Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live

Tengeneza Shape na Kuimarisha Nguvu za Kiume kwa Kutumia Natural Beuty Products

$
0
0
Katika kusherehekea miaka 15 ya kampuni ya NATURAL BEAUTY PROD tunatoa shukrani za dhati sana kwa wateja wetu wote kwa kutuunga mkono miaka yote hiyo.
TUNATOA OFFA YA WIKI NZIMA KWA WATEJA WETU UKINUNUA BIDHAA UTAPATA PUNGUZO LA 20%. KWA WATEJA WA MIKOANI UTATUMIWA BURE.

Ni bidhaa salama kabisa zilizotengenezwa kwa mimea na matunda pia zina matokeo mazuri na kwa haraka zaidi.



1.HANDSOME UP ORIGINAL_ Inaongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli (wiki 2) @220,000/=
2.SHARK POWER GELY_ Inaongeza uume inch 6 (wiki 4) @150,000/=
3VigRX CREAM_ Inaongeza uume inch 7.5 hadi 8 (wiki 2-3) @180,000/=
4.Vidonge maalum vya kuongeza nguvu na hamu ya tendo hata kwa wenye kisukari na BP @140,000/=
5. MAXMAN 2-Hii ni vidonge vinavyoongeza nguvu za kiume pamoja na uume @210,000/=
6.VIGA SPRAY OG_ Inaongeza uwezo ktk tendo na kuchelewesha kufika kileleni @140,000/
7.BOTCHO MULT PLUS_Hii ni dawa ya kunywa ya kuongeza ( Hips mapaja na makalio) inapatikana kwa @160,000/=
8.BOTCHO CREAM HOLOGRAM_ Hii ni yakupaka ya kuongeza (HIPS na MAKALIO) @150,000/=
9.LEG BOOSTER_Ni dawa ya kuongeza miguu (CHUPA YA BIA) @140,000/=
10.BODY BOOSTER_ Hii ni yakuongeza mwili pamoja na hamu ya kula vizuri @140,000/=
11.YODI PILLS--- Hii ni dawa ya vidonge ya kuongeza (hips mapaja na makalio) inapatikana kwa @160,000/= N.K

NB:Hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa NATURAL BEAUTY PROD ili kuthibitisha ubora wa bidhaa zetu.
Wasiliana nasi Popote ulipo duniani kwa no÷

(+255) 659618585
au
0759029968
Follow us instagram-

@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod

TANZIA: Mtangazaji wa Clouds FM KIBONDE Afiwa na Mkewe

$
0
0
Mtangazaji maarufu na kada maarufu wa çcm wa kipindi cha jahaz kinachorushwa na clouds fm ndg ephraim kibonde amefiwa na mkewe usiku wa kuamkia leo alikokua anapatiwa matibabu ktk hosptali ya hindu mandal.pole sana ndg kibonde kumpoteza mkeo Sara RIP

Maskini, Sugu za Magoti Zamuumbua Mrembo wa Kenya Corazon Kwamboka, Wadau Wadai Amejichubua Chubu, Mwenye Agoma

$
0
0

Mrembo wa Kenya Mwenye Msambwanda wa Kuvunja Chaga amejikuta katika Kitimoto Baada ya Wadau wa mitandaoni kudai kuwa amejichubua ngozi ila magoti yamekataa kuchubuka kwani yana rangi nyeusi tofauti na sehemu zingine za mwili

Mwenye amejibu tuhuma hizo kwa kudai kuwa magoti yake ni meusi kutokana na adhabu walizokuwa wanapewa shuleni akiwa anasoma shule ya msingi kwani Walimu walikuwa wanawapa adhabu za kupiga magoti hivyo kufanya magoti yaote sugu, ila ameendelea kusema kuwa hajali watu waendelee kumtania tuu

Ameandika hivi:


“Every time I post a pic one beautiful girl or boy usually end up talking about my dark knees, I’ll tell you why? It’s not coz I bleached; never have never will, it’s coz in my village primary school they used to make naughty pupils kneel on hot gravel for hours as punishment; and I was very naughty, so once a week I would end up on hot Kokoto for one reason or the other. So stop mentioning it all the time, coz that reminds me of the traumatic experience I had .., just kidding.. you can go ahead and make fun of them, I don’t care. You all know how thick my skin is that’s why you guys like bullying me. Ps; today I weigh 86.5kgs… the journey to 77kgs continues,” wrote Corazon Kwamboka.

