Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104771 articles
Browse latest View live

Haji Manara Ameyataka Matawi Yote ya Simba Kuichangia Yanga

$
0
0
Haji Manara Ameyataka Matawi Yote ya Simba Kuichangia Yanga
Wakati klabu kongwe ya Yanga ikikumbwa na sakata la uhaba wa fedha hivi sasa, Afisa Habari wa Simba ameyataka matawi yote ya Simba kuichangia Yanga.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara ameandika akiwataka wanachama na mashabiki wa klabu hiyo kuanza kuichangia Yanga kwa maana hali ya kiuchumi hivi sasa si rafiki.

Msemaji huyo mwenye maneno mengi amesema Yanga imejitakia kufikia hali iliyonayo hivi sasa mpaka akafikia hatua ya kutoa agizo kwa Wanasimba kutoa mchango wao uweze kuwasaidia.

"Sisi si maadui wala mahasimu, sisi ni watani tena wa jadi, kwa maana hiyo na kwa kutumia mamlaka niliyopewa naagiza matawi yote ya Lunyasi nchi nzima wachange kunusuru ufakiri huu wa kujitakia walionao jamaa zetu. Hili ni agizo si hiari, na mimi ninaanza kwa kutoa milioni tano leo" ameandika Manara

Mtu Akitoweka Nyumbani Kwake Hatuhusiki- Waziri Lugola

$
0
0
 Mtu Akitoweka Nyumbani Kwake Hatuhusiki- Waziri Lugola
waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi amesema kuwa mtu akitoweka nyumbani kwake wao kama wizara hawaingilii kwasababu kila mtu ana uhuru na hawahusiki, kauli hiyo imekuja baada ya mwandishi wa habari kumuhoji kupotea kwa mwandishi wa gazeti la mwananchi ndugu Azory Gwanda.

Dawa Bora za Nguvu za Kiume na Kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa

$
0
0
Baada ya utafiti wa muda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka sasa

MWASELE HERBAL CLINIC. inakuletea suluhu juu ya matatizo haya kwa kutumia dawa za

FULL POWER .ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu zakiume. dawa hii ina mchanganyiko wa kutosha kuzalisha vichocheo vingi vya hormone za gestrogen ziwemo vitamin B6&B1, vitamini E pamoja madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na muzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi na kuchelewa kufika kileleni zaidi ya dakika 20-30. ZAT 50 inarudisha maumbile ya uume yaani kurefusha na kunenepesha ulefu nchi 3-7, upana cm, 3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukitumia maumbile yatabaki kuwa hivyo siku zote . pia tunatibu matatizo mengine kama presha, kisukari , ngiri ,chango la tumbo,tumbo kujaa gesi, kutokupata choo vizuri,miguu kuwaka moto,matatizo ya uzazi, bawasili namagonjwa yazinaa kama kisonono nakaswende.

Tunapatikana DAR ES SALAAM. SHINYANGA NA ZANZIBAR. kwa wakazi wa dar es salaam utaletewa huduma hii popote ulipo . wa mikoani tunawatumia kwanjia ya mabasi .

Hatimaye mwili wa Patrick wawasili Dar es salaam

$
0
0
Mwili wa mtoto wa muigizaji wa filamu nchini, Muna love, Patrick Peter, umewasili nchini leo saa 11:45 jioni na kupelekwa hospitali ya Aga Khan kwa ajili ya kuhifadhiwa.

Taarifa zilizotolewa na Baba Mdogo wa Marehemu, Patrick ambaye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi amesema kwamba Mwili huo uliondoka Kenya saa 9:40 jioni.

"Ratiba ya mazishi iko vilevile, kesho mwili utakuja nyumbani kwa baba wa mtoto Mwananyamala kwa ajili ya kuagwa na baadae utaagwa viwanja vya Leaders na utazikwa makaburi ya kinondoni. "Tunashukuru mwili umeshawasili, na tayari tumeshaupeleka Aga Khan kwa ajili ya kuhifadhiwa. "amesema Bazo.

