Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Breaking News: France Mabigwa wa Kombe Dunia

$
0
0

France Mabigwa wa Kombe Dunia baada ya kuibamiza Croatia katika fainali zilizofanyika leo

France 4-2 Croatia

Huyu Ndio Rais wa Nchi ya Africa Anayeishi Switzeland Hotelini

$
0
0

JE WAJUA?: Rais wa Cameroon, Paul Biya mwenye umri wa miaka 85 anaishi katika hoteli ya kifahari nchini Switzerland inayogharimu Shilingi za Kitanzania zaidi ya Milioni 91

Rais Biya aliyeitawala Cameroon tangu mwaka 1982 huitembelea nchi yake mara kwa Mara na huitisha kikao cha Baraza la Mawaziri mara 1 kila baada ya miaka 3

Kiongozi huyo ametangaza nia ya kuwania kiti cha urais kwa muhula wa 7

Huyu Ndio Mchezaji Bora wa Fainali za Kombe la Dunia leo

$
0
0

Luka Modric ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa fainali za kombe la dunia 2018.
:
Kuna yeyote ana mashaka na ilipokwenda tuzo hii????

Mchezaji Kylian Mbappe Atwaa Tuzo Hii Kombe la Dunia

$
0
0

1998: Ufaransa ilishinda kombe la dunia kwa mara ya kwanza, Kylian Mbappe ndio alikuwa anazaliwa.
:
2018: Ufaransa imeshinda kombe la dunia kwa mara ya pili, Kylian Mbappe amefunga goli kwenye mchezo wa fainali.
:
Mbappe ametangazwa mchezaji bora chipukizi wa fainali za kombe la dunia 2018

Trump Aipigia Saluti Timu Taifa ya Ufaransa, Atoa Neno Kwa Rais Putin Juu ya Maandalizi ya Kombe la Dunia 2018

$
0
0
Rais wa Marekani, Donald Trump ameipongeza timu ya Taifa ya Ufaransa kwa kutwaa Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Croatia.


Trump kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema Ufaransa wamecheza vizuri zaidi dhidi ya Croatia na wamestahili kwa ushindi huo huku akimpongeza Rais wa Urusi Vladimir Putin kwa kmaandalizi mazuri ya kombe la Dunia 2018 na kudai kuwa ni moja ya michuano iliyoandaliwa vizuri kuwahi kufanyika duniani.

Congratulations to France, who played extraordinary soccer, on winning the 2018 World Cup. Additionally, congratulations to President Putin and Russia for putting on a truly great World Cup Tournament — one of the best ever!
— Donald J. Trump (@realDonaldTrump) July 15, 2018

Hata hivyo haijulikani Trump ni alikuwa anashabikia timu gani kwani timu yake ya taifa ya Marekani ilishindwa kufuzu Kombe la Dunia.

Muone Ustadhi Ashrafu Atimize ndoto yako..Anatumia Nyota na Nguvu za Asili Kutibu

$
0
0

Muone Ustadhi Ashrafu Atimize ndoto yako. yawezekana ulizaliwa nanyota yakitajiri ila watu wabaya wameikalia mpaka sasa ikawa hufahamu chochote. Mtafute ust Ashrafu Airudishe nyota yako yakitajiri kwakupitia pete inayoendana na nyota yako. Ust Ashrafu Ananguvu zamajini katika utendaji wake.  

Anauwezo wakutoa Mali kwakupitia pete nakwakupitia majini wake. Na anauwezo wakuzirudisha Mali zilizopotea kwanjia zakichawi kwakupitia Pete yakifalme Ambayo inayong'aa muda wowote nakubadilikabadilika rangi. Ust Ashrafu Ametembea baadhi ya nchi kwakuwapatia watu huduma mbalimbali. Kama vile maradhi yakisukari, presha, ukimwi, bawasiri, tezidume, mwiliwote kupooza nakutetemeka, NK. Navilevile Amewapatia wengi huduma yamvuto wa kibiashara, nayamvuto wakimapenzi.  

Nawengi wametoa shukrani zao kwa ust Ashrafu namna Alivyozirudisha Ndoa zao zilizo sambaratika kwamuda mrefu. Mtafute ust Ashrafu ili akusaidie juu yamambo yako. Nahuyu ust anasaidia matatizo yauzazi, nguvu zakiume, kuwashwa mwilini, kutokwa namapere usoni nasehemu za siri, NK. Na anadawa yakumtuliza mume asiesikia nakutulia inayoitwa limbwata. Na anadawa yakumrudisha mpenzi ktk mahusiano kwamda mchache.  

