama Maasai Moran

$
0
0
Jamaa mmoja wa Maasai aliyejitokeza mnamo 2015 na kudai kuwa anataka kumuoa mwanawe Barack Obama ameonekana kutopoteza matumaini huku akijitokeza mara nyingine.

Jeff Ole Kishai alieleza kuwa yuko tayari kukesha mjini Nairobi kwa mara nyingine huku Obama akiwasli Kenya Jumatano, 27 Juni.

 Jeff Ole Kishai ameeleza kuwa atafanya kila awezalo kumuoa bintiye Obama.

Ili kumshawishi Malia, mwanawe Obama, Kishai ameeleza kuwa ameandaa ng’ombe 1,000 kama mahari.

Kuthibitisha mapenzi yake zaidi, jamaa huyo aliamua kutengeneza fulana yenye picha ya Malia atakayovalia akimsubiri babaye mwanadada huyo. 

‘’ Wakati ule mwingine, nilikuwana ng’ombe 500, niko tayari kuongeza 500. Nitalala Nairobi. Kuna reli hapa kuwasafirisha ngombe hawa hadi Nairobi,'' alisema Mamaye Jeff alieleza kuwa atafurahi mno iwapo mwanadada huyo atamkubali mwanawe.

 ‘’ Tutafurahi akija hapa Suswa. Tunatumahi Jeff atakutana naye ili waishi kama familia,’’ mamaye alisema.

Obama atatua Kenya Julai, 16, 2018 kwa ziara ya siku moja kabla kusafiri hadi Afrika Kusini Kama ilivyoripotiwa 

Jaji Mkuu atoa agizo hili kwa Mahakama zote nchini

$
0
0
Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma amewaagiza watendaji wa Mahakama kuanza kutumia mfumo wa Kielektroniki katika ufunguaji wa Mashauri Mahakamani ili kuboresha utoaji huduma,kuongeza uwajibikaji, uwazi na kuondoa mianya ya rushwa na urasimu katika kuwahudumia wananchi.

Jaji Mkuu Profesa Juma anatoa agizo hilo katika hafla ya kuwatunuku hati za uteuzi Mahakimu wakazi wafawadhi na kuwaapisha Manaibu wasajili wa Mahakama ambapo anasema mfumo huo utakaosimamiwa na msajili mkuu wa Mahakama utasaidia kuondoa malalamiko na kuongeza uwazi zaidi kwenye mhimili huo wa dola.

Aidha Jaji Mkuu amekemea tabia ya baadhi ya Mahakimu kujigeuza miungu watu katika utoaji hukumu kwa kivuli cha kutoingiliwa kwa uhuru wa Mahakama na kuwakumbusha uhuru huo usipotumiwa kwa mujibu wa sheria na kanuni utaingiliwa na mamlaka zingine.

Kwa upande wao baadhi ya Mahakimu wakazi wafawidhi wateuliwa wanasema mfumo wa Kielektroniki Mahakamani utarahisisha ufuatiliaji wa kesi huku wengine wakiomba mashauri yanayotoka polisi kabla ya kufikishwa mahakamani upelelezi wake ukamilike ili kesi zisikilizwe na kumalizika kwa wakati.

Kuhusu mhilimili huo kunyooshewa vidole kuhusika na rushwa Mahakimu hao wanasema wamejipanga kuwaelimisha watumishi na watendaji waliopo chini yao kuhusu madhara ya rushwa ili kuendelea kuijengea taasisi hiyo uaminifu kwa jamii.