Bazo amesema, baada mwili huo kuwasili ratiba zitaendelea kama zilivyopangwa hapo awali.

Varane,Griezman Waipeleka Ufaransa Nusu Fainali Kombe La Dunia Baada Ya Kuwachapa Uruguay

$
0
0
Timu ya taifa ya Ufaransa imeondolewa katika michuano ya Kombe la Dunia kwa kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Ufaransa.

Mchezo huo wa kwanza wa hatua ya robo fainali umemalizika kwa Ufaransa kujipatia mabao hayo kupitia kwa Raphale Varane na Antoine Griezman.

Matokeo hayo yanaifanya Ufansa kuipa tiketi Uruguay kuyaaga mashindano hayo ambayo ilitinga hatua hiyo baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ureno.

Baada ya mchezo huo, baadaye kutakuwa na mechi nyingine baina ya Brazil na Ujerumani kuanzia saa 3 kamili usiku huu

Tundu Lissu Kufanyiwa Upasuaji Mwingine Tena

$
0
0
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu kesho Julai 7, 2018  atafanyiwa upasuaji wa mwisho utakaomwezesha kutembea bila msaada wa magongo.

Ujumbe wa Lissu alioutoa leo Julai 6, 2018 kutoka nchini Ubelgiji anakoendelea na matibabu,  ameeleza safari ya matibabu yake inavyoendelea hadi sasa.

Lissu, aliyeko nchini Ubelgiji kwa matibabu anafanyiwa upasuaji huo ikiwa ni mwendelezo wa matibabu anayopatiwa tangu aliposhambuliwa kwa risasi  zaidi ya 30 Septemba 7, 2017 akiwa katika makazi yake mjini Dodoma.

“Operesheni ya mwezi uliopita imepona, angalau kwenye muscles (misuli). Mfupa bado una kazi kubwa kidogo na utachukua muda kupona,” amesema Lissu.

“Licha ya maendeleo haya mazuri, bado kuna operesheni moja zaidi inahitajika. Madaktari wangu walipaswa kuniwekea ‘metal frame’ ya kusapoti mfupa uliofanyiwa operesheni mwezi uliopita.”

Mwasheria huyu mkuu wa Chadema amesema, “hata hivyo, hiyo ilishindikana kwa sababu operesheni yenyewe ilichukua saa saba na nilipoteza damu nyingi sana.”

Amesema mguu huo wa kulia uliumizwa sana kwa risasi, “ulivunjwa sehemu mbili na mfupa wa juu ya goti uliharibiwa. Kazi ya kuurekebisha ni ngumu sana kwa sababu hiyo.”

“Madaktari  wa Nairobi (Kenya) na wa hapa (Ubelgiji) wamefanya kazi kubwa kuhakikisha wanautibu vizuri mpaka sasa naweza kusimama na kutembea, hata kama ni kwa kuchechemea kwa magongo.”

Amesema upasuaji huo atafanyiwa kesho asubuhi ili kukamilisha tiba ya mguu huo na kwamba akipona ataweza kutembea bila msaada wa mgongo.

 “Madaktari wangu wameniambia kwamba hiyo ‘metal frame’ itakaa mguuni kati ya miezi sita hadi nane. Hata hivyo, haina maana kwamba nitakaa hospitalini kwa muda wote huo,” amesema.

“Haina maana kwamba sitaweza kufanya kazi yoyote ile katika kipindi hicho. Kwa kushauriana nao, pamoja na nyie ndugu, familia na jamaa zangu na viongozi wenzangu, tutaangalia mambo ninayoweza kuyafanya wakati nikiwa kwenye safari ya full recovery.”

