Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live

Lulu Diva Adaiwa Kufaidi Penzi La Bill Nas

$
0
0
Msanii wa Bongo fleva anayefanya vizuri na kibao chake cha ‘Ona’ Lulu Abbas maarufu kama Lulu Diva amesemekana kuwa Kwenye Mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake Bill Nas.

Global Publishers wanaripoti kuwa wasanii hao wawili wamekuwa na ukaribu wa ajabu na wameonekana wakionyeshana Mahaba hadharani bila kujali macho ya watu.

Gazeti hilo linaripoti kuwa lilimpata mtu ambaye alitoa taarifa hiyo ambapo alifunguka:

Walianza kama masihara, tukajua labda Rich Mavoko ndiyo anakaa kwa Lulu kumbe ni Bill Nas bwana, juzi walikuwa tena pamoja wakielekea mkoani sijui mkoa gani lakini picha zao za kujibebisha zinamaanisha“.

Baada ya Tetesi hizo na kusindikizwa na picha kadhaa Kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha ukaribu Global Publishers lilimsaka Lulu Diva ambaye alimwaga povu hili:

Hivi jamani mtu kuongozana na mwanaume ndiyo kutembea naye? Mbona mnataka kuniharibia kwa mtu wangu niliyekuwa naye?
“Bill Nas ni mshikaji   wangu wa kawaida tu, juzi (Jumamosi iliyopita) tuliandaliwa shoo ya pamoja huko Iringa, tukiwa njiani tulikuwa tukipiga mapicha picha kama mtu na rafiki yake, nashangaa watu wanageu-zageuza maneno”.

Nay na Nini Walianza Mapenzi Kimya Kimya, Ila Wamwagana Kupitia Mtandao wa Instagram

$
0
0
Msanii wa bongo fleva, Nay wa Mitego ametangaza kuwa single katika ukurasa wake wa instagram huku katika ukurasa wa mpenzi wake Nini akiandika maneno yenye kuashiria kuwa mahusiano yake hayajakaa sawa.

Wakitumia kurasa zao za instagram, nini na nay kwa nyakati tfauti wameandika maneno yenye kuacha maswali mengi kwa mashabiki zao.katika ukuarasa wa nay aliandika:
ITS OFFICIAL SINGLE, usichangie chochote , wala sihitaji comments  ata moja , no ushauri wala maoni , yaani ni hivyo hivyo tu am single.”

wakati katika ukurasa wa nini aliandika
“Kwenye haya maisha unaweza ukampenda, ukamjali  na kumheshimu mtu lakini akakuona kama fala, na akishajua hivyo ndo anakufanyia vituko kila sehemu  maka ukajua kumpenda. but all in all lazima maisha yaendelee, there are dream need to be fulfilled,  and responsibilities  to be  done , hata bila wewe mbona mi naweza tu.TUSIENDESHANE”

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume, nasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

$
0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za:

GUMBA POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.

NTINJE:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0754741788, 0715741788, 0783741788

-DR MAGISE

Baada ya Kuteuliwa na Rais Mbarawa Afanya Ziara Dawasco

$
0
0
Baada ya Kuteuliwa na Rais Mbarawa Afanya Ziara Dawasco
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof Makame Mbarawa amefanya ziara katika ofisi za DAWASCO ikiwa ni siku ya tatu baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo.

Prof Mbarawa amefika ofisini hapo na kufanya mazungumzo na wafanyakazi wa DAWASCO ambapo amesmshukuru Mungu na Rais JPM kwa kumpa nafasi hiyo.

“Namshukuru Mungu, pia namshukuru Rais kwa kunipa hii Wizara ya Maji na Umwagiliaji kwani naamini nitakuja kuyabadilisha maisha ya Watanzania” -Prof Mbarawa

“Lazima tuwaletee maji Watanzania haiwezekani watu wapo hapa DSM na hawana maji, nataka mpate wateja laki nane na hamsini elfu, kwani itasaidia kuongeza mapato, tuhakikishe wateja wote wanaotaka maji wanapata maji”– Prof Mbarawa

Diego Maradona: Naumia Kuona Timu Yangu Inapotea

$
0
0
Diego Maradona: Naumia Kuona Timu Yangu Inapotea
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina, Diego Maradona amesema kuwa uvumilivu umemshinda kuona timu yake ya taifa ikikosa mataji makubwa duniani na kuamua kujitolea kukinoa kikosi hicho bila malipo.