Tunatibu na Kuponesha Kabisa Tatizo la Upungufu wa Nguvu za Kiume, Busha Bila Kupasua na Vidonda vya Tumbo

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME BUSHA BILA BILA KUPASUA NA VIDONDA VYA TUMBO: kwa nini uhendelee kuteseka NA kujiona mpweke pale ukutanapo NA mke au mpenzi wako kwa sababu tu hunaupunguvu wa nguvu za kiume na uume mdogo

MAPRO POWER NO 2 ndio tiba sahii ya kukurudishia heshima ya ndoa yako 1 itakufanya uchelewe kufika kileleni mda wa dakika 15-20 kwa tendo LA kwanza 2 itaufanya uume wako uhonekane mkubwa hasa kwa wale wanaume ambao wamefanyiwa tohara wakiwa wadogo sana au wakiwa watu wazima kwani ipo dawa ya kuimalisha misuli ya uume 3 itakupa uwezo wa kurudia tendo LA ndoa zaidi ya Mara tatu 4 uhuimalisha misuli iliyolegea na kusinyaa ?

WAI SASA UPATE TIBA YA UKWELI NA UHAKIKA NA NI TOFAUTI NA ULIZOWAI KUTUMIA ata wazee wa miaka 80 wanatumia na kupona kabisa ? Tunatoa dawa za uzazi maumivu ya mgongo na kiuno ,kupunguza kitambi ,matiti makubwa,dawa za kisukari,presha,dawa za mvuto wa mpenzi ambaye akutaki au hakuhudumii ipasavyo kutengeneza shepu kwa kina Dada, fika ofisini kwetu MBAGALA ZAKHEMU BARABARA YA JESHINI HIENDA KIBONDEMAJI utaona ifisi himeandikwa MABULA CLINIC

AU PIGA SIMU NO 0743362017 DR AGU

Cavani na Suarez Waweka Rekodi Wakiibeba Uruguay

$
0
0

Timu ya taifa ya Uruguay imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia, baada ya kuitoa timu ya taifa ya Ureno kwa mabao 2-1 kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora uliomalizika usiku huu.


Mshambuliaji wa Uruguay Edinson Cavani (mwenye jezi ya bluu kulia) akipiga mpira.

Mabao ya Edinson Cavani katika dakika za 7 na 62 yametosha kuipeleka mbele timu hiyo ambayo mwaka 2010 iliinyima Ghana nafasi ya kucheza nusu fainali kwa tukio la Luis Suarez kudaka mpira uliokuwa unaelekea nyavuni. Bao la Ureno limefungwa na mlinzi Pepe dakika ya 55.

Baada ya Suarez kutoa msaada kwa bao la kwanza la Cavani, muunganiko wao sasa kati ya Luis Suarez na Edinson Cavani umetengeneza jumla ya mabao 4 kwenye Kombe la Dunia. Wanazidiwa na muunganiko wa Grzegorz Lato na Andrzej Szarmach wa Poland, mabao 5 na ule wa Michael Ballack na Miroslav Klose wa Ujerumani, mabao 5. Hii ni kuanzia mwaka 1966.

Kwa upande wake Cavani yeye amefikisha mabao 3 kwenye fainali hizi hivyo kuwa nyuma ya Cristiano Ronaldo na Romelu Lukaku wenye mabao manne kila mmoja pamoja na Harry Kane mwenye mabao matano. Pia analingana na Kylian Mbappé, Diego Costa na Denis Cheryshev wenye mabao matatu kila mmoja.

Hii pia imekuwa ni mara ya kwanza kwa Uruguay kushinda katika mechi tatu ambazo timu hizo zimecheza tangu mwaka 1972. Katika mechi mbili zilizopita Ureno ilikuwa imeshinda mara moja na kutoka sare mechi moja.

 Kwa upande wake mchezaji bora duniani na nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo ameshindwa kufunga licha ya kupiga mashuti 6 ambapo moja tu ndio lililolenga lango. Timu nzima ya Uruguay imefanikiwa kupiga mashuti matano pekee huku matatu yakilenga lango.

EATV

Makonda Atangaza Nafasi za Kazi Kwa Vijana

$
0
0

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka vijana waliomaliza mafunzo ya JKT na Mgambo na hawana kazi kufika ofisini kwake Ijumaa ya Juli 06, 2018 kwaajili ya kupatiwa ajira ya kusimamia usafi na kuwatoza faini vinara wa uchafuzi wa mazingira.