Dah! Penzi la Kiben Ten Lampagawisha Sista Fey 'Nachojali Ananifurahisha Kitandani'

$
0
0
Msanii wa bongo music Sister Fey amefunguka na kuelezea situation anazokumbana nazo katika penzi lake jipya na msanii holystar ambae ameanza kumuweka katika mitandao hivi karibuni.

Fey anasema kuwa video na picha ambazo zimekuwa zikisambaa katika mitandao alikuwa amezipost yeye mwenyewe ingawa mpenzi wake huyo alikuwa hataki kupost video na picha hzio lakini yeye ndie aliamua kufanya hivyo aada ya kutukanwa na dada wa mpezi wake huyo.

Fey anasema kuwa watu  na ndugu wa mwanaum huyo wamkeuwa wakimtukana kuwa  anatembea na ndugu yao mwenye umri mdogo lakini vha ajabu yeye hata umri wa mwanaume wake haujui anachojali ni raha anazopata tu.

kwanza kuhusu ile video mimi ndio nilikuwa nimmwambia kuwa dada ake amenitukana lakini akaniambai niache nisiseme kitu,niliipost mwenyewe maana yeye hata alikuwa hajapenda mimi nipost.dada ake alinitukana kutokana na mambo ya watu ya kiswaili swahili.

dadaake anasema kuwa mdogo wake mdogo lakini mimi hata miaka yake sitaki kujijua na sioni udogo wake ana udogo gani sasa wakati mimi ananifurahsiha na yuko vizuri, hata sijui nimepisha nae miaka mingapi wala sijui ana umri gani.

Marekani Imeshindwa Kuwarejesha Watoto wa Wahamiaji kwa Wazazi wao

$
0
0
Serikali ya Marekani imesema itashindwa kuwaunganisha watoto wa wahamiaji na wazazi ndani ya muda uliopangwa na mahakama. Mamia ya watoto hao walitenganishwa na mara baada ya kukamatwa katika mpaka wa Mexico na Marekani kama wahamiaji walioingia bila kufuata sheria za uhamiaji.

Kwa sasa watoto hao wenye umri wa miaka wa chini ya miaka mitano wanahifadhiwa katika mazingira yenye utata kwa mjibu wa mashirika ya haki za watoto

Pamoja na kuelezea wasiwasi wake wa kutimiza amri ya mahakama serikali ya Marekani imesema kuwa watoto 34 leo wataunganishwa na wazazi wao.Lakini wamesema ni ngumu kwa watoto wengine kutokana na taratibu za kiusafiri.

Serikali ya rais Trump inasema kuwa watoto wengine haitakuwa rahisi kuwaunganisha na wazazi wao kwa sababu baadhi ya wazazi wao wanakabiliwa na mashitaka na wapo kwenye vizuizi.

Lee Gelernt ni mwanasheria ambaye kwa kushirikiana na mashirika mengine walifungua kesi dhidi ya serikali kuhakikisha watoto hawa wanarejeshwa kwa wazazi wao,anasema kuwa anasikitishwa kuona serikali haijatekeleza amri ya mahakama hadi sasa.