Maradona ambaye ameshinda kombe la dunia la mwaka 1986 na timu ya taifa ya Argentina amesema kuwa nafasi ya Sampaoli kusalia kama kocha wa timu hiyo ni ndogo sana kufuatia kuvurunda kwenye kombe la dunia.

“Namuomba japo Mungu anipe nguvu niwe na nguvu kama zamani kwani naumia kuona timu yangu inapotea kirahisi rahisi, mbaya zaidi naumia kuona timu yangu inakuwa mbovu hata kwenye michuano yenye timu 32 hii ni aibu kubwa kwa timu tuliyotumia nguvu kubwa na miaka mingi kuijenga, nitarudi kuifundisha timu yangu tena bila hata malipo. Hebu fikiria nimekimbia umbali gani nikiwa na jezi na bendera ya taifa langu? narudi kuifundisha timu yangu siwezi kukubali matokeo tuliyoyapata,“amesema Maradona kwenye mahojiano na ESPN.

Hata hivyo, Kocha huyo hataweza kufukuzwa kiurahisi na chama cha mpira nchini Argentina (AFA) kwani atatakiwa kulipwa kiasi cha dola milioni $17.

Juventus Kunasa Saini ya Ronaldo kwa Euro Milioni 100

$
0
0
Juventus Kunasa Saini ya Ronaldo kwa Euro Milioni 100
Klabu ya Juventus ya nchini Itali inakaribia kunasa saini ya mshambuliaji wa Real Madrid na mchezaji bora duniani kwa sasa, Cristiano Ronaldo.

Kwa mujibu wa kipindi cha TV kinachorushwa nchini Hispania kinacho julikana kwa jina la Jugones kimeripoti kuwa Real Madrid ipo tayari kupokea kitita cha euro  milioni 100 sawa na pauni milioni 88 kutoka kwa Juventus ili kumuuza, Cristiano Ronaldo.

Television hiyo ya Hispania inayopatikana kwenye ‘station’ ya La Sexta imesema kuwa mshambuliaji huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 33 ataridhia kuondoka baada ya kuwa  Bernabeu kwa miaka tisa.

Endapo dili hilo likikamilika Ronaldo atakuwa akikosunya kitita cha euro milioni 30 ikiwa sawa na pauni milioni 27 kwa mwaka. Inaaelezwa kuwa Madrid ipo tayari kupokea kitita hicho ili kumsajili mshambuliaji wa Brazil, Neymar.

Nape Nauye Aomboleza Kifo cha Maji Marefu

$
0
0
Nape Nauye Aomboleza Kifo cha Maji Marefu
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani maarufu Profesa Majimarefu atakumbukwa kwa busara na ucheshi wake.

Nape aliyasema hayo leo Julai 4, 2018 baada ya kutoa heshima za mwisho katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Prof Majimarefu alifariki dunia Julai 2, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alipokuwa akipatiwa matibabu.

Nape amesema Majimarefu alikuwa rafiki wa kila mtu. "Alikuwa anapenda kusema ukweli bila woga, ni mpenda watu na mwenye ushirikiano.”

Mbali na hayo Nape amesema marehemu Majimarefu alikuwa na mchango mkubwa hasa katika michezo.









Zifahamu Faida 5 za Kununiana na Mpenzi Wako Ndani ya Mahusiano ya Ndoa Au Uchumba

$
0
0
Mapenzi yana wigo mpana mno ambao mtu anapaswa kuuangalia kwa jicho pana na akili pembuzi kabla ya kuingia, namaanisha kwamba ni lazima kuchunguza kina cha maji kabla ya kuzamia. Sasa basi, zifuatazo ni faida tano utakazozipata ukiwa umenuniana na mpenzi wako.

HUSAIDIA KUPUNGUZA MIGOGORO
Ni ukweli usiopingika kuwa, katika hali ya kawaida, ukiwa mbali na mtu fulani katika jamii unayoishi ni vigumu sana kujikuta umekwaruzana naye. Hii ni kwasababu utakuwa hauingiliani naye katika mizunguko yako, vivyo hivyo kwa wapenzi walionuniana.

Hali hii hupunguza kabisa migogoro ya hapa na pale, kwani hiki ni kipindi ambacho mtakuwa mbalimbali jambo ambalo huepusha maudhi ya kibinadamu.

