Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104745 articles
Browse latest View live

Mtoto wa Muna Love Awaliza Wengi..... Hivi Ndivyo Zari na Mastaa wa Bongo Walionyesha Hisia Zao

$
0
0
Kufuatia msiba wa mtoto wa mjasiriamali maarufu mitandaoni nchini Tanzania, MUNA Mastaa wa Bongo Movie na wale wa Bongo Fleva wameguswa na kifo hicho na kutoa salamu za rambi rambi huku wengine wakielezea hisia zao kwa mtoto huyo.




Mtoto wa Muna, ajulikanaye kwa jina la Patrick amefariki jana usiku jijini Nairobi nchini Kenya alikokuwa amelazwa tangu wiki iliyopita kwa maradhi ya kusumbuliwa na mguu.





Mwili wa Prof. Maji Marefu Waagwa Katika Viwanja vya Karimjee

$
0
0
Mwili wa Prof. Maji Marefu Waagwa Katika Viwanja vya Karimjee
MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani “Profesa Majimarefu” umewasili katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam asubuhi hii kwa ajili ya kuagwa kabla ya kusafirishwa kupelekwa Korogwe mkoani Tanga kwa mazishi.

Mwili wa Ngonyani umewasili kutoka katika chumba cha kuhifadhia maiti, Hiospitali ya Taifa Muhimbili leo Jumatano, JUlai 4, 2018 majira ya saa nne na shughuli ya kuaga ikaanza ikiwemo salam za rambirambi na ibada ya kuaga.


Viongozi mbalimbali wa Serikali, vyama vya siasa na vya kijamii na viongozi wa dini wameungana na wabunge wenzake na marehemu pamoja na wananchi kutoa heshima zao za mwili kwa mwili wa marehemu.


Profesa Majimarefu aliaga dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya taifa Muhimbili jijini dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.

Pweza Mtabiri Auawa na Kugeuzwa Kitoweo Baada ya Kuibashiria Japan Kipigo

$
0
0
Pweza Mtabiri Auawa na Kugeuzwa Kitoweo Baada ya Kuibashiria Japan Kipigo
Wakati michuano ya kombe la dunia ikiwa inaendelea nchini Urusi, Pweza aliyekuwa anaaminika katika kubashiri matokeo ya mechi kadhaa zilizopita ikiwemo za timu ya taifa ya Japan ameuawa na kugeuzwa kiteo.

Pweza huyo aliyekuwa akifahamika kwa jina la Rabio amejizoelea umaarufu mkubwa kwenye michuano hiyo kutokana na umahiri wake katika kubashiri mshindi wa mechi husika.



Mmiliki wa Pweza huyo ambaye ni mvuvi anayetambulika kwa jina la Lakini Kimio Abe amesema kuwa ameamua kumuuza na kugeuzwa kitoweo kwakua amebaini kuwa atajizoelea kitita cha fedhe kuliko kama angeendelea na utabiri ambao hauja mnufaisha licha kupatia.

Rabio predicted that Poland would beat Japan yet the football team appeared to remain involved longer than the eight-limbed mollusc

Licha kugeuzwa kitoweo, Rabio ambaye alikuwa Pweza mkubwa amefanikiwa kuibashiria Japan kupata kipigo dhidi ya Colombia na hata sare yao dhidi ya miamba ya soka ya Afrika timu ya taifa ya Senegal.

Baada ya kuibashiria Japan kufungwa dhidi ya Ubelgiji hatua ya 16 bora Pweza huyo hakuweza kushuhudia utabiri wake ukitimia kutokana na kuingizwa sokoni.

Abe ambaye ndiyo mmiliki wa Pweza huyo amesema yupo Pweza mwingingine ambaye ataendelea kubashiri michano hiyo inayoendelea nchini Urusi.