"Tumekatishwa tamaa kiasi kikubwa,kuona kwamba serikali inaonekana kama haitaweza kuwaunganisha watoto hawa na wazazi wao leo.Lakini tunaamini kwamba kwa kuwa Jaji amehusishwa katika mchakato huu tangu siku ya ijumaa,ufuatiliaji utaendelea.Na tunaamini kwamba kuanzia sasa muda wa mwisho uliowekwa utaheshimiwa. "Lee Gelernt

Akizungumza na waandishi wa habari kabla ya safari yake mjini Brussels Ubelgiji kuhudhuria mkutano wa NATO,rais Trump amesisitiza ufumbuzi dhidi ya muda uliowekwa ni rahisi.

"Ndiyo nina ufumbuzi,waambieni watu,wasiingie nchini kwetu kinyume cha sheria,usije nchini kwetu kinyume cha sheria,njoo kama watu wengine waoingia kisheria."Trump.

Takriban watoto 3,000 walitenganishwa na wazazi wao,ambapo hapo jana July 10 serikali ya Marekani ilipaswa kuwa imewarejesha watoto hao kwa wazazi wao.

Ndoa Ya Thea na Mike Yafika Pabaya 'Nataka Nizae na Mwanaume Mwingine Kumkomoa'

$
0
0
Muigizaji mkongwe wa Bongo movie Ndumbagwe Misayo maarufu kama Thea amekiri ndoa yake na Muigizaji mwenzake Michael Sangu kufika  sehemu mbaya na kutaka ivunjike kanisani.

Thea amefunguka kuhusu ugumu aliopitia katika ndoa yake na jinsi alivyoichoka mpaka kufikia hatua ya kutaka Kubeba mimba ya mwanaume mwingine ili mradi tu Ndoa hiyo iweze kuvunjika.

Kwenye mahojiano na Global Publishers, Thea alisema utaratibu wa ndoa za Kikristo hautambui talaka ndiyo maana tangu amemwagana na mumewe hajaolewa kwa sababu ya kifungo hicho cha sheria za dini ambapo sasa ameamua ‘kujilipua’ ili apate mume mwingine.

Unajua kanisani kama mmetengana na mume halafu ukaenda kuzaa na mwanaume mwingine ndoa inakuwa imeshavunjika tayari, sasa hivi nina mpenzi na ninataka nibebe mimba yake; hapo ndiyo ndoa na Mike itakuwa imefikia ukingoni”.

Huna Sababu ya Kuaibika Tena, Jipatie Dawa Bora ya Tatizo la Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo

$
0
0
HUNA SABABU YA KUAIBIKA TENA........ JIPATIE DAWA BORA YA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO

Matatizo ya nguvu za kiume yamekua yakiathiri watu wengi sana kisaikologia hasa baada ya kujiona wakotofauti sana na wengine, kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamatatizo.

Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hili, chango :- hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngiri :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba namarakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kukosa kabisa

MIFINI:- Nidawa ya vidonge iliyotengenezwa kwa mitishamba, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka (15-80) inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) ,inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uwe na hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi ya maratatu bilahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kilelen Kwa mda wa dk (18-25).

SUPER MORISIS :- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwamda mfupi sana , ni Dr CHILAMBO mtatuzi wa matatizo yako kunadawa ya kupunguza unene, kitambi (nyamazembe),matiti makubwa kuwa madogo, uzazi, kuludisha mali iliyopotea, kuuzavitu bila kununuliwa, biashara, wachimba madini kusafisha nyota, kuludishwa kazini mvuto wa mapenzi nk.

KWAUSHAURI NA TIBA WASILIANA NA DR CHILAMBO ATAKUSAIDIA MATATIZO YAKO, NIPO DAR ES SALAAM PIA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO NYOTE MNAKARIBISHWA.

0744 391 089 / 0622344969

Rosa Ree Aendelea Kupavuruga Kwa Madiba South Afrika

$
0
0
RAPA wa kike kutoka Bongo, Rosary Robert ‘Rosa Ree’, anaendelea kuivuruga Afrika Kusini ‘Sauz’ kutokana na ‘media tour’ anayoifanya kwa sasa kiasi cha kuwa gumzo kwenye media tofautitofauti.