Mwalimu wa kiingereza wa Diamond Platnumz Amefanikiwa, Tazama Hii Interview Aliyofanya Marekani

$
0
0
Hatimaye mwalimu wa kiingereza wa diamond na wasanii wengine wa WCB amefanikiwa kumfanya Diamond aongee kiingereza. Nimesikiliza interview aliyoifanya Washington DC Marekani nikashangaa ama kweli hakuna lisilowezekana mtu ukiweka nia.

Interview yenyewe hii hapa chini


Kwa upande wake mwalimu aliyemfundisha Diamond kiingereza ameelezea jinsi alivyokutana na Diamond na akaombwa amfundishe kiingereza. Aidha mwalimu huyo amemsifu Diamond Platnumz kwa kuonesha juhudi ya kutaka kujifunza kiingereza hivyo kujifunza kwa haraka zaidi.
Msikilize mwalimu wake hapa


Hata hivyo lugha ya kiingereza imeendelea kuwa kichomi kwa Harmonize ambaye amejaribu kufanya tour nchini Nigeria na katika interview zake zote anazozifanya hajatuma YouTube na zile alizozituma amemute sauti. Mashabiki wake wamekichukulia kitendo cha harmonize kumute sauti kwenye interview alizozifanya nchini Nigeria kama ishara ya kuwa lugha kwa msanii huyo ni kichomi.


Juhudi za kuzisaka kwa udi na uvumba interview za harmonize alizofanya Nigeria bado zinaendelea.

Nimemchoka Wifi Yangu na Maneno yake Kuwa Zizai, Leo Kaingia Choo Cha Kiume Atajibeba

$
0
0
Leo atajibeba... Nimemchoka nimechoka wifi yangu na maneno yake ya kunisakama eti sizai... Najaza choo wakati ndoa yenyewe hata mwaka mmoja bado... Leo kaingia choo cha kiume...

Nimemkaribisha chumbani nimemfungulia bafu la chumbani kwangu ameoga, nimempa taulo langu amejifutia,kila kitu nimeshea nae kila kitu changu na night dress yangu nimempa amevaa...

Sasa nimemfungia chumbani kwangu... Nimemwambia tumeshea kila kitu sasa na mume wangu anakuja yupo njiani na yeye tushee... Ye si anaona mi nafaidi... Alale na kaka yake apate mimba kama anaona mie nimeshindwa...

Mmh Wanawake wa Dar Nawavulia Kofia, Soma Hichi Kituko

$
0
0
Juzi jumamosi nilikuwa na hang out na rafiki yangu fulani majira ya saa nne usiku. Mara rafiki yangu akapata text meseji kutoka kwa binti fulani ambaye ni x-girlfriend wake. Huyu binti ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja hapa mjini. Ni binti mzuri tu na wazazi wake wana uwezo sana. Alikuwa GF wa jamaa yangu lakini baadae akagundua jamaa yangu ni player hivyo uhusiano wao ukaanza kufifia. Later on huyu binti akapata mchumba na sasa hivi kuna vikao vya harusi vinaendelea.

Cha kushangaza ni kuwa katika ile text huyu binti aalikuwa anamuomba jamaa yangu tuende kumuona yuko club fulani mjini na mchumba ake kwa madai ya kuwa anahitaji hug kutoka kwa jamaa yangu. Well tukaenda na tulipofika tukamjulisha kuwa tuko nje. Huyo binti akamuacha mchumba ake akaja nje. Jamaa yangu akamhug, waka kiss na kunyonyana sana huku jamaa anamshika shika demu makalio na mwili mzima. Baaada ya dakika 5 binti akarudi ndani na kutuomba tusubiri kama dakika 5 ndio twende ndani. After 5 minutes tukaingia ndani yule binti akajidai amekuwa suprised kutuona akaja akatukumbatia kisha tukaenda kumsalimia mchumba ake.

nikabaki nashangaa kwanini huyu binti nafanya mambo haya wakati wa vikao vya harusi. Sasa hii ndoa itadumu kweli? Yani i am super confused om why binti aliye chuo kikuu anafanya mambo kama haya - yani huyu binti amepinda at the core basis of her moral foundation

Daah dalisalama sio mchezo!