Mfano, yawezakana katika kipindi mlichonuniana na mpenzi wako, uliingia ujumbe wa mapenzi kwenye simu yake kutoka kwa mtu aliyekosea namba. Kwa kuwa hauko naye karibu jambo hili halitakuumiza maana hutaelewa nini kimeendelea tofauti na kama ungelikuwa naye karibu.

Kwa hiyo kuna baadhi ya maumivu na maudhi ambayo utaepukana nayo kwa kipindi cha kununiana kwenu. Ni kweli kabisa kwamba hupunguza migogoro na mitafaruku ya hapa na pale, umeelewa mpenzi msomaji wangu? Haya twende kwenye faida ya pili.

KUBAINI TABIA X ZA MWENZAKO
Hiki ni kipindi ambacho sasa kitakusaidia wewe kubaini tabia na mienendo mibaya ya mwenzi wako. Hii ni kwa kuwa utakuwa mbali naye hivyo naye hujiona kuwa yuko huru kufanya jambo lolote analoona kuwa linafaa bila kujali uwepo wako kwani kila mtu hana ‘time’ na mwenzake.

Kama kuna asili ya maisha yake ambayo aliiacha baada ya kuingia katika uhusiano na wewe, ambayo ni mbaya zaidi sasa hapa ataanza kuirudia kwa kujiona kuwa hana mtu wa kumzuia na kumbana.

Kama ni mlevi kupindukia, mchafu, muongo na tabia nyingine mbaya za kufanana na hizi basi ataanza kuzionesha katika kipindi ambacho mmenuniana.

KUPATA MUDA WA KUTAFAKARI ZAIDI
Hapa naomba nieleweke vizuri kabisa kwamba, ninapoongelea suala la kutafakari zaidi katika kipindi ambacho wewe hauna maelewano mazuri na mwenzi wako, namaanisha kuwa utapata muda mzuri zaidi wa kutafakari penzi lenu kwa ujumla.

Ni kipindi kitachokuongoza wewe kuwa na uelewa wa ni aina gani ya mpenzi uliyenaye. Kivipi? Ni kwamba, katika muda huu mara nyingi utataka kupata suluhu ya kununiana kwenu, lakini pia katika kutafuta suluhu hiyo utapata fursa ya kutafakari kwa kina juu ya penzi lenu huku ukimpima mwezi wako kwa mtazamo chanya.

KUFAHAMU AINA YA MARAFIKI ZAKE
Si kila rafiki wa mwenza wako ana nia nzuri na uhusiano wenu au anafurahia penzi lenu. Mathalani, labda wewe ni msichana na pengine miongoni mwa rafiki zake kuna mmoja au wawili ambao hutamani sana kupata penzi lako.

Sasa katika kipindi ambacho utakuwa umenuniana na mpenzi wako basi itakuwa ni nafasi nzuri kwao kuitumia kunyunyizia sumu ya kumponda huku wakikutamkia maneno ya kukushawishi, hivyo utakuwa umeelewa ni aina gani ya marafiki alionao mwenzi wako.

Hii si kwa msichana tu, hata kwa wanamume kwani huenda kati ya rafiki wa ‘girlfriend’ wako, kuna wanaokutamani, sasa wakiona huna uhusiano mzuri na mpenzi wako, watatumia nafasi hii kukuambia maneno ya uongo juu yake na kukuonesha kila dalili za kukutaka.

Hivyo utakuwa umefahamu ni aina gani ya rafiki ambao mpenzi wako anao. Tambua kwamba, marafiki wengi wana tabia zinazofanana.

KUBAINI AINA YA PENZI ALILONALO KWAKO
Katika kipindi hiki, utaweza kuelewa ni aina gani ya penzi alilonalo huyo mtu wako juu yako. Kwa mpenzi aliye na hisia za dhati kabisa kwako, katika kipindi hiki atakuwa ni mtu wa kutafuta njia ya kupata suluhu ya tatizo lenu.

Pamoja na kwamba wewe utakuwa umenuna, bado yeye ataonesha kukujali kama kawaida, atakupigia simu za hapa na pale yaani ilimradi tu asikie angalau sauti yako, lengo lake likiwa ni kutaka kurejesha ukaribu ambao sasa anaona kama akiupoteza itakuwa ni maumivu kwake.

Kwa mantiki hiyo basi, utagundua ni kwa jinsi gani anathamini penzi lenu na ni aina gani ya penzi alilonalo kwako. Yote haya utabahatika kuyajua kupitia kipindi cha kununiana kwenu.