Waziri Mkuu wa Zamani wa Malaysia Apandishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Ufisadi

$
0
0
Waziri Mkuu wa Zamani wa  Malaysia Apandishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Ufisadi
Maafisa wa kupambana na ufisadi nchini Malaysia wamemkamata Waziri mkuu wa zamani wa Malaysia kwa madai ya ufisadi na kumfikisha mahakamani ambapo alikanusha madai hayo.

Razak anadaiwa kufuja pesa kutoka kwenye hazina ya serikali alipokuwa madarakani na iwapo atapatikana na hatia basi huenda akapata kifungo cha miaka 20 jela.

Kesi kwa Razak zilianza punde tu aliposhindwa uchaguzi mwezi May, ambapo alizuiliwa kuondoka nchini humo huku shirika la kupambana na rushwa likianza kumhoji na kupekua nyumba zake kama sehemu ya uchunguzi.

Razak aliachiliwa huru wa muda baada ya kulipa dhamana ya $250,000

Baba Amnyonyesha Mtoto Wake Mchanga Baada ya Mkewe Kupata Matatizo ya Kiafya Baada ya Kujifungua

$
0
0
Baba Amnyonyesha Mtoto Wake Mchanga Baada ya Mkewe Kupata Matatizo ya Kiafya Baada ya Kujifungua
Wakati wanandoa huko Wisconsin waliendesha kumkaribisha mtoto wao sio mama tu alikuwa na usiku uliokumbwa na visanga bali baba pia alishiriki kwa njia ambayo hakuwa ameitarajia.

Kujifungua kwake April Neubauer, hakukuwa rahisi kwa sababu alikumbwa na tatizo linalofahamika kama pre-eclampsia, na mpigo wa juu wa damu, hali iliyosababisha akimbizwe chumba cha dharura cha upasuaji.

Wakati mtoto Rosalie alizaliwa tarehe Juni 26, mama yake April alikumbwa na tatizo lingine ndipo akapelekwa kwa matibabu zaidi kabla ya hata kumshika mtoto wake.

Kwa sababu ya hilo mtoto Rosalie ambaye alikuwa na uzani wa kilo 3.6 akakabidhiwa baba yake Maxamilllian.

"Muuguzi akaja na msichana wangu mrembo , tukaenda chumba cha watoto, nikaketi na kuvua shati langu ili nimkumbatie mtoto," aliiambia BBC.

Muuguzi akasema kuwa walihitaj kumpa mtoto maziwa ya unga kwanza.

"Kisha muuguzi akauliza kama nitaweza kutoa titi langu nimnyonyeshe. Na mimi nikiwa mtu ambaye anapenda kujaribu mambo, nikasema mbona nisifanye hivyo"

Muuguzi akaunganisha mrija ambao ulikuwa umeunganishwa na sirinji iliyokuwa na maziwa ya unga kwa kifua chake Maxamillian.

"Sijawai kunyonyesha au hata kufikiria kwa miaka 1000 ningefanya hivyo. Ni mimi nilikuwa wa kwanza kumnyonyesha mtoto!

Msajili Aliyetumbuliwa na Mwiguru Kisa Kuandika Barua Kutaka Ufutwe Waraka wa Pasaka Arudishwa Kazini

$
0
0
Msajili Aliyetumbuliwa na Mwiguru Kisa Kuandika Barua Kutaka Ufutwe Waraka wa Pasaka Arudishwa Kazini
MSAJILI wa Taasisi za Kiraia na Vyama vya Hiari wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Merlin Komba, ambaye alisimamishwa kazi na aliyekuwa waziri wa wizara hiyo, Mwigulu Nchemba,  wiki chache zilizopita kufuatia msajili huyo kuandika barua kwa kanisa la KKKT kutaka lifute waraka wake wa Pasaka, amerudishwa kazini.

Siku moja tu baada ya Lugola kuapishwa, Komba amerudishwa kazini. Hata hivyo Lugola amekataa kusema ni nani aliyemrudisha kazini msajili huyo, na kwa utaratibu gani.