Katika ziara hiyo, Rosa Ree, mbali na kuzungumza Kizungu lakini kwa kiasi kikubwa amekuwa akizungumza Kiswahili, ili kuonyesha kwamba ni Mtanzania, lakini pia amefunguka kwamba kwa sasa kazi zake kwa kiasi kikubwa atakuwa anafanyia nchini humo kwa sababu menejimenti yake inatoka huko.

“Kiukweli Sauz kwa sasa kumekuwa kama nyumbani, ninafanya ziara nyingi kila kukicha na menejimenti yangu imenitengenezea mazingira mazuri ya kufanya kazi. “Baada ya kumaliza tour kuna kitu kikubwa pia kinakuja, mashabiki wangu wakae mkao wa kul a,” alifunguka Rosa Ree, dairekti kutoka Sauz.

Mambo Mazuri kwa Ufaransa Yatinga Fainali Kombe la Dunia

$
0
0
Mambo Mazuri kwa Ufaransa Yatinga Fainali Kombe la Dunia
Baada ya usiku huu kushinda mechi yao ya nusu fainali dhidi ya Ubelgiji kwa bao 1-0, Ufaransa sasa imetinga fainali ya kombe la dunia kwa mara ya tatu ndani ya miaka 20 na kuwa taifa lililofika fainali mara nyingi zaidi katika miaka hiyo.


Ufaransa imefanikiwa kutinga hatua ya fainali katika miaka ya 1998 ambapo walitwaa kombe wakiwafunga Brazil kwenye mechi ya fainali, 2006 ambapo walifungwa na Italia na 2018 baada ya leo kushinda bao 1-0 dhidi ya Ubelgiji kwenye nusu fainali.

Kwa upande wake kocha wa kikosi hicho Mfaransa, Didier Deschamps, ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza wa Ufaransa kufika katika fainali mbili tofauti za mashindano makubwa. Alifika fainali ya EURO 2016 na kupoteza dhidi ya Ureno na amefika fainali ya kombe la dunia 2018.

Kwa upande mwingine walinzi wa kikosi cha Ufaransa mwaka huu Pavard, Varane na Umtiti wote wamefunga katika fainali hizi na kuirudia rekodi ya walinzi Lizarazu, Blanc na Thuram ambao walifunga mabao katika fainali za mwaka 1998.

Naye Antoine Griezmann sasa amehusika kwenye mabao 5 akifunga 3 na kusaidia 2 hivyo kuwa nyuma ya Harry Kane pekee kama mchezaji aliyehusika kwenye mabao mengi katika fainali hizi. Kane amehusika kwenye mabao 6 yote akifunga.

Ufaransa sasa itasubiri mshindi wa nusu fainali ya pili itakayopigwa kesho kati ya Croatia dhidi ya England, ambapo mshindi ataungana na Ufaransa katika mchezo wa fainali utakaofanyika Julai 15.


Basata Yafunguka Kuhusu Malipo ya Wasanii

$
0
0
Basata Yafunguka Kuhusu Malipo ya Wasanii
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limefunguka na kutolea ufafanuzi kanuni zake mpya walizozifanya hivi karibuni kuwa sio kweli kwamba msanii anatakiwa kulipa milioni 5 akifanya tangazo bali kampuni husika ndio inapaswa
kufanya hivyo kwa kuwa wanaingiza kipato kikubwa kutumia tangazo hilo.

Hayo yamebainishwa leo Julai 10, 2018 na Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mngereza pamoja na Mkuu wa Matukio, Kwerugira Maregesi wakati wakizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo 'PB' inayorushwa kupitia East Africa Radio baada ya kuwepo malalamiko mengi ya wasanii wakidai kanuni hizo mpya haziwatendei haki kwa kile walichokuwa wakiamini kwamba wanapaswa kuilipa BASATA milioni tano kwa kila kazi ya tangazo watakayokuwa wanaifanya na kampuni yoyote ile nchini bila ya kuangalia kiasi wanachokiingiza wao binafsi.

