Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Kuna Siri Gani Kwenye Maji ya Kuoshea Maiti Yanapochanganywa Kwenye Chakula?

$
0
0

Ni mara nyingi nmekuwa nikisikia haya maji kutumika sana kwnye shughuli za kishirikina. Mfano kutumika kwenye shughuli za mama ntilie wakichanganya na msosi nasikia unakuwa mtamu sana ndo pale unakuta mazingira ya upishi na jinsi chakula kinavyoandaliwa unakuta hayaridhishi kabisa ila unakuta watu wanafurika muda wote na si ajabu unakuta mtu anafunga safari kutoka mbagara anaenda kula lunch ubungo!!! Ukimuuliza atakwambia msosi wa mama flani ni mtamu sana. Sasa nasikia ule msosi wakati wa upishi ukichanganywa na maji ya kuoshea maiti unakuwa mtamu sana na ndio silaha kubwa ya biashara wanayoitumia mama ntilie walio wengi.

Kuna mchawi mmoja niliwahi kumsikia mahali kwamba wakati walipokuwa wanaenda kumchukua mtu kwenye nyumba yake kwanza lazma waoge maji ya maiti ndo safari yao inaanza halafu wakifika kwenye nyumba wanayamwaga hayo maji kwenye pande nne za paa la bati alafu wakifanikiwa kuingia wanampaka alokusudiwa kuchukuliwa hayo maji kuanzia miguuni hadi utosini huyo mtu analala anakuwa kama anaota then wanambeba.

Duniani kuna mengi haya maji ya kuoshea maiti katika ulimwengu wa roho yana kazi kubwa sana !

Cc @ Mshana jr

Naumwa Kidole "Mdudu wa Kidole" Naambiwa Dawa ni Kuingiza Hicho Kidole Kwenye Papucha Kutwa Mara Tatu..!!!

$
0
0

Kidole cha mkono wa kushoto baada ya dole gumba kinauma naambiwa ni Mdudu wa Kidole

Sasa nimeshauriwa na Madokta Mwituu nikiingize kwenye Papuchi hicho kidole kutwa Mara 3 kitapona , tena nimesisitizwa niwahi mapema kabla hakijatunga usaha

Sasa demu sina kwa wakati huu, ipi Dawa nyingine? Hii siiwezi aiseee labda ningekuwa na mke, Naona naelekea kushindwa kufanya kazi zingine kwa maumivu msaada please.

Tundu Lissu Angepewa Uwaziri wa Katiba na Sheri

$
0
0

NA FATUMA MUNA
Mbunge wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara 'Bwege' (CUF), ameweka wazi kuwa endapo angekuwa Rais wa nchi basi asingeweza kumuacha Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, katika baraza lake la mawaziri.


Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu

Akizungumza katika kipindi cha KIKAANGONI kinachoruka kila Jumatano kupitia ukurasa wa Facebook EATV, Mh. Bungara amesema kwamba  anaamini Tundu Lissu anafaa sana kuwa kwenye Wizara ya Katiba na Sheria, hivyo lazima angempa nafasi hiyo kwa kuwa angeitendea haki.

Aidha Mbunge huyo aliongeza kwamba, ingawa wabunge wengi kutoka UKAWA wana uwezo lakini kama pia asingemuacha Mbunge wa Tandahimba, Katani Hamad Katani, katika wiazara ya Kilimo kwa kuwa naye ana uwezo wa kuongoza wizara hiyo, hivyo angeweza kutatua changamoto za wakulima.

Akifafanua kuhusu Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma, kama endapo angehamia katika chama chake wizara ambayo ingemfaa amesema "wizara ambayo ningempa Musukuma na ingemfaa ingekuwa ni ya Utamaduni".

Akizungumzia kuhusu mawaziri anaowakubali katika serikali iliyopo madarakani, Mbunge Bungara amesema kwamba "Lukuvi namkubali sana. Alitatua mgogoro jimboni kwangu uliodumu kwa miaka 40, mawaziri wote waliopita walishindwa. Lukuvi mkweli, hana hofu akitekeleza majukumu yake viongozi waliopita walikuwa wakifika wanapewa mchele kuku wanaondoka. Sifa za kiongozi ni ukweli na uaminifu, nyeusi anasema nyeusi na nyeupe ni nyeupe".