Mwigulu alisema barua hiyo kwenda KKKT iliandikwa na ‘wahuni’ waliokuwa na lengo la kuhatarisha amani ya nchi.

Taarifa Rasmi: Mwili wa Mtoto wa Muna Love Kuletwa Nchini Ijumaa kwa Mazishi

$
0
0
Taarifa Rasmi: Mwili wa Mtoto wa Muna Love Kuletwa Nchini Ijumaa kwa Mazishi
Mtoto Partick wa mwanadada mjasiriamali, Muna na Casto Dickson amefariki usiku wa jana baada ya kuwa kwenye koma kwa muda wa wiki moja.

Mtoto huyo alipelekwa Kenya wiki iliyopita kwaajili ya kufanyiwa upasuaji ambao haukuelezwa ni upasuaji wa nini lakini mtoto huyo alikuwa anasumbuliwa na mguu kwa muda mrefu.

Mapema jana mkurugenzi wa vipindi Wasafi TV, Zamaradi Mketema ambaye alipewa jukumu na familia la kuzungumza, jana alianza alianza arakati za kukusanya michango kwaajili ya matibabu ya mtoto huyo.

Leo, Zamaradi ametoa taarifa hii rasmi kuhusu msiba huo.

Kwasasa bado Mwili uko Nairobi (Kenya) na wameshaanza taratibu nyingine ili kufanikisha mwili kufika hapa nchini.

Na kama kila kitu kikikamilika mwili unatarajiwa kuletwa siku ya keshokutwa hapa DSM na ndio taratibu nyingine zitafata

Ila kwasasa makutano yatakuwa Mbezi Beach kwa Muna kwa wale ndugu jamaa na marafiki watakaotaka kujumuika na zaidi tu michango bado inahitajika sana sana ili kuweza kukamilisha taratibu zilizopo kama mnavyojua lazima kuna mambo ya hospitali yaliyokuwepo, taratibu za kusafirisha na mengineyo (namna ya kutuma nimetoa maelekezo kwenye post iliyopita ambayo itamfikia yeye mwenyewe)

Ushirikiano ni muhimu zaidi kwa kipindi hiki bila kusahau MAOMBI juu ya mwenzetu alieondokewa.

Tengeneza Shape na Kuimarisha Nguvu za Kiume kwa Kutumia Natural Beuty Products

$
0
0

Katika kusherehekea miaka 15 ya kampuni ya NATURAL BEAUTY PROD tunatoa shukrani za dhati sana kwa wateja wetu wote kwa kutuunga mkono miaka yote hiyo.
TUNATOA OFFA YA WIKI NZIMA KWA WATEJA WETU UKINUNUA BIDHAA UTAPATA PUNGUZO LA 20%. KWA WATEJA WA MIKOANI UTATUMIWA BURE.

Ni bidhaa salama kabisa zilizotengenezwa kwa mimea na matunda pia zina matokeo mazuri na kwa haraka zaidi.

🥑🍇🍋🍓 🍒🌱🍇🍇
👇👇👇👇

1.HANDSOME UP ORIGINAL_ Inaongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli (wiki 2) @220,000/=
2.SHARK POWER GELY_ Inaongeza uume inch 6 (wiki 4) @150,000/=
3VigRX CREAM_ Inaongeza uume inch 7.5 hadi 8 (wiki 2-3) @180,000/=
4.Vidonge maalum vya kuongeza nguvu na hamu ya tendo hata kwa wenye kisukari na BP @140,000/=
5. MAXMAN 2-Hii ni vidonge vinavyoongeza nguvu za kiume pamoja na uume @210,000/=
6.VIGA SPRAY OG_ Inaongeza uwezo ktk tendo na kuchelewesha kufika kileleni @140,000/
7.BOTCHO MULT PLUS_Hii ni dawa ya kunywa ya kuongeza ( Hips mapaja na makalio) inapatikana kwa @160,000/=
8.BOTCHO CREAM HOLOGRAM_ Hii ni yakupaka ya kuongeza (HIPS na MAKALIO) @150,000/=
9.LEG BOOSTER_Ni dawa ya kuongeza miguu (CHUPA YA BIA) @140,000/=
10.BODY BOOSTER_ Hii ni yakuongeza mwili pamoja na hamu ya kula vizuri @140,000/=
11.YODI PILLS--- Hii ni dawa ya vidonge ya kuongeza (hips mapaja na makalio) inapatikana kwa @160,000/= N.K