"Hayo makampuni yakifanya matangazo kupitia msanii wanatengeneza fedha nasio kitu cha bure bure tu. Pia hayo makampuni yalikuwa yanafanya kazi na wasanii hao kinyume na sheria bila ya kufahamika na BASATA. Kwa hiyo sasa hivi tutawatambua", amesema Mwingereza.

Pamoja na hayo, Mwingereza ameendelea kwa kusema "milioni tano inalipwa na kampuni husika na wala sio msanii ambaye ametumika kufanya tangazo fulani kwa kampuni".

Mbali na hilo, Mwingereza amesema kuwa sio kweli kwamba walifanya mabadiliko hayo mapya bila ya kuwashirikisha wadau wa muziki kwa kuwa jambo lolote la serikali haliwezi kufanikiwa bila ya kuwepo na maoni.

"Hizi kanuni zisingeweza kutoka kama zisingekuwa na ushirikishwaji, hakuna 'document' ya serikali inayotoka bila ya kuwepo na ushirikishwaji wa wadau. Kuna changamoto ya watu ya kutosema ukweli nchi hii", amesisitiza Mwingereza.

India Polisi Wapigwa Maruku Kuwa na Vitambi

$
0
0
India Polisi Wapigwa Maruku Kuwa na Vitambi
 Nchini India ambapo unaambiwa kuwa Kamanda mmoja wa Jeshi la Polisi nchini humo aitwae Bhaskar Rao amewataka Maafisa wake wa Polisi kupunguza uzito wa miili yao na kuacha kunenepa kupita kiasi la sivyo atawasimamisha kazi.

Imeelezwa kuwa Kamanda huyo amechukua uamuzi huo baada ya Askari wake 100 kufariki ndani ya miezi 18 iliyopita kutokana na kutojali afya zao.

Duru za kuaminika zinasema kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la Askari wa nchini humo ambao wamenenepa kupita kiasi kitu kinachohatarisha maisha yao na ufanisi wa kazi yao.

Aidha Kiongozi huyo amesema kuwa Askari hao watapewa msaada ili kuhakikisha wanapunguza uzito wao wa miili yao.

Thea Aamua Kumkomesha Mumewe "Nabeba Mimba ya Mwanaume Mwingine Ili Ndoa Yangu Ivunjike"

$
0
0
NI kama kicheke­sho lakini ni kweli; Staa wa Bongo Muvi, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amesema anabeba mimba ya mwanaume mwingine ili ndoa kati yake na mumewe Michael Sangu ‘Mike’ ivunjike rasmi kanisani.

Akizungumza na Za Motomoto News, Thea alisema utaratibu wa ndoa za Kikristo hautambui talaka ndiyo maana tangu amemwagana na mumewe hajaolewa kwa sababu ya kifungo hicho cha sheria za dini ambapo sasa ameamua ‘kujilipua’ ili apate mume mwingine.

“Unajua kanisani kama mmetengana na mume halafu ukaenda kuzaa na mwanaume mwingine ndoa inakuwa imeshavunjika tayari, sasa hivi nina mpenzi na ninataka nibebe mimba yake; hapo ndiyo ndoa na Mike itakuwa imefikia ukingoni,” alisema Thea.

Cristiano Ronaldo Atinga Rasmi Juventus

$
0
0
Cristiano Ronaldo Atinga Rasmi Juventus
Klabu ya Juventus imekamilisha makubaliano na Real Madrid juu ya kumsajili mchezaji wake, Cristiano Ronaldo na katika kudhihirisha hilo Mwenyekiti wa timu hiyo ya Italia, Andrea Agnelli amekwea ‘helicopter’ kwenda kwenye hoteli ambayo mshambualiaji huyo ametulia na familia yake kukamilisha taratibu zilizo salia.



Kwa mujibu wa chombo cha habari cha Skysports kimeripoti kuwa Juventus imeridhia kutoa kitita cha fedha pauni milioni 88 ili kuingia kandarasi na Ronaldo ambaye ni mshindi mara tano wa Ballon d’Or akitokea Real Madrid.