Makonda ameeleza hayo wakati alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaama na kusema katika fedha itakayotozwa kwa wachafuzi wa mazingia asilimia 50 itaenda kwenye halmashauri na asilimia 50 nyingine itaenda kwa vijana wa JKT na Mgambo ambapo kabla vijana hao hawajakabidhiwa jukumu hilo watapewa mafunzo ya sheria ya usafi.

Aidha, Makonda ameagiza makampuni yote yaliyopewa tenda ya usafi Dar es salaam kuanzia ngazi ya mitaa, kata na halmashauri kufika ofisini kwake Jumatano ya Juli 04 wakiwa na mikataba yao kwaajili ya kujiridhisha uwezo wao wa kufanya kazi baada ya uchunguzi aliofanya kubaini uwepo wa kampuni zilizopewa tenda Kubwa wakati hawana vifaa vya kutosha.

Hata hivyo RC Makonda ameziagiza Manispaa zote za jiji hilo kuhakikisha kila mfanyabiashara na vituo vya daladala vinakuwa na sehemu ya kuweka taka 'dustbin'.

Pamoja na hayo, Paul Makonda ametangaza fursa kwa wadau wenye vyoo vya kuhama 'mobile toilet' kufika ofisini kwake ili wakutanishwe na halmashauri wawekeane makubaliano ya ushirikiano ili kuondoa tabia ya watu kujisaidia kwenye kuta na vichochoro.

Ukiwa Hauna Maamuzi kwa Mke Wako ni Jambo Jema

$
0
0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Abubakar Chande maarufu kama 'Dogo Janja' ambaye pia ni mume wa msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amedai katika ndoa yao yeye ndio mwanaume na mwenye sauti ya kutoa maamuzi ya jambo lolote tofauti na watu wanavyomfikilia.


Dogo Janja amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha FRIDAY NIGHT LIVE 'FNL' inayorushwa na tinga namba moja kwa vijana EATV baada ya kuwepo kwa tetesi za kipindi kirefu zilizokuwa zinadai Janjaroo hana maamuzi yoyote katika ndoa yake kwa kuwa mwenye sauti ya kuamua jambo lolote ni mke wake Irene Uwoya.

"Ukiwa hauna maamuzi au sauti kwa mke wako wa halali ni kitu kizuri sana tofauti ukiwa hauna sauti kwa hawala. Mimi nina mtii mke wangu naye pia anafanya hivyo, kwenye ndoa yangu nina simama kama baba", amesema Dogo Janja.

Pamoja na hayo, Dogo Janja ameendelea kwa kusema
"watu wengi wanachukulia mambo kwa juu juu tu kwa mzaha, mimi nina sauti kwa mke wangu ninaweza kumwambia leo usitoke na huwa atoki au asifanye kitu fulani na akanisikiliza, 'so' sio kila jambo nitakalo mkataza basi nitangaze ila mpaka mke wangu akifanya jambo fulani mjue nina taarifa nayo na ninaelewa. Ndoa ni taasisi kubwa sana tofauti na watu ambao wapo tu mtaani wanatoa maamuzi yao bila ya kuelewa".

Kwa upande mwingine, Dogo Janja amedai watu wengi wamekuwa wanaongelea kuhusiana na ndoa yake kwenye mitandao ya kijamii bila ya kuwa na ufahamu wa aina yoyote juu ya taasisi hiyo ambayo ina uwanja mpana ndani yake.

Waziri Mkuu: NHC Mna Jukumu La Kuwafikia Watu Wa Chini

$
0
0


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lina jukumu kubwa la kuhakikisha sekta hiyo inakua na kuwafikia watu wa kipato cha chini.