Aidha,  Mh. Bungara amesema anamkubali Waziri Suleiman Jafo na ubora wake ni kwamba hababaishi majibu pale anapoulizwa swali tofauti na mawaziri wengine.

EATV

Tumia Super Mkuyati Kurudisha Heshima ya Ndoa

$
0
0


SUPER MKUYATI ILIYO IMARA KURUDISHA HESHIMA YANDOA

Super mkuyati nidawa ya mitishamba iliyo sheheni miti mbalimbali na kugundulika ina pambana na magonywa sugu ya uzazi na ukosefu wa nguvu

SUPER MKUYATI inanguvu (3) nainafanya kazi kwapamoja (1) itakufanya uchelewe kufika kileleni ndani ya dk 15-20 bila kuchoka (2) ina zalisha homon kwa wingi na kukufanya uwe na mbengu nyingi zenye vimeleo vya uzazi vyilivyokomaa (3) inaongeza ume mdogo uliosinyaa,kunenepesha uume na kurefusha adi nchi 5-8 na upanda sm 2-3 dawa hii haina mazara kwa mtumiaji ata kwa wazee walionaumri 60-80

SUPER MKUYATI ponyo la maradhi yako tumia Leo uone mjabu yake

 FIKA OFISI YETU ZINAPATIKANA DR MTONI KIJICHI KAMA UNA NAFASI UTALETEWA POPOTE ULIPO KWA WAMIKOANI UTATUMIWA

DR GATUNDU

0717777402/0768408794

Yanga Kuondika Jumatatu Kwaajili ya Mechi na Gor Mahia Julai 18

$
0
0
Yanga Kuondika Jumatatu Kwaajili ya Mechi na Gor Mahia Julai 18
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka nchini Julai 16 Jumatatu kuelekea Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Gor Mahia, Julai 18 jijini Nairobi.

Yanga inashika mkia katika kundi lao kwa kuwa na pointi moja huku USM Alger ikiongoza kwa kuwa na pointi nne ikifuatiwa na Gor Mahia yenye pointi mbili na Rayon Sport ya Rwanda yenye pointi mbili pia.

Awali, Yanga ilikuwa iweke kambi ya siku chache Arusha kwa ajili ya kujiandaa na mchezo huo lakini imeshindikana na badala yake wanakwenda moja kwa moja.

Meneja wa Yanga, Hafidh Salehe amesema: “Maandalizi yanakwenda vizuri kama inavyotakiwa na wachezaji wote wameshaanza mazoezi kuelekea mchezo huo.

“Kwa sasa sijajua ni idadi ya wachezaji wangapi watakwenda huko lakini kwa upande wangu niliona ni vyema wachezaji wote wakaenda,” alisema Hafidh.

Napenda Wanaume Weusi Wanamuonekano Wakiume Kuliko Weupe- Linah

$
0
0
Napenda Wanaume Weusi Wanamuonekano Wakiume Kuliko Weupe- Linah
Muimbaji Linah Sanga amezungumza na kusema kuwa anapenda Wanaume Weusi kwani wanamuonekano wakiume zaidi ya wanaume weupe, hata yeye wanaume wake wengi wa zamani walikuwa weusi kwa sababu ndiyo rangi anayovutiwa nayo.

Linah kazugumza hayo baada ya picha inayomuonesha akiwa na mpenzi wake na watu kujadili rangi ya mpenzi wake huyo wakidai kuwa ni mweusi sana lakini Lina yeye kamtetea na kusema yeye ndo kampenda alivyo na isitoshe ma-x wake wote aliotembea nao kama Baraka the Prince, Amini na wengine walikuwa weusi.

Muuguzi Awachoma Sindano za Sumu Wagonjwa 20 Wenye Hali Mbaya ili Wafe

$
0
0
Muuguzi Awachoma Sindano za Sumu Wagonjwa 20 Wenye Hali Mbaya ili Wafe
Muuguzi aitwae Ayumi Kuboki mwenye miaka 31 anatuhumiwa kuwachoma sindano za sumu Wagonjwa 20 wenye hali mbaya ili wafe kwenye zamu ya Muuguzi mwingine.