Ubelgiji imefuzu Nusu Fainali ya Kombe la Dunia kwa kuifunga Brazil bao

$
0
0

Ubelgiji imefuzu Nusu Fainali ya Kombe la Dunia kwa kuifunga Brazil bao 2-1

Ubelgiji wamejipatia magoli hayo kupitia Fernandinho(aliyejifunga) na Kelvin De Bruyne huku bao la Brazil likifungwa na Renato Agusto

Ubelgiji sasa itavaana na Ufaransa kwenye mchezo wa Nusu Fainali.

Pichani ni mwanamke aliyevunja rekodi ya kuwa na chuchu konzi Duniani

$
0
0

Pichani ni mwanamke aliyevunja rekodi ya kuwa na chuchu konzi.

Ndio chuchu konzi... Anafahika kwa Jina la Brah mkazi wa Uingereza. Picha hii alipigwa mwaka 1950 huko London, mpaka sasa rekodi yake haijavunjwa na mwanamke mwingine........

Staa Mwingine wa Tanzania Apata Ulaji Spain

$
0
0
Taarifa njema inazidi kutawala katika soka la bongo kufuatia taarifa kuwa soka la Tanzania linazidi kutoa wachezaji wake nje ya mipaka ya Afrika na kwenda kucheza soka la kulipwa Ulaya.

Habari zilizokiki leo kuhusiana na mshambuliaji wa Azam FC Shaban Iddi Chilunda ni kuwa amefanikiwa kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuichezea club ya CD Tenerife ya Hispania inayocheza Ligi daraja la kwanza nchini humo (Segunda Division).

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Chilunda sasa anaungana na mtanzania mwenzake Farid Musa ambaye alijiunga na club ya CD Tenerife miaka kadhaa iliyopita na amedumu nayo hadi leo hii.

Tambua Madhara ya Ulaji wa Chipsi

$
0
0
Chips ni aina ya chakula ambacho hupendwa na watu wengi na pia ni miongoni mwa vyakula vyenye mafuta mengi. chips pia inasemekana ni miongoini mwa vyakula ambavyo hupikwa katika joto la juu zaidi ya 300 degree.

Chips ni chakula chenye mafuta mengi na mafuta yanapoingia mwilini huenda kuzunguka sehemu ya mwili wa mwanadamu. kama ni mtu ambaye mazoezi pia hufanyi madhara yake ni kupata magonjwa ya moyo. hivi sasa idadi kubwa ya vijana wanaugua magonjwa mengi yanayo sababishwa na mkusanyiko wa mafuta katika miili yao amabayo huchangiwa na kuto kufanya mazoezi madhara yake mafuta kuziba mirija

Mafuta yakiliwa sana husababisha kuzidi mwilini.
Pia inasadikika mafuta yaliyopo katika chipsi katika sahani moja ya chisi ya moto endapo utaamua kuchuja kuna uwezekano wa kupata nusu glasi ya mafuta ya kupikia. Kwa hali hii ujue ni hatari.

Na mwili huwa hatupi kinachofaa, na badala yake kama hakitumiki wakati huo basi huhifadhiwa kwa matumizi ya baadaye. Ndio maana tunapokula vyakula vyingi vyenye mafuta mengi hutupelekea kuongeza unene na uzito.

Unene huwa ni chanzo cha magonjwa mengi ,Kwani (High Blood pressure) hutokana na kuwa na mafuta mengi mwilini ambayo hupelekea mirija ya kusafirisha damu kuwa na mafuta. Hii husababisha njia ya kupitia damu kuwa nyembamba hivyo kusababisha nguvu ya ziada itumike kusukuma damu hiyo ili isambae mwilini kama inavyotakiwa. Nguvu hii ya ziada huongeza au kupunguza mapigo ya moyo.