Hii leo siku ya Jumatano wakala wa Ronaldo, Jorge Mendes na Real Madrid wanatarajiwa kumalizana ili mchezaji huyo kutua Juve muda wowote kuanzia sasa.

Ronaldo ametumia misimu tisa Madrid baada ya uhamisho wake wa pauni milioni 80 akitokea Manchester United huku akiondoka na kuwacha rekodi ndani ya klabu hiyo kwa kufunga jumla ya mabao 451.

Nahodha huyo wa Ureno anaondoka Real baada ya kushinda mataji mawili ya La Liga titles, mawili Copa del Rey na mataji manne ya klabu bingwa barani Ulaya.

Steve Nyerere Yamtokea Puani " Nimekoma Kuwa Kiongozi Msibani"

$
0
0
Steve Nyerere Yamtokea Puani " Nimekoma Kuwa Kiongozi  Msibani"
MSANII maaru­fu wa vichekesho Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema amekoma kuwa kiongozi misibani kwa sababu ya matusi anayovuna akishika nafasi hiyo.

Steve aliiambia  Za Motomoto News  wikiendi iliyopita kuwa, amekuwa akijitoa kwenye misiba ya wasanii wenzake lakini licha ya wema wake huo amekuwa akivuna skendo za ajabuajabu (kama ulaji fedha za rambirambi) na matusi jambo ambalo linamhuzunisha na kuiathiri familia yake.

“Unajua mimi nina wa­toto, sasa wanapoona ya­nayoandikwa mitandaoni ya kunitukana na kunifedhehesha kwa vitu vya uongo wa­tanichukuliaje, niseme tu huu msiba wa mtoto Patrick Peter ambaye ni mtoto wa msanii mwenzangu Muna ndiyo wa mwisho, sitajihusisha tena na uongozi; kwenye misiba nita­shiriki kama mtu wa kawaida,” alisema Steve.

Nafasi za Kazi Zilizotangazwa Leo


Tumia Super Mkuyati Kurudisha Heshima ya Ndoa

$
0
0
SUPER MKUYATI ILIYO IMARA KURUDISHA HESHIMA YANDOA

Super mkuyati nidawa ya mitishamba iliyo sheheni miti mbalimbali na kugundulika ina pambana na magonywa sugu ya uzazi na ukosefu wa nguvu

SUPER MKUYATI inanguvu (3) nainafanya kazi kwapamoja (1) itakufanya uchelewe kufika kileleni ndani ya dk 15-20 bila kuchoka (2) ina zalisha homon kwa wingi na kukufanya uwe na mbengu nyingi zenye vimeleo vya uzazi vyilivyokomaa (3) inaongeza ume mdogo uliosinyaa,kunenepesha uume na kurefusha adi nchi 5-8 na upanda sm 2-3 dawa hii haina mazara kwa mtumiaji ata kwa wazee walionaumri 60-80

SUPER MKUYATI ponyo la maradhi yako tumia Leo uone mjabu yake

 FIKA OFISI YETU ZINAPATIKANA DR MTONI KIJICHI KAMA UNA NAFASI UTALETEWA POPOTE ULIPO KWA WAMIKOANI UTATUMIWA

DR GATUNDU

0717777402/0768408794

Wema Sepetu Agombaniwa na Wanamuziki Viben Ten vya Kenya...Wataka Kujiweka Kimapenzi

$
0
0
Msanii wa muziki anayefanya kazi zake  Mombasa Kenya, Kelechi amefunguka na kudai msanii mwenzake Brown Mauzo hawezi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wema Sepetu.

Siku chache zilizopita Brown Mauzo aliibuka na kufunguka juu ya mapenzi yake kwa msanii wa filamu Tanzania Wema Sepetu na kudai anataka kumuoa jumla jumla.