Ayumi alipokuwa akihojiwa na Polisi alisema kuwa alifanya hivyo ili kuepukana na shida ya kuwaelezea familia za wafiwa chanzo cha vifo vya ndugu zao.

Kwa mujibu wa sheria za Hospitali ya Oguchi ya mjini Tokyo ambayo Ayumi ndipo anapofanyia kazi zinasema kuwa Muuguzi ndie mwenye wajibu wa kuwapa taarifa ndugu endapo Mgonjwa atafariki kwenye zamu yake na ndio maana alifanya hivyo kukwepa kadhia hiyo.

Aidha uchunguzi wa Polisi unasema kuwa Ayumi aliwapa sumu hata Wagonjwa wengine ambao hawakuwa na hali mbaya. Kwa sasa Ayumi anashikiliwa na jeshi la Polisi la nchini humo kwa ajili ya kupandishwa kizimbani.

Baada ya Kutoka Yanga Chirwa Asaini Mkataba Misri

$
0
0
Baada ya Kutoka Yanga Chirwa Asaini Mkataba Misri
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga raia wa Zambia, Obrey Chirwa rasmi amesaini mkataba na Klabu ya Nogoom El Mostakbal Football Club ya nchini Misri.



Mshambuliaji huyo amejiunga na timu hiyo baada ya mkataba wake wa miaka miwili ya kuendelea kuichezea Yanga kumalizika kabla ya kutimkia Misri.

Mzambia huyo baada ya mkataba wake kumalizika aliuomba uongozi wa timu huyo kuondoka kwenye klabu hiyo na kwenda kutafuta changamoto nyingine kwingine na kumruhusu na klabu ya Ismailia ya nchini huko ndiyo alikuwa anaitaja.



Kwa mujibu wa mtandao wa klabu hiyo, Chirwa rasmi amesaini mkataba na kutambulishwa rasmi huku akikabidhiwa jezi ya klabu hiyo.



Hivyo, Chirwa kwenye msimu ujao ataitumikia Noogom El Mostakbal inayoshiriki Daraja la Pili baada ya kufikia muafaka mzuri na kusaini mkataba.

Alichokisema Haji Manara Baada ya Mchezaji Fei Toto Kusaini Yanga na Singida United

$
0
0
Alichokisema Haji Manara  Baada ya Mchezaji Fei Toto Kusaini Yanga na Singida United
Uongozi wa klabu ya Simba umetolea ufafanuzi juu kiungo mchezaji Feisal Salum Abdallah 'Fei Toto' ambaye usajili wake umezua gumzo jana kwa kujiunga na Yanga akitokea JKU kwa kusaini miaka miwili.

Baada ya Toto kuhusishwa kuhitajika na Simba, Ofisa Habari wake, Haji Manara, amesema klabu yao haikuwa na mipango ya kumsajili mchezaji huyo kutokana na kujaza viungo wengi.

Manara ameeleza kuwa Simba ina wachezaji wengi viungo akisema usajili wa mchezaji huyo kwenda Yanga usihusishwe na Simba kwakuwa hawakuwa na mpango naye.

Toto ametambulishwa Yanga jana ikiwa ni baada ya masaa kadhaa kupitwa kutangazwa na uongozi wa Singida United kuwa wameingia naye mkataba wa miaka mitatu.

Usajili huo ulikuwa gumzo kubwa jana baada ya Yanga kuitisha kikao na wanahabari majira ya saa 10 jioni ili kumtambulisha Toto ambaye alikuwa pamoja na wakala wake na kuleta sintifahamu ikiwa ni baada ya Singida kumtangaza pia.

FIFA Yamuweka Wazi Mwamuzi Atakayechezesha Fainali ya Kombe la Dunia

$
0
0
FIFA Yamuweka Wazi Mwamuzi Atakayechezesha Fainali ya Kombe la Dunia
Shirikisho la soka la kimataifa (FIFA), limeweka wazi mwamuzi atakayechezesha mchezo wa fainali ya kombe la dunia kati ya Ufaransa dhidi ya Croatia, itakayopigwa jumapili Julai 15 kwenye uwanja wa Luzhniki jijini Moscow Urusi.