Amesema ya Serikali ya Awamu ya Tano, inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli inahimiza uchumi wa viwanda, hivyo sekta ya nyumba ina mchango mkubwa sana katika kuchochea ukuaji wa viwanda.

Ameyasema hayo jana (Jumamosi, Juni 30,2018) wakati akizindua mradi wa Singidani Commecial Complex, mjini Singida. Jengo hilo la biashara na ofisi limejengwa na NHC kwa ajili ya kupangisha wafanyabiashara na taasisi mbalimbali.

Waziri Mkuu amesema sekta ya nyumba ni mtambuka kwa kuwa huchochea ukuaji wa uchumi, kutoa ajira na kukuza uwekezaji wa viwanda vya vifaa vya ujenzi kama saruji, mabati, nondo, marumaru na vinginevyo, ambavyo  vinafungua fursa kubwa ya ukuaji wa viwanda.

Hivyo, Waziri Mkuu amesema wadau mbalimbali wanapaswa kuitazama sekta ya nyumba kama sekta mtambuka katika kuleta maendeleo endelevu ya uchumi na jamii kwa ujumla.

“Napenda kutoa pongezi kwa Shirika la Nyumba la Taifa kwa kujenga jengo hili zuri na la kisasa kabisa hapa mjini Singida. Vilevile, jengo hili limeboresha na kupendezesha mandhari ya mji wa Singida kwa kiwango kikubwa kabisa,” amesema.

Waziri Mkuu amesema amefurahi kusikia jengo hilo limesanifiwa na ujenzi wake kusimamiwa na Watanzania wenyewe, wakandarasi washauri wakiwa ni NHC wenyewe na kwamba Watanzania zaidi ya 600 walipata ajira wakati wa ujenzi.

Awali, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Bw. Felix Maagi alisema mradi wa jengo hilo la ofisi na biashara la Singidani lililogharimu sh. bilioni 3.4 ulianza Januari 26, 2015 na kukamilika Februari 17, 2018 na linatarajia kuliingizia shirika pango ya sh. milioni 420 kwa mwaka. Tayari asilimia 50 ya jengo hilo  limepangishwa.

Mkurugenzi huyo alisema mbali na mradi huo wa Singidani, pia shirika limeendelea kukua na kuimarika katika utendaji wake ambapo thamani ya mali zote imeongozeka kutoka sh. trilioni 1.7 mwaka 2011 mpaka kufikia sh. trilioni 4.8 mwaka 2018.

Bw. Maagi alisema mapato ya shirika yamekua kutoka sh. bilioni 40 kwa mwaka 2011 hadi kufikia sh. bilioni 154 mwaka 2018.” Pia shirika linalipa gawio la Serikali kila mwaka na gawio hilo limekua kutoka sh. milioni 250 mwaka 2011 hadi sh. bilioni 1.2 kwa mwaka 2018,”

Uzinduzi huo ulihudhuriwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi, wabunge wa mkoa wa Singida, viongozi wa dini na maafisa wa Serikali.

Download App ya Udaku Special Hapa Kama Bado Hauna Kwenye Simu yako

Mzee Majuto ampa mtihani Rais Magufuli na Waziri Mwakyembe

$
0
0
Mchekeshaji Mkongwe nchini Tanzania, Mzee Majuto amefunguka kuwa kwa sasa hana lengo la kuendelea na sanaa hiyo tena.

Image result for Rais Magufuli Mzee Majuto
Rais Magufuli alipomtembelea Mzee Majuto katika Hospitali ya Taifa Muhimbili mapema mwaka huu.

Mzee Majuto amedai kuwa maamuzi hayo ni ya mwisho na hakuna mtu yeyote atakayemsikiliza kwa sasa isipokuwa Rais Magufuli na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.

Majuto amesema haoni sababu ya kuendeleea kuigiza lakini anategemea ushauri kutoka kwa viongozi hao wakubwa nchini Tanzania kama watamwambia aendelee kuigiza atafanya hivyo ila hakuna mtu yeyote zaidi ya hao atakayemshauri kuhusu hatma ya sanaa yake.