NB:Hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa NATURAL BEAUTY PROD ili kuthibitisha ubora wa bidhaa zetu.
Wasiliana nasi Popote ulipo duniani kwa no÷

(+255) 659618585
au
0759029968
Follow us instagram-

@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod

Kimenuka...Wachezaji Waliokosa Penati Jana Usiku Kombe la Dunia Watishiwa Kuuawa

$
0
0

Wachezaji wa timu ya taifa ya Colombia Carlos Bacca na Mateus Uribe wametishiwa kuuawa na baadhi ya mashabiki kupitia mitandao ya kijamii baada ya kukosa penati katika mchezo dhidi ya Uingereza na kuifanya timu yao iage michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi.

Kauli ya Sumaye ya Kwamba Alienda Upinzani Kwa Faida ya CCM Yawachanganya Wengi

$
0
0

"Nimeenda upinzani kwa maslahi ya nchi hii na kwa faida ya CCM"- kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Frederick Sumaye mbele ya Rais Magufuli jana walipokutana viongozi wote wastaafu.

Watu mbali mbali wamekua wakihoji kauli hiyo Ina maanisha nini

Patrick, Mtoto Aliyeondoka na Kuumiza Taifa

$
0
0
Pengine ni kutokana na umaarufu wa mama yake, lakini pia inawezekana ni kutokana na matendo yake na moyo wake aliokuwa nao alipokuwa akisaidia wengine kupitia neno la mungu, au pengine mungu aliamua kumtengenezea njia yake akiwa tangu mdogo.

Mtoto Patrick ambae amefariki usiku ya kuamkialeo akiwa katika matibabu yake huko nairobi ameliza watu wengi na sio wasanii tu lakini msiba huu umekuwa kama msib wa taifa  kutokana na kifo hiki na hata ugonjwa wake ulivyokuwa ukiwaumiza watu.

Patrick ambae ni mtoto wa mwanadada Muna na mtangazaji Casto Dickson amefariki akiwa katika chumba  cha wagonjwa mahutiuti huku jijini nairobi akiwa katika kufanyiwa matibabu , kwa nchini tanzania ukiachana na sala na maombezi aliyokuwa akiombewa lakini pia watu waliamua kujitolea gharama yoyote ili kumsaidia mtoto huyo kurudi katika hali yake ya kawaida.

Lakini kumbe mungu nae ana mipanfo yake , GONE TOO SOON PATRICK.

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

$
0
0

Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU

 0753471612/ 0715249530
0623 386 305

DR KUZENZA

Kupungua Mwili Kunanipa Madili Mengi- Gigy Money

$
0
0
  Kupungua Mwili Kunanipa Madili Mengi- Gigy Money
Msanii wa bongo fleva Gigy Money, Amefunguka kuwa yeye kupungua kwake kunampa faida sana katika kupata madili na kuwa mwepesi kwenye show zake.

Akizungumza na eatv.tv Gigy Money amesema kama angeendelea kuwa mnene basi kwenye kutumbuiza jukwaani asingekuwa mwepesi kama alivyo sasa hivi kwa hiyo hapendi kuwa mnene tena.

Gigy Money amesema unene sio mzuri kwa kile alichodai kwamba  mtu akiwa mnene anakuwa na mwili usiokuwa na mvuto sana kama ukiwa mwembamba, na pia raha ya kuwa mwembamba unakuwa shapu shapu kwa kila kitu ambacho unakuwa unaitaji kufanya kwa wakati.