Na amezipatanisha familia nyingi zilizogombana. Na anauwezo wakufarakanisha maadui waliokua pamoja. 

Mtafute Ustadhi Ashrafu kwa no. 0768486717-0627423037 Au Mtafute kwa whasapp 0659438578  

Hizi ndio namba zake mpigie muda wowote usiogope yupo kwaajili yako. Mpigie hupate muongozo wa bure naushri. Ustadhi Ashrafu huduma zake hupatikana mahala popote utakapo muhitaji, ila sehemu kuu anapatikana Bagamoyo. 

Thibaut Courtois Ashinda Tuzo ya kipa bora wa Dunia -World Cup 2018

$
0
0

Kipa wa Chelsea na Ubelgiji ameondoka nchini Russia akiwa shujaa na mfalme, licha ya timu yake kushindwa kuingia mechi ya fainali, baada ya kutawazwa kipa bora wa michuano hiyo, iliyomalizika rasmi jana.

Kipa huyo, amekuwa na kiwango bora katika michuano ambapo katika mechi ya kwanza, aliiongoza Ubelgiji kuisulubu Panama 3-0, huku wakiitungua England mara mbili (1-0, 2-0), huku akimzuia mchezaji bora wa mashindano hayo, Harry Kane.


Courtois anayewindwa na Real Madrid, aliwabwaga kipa wa Ufaransa, Hugo Lloris na Kipa wa Croatia, Danijel Subasic. Baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo hiyo, Courtois aliandika maneno haya kwenye ukurasa wake wa mtandao wa twitter:


 "Moja ya mafanikio makubwa kabisa katika maisha ya mchezaji ni kutambuliwa na kupewa tuzo, nimefarijika kushinda tuzo ya kipa bora. Ahsanteni sana."


Makipa wengine ambao waliwahi kushinda tuzo hii, ni Kipa wa Ujerumani Manuel Neuer, aliyeishinda mwaka 2014. Wengine ni Iker Casillas, Gianluigi Buffon, Oliver Kahn, Fabien Barthez, na Michel Preud'homme.

Tundu Lissu Awaasa Wafuasi CHADEMA "Hatuna wa Kumlilia, Ni Lazima Tupambane Wenyewe"

$
0
0

Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho kutumia vizuri fursa ya uchaguzi mdogo wa marudio uliopangwa kufanyika Agosti 12 mwaka huu kwa kupambana kiakili ili waweze kushinda chaguzi hiyo. 


Lissu ametoa kauli hiyo jana Julai 15, 2018 kupitia ukurasa wake maalum wa kijamii na kusema uchaguzi huo wa marudio katika Jimbo la Buyungu Mkoani Kigoma na kata 77 Tanzania Bara ni fursa kwao kuendelea kupigania haki za wananchi na utawala bora.


"Hakuna uchaguzi mdogo, kila uchaguzi ni muhimu katika mazingira halisi ya sasa ya kisiasa. Uchaguzi wa marudio wowote ule una kuwa na ugumu wa kipekee, tutafanyiwa na tayari tunafanyiwa kila aina ya fujo na CCM na mawakala wake kwenye Tume ya Uchaguzi na vyombo vya dola", amesema Lissu.


Pamoja na hayo, Lissu ameendelea kwa kusema "wajibu wetu ni kupambana kwa akili na maarifa ya hali ya juu ili kuzishinda fujo hizo na kushinda chaguzi hizo. Najua ni kazi ngumu, haijawahi kuwa rahisi mahali popote. Hatuna mjomba au shangazi wa kutufanyia kazi hii, au wa kumlilia baadaye tusipoifanya vizuri. Ni jukumu letu pekee".


Kauli hiyo ya Tundu Lissu imekuja yakiwa yamepita masaa machache tangu dirisha la kuanza kupiga kampeni kufunguliwa kwa kuomba ridhaa ya wananchi katika maeneo ambayo yatakuwa yana uchaguzi nchini Tanzania ifikapo Agosti 12 mwaka 2018.

Taarifa za Kifo cha Ngassa, Mwenyewe Ashangaa na Kushtuka

$
0
0

Mchezaji mpya wa klabu ya Yanga Mrisho Ngassa, ameeleza kusikitishwa na taarifa zilizosambazwa mitandaoni kuwa amefariki dunia wakati yeye ni mzima na anaendelea na ratiba za maisha yake ya kila siku. 