Mapigo ya moyo yanapoongezeka sana ni hatari na yanapo pungua sana pia ni hatari.
Hivyo basi ni vizuri kwa watumiaji wa chipsi kujitahidi kutumia kwa kiasi kidogo au kuacha kabisa vile vile mazoezi pia ni muhimu ili kupunguza mrundikano wa mafuta katika mwili.

Pia inasemekana kuwa wanasayansi wamegundua kuwa chipsi husababisha kukuza hips hivyo kwa wanaume wengi hawatapenda kuwa katika hali hiyo, hivyo ni muhimu kujiepusha na pia isije ikawa kichocheo kwa wanawake kutumia sana ili kukuza sehemu hizo za maumbile bali wapunguze kutumia chipsi pamoja na kufanya mazoezi ili kuweka mwili katika hali ya kuepuka magonjwa yasiyo ya lazima.pia ulaji wa chips kupita kiasi husababisha wanaume na wanawake kuzeeka mapema.

Bila Uvumilivu utaacha kila siku, kuwa makini katika hili

$
0
0
Ukiwa mtu wa kuangalia mambo kwa juu juu basi kila kitu kwako kitakuwa kigumu. Kusoma unaweza kuona ni kugumu, kufanya kazi kugumu, hata kusubiri mshahara unaweza kuona ni kugumu.

Urahisi kwako unaweza kuwa katika kutumia pesa, pengine  na kula tu. Ila watu waerevu na wenye uvumilivu kwako kila kitu kinaweza kuwa tofauti na wewe.

1. Unachoona kigumu kwao wanahisi si ugumu bali ni changamoto za kuzidisha jitihada na umakini tu. Kwenye mapenzi pia hali haiko tofauti sana. Wale wanao achana kila siku si kama ndiyo wanakosewa sana kuliko wale ambao hawaachani, hapana. Suala ni lile lile tu.

2. Wakati wengine wakiona tofauti zao ni kama changamoto za kusomana tabia na kuamua kuishi kutokana na kila mmoja kumjua mwenzake. Wenzao wanaona suluhisho la yote ni kila mmoja kuwa na maisha yake. Suala la uvumilivu kwao hamna.

3. Hakuna mapenzi duniani yanayoweza kushamiri bila suala hili. Usipokuwa na moyo wa uvumilivu katika mapenzi basi kila mtu utamuona hafai. Utamuona hafai na kila siku utakuwa mtu wa kuanzisha mahusiano mapya. Hayo si maisha sasa!

4. Mahusiano yaliyodumu si kwa kuwa wahusika hawakoseani au makosa wanayokoseana ni madogo sana. Hapana. Kila binaadamu ana mapungufu yake. Wote huwa wanakoseana ila tofauti yake na wengine ni kwamba busara na uvumilivu huwa msingi wa mapenzi yao na ndiyo maana tunaona wanadumu mpaka leo.

5. Ni binaadamu gani unaweza kuishi naye na msikosane? Ni nani mwenye uwezo wa kukupa unachotaka kila siku? Hakuna binaadamu wa aina hiyo.

6. Hivyo unavyotaka kuachana na uliye naye suala la kujiuliza ni kuwa mara ngapi umemueleza kuhusiana na suala unalotaka kumuachia. Na hiyo isitoshte tu pia jiulize ni sababu gani inayomfanya kutenda suala hilo. Ukimaliza hapo rudi nyuma na jiulize tena huwa unatumia maneno ya aina gani katika kumkanya.

7. Maana wengine baada ya kukosewa wao huwa hawawakanyi vyema wenzao wao bali huripuka kwa maneno makali na dharau. Matokeo yake sasa wahusika badala ya kuwasikiliza na kufanyia kazi maneno wanayoambiwa kutokana na makosa yao. wao huwapuuzia na kwaona ni wasema hovyo.