“Kwanza mimi nafurahia kuwa mwembamba kuliko nilivyokuwa zamani, moja ukiwa mwembamba kwenye 'show' unafanya utakavyo tofauti na ukiwa mnene kingine ona mtu kama Vanessa akiwa nafanya 'show' hadi una-enjoy kwa hiyo kuwa ki-model pia unapata matangazo mengi” ,amesema Gigy Money.

Ameongeza kwa kusema anapokuwa kwenye jukwaa ana kuwa huru kufanya chochote kuliko zamani alivyokuwa kwa hiyo hapendi kurudi katika hari ile ya zamani ya unene.

Waziri Mkuu Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili Wa Profesa Maji Marefu

$
0
0
Waziri Mkuu Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili Wa Profesa Maji Marefu
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza waombolezaji katika kuuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Korogwe Vijijini, Bw. Stephen Ngonyani maafufu Profesa Maji Marefu.

Bw. Ngonyani ambaye alifariki dunia Julai 2, 2018 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbi ameagwa leo (Jumatano, Julai 4, 2018) katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kutoa pole kwa wanafamilia, wabunge, wananchi wa Korogwe pamoja na Watanzania kwa ujumla. Amewataka waendelee kumuombea marehemu.

“Natoa pole kwa wake wa marehemu, watoto na nawaomba tuendelee kuwa wavumilivu na watulivu katika kipindi hiki. Tulimpenda sana lakini Mwenyezi Mungu amempenda zaidi,”.

Kwa upande wake, Katibu wa Bunge, Bw, Stephen Kagaigai akisoma wasifu wa marehemu amesema Bw. Ngonyani alizaliwa Mei 25, 1956 katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.

Bw. Kagaigai amesema marehemu alianza kuugua Juni 17 mwaka huu na Juni 18 alilazwa katika Hopitali ya Mkoa wa Dodoma na Juni 20 alihamishiwa katika Hopitali ya Muhimbili.

Shughuli hiyo ilihudhuriwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi. Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai, Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson, Wabunge na wanafamilia.

Werrason Kutua Bongo Jumatano Kufanya Shoo

$
0
0
Werrason Kutua Bongo Jumatano Kufanya Shoo
Mwanamuziki nguli kutoka Jamhuri ya Congo (DRC) Werrason Ngiama Makanda, anatarajia kuwasili nchini Jumatano hii kwa ajili ya kufanya maonyesho tofauti katika mikoa ya Mwanza, Arusha na Dar es Salaam.


Mratibu wa ziara ya mwanamuziki huyo, Lengos VIP alisema kuwa mwanamuziki huyo nguli anawasili July 5, saa 4, asabuhi kwa ajili ya maonesho hayo maalum.

Alisema kuwa Mwanamuziki huyo ataanza onyesho la kwanza mkoani Arusha siku ya Ijumaa ya Julai 6 na siku ya pili ya Julai 7, atakuwa mkoani Mwanza huku onyesho la mwisho litafanyika Mkoani Dar es Salaam.

Alisema mkoani Arusha Mwamuziki huyo atafanya onyesho kwenye ukumbi wa Mjengoni Club, wakati Mwanza atafanya mambo yake kwenye ukumbi wa Rock City na Mkoa wa Dar es Salaam Life Park uliopo Mwenge (zamani Word Cinema).

                                                                        Werrason aliyeanzia katika bendi ya Wenge BCBG,  miongoni mwa wanamuziki wa Congo wanaopata nafasi za kupata mwaliko wa kuja kutoa burudani hapa nchini,  huku mratibu wa maonyesho hayo akiwataka mashabiki wajitokeze kupata burudani nzuri kutoka kwa nguli huyo.