Baada ya Ngassa kukanusha taarifa hizo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, www.eatv.tv ikamtafuta ili kujua taarifa hizo amezichukuliaje na anahisi kwanini zimeandikwa ndipo akadai zimemuumiza sana yeye, familia na marafiki zake. 

''Nimeumizwa sana na sijui kwanini huyu mtu kaandika lakini tumsamehe tu ila ajue tu amewashtua wazazi wangu na mimi pia mpaka sasa napoongea nipo na watu baadhi wamefika kutaka kujua ukweli kama nipo hai'', - amesema. 

Mtumiaji mmoja wa mtandao wa 'Facebook' anayetumia jina la Christopher Paul alipandisha taarifa inayoelezea kuwa mchezaji huyo amefariki leo katika hospitali ya taifa Muhimbili kwa tatizo la shinikizo la damu. 

Jana Julai 14, Mrisho Ngassa alitambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa klabu ya Yanga akiwa amesajiliwa kutoka katika klabu ya Ndanda FC ya Mtwara ambayo aliichezea msimu uliopita.

Wakala Afichua Siri, Paul Pogba Hana Furaha Chini ya Jose Mourinho

$
0
0

Wakala wa Kiungo wa Manchester United Paul Pogba, 25, ameiambia klabu ya Barcelona ya Uhispania kuwa mchezaji huyo hana furaha na maisha yake ya soka chini ya Jose Mourinho. (Mundo Deportivo, via Mail on Sunday) 

Real Madrid wako tayari kutoa kiasi cha pauni milioni 200 kumnasa Eden Hazard wa Chelsea, ambaye alidokeza kuwa anataka kuondoka Stamford Bridge. (Mail on Sunday) 

Real pia wako kwenye hatua nzuri ya mazungumzo na mlinda mlango wa the Blues, Thibaut Courtois, (HLN, via Sunday Express) 

Chelsea imetoa ofa ya mshambuliaji wa Uhispania Alvaro Morata, 25, kwa Juventus wakati ambapo nao wanajaribu kumsajili mshambuliaji wao, Gonzalo Higuain, 30. The Blues wanadhamiria kumuuza mshambuliaji wao Olivier Giroud miezi sita tu baada ya kumnunua kutoka Arsenal. (Sunday Mirror) 

Mlinzi wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Luke Shaw, 23, amekataa kusajiliwa Everton. (Sunday Times - subscription required) 


Mshambuliaji wa Wales Gareth Bale, 28, atarejea Real Madrid kwa ajili ya mafunzo siku ya Jumatatu na anatarajiwa kufanya majadiliano na meneja mpya Julen Lopetegui kuhusu mustakabali wake . (Mail on Sunday) 

Napoli inaomba pauni milioni 80 kwa ajili ya mchezaji wa Senegal Kalidou Koulibaly likiwa ni jaribio la kuizuia Chelsea. (Sunday Mirror) 


Arsenal inamtaka kiungo wa Juventus Rodrigo Bentancur, ambaye amewavutia alipokuwa akiwakilisha Uruguay kwenye michuano ya Kombe la Dunia. (Gazzetta dello Sport, via Daily Star Sunday)

Tunatibu Na Kuponesha Kabisa Upugufu wa Nguvu za Kiume, Busha, Kisukari na Vidonda vya Tumbo

$
0
0

TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO? BUSHA BILA KUPASUA KISUKALI NA VIDONDA VYA TUMBO? asilimia kubwa ya wanaume wanaupungufu wa nguvu za kiume NA maumbile madogo NI NINI KINACHOSABABISHA UUME KUZIDI KUWA MDOGO NA WEMBAMBA 1 kuugua chango LA uzazi 2 unene kupita kiasi 3 kuvaa nguo au chupi za kubana 4 kupiga punyeto kwa mda mrfu ,NI NINI TIBA YAKE MAKAKANUA MIX nidawa ya mitishamba iliyochanganywa NA mizizi kumi NA mbili urfusha NA kunenepesha UUME saizi upendayo ich 5,6,7, NA 8 kwa urfu NA sentimita 3,4, na 5 ipo dawa ya kunywa na kupaka NI NINI KINASABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 1 kupungukiwa kwa homoni ya testerone 2 kuhudhurika kwa Neva au uti wa mgongo 3 utumiaji holela wa madawa ya kizungu 4 usongo wa mawazo na asira 5 utumiaji wa vyakula vya mafuta mengi NI NINI TIBA YAKE MAPRO POWER NO 2 NDIO tiba tosha kwa sasa kwani utibu matatizo matatu kwa pamoja 1 itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15 adi 20 ,2 itakufanya urudie tendo zaidi Mara tatu 3 uhimalisha uume uliolegea na kusinyaa OKOA NDOA YAKO SASA ujihepusha na lawama ndani ya ndoa yako au pale ukutanapo na mpezi dawa hii itamfanya mpenzi wako hakueshimu na hasitoke nnje ya ndoa na ata wazee wenye umri mkubwa wanapona zipo dawa za kupunguza kitambi,minyama uzembe, presha ,kisukar mvuto wa mpezi au biashara FIKA OFISINI KWETU MBAGALA ZAKHEMU na wateja wa kanda ya ziwa yupo wakala wetu mwanza mjini au piga simu 0752348593 