Mwamuzi Néstor Fabián Pitana ambaye ni raia wa Argentina ndio amepewa nafasi ya kuamua mchezo huo wa fainali. FIFA imemteua Pitana baada ya kufanya vizuri katika mechi 4 alizochezesha kwenye fainali za mwaka huu, akianza na mechi ya ufunguzi Russia dhidi ya Saudi Arabia, Mexico dhidi ya Sweden katika hatua ya makundi, mechi ya 16 bora kati ya Croatia and Denmark pamoja na ile robo fainali ya Uruguay na France.

Hizi ni fainali za kombe la dunia za pili kwa Pitana kuchezesha akianza mwaka 2014 nchini Brazil na hiyo ilikuja baada ya kupata leseni ya FIFA mwaka 2010. Anauzoefu wa kuchezesha michuano mbalimbakli ya kimataifa ikiwemo Copa Amerika mwaka 2015.

Pitana mwenye umri wa miaka 43, amekuwa Muargentina wa pili kuchezesha mechi ya fainali ya kombe la dunia akitanguliwa na Horacio Elizondo ambaye alichezesha mechi ya fainali mwaka 2006 kati ya Ufaransa dhidi ya Italia ambapo Italia waliibuka mabingwa.

Pitana atasaidiwa na waamuzi Hernan Maidana, Juan P. Belatti wote wakitoka Argentina huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Bjorn Kuipers kutoka Uholanzi. Kabla ya kuanza rasmi kazi ya uamzi mwaka 2007, Pitana alikuwa muigizaji na mwalimu wa elimu ya viungo vya mwili.

Mwamuzi Alireza Faghani wa Iran yeye ameteuliwa kuchezesha mechi ya kutafuta mshindi wa 3 kati ya Ubelgiji dhidi ya England. Moja ya filamu ambazo pitana ameigiza ni pamoja na The Fury iliyotoka mwaka 1997 na Recopa Sudamericana iliyotoka mwaka 2005.

Dangote Awapa Fulsa Wanawake "Natafuta Mwanamke wa Kuishi Naye Akijitokeza Ntamuoa"

$
0
0
Dangote Awapa Fulsa Wanawake "Natafuta Mwanamke wa Kuishi Naye Akijitokeza Ntamuoa"
Tajiri namba moja barani Afrika, Aliko Dangote amesema kuwa ingawaje umri wake umeenda na yupo bize na masuala ya biashara lakini bado anahitaji mke wa kuishi naye.

Dangote akihojiwa na gazeti la Financial Times (FT) amesema kwa sasa ana miaka 60 na yupo bize sana hawezi kutafuta mwanamke lakini akijitokeza wa kumuoa basi atafanya hivyo.

“Mimi sio kijana tena, miaka 60 sio masihala kwani siwezi kutembea mtaani kutafuta mwanamke nakosa muda kabisa lakini akitokea wa kuwa naye sawa,“amesema Dangote.

Tajiri huyo maarufu zaidi barani Afrika amesema kuwa kwa siku anapigiwa simu zaidi ya mara 100 huku akipokea maelfu ya barua pepe.

Dangote mpaka hivi sasa ameachwa na wanawake wawili na amefanikiwa kupata watoto watatu ingawaje vyombo vya habari nchini Nigeria vinaripoti kuwa Bilionea huyo ameshawahi kuishi na wanawake watatu baada ya kuachana na wanawake wake wa ndoa lakini hajafanikiwa kuzaa nao.

Chanzo: Financial Times (FT)

Wananchi Nchini Uingereza Watibua Ziara ya Trump

$
0
0
Wananchi Nchini Uingereza Watibua Ziara ya Trump
Rais wa Marekani, Donald Trump jana Julai 12, 2018 alipokelewa kwa maandamano makali nchini Uingereza kwenye ziara ya kikazi ya siku nne nchini humo.

Maelfu ya raia wa Uingereza ambao walipinga ziara hiyo ya Rais Trump mapema mwaka huu, wamejitokeza kwenye maandamano hayo leo tena katika eneo viunga vya bunge la Uingereza na barabara kubwa jijini London wakiwa na mabango yenye ujumbe tofauti tofauti.