8. Ndiyo, kukosewa kunaumiza sana ila jiulize ni kitu gani kimetokea bila sababu? Kwenye makosa ya mpenzi wako kuna sababu nyuma yake, hebu itafute badala ya kulalamika.

9. Mapenzi yasiyo kuwa na uvumilivu ndani yake hayana maisha marefu. Kwa sababu binaadamu ni kiumbe mwenye kukosea.

10 Badala ya kukimbilia kuachana ebu geuka kuwa mwalimu wa mpenzi wako angalau kwa mara chache.

11. Mpenzi wako ni furaha yako kwa maana ndiyo mtu uliyeridhia naye kuwa naye katika masuala nyeti yahusuyo maisha yako. Sasa kwanini uwe tayari kumpoteza kisa kachelewa kurudi.

12. Kuwa mvumilivu . Watu wenye hekima ni wavumilivu. Watu wenye kujielewa ni wavumilivu.

13. Ukiwa hauna uvumuilivu kila siku utatangaza ndoa. Leo utaachana na Mugambara kwa sababu anaongea sana na wasichana ila, jua huyo unaeenda kuwa naye anapenda sana kitu ambacho hukipendi. Anakunywa pombe je, utawezana naye? Jibu unalo.

14. Kwa kuwa huyo uliye naye unampenda kwa dhati basi amua kwenda naye taratibu ukijitahidi kumbadilisha tabia zake. Usiogope, inawezekana, suala ni uvumilivu na kujiamini tu. Kukubali kumpoteza unayempenda kwa kukosa uvumilivu ni kujitakia kuingia katika maisha ya kutanga tanga tu.

15. Kumbuka, siku zote wanaovumilia ndiyo huwa wanabaki na ushindi.Bila uvumilivu Mandela asingekuja kuwa raisi wa afrika kusini.Uvumilivu ni kila kitu katika maisha.

Mapenzi Yamnyoosha Amber Lulu

$
0
0
MWANADADA kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva ambaye pia ni muuza sura kwenye video za Kibongo, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’, amesema kuwa mapenzi yamemnyoosha na kwa sasa ameamua kujiweka kando.

 Amber, aliyewahi kuwa kwenye uhusiano na mastaa mbalimbali akiwemo staa wa muziki kutoka Kenya, Jackson Makini ‘ Prezzo’, alisema kuwa, amekuwa kwenye mahusiano mengi, lakini anaona ni kama anapoteza tu muda.

 “Mapenzi yameninyoosha bora niyapige chini maana wanaume wengi wananipenda kwa sababu ya umaarufu wangu, lakini unakuta hawana mapenzi ya kweli kwangu. Ninaona tu huko ninapoteza muda na kuambulia maumivu, kwa hiyo bora nijiweke wazi tu, hakuna namna,” alimaliza

Stori: Neema Adrian

TCRA yaagizwa kuzishughulikia kampuni za ving’amuzi

$
0
0
Mamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA) imetakiwa kuzichukulia hatua kampuni za ving'amuzi ambazo zinakiuka leseni kwa kuzuia matangazo ya chaneli za bure.

Agizo hilo limetolewa jana Julai 6 na Naibu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi   Mhandisi Atashasta Nditiye wakati kamati ya bunge ya miundombinu ilipotembelea (TCRA).

Mhandisi Nditiye amesema serikali haitazifumbia macho kampuni zinazoleta michezo ya kijanja wakati zinafahamu fika maelekezo ya leseni zao.

"Hakuna kufumbia macho, kama kuna mtu nyumbani kwake hajalipia king'amuzi halafu amekatiwa chaneli za bure asisite atoe taarifa na hatua zichukuliwe haraka,"

Amesema kampuni za Star times, Digitek, Ting na Continental zinatakiwa kurusha bure chaneli tano za hapa nchini ili kuwapa fursa wananchi kupata taarifa. Chaneli hizo ni TBC, ITV, Channel ten, EATV na Star TV.