DR MABULA na utaletewa popote ulipo uduma hizi

Dj-Ommy, Dj Maarufu Nchini Afunga Ndoa (+Picha)

$
0
0

DJ maarufu nchini Dj-ommy ambae anaejulikana wa kzai yake nzuri Danzania na duniani kwa uumla wikiendi hii ameuaga ukapeka baada ya kufunga pingu za maisha na aliyekuwa mpezni wake wa muda mrefu anaeulikana kwa ina la Agness.


Mashabiki Wamtolea Povu Kajala Kuhusu Umri wa Binti Yake.

$
0
0

Ikiwa wikiendi hii siku ya Jumapili msanii Kajala Masanja alikuwa akisherekea sikukuu ya kumbukumb ya kuzaliwa ya binti yake anaejulikana kwa jina la Paula na kusambaa kwa picha nyingi katika mitandao ya kijamii kuhusu picha hizo mashabiki zake wamemjia juu na kudai kuwa anawadanganya khusu umri wa mtoto wake.

Katika baadhi ya photoshoots zilizosambaa katika mitandao ya kamii, zinamuonyesha kuwa paula ana miaka 16 wakati mashabiki wanamtuhumu na kusema kuwa hana umri huo.

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

$
0
0

Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa 

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka 
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume 

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU 

 0753471612/ 0715249530 
0623 386 305 

DR KUZENZA 

Mke wa Mzungu wa Nisha Afunguka Mazito Baada ya Kuibiwa Mume

$
0
0
Mke wa Mzungu wa Nisha Afunguka Mazito
BILA shaka una hamu ya ubuyu! Wiki hii nakuletea wa msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye wiki iliyopita aliachia picha mbalimbali kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram zikimuonyesha akiwa na Mzungu aliyejulikana kwa jina la Anatoly Shmakov, huku akijinadi kuwa ndio mpenzi wake wa sasa na baada ya siku kadhaa zikasambaa picha za Mzungu huyo akiwa na familia yake.


Gazeti hili baada ya kuona mapichapicha hayo kwenye mtandao, lilimsaka mke wa Mzungu huyo ambaye anajulikana kwa jina la Felister James, ili kumsikia anazungumziaje kuhusu picha hizo za mumewe na Nisha?

HUYU HAPA ANAFUNGUKA:

Wikienda: Ningependa kufahamu picha ambazo zinasambaa kwenye mtandao wa kijamii zikimuonyesha mumeo na Nisha wakiwa kwenye mahaba unazifahamu?

Felister: Kwanza mimi sikuona picha hizo mwanzo, ila nilipigiwa simu na rafiki yangu yupo Zanzibar na kuniuliza kama nimeziona hizo picha mtandaoni.

Wikienda: Baada ya kuziangalia ikawaje?

Felister: Kwa kweli nilishtuka sana baada ya kuziona picha hizo kama mke na yule ni mume wangu imeleta shida sana kwenye familia.

Wikienda: Kwa sasa hali ikoje?

Felister: Nilijaribu kumuuliza mume wangu kuhusiana na picha hizo na yeye ilimshangaza kwani alipokuja Nisha nyumbani kwangu, alimuomba awe kwenye video ya wimbo wake na zile picha zipo kwenye video ya huo wimbo lakini haikuwa makubaliano ya kutangaza vile mitandaoni kuwa ni mwanaume wake. Sijapenda kwa kweli alivyofanya.



Wikienda: Lakini kwa sasa hivi vipi mpo sawa na mumeo?

Felister: Sasa hivi tupo sawa tumeyamaliza kifamilia maana ilikuwa ni tatizo sana.