Hata hivyo bado maandamano hayo hayajazuia chochote kwani Rais Trump leo anatarajiwa kuonana na Waziri Mkuu wa Uingereza, Bi. Theresa May na kesho akiwa na mkewe, Melania Trump watamtembelea Malkia Elizabeth.

Breaking: Necta Yatangaza Matokeo ya Kidato cha Sita

$
0
0
BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza matokeo ya kidato cha sita leo Julai 13 na kuzitaja shule zilizoshika mkia kuwa ni pamoja na ya wasichana ya Jangwani, ya Jijini Dar es Salaam.



Shule nyingine zilizoshika mkia ni Forest ya (Morogoro), Jang’ombe, St James, Kilolo,(Iringa),  White Lake,(Dar es Salaam) Aggrey,(Mbeya), Nyailigamba,(Kagera) Musoma Utalii, (Mara)  Ben Bella(Mjini Magharibi) na Golde Ridge(Geita).

Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde, Mjini Zanzibar.

Jay Dee na Gardner Wakutana Uso kwa Uso.... Wasalimiana kwa Kushikana Mikono

$
0
0
Jay Dee na Gardner Wakutana Uso kwa Uso.... Wasalimiana kwa Kushikana Mikono
Wahenga wanasema milima haikutani lakini binadamu wanakutana! leo kauli hiyo imeonekana baada ya Gadner G. Habash   kupeana mkono na aliyekuwa mkewe Judith Wambura maarufu kama Jdee wakati Jaydee alipokwenda kumpa mkono wa pole Kibonde kufuatia kufiwa na mkewe.

Jaydee aliwasiri nyumbani kwa Kiponde akiongozana na mpenzi wake @Spicymuzik na kuelekea eneo alilokuwa amekaa mfiwa huyo ambaye pembeni yake alikuwepo amekaa Gadner.

Jay D alipofika eneo hilo kwaajili ya kutoa pole kwa wafiwa watu wote akiwemo na Gardner walisimama kwa heshima ili kusalimiana nao naye mwanamama huyo alitoa salamu hiyo kwa wote ikiwemo kwa aliyekuwa mume wake Gardner.

Mke wa Ephrahim Kibonde, Sara Kibonde amefariki dunia usiku wa Jumanne, Julai 10, 2018, katika Hospital ya Hindu Mandal akipatiwa matibabu ambapo leo ibada ya mazishi ilifanyika nyumbani kwa kwake na mwili wa marehemu utaenda kupumzishwa katika makaburi ya Kinondoni.

OFA!OFA!OFA Je Umepungukiwa Nguvu za Kiume na Umetumia Dawa Bila Mafanikio?

$
0
0

OFA!OFA!OFA je umepungukiwa nguvu za kiume na umetumia dawa bila mafanikio? sasa utapona kwa sh 15000 tu ofa ni kwa watu kumi wakwanza kila siku ofa hii itadumu ndani ya wiki 2 baada ya hapo bei itakuwa nyingine na kama hujapona tunakurudishia hera yako !

Dawa hii ni dawa ya maajabu huwezi kuamini Ila wengi wameiamini, inatibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na utapewa garantee ya mwezi mmoja dawa hii inapatikana hapo hapo ulipo nyumbani kwako na tutakupatia maelezo ya namna ya kuiandaa wewe mwenyewe na baada ya kuiandaa utakunywa Mara moja tu,na hautatumia dawa yoyote ya nguvu za kiume dawa hii inawafaaa watu kuanzia miaka 18 mpaka miaka 70 zaidi ya miaka hyo haitakusaidia ni dawa ya asilia haina madhara yoyote.