Mwanamuziki huyo amekuwa akifanya ziara katika nchi mbali mbali ikiwemo Tanzania na kufanya vizuri kwa mashabiki kukubali ujio wake.
Mwisho

Mtibwa Sugar Yatakiwa Kulipa Dola 1500 ili Kucheza Kombe la CAF Afrika

$
0
0
Mtibwa Sugar Yatakiwa Kulipa Dola 1500 ili Kucheza Kombe la CAF Afrika
Shirikisho la soka Tanzania TFF leo kupitia kwa kaimu katibu mkuu wake Kidao Wilfred limetegua kitendawili kilichokuwa kinaulizwa na wengi baada ya club ya Mtibwa Sugar kutwaa Ubingwa wa Kombe la FA kwa kuifunga Singida United.

Kwa kawaida mshindi au Bingwa wa Kombe la FA ndio huwa anapewa nafasi ya kuiwakilisha nchi katika michuano ya Kombe la shirikisho barani Afrika, sasa baada ya ushindi huo wengi walitaka kufahamu kuwa Mtibwa ambaye alifungiwa na CAF kushiriki michuano hiyo kwa kosa la kutokwenda South Africa kucheza game ya marudiano dhidi ya Santos FC hatma yake ipoje.

TFF ambaye imepatiwa majibu na CAF kuwa ili Mtibwa Sugar ipate nafasi ya kushiriki michuano hiyo inatakiwa kulipa faini ya dola 1500 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni tatu na gharama zote za Santos za kuja Tanzania kwa ajili ya game hiyo, pesa hiyo inatakiwa kulipwa hadi kufikia July 20 2018.

Mama wa Miaka 91 Amuua kwa Kumpiga Risasi Mwanaye Kuepuka Kupelekwa Nyumba ya Kulea Wazee

$
0
0
Mama wa Miaka 91 Amuua kwa Kumpiga Risasi Mwanaye Kuepuka Kupelekwa  Nyumba ya Kulea Wazee
Mwanamke mwenye umri wa miaka 92 amemuua kwa kumpiga risasi mtoto wake, 72 ili kuepuka kupelekwa kwenye nyumba ya kulea wazee

Anna Mae Blessing, ambaye anashtakiwa kwa mauaji, aligundua nia ya kijana wake kumpeleka kwenye nyumba hiyo, kwa mujibu wa nyaraka za mahakamani.

''Uliyachukua maisha yangu, hivyo nayachukua ya kwako,'' aliripotiwa akiyasema hayo alipokuwa akisindikizwa kutoka kwenye makazi aliyokuwa akiishi na mwanae na mpenzi wa mwanae

Tukio lilitokea asubuhi ya Tarehe 2 mwezi Julai katika mji wa Fountain Hills nchini Marekani, taarifa ya polisi ilitolewa na vyombo vya habari mjini humo.

Kijana wa Bibi Blessing ambaye jina lake halikuwekwa wazi, alimtaka mama huyo kwenda kwenye nyumba hiyo ya malezi kwa kile alichodai ''imekuwa ngumu kuishi naye''.

Mama huyo alificha silaha zake mbili kwenye mifuko ya koti lake refu kabla ya kumkabili mwanaye aliyekuwa kwenye chumba cha kulala. Taarifa ya polisi ilieleza.


Polisi wamesema walimkuta kijana amefariki na kukuwa na majeraha mawili ya risasi kwenye shingo na taya.

Bibi Blessing alimgeukia mpenzi wa mwanaye mwenye umri wa miaka 57, ambaye alipambana naye na kufanikiwa kumpokonya silaha na kuirusha kwenye kona ya chumba.

Alitoa pisto ya pili, ambayo aliwaambia polisi kuwa alipewa na marehemu mumewe miaka ya 1970.

Mpenzi wa mwanawe alifanikiwa kumpokonya kwa kuupiga mkono wake, kabla ya kutoroka na kuwapigia simu polisi

Polisi walimkuta mtuhumiwa akiwa amekaa kwenye kiti chumbani kwake.Baadae aliwaambia kuwa alistahili ''kuuawa'' kutokana na vitendo vyake.