Kwenye mahojiano na Enews ya East Africa Tv, Kelechi amefunguka na kudai Brown hawezi kumuoa Wema Sepetu wala hata kumuhudumia hawezi:

Huyu Brown ni mtoto mdogo sana hawezi kumpata Wema Sepetu alafu isitoshe ni Dogo sana kwa Wema na pia hana hata hadhi ya kuwa  naye kimapenzi”.

Lakini pia Kelechi amedai Brown amekimbia Mombasa na kurudi Tanzania baada ya kutembea na mke wa Meneja wake.

Alichojibu Young Dee Kuhusu Kumpiga Amber Lulu.

$
0
0

Msanii wa bongo fleva Young Dee amefunguka na kujibu tuhuma za kuwa aliwahi kumpiga maber lulu wakiwa studio huku sababu kubwa ikiwa ni kwamba Young Dee bado anampenda amber lulu na amekuwa akimuonea wivu kla anapomkuta na mwanaume mwingine hata kama hawana mahusiano.

Amber Lulu ambae alithibitisha hilo alipokuwa akifanya mahojiano na mwandishi wa habari na kusema kuwa ni kweli waligombana na Young Dee kutokana nawivu wake wa kumkuta akiwa karibu na meneja wake anasema kuwa hata yeye hana mpango wa kutoka tena na young dee kwa sababu alishapi huko siku nyingi.

Alipoulizwa kuhusu swala hilo, young dee alisema
” Mimi na Amber Lulu sio washkaji kwaio hata sitaki kuzingumzia taarifa kama hiyo , mi siwezi kuzungmza kwenye intrview kubwa kama hii nikamzungmzia  nikazungumzia watu ambao  hawanihusu”

Hamu ya Kufanya Mapenzi na Walionizidi Umri Majibaba

$
0
0
Naombeni msaada wenu wakuu kuhusu hii hali inayonisumbua.
Wavulana wa umri Wangu sina hamu nao kabisa na Siwataki kabisa, Napendelea Wale kuanzia Miaka 30 naona ndo wananifikisha, Vijana Wanajisifu sana ila hakuna kitu Kwenye Tukifika Uwanjani ..Ama mie ndo Natatizo ? Naombeni Ushauri.
By Flora

Kutana na Dr Mabula Kukutibu Matatizo ya Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO :

Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliongahika sehemu mbalimbali bira MAFANIKIO MABULA CLINIC ni kituo cha tiba asilia kilichopo mbagara zakhemu njia kuu ya JESHINI JE HUNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO NA MWEMBAMBA?


MAPRO PAWER NO 2 ndio Tiba kwa sasa utibu matatizo matatu kwa pamoja itakufanya uchelewe kufika kilekeni dikika 15-20 kwa tendo la kwanza 2 uimalisha misuli iliyoregea na kusinyaa hasa kwa wale walio asirika na upigaji punyeto 3 itakufanya upate hamu ya kurudia tendo zaidi ya Mara tatu.

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MPENZI AU MKE WAKO kisa unawai kukojoa au unakomea bao moja tu na huku dawa zipo

MAKAKANUA mix ni dawa iliyochanganywa na miti Shamba 9 na Kuwa na uwezo wa kuongeza uume saizi upendayo inchi 5-8 Kwa Urefu na unene sentimita 1-5 dawa hizi hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ata wazee wenye umri mkubwa wanapona.

Zipo dawa za mvuto wa mpenzi mme au mke Kwa masaa matatu tu na kukupigia simu yeye mwenyewe mvuto wa biashara kutengeneza mwonekano mzuri wa mwili kwa wanawake yani shepu tunatibu ngiri miguu mgongo na kiuno kuumwa kupunguza kitambi minyama uzembe matiti na mwili mkubwa

TIBA NA USHAULI MUONE DR MABULA AU PIGA SIMU NO 0752348593 UDUMA ZANGU UTAZIPATA POPOTE ULIPO KAMA UWEZI KUFIKA OFISINI
Viewing all 104785 articles
Browse latest View live




Latest Images