Nditiye pia ameziagiza kampuni za simu kuzingatia usajili wa laini kwa kutumia teknolojia ya biometriki ambayo inahusisha uchukuaji wa alama za vidole na picha ya mtumiaji wa namba husika.

Amesema mfumo huo wa usajili una lengo la kuhakikisha namba moja ya simu inatumiwa na mtu mmoja hivyo itasaidia kukabiliana na vitendo vya matumizi mabaya ya mawasiliano.

"Niwaambie watanzania kuwa changamoto ya watu kutumia vibaya laini za simu limeshapatiwa ufumbuzi na linakwenda kumalizika kabisa muda si mrefu kutokana na mfumo huu,”

“Sasa mtu akisajili namba lazima zichukuliwe alama za vidole na picha apigwe ili tujue kabisa namba fulani inatumiwa na nani,”

Kuhusu utapeli unaofanywa na wanaotuma meseji za kuelekeza fedha itumwe amesema tatizo hilo limeshatatuliwa.

Muone Ustadhi Ashrafu Atimize ndoto yako..Anatumia Nyota na Nguvu za Asili Kutibu

$
0
0
Muone Ustadhi Ashrafu Atimize ndoto yako. yawezekana ulizaliwa nanyota yakitajiri ila watu wabaya wameikalia mpaka sasa ikawa hufahamu chochote. Mtafute ust Ashrafu Airudishe nyota yako yakitajiri kwakupitia pete inayoendana na nyota yako. Ust Ashrafu Ananguvu zamajini katika utendaji wake.

Anauwezo wakutoa Mali kwakupitia pete nakwakupitia majini wake. Na anauwezo wakuzirudisha Mali zilizopotea kwanjia zakichawi kwakupitia Pete yakifalme Ambayo inayong'aa muda wowote nakubadilikabadilika rangi. Ust Ashrafu Ametembea baadhi ya nchi kwakuwapatia watu huduma mbalimbali. Kama vile maradhi yakisukari, presha, ukimwi, bawasiri, tezidume, mwiliwote kupooza nakutetemeka, NK. Navilevile Amewapatia wengi huduma yamvuto wa kibiashara, nayamvuto wakimapenzi.

Nawengi wametoa shukrani zao kwa ust Ashrafu namna Alivyozirudisha Ndoa zao zilizo sambaratika kwamuda mrefu. Mtafute ust Ashrafu ili akusaidie juu yamambo yako. Nahuyu ust anasaidia matatizo yauzazi, nguvu zakiume, kuwashwa mwilini, kutokwa namapere usoni nasehemu za siri, NK. Na anadawa yakumtuliza mume asiesikia nakutulia inayoitwa limbwata. Na anadawa yakumrudisha mpenzi ktk mahusiano kwamda mchache.

Na amezipatanisha familia nyingi zilizogombana. Na anauwezo wakufarakanisha maadui waliokua pamoja.

Mtafute Ustadhi Ashrafu kwa no. 0768486717-0627423037 Au Mtafute kwa whasapp 0659438578

Hizi ndio namba zake mpigie muda wowote usiogope yupo kwaajili yako. Mpigie hupate muongozo wa bure naushri. Ustadhi Ashrafu huduma zake hupatikana mahala popote utakapo muhitaji, ila sehemu kuu anapatikana Bagamoyo.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya July 7

$
0
0

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya July 7

Maelfu Ya Vijana Wa Jkt Na Mgambo Wafurika Ofisini Kwa Rc Makonda Kuchangamkia Fursa Ya Ajira

$
0
0
Maelfu ya Vijana waliohitimu mafunzo ya JKT na Mgambo na hawana kazi jana walifurika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kwaajili ya kupatiwa ajira ya kusimamia kikamilifu suala la usafi na kuwatoza faini wanaochafua mazingira.