Hata hivyo, niwatahadharishe kwamba, kuandika haya isiwe ni tiketi ya wewe sasa kuanza kununiana na mpenzi wako eti kwa kigezo kwamba utapata nafasi ya kumfahamu, la hasha!
Siku zote katika uhusiano wako epuka maudhi na migogoro isiyokuwa ya lazima.

NHIF Haitowalipia Gharama Wanaotoa Mimba

$
0
0
Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya NHIF umefafanua kuwa hautahusika  kuwalipia gharama za matababu watu walioumia katika majanga ya uvunjifu wa sheria kama utoaji mimba wa makusudi na ujambazi.

Ufafafanuzi huo umetolewa na Kaimu Meneja wa Mfuko wa  Bima ya afya (NHIF) wa mkoa wa Ruvuma Doto Miraji wakati akizungumza na waratibu wa NHIF na CHF wa halmashauri za mkoa wa Ruvuma na wanaoshughulikia huduma hizo katika hospitali za misheni mkoani humo.

Kwa upande wao Waratibu wa NHIF na CHF mkoani Ruvuma wanasema kuwa wamejipanga kusimamia vizuri mpango wa matibabu ya bima ya afya kuelekea azma ya serikali ya kuhakikisha kila mwananchi anatibiwa kupitia bima ya afya na kuondokana na matatizo ya wananchi kupoteza maisha kwa kukosa fedha za matibabu.

Msigwa afichua jinsi CCM walivyomuibia wazo lake

$
0
0
Mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa (CHADEMA), amedai kuwa yeye ndio alikuwa wa kwanza kutoa kauli ya kupeleka runinga katika soko la Mlandenge lakini Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilimuwahi kwa kupeleka kabla yake.

Akizungumza kupitia East Africa BreakFast ya East Africa Radio, Msigwa amesema kwamba, yeye alikuwa wa kwanza kutoa ahadi lakini CCM walimuwahi na kupeleka kabla yake hivyo anawashangaa wananchi wanaombeza juu ya jambo hilo bila ya kujua undani wake.

“CCM waliniwahi kupeleka televisheni hiyo hapo sokoni na wananchi wanaohoji kuhusu suala hilo basi wakitaka nilete televisheni nyingine na zifungwe mbili katika soko sawa nitafanya ivyo”, amesema Msigwa.

Aidha Msigwa ameongeza kuwa serikali kwa kushirikiana wafadhili kutoka benki ya dunia watakamilisha mradi wa soko la ghorofa ili kuboresha huduma sokoni hapo na kulifanya la kisasa.

Nampenda Sana Huyu Kaka Mpaka Naona Najipendekeza

$
0
0
Habari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa 26yrs.

Nina mpnzi wangu ambaye nampenda sana, kiasi kwamba tukitofautiana kauli huwa inanipa shida sana,najihisi hadi kuumwa, ila kwake yeye huwa naona kama anachukulia poa.

Jana usiku tumepishana kauli nimeumia sana na mpaka sasa hatujawasiliana, kila mmoja ameuchuna, pia kinachonikwaza ni kwamba kila tukigombana mimi ndio huwa lazima niombe msamaha,hata kama kakosa yeye, ila leo nataka niendelee kuuchuna,for this, am I correct or not.

Pia nipeni mbinu za kumpenda mtu kiasi kwa sababu nimegundua too much is harmful.

Ananipa Mapenzi Mpaka Naogopa, Nilikuwa Simpendi ila Sasa Nimeoza Bado Kufa tu

$
0
0
Jamani imenibidi tu nisema huyu jamaa kwenye picha ndio roho yangu kwa sasa nampenda kufa hata akiniambia tuoane leo mimi nipo tayari ...Jamani tulikutana nae kama mwaka umepita akani approach mimi nikawa namringia kwa vile sikumpenda hata kidogo pia marafiki zangu walikuwa wanasema si size yangu eti hatuendani ni mshamba basi na mimi nikamchukulia for granted nikawa na mzungusha, basi siku ya mwaka mpya akanipa offer twende tukaspend bagamoyo for two days sasa huku nilipewa penzi la nguvu ambalo sijawahi pewa na mwanaume hapa dar yaani mpaka niliwasahau masharobaro wangu wote ...