Bibi huyo amekutwa na hatia ya mauaji, kudhuru mwili na utekaji nyara, na dhamana yake ni kiasi cha dola za marekani 500,000.

Wanafunzi Watano wa Chuo Kikuu Wakamatwa Baada ya Kuandamana Kupinga Kodi ya Mitandao ya Kijamii

$
0
0
Wanafunzi Watano wa Chuo Kikuu Wakamatwa Baada ya Kuandamana Kupinga Kodi ya Mitandao ya Kijamii
Wanafunzi wapatao watano wa Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda wamejikuta mikononi mwa polisi baada ya kuandamana wakipinga sheria mpya ya mitandao ya kijamii inayowataka raia wote wa Uganda wanaotumia mitandao hiyo kutozwa kodi.

Mtandao wa gazeti la New Vision la nchini Uganda limeandika kuwa wanafunzi hao waliandamana juzi July 2, 208 ambapo walikuwa wanaandamana kuelekea bungeni jijini Kampala.

Uganda imepitisha rasmi sheria ya kutoza kodi kwa watumiaji wote wa mitandao ya kijamii, na sheria hiyo imeanza kufanya kazi Julai 01, 2018.

Hiki Hapa Kikosi cha Simba Dhidi ya Singida United

$
0
0
Hiki Hapa Kikosi cha Simba Dhidi ya Singida United
Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Singida United, Kombe la CECAFA KAGAME

1. Deo Munishi
2. Nicholas Gyan
3. Jamal Mwambeleko
4. James Kotei
5. Pascal Wawa
6. Mzamiru Yassin
7. Said Ndemla
8. Mwinyi Kazimoto
9. Meddie Kagere
10. Mohamed Rashid
11. Moses Kitandu

Kikosi cha akiba

12. Ally Salim
13. Mohamed Hussein
14. Paul Bukaba
15. Rashid Juma
17. Abdul Hamis
18. Marcel Kaheza
19. Adam Salamba

Kutana na Dr Mabula Kukutibu Matatizo ya Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo

$
0
0

TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO :

Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliongahika sehemu mbalimbali bira MAFANIKIO MABULA CLINIC ni kituo cha tiba asilia kilichopo mbagara zakhemu njia kuu ya JESHINI JE HUNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO NA MWEMBAMBA?


MAPRO PAWER NO 2 ndio Tiba kwa sasa utibu matatizo matatu kwa pamoja itakufanya uchelewe kufika kilekeni dikika 15-20 kwa tendo la kwanza 2 uimalisha misuli iliyoregea na kusinyaa hasa kwa wale walio asirika na upigaji punyeto 3 itakufanya upate hamu ya kurudia tendo zaidi ya Mara tatu.

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MPENZI AU MKE WAKO kisa unawai kukojoa au unakomea bao moja tu na huku dawa zipo

MAKAKANUA mix ni dawa iliyochanganywa na miti Shamba 9 na Kuwa na uwezo wa kuongeza uume saizi upendayo inchi 5-8 Kwa Urefu na unene sentimita 1-5 dawa hizi hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ata wazee wenye umri mkubwa wanapona.

Zipo dawa za mvuto wa mpenzi mme au mke Kwa masaa matatu tu na kukupigia simu yeye mwenyewe mvuto wa biashara kutengeneza mwonekano mzuri wa mwili kwa wanawake yani shepu tunatibu ngiri miguu mgongo na kiuno kuumwa kupunguza kitambi minyama uzembe matiti na mwili mkubwa

TIBA NA USHAULI MUONE DR MABULA AU PIGA SIMU NO 0752348593 UDUMA ZANGU UTAZIPATA POPOTE ULIPO KAMA UWEZI KUFIKA OFISINI
Viewing all 104745 articles
Browse latest View live




Latest Images