Akizungumza na Vijana hao RC Makonda ametangaza Rasmi kutengua kipengele kilichokuwa kikiwataka Wafanyabiashara kufunga maduka yao siku ya Jumamosi hadi Saa nne asubuhi kwaajili ya usafi na badala yake amewakabidhi jukumu hilo vijana wa JKT na Mgambo ambapo watakuwa wakiwakamata wafanyabiashara watakaokaidi kufanya usafi.

Aidha RC Makonda amesema vijana hao watakuwa na jukumu la Kusimamia kampuni zilizopewa kazi ya Usafi kwenye maeneo husika, Kuwakamata, kuwatoza faini watupaji wa taka pamoja na kufuatilia kujua kila nyumba inapeleka wapi taka wanazozalisha ambapo ifikapo Jumanne ya Julai 10 itakuwa ndio mwisho wa usajili wa vijana hao.

Hata hivyo RC Makonda amewataka vijana hao kutotumia nguvu kuwaadhibi watu watakaotii Sheria huku akiwahimiza pia kuwakamata vibaka wanaopora Mali za watu.

Kabla ya vijana hao hawajaanza kazi watapatiwa mafunzo ya sheria ya mazingira ili waweze kutekeleza majukumu yao pasipo kumuonea mtu.

Je Inawezekana kwa Mwanamke Kukaa zaidi ya Miaka Tatu Bila Kufanya Mapenzi?

$
0
0
Bila kurefusha maelezo ngoja niende kwenye mada moja kwa moja ni kwamba kwa siku mbili tatu zilizopita sikuwa na furaha kabisa baada ya kufikiria maneno aliyoniambia shemeji yenu.....

Kwa ufupi ni kwamba shemeji yenu alikuwa kimasomo nje ya nchi kwa takribani miaka mitatu na hivi karibuni ndio anamaliza masomo yake na miezi michache ijayo natarajia kumpokea pale JKIA.......

Nisiwe mnafiki ama muongo kwa miaka hiyo mitatu kama mjuavyo kwetu wanaume huwa ni ngumu sana kuvumilia katika suala zima la kutokufanya mapenzi hivyo nilijikuta nimelala na wadada wa rika tofouti tofouti kukidhi haja zangu binafsi.....

Tatizo lililonifanya kuandika huu uzi ni kuwa mke wangu baada ya kunipigia simu kunipa taarifa kuwa nitegemee kumuona hivi karibuni kwani kilichompeleka nje amekimaliza salama, nilifurahi kusikia hivyo na katika mazungumzo yetu tukajikuta tunakumbushana mambo tuliokuwa tunafanya tukiwa wawili na mwisho wa siku nilijikuta namuuliza kijiswali kidogo tu kwa utani "Na Imani hujanisaliti mke wangu " aliniambia huku akisisitiza ya kwamba ameni miss sana na hakuwahi nisaliti na kwa miaka hiyo mitatu alipokuwa akisoma master's hajawahi mvulia mwanamme yeyote chupi na amekiri kuwa mimi ndio nilikuwa mtu wa mwisho kumvua na yupo kama nilivyomwacha kipindi kile ameenda kusoma nje ya nchi.....

Hivyo basi baada ya kusikia hivyo nikaona itakuwa janja yake tu ili nijue yuko loyal kwangu kumbe sivyo hivyo nimekuja mbele yenu kupata mawili matatu kuhusiana na hili suala ni kweli Mwanamke/mdada anaweza kukaa zaidi ya miaka mitatu bila kufanya mapenzi.....

Kwa upande wangu wangu hakuna kitu ambacho kitaniumiza sana katika maisha yangu kwa mwanamke ninaempenda na niliemuamini hadi kumweka ndani kunisaliti huwa napata picha za ajabu ajabu kichwani mwangu vile anavuokunjwa, anavyolalamika pindi pale dudu inapomuingia... ooh God ngoja niishie hapa.....

Niwatakieni siku njema na karibuni kwa maoni.....

By Theriogenology/JF
Viewing all 104771 articles
Browse latest View live




Latest Images