Jamaaa anajua kunigusa napopataka kwa kifupi anajua si unaona kwenye picha hapo hiyo ni trailler tu....Nampenda sana wale marafiki zangu waliokuwa wanamponda sasa nawaambia hivi hapo ndio nimefika nimeoza....Nimeziba masikio hata akisema leo tuoana hata bila sherehe namkubali...I love u Charles

Niko Out na Mrembo Mmoja Kavaa Vikuku Miguu Yote Miwili, Eti Inamaanisha Nini?

$
0
0
Wadau hapa niko out na mrembo mmoja tulikutana facebook miezi miwili hivi imepita leo ndio tumeonana live tupo chobingo moja hivi siri yangu tunapata moja moja, kaja  amenivalia kimini na chini amevaa vikuku ama vicheni miguu yote miwili ...eti huwa zina ashiria au kumanisha nini? Huku mtaani midume huwa tuna danganyana sana juu ya hii kitu Wengine husema ukimuona anazo pande zote huyo antoa kotekote, Ebu tupeni ukweli wana dada au ni urembo tu kama heleni....?

Inasikitisha..MunaLove Aamua Kufunguka Ukweli Nani ni Baba wa Marehemu Patrick Kati ya Castro Dickson na Peter

$
0
0
Baada ya Kifo cha Mtoto Patrick kumekuwepo na kama mvutano nani ni Baba wa Mtoto huyo kati ya Catro Dickson na Mwanaume ajulikanae kama Peter, Munalove ameamua kufunguka kupitia Instagram nani ni Baba Halisi wa Marehemu

Regrann from Munalove100  -  JAMAN JAMAN 😭😭😭😭😭😭NAOMBA NIMZIKE MTOTO WANGU 😭😭😭😭VAENI VIATU VYANGU KUNA SIRI KUMBWA AMJAWAH KUIJUA NAWAOMBA NIMZIKE MTOTO WANGU  ALAFU NDO MNITUKANE MIMI 😭😭😭😭😭😭NAUMIA JAMAN  NAMUHESHIMU PETER SIWEZ KUWEKA KITU APA MANA NTAMWAIBISHA....SIWEZI KUMSEMA CASTO MANA YE ANAJUA WAPI ALIKOSEA  NAWAOMBENI JAMAN NAOMBA NATAKA KUMZIKA MWANANGU MIAKA 2 NAHANGAIKA NA PAT WANGU 😭😭😭😭😭😭😭😭 NIMALIZE KUMZIKA NIONGEE NYIWE WANAWAKE MNAONIHUMUKU VAENI VIATU VYA SIRI NIZIZOHIFADHI ...BABAWA MTOTO NI CASTO  INATOSHA 😭😭😭😭😭😭😭😭NITUKANENI MIMI NIFE ILA PATI NI KIONGOZI ALIENIONGOZA NIONE MAISHA MAPYA NA NIMJUE MUNGU ...NITALIA MILELE  MIMI PATI WANGU😭😭😭😭😭😭😭😭LEO WANAKUGOMBANIA MWAANANGU NATAMANI URUDI MARA MOJA😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭...
MWANANGU NTALETA IJUMAA
NA NTAMZIKA JUMAMOSI...MSIBA UKO KWANGU MBEZI BEACH

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume, nasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

$
0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za:

GUMBA POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.

NTINJE:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0754741788, 0715741788, 0783741788

-DR MAGISE

Polisi Dodoma walivyowanasa wahamiaji haramu

$
0
0
Jeshi la polisi mkoani Dodoma limekamata Wahamiaji haramu 40 Raia wa Ethiopia pamoja na Watanzania wanne waolikuwa wakiwasafirisha Wahamiaji hao.

Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa polisi mkoani hapa Gillis Muroto alisema, Wahamiaji hao walikamatwa katika barabara kuu ya Dodoma kuelekea Arusha kijiji cha Kuhi kata na tarafa ya Bereko Wilayani Kondoa.

Kamanda Muroto Alisema Wahamiaji hao walisafirishwa na gari lenye namba za usajili T. 898 AHM na tela namba T. 422 ADD aina ya Scania mali ya Kampuni ya SANVIC LTD. Watanzania waliokuwa wanawasafirisha Wahamiaji hawa ni Dereva Julius Jackson Kitoma(57) Mnyaturu na mkazi wa Ngarenaro Arusha, Abedi Raphael Nyomolelo (20) Utingo wa gari hilo na Mkazi wa Sakina Arusha.