“Natoa kauli kwamba nastaafu na hii kazi, labda Rais wangu Mpendwa Rais John Pombe Magufuli au Mzee Mwakyembe waniambie hapana endelea ndio nitaamua kuendelea,“amesema Mzee Majuto kwenye kipindi cha eNEWS cha EATV na kueleza sababu zake.

“Hakuna mtu mwingine wa kunishauri, baba yangu ameshafariki, mama yangu ameshafariki na marafiki zangu wote ni Wasanii watupu.“amesema Mzee Majuto.

Mwaka jana Mzee Majuto alitangaza kustaafu kazi hiyo na kuahidi kuwa ataendelea kufanya matangazo tu kwa makampuni yatakayomuhitaji.

Bongo5

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume........Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

$
0
0


TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za:

GUMBA POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.

NTINJE:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0754741788, 0715741788, 0783741788

-DR MAGISE

Hamisa Mobetto Anasa Kwa Lava Lava Aonyesha Mapenzi ya Wazi Wazi...Lava Lava Afunguka

$
0
0

Msanii wa Bongo Flava, Lava Lava amesema mwanamitindo Hamisa Mobetto ni shabiki yake namba moja na mwanzo kabisa ni kitu ambacho hakukitegemea.

Kauli ya muimbaji huyo inakuja mara baada ya Hamisa kuposti clip ya video Instagram huku akiimba wimbo wa Lava Lava uitwao Atatulia.

Lava Lava katika mahojiano na The Playlist ya Times Fm amesema katika jitihada zake za kutoka kimuziki Hamisa Mobetto amekuwa na mchango pia.

“Nashukuru sana nyimbo zangu kina dada huwa wanazipokea kwa mikono miwili, hajalishi wapo kwenye hali gani,” amesema.

“Katika watu waliowahi kunionyesha ile love ambayo sikuwahi kuitegemea wala kuwaza ni huyo Hamisa Mobetto kwa utokaji wangu, alishanifuata akaniambia nakukubali sana, kwa hiyo ni sabaiki yangu namba moja,” amesisitiza Lava Lava.

Lava Lava kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya uitwao Gundu. Pia utakumbuka hivi karibuni Hamisa Mobetto ameonyesha nia ya kutaka kuingia katika muziki mara baada ya kuachia kipande cha wimbo wake mtandaoni.

Usibadilike Temporarily Kwa Sababu Unataka Uonekane Wife/Husband Material ili Umu Impress Mtu

$
0
0

Usibadilike TEMPORARILY kwa sababu unataka uonekane Wife/Husband Material ili umu-impress mtu halafu mkifika ndani unarudia rangi-rangi zako zilezile ambazo ndio NATURAL YOU
Muache akupende kwa Ulevi wako,Kwa Umbea wako,Kwa Kutoa kwako udenda ukilala,Kwa kuwa mchafu na kutofua Boxer,Kwa kunuka kikwapa cha njano,Kwa Umaharage ya Mbeya wako, Kwa sababu kama akikupenda KAMA ULIVYO LEO hata mkiingia ndani ATAKUPENDA TU kwa sababu alijua aina ya mtu anayeingia naye ndoani na ameshajipanga kisaikolojia kuvumilia harufu ha Boxer zako...

Ukimuimpress kwamba hunywi kwa miezi mi3 akakuoa halafu HAMAD anakuta chupa za Ndovu stoo PATACHIMBIKA

Zimwi likujualo halikuli likakwisha,Muonyeshe rangi zako halisi akupende kwa Uhalisi wako lasivyo utaolewa leo SAWA na bajeti ya milioni 96 lakini Jiandae kuwa mjane baada ya Miezi 6 kwa karatasi ya Talaka ya Sh 50 Steshenari.
BE YOURSELF.
By Seth
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>