Baada ya kuzungumza na mke wa Mzungu huyo lilimtafuta Nisha ambapo kila alipopigiwa simu hakupokea wala kujibu meseji.

Mfanyakazi wa Ndani Atiwa Mbaroni Kwa Wizi wa Mtoto wa Bosi Wake

$
0
0
Mfanyakazi wa Ndani Atiwa Mbaroni Kwa Wizi wa Mtoto wa Bosi Wake
Jeshi la polisi Mkoa wa shinyanga linamshikilia binti wa miaka 20 Habiba Abubakari kwa wizi wa mtoto.

Katika taarifa ya Jeshi hilo kwa vyombo vya habari iliyotolewa na kamanda wa polisi wa Mkoa huo Simon Haule inasema walipata taarifa za kupotea kwa mtoto William Emmanuel kutoka kwa Jeshi la polisi singida.

Taarifa hiyo inaeleza binti huyo aliyekuwa msichana wa kazi za ndani 'House Girl'  wa Hawa Rojas miaka 20 alimuacha mtoto na binti wa kazi na kwenda kwenye shughuli zake na aliporudi nyumbani alimkosa binti huyo na alitoa taarifa kituo cha polisi na juhudi za kumtafuta ziliendelea.

Julai 13, 2018 binti huyo alikamatwa kata ya Nyasubi wilayani Kahama mkoani Shinyanga na baada ya kuhojiwa alikiri kutenda kosa hilo na kueleza sababu ya kufanya hivyo ni ugumba uliopelekea kuachana na mumewe Yohana Cyprian (24)

Haule amesema binti huyo atasafirishwa hadi mkoani singida lilipotokea tukio hilo na kuwataka wazazi kuwa makini na watoto wao.

Barack Obama Avutiwa na Hifadhi ya Serengeti....Aahdi Kusaidia Sekta ya Utalii Nchini

$
0
0
Rais mstaafu wa Marekani, Barack Obama ameeleza kufurahishwa na vivutio vya utalii vilivyopo katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Hayo yameelezwa jana Jumapili Julai 15, 2018 na Waziri wa Mambo ya Nje, Dk Augustine Mahiga katika mkutano wake wa naandishi wa habari.

Dk mahiga alikuwa akieleza kwa ufupi mazungumzo yake ya Obama ambaye alitembelea hifadhi hiyo alipokuwa nchini.

“Obama amevutiwa na hifadhi ya Serengeti, ameahidi kuisaidia Tanzania kuvutia wawekezaji zaidi katika hifadhi hii. Amesema ameona mambo mengi ambayo hajawahi kuona akiwa na familia yake,” alisema Dk Mahiga.

Kuhusu usiri wa ujio wa Obama nchini, Balozi Mahiga amesema kiongozi huyo mstaafu alikuwa na ziara binafsi.

“Alikuja kutembelea hifadhi ya Serengeti ikiwa ni safari yake binafsi hivyo ni lazima tuheshimu,” alisema.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira alisema ujio wa Obama na familia yake umeitangaza Tanzania na kuungwa mkono na meneja uhusiano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutete ambaye  alisema ujio wa rais huyo mstaafu unatokana na jitihada za nchi kutangaza vivutio vya utalii.

Trump na Rais wa Urusi Kukutana Leo kwa Mazungumzo

$
0
0
Trump na Rais wa Urusi Kukutana Leo kwa Mazungumzo
Rais wa Marekani Donald Trump na wa Urusi Vladmir Putin muda mchache ujao watakutana kwa mazungumzo, katika makazi ya Rais wa nchi hiyo mjini Helsinki, ambao ni mkutano wao wa kwanza kabisa kuwakutanisha pamoja.

Mpaka sasa hakuna ajenda yoyote ya mkutano huo, ambao utahudhuriwa tu na watafsiri wao.

Aidha licha ya mkutano huo kutotegemewa sana, lakini wanaweza kuonesha dalili mpya za kuanza kwa awamu mpya ya mahusiano kati ya Washngton na Moscow, baada ya kufarakana kufuatia Urusi kuitwaa kwa nguvu Crimea.

Aidha wachunguzi wa mambo wanadhani pia kuna hatua inaweza kupigwa katika kuumaliza mzozo wa Syria na pia mazungumzo kuhusiana na masuala ya Nyuklia.

Mkutano huo unaosubiriwa kwa hamu, unakuja baada ya Warusi 12 kushtakiwa kwa makosa ya kufanya uhalifu wa kimtandao wakati wa uchaguzi wa Marekani wa mwaka 2016.