Wengine ni Ramadhani Salumu Mawazo (39)Mzaramo pia mkulima na mkazi wa Mbagala Dar es Salaam pamoja na Juma Ramadhani Husei (46) Mzigua, mkulima na mkazi wa Kinyerezi Dar es Salaam, aliwataja Muroto.

Aidha alisema kuwa Watuhumiwa hao walitumia mbinu ya kuwafungia Wahamiaji hao kwenye Contena la Mizigo, wakiwachanganya na bidhaa walizokuwa wakizisafirisha ambazo ni maboksi yenye Vizibo vya Soda na bia kutoka Namanga- Arusha kuelekea Mbeya.

Maisha yamefanya ngumi kupungua mitaani...

$
0
0
Miaka ya nyuma 2005 kurudi nyuma ilikuwa kawaida kukuta mitaani wanaume/Wanawake wanapigana ngumi kisha wote wanatoana michuzi (damu) kisha maisha yanasonga.
Ni tabia mbovu, lkn siku hizi tabia hii mbovu imepungua kiasi.

Nawaza kwa nini...
1: Hali za maisha zimesababisha watu kujiepusha na maugomvi yasiyo na ulazima.

2: Magonjwa yasiyoambukiza yamekuwa mengi hivyo mtu kufa kwa hata ngumi moja ni jambo la kawaida siku hizi kuliko zamani.

3:Kwa leo tu, ktk pitapita zangu nimeshuhudia gomvi kama nne. mwanamama akigombana na mwenzake kisa siti ya daladala. lkn pamoja na yote gomvi hizo ziliishia katika viwango vya kutishiana, maneno mengi sana, na nusu vitendo lakn hakuna aliyerusha ngumi kwa mwenzake.

4: Tanzania tumekuwa kama familia. Unaweza ukadhani unagombana utaamuliwa, jamaa wasiamue wakakuchukua Video ndani ya Muda mfupi ukawa maarufu kwa ndugu na jamaa nchi nzima kupotia whatsapp,JF, na hata Taarifa ya Habari ( mfano: wale jamaa wa kimara waliokuwa wanagombania urithi).

5:Watu wengi hawali wakashiba achilia mbali wanakula scraps/junk foods hivyo uwezo wa kutawanya nguvu hafifu katika mambo ya ugomvi na kupambana na maisha umekuwa hafifu.


Usipende Kugombanagombana.
Unaweza Ukafa, Ukaua, Ukapata umaarufu hasi nchi nzima ndani ya sekunde, ukaachwa ugombane hadi mwisho bila kuamuliwa maana watu siku hizi hawajali

Muna Love: Baba Halali Wa Patrick Ni Casto, Huyo Mwingine Simjui

$
0
0
Ni siku mbili zimepita toka taarifa za kifo cha mtoto wa Muna Love anayejulikana kwa jina la Patrick afariki dunia akiwa Nairobi nchini Kenya akipatiwa matibabu ambaye alifariki July 3,2018.

Baade taarifa zilienea kuhusiana na Peter Zacharia Komu aliyejitokeza na kudai ni baba mzazi wa Marehemu Patrick na kutaka msiba ufanyike nyumbani kwakwe Mwananyamala huku taarifa nyingine zikidai baba wa mtoto ni mtangazaji wa Clouds Tv Casto Dickson.

Kupitia instagram account ya Munalove amefunguka kuhusiana na mvutano ambao umekuwa ukiendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na baba mzazi wa marehemu Patrick.

“Jaman jamani 😭😭😭😭😭😭 naomba nimzike mtoto wangu 😭😭😭😭 vaeni viatu vyangu. Kuna siri kumbwa amjawahi kuijua nawaomba nimzike mtoto wangu alafu ndiyo mnitukane. Mimi 😭😭😭😭😭😭 naumia jamani, namuheshimu Peter siwezi kuweka kitu hapa maana nitamwaibisha….

"Siwezi kumsema Casto maana yeye anajua wapi alikosea, nawaombeni jamani, naomba nataka kumzika mwanangu. Miaka miwili nahangaika na Paty wangu 😭😭😭😭😭😭😭😭, nimalize kumzika niongee.

"Nyie wanawake mnaonihumuku, vaeni viatu vya siri nilizohifadhi… baba wa mtoto ni Casto, inatosha 😭😭😭😭😭😭😭😭, nitukaneni mimi nife ila Paty ni kiongozi alieniongoza nione maisha mapya na nimjue Mungu… Nitalia milele mimi.