Watafiti na waganga wameikubali pia hii dawa inawafaa hata wanawake wasiopata hisia za mapenzi pia tunaweza kukutumia dawa popote ulipo lakini c kwa bei ya ofa ukiitumia dawa hii unakuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya Mara 3 bila hamu kuisha na itakufanya uwe na uwezo wa kufanya tendo la ndoa muda wowote imesaidia watu zaidi yawatu 148 ndani ya mwakammoja tangu igunduliwe Dr kiboko mganga wa tiba za jadi toka kisiwani mafia pia tunatibu magonjwa mbalimbali kurudisha mpenzi aliye kuacha,biashara iliyoyumba, kuondoa mikosi, nyota na nk maelezo zaidi Wasiliana na Dr kiboko 0679923297


Clement Sanga Wa Yanga Avuliwa Uenyekiti Bodi ya Ligi (TPLB) Baada ya Yanga Kudai Bado Wanamtambua Yusuf Manji

$
0
0

Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilichofanyika jana Julai 12,2018,  makao makuu ya shirikisho hilo, kimemuondoa  aliyekuwa mwenyekiti wa Bodi ya Ligi (TPLB), Clement Sanga,  kwenye nafasi hiyo kwa kukosa sifa baada ya klabu ya Young Africans kuthibitisha Yusuph Manji kuwa ndiye mwenyekiti wa klabu hiyo.


Wakati huohuo, Kamati ya Uchaguzi  ya TFF imeelekezwa kuandaa uchaguzi wa kuziba nafasi hiyo.


Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa TFF uliopo Uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam, Rais wa shirikisho hilo, Wallace Karia,  alisema  hatua hiyo imefuatia mkutano wa Juni 10 wa wanachama wa Yanga ambao ulitamka kuwa bado unamtambua Yussuf Manji kama Mwenyekiti wao.


Pia, Kamati ya Utendaji ya TFF imemthibitisha Wilfred Kidao kuwa Katibu Mkuu wa shirikisho hilo.

Wema Sepetu Awaponda Wanao Kejeli Shape yake Baada ya Kukatwa Utumbo

$
0
0

Habari ya mjini kwa sasa ni shepu ya Malkia wa Bongo Movie, Wema Sepetu.

Kila mtu anasema lake kuhusiana na shepu mpya ya Wema, ambapo kwa sasa anaonekana amepungua kwa kasi. Kwa sasa Wema sio bonge tena kama alivyokuwa zamani.

Ile shepu ya Wema ambayo alibeba nayo taji la Miss Tanzania mwaka 2006 ndio imeanza kurudi unaambiwa, japo haiwezi kuwa kama vile, lakini kidogo ameanza kuonekana.

Huko kwenye mitandao ya kijamii ambako Wema ana wafuasi wengi kwelikweli kama jeshi la siafu, ndio usiseme mambo ni moto na kambi kibao zinapambana kutemeana shombo. Wapo wanaosema Wema amefanyiwa upasuaji wa utumbo ikiwa ni mkakati wake wa kujipunguza huku wengine wakipinga.

Ishu ya kukatwa utumbo

Mei 29, mwaka huu, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wema alishindwa kufika mahakamani hapo kuendelea na kesi inayomkabili huku ikielezwa kuwa yuko nje kwa matibabu.

Baadaye zikaibuka taarifa kuwa, Wema alikwenda nchini India na kufanyiwa upasuaji na utumbo wake umekatwa ili kupunguza unene. Pia, wengine wakadai kwamba, amefanyiwa upasuaji ili kumwezesha kupata mtoto.

Lakini, mwenyewe amefunguka. Kwanza amekiri alikwenda nje kwa matibabu lakini hajakatwa utumbo kama inavyodaiwa. Amesema alikwenda kwa ajili ya matibabu mengine tofauti ambayo hata hivyo hakupenda kutaja.

“Unajua nawaangalia tu wataalamu wa kuwasemea watu matatizo binafsi, sikwenda India kwa ajili ya kukatwa utumbo ili nipunguze unene. Kwanini nifikie hatua hiyo? Sina ustaa huo kabisa. Nilikwenda kwa matibabu yangu binafsi,” alisema Wema.

Bora Jack Wolper Kaamua Kuwa Fundi Cherehani Kuliko Wenzake Wanaodanga Mitandaoni

$
0
0
Msanii Star wa Bongo Movie Jacquiline Wolper mpenzi wa zamani wa Harmonize ameamua kujikita kwenye maswala ya mitindo ya mavazi yaani fashion. hivi sasa ye ni kusaka pesa tu anavyodai Kupitia Kushona Nguo, Hivi karibuni aachia video katika mtandao wa snaptchat akisherekea kwa kufurahia kazi yake hiyo ya designing na kushona nguo za watu...