Rais wa Marekani na mkewe wakiwasili mjini Helisinki, Finland
Awali Rais Trump alisema atalizungumzia suala hilo kwenye mkutano huo, licha ya kwamba mkutano huo hauna ajenda maalumu.

Kauli wa Kocha wa Ufaransa baada ya Ushindi "Ubingwa Wetu ni Miujiza"

$
0
0
Kauli wa Kocha wa Ufaransa baada ya Ushindi "Ubingwa Wetu ni Miujiza"
Ubingwa wa Ufaransa ni wa ''kutoka kwa mungu'' baada ya "uchungu" wa kupoteza fainali ya mataifa bora Ulaya 2016, alisema kocha wake Didier Deschamps.

Walipoteza 1-0 dhidi ya Ureno fainali ya Euro 2016, wakiwa wenyeji.

Les Bleus iliilaza Croatia 4-2 Moscow siku ya Jumapili na kuwa mabingwa wa dunia kwa mara ya pili katika historia yao.

"Ni wachezaji wadogo, walioko juu ya mataifa yote katika dunia. Wengine ni mabingwa wakiwa na miaka 19," alifunguka Deschamps, nahodha wa Ufaransa waliponyakua ubingwa 1998.

Alisema ushindi huo "haukumhusu yeye ", akiongeza: "Ni wachezaji walioshinda mechi."


"Hatukucheza mchezo maridadi vile lakini tumeonyesha ukomavu na ubora wa kiakili," aliongeza.

"Licha ya yote, tumefunga mabao manne.

Mgombea Udiwani CCM Anusurika Kifo Baada ya Nyumba Yake Kuchomwa Moto

$
0
0
Mgombea Udiwani CCM Anusurika Kifo Baada ya Nyumba Yake Kuchomwa Moto
MGOMBEA udiwani katika Kata ya Mwakakate, Mji wa Tunduma mkoani Songwe, Ayubu Mlimba, amenusurika kifo baada ya nyumba yake kuchomwa moto na watu wasiojulikana siku moja kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi huo.

Mlimba ni miongoni mwa madiwani watano waliokihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Februari 6 na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Akizungumza na Nipashe nyumbani kwake jana, Mlimba alisema tukio hilo lilitokea majira ya 6.30 usiku wa kuamkia jana akiwa amelala na mkewe.

Akisimulia mkasa huo, Mlimba alisema kuwa akiwa amelala, alishangaa kuona kitu alichodhani ni maji kikimiminwa kupitia dirisha la chumba alichokuwa amelala na dakika chache alisikia mlio mithili ya bomu ukisikika ndani ya chumba chao na moto kuwaka.

Aliendelea kueleza kuwa katika jitihada za kujiokoa na kuokoa mali zilizokuwapo ndani, walimwaga maji na kuita majirani, lakini wakati wa harakati za uokoaji zikiendelea, alikanyaga mafuta ya moto yaliyokuwa yamesambaa chumbani na kuungua miguu yake yote.

Mlimba alisema walitoa taarifa kwa Jeshi la Polisi na usiku huo huo askari wake walifika eneo la tukio na kuanza kuchunguza chanzo cha tukio hilo.

Alidai kuwa polisi walikuta madumu ya lita tano, yote yakiwa na mafuta ya dizeli yaliyochanganywa na petroli pamoja na nondo chini ya dirisha.

Mlimba alisema analihusisha tukio hilo na masuala ya kisiasa kutokana na baaadhi ya viashiria ambavyo amewahi kukumbana navyo.

“Niliwahi kufyekewa mahindi shambani ekari mbili, kuwekewa maiti nje ya nyumba yangu na leo wamechoma nyumba yangu,” alisema Mlimba.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Mathias Nyange, alipotafutwa na Nipashe jana kuzungumzia tukio hilo, alisema hawezi kulitolea ufafauzi hadi aonane na mwandishi ana kwa ana siku ya kazi.

Nipashe pia ilizungumza na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Momba, Twaha Maulid, ambaye alisema kitendo kilichofanywa dhidi ya mgombea wao huyo huenda kikawa kisasi kutokana na kukihama chama chake cha zamani.

Alisema katika uchaguzi wa marudio wa madiwani unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao, wamewateua wagombea wote watano ambao walitoka Chadema kupeperusha bendera ya CCM.

Alisema chama (CCM) kinalaani tukio hilo, lakini akasisitiza wanasubiri kukamilika kwa upelelezi wa Jeshi la Polisi ndipo watoe tamko rasmi.
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images