"Paty wangu😭😭😭😭😭😭😭😭leo wanakugombania mwaanangu, natamani urudi mara moja😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭… Mwanangu ntaleta ijumaa na ntamzika Jumamosi😭😭😭😭😭, msiba uko kwangu Mbezi Beach.” amesema Muna.

Wezi wa mitandaoni Walivyotiwa Mbaroni na Jeshi la Polisi Dodoma

$
0
0
Jeshi la Polisi limewakamata watu wawili wanaotuhumiwa kuiba fedha kwa njia ya Mtandao, ambao wanatumia pikipiki yenye namba za usajili bandia MC. 759 AHW na Chassis namba PFZWFK47770 aina ya boxer.

Kamanda aliwataja Watuhumiwa hao kuwa ni Joseph Bakari Msinati (32) Mkazi wa Frelimo Iringa na Elisha Athman Mdemu(35)Mkazi wa Kihesa Iringa,ambao walitumia pikipiki hiyo kusafiri mikoa Mbalimbali mijini na vijijini kuiba bidhaa za dukani .

“Watuhumiwa hawa wanafika kwenye maduka na kuagiza bidhaa mbalimbali na kufanya malipo kwa njia ya mtandao wa simu, Mara baada ya kulipa na mpokeaji kujiridhisha kupokea fedha hiyo wanaondoka na bidhaa.

“Na baada ya dakika chache waharifu hao wanapiga simu kwenye Kampuni namba ya huduma kwa mteja na kudai kuwa warejeshewe fedha kwa kuwa wameituma kimakosa, na bidhaa kwenda kuuzwa kwa watu wengine kwa bei nafuu,” alisema Muroto.

Pia Kamanda alisema wamefanikiwa kumkamata Daudi Charles (25) Mkazi wa Mbagala akiwa na noti bandia 50 za shilingi elfu 10 ambazo zingekuwa halali thamani yake ni TSH. 500,000/=.

Hata hivyo katika tukio lingine Kamanda alisema wamekamata mali mbalimbali za Wizi zilizotokana na matukio ya Uvunjaji na uporaji ambazo ni Televisioni 3,Magodoro 4,Redio Subwoofer 3,Majiko ya gesi 2,Spika 3,Deck 3,mifuko ya Cement 5 pamoja na Capeti 1.

Kamanda Muroto amewataka wananchi walioibiwa kufika polisi ili kuweza kuzitambua mali zao, Pia aliwatahadharisha Waharifu kuwa Dodoma siyo mahali Salama pa kufanyia uharifu

Kutana na Dr Mabula Kukutibu Matatizo ya Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo

$
0
0

TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO : 

Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliongahika sehemu mbalimbali bira MAFANIKIO MABULA CLINIC ni kituo cha tiba asilia kilichopo mbagara zakhemu njia kuu ya JESHINI JE HUNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO NA MWEMBAMBA? 


MAPRO PAWER NO 2 ndio Tiba kwa sasa utibu matatizo matatu kwa pamoja itakufanya uchelewe kufika kilekeni dikika 15-20 kwa tendo la kwanza 2 uimalisha misuli iliyoregea na kusinyaa hasa kwa wale walio asirika na upigaji punyeto 3 itakufanya upate hamu ya kurudia tendo zaidi ya Mara tatu. 

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MPENZI AU MKE WAKO kisa unawai kukojoa au unakomea bao moja tu na huku dawa zipo 

MAKAKANUA mix ni dawa iliyochanganywa na miti Shamba 9 na Kuwa na uwezo wa kuongeza uume saizi upendayo inchi 5-8 Kwa Urefu na unene sentimita 1-5 dawa hizi hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ata wazee wenye umri mkubwa wanapona. 

Zipo dawa za mvuto wa mpenzi mme au mke Kwa masaa matatu tu na kukupigia simu yeye mwenyewe mvuto wa biashara kutengeneza mwonekano mzuri wa mwili kwa wanawake yani shepu tunatibu ngiri miguu mgongo na kiuno kuumwa kupunguza kitambi minyama uzembe matiti na mwili mkubwa 

TIBA NA USHAULI MUONE DR MABULA AU PIGA SIMU NO 0752348593 UDUMA ZANGU UTAZIPATA POPOTE ULIPO KAMA UWEZI KUFIKA OFISINI
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live




Latest Images