Hii inamtofautisha kidogo na Mastaa wengi wa kike ambao hawana mbele wala nyuma na kuishia kudanga tu mitandaoni...


Mtazamo wako mdau...

Huna Sababu ya Kuaibika Tena, Jipatie Dawa Bora ya Tatizo la Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo

$
0
0
HUNA SABABU YA KUAIBIKA TENA........ JIPATIE DAWA BORA YA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO

Matatizo ya nguvu za kiume yamekua yakiathiri watu wengi sana kisaikologia hasa baada ya kujiona wakotofauti sana na wengine, kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi (6-8) vinginevyo mtuhuyo anamatatizo.

Zipo sababu nyingi zinazosababisha tatizo hili, chango :- hushambulia never ambayo huasili misuli ya uume, Ngiri :- hii huleta maumivu ya tumbo chini ya kitovu na kufanya tumbo kuunguluma na kujaa gesi, kolodani moja kuvimba au kuingia ndani pamoja na kutopata choo vizuli Sababuhizi na nyingine hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba namarakwamara husababisha kukosa hamu ya kuludia tendo la ndoa na baadae kukosa kabisa

MIFINI:- Nidawa ya vidonge iliyotengenezwa kwa mitishamba, huongeza nguvu za kiume maradufu kuanzia umri wa miaka (15-80) inakomaza mbegu zisizo na viini vya uzazi (manii) ,inaimalisha mishipa iliyolegea wakati wa tendo la ndoa, itakufanya uwe na hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi ya maratatu bilahamu kuisha wara kuhisi kuchoka na itakufanya uchelewe kufika kilelen Kwa mda wa dk (18-25).

SUPER MORISIS :- hurefusha na kunenepesha maumbile madogo ya uume uliosinyaa inchi 6-8 na unene wa sm 3-4 kwamda mfupi sana , ni Dr CHILAMBO mtatuzi wa matatizo yako kunadawa ya kupunguza unene, kitambi (nyamazembe),matiti makubwa kuwa madogo, uzazi, kuludisha mali iliyopotea, kuuzavitu bila kununuliwa, biashara, wachimba madini kusafisha nyota, kuludishwa kazini mvuto wa mapenzi nk.

KWAUSHAURI NA TIBA WASILIANA NA DR CHILAMBO ATAKUSAIDIA MATATIZO YAKO, NIPO DAR ES SALAAM PIA HUDUMAHII ITAKUFIKIA POPOTE ULIPO NYOTE MNAKARIBISHWA.

0744 391 089 / 0622344969

Club ya Chelsea imemfuta kazi Kocha Wake Mkuu Antonio Conte

$
0
0
Club ya Chelsea imemfuta kazi Kocha Wake Mkuu Antonio Conte
Club ya Chelsea ya England leo Ijumaa ya July 13 2018 imetangaza rasmi kufanya maamuzi ya kuachana na aliyekuwa kocha wao mkuu Antonio Conte baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa timu yao kwa siku za usoni.

Antonio Conte anafutwa kazi Chelsea baada ya kudumu na club hiyo kwa miaka miwili na amefanikiwa kuiongoza Chelsea kutwaa taji la Ligi Kuu England msimu wa na Kombe la FA lakini Conte ameweka rekodi ya kuiongoza Chelsea kupata ushindi katika game 30 kati ya 38 za Ligi Kuu.

Taarifa zilizoripotiwa kuwa maamuzi hayo ya Chelsea kumfuta kazi Antonio Conte yatawagharimu Chelsea kumlipa Antonio Conte fidia ya pound milioni 9 ili kufidia sehemu ya mkataba wake uliyobaki.

Antonio Conte alijiunga na Chelsea mwaka 2016 baada ya kuacha kazi ya kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Italia, hivyo nafasi ya Conte inatajwa kuwa itarithiwa na Maurizio Sarri  ambaye alikuwa kocha wa Napoli.
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images